Mchungaji Peter Msigwa Aishukia CHADEMA, Mbowe. Asema CHADEMA imegeuzwa kuwa 'SACCOS' ya Mtu Mtu

  Рет қаралды 1,000

The Chanzo

The Chanzo

Күн бұрын

Aliyewahi kuwa Mbunge wa Iringa Mjini kupitia CHADEMA na Kiongozi mwandamizi wa chama hiko cha upinzani ambaye hivi karibuni alishindwa uenyekiti wa CHADEMA ngazi ya kanda, Mchungaji Peter Msigwa ametangaza kuhamia CCM kwa kile alichokidai kuwa CHADEMA imepoteza uhalali na kwamba chama hiko kimegeuka kuwa SACCOS.
Msigwa ameyasema hayo mara baada ya kupokelewa CCM wakati wa mkutano mkuu wa NEC-CCM uliofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, ukiongozwa na Mwenyekiti wa Chama hiko Samia Suluhu Hassan.
Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: www.tiktok.com....
Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.

Пікірлер: 11
@johninnocent3270
@johninnocent3270 3 ай бұрын
Umepiga mahesabu ukaona uchukue chako mapema😂😂😂
@innocentlifadhala5401
@innocentlifadhala5401 3 ай бұрын
Sio kiongozi sema alikua kiongozi😂
@AlouiseNgenDanDumwe
@AlouiseNgenDanDumwe 3 ай бұрын
Shenzi sana tena zaidi ya sana mbona huongelei tena bandari na misitu ukabiziwa wahuni kutoka uwarabuni
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 3 ай бұрын
#NONSENSE
@nmatuja2191
@nmatuja2191 3 ай бұрын
Mimi nafikiri unatafuta cheo tu wala si vinginevyo,ukikosa madaraka utakimbia tena. Ngoja tuone.
@leokamil6284
@leokamil6284 3 ай бұрын
Yaani CCM wapo kwa manufaa yao matumbo yao ati kuna maendeleo yapi ?huyo hana aibu
@FahadKilupi
@FahadKilupi 3 ай бұрын
We nedatu tatizo tunmbo na madarak
@DenisonTheonest-yj3mk
@DenisonTheonest-yj3mk 3 ай бұрын
Huna akili wewe unatapatapa mnafiki wewe mchungujaji gani wewe kibaka tu unanunulika kama changodoa
@michaelmlyuka6032
@michaelmlyuka6032 3 ай бұрын
Maokoto yana nguvu kweli, hata Yuda Mfuasi wa Yesu alifanya uharamia wa kumsaliti,je sisi tutajili kukata hongo wakati kila kukicha tumepigika!
@leokamil6284
@leokamil6284 3 ай бұрын
Kama Mbowe ni Saccos Je mbona CCM inaongoza miaka na mikaka lakini haikubali kuachia madaraka japo uongozi wao hauleti manufaa kwa Watanzania?.Na bado wanatumia hila mpaka kuvunja upinzani ili wabaki japo wamechoka ,na tunachokiona ni kwa migao ya fedha ndio maana wanajifanya machawa .Hawataki katiba mpya hawataki uchaguzi huru .Hebu tuweke uchungu huru kama kweli anayosema Msigwa kuna haki .
@evelina9621
@evelina9621 3 ай бұрын
Ccm.kuhama.kuhaam!
Lissu: Chukueni Fomu Mapema, Mkisubiri Itakula Kwenu
38:41
The Chanzo
Рет қаралды 1,6 М.
LIFEHACK😳 Rate our backpacks 1-10 😜🔥🎒
00:13
Diana Belitskay
Рет қаралды 3,9 МЛН
Which One Is The Best - From Small To Giant #katebrush #shorts
00:17
规则,在门里生存,出来~死亡
00:33
落魄的王子
Рет қаралды 26 МЛН
#LIVE | Tundu Lissu Anauwasha Moto Kutokea Kibamba
5:27:38
The Chanzo
Рет қаралды 10 М.
Mwanzo Mwisho Tundu Lissu Azifanyia Uchambuzi Kanuni za Uchaguzi
1:25:41
LIFEHACK😳 Rate our backpacks 1-10 😜🔥🎒
00:13
Diana Belitskay
Рет қаралды 3,9 МЛН