MFANYA BIASHARA AJILIPUA KUMTAJA MWIGULU SAKATA LA KARIAKOO

  Рет қаралды 64,578

Mbengo Tv

Mbengo Tv

Жыл бұрын

Пікірлер: 75
@verombwambo3703
@verombwambo3703 Жыл бұрын
R.i p magu ulifanya watu kuwa jasiri
@alenimgaya3889
@alenimgaya3889 Жыл бұрын
Namshukuru mungu tanzania yangu imeanza kupevuka sasa hii ndio inatakiwa
@kabulukimati
@kabulukimati Жыл бұрын
Hastaili.kabisa.aondolewe
@ezekieljosephnyika4366
@ezekieljosephnyika4366 Жыл бұрын
Mwiguru Sepa maana ww ushawahi kutuambia tuhamie burundi
@mangashajunior242
@mangashajunior242 Жыл бұрын
Mwigulu ni mzigo jpg alimtumbua alipokuwa mambo ya ndani ndo tulishuhudia watu wasiojulikana kutamba kila kona...akwende huko
@rukiamziwanda7458
@rukiamziwanda7458 Жыл бұрын
Sema usiogope🎤
@abelkingu4653
@abelkingu4653 Жыл бұрын
Kuna Jamii ya watu wanatafuta uwaziri wa fedha badala wafanye kazi, Komredi Fanya kazi, hawa wamekuwa wakiongoza wizara hii miaka mingi na imekuwa na wizi tu na kujipendelea wao kwa wao
@mwakagarimwakipelelefi9738
@mwakagarimwakipelelefi9738 Жыл бұрын
Umeongea point ☝️ sana tatizo Sheria tu hapo waludi Bungeni kulekebisha tu sheria
@NeemaSelemani-dy6ul
@NeemaSelemani-dy6ul Жыл бұрын
Wao good job Kabisa mambo ni mazuri.
@peterrichard4087
@peterrichard4087 Жыл бұрын
daaaah,,,,,kwer saiv viongozi wamekuwa miungu watu, R.I.P magufuli
@onesmomwakasege5215
@onesmomwakasege5215 Жыл бұрын
Kwanamna hii Tanzania tutapiga hatua mzee uko vizuri Sana kuliko wanao piga kelele pembeni
@thomastarimo
@thomastarimo Жыл бұрын
Eti anajita mwanauchumi uchumi gani labda mwanauchumi wa kusimamia bass ya ester
@najmaabby5034
@najmaabby5034 Жыл бұрын
Well said Mashaallah
@givenndegeulaya419
@givenndegeulaya419 Жыл бұрын
Big up.. Sema usikike
@mmrkipaji
@mmrkipaji Жыл бұрын
Aisee Huyu Mzee Ni Mwamba
@saidkhalifa34
@saidkhalifa34 Жыл бұрын
Safi sana mwingulu achia ngozi
@reenesa
@reenesa Жыл бұрын
Huyu Baba kuongea point tupu. Hawa Mawaziri 2 tatizo lipo hapo. Mwenye akili anajua.
@MarandaIhonde-qe6df
@MarandaIhonde-qe6df Жыл бұрын
Uyo mwiguru simpendi sijui kwann hatoki kwenye iyo wizala
@jumamayonga8914
@jumamayonga8914 Жыл бұрын
Waziri wa fedha ni tatizo tunaomba mhe Rais asimfumbie macho. Ni maeneo mengi yanayotozwa kodi yanaumiza wananchi. Mfn:-pango la nyumba, umeme, tozo za kibenki, miamala ya Simu nk.
@safinahanga476
@safinahanga476 Жыл бұрын
Mwigulu za uso👊👊👊hana hamu ingekua za Rais wetu angeliwa kichwa.
@cleartzboy
@cleartzboy Жыл бұрын
Tutamkumbuka sana mwenda zake daah kaenda na nchi inaendaaa
@youngzabron181
@youngzabron181 Жыл бұрын
Shakamooo mzeee wangu
@JoeMziwanda
@JoeMziwanda Жыл бұрын
Oyaaaaaa huyuuu mzeee kaongea bn eeeh
@fabianhaali8437
@fabianhaali8437 Жыл бұрын
Ujasiri ndo Kila kitu vyeo ni takataka usipotumia akili
@NeemaSelemani-dy6ul
@NeemaSelemani-dy6ul Жыл бұрын
Uwiiiiiiiiiii boss imemuangukia hiyo tuone mambo haya Sasa.
@nakali79
@nakali79 Жыл бұрын
Mwigulu alit akiwa aachie uwaziri
