VIDEO: SPIKA TULIA NA HALIMA MDEE WAVUTANA VIFUNGU VYA SHERIA ISHU 'MKATABA WA BANDARI'

  Рет қаралды 241,362

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Mbunge wa Viti Maalum Halima Mdee amechangia maelezo ya Serikali kuhusu mapendekezo ya kuridhia mkataba baina ya Serikali ya Tanzania na Serikali ya Dubai kuhusu ushirikiano wa kiuchumi na kijamii kwa ajili ya Uendelezaji na Uboreshaji wa Utendaji kazi wa Bandari Tanzania ambapo amesema manufaa ambayo yanatarajiwa kupatikana iwapo Bunge litaridhia azimio hilo ni pamoja na kuongezeka kwa Mapato ya Serikali.

Пікірлер: 920
@rehemaabdallah9370
@rehemaabdallah9370 Жыл бұрын
Mungu akuzidishie maarifa Halima mdee uko vizuri sana
@gloryclement6400
@gloryclement6400 Жыл бұрын
Natamani upinzani wangekuwepo hata 10 tu hapo bungeni.😢😢hili swala Lingeisha chap Sana!! Halima mdee🔥🔥🔥!! Unajitahidi mama
@japhethcharles5791
@japhethcharles5791 Жыл бұрын
Tunaangamia kwa ujinga wetu peke yetu,wanaoongea ukweli wanazibwa midomo kisa ulafi wa wachache wenye Dola😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Mungu ingilia kati
@Kaka_Rambo
@Kaka_Rambo Жыл бұрын
Barikiwa sana dada Mungu akuzidishie umeonesha Mwanga ila huwezi kubadili chochote acha tuliwe tulimkosea sana Mungu 😭😭😭
@hussenaaghe2760
@hussenaaghe2760 Жыл бұрын
Barikiwa chama gani chadema hamtabi
@ayubusimake
@ayubusimake Жыл бұрын
@@hussenaaghe2760 ß
@malikzafarani172
@malikzafarani172 Жыл бұрын
Halima ana hoja kali sana ila wamemkatisha katisha ile asiseme ukweli daah bongo nyoso wallah 🙌
@angelmashauri6961
@angelmashauri6961 Жыл бұрын
Mheshimiwa Halima Mdee ishi miaka mingii…unaongea points sana👏👏👏👏
@HamadiSwedi
@HamadiSwedi Жыл бұрын
Tumia akili
@calistustitus4566
@calistustitus4566 Жыл бұрын
Uyu spika ni boya kuwai kutokea na ana wadharilisha watu wa mbeya linafiki sana
@birianination7097
@birianination7097 Жыл бұрын
Spika ajampinga ila anahakikisha kilamtu anasema vitu vilivyo kwenye mkataba
@kefajoseph158
@kefajoseph158 Жыл бұрын
@@birianination7097 spika gani msenge huyo anamsaidia Samia kuuza nchi
@birianination7097
@birianination7097 Жыл бұрын
@@kefajoseph158 ni wapi nchi imeuzwa, Usikute unafikiri kua huu mkataba unao zungumzwa ndio mkataba wa makubaliano ya kazi.
@RehemaNelsonMwimbe
@RehemaNelsonMwimbe Жыл бұрын
Huku kwetu tunanufaika na tamasha lake la utamaduni na diamond alimleta tulia wewe
@MartinGao-pq3ed
@MartinGao-pq3ed 2 ай бұрын
Wewe unajua nn
@flavianmashimi6327
@flavianmashimi6327 Жыл бұрын
Maoni yangu ni kwamba. Mjadala huu umegeuzwa kubwa malumbano ya uchama na siyo uhalisia. Chama tawala ninaona kinajitahidi kuhakikisha kinawavuruga wapinzani ili wananchi wasiwaelewe na kuwa brand kama WAPOTOSHAJI ili kulinda makubaliano yaliyosainiwa chini ya usimamizi wa Mwenyekiti wa chama. Kinachoangaliwa hapo ni maslahi ya chama na siyo nchi. Sisi wananchi tulio makini kufuatilia tunaona majadiliano yamekuwa malumbano na vipengele tata halitashughulikiwa. Mungu ainusuru nchi yetu
@leokamil6284
@leokamil6284 Жыл бұрын
Kweli umeongea
@exavelyjohn346
@exavelyjohn346 Жыл бұрын
Kwani siye twasoma ili iweje km kila kitu twategemea kusaidiwa
@margarethsaramaki3966
@margarethsaramaki3966 Жыл бұрын
Kwenye point za maana zinakuja TAARIFA Mwaitara anaongea utumbo wanampa muda aseme tu UJINGA Wana tabia mbaya utadhani Chadema siyo wa Tanzania sijui wabunge gani hawa kwenye majimbo next time tuwapige chini hawafai
@engmwalukasa9764
@engmwalukasa9764 Жыл бұрын
Naungana na wewe... Bungeni saizi ni vyama tu... CCM wanajinadi kabisa kuwa hoja inayoamzishwa na mwenyekiti wao haipaswi kupingwa...
