MCHUNGAJI HATARINI KWA KUMZOMEA RAIS SAMIA S. HASSAN

  Рет қаралды 23,586

Mwl. Mussa Paul

Mwl. Mussa Paul

Күн бұрын

Пікірлер: 334
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 7 күн бұрын
Mafisiemu. Jamani. Muogopeni mungu mtatumaliza
@user-bv7mp5ou9b
@user-bv7mp5ou9b 6 күн бұрын
Saaaafiiiiiiiii mchungaji. Wewe ni mfano wa wachungaji tunaowataka. Nakupongeza sana.
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 6 күн бұрын
MCHUNGAJI kawasahau MAPALOKO yeye kaingia SIASA SADAKA ZIMEPUNGUA sana sababu wengine tumekimbia 🤩🤩
@HafidhKhamis-ph8qg
@HafidhKhamis-ph8qg 6 күн бұрын
Nyie wakristo acheni kushabikia uyu mchungaji hajielewi ni chadema tu uyu Hana lolote
@rebeccamaziku5070
@rebeccamaziku5070 6 күн бұрын
Mchungaji Mungu akulinde. Na hao weaked people let the be cursed until their great grandchildren in the NAME OF JESUS CHRIST.
@PauloAlfayo-qi1gn
@PauloAlfayo-qi1gn 6 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉amen mungu akulinde
@phillipmasungwa7365
@phillipmasungwa7365 7 күн бұрын
SAHIHI KABISA ULIYOSEMA.
@AdamTenda
@AdamTenda 6 күн бұрын
Huyu si mchungaji sio mtumishi wa Mungu. Huyu ni zero nyeusi kabisa.
@zawadisisto8188
@zawadisisto8188 6 күн бұрын
Je wewe ndio ulie muajiri
@ezrasanga506
@ezrasanga506 6 күн бұрын
Acha ufala ndugu yangu...😢😢
@christopherkaroli9365
@christopherkaroli9365 6 күн бұрын
Zero ni wewe paka mkubwa
@thedosiamremi2607
@thedosiamremi2607 6 күн бұрын
Hujielewi
@AdamTenda
@AdamTenda 6 күн бұрын
@@christopherkaroli9365 kumbe imeuma? Mbona maandiko yako wazi.kama unamtetea leta hoja ya maandiko( neno la Mungu )
@mr.yahzadochuno7914
@mr.yahzadochuno7914 6 күн бұрын
Hatukutaki samia must gooo
@thedosiamremi2607
@thedosiamremi2607 6 күн бұрын
She must go sheet
@user-bo7rg6rw6n
@user-bo7rg6rw6n 6 күн бұрын
Wachungaji tuombee amani nchi yetu si kuhamasisha machafuko kaziyetu ni kumuomba Mungu atusamehe wote Mungu aturehemu
@Romanasilvan968
@Romanasilvan968 6 күн бұрын
Kabisa, Tunapaswa kuomba Toba, na kuwaombea viongozi wetu, watawale kwa hekima za KIMUNGU. Na sio kuchochea Vita au chuki.
@MariamAbuubakar-e5o
@MariamAbuubakar-e5o 7 күн бұрын
Ndugu yangu unasema kweli lkn tanzania haitaki ukwel naww baba angu jiangalie ya mkn unaweza kuuwawa kwakwel mungu shuka tanzania yetu imesha kufa samia nchi imekushinda achia madaraka kwani umesha dhulum sana nasfi za watu wengi sana kwakwel inauma sana😢😢😢
@suleimanmkongwa9950
@suleimanmkongwa9950 6 күн бұрын
Nahuo ndio ufala wenyewe sasa kwani kuna atakae baki milele!? Wacha wanaume waongee ukweli wanaojitolea kwaajili ya wengine,waunaleta uoga kwa sababu haijatokea katika familia yako,namuomba Mungu ajaalie itokee kwenye familia yako sikumoja ushudie halafu maumivu yake halafu tuone kama utaleta huo uoga wako wakikekie
@JamesJastin-bg1rx
@JamesJastin-bg1rx 6 күн бұрын
Wew itakuwa hujielewi
@ezrasanga506
@ezrasanga506 6 күн бұрын
Au na wewe ni mmoja wao?😢
@WingodEpafra-dl1cd
@WingodEpafra-dl1cd 7 күн бұрын
Mchungaji yy kafikisha ujumbe wake
@renatustinsimile5410
@renatustinsimile5410 5 күн бұрын
Maweee! Mchungaji kwa maneno hayo tu! Mwana wa mungu aliyehai akulinde
@tumainimwaifunga3884
@tumainimwaifunga3884 7 күн бұрын
Ushauri wangu jilinde
@zawadisisto8188
@zawadisisto8188 6 күн бұрын
Hata ukinyamaza utakufa ukisema bado utakufa tuu sasa uamue wewe
@Ndu-wa.uroony2
@Ndu-wa.uroony2 6 күн бұрын
Unajilindaje sasa?
