MCHUNGAJI MSIGWA AFUNGUKA BAADA YA KUJIUNGA NA CCM, ATAJA SABABU ZILIZOMFANYA AONDOKE CHADEMA.

  Рет қаралды 17,973

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

14 күн бұрын

Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.
Mbunge wa zamani wa Iringa Mjini kupitia Chadema, Mchungaji Peter Msigwa ametoa sababu mbalimbali zilizomfanya akachukua uamuzi wa kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM), kubwa ni utendaji wa Rais Samia Suluhu Hassan wa kuwaunganisha Watanzania.
Mchungaji Msigwa amesema hay leo Jumapili, Juni 30, 2024, katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyikia Ofisi Ndogo za CCM, Lumumba akiwa na Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla.
Ni saa chache kupita tangu alipojiunga na CCM mbele ya wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Ikulu jijini Dar es Salaam.

Пікірлер: 163
@donaldmaziku7915
@donaldmaziku7915 12 күн бұрын
Msigwa anatueleza ukiona haki haitendeki sehemu fulani, ungana na wasio haki kutenda uovu.
@user-vz4xv7lg3x
@user-vz4xv7lg3x 12 күн бұрын
Mpuuzi tu
@bahatielias6443
@bahatielias6443 11 күн бұрын
Mimi nikiona mpinzani anaungana na CCM ,siyo sawa pamoja na hoja zake nooo
@georgekimasaofficial1629
@georgekimasaofficial1629 12 күн бұрын
Tunamtuumu msigwa tu lakini Madai yake yanaweza kuwa na mashiko na nguvu hivyo Chadema ni vyema kujitafakari
@user-qm4lt1ot8u
@user-qm4lt1ot8u 12 күн бұрын
Kahogwa ache unafiki
@ce-08
@ce-08 10 күн бұрын
​@@user-qm4lt1ot8u huenda kweli kahongwa ila chadema pia kunashida mbowe inatakiwa kunawakati aachie wenzie uwenyekiti wa chama Kila cku yy tu
@amosafrica2350
@amosafrica2350 12 күн бұрын
Msigwa umetukosea sana. Bora ungeenda CUF au ACT basi tujue bado upo upinzani. CCM mh😔
@swahilitherapytv3846
@swahilitherapytv3846 12 күн бұрын
Chadema imekuwa saccos ya mtu mmoja 😂😂😂
@amosafrica2350
@amosafrica2350 12 күн бұрын
Bora ungepiga kimya ukaachana na siasa za vyama.
@rdmjeshi
@rdmjeshi 12 күн бұрын
Njaa zinamsumbua huyu Mzee msigwa kishapewa asali kishaambiwa atapewa kitengo kaona masilahi hapa hamna mchungaji ni unafiki juzi juzi alikua anapondea hakuna maendeleo saivi anasema Serikali inafanya vzr huo sini unafiki Sasa aisee 😢😢😢😢😢
@bbclondonulimwenguwasoka6126
@bbclondonulimwenguwasoka6126 12 күн бұрын
CCM Kila kitu
@joycemagonze948
@joycemagonze948 11 күн бұрын
Wewe ni mtumishi wa Mungu lakini mbona muongo? Hakika unachekesha pamoja na undumila kuwili,hueleweki kabisa acha uroho ndo maana hata maneno yanakupotea
@bbclondonulimwenguwasoka6126
@bbclondonulimwenguwasoka6126 11 күн бұрын
Acha ale maisha nani asiyependa kuitumikia CCM hata we ukiitwa ni chapu
@lucasolobiis4504
@lucasolobiis4504 12 күн бұрын
Huyu nae tenaa 🤣🤣🤣🤣🤣,, mbwa ninyi wanasiasa
@odoieriasmonga6591
@odoieriasmonga6591 12 күн бұрын
kukosa uwenyekiti wa kanda ya nyasa ndiyo imekua nongwa kumbe wewe ni decteta
@mbokhamumwaliswaha8138
@mbokhamumwaliswaha8138 7 күн бұрын
Nafikiri CDM ndio maana walimfanyia mzengwe kwenye ule uchaguzi wa kanda. Walimjua haaminiki kwa sababu ni miaka mingi amekuwa akituhumiwa kwenda CCM. Hayo yote hakuyaona miaka ishirini aliyokuwa chadema kama kiongozi na mbunge.
