Halima mdee breathing fire but oozing some wisdom. 🇰🇪
@salmamakweta1198 Жыл бұрын
Point sana
@TajweedKachila-qb9eq Жыл бұрын
Yaaah big up to you 😁😁😁 if we get representative like you .....we successful our plan
@birianination7097 Жыл бұрын
What is your plan, vijana kuto pata fursa, kuendelea kulima kwa jembe
@kimanimain9239 Жыл бұрын
Halima anakuwang mzuri can but ni hoja yake ndy wanaikataa 2 jmn 🎉🎉
@petermwanyondo5370 Жыл бұрын
Huyu halimadee bulaya matiko bunge nk bunge linanoga malizen tofauti sna jaman
@stevenndeda11 ай бұрын
Ww dada hunapambanasana mungu hakulinde❤❤
@FrankChalula-hz6dn5 ай бұрын
Halafu wewe mbona unaandika kiswahili kibovu sana , kwanini lkn?
@charlesmakuri792 Жыл бұрын
Mboe fanya maliziano na hawa wabunge haraka ukiwatoa bungeni utaua chama
@AbdallahThomastz11 ай бұрын
Mama nakuelewa halima
@gililwise Жыл бұрын
Halima oyeeee mama Samia mpe wizara ya kilimo anafaa sana.
@emmanuelbonaventura4258 Жыл бұрын
Ana hoja lakini haimaanishi anaweza kufanikisha kilimo.
@birianination7097 Жыл бұрын
Kwa hiyo sasa ni bora tuendelee na kilimo cha jembe na mvua kinacho limwa hasa na wazee, kisa kulima kilimo cha umwagiliaji na mashine kinacho ajiri vijana ni garama.
@benny4345 Жыл бұрын
Halima is spot on! She is making a lot of sense!
@birianination7097 Жыл бұрын
So the government should stop assisting over 1.6 million youth to get into modern agriculture, they should stop the program that aims to increase agro product for over 73% due to it is expensive to do so.
@nayfatyally4108 Жыл бұрын
Wema s eptu @@birianination7097
@mako331 Жыл бұрын
Yani tunawabunge wenye akili sana, ila michango yao ingesikilizwa tu
The problem is lack of a national strategic planning benchmarked to guide our leaders to pursue our national vision.
@abdillahyussuf7200 Жыл бұрын
Nakukubali dada
@malkavoice2570 Жыл бұрын
Kuna mashamba wamemilikishwa wageni tunayaona tuuuu afu baadae yakifikiwa na mji ukikua wanafungua viwanda. Alafu kwann sijaona taarifa ye yote kwenye kuchangia kwake huyu binti yenu?
@emanuelcosmas395 Жыл бұрын
Bashe anataka kuhawa ardhi yote alafu wajukuu zetu watalima wapi?
Tunashida nchi hii kila mchangiaji mzuri anapochangia jambo zuri in kama watu. Hawataki , kiti, ushauri kwenye vitu sence vyavtaifa , tuwape mda zaid wale wanaocahangia ukombozi, halima yuko sawa kwa hili, gwajima yupo sawa na wachache wengine tuikomboe nchi yetu jameni,.....
@StadiusJustus-ck8xi8 ай бұрын
Dada mwaka ujao ingia bungeni nakula tutakupa dada nakufurahia sana
@makupejafar1771 Жыл бұрын
Leo mdee safi skuelewagi ila Leo nakupa Mauwa yangu
@hamisimsosi6237 Жыл бұрын
Huyu ni mtu hatari Sana yaani chuki weka mbali na watoto😅😅😁😁♥️♥️🏆🏆🔥🔥
@TajweedKachila-qb9eq Жыл бұрын
Inavutia Xana ukweli mtupu bg up mama
@charlesmakuri792 Жыл бұрын
Bashe anadanganya wa at chakula kiuzwe nje ya nchi ndio bei inapanda mkulima iuza mazao siku nyingi mfanyabiashara arabica stoo ,bei inapanda mkulima anazidi kuumia wananchi nao wanakufa na njaa we mashavu yana nenepa unajisifia bure jitafali maana kuna MUNGU
@prosperidinya58648 ай бұрын
Akili kubwa sana ya huyu dada. Tunahitaji wabunge kama hawa. Lakini Kwa bahati mbaya sana mawazo ya watu kama hawa hayasikilizwi. Tutaendelea kupiga marktime Kwa tulio wengi na wachache kutengezwa mabilionea.
@anastazialushika5 ай бұрын
Sawa madam
@genarahaswile2990 Жыл бұрын
halima kunywa pepsi kwa mangi nitalipia
@brunokalipesa5231 Жыл бұрын
Ila nikweli
@sialo8624 Жыл бұрын
Genius
@JamesMapapara-jw4th5 ай бұрын
Ndio shida ya waongoza vikao mtu akiongea kusadia taifa mtu anawaza uchaguz inchi 😅😂😂 kituko kweli
@nyemombogoni3755 Жыл бұрын
Hivi naweza kujiweka hapa?🤔🤔
@abdalahgunda1319 Жыл бұрын
Alima mdee yuko sahii kwa mapungufu ya waziri ila wegemi kupewa arizi miaka mingi ni hatari Sana
Madee umeongea pointi! Na huo ndiyo ukweli . Wakulima wadogo wanatakiwa kuboresha kilimo chao. Hiyo pesa ni nyingi sana.