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 6 күн бұрын
Wakoma waliamua kwenda kukabili majeshi ya washami kuliko kufa kwa njaa
@Romanasilvan968
@Romanasilvan968 6 күн бұрын
​@zebedayokatamaduni9676 Ni sawa, lakini kumbuka walipata Kibali kwa MUNGU, baada ya Elisha kuomba, je sisi tunakibali mbele za MUNGU?😢😢 Tujitafakari. Tumemwacha MUNGU. Tunapaswa kumlilia MUNGU kwanza, kama wana wa Israeli
@adorchmassimba4413
@adorchmassimba4413 6 күн бұрын
Mchungaji mtamlaumu masauni bule nimemuona msibani akiwa anahuzuni kubwa sana mpaka akamuombea kheli marehemu kwa mwenyenzi Mungu aipokee roho yake mahali pema peponi Amin naamini masauni ni mwisramu safi naanahofu ya Mungu nayaliotokea mauwaji wa kada wa chedema hausiki
@geey7893
@geey7893 6 күн бұрын
Kama hawezi kukomesha haya maswala ajiuzulu anafanya nn madarakani? Anapata utamu gani kweny hicho kiti? Watu hawasemi anauwa ila anachangia mauwaji
@SamoraTabaga
@SamoraTabaga 6 күн бұрын
Kwani wachawi hawahudhulii msibani na wanahuzuni sana.
@Romanasilvan968
@Romanasilvan968 6 күн бұрын
Sisi tunapaswa kuwaombea Viongozi wetu mbele za MUNGU, Watawale kwa hekima za KIMUNGU. 😢😢 Ni huzuni sana, haya si mambo ya kishabiki, Sisi tumemkosea MUNGU. Misingi ikiharibika mwenye haki atafanya nini?😢😢😢
@BARAKAJOSEPH-j4u
@BARAKAJOSEPH-j4u 5 күн бұрын
Hujui mtu anaweza ingia mskitini au kanisani na asiwe na hofu ya mungu
@MchungajiNzelani
@MchungajiNzelani 7 күн бұрын
Mzee butiku amesema uoga wenu mtakuja kujuta
@Romanasilvan968
@Romanasilvan968 6 күн бұрын
Shida sio uoga, tujiulize, Je, Tunakibali mbele za MUNGU, ??. Tuombe toba kwanza.
@MusaOgwoko
@MusaOgwoko 7 күн бұрын
Mtu wa mungu ndio Hawa sio wale wa sadaka
@DaudiMakaza
@DaudiMakaza 4 күн бұрын
Mungu akupiganie baba
@dorothymbuere5236
@dorothymbuere5236 6 күн бұрын
Tunaambiwa ukimwendea Mungu kwa hasira na matukano na umebeba watu Mungu hasikii hanageuza tena ukiraani apo basi unajichukulia maamuzi mwenyewe. Tena kwenye Biblia inasema usimwendee Mungu na hasira. Mwachie Mungu anaona kila kitu. Yakobo sura ya nne tunaomba vibaya ndio maana hatujibiwi. Mungu atuurumie. Poleni sana ndugu. Ndio Dunia Tusubiri Unyakuo tutakuwa tayari kumuona Bwana tukiwa safi rohoni?
