Kauli ya RC Chalamila baada ya kufika Kariakoo, awapiga biti watakaowafanyia vurugu waliofungua

  Рет қаралды 29,537

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

23 күн бұрын

Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema wafanyabishara waliofungua maduka yao leo Jumatatu Juni 24, 2024, licha ya kuwepo kwa mgomo wa baadhi ya wafanyabishara, atalinda biashara zao na hawatafanyiwa vurugu.
RC Chalamila amesema atakayejaribu kuwafanyia vurugu wafanyabiashara waliofunga maduka yao, atashughulika naye.
“Nataka niwathibitishie yule atakayemletea mkwara aliyekubali kufungua, naapa mbele ya Mwenyezi Mungu, hapo ndipo nitakapoonyesha ‘show’ nzima. Kwa sababu mtu anakubali kufungua na wewe unamchimba mkwara, mimi ntakuchimba mkwara na hautainuka tena,” amesema.
Aidha, Chalamila amesema kero zilizopelekwa na wafanyabishara hao serikalini zinaendelea kushughulikiwa.
Wafanyabiashara hao wamegoma, baada ya Jumamosi Juni 22, 2024 kusambaa vipeperushi kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kuwepo kwa mgomo huo utakaoanza leo.
Wafanyabiashara hao wamefunga maduka kwa madai ya kuchoshwa na vitendo wanavyofanyiwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara wa Karikaoo, Martin Mbwana akizungumza na Mwananchi Juni 22, 2024 alikiri kuona vipeperushi hivyo, akieleza hiyo ni hasira za kuchoshwa na wanayofanyiwa na TRA.

Пікірлер: 217
@jumamagoma1743
@jumamagoma1743 22 күн бұрын
We.hujui.chochote.unasafili.bure.unalala.bure.unakula.bure.hata.akili.yako.ni.bure.hujui.maisha.ya.maskini
@awadhally1052
@awadhally1052 22 күн бұрын
Kwel kabisa huyu hamna kitu
@HappyBooks-dj6oy
@HappyBooks-dj6oy 22 күн бұрын
Watanzania Waoga sana yaani wanamuacha mjinga anawapiga biti alafu watu wanasifia ujinga. Mungu wetu wape ujasiri watanzania
@mwalimjuma7374
@mwalimjuma7374 22 күн бұрын
Acheni kasumba wabongo mkuu wa mkoa kaelezea kwa ufasaha kabisa
@suleim505
@suleim505 22 күн бұрын
Acha chuki za kijinga, kawaeleza kitu muhimu wafanyabiashara, kipi umeona cha kijinga
@HappyBooks-dj6oy
@HappyBooks-dj6oy 21 күн бұрын
Hata mama Samia ndio walewale
@jamesnyamila2165
@jamesnyamila2165 22 күн бұрын
Hii Nchi ni kutishiana tu, hii hali sijui itaisha lini
@calvinshirima2654
@calvinshirima2654 22 күн бұрын
Mmmh mh. Hapo kupiga watu biti umekosea
@levidavid1156
@levidavid1156 22 күн бұрын
kiongozi mjinga sanaa huyu
@barakarobert1029
@barakarobert1029 22 күн бұрын
Ana leta siasa wakati leo cku ya pili wakaz wa dar hatuna maji
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 22 күн бұрын
Asante hii hakuna maji,mgomo kariakoo, ubabe wao tu police,wao,
@awadhally1052
@awadhally1052 22 күн бұрын
Kwel kabisaa
@user-oy2gp3nq4j
@user-oy2gp3nq4j 22 күн бұрын
Wakenya wanaweza watanzania sio rahisi
@hamidabarraball3162
@hamidabarraball3162 22 күн бұрын
Tuige mfano wa Wakenya, Tuache kuwaogopa hawa mungu watu na vitisho vyao Tujali maslahi yetu na sisi
@IssacNtacho
@IssacNtacho 22 күн бұрын
Masikin ya Mungu ,,viongoz wetu ,akiri ndo hzo kabisa?
@ajsmainde5138
@ajsmainde5138 22 күн бұрын
Wewe unamjua Mungu ww
@user-sj1rf8ij7f
@user-sj1rf8ij7f 22 күн бұрын
Hii ni mara ya pili ni vizuri utatue matatzo ya wafanyabiashara achen siasa na kutisha
@bonifacecredo3287
@bonifacecredo3287 22 күн бұрын
hongera mkuu wa mkoa watu wanataka nchi ijengwe kwa kodi za watumishi tu. Mtumishi nchi hii ndiyo mlipa kodi mwaminifu. Mtumishi anaenda kuchukua mshahara kodi imeshakatwa zamani.
