Waliotunukiwa PHD UDOM walivyoshindana kucheza wakipewa udokta.

  Рет қаралды 15,618

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Күн бұрын

Пікірлер: 29
@claudiajames2003
@claudiajames2003 Жыл бұрын
May my kids reach this stage❤
@gloriamsaki9109
@gloriamsaki9109 2 жыл бұрын
Hongera Sana ndugu zangu.Tuombeane na sisi tufike huko
@hellendaniel3809
@hellendaniel3809 2 жыл бұрын
Hongereni sana sio kazi rahisi.
@leonidaskwigize1853
@leonidaskwigize1853 2 жыл бұрын
Hongereni Sana kwa kuwekeza katika Elimu
@IDRISANOMBO-ii8nt
@IDRISANOMBO-ii8nt Ай бұрын
Nimekuona na Dr wangu jape hauna baya baba kila la kher kwenye kila hatua ya maisha Yako wanafunz wako tupo nyuma yako
@julianaboniphace7351
@julianaboniphace7351 Жыл бұрын
Ipo cku nami ntatunukiwa
@IDRISANOMBO-ii8nt
@IDRISANOMBO-ii8nt Ай бұрын
Hongeren saaan , kwa kipekee hongera sana dr alberto lecture wangu wa koz ya Ordinary differential equation unajua saan
@boazphillip4019
@boazphillip4019 Ай бұрын
Mwamba alberto
@ip_header
@ip_header 2 жыл бұрын
Elimu yetu ipo zaidi kwenye makaratasi kuliko kubadilisha mazingira, nguvu kubwa ipo kwenye kupata vyeti
@jescarwegoshola1754
@jescarwegoshola1754 2 жыл бұрын
Ongereni jamani 👏👏👏👏👏👏🙏🙏
@esabelfadhili8432
@esabelfadhili8432 2 жыл бұрын
Hadi raha😍i wishnifike hapa
@munyandindajeanbosco8399
@munyandindajeanbosco8399 Жыл бұрын
Morning My dear give me information to Dodoma university finished university in Rwanda country tell
@yesudustan791
@yesudustan791 Ай бұрын
Ipo siku nami nitapata Phd
@josephatmathiasgalagalabuh786
@josephatmathiasgalagalabuh786 2 жыл бұрын
ni PhD na sio PHD
@LeylatVlogs
@LeylatVlogs 2 жыл бұрын
👏👏👏👏
@moriscollins4494
@moriscollins4494 2 жыл бұрын
Kuna raha yake jamani....Sio wapinga kristo wa PhD za michongo
@kibwetere1418
@kibwetere1418 2 жыл бұрын
Siku hizi mwenye PHD na darasa la 7 uwezo wa kufikiri wanafanana
@moriscollins4494
@moriscollins4494 2 жыл бұрын
Acha dhalau ndugu....Hiyo ni elimu sio kwapa hadi mlemavu analo
@ptElimu1234
@ptElimu1234 2 жыл бұрын
Nadhani una mtindio wa ubongo sio bure
@AziziHassan-ci7qw
@AziziHassan-ci7qw Жыл бұрын
😂😂watafuta maneno
@MichaelChongolo
@MichaelChongolo Ай бұрын
Acha kabisa dharau ukiona unatoa mchango huo inamaanisha ndio nyie mlikimbia umande shule haipo hapoo unajua watu wanavyo sufer juu ya hizo elimu jinga moja wewe
@tunkuh661
@tunkuh661 2 жыл бұрын
PhD✅
@electronicteaching1134
@electronicteaching1134 2 жыл бұрын
Mbona huna wewe hata hivyo vyeti?
@piusphilip307
@piusphilip307 2 жыл бұрын
PhD kibao nchi haina maji, ajira hapa, umeme kizungu mkuti, njaa ndo haisemeki. Wanaolisaidia taifa kutoa ajira ni sekta binafsi,wengi wao hawana hata certificate. Hivi hii hali inakuwaje.!!?
@senziashwaibu3219
@senziashwaibu3219 Жыл бұрын
Umefanya utafiti ukajua zipo nyingi?
@simbarajabu4157
@simbarajabu4157 2 жыл бұрын
Elimu ya cheti tu ukimwambia tengeneza kiberiti ajuwi
@yustinasaqwaret9279
@yustinasaqwaret9279 2 жыл бұрын
Watu mna makasiriko cku izi,fata maisha Yako na mambo Yako mwache mwenzio ,mmejawa na maneno maneno....
@pulikisia7963
@pulikisia7963 2 жыл бұрын
Inategemea alisomea Nini.
@moriscollins4494
@moriscollins4494 2 жыл бұрын
Kwani hapo umesikia kuna Dr wa veta? Anza kufikiri ndugu sio udaku huu ni elimu kima mkubwa
LEONARDO ALIVYOWAVUNJA MBAVU WAFANYAKAZI WA CRDB!
17:39
Visit Tanzania
Рет қаралды 332 М.
Thank you Santa
00:13
Nadir Show
Рет қаралды 54 МЛН
SIZE DOESN’T MATTER @benjaminjiujitsu
00:46
Natan por Aí
Рет қаралды 8 МЛН
Чистка воды совком от денег
00:32
FD Vasya
Рет қаралды 5 МЛН
WALIOJARIBU KUMTEKA TARIMO WAKAMATWA, WALISIKIKA WAKISEMA..
14:53
Mwananchi Digital
Рет қаралды 11 М.
HUYU HAPA MWANAFUNZI BORA ALIYEONGOZA UDOM/SIYAJUI MAPENZI
7:47
A DIGITAL TZ
Рет қаралды 70 М.
Mtanzania Daktari Bingwa USA 🇺🇸 aliyesoma Harvard University
12:55
Utapenda Mwanafunzi UDOM ajiajiri huku akisoma
12:24
UDOM TV
Рет қаралды 591
Thank you Santa
00:13
Nadir Show
Рет қаралды 54 МЛН