@user-rh6dz7wr3p
@user-rh6dz7wr3p 12 күн бұрын
Katiba sio ya chadema ni ya wananchi msigwa. Nenda salama
@bbclondonulimwenguwasoka6126
@bbclondonulimwenguwasoka6126 12 күн бұрын
Welcome Msigwa , CCM is every thing Sasa utaona maana ya uongozi
@user-wz3ne2kc3o
@user-wz3ne2kc3o 12 күн бұрын
Duh Tanzania yetu
@chamlilemhando7478
@chamlilemhando7478 9 күн бұрын
Katika interview hii msigwa hayupo sawa amelishwa maneno.Yeye ni mpinzani aendelee kuwa mpinzani .
@masoudmussa4786
@masoudmussa4786 12 күн бұрын
Hongera ur wellcome comrades👌
@margarethsaramaki3966
@margarethsaramaki3966 Күн бұрын
Kwanini hukuyasema hayo kabla hujaondoka unakosea leo wakati pia uliisema vibaya CCM angalia clip zako za nyuma na weka akiba ya maneno brother. Daah ama kweli yangoswe mwachie ngoswe.
@saidmohd2665
@saidmohd2665 8 күн бұрын
hiii dunia bhana
@davidmpiluka5224
@davidmpiluka5224 12 күн бұрын
Mimi nafikiri Mh. Msigwa ulipaswa tu kusema"nimeamua kuhama chama na kujiunga na CCM". Lakini all in all, hayo ni maamuzi yako wala hakuna anayeweza kukupinga.
@LeticiaCharles-hi2wf
@LeticiaCharles-hi2wf 12 күн бұрын
Ndo ukwel kamanda
@jumarajab5316
@jumarajab5316 12 күн бұрын
hapo uliposema chama chetu kimekosa agenda kuwa makini hii clip itakatwa itatumika vibaya
@fillomuhenga4240
@fillomuhenga4240 12 күн бұрын
Njoo msigwa tukijenge chama chetu Cha mapinduzi
@reginaldmapunda6702
@reginaldmapunda6702 12 күн бұрын
Nimesema mara nyingi kuwa shida yetu sio katiba bali ni watu wa kuisimamia katiba hiyo na Msigwa ni shahidi kuwa Ubora wa katiba unategemea sana ubora wa wasimamizi. Chadema ina katiba nzuri sana lakini ina viongozi wabinafsi na madikteta. Walio hama chama hicho ni wengi tu na malalamiko na hoja zao ni zilezile. Katiba mpya ni kama gari mpya ambalo maisha yake yanategemea ubora wa dereva.
@rosemaryhamilton5700
@rosemaryhamilton5700 11 күн бұрын
Karibu Kamanda nyumbani kumenogaa
@andrewkissava9184
@andrewkissava9184 12 күн бұрын
Chadema msiumie namjua msigwa kule amekwenda kwa kazi maalum akisha timiza kazi aliyo tumwa atarudi soon hivyo ccm kama mlidhani mmelamba dume basi na wahikikisu subirini time will talk ccm kwa ujuma imekula kweni
@vincentmwaya6910
@vincentmwaya6910 12 күн бұрын
Wwe Ni tapeli wa siasa tyu, unajiita mchungaji kwahiyo ulipokuwa chadema ulikuwa unaongepea watu na Sasa upo ccm utaongea ukweli??? Acha kujidhalilisha msigwa
@nelsonkikotimandela9819
@nelsonkikotimandela9819 8 күн бұрын
Swali ni moja tu!Je ungeshinda kwenye uchaguzi wa Chadema ungeendelea na Chadema?au umehama kisa umeshindwa uchaguzi?
@JumaMagoma-g4q
@JumaMagoma-g4q 12 күн бұрын
Njaaaaaa
@donaldmaziku7915
@donaldmaziku7915 12 күн бұрын
Je mbowe ndiye alipiga kura huko uliposhindwa? hauwezi kutudanganya
@efraimjohn4956
@efraimjohn4956 11 күн бұрын
Uchaguzi wa mwaka 2020 alizulumiwa kw amadai yake ya mwanzo na ni haohao aliojiunga nao ndo walimkosesha haki. je hko kuna jipi jipya ambalo unaona ni zuri au ni uroho tu \
@sophiaamnaay9726
@sophiaamnaay9726 11 күн бұрын
Heee amekuwaje leo huyu! Nenda salama CHADEMA haina njaa ya watu. Kuondoka kwako kutaleta mamia ya watu .