@engmwalukasa9764
@engmwalukasa9764 Жыл бұрын
@@margarethsaramaki3966 Nakuunga mkono... Mtu akiwa anaunga hoja yao... Wanampa muda wa kutosha... Lkn mtu akiwa anapinga wanaishia kumkosoa...
@ibrahimtesha2733
@ibrahimtesha2733 Жыл бұрын
Naona kama Halima amevurugwa vurugwa asieleze alichotaka tujue, hadi muda wake umeisha kwa taarifa za "hovyo" tu. Sijaelewa, na nadhani waTZ wengi wanachanganywa ili tu kuitetea Serikali. Naona umuhimu wa kuahirisha jambo hilo tupate nafasi ya kukubaliana kama wananchi. Bandari si mali ya kukodishwa ovyo hivyo ninavyoona! Kama tulishakosea, bora tujenge uwezo wa kumiliki wenyewe hata kama tutaendelea polepole.
@jamhuri_imala3976
@jamhuri_imala3976 Жыл бұрын
nikweri kaka
@realswahilicultural8140
@realswahilicultural8140 Жыл бұрын
Alima Hana kitu ni muzuka tu anao😅
@evancegidion9155
@evancegidion9155 Жыл бұрын
Bandari sio mali ya Tulia,na akina ..... mnaowashabikia mhimu ujumbe ukiacha inaendelea mtu ana uwezo kuchangia chochote tulia acha ubabe
@ANJELACHALE-od3ki
@ANJELACHALE-od3ki Жыл бұрын
Uko sahihi,bandari ibaki kusimamia na watanzania wenyewe.
@ANJELACHALE-od3ki
@ANJELACHALE-od3ki Жыл бұрын
Tuiboreshe vizuri bandari yetu na tuisimamie vyema.
@MariaCassian-ys7pt
@MariaCassian-ys7pt 5 ай бұрын
Mtuakiongea vitu vizuri utasikia taarifa ilikumpotezea tu mtu point zake HALIMA chukua 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 Жыл бұрын
R. I. P JPM. Hakika ulikuwa shujaa kweli kweli. Majizi wamerudi tena, hawana huruma wala uzalendo kwa nchi maana sio watanganyika hivyo huuza kila kitu. Tumepata Rais bomu kuwahi kutokea tangu dunia iubwe. Ee Mola tuepushe na haya majizi.
@anthonyleonard7273
@anthonyleonard7273 Жыл бұрын
Magufuli ndo chanzo cha haya matatizo… kuweka wabunge wote wa ccm
@kefajoseph158
@kefajoseph158 Жыл бұрын
Kabisa jamaa yule ni SHETANI watanzania
@kefajoseph158
@kefajoseph158 Жыл бұрын
@@anthonyleonard7273 umeona eee
@margarethsaramaki3966
@margarethsaramaki3966 Жыл бұрын
@@kefajoseph158 wakubali wakatae Mbuge wa Chadema akisimama Bungeni ni TAARIFA wana uweledi wa kutosha sana mimi siko chama chochote ila ukweli ni huo Halima ni juu juu zaidi🥰🥰
@josephstephen1079
@josephstephen1079 Жыл бұрын
Alichokosea ni kuua upinzani na madhara yake ndiyo haya sasa
@simonibonifasi3131
@simonibonifasi3131 Жыл бұрын
Watanzania tuamke miaka60 yauhulu bado hatuwezi kujenga bandali yetu bado tunangangania ccm kwanini tusibadili chama maana hawa watu wameshashindwa kuendesha hii inchi
@danielworshiper6002
@danielworshiper6002 Жыл бұрын
Mdee mmoja ni sawasawa na wabunge wote wanaume wa CCM........ Nakupenda Halima Mdeee
@fatmaayoub8298
@fatmaayoub8298 Жыл бұрын
❤️❤️❤️💪💪💪
@neemamasimba2981
@neemamasimba2981 Жыл бұрын
Bravo bravo bravo bravo, Halima Mdee
@amashakigelulye7632
@amashakigelulye7632 Жыл бұрын
Kwanini MTU anatetea hoja halafu anavurugwa hoja inayowalinda watanzani.weakest parliament in Africa
@MagrethMallya-we8ui
@MagrethMallya-we8ui Жыл бұрын
Nakupenda sana dadaangu Halima, Hawa wengine bana!! Mungu tusaidie.