@Romanasilvan968
@Romanasilvan968 6 күн бұрын
Ni kweli Sisi tunapaswa kuiombea nchi yetu pamoja na viongozi wetu.😢😢 Baba zetu walitenda dhambi, hata sasa tunayachukua maovu yao. Je, Misingi ikiharibika mwenye haki atafanya nini.?. Tumlilie MUNGU.
@bishoparronmgaya1749
@bishoparronmgaya1749 7 күн бұрын
Msisahau kwamba hatupo mbinguni wala paradiso hapa siyo peponi. Nikweli mauaji si jambo la kushangilia lakini ni muhimu kusema ukweli bila kutukanana.
@SalumFuraha
@SalumFuraha 6 күн бұрын
Kuomba heri ni wema
@PatrickJulius-uy3yb
@PatrickJulius-uy3yb 6 күн бұрын
Naona tanzania inaenda kuwa huru baada ya kumariza muhura wa wazee waoga sasa tupo gen Z no retreat no surrender
@ezrasanga506
@ezrasanga506 6 күн бұрын
Katukana wapi?😢😢
@jeniphermyingajeniphermyin8029
@jeniphermyingajeniphermyin8029 6 күн бұрын
Amen
@CharlesMulaki-j8h
@CharlesMulaki-j8h 7 күн бұрын
Mch yupo sawa watanganyika hamjitambui haya mambo ya kuuana
@DaudiMakaza
@DaudiMakaza 4 күн бұрын
Amina baba
@MagangaAbdallah
@MagangaAbdallah 4 күн бұрын
Hiyo si kweli Mama Samia Ataendea kuwa Kiongozi Wetu .Vyombo vipo kazini Tusubiri Uchunguzi.
@MWINJILISTHURU
@MWINJILISTHURU 5 күн бұрын
Haya wakuteke na wewe tuone kiburi chao, maana raisi wa nchi hii haruhisiwi kusemwa, ni zaidi ya Mungu.
@sethstiven3393
@sethstiven3393 6 күн бұрын
Damu dam dam damu damu damu zinamwagika Tanzania
@petermabura6151
@petermabura6151 6 күн бұрын
Safi
@neemanziku5403
@neemanziku5403 6 күн бұрын
Ni kweli kabisa Mungu hapendi kutetea uongo wala kuwa shuhuda wa uongo mtumishi uko sawa
@thedosiamremi2607
@thedosiamremi2607 6 күн бұрын
Nimempenda bure Mungu alete wengine kumi nchi utakuwa na heri
@AmosRugaimukamu
@AmosRugaimukamu 7 күн бұрын
Tumechoka sana
@EzekielKandonga
@EzekielKandonga 6 күн бұрын
Kwa tulipofikia tutasema Ukweli,Bora watuuwe tu
@PatrickJulius-uy3yb
@PatrickJulius-uy3yb 6 күн бұрын
Naunga hoja hatuwezi kuishi kwa uoga
@ElizaAxson
@ElizaAxson 4 күн бұрын
Wàchungaji mmekua mnasahau kazi zenu sasa taifa lina potea badala mliombee mnaanza ujinga ata usituunganishe wakrsto wote fanya uo ujinga pekeako sisi tutamuomba mungu mungu ndii muhuku wawisho
@abdalahasuman8740
@abdalahasuman8740 6 күн бұрын
💪
@rebeccamaziku5070
@rebeccamaziku5070 6 күн бұрын
Na mtu wa Mungu ndiyo hiyu anayekemea maovu na siyo sadaka tu kabla hata ya neno inasisitizwa sadaka kwanza. Yani inasikitisha watumishi wengi wamekaa kimya hawalikemei hili jambo.
