Mchungaji Peter Msigwa Kuhamia CCM ni Agano Lililotimia?

  Рет қаралды 1,110

The Chanzo

The Chanzo

4 күн бұрын

Katika sakata hili la Mchungaji Peter Msigwa kuhamia Chama cha Mapinduzi limepitia katika hatua tofauti ambazo kama chombo ya habari tumejaribu kukupitisha wewe mtazamaji wetu katika nyakati zote tokea msigwa yuko CHADEMA mpaka kuhamia CCM kama ifuatavyo;
Madai ya Mchungaji Msigwa kujiunga na CCM yalianza tangu mwaka 2020 ambapo alikuwa akiyakanusha vikali.
Mwaka 2022 wakati wa sakata la Ngorongoro Msigwa akaonekana kutofautiana mtazamo na chama chake.
Mwaka 2023 makada wa CCM nao wakaonekana kumhusisha na chama chao.
Mwaka 2024 baada ya kushindwa kwenye uchaguzi wa kanda ya Nyasa, Msigwa akaanza kukikosoa chama chake.
Suala hili likawafanya CCM wajitokeze hadharani kumkaribisha kwenye chama chao.
Awali akiwa CHADEMA Mchungaji Msigwa alikuwa mkosoaji mkubwa wa Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan.
Juni 30, 2024, hatimaye Mchungaji Msigwa akajiunga rasmi na CCM.
Na sasa Mchungaji Msigwa anadai kuwa CHADEMA haina uhalali wa kuikosoa Serikali.
Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: www.tiktok.com/@thechanzo?is_...
Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.

Пікірлер: 3
@shadrackjuliuskaboya5239
@shadrackjuliuskaboya5239 Күн бұрын
Njaaaaaaaaa kali sana inabidi tuu uwende kwenye chakula
@yonamallo6277
@yonamallo6277 2 күн бұрын
😂😂😂😂
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula Күн бұрын
Ila kakonda sana hadinkazeeka kweli
ИРИНА КАЙРАТОВНА - АЙДАХАР (БЕКА) [MV]
02:51
ГОСТ ENTERTAINMENT
Рет қаралды 9 МЛН
Вечный ДВИГАТЕЛЬ!⚙️ #shorts
00:27
Гараж 54
Рет қаралды 13 МЛН
Always be more smart #shorts
00:32
Jin and Hattie
Рет қаралды 43 МЛН
LIVE: Rajya Sabha proceedings | Parliament session
18:49
ИРИНА КАЙРАТОВНА - АЙДАХАР (БЕКА) [MV]
02:51
ГОСТ ENTERTAINMENT
Рет қаралды 9 МЛН