@yassinkimolo2943
@yassinkimolo2943 Жыл бұрын
Halifax unaumia sana kwasababu unajaribu kuelewesha hayo mazuzu malarushwa hayaelewi
@PeterBaton-v9z
@PeterBaton-v9z 7 ай бұрын
Bando langu Nalitumia Vyema kuwasikiliza Watu kama hawa Yani Mbunge Mmoja Wa Upinzani kama Wabunge Elfu M1 Wamafisiemu🤣🤣Big Up Halima mdee A.k.A Sauti Ya Zege
@valenakomba9218
@valenakomba9218 Жыл бұрын
SAFI SANAA BI HALIMA MDEE.
@Fardadihd
@Fardadihd Жыл бұрын
Tulimezeshwa ujinga kuhusu bandari nilimsikiliza anaongea pumba mdee sijui km halewi
@princekarani7836
@princekarani7836 Жыл бұрын
Halima mdee wamemdistruct kinouma yani ile wamchanganye hasiulize kwa uhuru
@chesconkwera2005
@chesconkwera2005 Жыл бұрын
Halima mdogo wetu, dada yetu Umeeeleza kwa mapana yake ipo siku utakumbukwa
@josephlorri431
@josephlorri431 Жыл бұрын
Spika: -mwalimu anavyosimamia wanafunzi _mchungaji/padre Kanisani _waziri wa katiba na sheria _chuef whip Kwa ufupi haonekani kama kiongozi wa bunge..maana anavuruga michango ya wabunge.. Bi kidude kavuruga bunge...ovyo
@emanuelandronicus2574
@emanuelandronicus2574 Жыл бұрын
Prophetess halima mdee🔥🔥🔥🔥🙏🙏🙏Mungu akulinde
@qassimislam5291
@qassimislam5291 Жыл бұрын
Naona halima kanyimwa haki yake tukutane 25
@mathewyoung2159
@mathewyoung2159 Жыл бұрын
Wabunge wa CCM waovyoo kabisa
@siasazaafrikanaburudani1712
@siasazaafrikanaburudani1712 Жыл бұрын
Nchi aipelekwi na wamama
@PROFESSOR_OF_THE_CENTURY
@PROFESSOR_OF_THE_CENTURY Жыл бұрын
Daaah ukitumia akili ktk hii speech ya mdee na tulia utagundua kuna mmoja yupo kwa ajili ya maslahi ya chama na mwingine yupo kwa maslahi ya nchi. Ni huruma sanaa😢😢😢😢One day ukweli utasimama
@aishatarimotarimo2689
@aishatarimotarimo2689 Жыл бұрын
Exactly
@feaonlinetv210
@feaonlinetv210 Жыл бұрын
Hayo matumaini ya One day ndiyo yanatumaliza,
@andrewpaul6531
@andrewpaul6531 Жыл бұрын
Inauma na kusikitisha sana kwa viongozi walopewa dhamana wanakosa uzalendo na nchi yao 😢😢
@nardhismhagama6266
@nardhismhagama6266 Жыл бұрын
Spika unalazimisha
@erickchitumbi1308
@erickchitumbi1308 Жыл бұрын
Kweli kufundisha ni wito.halima anatumia nguvu kufundisha.hajui anachofanya.
@abdulrahmanmwadini5925
@abdulrahmanmwadini5925 Жыл бұрын
True
@alexkakwaya4383
@alexkakwaya4383 Жыл бұрын
In every law there is a loophole. Halima mdee anaiona hiyo loophole lkn spika haioni au anajifanya haioni.
@ndayimanase7123
@ndayimanase7123 Жыл бұрын
Vitu viko planned kuwa ipite tu hakukuwa na majadiano yeyote ndo maana halimaanapingwa
@kefajoseph158
@kefajoseph158 Жыл бұрын
Huyo malaya tulia anataka tuuzwe
@leokamil6284
@leokamil6284 Жыл бұрын
Anajifanya haoni
@lucykinabo
@lucykinabo Жыл бұрын
Hyu spika anajifanya haelew
@lucykinabo
@lucykinabo Жыл бұрын
Hyu spika anajifanya haelew
@Malata_francis
@Malata_francis Жыл бұрын
HUYU SPEAKER, HAFAI KABISA.