@user-tt1nm9xs4n
@user-tt1nm9xs4n 6 күн бұрын
Wanawaza sadaka
@VuaiBabaSafi
@VuaiBabaSafi 15 сағат бұрын
Mimi ni mzanzibar tuvunje mungano hili ndo tatizo mungano haufai na jamani tuazisheni wabara wote warudi kwao
@batwelimahenge7850
@batwelimahenge7850 7 күн бұрын
🙏✔️
@makoromaregesi4891
@makoromaregesi4891 5 күн бұрын
Inaonekana u utanganyika na uzanzibar unawauma sana muungano ni lazima na mzanzibar lazima atawale kwa sababu ni sehemu ya muungano masauni asijiuzuru wala i g p wasijiuzuru wanapaswa waongeze juhudi za usimamizi wa kazi zao je waliouliwa singida na mganga je masauni aliusika acheni chuki za uzanzibar nautanganyika tumuachiye mungu ataukumu kwa maana ndiye mwenye haki
@SmilingApron-zw6ne
@SmilingApron-zw6ne 6 күн бұрын
NAJUA WANAOKUPONGEZA KWA COMMENT HAWAJUI MUNGU AWASAMEHE, NA WEWE NAKUAGIZA ACHA HIYO TABIA YA KUMZOMEA RAIS WA NCHI, KAMA KUNA SHIDA JE MUNGU WETU ANASHINDWQA KUTENDA HADI UFIKIE HATUA IYO?
@deusdedithjoseph7588
@deusdedithjoseph7588 13 сағат бұрын
Mchungaji unamtukana Rais wa nchiiii???
@godwinshoo5032
@godwinshoo5032 4 күн бұрын
Wakristo kuweni makini na watumishi wa mungu kama huyu msije kutenda dhambi bila kujua!
@EliaHiluka
@EliaHiluka 6 күн бұрын
It is true
@KhalfanHamisi-p8x
@KhalfanHamisi-p8x 2 күн бұрын
Ungekuwa na akili usinge ropokwa huna utume wala unabii ungetuonesha kitabu ulichopewa naMungu
@IddiMahanga
@IddiMahanga 6 күн бұрын
Ni kweli baba mchungaji wengine wanacha watu wapoteye wanankâ kimya
@petromwashusa9948
@petromwashusa9948 6 күн бұрын
Mchungaji gani anamtukana Mh Rais. Kama wewe hutambui hadhi na nafasi ya Rais wa nchi heri ikae kimya. Fanya kazi za uchungaji wako.
@HajiAmbali-jq9dr
@HajiAmbali-jq9dr 4 күн бұрын
Wewe ni chadema huna lolote ccm haitoki daima mbele nyuma mwiko koma
@godfreymasele8853
@godfreymasele8853 6 күн бұрын
Huyu siyo mchungsji ni mchungwani kada wa chadomo. Jina la Yesu halitumiki hivyo . Fikra zako ,mawazo yako ni yako. Hata hao unaowafikiria ni wasafi ni wachafu hivyohivyo. Nabii njaa nabii tapeli. Heri wapananishi maana hao watamuona Mungu. Usihukumu usije ukahukumiwa. Chacha wangwe yuko wapi? Tuambie mganga njaa.
@user-tt1nm9xs4n
@user-tt1nm9xs4n 6 күн бұрын
Toka hapa shetan
@zawadisisto8188
@zawadisisto8188 6 күн бұрын
Wewe ndio mchungaji kwa kuwa moyo wako umejaa unafiki
@ezrasanga506
@ezrasanga506 6 күн бұрын
We fala usituchochee hasira tukupopoe na mawe....huyu Mzee kakosea wapi?...Watu wangapi wameuawa na serikali haijachukua hatua?...haya hao ni Chadema, aliyemteka Roma ni nani?, aliyemteka Mo ni nani?...Acha uboya wewe??😢😢😢
@christopherkaroli9365
@christopherkaroli9365 6 күн бұрын
Wapatanishe huku mko mnaua watu
@bintmrisho3526
@bintmrisho3526 6 күн бұрын
Bila shaka ww ni lusifa kwaiyo umefurah mauaji yanayoendelea na watu wanaopotea je
@sadikishemkai
@sadikishemkai 6 күн бұрын
Mchungaji..gani.wew.unahamasishauvunjifu.waamani.wewe.siomchungaji.unatoahukumubilaushahidi.usichonganishe.wananchi.naselekari.yao.wewe..acha.serikali.ifanyekazi.yake.unamchukia.rais.bule.