@fabianmallya1446
@fabianmallya1446 22 күн бұрын
Ni Kipi unaweza kununua au kuuza ambacho hakijatozwa kodi hata Hilo bando unalotumia tayari lishakatwa kodi
@kisoso890
@kisoso890 22 күн бұрын
Kafirwe we si ndo mnasomaga kwa pesa zetu mnapewa mikopo hamtaki kulipa tena nyie ndio machoko wakubwa mnachua mikopo mnaenda kulia bata uukifika muda wa kulipa mnalalamika nyau wewe usikoment uchoko choko kafungue biashara uone ndio uje useme uchoko wako mbwa mweusi
@DorisJames-i3k
@DorisJames-i3k 22 күн бұрын
Sio tunatafutiwa suluhu ila tunatishwa daaaaah hii nchi mwenye cheo ndo mwenye maamuz na mwenye kaul 😭
@emmanuelndahan9815
@emmanuelndahan9815 21 күн бұрын
Kakwambia waendelee kufunga walipekeka yaashugulikiwa
@valentinemutasingwa1932
@valentinemutasingwa1932 22 күн бұрын
😁😁😁😁😁😁 nimeshiba makande Mimi sina hera ila nawaunga mkono wafanya BIASHARA
@isackjoseph1388
@isackjoseph1388 22 күн бұрын
Tanzania mwakani vita ya uchaguzi naiona kubwa Sana Kwa mara ya kwanza vita vitatokea Kwa Hali hii😢😢
@IssacNtacho
@IssacNtacho 22 күн бұрын
We mkuu wa mkoa we ni mwaadam ustoe kauli Kama wewe ndo final
@rosebeatus2834
@rosebeatus2834 22 күн бұрын
Wako bungeni kuyajenga na wakuu wew mhaho wa Nini????
@luciasteven3314
@luciasteven3314 21 күн бұрын
Sina duka ila roho imeniuma...sina hata mwana sheria mimi acha tu ninyamaze 😢TANZANIA NCHI YANGU Nakupenda kwa moyo wote
@hassankongolilo8408
@hassankongolilo8408 22 күн бұрын
kiongozi mjinga sana . anasifu kutokuwezekana kwa uwazi kwenye biashara afrika. duuh afrika kinyaa sana
@vom84
@vom84 22 күн бұрын
Kaongea mambo yasiyofaa
@josephlugome5845
@josephlugome5845 22 күн бұрын
Hakuna mwenye nguvu zaid ya Mungu
@IssacNtacho
@IssacNtacho 22 күн бұрын
Huyu mkuu wa mkoa akiri hana kabisa
@salmahalfani6307
@salmahalfani6307 22 күн бұрын
Huna akili wewe
@MsAggie5
@MsAggie5 21 күн бұрын
Azitoe wapi hizo akili yeye vitisho tu!
@JacksoniMbilinyi-ic6hj
@JacksoniMbilinyi-ic6hj 22 күн бұрын
Anasemaje huyo mbona simwelewi
@Gamba177
@Gamba177 22 күн бұрын
Anafirwa huyu
@JustineKimwaga
@JustineKimwaga 20 күн бұрын
Hatutaki kupelekwa pelekwa yaan tutaendelea kufunga, but tunaishi kwa kutegemeana , tuumie wote tu maana mmezid yaan sisi ndo tu mewaajir afu mnatugeuzia kibao kutuajr😂😂😂 Sina hera na nikipindi cha msim wa shule, ila kutokana na utitir wa Kodi Bora mgomo
@user-bs7dj7ps9g
@user-bs7dj7ps9g 22 күн бұрын
Bora Kenya
@MsAggie5
@MsAggie5 21 күн бұрын
Wabongo waoga halafu kenya wana umoja hadi mastaa wanalaani serikali, bongo mastaa ndo wanatunga nyimbo za kusifia ujinga. Redio ndo machawa wamejaa
@kembotechnologies6737
@kembotechnologies6737 22 күн бұрын
Badala ya kusikiliza shida nn unatoa mikwala mingi
@awadhally1052
@awadhally1052 22 күн бұрын
Chiz huyu
@NepporSabith
@NepporSabith 22 күн бұрын
Mbona vitisho 😂😂😂😂😂Raisi kasema haya haya
@dottomsuya6597
@dottomsuya6597 22 күн бұрын
🔥🔥🔥
@valentinemutasingwa1932
@valentinemutasingwa1932 22 күн бұрын
Khaaaa
@egfridmkoba4767
@egfridmkoba4767 22 күн бұрын
Serikali iangalie upya kiasi na utitiri wa kodi. Fedha inayopotea ni nyingi sana. Kwa mfano, kuegesha gari ni 300 kwa saa na risiti inatolewa, soda sh. 700 risiti haitolewi, ni soda ngapi zanywewa kwa siku nchi nzima?Kodi ikiwa rafiki tutakusanya nyingi sana. Pia ibuni mfumo wa mwananchi kutoa taarifa pale anaponyimwa risiti ili huyo asiyetoa ndio akabiliwe. Lakini kodi zipunguzwe kwanza ziweze kulipika.
