MDUDE AMTAJA MBOWE - "AMELALA NA MKEWE, NIMETEKWA KISIASA"

  Рет қаралды 165,169

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

MDUDE AMTAJA MBOWE - "AMELALA NA MKEWE, NIMETEKWA KISIASA"
Mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Mdude Nyagali ameelezea namna alivyotekwa mpaka kuokolewa.
Akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za Makao makuu ya Chama hicho Jijini Dar es Salaam Mdume amesema kuwa utekwaji wake unahusiana na siasa na kubainisha kuwa hana mpango wa kuhama Tanzania na wala haofii kifo.
Aidha amesema anamshukuru Mungu kwa kuwa anaendelea vizuri japo bado anaendelea kupata matibabu.
Mdude alivamiwa kisha kuchukuliwa na watu wasiojulikana akiwa ofisini kwake Mbozi Mkoani Songwe Siku ya Jumamosi Tarehe 4 Mei 2019 na kupatikana usiku wa May 8 mwka huu.
#MDUDE #CHADEMA
www.youtube.co.... Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram:
globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho

Пікірлер
@petercharz8587
@petercharz8587 5 жыл бұрын
Unajua Kama Hali yoyote mbaya haijawahi kukutokea sio vema kutoa lawama kwa aliyetokewa, Walikuwepo wakina Mwigulu nchemba na Nape nnauye wanaccm og lakin Leo hii walishanyamazishwa kimya
@barakakweye9612
@barakakweye9612 5 жыл бұрын
Peter Charz huna akili hayo sio ya kusema
@barakakweye9612
@barakakweye9612 5 жыл бұрын
Peter Charz huna akili hayo sio ya kusema
@ngwandukadama4229
@ngwandukadama4229 5 жыл бұрын
Kwa hiyo
@petercharz8587
@petercharz8587 5 жыл бұрын
Siku ikikutokea au ikimtokea ndugu yako wa karibu somo litaeleweka tu
@japhetmlungu3748
@japhetmlungu3748 5 жыл бұрын
Pole mdude. Ila usikate tama mungu yupo. Waache wadhaifu wa miyo wakukebei siku moja yatawafika.
@rasmatthew6995
@rasmatthew6995 5 жыл бұрын
Don't give up kamanda mdude, keep up the fight, achana na hawa wanao comment eti bora ungeuliwa. Hamna ataeishi milele hapa duniani
@slayingtee6044
@slayingtee6044 5 жыл бұрын
Mbowe amelala na mkewe SIO mke wa Mdude..nyie waandishi wachonganishi sana
@charlesmihuwa208
@charlesmihuwa208 3 жыл бұрын
Acha kulalamika dadangu serikari ikifungia pia utalalamika..
@hadija846
@hadija846 5 жыл бұрын
Pamoja sana dear Mdude wanaosema umejiteka ngoja yawakute kwao.
@ibrahimgwasma235
@ibrahimgwasma235 5 жыл бұрын
Jamani muache kutengeneza matukio fanyeni siasa Safi,,,,,
@mbwanaomary7537
@mbwanaomary7537 5 жыл бұрын
Wanaendeleza comedy, sasa watatuambia nn? Ufisadi ndio ilikua hoja yao walivo mchukua yule waliekua wanamtuhumu hoja zikaishia hapo, sasa hivi maigizo tu
@suleimanmustapha101
@suleimanmustapha101 3 жыл бұрын
Watekaji wako wabarikiwe! Wanakuteka wanaanza kukuhubiri halafu wanakuacha salama uje kuhadithia!
@chaggaboy8413
@chaggaboy8413 5 жыл бұрын
pole sana kamanda mdude mungu yu pamoja nawe
@mtengulerashid7868
@mtengulerashid7868 5 жыл бұрын
Nimesikitishwa.sana na hao watekaji kukuacha ukiwa mzima ulitakiwa ufutwe kwenye idadi ya watu duniani
@chayogasperi9783
@chayogasperi9783 5 жыл бұрын
Mtengule Rashid Ha ha ha ha ha ama kweli CHADOMO wamechokwa , yaani watekane , warudishane alafu waje kulialia hapa .