@jacobmwera9636
@jacobmwera9636 11 күн бұрын
kwahyo we mzee unatwambia umekaa zaidi ya miaka 20, hiyo ya demokrasia kukosekana chadema hukuwahi kuiona ndo umetambua baada ya kupgwa chini kwenye uchaguzi?
@hhangali2006
@hhangali2006 12 күн бұрын
Msigwa as a Pastor... CCM hakuna Haki, wewe unapigania Haki. Kurudi CCM you are lost, lost for ever. Your Character is questionable. A man of Principles couldn't do what you did Buddy. This is for your own down fall no led no more.
@user-vz4xv7lg3x
@user-vz4xv7lg3x 12 күн бұрын
Ameisha huyo
@abdulhakhashim764
@abdulhakhashim764 10 күн бұрын
SAFI..... SANAAAA. MSIGWA KUAMIA ...CHAMA TAWALA
@clarencelazaro9600
@clarencelazaro9600 12 күн бұрын
Msigwa kaa kinywa we are not stupid
@mwambietv7614
@mwambietv7614 11 күн бұрын
ila Mzee Mungu anakuona hivi kweli ni Mchungaji huyu? 🤣🤣
@user-rh6dz7wr3p
@user-rh6dz7wr3p 12 күн бұрын
Mama hakuna anaemkubali nenda kaongeze nguvu walau apate hata asilimia tano.
@frenktarimo4703
@frenktarimo4703 12 күн бұрын
Mchungaji tapeli sijui kanisank lako ni i lile la mashoga nini kwenda huko tapeli mkubwa wewe utatuambia nini wewe mchungaji unakula jaxa mwenyewe
@KibeloMpembelo
@KibeloMpembelo 11 күн бұрын
Msigwa is hungry man
@user-sy2mp7mm8u
@user-sy2mp7mm8u 8 күн бұрын
Tumbo la watu lina shida kweli jamani
@fatimahants1526
@fatimahants1526 12 күн бұрын
Karibu sana tz...hongera kwa ueledi wakutambuwa sehem salama na tulivu, jenga uimara kwenye pambana na song mbele
@eliphasmlengu6331
@eliphasmlengu6331 12 күн бұрын
I knew this is going to happen Nafikiri ukombozi wa Tanzania bado sana yaani sungu kuwa m/kiti jamaa nogwa huyo CCM
@dennisungonella205
@dennisungonella205 12 күн бұрын
Ccm mpeni udc huyu vinginevyo atawakimbia huyu😂
@sponsor7882
@sponsor7882 11 күн бұрын
uezi ona ushoga kama huu kenya
@joeljulius7147
@joeljulius7147 12 күн бұрын
Kama kweli unaamini hivyo na kwa maneno yako maana yake CCM pia haipo vzr na ili kutuaminisha kuwa sio njaa iliyokuhamisha ungeanzisha chama chako. Watanzania pia tuna akili. Tunajua vzr
@jmastertz161
@jmastertz161 12 күн бұрын
hamna mtu hapa
@godsson5954
@godsson5954 12 күн бұрын
Mpwa kama mpwaa karb SANA
@ZABRONKANDI
@ZABRONKANDI 9 күн бұрын
Binasfi nimejiskia vibaya kwa maamuzi yakooo 😢😢😢
@fadhilidanieli1478
@fadhilidanieli1478 7 күн бұрын
Yaaaan kitu ambacho katika maisha yangu sikiamin nimwanasiasa yaaan Msigwa leo hii ndo wewe unaongia hivi??????
@eliphasmlengu6331
@eliphasmlengu6331 12 күн бұрын
Anauhalali gani kumsema mbowe? Kweli achapakuche tuone mwanga
@stevemahenge847
@stevemahenge847 12 күн бұрын
Mhhhh hizi njaa zinatutesa kweli amekua mbunge misimu miwili lakin leo anasema chama kimekosa agenda dhuuuu Mungu tusaidie
@beinafuu6219
@beinafuu6219 11 күн бұрын
Sasa hapo unaongea nini kuaribu chama
@khatibramadhan8740
@khatibramadhan8740 11 күн бұрын
kwer usaliti upo huku clatous chama huku msigwa😂😂😂
@jescageorge-fv8yt
@jescageorge-fv8yt 12 күн бұрын
Huna lolote msality wew
@melkisedekkaijage2777
@melkisedekkaijage2777 10 күн бұрын
Never trust a politician. Never ever.