@JamesTemu-u2l
@JamesTemu-u2l Жыл бұрын
Nakuapia huyu spika anacho kitenda kwa wapinzani sio Sawa ila tunamuachia mungu atasimama na ww
@hamisalmas3964
@hamisalmas3964 Жыл бұрын
Halima kichwa xn
@anncharlesombijaombija3056
@anncharlesombijaombija3056 Жыл бұрын
Kwanini Zanzibar aiuzwi anajuwa akishatuuza anarudi kwao mungu tusaidie
@bonifacelugo2941
@bonifacelugo2941 Жыл бұрын
Bunge limejaa ccm tupu hapo halima mdee unajisumbua tu.
@methuselategemeomanace5213
@methuselategemeomanace5213 Жыл бұрын
Hamuwezi kutumia siku Moja kufanya mjadala wa Jambo lililotumia siku nyingi za mchaakato huu. Mind you kwamba muangalie maamzi yaliyoyanyika siyo sahihi. Sanjali na Hilo Madam Sipika najua wewe hujakaa hicho kiti hujakaa hovyo umekaa kiutaratibu, Mdee anachoongea Ni kitu kuntu. Na na cha msingi once more nitalishuhudia as long as Mungu atatupatia uhai.
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 Жыл бұрын
Huyu Mbunge mtoa taarifa hajui kafikaje hapo alipo wala yupo hapo kwa madhumuni gani zaidi ya posho!
@richardnganya2311
@richardnganya2311 Жыл бұрын
Kafika hapo kwa tiketi ya ccm
@nicolausmundi
@nicolausmundi Жыл бұрын
Spika umepangwa cha kusema ndiyo maana unajibu hoja Za halima bila kujali zina mantic gani kwa baadaye
@MagetaNilla-sy8nz
@MagetaNilla-sy8nz Жыл бұрын
Ukinipa ccm na boflo nachaguwa boflo
@josehaulee1508
@josehaulee1508 Жыл бұрын
Ila huyu mama anajua kutengeneza hoja sanaa basiii tuu yaan
@jamhuri_imala3976
@jamhuri_imala3976 Жыл бұрын
tumshauli tu aunt yetu aweanaenda kwenye points mojakwa moja itamsaidia na kupunguza maswali ili kuokoa muda
@selemanimasatu2421
@selemanimasatu2421 Жыл бұрын
Wanamchanganya tu wakitetea miugali yao sisi wananchi tuko na Halima Mdee.
@geraldlyimo2859
@geraldlyimo2859 Жыл бұрын
Maswali anayoulizwa mdee ni ya mtego mdee yuko sahii
@salmanmagwe2612
@salmanmagwe2612 Жыл бұрын
Kuna vitu vinafanywa hovyo mno na wafanyakazi wa serikali na njia nzuri ni kubinafsisha: -Uhamiaji -Bandari -Reli,police,TRA n.k kwa manufaa ya watanzania kwani hata nabii gani aje hawa watu wataendelea kula rushwa tu na kutusumbua sisi Raia
@rugijofrey3685
@rugijofrey3685 Жыл бұрын
Yani vitu vinaandikwa kwa Kingereza yanakua kama mambo ya Fei na Yanga tusizunguke mbuyu Ili jambo kama nchi hatutaki sababu atuna tunachopoteza , ipo cku kama nchi tunakuja kuzuiliwa mlangoni kwenye Ardhi yetu wenyewe
@topaztz7601
@topaztz7601 Жыл бұрын
Spika ni hovyo sana huyu
@judithgeorge1756
@judithgeorge1756 Жыл бұрын
Nakupenda sana halima mdee
@didasmartine7665
@didasmartine7665 Жыл бұрын
Nakubali mdee
@ANJELACHALE-od3ki
@ANJELACHALE-od3ki Жыл бұрын
Pumbavu ujenzi wa hoja unahitaji utulivu na kupangilia maneno,Halima hajapewa muda wa kujenga hoja na spika ameongoza uharibifu huo. Hii kitu serikali itakuja kuomba radhi mbele huko.Bandari zote zikiwemo za maziwa zimetajwab hoja ya Halima iko wazi. Shame on you CCM na haya machukukizo ndiyo kaburi lenu la kisiasa.
@fidelisjeremias3145
@fidelisjeremias3145 Жыл бұрын
Mbona kama tuliaa anakandamiza
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
KAULI ZA KAMA KAMA HAZINA MSINGI NI UJINGA.