@maikomboje8918
@maikomboje8918 4 жыл бұрын
Wewe mjiga tu wewe utaishi milele wajiga kweli ninyi
@godfreybigeyo9105
@godfreybigeyo9105 5 жыл бұрын
Jinga sana linajiongelesha upuuuzi mtupu ,fala kweli .
@chayogasperi9783
@chayogasperi9783 5 жыл бұрын
Godfrey Bigeyo Hakuna hata anaemhurumia , aache kimbelembele , mvuto wa kuongea hana .
@tausially5101
@tausially5101 3 жыл бұрын
Yaani mtahangaika sana kwetu tz neno hili tu kazi iendelee
@malkavoice2570
@malkavoice2570 5 жыл бұрын
Wachache sana waliokuwa wanamfatilia mdude b4 tofauti na sasa, je unategemea kuna usalama kweli 2020!!
@ayubusanga3796
@ayubusanga3796 5 жыл бұрын
Pole sana mungu hajalala
@ramadhanseif4564
@ramadhanseif4564 5 жыл бұрын
Aluta continua mdude usikate tamaa
@neemaisrael688
@neemaisrael688 3 жыл бұрын
Hujapigwa wewe.
@yasintasamson8198
@yasintasamson8198 5 жыл бұрын
Pole Sana kaka mdude
@tonyfredy8975
@tonyfredy8975 5 жыл бұрын
Good boy.good point.
@simonlulenga7062
@simonlulenga7062 5 жыл бұрын
Pole sana, siasa zetu zilishaga ondokaga na wenyewe. Sasa hakuna siasa tena maana ndo hivyo huku wapo wanaotumiwa na mataifa ya nchi kutuvuruga lakini pia kuna wasioweza kujenga hoja na badala yake kutisha watu. Pole sana, nadhani sometimes you have tp cool down, time will tell.
@sifamugwaneza1178
@sifamugwaneza1178 5 жыл бұрын
Pole sana KBS Mwenyezi Mungu bado anampango mkubwa na ww zidisha kumuomba Mungu maana amekutow kwenye kinywa cha Simba
@godblesskessy5516
@godblesskessy5516 3 жыл бұрын
kamanda umekomaaa kisiasa big up
@danielngowo3506
@danielngowo3506 5 жыл бұрын
poleee sana kamanda
@kadilamore802
@kadilamore802 5 жыл бұрын
yaan nimegundua kuna watu humu walitaka mdude afeee....utadhani wao wataishi milele kama milima...dunia tunapita tu na siasa siyo mpira ipo siku mtajutaaaa!!!
@bekaamezzy742
@bekaamezzy742 5 жыл бұрын
artha rose acha ukenge wewe uyo ana tumiwa na makenge wenzie afu wewe utakua una pumuliwa kenge wewe kitumwa wew
@mbwanaomary7537
@mbwanaomary7537 5 жыл бұрын
Anafaida gani sasa
@deuskusekwa4396
@deuskusekwa4396 5 жыл бұрын
Ishu kutangulia ila kufa tutakufa ni kwa zamu lakini
@bigtv3145
@bigtv3145 5 жыл бұрын
@@mbwanaomary7537 wewe mwenda wazimu
@aurelianimtundu852
@aurelianimtundu852 3 жыл бұрын
Hizo nikiki tu Mambo ya siasa nimagumu Sana kuelewa Hapa wanaoamini kuwa nikweli nibaadhi tu yananch Lakini hizo nikiki tu Ndomaana tukaambiwa siasa ni mchezo mchafu
@annapeter4994
@annapeter4994 4 жыл бұрын
Pole sana. Yeyote anayehoji utawala ulopita amepatishwa shida hii sio siri... Ila Mungu ni mkubwa kuliko tawala hizi za dunia... Waliotangulia wako wapi.. Kuna Gaddafi..etc. UDHALIMU una mwisho wake
@joycelugano3946
@joycelugano3946 5 жыл бұрын
Aisee mdude kumbe na wewe upo vizuri
@festongbazon3811
@festongbazon3811 5 жыл бұрын
Mshukulu mung
@loner_wolf
@loner_wolf 5 жыл бұрын
Kama Kuna mtu hajaelewa kama mimi alike hapa.