@wachimbavisima
@wachimbavisima 6 күн бұрын
haya ndo madhara ya serikali kutoshughulikia matatizo ya wanachi kwa wakati madhara yake wananchi hupanic na kuzungumza lolote litokalo mdomoni
@AbdulrashidKitadu
@AbdulrashidKitadu 6 күн бұрын
Maneno haya angeongea sheikhe angeonekana mdini.ila mkiongea nyinyi sio wadini.kipindi cha makufuli mlifunga midomo.
@BjleonardBhianda
@BjleonardBhianda 6 күн бұрын
Jamani watumishi wengine mnatumia jina la Yesu Kristo vibaya!! unaongea maneno magumu mazito husiyokuwa na akika nayo...inaonekana wewe ni mwanasiasa sana zaidi ya kiongozi wa dini...huwezi kuilani serikali ambayo Mungu ameiridhia kuwepo..Ndiyo maana Mungu katika maandiko matakatifu amesema atahukumu dhamiri za wanadamu...je Masahuni ndani ya dhamiri yake amependa haya yatokee? au rais wetu amependa haya yatokee ili serikali yake isemwe vibaya?...Mungu ni wa haki na atahukumu dhamiri za wanadamu kwa haki...tunatakiwa kuwaombea viongozi na si kuwalaani kwa chuki za dhahiri kabisa,narudia kusema Mungu ni wa haki anajua kinachoendelea mtu yeyote anayefanya utekaji huu au mauaji haya ili serikali ionekane mbaya hipo siku atajulikana.Namuomba sana Mungu kama Mkristo na Mtanzania ,Mungu aulinde muungano wetu,awalinde wananchi wote na viongozi wote aliotupa Mungu kuanzia raisi kushuka chini...tusipende kulaani pasipo kuwa na ushahidi...Jicho la Mungu ni la haki na litahukumu dhamiri za wanadamu kwa haki na si kwa hisia na mihemko iliyojaa matarajio binafsi.Mungu mbariki na kumlinda rais wetu na viongozi wote, na Watanzania wote kwa jumla.
@majebelemathis9991
@majebelemathis9991 6 күн бұрын
Tuungane tumkatae Samia na CCM Yao
@TUCASABUTIMBA
@TUCASABUTIMBA 6 күн бұрын
Usitoe maoni ya hivyo muogope Mungu mbona wafanya kama sio mtumishi wa Mungu Biblia inaelekeza mtu anapo kosea au kuanguka muombee sio kutukana Aiza Kwa maneno hayo umefanya kazi sio yako .kuzomea mtu anae kosea ni kazi ya SHETANI basi bila shaka mimi Kwa maoni yangu ww ni wakakala wa SHETANI kabisa na ninakuomba ufanye matengenezo .lsaya 38:1-10
@goodlucksawaya
@goodlucksawaya 6 күн бұрын
Safi sana mtu wa mungu
@HajiAmbali-jq9dr
@HajiAmbali-jq9dr 4 күн бұрын
Mchungaji feki mla sadaka huna jipya
@epimackjohn461
@epimackjohn461 5 күн бұрын
Wengi tumechukizwa na matukio haya mabaya , na ujumbe anaoutoa huyu KIONGOZI wa dini ni sahihi ila 👻ulimi na baadhi ya matamshi❓❓ ya huyu kiongozi wa DINI katika kutoa ujumbe wake SAHIHI✔️nadhani hayapendezi .🙈
@mohamedkipara1315
@mohamedkipara1315 4 күн бұрын
Udini
@sosthenesjames7821
@sosthenesjames7821 6 күн бұрын
Acha kutumia jina la Yesu vibaya,jina hilo usilitumie kuchochea uovu
@mr.yahzadochuno7914
@mr.yahzadochuno7914 6 күн бұрын
Mxuuu jwendaaa
@zawadisisto8188
@zawadisisto8188 6 күн бұрын
Mungu haambatani na waoga na wanafiki ukitaka andiko nitakupatia
@ezrasanga506
@ezrasanga506 6 күн бұрын
Waoga hawatarithi ufalme wa mbinguni...😢😢