@rashidiabdalahmkwanga7409
@rashidiabdalahmkwanga7409 22 күн бұрын
Safii sana nimekuelewa ndugu
@birianination7097
@birianination7097 22 күн бұрын
Kwa hiyo kila muuza soda atoe risiti mpaka wale wa barabarani na maduka yote. Kama ndio hivyo basi migomo mingi itaendelea maana ukweli wengi hapa ni hawa taki kutoa risiti
@PeterCharles-zu5cb
@PeterCharles-zu5cb 22 күн бұрын
Ndiyo mkome kabisa mmeipenda wenywe na bado mtanyooshw 2 ccm mbele kwa mbele.
@devangandhl2255
@devangandhl2255 22 күн бұрын
Mubadilike sasa faini iwe kwa TRA kwa kutoweza kufanya kazi yao
@ndakichuwa7618
@ndakichuwa7618 22 күн бұрын
Anzisha hiyo vita, mzee ujue migomo siyo dalili nzuri ktk taifa usitishie watu
@mufaddalmoawalla8522
@mufaddalmoawalla8522 22 күн бұрын
Kama unauwezo waondoe.hao barabarni
@saidramadhan71
@saidramadhan71 22 күн бұрын
Ongea vizuri na watu
@surebeting2673
@surebeting2673 22 күн бұрын
Hichi chama Cha ccm kimetuzoea vibaya sasa
@yusufujemson9020
@yusufujemson9020 21 күн бұрын
Hii nchi ngumu sana
@Bilioneabichwa331
@Bilioneabichwa331 22 күн бұрын
Namkubali sana chala mirror
@user-jz1ur2ny5u
@user-jz1ur2ny5u 22 күн бұрын
Kazi hakuna
@muhasatv9245
@muhasatv9245 22 күн бұрын
Nakupa wiki nakutimua kazi
@nestorelisha5842
@nestorelisha5842 22 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@jafarimtweve795
@jafarimtweve795 22 күн бұрын
Hongera mkuu wa Mkoa unaongea fact ,black and white
@MsAggie5
@MsAggie5 21 күн бұрын
Hamna fact yoyote anaongea pumba vitisho vingi sio uongozi bora. Fungua biashara ya mtaji wa kati Kama million uone hizo kodi
@albertshao4834
@albertshao4834 22 күн бұрын
Ewa
@MajaliwaSilvester-uv9pz
@MajaliwaSilvester-uv9pz 22 күн бұрын
Itikad yake sijaielewa wafanya biashara tunaumia Kodi zimekua kede yan nyingi so mgomo wa wote kutafuta haki pia anauhakika wamaisha hajui wafanya biashara unavyovuruga
@bakarikayugwa3295
@bakarikayugwa3295 22 күн бұрын
We ndo unajua bisha na faida na hasara
@user-qf1ls8rb4o
@user-qf1ls8rb4o 22 күн бұрын
Wafanya biashara wanatishwa sana
@emlongetcha88
@emlongetcha88 21 күн бұрын
KAKA, KAULI ZAKO HAZINA MASHIKO... WEWE SIO MUNGU NA HALI NI MBAYA. Kweli watu huwa wanabadilika sana. NIAJABU
@PaulKabungo
@PaulKabungo 22 күн бұрын
Mmmmm hatari Sana
@russia1253
@russia1253 22 күн бұрын
Ndio unasikia anajiita msomi ana degree 😢😢 degree ya mavi au?. sikiriza hoja sio mida yakutisha mbona mnaangalia sana upende wenu sio wa wana nchi 😢😢
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 22 күн бұрын
SAF SANA HUYU MKUU WA MKOA AKIR MINGI YAN KUONGOZA MKOA KAMA DAR LAZIMA UJITOE UFAHAM NDO MAMBO YATAENDA SAFI SANA MKUU
@user-fk4st8qj2k
@user-fk4st8qj2k 22 күн бұрын
Juzi tu nilienda kununua nguo naomba list naambiwa mtandao unasumbua, sehemu nyingine napewa list kwa kubembeleza serkali tengenezeni kanuni na sheriakali kwa hawa wafanyabiashara wa kariakoo.