@paskalmasake3342
@paskalmasake3342 5 жыл бұрын
kulwa mapunda hujaelewa nini
@malkavoice2570
@malkavoice2570 5 жыл бұрын
Waenga walisema ukiona ngoma inalia sana jua inakaribia kupasuka ndomaana imefikia hatua moto umeweka kila wanapojaribu kuuzima unawaka zaidi
@isaaccharles3221
@isaaccharles3221 4 жыл бұрын
Pole sana
@jamesmasome359
@jamesmasome359 5 жыл бұрын
Upizaniii au Sanaa?, unajiteka harafu unajiokoa!! harafu unaanzabwabwaja maneno nyambafu zako. mbinu zenu tumeshazijua bana.
@pastorm.e.mwakalonge7020
@pastorm.e.mwakalonge7020 5 жыл бұрын
James Masome ukapimwe akili wewe nazani mtu anaweza kujiteka na kujiumiza ili iwejee sasa kama huna cha kucoment kaa kimywa
@abdulrahmanmwaitege4396
@abdulrahmanmwaitege4396 5 жыл бұрын
@@pastorm.e.mwakalonge7020 Ili apate kiki
@ryobawantora3840
@ryobawantora3840 5 жыл бұрын
Go big kamanda
@preciousnatashanatasha2692
@preciousnatashanatasha2692 5 жыл бұрын
May they luck peace wherever they are in Jesus name 🙏
@salomeyosia4872
@salomeyosia4872 3 жыл бұрын
Alipo zungumzia mboe amelala na mke wa Mdude sijapaskia labda maskio yanguuu tuu
@vonmajeid8443
@vonmajeid8443 5 жыл бұрын
Duuh noma kweli!!
@theophilotheodosy5565
@theophilotheodosy5565 5 жыл бұрын
Uongo mwingine sio mzuri sanaaaa
@essautukosa4538
@essautukosa4538 5 жыл бұрын
Ipo siku tu
@fikirinyanda6805
@fikirinyanda6805 5 жыл бұрын
Acha uongo wewe watekaji waanze kukupigisha story hivyo kwakua wewe ni nani wakubembeleze kiasi hiko hacha ujinga pumbaf zako kawadanganye wsjinga wenzio tena wewe ni muongo sana endelea na huo umama nikikuteka Mimi utapotea Malaya shoga wewe mamaaaeeeeee
@rajabukiteu7089
@rajabukiteu7089 5 жыл бұрын
Uache ujinga wewe hukutekwa ulitengeneza filam feki
@martinakyoo148
@martinakyoo148 5 жыл бұрын
Nilikuwa sikufahamu,sijawahi kukusikiliza lkn kwa sasa nimekufatilia na nimekuelewa. Wasamehe watesaji wako ili Mungu apate kibali cha kuwashuhulikia watesaji wako na anayewatuma. Naamini kwa mwelewa wa siasa ,ulivyo twets sijaona tatizo wala uchochezi bali nimeona majivu yaliyo ya kisomi na uerevu mkubwa. Ila Baadhi ya Watanzania linavyokuja swala la kukosolewa ktk pumba zao husononeka na mioyo kuinama sana.Hutaka kusifiwa hata pasipo na haki kana kwamba wao ni malaika au Mungu na hivyo wao hawakosei ktk kuzungumza au kutenda kwao. Mungu aliyekurejesha ktk uhai na kuwaabisha waliodhani wamesha kuua analo KUSUDI na wewe na atalikamilisha kupitia wewe na sii mtu mwingine. Go ahead my young brother
@gibibamorigo7722
@gibibamorigo7722 5 жыл бұрын
Wangekufila tu mbuzi we,mtekwaji gn awe confident kias hicho kwenye press.Unamaanisha roho yako umeiweka rehani kiasi hicho...?Mnajua wenyewe mnachokifanya.