@epimackjohn461
@epimackjohn461 Жыл бұрын
Utashangaa mtoto MDOGO MTUMISHI TRA ana mshahara MDOGO na Hana muda mrefu KAZINI labda miaka MIWILI au mitatu KAZINI ana mihela KIBAO,amejenga nyumba ya KIFAHARI , gari zuri, hakuna biashara anayofanya wala shughuli inayomuingizia kipato Cha ziada kama si ULAJI kupitia unyanyasaji WA wananchi wanapataje UWEZO huo ?
@aibulamilanzi1466
@aibulamilanzi1466 Жыл бұрын
Jamoni mwenyewe anona noma
@NeemaSelemani-dy6ul
@NeemaSelemani-dy6ul Жыл бұрын
Daaaaaa kazi hiii ipo Nchini education is a continuous process.
@robertmsukwa8466
@robertmsukwa8466 Жыл бұрын
Umeongea point
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 Жыл бұрын
Huyu mwigulu SI mmupumuzishe jamani
@osoromageta3381
@osoromageta3381 Жыл бұрын
Huyu mzee aliongea point
@macklinabenedicto4627
@macklinabenedicto4627 Жыл бұрын
Safi Sana umeongea kweli
@farajiissa560
@farajiissa560 Жыл бұрын
Jamaaa kaminya pumbu kwa kwa kuweka nne damn
@peternaaly4081
@peternaaly4081 Жыл бұрын
Simuungi mkono mwigulu tokea ametuambia tuhamie Burundi
@user-pz7zi2bf1w
@user-pz7zi2bf1w Жыл бұрын
Duh mmeamua kweli mwiguru mwehu
@malataogtz2080
@malataogtz2080 Жыл бұрын
Mwigulu mh wasikilize wa tz inauma
@geofreyemanuel3593
@geofreyemanuel3593 Жыл бұрын
Huyu mzee yuko vzr balaa dah'
@saimonisichimata8559
@saimonisichimata8559 Жыл бұрын
Tz saiz kumekucha
@saidybhokey5744
@saidybhokey5744 Жыл бұрын
baba baba baba unafaa kweli
@godmwalembe
@godmwalembe Жыл бұрын
Hatareeeeeeeeeeeee
@NeemaSelemani-dy6ul
@NeemaSelemani-dy6ul Жыл бұрын
Eheeeeee ndiyo mambo Sasa haya yakuzungumza
@malindimalindimerinyo1632
@malindimalindimerinyo1632 Жыл бұрын
Tatizo kubwa waziri mkuu anateuliwa na rais waziri wa fedha anateuliwa na rais je Majaliwa pamoja na uchapaji kazi wake mzuri mno atamfanyanini Mwigulu aliesema yakitushinda tutimukie Burundi...hatahao wakariakoo anashangaa wanamlalamikia Majaliwa badala ya kutimukia Burundi.
@sirizawa3360
@sirizawa3360 Жыл бұрын
Hakiamungu mwigulu angekuwepo magufuli usingepona
@carinamatt1031
@carinamatt1031 Жыл бұрын
Si alikimbia huyu magu alipokufa kakirudisha kidude chake
@januarymbunda8472
@januarymbunda8472 Жыл бұрын
Mwiguru mwiguru ni nan yeye hapa Tz
@fabianhaali8437
@fabianhaali8437 Жыл бұрын
Upande Wa afya serikali inataka hela ambayo haijafanyia lolote ni aibu
@enockchachagimonge7093
@enockchachagimonge7093 Жыл бұрын
Dawa ya kupunguza makodi ni kuindoa Ccm Madarakani na kwa njia hii tutapunguza wezi na ushindani wa maendeleo. Kelele ya nini majukwaani wakikutana baada ya hapo husemesana tuendelee achana na kombe la mwanaharamu
@merinankullua5874
@merinankullua5874 Жыл бұрын
Kachomoa betri
@cleartzboy
@cleartzboy Жыл бұрын
Mwigulu hii niabuuu
@radhiasalum7156
@radhiasalum7156 Жыл бұрын
Mzee kalipua hahaha
@nakali79
@nakali79 Жыл бұрын
Wazambia wana "Tools gate" hizi zimewekwa njia zote, kila gari lazima lilipe ushuru likipita njia hiyo, ya ndani ya nchi na ya nje" wanakusanya hela nyingi sana, sio tz serikali inatoa macho kwa walalahoi tu,