@andekisyenasibu312
@andekisyenasibu312 22 күн бұрын
None sanse
@hajimgwami5224
@hajimgwami5224 22 күн бұрын
HAPO NDIO WANAPOPATIA FAIDA KUBWA SANAA NA SERIKAL INAWACHUKUA POA LKN WANATAKA KUWAPANDA KICHWA, HUU UWAMUZI NI MZURI SANAAA, WAFUNGE HATA MWEZI AU MWAKA, HAKUNA KUWABABAIKIA
@kingmichael1234
@kingmichael1234 20 күн бұрын
JIJI LETU LA DAR ES SALAAM LINAONGOZWA NA MKUU WA MKOA MSHAMBA WAKUJA. HUYU MKUU WA MKOA HAFAI KUONGOZA JIJI LA DAR ES SALAM
@DavalsonMarlony
@DavalsonMarlony 21 күн бұрын
watu wanaingizwa upepo wanajaa uwoga kwenye haki yako ni mbaya sanaaaa
@leocadianjau7410
@leocadianjau7410 22 күн бұрын
Wafanya biashara msisikilize hizi porijo mpaka hoja zenu ziwrkwe mezani msimkubali huyu...ni kana chawa wengine ninyi wafanya biashara ndo mnaojua shida ya kufanya biashara Achaneni na vitisho visivyo na tija
@ramadhanimohamed4190
@ramadhanimohamed4190 22 күн бұрын
Hii sura ya mkuu wa mkoa ukiangalia kwa makini utagundua kitu akuwa sawa
@mufaddalmoawalla8522
@mufaddalmoawalla8522 22 күн бұрын
Kichwa chake kina fanana na kisamaki inaitwa BUNJU,KINA VIMBA ukitoa nje ya maji,ndo alivyo huyu jama wetu
@user-cd2np5by6g
@user-cd2np5by6g 22 күн бұрын
Umu kiongozi amna akili ndogo
@shadrackjuliuskaboya5239
@shadrackjuliuskaboya5239 22 күн бұрын
Nipo nipo tuuu kwenye hii nchi yangu naipenda sana nchi yng
@PaulKabungo
@PaulKabungo 22 күн бұрын
Umoja ni nguvu na utengano niuzaifu
@jumannesaid8434
@jumannesaid8434 22 күн бұрын
Wakuu wa nchi za kiafrika,"punguzeni madhara ya uadui kwa wateule wenu unaowapa majukumu yakuksaidieni majukumu ya nchi na wananchi...pindi wanapowakosoeni kwenye mapungufu yenu kama Binadamu hujakamilika So kubali kukosolewa na hilo ndiyo lengo lakuwa na wasaidizi," na cyo kumfanya yule anaekusifia muda wote ndiye mwenye nidhamu ya utendaji hilo cyo lengo ulilomteulia....hatima yake madhara ndiyo kama haya!!! Huna wakushauriana nae ukapata mbadala dhidi ya kile ulichonacho wew...kila mtu wako anakuangalia wew vpi akusifie...