@makoromaregesi4891
@makoromaregesi4891 5 күн бұрын
Mnashadadia ujinga wa mtu kwa kivuli cha ukristo huyu siyo mchungaji bali ni mtu asiye kuwana karama ya mungu nena kwa hekima mbona kibiti amkujitokeza kuyasema haya mnayo yasema au wale awakuwa watanzania kumbukeni akuna serikali inayo taka kuuwa watu wake tutumiye busara sana utanganyika na uzanzibar
@KolamuWabene
@KolamuWabene 6 күн бұрын
Tanzania kwanini huwa mnajitanhaza kwamba mna amani? Tanzania akuna amani kamwe ila kuna umwagaji WA damu ambao hunahongozwa na serekali pili kuna demokrasia bandia ambapo chama kimoja kiwe kinatawala,pale alipo fanya magufuli wanabunge wawe watu WA ccm mpaka Kura zikahibiwa,nikasema basi inchi himehelekea pabaya,hizo damu zinazo mwahika zitasema siku moja
@HijaSaid-xd7fg
@HijaSaid-xd7fg 6 күн бұрын
Nini fasiri ya kumzomea mteule wa boss,
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 6 күн бұрын
Safi sana kiongozi
@khambhai360
@khambhai360 2 күн бұрын
Nabii mtanganyika Na Mimi naku zomea ooooooooooooooo.Huna adabu acha ujinga.
@kainimlowe9646
@kainimlowe9646 6 күн бұрын
Na mm nayazomea ooooooooooooooooooooooooooooooooo Kuma Nina zenu
@bintmrisho3526
@bintmrisho3526 6 күн бұрын
😂
@elizabethmunuo5379
@elizabethmunuo5379 3 күн бұрын
Inahitaji uchunguzi zaidi
@estambuya3901
@estambuya3901 6 күн бұрын
Kweli kabisa mchungaji.
@salimukimwaga-fu8cc
@salimukimwaga-fu8cc 6 күн бұрын
Tumekodishiwa viongozi Toka nje watanganyika hatuwezi ila uchawa
@IbrahimuFumbwe
@IbrahimuFumbwe 2 күн бұрын
We mjinga wao ndio wameteka alafu wajichunguze wenyewe???ingekua ni ndugu Yako alie uwawa?
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw 6 күн бұрын
Kwanza shukuru sana utawala uliopo kitendo cha kujiita mtume nikosa kwenye nchi nyingine ungeshakamatwa kwa kosa la kujiita mtume lakin hapa unaweza ukaachwa tu ukajiita utkavyo hata ukitaka kijiita mungu hawana shida na wewe sasa huoni nchi hii ina amani ya kutosha mpaka unafyanya unavyotaka unaweza kuharibu imani za watu lakin serikali hii tukufu haina shida na wewe lakin unaiona haifai utakuja kuikumbuka hii serikali
@Ndu-wa.uroony2
@Ndu-wa.uroony2 6 күн бұрын
Fia mbali!!!
@VuaiBabaSafi
@VuaiBabaSafi 15 сағат бұрын
Chuki tu sababu mzanzibar
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 6 күн бұрын
Kuzoomewa msibani masauni Asante kw hilo mchungaji tunakishuru mchungaji,,
@nurumohammed1310
@nurumohammed1310 6 күн бұрын
Hata samia kasema uwongo
@melichmahingule2896
@melichmahingule2896 6 күн бұрын
YESU YUPO KARIBU KUJA, TILIA MZEE HASIRA ZA NINI? VERY SOON MAISHA YATAKUWA YA FURAHA❤
@ShaloMasofa
@ShaloMasofa 6 күн бұрын
Kuka mtu ajitetee usikubali jukamatwa nawatu usiowafahamu bila kitambulisho Bora ufie pale walipokukuta
@user-tt1nm9xs4n
@user-tt1nm9xs4n 6 күн бұрын
Kweli
@kibedikamba7616
@kibedikamba7616 6 күн бұрын
Kwa magufuli uliwahi kuongea ayo ama sese mushaota meno. Na Bible uliisahau kipindi kile.