@Bethamwangamba-sx3og
@Bethamwangamba-sx3og Жыл бұрын
Kweli
@abouayman8713
@abouayman8713 Жыл бұрын
Mwamba ndi uy sasa
@happinesstesha7061
@happinesstesha7061 Жыл бұрын
Watu wanaumia kodi lakini mwigulu ukasema tuhamie burundi dah, maana ikipanda wewe una shida gani wewe ni waziri wa pesa.Haya bwana poa lakini.
@fadhilinzano5840
@fadhilinzano5840 Жыл бұрын
Bless watafutaji Bless viongozi
@josephinemichael1514
@josephinemichael1514 Жыл бұрын
Chuki Shabani a.k.a tajiri mbishi😄
@luisojr3480
@luisojr3480 Жыл бұрын
Halafu mwamba watu wananchana yeye anacheka tu
@carinamatt1031
@carinamatt1031 Жыл бұрын
Anajifanya haelewi.huku somo linamuingia kunako
@shalimwansite776
@shalimwansite776 Жыл бұрын
Aibu tu unadhan atafanyaje? Anazuga tu ila yanamchoma sana
@reconcompanyltd2177
@reconcompanyltd2177 Жыл бұрын
Hacheki anakenua
@hamadsaburi3569
@hamadsaburi3569 Жыл бұрын
J p m
@yolamkidima8242
@yolamkidima8242 Жыл бұрын
Mwigulu mbona gumzo c ae nde na yeye burundi kama alivyosema akaone vita tuachie nchi yetu yenye amano
@frankgibore9813
@frankgibore9813 Жыл бұрын
Kama ningekuwa mimi ndo mwigulu.ningekaa kwenyekiti hicho.hii sasa ni aibu
@user-pc9ne6wr4k
@user-pc9ne6wr4k Жыл бұрын
Wanafidia walizoiba
@barnabaslushenshe523
@barnabaslushenshe523 Жыл бұрын
MWIGULU ULISEMA TUKAISHI BURUNDI..BADO UKO TZ UNAFANYA NINI
@mamylnkuzi8482
@mamylnkuzi8482 Жыл бұрын
MUNGU ISAIDIE NCHI YETU
@Esterkomba-ef7eb
@Esterkomba-ef7eb Жыл бұрын
Sasa waanza kudai kibali Cha kushusha na kupakia kama huna faini laki Tano.
@charleselijah-vq3hq
@charleselijah-vq3hq Жыл бұрын
Afukuzwe hana nafasi ya kuwatumikia Watanzania. Labda anafanya hivyo akifikiri atakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Na huo ndio ukweli na makusudi yake kuna genge ndani ya serekalini mawazo yao kutaka Urais ndio maana wanawafanyia Watanzania hivyo. Na kama Urais ndio makusudi yao ? Ni Vipi watakuwa watawala na kusimamia Wananchi ambao kwa ndoto zao wanataka kuwaongoza??.
@user-pc9ne6wr4k
@user-pc9ne6wr4k Жыл бұрын
Nchi hii Tanzania
@fredsanga9461
@fredsanga9461 Жыл бұрын
Nyundo tupu wallah
@slowclimbertothetop4572
@slowclimbertothetop4572 Жыл бұрын
Napata wapi namba ya huyu Chuki Shabani?
@komboarts7110
@komboarts7110 Жыл бұрын
Tutaendelea kumkumbuka baba Hayati Magufuli
@mariamumechara3398
@mariamumechara3398 Жыл бұрын
Wenimekuelewa mwigulu ndo tatizo uyo
OSTAZ AOMBA ULINZI KWA WAZIRI MKUU BAADA YA KUWANYEA TRA
9:21
Mbengo Tv
Рет қаралды 196 М.
That's how money comes into our family
00:14
Mamasoboliha
Рет қаралды 6 МЛН
THEY made a RAINBOW M&M 🤩😳 LeoNata family #shorts
00:49
LeoNata Family
Рет қаралды 27 МЛН
3M❤️ #thankyou #shorts
00:16
ウエスP -Mr Uekusa- Wes-P
Рет қаралды 12 МЛН
KINDNESS ALWAYS COME BACK
00:59
dednahype
Рет қаралды 102 МЛН
That's how money comes into our family
00:14
Mamasoboliha
Рет қаралды 6 МЛН