@user-lg6je8xh4p
@user-lg6je8xh4p 22 күн бұрын
Yaan mdulumu watu alafu watu wakae tu na kukubali. Sio sawa kabisa. TRA ni kundi la madhulumati linalolindwa
@josephfrank4446
@josephfrank4446 22 күн бұрын
Mbona kama kalewa😅😅😅
@husseinloyy1912
@husseinloyy1912 21 күн бұрын
Huyu NI wahovyo sana ajifunze kwa makonda anavyowahangaikia wananchi mpaka unarizika sasa huyu nikuropoka hajui wananchi wake wanashida IPI
@MudyBlackson
@MudyBlackson 20 күн бұрын
Daaahh!! Ivi uyu jommba ni akili zake
@abdallahathuman9493
@abdallahathuman9493 22 күн бұрын
Chalamila bola ungesikiliza wana mchi usiwamin hao tra
@joashandhoga4019
@joashandhoga4019 22 күн бұрын
Hivi hyu nikiongozi au
@kisoso890
@kisoso890 22 күн бұрын
Ndio maana wajanja hawafungui biashara Tanzania kutokana na huu usenge swala lina awamu tatu linajadiliwa mpaka leo makuma tu hawa kumamae zao
@danielndusilo4723
@danielndusilo4723 22 күн бұрын
Hiyo ndiyo tanzania mwizi kamkamata mwizi
@esitiniambonise837
@esitiniambonise837 18 күн бұрын
Sisi ndo wafanya biashala kama huna biashala hujui Kodi zinazo katwa tulia usiongee
@scholarmawala1403
@scholarmawala1403 22 күн бұрын
Karibuni kwetu jamhuri ya watu wa Goba hakuna mgomo njooni mtuungishe
@barakamwamasage-hy2jo
@barakamwamasage-hy2jo 22 күн бұрын
Duuh😮😮
@francismomo7067
@francismomo7067 22 күн бұрын
Uoga n shida sana
@davidkehogo3230
@davidkehogo3230 22 күн бұрын
Paul Makonda tu aongoze mikoa miwili Arusha na Dar
@JacksonElias-g8o
@JacksonElias-g8o 21 күн бұрын
Dawa ni kulipa Kodi
@MudyBlackson
@MudyBlackson 20 күн бұрын
Askari wake
@nantaembanusurupia5674
@nantaembanusurupia5674 22 күн бұрын
Tumbo lile😢
@Peterchipemba
@Peterchipemba 22 күн бұрын
Watanzania tukajifunze kenya kuwa na misimamo wamezidi kunyanyasa wafanyabiashara
@abiudkarume938
@abiudkarume938 22 күн бұрын
Uyu mbena tu mambo ya kariakoo ayajui
@charlesmwambinga4355
@charlesmwambinga4355 22 күн бұрын
Mmmmmmmmh!
@MeshackErnest-qt6xi
@MeshackErnest-qt6xi 21 күн бұрын
Hiii ndo Tanzanian ya Leo
@elvisoscar9912
@elvisoscar9912 22 күн бұрын
Watanzania 2025 watachagua tena CCM
@mbulachujoseph2596
@mbulachujoseph2596 22 күн бұрын
Chalamila
@mufaddalmoawalla8522
@mufaddalmoawalla8522 22 күн бұрын
Mshiziii huyo anaropoka yu
@joycerichard9274
@joycerichard9274 22 күн бұрын
Hiyo sio kauli ya kiongozi
@rajabukitego1662
@rajabukitego1662 22 күн бұрын
Tanzania,yetu,sote,
@user-em5xj3rc5k
@user-em5xj3rc5k 22 күн бұрын
Watu wazima wanaskiliza kama wanafunzi wa shule, TRA inatesa wafanyabiashara , Hawa viongozi wa hivi hawataki Amani. Dawa yao kuonyeshwa nguvu ya wananchi
@supercomputerstz1503
@supercomputerstz1503 22 күн бұрын
Mkoa wa mkoa ,alisema ameacha ubabe 😂,mbona kama amepanic ,hizi situations ndio kipimo Cha uongozi thabit ,He must come up with concrete solutions na sio kusema ukakae dukani uone kama mtu anakwepa Kodi 😮
@simbarajabu4157
@simbarajabu4157 22 күн бұрын
Kkoo ndio zao awatoi risti kabisa ,ukidai risti wanakwambia akuna network
@user-sj1rf8ij7f
@user-sj1rf8ij7f 22 күн бұрын
Unajua kwa nn hawatoi risiti
@BONGOINMOTION
@BONGOINMOTION 21 күн бұрын
Hosp hakuna kodi
@dulasele-ud8cw
@dulasele-ud8cw 22 күн бұрын
Kuna ndugu yangu Katoka msumbiji kakamatiwa mzigo wake adi ameukosa nilikua namkubali huyu mkuu lakini kwa hili apana alokua serikalin ajui kinachoendelea ni zulma by Tanzânia bola nifuate mzigo sauzi africa