@Godfreymofire
@Godfreymofire 6 күн бұрын
masauni is a big liar, actually booing masauni is booing samia
@rahmahabibu1432
@rahmahabibu1432 6 күн бұрын
Ila munamchukia samia kwa kua ni mzanzibari ila mungu ndie aliemuweka mama
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 6 күн бұрын
SIO UZANZIBAR NI UDINI WANAJULIKANA HAWA
@rahmahabibu1432
@rahmahabibu1432 6 күн бұрын
Wana roho mbaya t
@zawadisisto8188
@zawadisisto8188 6 күн бұрын
Mwinyi alikuwa wa wapi
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 6 күн бұрын
@@zawadisisto8188 KYELA 🤩🤩
@ezrasanga506
@ezrasanga506 6 күн бұрын
Dini ya Uislamu inataka watu wauawe?....Na Kikwete alikuwa mchungaji wa Kanisa gani?...Unaongea makande kwenye hoja za msingi😢😢😢
@issakhalid1098
@issakhalid1098 2 күн бұрын
Wewe nimpumbavu yesu alitabili watatokea makrisito wauogo na manabii wauongo nawatatoa ishara ya maajabu ndiyo wewe anaye kusikiliza nakukupongeza ni chizi
@MagnusMsoma-ip9tw
@MagnusMsoma-ip9tw 2 күн бұрын
KAZI ya mchungaji n ipi haswa?dini au siasa,,,,,,,,,,
@LeocadiaDominicus
@LeocadiaDominicus 6 күн бұрын
Nani aliyekuweka kuwa mshauri wa wakristo?Hivi wewe ukristo unaujua kweli.Acha kuchafua imani yetu wewe upo kivyakovyako
@MohammedSalumHamad
@MohammedSalumHamad 6 күн бұрын
Kwa Magufuli watu hawakupotea?ulisema nini au ulikuwa haupo?
@OmarKombo-h2j
@OmarKombo-h2j 3 күн бұрын
Tunamshauri mtume wa uwongo atafute kazi akafanye asidanganye watu sisi tunaelewa kuliko unavoelewa ww
@ibrahimgwasma1223
@ibrahimgwasma1223 6 күн бұрын
Hapo kwenye serikali ya Marekani, ni kuturudisha kwenye ukoloni so hatukubaliani
@NixonJohnson-r4m
@NixonJohnson-r4m 6 күн бұрын
😂😮😮wataua wangapi kila siku wanajitokeza watu waliokata tamaa kwenye kuishi ... mtu ashushwe kwenye bus na kuuwawa .. hapana Makanisa yaongeee kwa nguvu zote
@godwinshoo5032
@godwinshoo5032 4 күн бұрын
Amani gani ya kumzomea kiongozi anayeongoza watu pamoja wewe
@dhamirshariff9415
@dhamirshariff9415 6 күн бұрын
Kwanza hatuamini katika wachungaji ni wanafiki wapiga pesa za wajinga tu
@ElizaAxson
@ElizaAxson 4 күн бұрын
Tatizo nikwamba wewe unahamasisha machafuko mungu ataki sio kwamba tunafuraia apana ila omba ushamasishe machafuko wewe ni mtumishi bwana
@mr.yahzadochuno7914
@mr.yahzadochuno7914 6 күн бұрын
💔💔
@divaimafuru6844
@divaimafuru6844 6 күн бұрын
Mchungaji zomea tena😂😂😂
@selemankishema5780
@selemankishema5780 4 күн бұрын
Wee mpuuzi tu chizi alafu mjinga wa chuki akisha kaa muislam mnakosa amani kabisa.