@comiteafrica9390
@comiteafrica9390 Жыл бұрын
Maelezo yanaonesha mabandari zetu zote zilizopo bahari ya hindi na bandari zilizopo kwenye maziwa zitaendeshwa na huyo dp world. Haya mambo yako wazi hayaitaji elimu kubwa 😂
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
NDIO VIZURI.
@rajabtwahakombo
@rajabtwahakombo Жыл бұрын
Da inasikitisha sana Yani taarifa taarifa taarifa inaonekana kama sio haki kuchambua
@goodwellmutambo7607
@goodwellmutambo7607 Жыл бұрын
HALIMA kichwa sana yaani ukitaka kujuwa kwamba CCM hamnazo eti mwana fa ni waziri
@jtheophil5499
@jtheophil5499 Жыл бұрын
Halima ni kichwa sana!Inapendeza mno.Spika wa bunge ni kichwa sana yuko makini na ni smart sana.Nimeamini wadada wembamba ni vichwa sana.
@kasangagregory5747
@kasangagregory5747 Жыл бұрын
Hapo kama mvivu kusoma na kufikiri unabaki unatoa macho.
@mimikimanga3126
@mimikimanga3126 Жыл бұрын
Sanaaaa yani
@EditaJoseph-zo9dv
@EditaJoseph-zo9dv Жыл бұрын
😂😂😂😂 kwahiyo wanene 🤪
@jumannemohamedy1456
@jumannemohamedy1456 Жыл бұрын
Tena spika ni kichwa kweli kweli wala sio masihara Tanzania 🇹🇿 tume barikiwa kuwa na wanawake vichwa sana na ndio maana wame aminiwa na wana wajibika
@ndayimanase7123
@ndayimanase7123 Жыл бұрын
Spika kapangwa hajadili anatetea mkataba, hajadili chochote but ukwel mkataba n mchongo persee
@asiamohd5516
@asiamohd5516 Жыл бұрын
Halima km halima anajitahid sana huyu mama lkn anabanwa banwa kwa sbb anaongea point
@emmanuelmwaka6070
@emmanuelmwaka6070 Жыл бұрын
Tulia ni mnafki anajifanya ajui kinachoendelea
@evansdecaprio8196
@evansdecaprio8196 Жыл бұрын
Ina maana spiker uko upande was serikali si ndio
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 Жыл бұрын
Uko.vizuri harima mdee kuna watu wako nje Wana akili ila nyie Mungu kawachagua muwe mbele
@yassinkimolo2943
@yassinkimolo2943 Жыл бұрын
Nashauri mikoa yote yenye bandari ifanya maandamano kupinga huu upuuzi
@anncharlesombijaombija3056
@anncharlesombijaombija3056 Жыл бұрын
Waarabu wanakuja kutuchinja kama kuku
@flavianmashimi6327
@flavianmashimi6327 Жыл бұрын
Nashauri Serikali ifanye due diligence kujua hizo kesi alizonazo DP World huko nje ni za kweli na je, hakuna njia nyingine ya kuongeza ufanisi?? Dhana ya PPP si mbaya lakini maslahi ya nchi yazingatiwe na si hofu ya kuona kuwa chama kitaonekana cha hovyo. Bandari ni yetu sote kwa sasa tunaweza kuonekana hatuwezi kufanya lolote kwa vile tuko nje ya Bunge naona wameishapitisha. Hiyo mikataba itakayofanywa tuione, tuione, na Bunge liwe live. Pia Wabunge waheshimiane wanatusikitisha hizo taarifa, zimekuwa nyingine ni uvurugaji. Tunajua Caucasus za vyama zimekaa na kuweka mikakati ya kulindana. Hebu kila mbunge achangie maoni yake na siyo kabla hajaanza kutoa hoja yake ya msingi ananyanyuka mtu " Taarifa" majaribu flow wananchi tunakosa ukweli
@rajabumwamuh8396
@rajabumwamuh8396 Жыл бұрын
Mshavuta hela nyie ummaty Muhammad
@alanusrespicius1796
@alanusrespicius1796 Жыл бұрын
Wewe spika unalinda ugali wako. Maana ukiwaza kilichomtokea Ndugai inabidi utetee. Na hivyo vibunge vinapiga makofi
@nissangtr4670
@nissangtr4670 Жыл бұрын
Tesemee mkuu😅😅
@kayunganandelema8688
@kayunganandelema8688 Жыл бұрын
Dada halima wanakupoteza Ili ushindwe kuongea na lengo tusijuee wananchii huko hao wabunge wa CCM kazi nikusaport kilakituu mungu tusaidiee
@raymondstewart228
@raymondstewart228 Жыл бұрын
Sina Imani na tulia akson Sina Imani Nae kabisa
@khalipharce
@khalipharce Жыл бұрын
Selkali yetu inaitaji upana wa uelewa
@HuliloDonard-gu9bp
@HuliloDonard-gu9bp Жыл бұрын
Harima mdee ww nichuma kweli hunanidhamu yauoga.