@beinafuu6219
@beinafuu6219 11 күн бұрын
Uwongee basi kidogo mzee ubakishe jaman.wewe umeisha hama sibas
@victorvenantkaigarula6255
@victorvenantkaigarula6255 12 күн бұрын
Ni njaa tu, maslahi na kuhangaikia tumbo.
@ramadhanimandoa716
@ramadhanimandoa716 10 күн бұрын
Kwahiy ww unadhan chadem wale hawapat kitu au
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur 12 күн бұрын
chadomo chama cha wachaga, umefanya vizuri Peter Msigwa mbowe ni mwenyekiti wa kudumu wa chadomo
@salmanmagwe222
@salmanmagwe222 12 күн бұрын
MFUMO WA CHADEMA NAMNA ULIVYOKAA NI WA KUFUMUA WOTE,KWANI UMEKAA KAMA TAASISI BINAFSI ISIYOJALI DEMOCRACY,NA MTU MMOJA ANA MAAMUZI NA KURA YA VETO
@yugemasanza1008
@yugemasanza1008 12 күн бұрын
Sahihi
@samweljoshua3360
@samweljoshua3360 11 күн бұрын
Hakika
@user-ue2nz3vc4j
@user-ue2nz3vc4j 12 күн бұрын
trending ya mpina kwishney 😂😂
@josephborn4460
@josephborn4460 11 күн бұрын
Oya ogopeni njaa mazee Haijawahi kumwacha mtu salama
@ce-08
@ce-08 10 күн бұрын
Chadema jimbo la iringa kulipata tena labda 2035
@jmastertz161
@jmastertz161 12 күн бұрын
mpak kuongea anaona aibu vile anavopondaga ccm sasa ccm wataelew jinsi ya kuishi na huyu mtu
@eliphasmlengu6331
@eliphasmlengu6331 12 күн бұрын
Tujiulize angelishinda haya yangelikuwepo? Answer is big No.
@mswakalaization_
@mswakalaization_ 12 күн бұрын
Kikubwa maokoto😂
@ThomasMselle-rw5ej
@ThomasMselle-rw5ej 12 күн бұрын
Inawezekana unayosema! Ulikuwaje ukashuhudia hayo kwa miaka yote bila kuongea ila baada ya kuukosa uwenyekiti wa kanda (maslai) ndo unasema. Usije kuleta unafiki wako huku CCM hautavumiliwa ulimsigina sana JPM
@kaguripenina63
@kaguripenina63 12 күн бұрын
Siasa za hivo tulishazichoka soon utapotea boss
@salimobeid1470
@salimobeid1470 12 күн бұрын
Mie namvulia kofia mama samia sluu hassan sifikirii kama kuna mwanasiasa nguli kwa Katanzania ukamkosa mama samia ye wala hapigani na kelele ye anajua vya kupiga na baada ya mika 5 ijayo upinzani hamna Tanzania
@mtakamatv
@mtakamatv 12 күн бұрын
Msigwa umefuata chakula,sio haki,kwanini baada ya kukosa uwenyekiti umehama,miaka yote ulipokuwa kiongozi hukusema hayo,ila ulipokosa uongozi, CCM wamekununua ili wakutumie kwenye kampeni,wakutumie kufifisha udhalimu wa chama Chao,tuna akili zetu,na tumeshakuwa wazoefu na mbinu za CCM.
@RenardMakori
@RenardMakori 12 күн бұрын
Ivi huyu ni msigwa aliye sema kua walioko ccm hawana upeo na yeye leo amekua mmoja wa wale ambaye awana upeo, NIME MKUBALI MH. LISU ANAONA MBAMBALI ARUFU YA PESA CHAFU LEO TUMEKUBALI MSIGWA NDIO WALIOPEWA KUJA KUARIBU UCHAGUZI WA KANDA.
@jmastertz161
@jmastertz161 12 күн бұрын
njaa tu
@JesusJesus-ny1sm
@JesusJesus-ny1sm 12 күн бұрын
Wewe Msigwa mnatufanya wananchi tujuwe mpo kwa maslahi yenu binafsi tu mambo mnayofanya hata aibu hamuoni, kuliko kwenda CCM ungekwenda upinzani ungeeleweka !!!!! Au ungeacha siasa utulie kimya kwanza, mmesema sana CCM haifai unakwendaje hapo hapo tena !??? Mnadhani WaTanzania hawafikiriii !!!!?
