Рет қаралды 47,681
Makamu Mwenyekiti Chadema-bara, Tundu Lissu amekabidhiwa gari lake aina ya Toyota Landcruiser V8, VXR leo Ijumaa, Mei 17, 2024 ikiwa ni mwaka wa 7 tangu mwaka 2017 aliposhambuliwa kwa risasi na watu wasiojulikana akiwa kwenye gari hilo.
Lissu amekabidhiwa gari hilo jijini Dodoma ambapo kwa kulitazama lina alama za risasi zilikopita.