@esitiniambonise837
@esitiniambonise837 18 күн бұрын
Manake kiongozi asipo tumia busala basi ujue wanainch watajiongoza bila kiongozi
@enockgogy5458
@enockgogy5458 21 күн бұрын
Arafu watanzania ivi naswara ramafta kpanda juu paka leo nikuhu ile vita tliodanganyiwa au ndio mamikataba mabovu yasiyo namachazo yakmpa mtu mmoja alete mafta kwanchi zima..watanzania tnapigika sana kwamabepali yanchi nayaona ila hayana ata hofu yamungu ila wakae wakijua akna mwanzo ukakosa mwisho ipo siku yenu ccm itavika mwisho
@raphaelmvukiye1938
@raphaelmvukiye1938 22 күн бұрын
Unaongea upuuzi kwa wananchi. Mkuu wa mkoa wewe unawadharau wananchi ili iweje
@user-um5uw9yo5q
@user-um5uw9yo5q 22 күн бұрын
Hii nchi inaviongozi piga kazi baba maneno hayo wasipoelewa basi tena
@RashidTwaha-dm8zz
@RashidTwaha-dm8zz 22 күн бұрын
Huniupimbi we nani kibri hicho mungu anawaona
@annamwanyelele9084
@annamwanyelele9084 22 күн бұрын
kwani hapo kariakoo hakuna mawe si munge mbonda mawe vichupa sema tz kinyonge sana
@queenmilan2024
@queenmilan2024 22 күн бұрын
zzHUYU NAE ANAONGEA NINI ? HAPA ULAYA HUWA WANAFANYA MGOMO WA SEKTA ZOTE. MPAKA MADAKTARI
@user-xt3pq4hb2r
@user-xt3pq4hb2r 22 күн бұрын
Watanzania tunqekuwa na akili kama wakenya wallah tunqekuwa mbali sana siku zote oqopa mtu mnyonqe akiqoma kachoka sana huyu mtu
@user-kz5en5tq2z
@user-kz5en5tq2z 22 күн бұрын
Wasikilize tatua, hicho cheo ni Leo kesho utakuwa wapi. Acha kujisahau na kuwa Miungu watu. Hakuna kufungua!!!
@DenisRukangula
@DenisRukangula 22 күн бұрын
Kwa hiyo ninyi mnataka wagome kuliko kutumia busara ,wakati nchi inakosa mapato ... Tumieni busara kuliko ujinga
@MsAggie5
@MsAggie5 21 күн бұрын
Hiyo yeye haioni anaongea ujinga eti anaweza akawaamlisha wafunge maduka yao kwa mwezi as if watakao pata hasara ni wafanya biashara tu
@abidandastanmaliyatabu1373
@abidandastanmaliyatabu1373 22 күн бұрын
Huyu jamaa baada ya kuangalia jinsi ya kutatua tatizo anapiga mikwala watu 😂😂😂kweli bongo nyoso
@kisoso890
@kisoso890 22 күн бұрын
😂😂😂😂sasa ulinde maduka yakoooo viongozi kichwa maji sana wewe ulishazoea kutukana tukana tu mbwa wee
@shabanramadhan7632
@shabanramadhan7632 22 күн бұрын
Ulitaka tuandamane kama Kenya sisi watanzania tunaandamana kiakili
@mkanjimamkanjimamkanjima2043
@mkanjimamkanjimamkanjima2043 22 күн бұрын
Huyu mkuu wa mkowa ni mpombavu kweli yani changa moto za kutendaji kama mkuu wa mkowa anashindwa kuzitatuwa na mwisho wa cku analeta ubabe wa kijinga sana
@nestorelisha5842
@nestorelisha5842 22 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂
Этот Пёс Кое-Что Наделал 😳
00:31
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 3,2 МЛН
아이스크림으로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 56 МЛН
HAPPY BIRTHDAY @mozabrick 🎉 #cat #funny
00:36
SOFIADELMONSTRO
Рет қаралды 14 МЛН
NERF WAR HEAVY: Drone Battle!
00:30
MacDannyGun
Рет қаралды 57 МЛН
How to win a argument
9:28
ajaxkmr
Рет қаралды 359 М.
OSTAZ AOMBA ULINZI KWA WAZIRI MKUU BAADA YA KUWANYEA TRA
9:21
Mbengo Tv
Рет қаралды 198 М.
MCHUNGAJI HANANJA AINA NNE ZA MAHUSIANO, AINA NNE ZA MKE
20:39
Tacmen Group
Рет қаралды 573 М.
MFANYA BIASHARA AJILIPUA KUMTAJA MWIGULU SAKATA LA KARIAKOO
9:31
Этот Пёс Кое-Что Наделал 😳
00:31
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 3,2 МЛН