MCHUNGAJI MKONGWE AKANA HADHARANI YESU SIO MUNGU

  Рет қаралды 742

SHEIKH MWAIPOPO TV

SHEIKH MWAIPOPO TV

Күн бұрын

Пікірлер: 35
@abdallahjuma2608
@abdallahjuma2608 4 ай бұрын
Mashaallah ❤
@hassanmpemba5747
@hassanmpemba5747 4 ай бұрын
Asalam alaikum sheikh mwaipopo kwani hata mimi ninamtilia mashaka huyu shehenna
@JumaAbdallah-m6k
@JumaAbdallah-m6k 4 ай бұрын
Baadh ya wakristo hata uwambiee ukweli hakuelewii hebu fuateni maandishi mujuwee ukweli .
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 4 ай бұрын
Tengezen vijana wengi waweze kujenga hoja na wachungaji
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 3 ай бұрын
Kasome kwanza
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 4 ай бұрын
Wakristo wengi wanasomewa biblia hawasomi biblia ndo mana hawajui maandiko
@charlesunganiunjuu920
@charlesunganiunjuu920 4 ай бұрын
We bishania hiyo biashara yako ya tiba na mafuta ukristo achananao kabxa maana hutauweza endelea kujikita kwenye soko lako la tiba
@MeddyMasuddy
@MeddyMasuddy 3 ай бұрын
Hayo ndo maneno yenu kila siku mkiona hamna hoja mnaanza kuongea kashfa yote hayo nikuonesha kua hamjiamini na dini yenu ss waislam kitabu chetu ni kimoja2 ambayo ni Qur,an lkn nyinyi mnavitabu 3,142 zote hizo ni biblia, pia haijatosha mpaka mnachoma misaafu moto, mnakojolea yan kila kashfa mnazifanya dhid ya uislam pamoja na kitabu chetu kitkatifu sasa mbona ss hatuafanyii ivo alafu mnasema mmeokoka chemvuuu
@SaadEbrahim
@SaadEbrahim 4 ай бұрын
Sheikh Mwaipopo huna elimu ya majini bora ukae kimya kasome elimu ya Tiba utajuwa kuwa unaweza kuwatumia majini kama binadamu wanavyotumiwa.Kasome elimu ya tiba utagunduwa majini wanatumiwa kama binadamu.Nakuwatuma majini sio Shirki tofautisha Shiriki na kuwatuma majini.
@MOHAMMEDMOSHE-sy3qi
@MOHAMMEDMOSHE-sy3qi 4 ай бұрын
Hakuna 'Jini' Anaweza Kutumwa Na 'Mwanadamu', Hakuna 'Jini' Huyo; 'Jini MWEMA' Hawezi Tumwa Na 'Mwanadamu' Ila Kupitia Amri Ya ^MUNGU^ Kama Utawala Na Mamlaka Kwa #Nabii Au Mtume# Husika (k.v Mamlaka Na Utawala ^MWENYEZIMNGU^ Aliyompa #Nabii + Mfalme Suleiman [Alayhi S'Salaam]# Uliwahusu 'Majini' Pia, Na Aliwahusisha Kufanya Kazi Mbalimbali k.v UJENZI, JESHI n.k ~ Q34;12; Na Hili Lilikuwa Makhsusi Kwake). 'Jini' Anayemtumikia 'Mwanadamu Wa Kawaida' (Ambaye Hana #MAMLAKA YOYOTE(Si Mtume Wala Si Nabii)# Kutoka Kwa ^MUNGU^) Na Kushirikiana Nae Ni ]shetani[ Si 'Jini' MWEMA, Na Hususan Anashirikiana Nae Ili Kumpoteza ~ Q6;128-130{Q72;6}, Q6;112, Q6;121. Hakuna Ushirikiano Wowote Baina 'Yetu(Binadamu)' Na 'Majini' Katika Maisha Yetu, 'Wao(Majini)' Wana Majukumu 'Yao' Na 'Sisi(Binadamu)' Tuna Majukumu 'Yetu' Yakufuata Maamrisho Na Kuyaepuka Makatazo Ya ^MWENYEZIMNGU^ Pamoja Na ^KUMWABUDU MWENYEZIMNGU PEKEE^ ~ Q51;56-58; Na 'Sote'('Majini Na Binadamu') WEMA Na ]wabaya[ Tutahukumiwa Na ^MUNGU^ ~ WEMA-Q76;5-22{Q7;35*Q7;42-43}, ]wabaya[-Q76;4{Q7;36-37-]38-41[}Q7;179
@joezeno8
@joezeno8 4 ай бұрын
Mwaipopo naomba ufanye MDAHALO na Mwalimu Francis Ndacha bado yupo Tanzania! Wahadhiri wote wakiislamu wanamkimbia, Mimi nina wasiwasi na Elimu yako ya dini
@seifserenge3340
@seifserenge3340 4 ай бұрын
Wewe ni muongo, kafanya mdahalo na dr sule, mazinge, said kinyogoli na wengine. Ndacha atawadanganya nyinyi mumpe pesa za ugali lkn sio waislam. Hoja za waislam hakuna mkristo YEYOTE DUNIA NZIMA awezaye huzijibu
@kaybthepro4094
@kaybthepro4094 4 ай бұрын
@@seifserenge3340 sasa toa hizo hoja tuziskilize.acha kujigamba, wahadhiri wa kislamu wameshia kufanya tiba, wameweka vitabu kwenye kabati kwasabu wameishiwa na hoja