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw 6 күн бұрын
Wewe mzee fikisha neno kwa kondoo wako hujui mambo ya uongozi huwenda ukipewa wewe hii nchi ukaiingiza kwenye matatizo makubwa mama samia hjawekwa na mtu pale ilishaandikwa toka samia haja zaliwa kwamba atakuja kua mtanzania na atakua kiongozi wa nchi yake acha polojo mzee kaa utafakari kwanza wewe ni muongo unajiita mtume
@LusiaThom
@LusiaThom 6 күн бұрын
Wewe sio mchungaji ombea bwana unamzomea mama wa watu amekosa nn acha zako wewe
@samwelilulandala2384
@samwelilulandala2384 5 күн бұрын
Huna akili wewe! Serikali kama inaona nashauri wakukamate ufungwe hufai kuwa mtumishi wa Mungu pili ni mchochezi, na ni mhaini, wewe unauhakika gani kwamba serikali inahusika na hayo? Inabidi ulisaidie jeshi
@chepkirui-vn1bu
@chepkirui-vn1bu 7 күн бұрын
Mimi ningesema kitu wala lawyer
@YusufSuluhu
@YusufSuluhu 6 күн бұрын
Wewe kibabu umeshafilsika kama chadema hayooo yanauwana wenyewe😅😅😅
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 6 күн бұрын
Basi tu yaliyoko gizani Mungu anayaweka wazi ,
@KhalfanHamisi-p8x
@KhalfanHamisi-p8x 2 күн бұрын
Huna akili
@Luka-j7p
@Luka-j7p 6 күн бұрын
Unamzomea Rais ? Hadharani?
@mr.yahzadochuno7914
@mr.yahzadochuno7914 6 күн бұрын
💔💔💔💔🩸🩸🩸
@StephenRioba
@StephenRioba 6 күн бұрын
Mchungaji gani unaamasisha watu kupigana na polisi.Wewe mwenyewe vita vikianza unatoroka nchi.Ushauri wako sio mzuri.Kitu cha muhimu ni kuvumiliana
@emmanuelbayi4640
@emmanuelbayi4640 6 күн бұрын
Riob wew unafurahia watu kutekwa na kuuawa acha mambo yako mch Yuko vzuri
@abuumrisho204
@abuumrisho204 3 күн бұрын
Mchungaji hajielewi, nabii feki ww
@kibedikamba7616
@kibedikamba7616 6 күн бұрын
Wewe ni mchochezi
@LuganoAmwamsojo
@LuganoAmwamsojo 6 күн бұрын
😂😂😂😂Safi sana mchungaji mbwa anastaili kuzomewa
@DormanDorman-jm3dz
@DormanDorman-jm3dz 7 күн бұрын
OVYOOO
@RehemaMtono
@RehemaMtono 7 күн бұрын
Serikali inanuka maviii viongozi mavi matupu raisi tokaaa tumekuchokaaa
@SixmundMakonja
@SixmundMakonja 6 күн бұрын
Huyu si mchungaji. Huyj kama kiboko ya wachawi. Kibaraka wa wapinzani uchwara.
GTA 5 vs GTA San Andreas Doctors🥼🚑
00:57
Xzit Thamer
Рет қаралды 31 МЛН
Шок. Никокадо Авокадо похудел на 110 кг
00:44
HAH Chaos in the Bathroom 🚽✨ Smart Tools for the Throne 😜
00:49
123 GO! Kevin
Рет қаралды 11 МЛН
GWAJIMA ATAJA watekaji, BILA UOGA Ataja MAJINAAAAAAAAAAA
13:23
MALAVIDAVI Kenya
Рет қаралды 153 М.
MCHUNGAJI AWATAKA WAKRISTO WOTE KUMZOMEA MH. RAISI SIKU YA IBADA
39:23
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 11 М.
Wachungaji zaidi wazidi KUCHAFUKWA. ROLINGA ATOA LAANA KUBWA KWA WATEKAJI
13:08
Kikosi kazi cha injili🎖
Рет қаралды 12 М.
MCHUNGAJI  MOSES KULOLA SALA ZA MAREHEMU HAZIKUPELEKI MBINGUNI
23:26
GWAJIMA KAWASHA MOTO TENA BUNGENI LEO ASKOFU GWAJIMA LEO BUNGENI 6 _9_2024
3:11
Pastor Francis Kenneth Ngwale
Рет қаралды 6 М.
GTA 5 vs GTA San Andreas Doctors🥼🚑
00:57
Xzit Thamer
Рет қаралды 31 МЛН