@birianination7097
@birianination7097 Жыл бұрын
Halima kafeli, anasema lazima wapewe miradi yote ya bandari, ila akiombwa aoneshe wapi kwenye mkataba hawezi, sasa kivipi
@damsonwilson5202
@damsonwilson5202 Жыл бұрын
Kweli Hii Nchi tunaburuzwa niameamini Mheshimiwa Halima kuna points za Msingi Anazizungumza Hila Wanakwepesha
@makungamapalala7982
@makungamapalala7982 Жыл бұрын
Halima umeona mbali Sana tatizo hawasemi ukweli
@saidomary3370
@saidomary3370 Жыл бұрын
Harima ANAONGEA ukwery
@jkifutu7936
@jkifutu7936 Жыл бұрын
Halima mdee nakupenda sana wngu saut yako tu mdee Halima nakupenda sana saut yako
@sixmakochogilbert3331
@sixmakochogilbert3331 Жыл бұрын
Hayo n makusud ya kumvuruga asichangie ila tumeshaelewa tumepgwa
@maikonyondo-gr7gd
@maikonyondo-gr7gd Жыл бұрын
Yulia mbona anafunika funika point za mdee za msingi na wabunge Wana pigs makofi
@sophiashomary8542
@sophiashomary8542 Жыл бұрын
hana point anaona mbele yy kama nan huu ndo unafki na uchochez😢
@leonardawamu2275
@leonardawamu2275 Жыл бұрын
Nimegundua tuna viongozi matahira especially wabunge na mama yao
@patrickKitambo
@patrickKitambo Жыл бұрын
MIMI NAJIULIZA IMEKUAJE NIKAZALIWA NCHI KAMA HII?
@zeyzey5439
@zeyzey5439 Жыл бұрын
Halima MUNGU WAMBINGIN AKULINDE
@baloziubalozini5074
@baloziubalozini5074 Жыл бұрын
Cha kufikirisha na cha kutia Mashaka ni kwa Ukubwa wa jambo hili na jinsi ambavyo lilikua linafanyika KimyaKimya mpk lilipovujishwa na kuwekwa hadharani,ingekua ni Jambo la kheiri lisingeenda kimyaKimya (nawaza kwa sauti kubwa)
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
KWA HIYO WEWE NDIO ULIE GUNDUWA??? 😂😂😂😂😂
@bettyrugemalila9185
@bettyrugemalila9185 Жыл бұрын
Safi cna Halima,hao wengine ni makofi tu
@rugijofrey3685
@rugijofrey3685 Жыл бұрын
Tunatakiwa tuwe na plan za mda mrefu tu invest kwenye ujuzi/Elemu vijana wajifunze kwa manufaa ya baadae vya bure vina gharama
@ImanMwanji-rd3lu
@ImanMwanji-rd3lu Жыл бұрын
Ubarikiwe sana harima mungu akubariki
@malakimollel6044
@malakimollel6044 Жыл бұрын
Sio harima ni halima. Asante.
@cyprianmgogo6446
@cyprianmgogo6446 Жыл бұрын
Udumu Sana Halima mdee,fikra zako ni hai kabisa,waheshimiwa wabunge be careful sana hata wewe spika huna uchungu na Taifa lako,yaonekana Sheria mlizosema hamkufanya chochote,kama alivyosema Mheshimiwa mdee,sio kwamba walio uongozini ndio wenye akili kuliko wenye nchi..mwongo huu tuna serikali na wabunge majuha watupu.wenye nchi hatukuwatuma uongozini kuuza nchi na mali zetu.Hata Mama Rais ni mjinga Sana .
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
WEWE PIGA HESABU GUNIA LA MKAA LINATOWA MAFUNGU MANGAPI HUJASOMA WEWE
@cyprianmgogo6446
@cyprianmgogo6446 Жыл бұрын
You belong to the same reptiles.
@cyprianmgogo6446
@cyprianmgogo6446 Жыл бұрын
Salim, you don't deserve to be on this forum,kalimalus,cum dadium.