@prochesernest5439
@prochesernest5439 4 ай бұрын
Kumbe mwaipopo unatumia majini kwenye tiba zako hila uwezi kusema kama ulivyosema sio kila unachotumia useme nyie wote ni washirikina tu hila hizi ni siku za mwisho tutajua yote yaliyogizani yatakuwa wazi
@MeddyMasuddy
@MeddyMasuddy 3 ай бұрын
ww naona unajitekenya2, hayo yote unayoongea unaongea2 kwamatamanio ya nafsi yko ili ujifurahishe na kujipa moyo hukuna ukiwaambia watu nimeokoka, mm ni mtoto wamungu, katu abadan mungu hawezi kua na mtoto mzinifu na mchafu kama ww afu wenyew mnajiona watakatifu sana et mmesamehewa dhambi duh msiba 😂😂😂 lkn siyakucheka niyakukaa na kulia nakuwaombea awa ndugu zetu maana ni mtihani
@prochesernest5439
@prochesernest5439 3 ай бұрын
@@MeddyMasuddy mkihachana na majini mtaitwa watoto WA Mungu majini ni mashetani na huyo mtume wenu Muhammad alidanganywa na majini mapepo wachafu mashetani
@prochesernest5439
@prochesernest5439 3 ай бұрын
@@MeddyMasuddy majini ni waislamu 72:14 Quran wewe huyo allah wenu kawadanganya kudai ni wema poleni Sana kimbia halaka huko kwenye uongo njoo Kwa Yesu kristo mwokozi wetu hupone jehanamu ipo
@kaybthepro4094
@kaybthepro4094 4 ай бұрын
Andiko gani lusekelo katoa kwamba yesu si mungu? Ndani ya biblia hakuna andiko linalosema yesu si mungu
@badruseif1318
@badruseif1318 4 ай бұрын
Na pia Hakuna andiko yesu kasena yeye Ni Mungu
@seifserenge3340
@seifserenge3340 4 ай бұрын
Wewe hujui maandiko, ebu msikilize uyo mkristo mwenzio. Nenda kasome biblia sio ulishwe maneno tu bila kufanya investigation ndani ya hio biblia unayoisoma
@prochesernest5439
@prochesernest5439 4 ай бұрын
Yesu ni Mungu Yesu ni Mungu Yesu ni Mungu Yesu ni Mungu Yesu ni Mungu nyie kaa na majini yenu ya kiislamu na mtume wenu WA majini na nyie na kitabu Chao majini
@kaybthepro4094
@kaybthepro4094 4 ай бұрын
@@badruseif1318 soma ufunuo wa yohana 21-6 halafu twambie huo Ninani. Acha kua mwanafunzi wa mwaipopo atakupoteza
@seifserenge3340
@seifserenge3340 4 ай бұрын
Ivo mnovodai kuwa Yesu alisulubiwa, alipokuwa msalabani alilalamika akisema aloi aloi lima sabaktani. Kama Yesu ni mungu je allmuomba Mungu yupo amuokoe? Na je ni mungu gani huyo awezae kuteswa na viumbe wake hawezi kujitetea !! Inasikitisha wakristo akili hamna !! Ivi izo degree zenu mlizipataje
MASHEIKH WA BAKWATA KUBOMOANA KISA MUFTI
34:20
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 466
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 262 #shorts
00:20
Кәсіпқой бокс | Жәнібек Әлімханұлы - Андрей Михайлович
48:57
Kluster Duo #настольныеигры #boardgames #игры #games #настолки #настольные_игры
00:47
Smart Sigma Kid #funny #sigma
00:14
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 64 МЛН
DR.SULLE HATAKI MASIHARA TENA//ELIMU YANGU ITADUMU NITAKUMBUKWA NA........
38:03
SHEIKH KISHKI AVURUGWA NA MASHARIF FEKI
29:55
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 7 М.
ASILIMIA KUMI NDIO HUONGOZA JAMII | UST. ILUNGA H. KAPUNGU
36:01
RAYUWAR MA AURATA TARE DA DR TAWFIK ABDUL RAHMAN KULUSEY AMASSALLACIN NURUL AMEEN
54:57
Dr. Tawfik Abdul Rahman Kulusey
Рет қаралды 32
Mmoja asilimu daawah inaendelea
1:19:52
Salim Daawah Kenya TV
Рет қаралды 5 М.
UWEZO WA NDACHA KATIKA KUJIBU MASWALI YA HAINA YA MTEGO  KATISHA ZAIDI
13:38
UST MAZINGE AMPONGEZA SH OTHMAN MICHAEL NAAMUOMBEA HERI
28:37
OTHMAN MICHAEL ONLINE
Рет қаралды 65 М.
MWAIPOPO AMBEBA SHEIKH KISHKI
30:58
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 1,5 М.
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 262 #shorts
00:20