@innocentsaka934 Жыл бұрын
Ni Kilimo cha mjini kweli
@EvethaBurra7 ай бұрын
Yaani tunawabunge wenye akili kama wewe 10.
@seifsaidseifsaid1210 Жыл бұрын
Hatuna mawaziri wakiwa nje wanapiga kelele wakipewa uwaziri hakuna wanachokifanya zaidi ya kupiga pesa!
@malkavoice2570 Жыл бұрын
Halima amewazoea sana ccm anawapoteza anazungumza 7bu mnamlipa bila 7bu
@DONALDMTOWE-u9g Жыл бұрын
Wewe sio mbunge uliibiwa kura kawe uko hapo kimakosa kadai kura zako,na utafute chama ndio uje, ilikua zamani.
@simonloishiye7163 Жыл бұрын
Halima hoyeeeee anafaa sana kuwa kiongozi Tena Bora kabsa
@JamesMapapara-jw4th5 ай бұрын
Huo ni upigaji mwingine huo mkubwa, sana haijawahi tokea
@DavidMohamed-r5q7 ай бұрын
Halima
@Sianonyangwa-ct2vk6 ай бұрын
Naomba mikataba ya ardhi kwa wawekezaji ifutwe nitoe mfano shamba naco mbalali nakodi eka moja laki moja je unamsaidia mkulima mdogo au unamuumiza
@evelina96216 ай бұрын
Wazungu.wanatucheka.bei.gani Hiyo.waziri.
@feiswalsalim21176 ай бұрын
mbolea za wazungu jeetz slitrgeza hstaa mbeguu
@onesmomasala-rg2wd Жыл бұрын
Dada uko vizuri lkn covd 19
@ibrahimtesha27337 ай бұрын
Halima, wewe ni msalliti wa CHADEMA, Unashangiliwaje na CCM? SI MBUNGE HALALI!
@EzekiaMtwale5 ай бұрын
ni kwel lakin tuwaangalie wanachokizungumza kwa tija ya wananchi hususan wanyonge!
@evelina96216 ай бұрын
Huyo.nibei.hafai.wizi
@saidhamza5318 Жыл бұрын
Duh 🧐
@shukranitv2971 Жыл бұрын
Haaaaaa kilimo Cha mjinii
@samsonkatigiri2344 Жыл бұрын
Namshauri Rais awe makini na mradi huu,nimradi wa upigaji,wakulima tayari wapo kazini hao wa kutafuta kwenye vyombo vya habari ni njia tu ya upigaji,wakuwapa hayo mashamba tayari wapo shambani wanalima,nendeni vijijini muwape hao msaada kilimo lazima kiwe ndani ya damu ya mtu sio kulazomisha watu wawe wakulima,haya ni makosa na matumizi mabaya ya fedha za serikali,benki haikopeshi mfamyabiashara mpaka awe na biashara,hivyo hivyo serikali iwape mashamba ambao tayari wana shamba.
@gideonmphunami2448 Жыл бұрын
Harima Mdee ni mgodi unatakiwa ulinzi
@floraflora57175 ай бұрын
Uyu mtu Tanzania kweli mbona anauza ichi hii naiyo ngozi kama ya somali au ndio anatumaliza
@yusuphMwebesa10 ай бұрын
washa moto
@simongwandu7392 Жыл бұрын
CCM cha changu lakini kisa cha wabunge 19 bila chama inanipa kigugumizi
@magrethlubimbi4055 Жыл бұрын
Umenena vyema kabisa mdee
@fredrickmatiku7783 Жыл бұрын
Wapi Babutale ni mbunge bado au meneja wa mziiki Diamondplatnumz
@BoscoMaftaaАй бұрын
Halima Mudee
@eliaschipanda20067 ай бұрын
Nimemkubali huyu mama. Halima una big brain so mchezo.
@innocentsaka934 Жыл бұрын
Hakuna ruzku kuna umiza wakulima tulimpenda akiwa mbunge sijui wizara inampoleza
@MagdarenaLunyalula9 ай бұрын
Kichefuchefu
@genarahaswile2990 Жыл бұрын
bashee ni 😂
@DanielMsangi-x9w Жыл бұрын
Madee umeongea wengi wanaangalia leo tu !
@birianination7097 Жыл бұрын
Kwa hiyo tuachane na kilimo cha machine na umwagiliaji kisa ni cha garama sasa, Tuendelee na kilimo chetu cha bei poa cha kutegemea mvua na majembe kinacho limwa na wazee, Je hao wazee wakiisha watalima nani, Je mvua isipo nyesha tutakula nini Je hao vijana wafanye nini
@ismailferouz8688 Жыл бұрын
@@birianination7097 usitupange vijana wenyewe tunalima njo kwetu tabora skonge kaliuwa urambo uwone vijana tunavyo Lima uyo bashe si tabora one, ila hapo somkubaliii
@salmanmagwe2612 Жыл бұрын
Simuelewi huyu mama anachoongea hapa,na anachosikitikia ni nini hasa? Mimi ni ni mkulima wa korosho naelewa ugumu wa kusafisha pori,kulima,kupima n.k. Si hata utoe basi plani yako?
@kabhikachambala3392 Жыл бұрын
Hivi kweli tunaweza kusema Halima mdee hatuwakilishi vyema eti kwa sababu tu CDM wamemkataa?