Рет қаралды 82,896
Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Othman Masoud Othman leo ameibuka katika Bunge Maalum la Katiba na kupiga kura ya wazi ambapo alipiga kura ya hapana katika baadhi ya Ibara za rasimu ya Katiba. Hali hiyo iliibua maswali kwa baadhi ya wajumbe waliohoji kuibuka kwake leo wakati hakuwepo muda mwingi Bunge hilo lilipokuwa likiendelea.