@emmanuelmaghina1709
@emmanuelmaghina1709 12 күн бұрын
Amepagawa na Pepo
@immabaraka
@immabaraka 11 күн бұрын
Huna sera subiria cake ya taifa ule ushimbe tu democrasia ni kuwa huru
@GeraldNyasembe-q2d
@GeraldNyasembe-q2d 10 күн бұрын
Wewe aukuwa na mvuto kama zito kabwe nenda acha chadema ni tahasisi wewe kama umekosa uvumilivu na aukutaka kushindwa utaweza kuwa mwenyekiti wa taifa auna hoja nenda mwana kwenda
@NATACIARAPHAEL-iz8kr
@NATACIARAPHAEL-iz8kr 3 күн бұрын
Mwanasiasa Malayamalaya huyu umeyarudia matapishi
@salimobeid1470
@salimobeid1470 12 күн бұрын
Unachokiongea ni kweli chadema bado sana sanaa wanakula tu pesa za wananchi na ubaguzi mie nimewatoa thamani kusema mzanzibar ubaguzi wa waz chama kesho utasikia wale wapare wale wazaramu achanni na hicho chadema
@priscuskimario495
@priscuskimario495 11 күн бұрын
Wananchi wa wapi? Kwani kinakusamya kodi? Ama kweli hili taifa Lina mambulula
@TatizoLyanzi
@TatizoLyanzi 12 күн бұрын
Nenda kafe huko bna
@DivineWisdom-o8y
@DivineWisdom-o8y 12 күн бұрын
I use to admire you Mr.Msigwa i remember you're quote when you said you cant solve a problem using the same level of thinking that created a problem but now you've really disappointed me.....i have come to understand to didn't mean whatever you said while in opposition so simply you can't be trusted because you cant stand on your principles.. chadema is not but joining ccm doesn't give a legitimacy to say ccm is betterof
@SweetBertMlinda-bq7mp
@SweetBertMlinda-bq7mp 11 күн бұрын
Hata ongea yako tuu imebadilika ulivokuja huku, karibu sana. Huku hatubwati kama ulivokua unabwata kule 😂😂😂😂
@peterilimwa5754
@peterilimwa5754 12 күн бұрын
daaah what a shame
@ibrahimkonga2975
@ibrahimkonga2975 12 күн бұрын
Msaliti wewe huna haja ya kumshukuru mungu laana inakutafuna huna ata sifa ata ya kuitwa mchungaji ""njaa imekukaba umenunuliwa😂😂😂😂""
@kaguripenina63
@kaguripenina63 12 күн бұрын
Ndoo maana ninasema hawa wachungaji hamna kituu
@georgefredy8569
@georgefredy8569 12 күн бұрын
Jamaa linaongea ujinga mpaka ni fedhea Kwa profile yake! Bora angekaa kimya tu kuliko kujaribu kuisafisha CCM Kwa kiki ya uenyekiti WA Mbowe! Chadema ni Chama imara licha ya mapungufu yake
@nestor384
@nestor384 12 күн бұрын
Porojo za Msigwa
@masamakijames7837
@masamakijames7837 12 күн бұрын
Hata makamu mwenyekniti Zito Kabwe aliondoka chama hakijafa,miaka 20 leo baada ya kukuosa uenyekiti kanda ndo unagundua huo ubaya?hata chekechea wa karne hii itamshangaza
@gm003
@gm003 12 күн бұрын
CDM ni salama zaidi sasa bila huyu mtu, ALIJIONA UN SUBSTUTABLE....Habari yako wewe ni kwisha!!
@edistidiusmutalemwa5758
@edistidiusmutalemwa5758 12 күн бұрын
Kwenye msafara wa mamba,kenge wapo pia!
@CharlesElias-zh5hz
@CharlesElias-zh5hz 12 күн бұрын
Kwahio mtumish hata ww ulikuwa unadanganya
@octaaalyiii9539
@octaaalyiii9539 12 күн бұрын
Eti mtu anakuambia amefanya kazi miaka 20 alafu yote anasema leo, jamani saiv watu wameenda shule mkiongea vitu mjipime sana, ww ungekuwa mchapa kazi iyo miaka 20 ungeshaweka mambo sawa na ungejulikana n mpenda haki sio sasa unaongea uongo
@mtakamatv
@mtakamatv 12 күн бұрын
Kama mbowe ni dikteta kwa masirahi ya chama na wananchi Yuko sahihi,kuliko kuwaamini watu wasaliti,mamruki wa CCM,watu wanaonunulika kama msigwa,mbowe alianza kukijenga chama Toka mbali na amesulubiwa nacho,Leo angehama tundulisu ndo ningeshangaa.lakini wewe hicho chama Chao Cha tatu kama sio Cha nne unahamia kutafuta masirahi yako.