@nicolausmundi
@nicolausmundi Жыл бұрын
Kiukweli Tanzania hatuna bunge lindeni hoja za watu
@lightnesssanka1928
@lightnesssanka1928 Жыл бұрын
Huyu nikichwa jamani Mimi napenda sasa
@zainabuselemani6709
@zainabuselemani6709 Жыл бұрын
@@lightnesssanka1928 na asa mdee au tulia
@mtabevilaini6527
@mtabevilaini6527 Жыл бұрын
Mdee
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 Жыл бұрын
Hivi hiyo kampuni kuna wabunge wanaipigia kampeni kwanini hamuoni kama ni wa kinyonyaji aisee ipo siku tutapigwa hata chanjo tufe wote kwasababu ya pupa ya hela pasipo salama huo mkataba nimeona ni wa kikoloni na haufai bandari za Tanzania
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
UMEUONA WAPI?? WAKATI WEWE NI MUUZA GENGE 2 ELIMU HUNA.
@dawndawn387
@dawndawn387 Жыл бұрын
Inaumiza kuona speaker wetu anakuwa namna hii ! Hili ni jambo kubwa ambalo wanainchi tulitakiwa tuelemishwe kwa muda wa kutosha .Mungu ibariki Tanzania
@lubangompyalimi8922
@lubangompyalimi8922 Жыл бұрын
Spika wakati mwingine hafai kabisa.analinda ufisadi unaotaka kufanywa bandalini.
@mustafahakim-iq7dj
@mustafahakim-iq7dj Жыл бұрын
We umesoma wapi mpaka unamuona mwanasheria anakosea au ni fikira zako tu
@MagetaNilla-sy8nz
@MagetaNilla-sy8nz Жыл бұрын
Katiba, katiba, katiba, katiba, katiba Mpya ndosuruhisho la yote haya.
@sanaanimaisha4072
@sanaanimaisha4072 Жыл бұрын
So planned, and decided before hearing. It breaks my heart
@TM.Sullusi
@TM.Sullusi Жыл бұрын
Hatari sana😥😥😥
@IddyRashidi-vf9jm
@IddyRashidi-vf9jm Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/a6mreIGBm9uZfKc😢😢😢
@Bensonfrank25
@Bensonfrank25 Жыл бұрын
🤝
@stevenibrahimu326
@stevenibrahimu326 Жыл бұрын
SPEAKER ANAKUONEA WIVU KWA NONDO ZAKO HALIMA
@agathaaroni7783
@agathaaroni7783 Жыл бұрын
Nilichogundua hawa wabunge wanatetea vitamb tu mana wanaacha kujadili vit tuelewe wanang’ang’ana tu kukubali huo mkataba😢Mungu tukumbuke.
@ezekieljacob5795
@ezekieljacob5795 Жыл бұрын
Mungu kamwe hatajiingiza kwenye mambo kama haya
@fredrickmatiku7783
@fredrickmatiku7783 Жыл бұрын
Wapi Babutale
@chantalmulasi5663
@chantalmulasi5663 Жыл бұрын
Uyo Halima mdee kweli yako na Akili nyingi sana kabisa
@neemagift4921
@neemagift4921 Жыл бұрын
Ni kweli kaona mbali
@fatmaayoub8298
@fatmaayoub8298 Жыл бұрын
Ishi sana Mheshimiwa Mdee you're a true Hero of Tanzania..your legacy will remain always 💪💪💪🙏
@ninahmbonea6248
@ninahmbonea6248 Жыл бұрын
Nimegundua katiba yetu ni mbovu sanaa...Spika ccm Spika mbunge hivi kweli ata isema serikari?
@justusjulius9279
@justusjulius9279 Жыл бұрын
Shule za kata mlitujengea ninyi vijana tumesoma na saivi tunajitambua vzr tuu japo hatujanufaika na hzo Elimu ila zinatusaidia Kwa mapana yake vijana wa kitanzania si wajinga tena.
@josephsabas7169
@josephsabas7169 Жыл бұрын
Spika hayuko serious kwa mambo serious tena ya kitaifa…. Ni spika na ndio mwanasheria mkuu wa serikali Bungeni….
@getrudewillson308
@getrudewillson308 Жыл бұрын
Japo Mimi sio msomi ,elim yangu ni 0 Kwa elim ya ki MUNGU Yani ekima ya ki MUNGU aliyo nipa , nikwamba amjashindwa kuiendesha bandali na kama ajira zinazo zungumzwa , zinaweza kutolewa ata Sasa akujashindikana ajila kutolewa? naomba bandali isibinafisishwe. Maana atakae chukua bandali ataweza kupangiwa jinsi ya kulipisha ushuru hivyo watanzania ni kama tuna uzwa niaka mia Moja sio mchezo , jamani haki ya watz ntadaiwa nikononi mwenu jamani waeshimiwa wabunge, msaidieni mama atutakiiiii ibinafisiswe.