@user-mz4gx2ek9y
@user-mz4gx2ek9y 12 күн бұрын
Hawa ndio wachungaji tulio nao mungu atakupiga muda si mrefu
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward 12 күн бұрын
Hawa ni wanadamu halisi. Si wachumgaji. Yesu alipokele Jerusalem Kwa nyimbo hosena mwana wa daudi, siku chache hao wakasema msulubishe.
@dennisungonella205
@dennisungonella205 12 күн бұрын
Wanasiasa hatari, ukikosa cheo unahama chama😂
@sungisungi6589
@sungisungi6589 11 күн бұрын
Msigwa hanywi pombe ,havuti sigara ,bangi Wala sio mtu wa bebes. Asingeweza kuendelea kukaa na Lile genge la wahuni😅😅. Hata lisu anajikaza tu chadema sio mahala pake
@jesusislord5045
@jesusislord5045 12 күн бұрын
Dùu
@EliyaPaulo-uf6hh
@EliyaPaulo-uf6hh 12 күн бұрын
Kwenda zako ulitaka tu ubaki kuwa m/kiti wa kanda mpuuzi kabisa ww leo wakusema hayo?😢utaongea nn juzi tu ulikuwa manyoni jukwaani unapayuka leo hii eti Chadema unaiponda?ama kweli njaa mbaya
@innocentfortunatus725
@innocentfortunatus725 12 күн бұрын
Nimekumbuka JPM, HAPA KAZI TU .😅😅
@iddyissa8110
@iddyissa8110 12 күн бұрын
Surayaketu inaonyesha ni yuda Toka anyimwe uwenyekiti
@GodfreySiegfried
@GodfreySiegfried 12 күн бұрын
Wewe msigwa wewe uko Kwa akili ya pesa Tu Kwa nini ushidwe ndio uwame Kwa nini usingeama mapema Kwa iyo ungeshinda usingeham et Kwa nini Kwa iyo icho cheonni cha Baba yako ukubaswa kushidwa Acha kutushawish watanzania na tunajua kilichokuamisha
@EliyaPaulo-uf6hh
@EliyaPaulo-uf6hh 12 күн бұрын
Yaani ylitaka uendelee na kanda uliposhindwa na Sugu ndio unakuja hoja dhaifu namna hiyo?sasa namuomba Mungu 2025 hao ccm wakuteue ugombee hapo iringa halafu uone utakavyo pata Aibu...fyoooooo
@MohamedMohamed-ry6lt
@MohamedMohamed-ry6lt 12 күн бұрын
Inawezekana maneno yako yataonwa kama ya mtu mkosaji. ila wewe ni ya kutafakarika kwa upande wa Chadema Kuna haja ya kujitathmini kama Chama
@enockmakombe3144
@enockmakombe3144 12 күн бұрын
😅😅😅😅😅 duhhh
@nanguniMtaita-hz4zt
@nanguniMtaita-hz4zt 11 күн бұрын
Acha utani wako kusema wamshukuru Mwenyezi Mungu. Huna Mungu ww. Ungevumilia yaliyokusibu hadi ufie CHADEMA. Hakuna cha sacos wewe ni mfia mlo. Huna aibu. Mimi nilitaka kujiunga na CHADEMA lakini umeharibu sasa najipima tena kuna nini kinachowqsibu zaidi.ya matumbo? Msigwa shame on you. Sasa nikushauri, kaa kimya bila kunyea kambi, hiyo.SACOS niwewe unayedhania.
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle 12 күн бұрын
IPO SIKU UTATWAMBIA CHAMA KIPI KINA HAKI
Khó thế mà cũng làm được || How did the police do that? #shorts
01:00
Alat Seru Penolong untuk Mimpi Indah Bayi!
00:31
Let's GLOW! Indonesian
Рет қаралды 16 МЛН
Can You Draw A PERFECTLY Dotted Line?
00:55
Stokes Twins
Рет қаралды 107 МЛН
Khó thế mà cũng làm được || How did the police do that? #shorts
01:00