@SurprisedCamping-ri7nc
@SurprisedCamping-ri7nc 8 ай бұрын
1
@christianmwabukusi8132
@christianmwabukusi8132 Жыл бұрын
Hatutaki mkataba huu! Ulazima unatokea kwenye Bunge Kupitisha! Bunge likipitisha inakuwa Sheria...
@azizbashir
@azizbashir Жыл бұрын
HASID WA KITANZANIA BANDARINI SASA HIVI KUNA UKIRITIMBA NA WIZI WAKUTISHA TUMEPATA WATU WAKUJA KUFANYA HIYO KAZI KWA UFASINI MAHASIDI YAKITANZANIA WAMEANZA
@pekomisegese7724
@pekomisegese7724 Жыл бұрын
Spika Wetu Tulia Akson Upo Vizuri Sana,Sana,Tena Sana. Hawa Wapotoshaji Ukiwabananisha Namna Hii Wote Watafunga Midomo Yao.
@Rechokidoty
@Rechokidoty Жыл бұрын
Watanzania hatujawaelewaaaa chochoteee wangewapa nafas watanzania waongee sidhani kama kuna wakukubali hakuna
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 Жыл бұрын
We acha tuu
@Rechokidoty
@Rechokidoty Жыл бұрын
@@ilynpayne7491 badoo Taifa
@thomaskwibonelwa9240
@thomaskwibonelwa9240 Жыл бұрын
Common practices to country's parliament with party supremacy. Hakuna kinachotakiwa kujadiliwa zaidi ya kupitishwa. Ni utamaduni wa hovyo.
@Vampiretrust.
@Vampiretrust. Жыл бұрын
Watanzania hatufwatili mambo….kwenye mkataba kuna issue zinaitwa implied terms of contract ambazo hazionekani hapo….lakn ki uhalisia zina mashiko ndo ambazo Halima anazigusia hapo
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 Жыл бұрын
Tume pigwa aisee
@latipharamadhani7576
@latipharamadhani7576 Жыл бұрын
Viongozi wa Tanzania wajue WANANCHI wamegoma kuusu UWEKEZAJI wa hao watu bandari, Alafu Tulia mpumbavu alima anaeleweka ila Tulia anaweka ugumu, mpumbavu tu ni ujinga, Tulia sio kiongozi ni upumbavu tu kwanini unapinga kifungu kinaeleza n mjinga. TULIA hivi ujui kwamba bandari ni sehemu ya TRA, kwanini turuhusu wawekezaji kwenye idara zetu za kifedha ni ujinga,
@eidallyeidally5093
@eidallyeidally5093 Жыл бұрын
Huu mjadala wangeupeleka kariakoo kama majaliwaa tunabunge letu nje
@mrsinia3064
@mrsinia3064 Жыл бұрын
🤣🤣
@engmwalukasa9764
@engmwalukasa9764 Жыл бұрын
Jambo lingine nakumbuka Spika Aliongea kuwa hatuwezi kaa kujadili kitu ambacho siyo mkataba.... Which means Imeshasainiwa... Lakini Kuna Jamaa anakuambia Not all agreements are contracts but all contracts are agreements... Bila yuko Sawa, lkn mbona kama wanakinzana wenyewe...
“Watu wanauawa, msifikirie Watanzania hawaoni”-John Heche
9:21
Incredible: Teacher builds airplane to teach kids behavior! #shorts
00:32
Fabiosa Stories
Рет қаралды 11 МЛН
Please Help This Poor Boy 🙏
00:40
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 22 МЛН
БЕЛКА СЬЕЛА КОТЕНКА?#cat
00:13
Лайки Like
Рет қаралды 2,7 МЛН
MALUMBANO MAKALI YA DK  TULIA NA MBUNGE SALOME MAKAMBA BUNGENI LEO
12:28
Lissu afunguka kuhusu madini 'Mungu anasikia.. mtaniambia'
17:29
Millard Ayo
Рет қаралды 378 М.
MZEE WASIRA AONGEA MAZITO MAANDAMANO YA CHADEMA, MBOWE ANA..
26:33
Incredible: Teacher builds airplane to teach kids behavior! #shorts
00:32
Fabiosa Stories
Рет қаралды 11 МЛН