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 3 жыл бұрын
Jamaa kwa mbali namuona Julius Malema wa chama cha upinzani South Africa..
@erastodyamaza4257
@erastodyamaza4257 5 жыл бұрын
Mdude nilikusikiliza vizuri sana ulipohojiwa kwa Mara ya kwanza, uliongea ukweli wako huku ukisisitiza kwamba watekaji walikuwa hawaongei chochote zaidi ya kusema mpige na chupa, mvue viatu,muweke kwenye buti n.k na mwisho ulisema ukapoteza ufahamu hadi ulipozinduka ukiwa porini, Swali no: 1 Je, ulipopona umekumbuka mengi zaidi? Swali no: 2 Je, uikula nini siku zote hizo na fahamu ulipata siku ya ngapi? Swali no: 3 Je, kama hukuwa na msaada wowote uliwezaje kufika barabarani Mazingira hayaniruhusu kukuamini kabisa dogo jipange upya
@christianbarack7768
@christianbarack7768 5 жыл бұрын
bro same thing niltaka kuongea kumbe ww mfuatliaj mzur wanasema ukijifunza uongo jitahd kukumbuka
@erastodyamaza4257
@erastodyamaza4257 5 жыл бұрын
Unajua watanzania sisi ni wavivu wa kufuatilia mambo ndiyo maana mtu anatudanganya asubuhi na jioni huyu nilimsikiliza sana hadi alisema anahisi ni ishu za kisiasa coz anaiponda serikali, lkn leo si kuhisi tena maana anasema walimwambia mwite lisu,mbowe,marekani na huko nje waje wakusaidie hapo utaona alivyounganisha MATUKIO zaidi ya manne kwa wakati Mmoja noooo ni muongo asirudie
@christianbarack7768
@christianbarack7768 5 жыл бұрын
najiuliza mtu akizimia siku hizi anasikia kinachoendlea kwel
@MwarabuTz
@MwarabuTz 5 жыл бұрын
Wanatengeneza movie 😂😂
@GodfreyMwamaso
@GodfreyMwamaso 26 күн бұрын
Mwache atupe habari siku wewe ukitekwa utakuja kutusimulia story yako okey kada wa CCM
@SelfBakar-j5m
@SelfBakar-j5m Жыл бұрын
Na mpwapwa
@peternyange1894
@peternyange1894 5 жыл бұрын
well spoken....
@olivafready4554
@olivafready4554 5 жыл бұрын
Pole sana Mungu mwema
@zagaronondo8130
@zagaronondo8130 5 жыл бұрын
haingii akilini wakuteke alafu wakwambie sababu za kukuteka alafu wakuachie iyo ndo siasa ya bongo ngoja tuone sizoni mpya hii
@mbogoisack9762
@mbogoisack9762 5 жыл бұрын
Ndiyo kawaida ya bongo muvi
@prosistatarimo6964
@prosistatarimo6964 3 жыл бұрын
Alitekwa na haohao wa chama chake. Aache usanii hapa
@bahatihamis3816
@bahatihamis3816 5 жыл бұрын
Poresana kaka
@fortidaskashaigili7496
@fortidaskashaigili7496 4 жыл бұрын
Duh,Hawa watekaji hawajui kuteka kabisa,mtu unatekwa alf unakuja kujieleza ,hizi movie,
@nicethamanonga5855
@nicethamanonga5855 4 жыл бұрын
Uwongo mwingine at a mungu anashindwa kuwatizama
@an57
@an57 5 жыл бұрын
Maendeleo sio barabara, hospital wala ndege. Unafaa kuwa Rais Mdude. Pambana ndugu kuwajaza watanzania ujinga
@zagaronondo8130
@zagaronondo8130 5 жыл бұрын
.gombea urais unafaa sana mdude
@irenemushi2885
@irenemushi2885 5 жыл бұрын
Kila mtu ana ndoto
@mbwanaomary7537
@mbwanaomary7537 5 жыл бұрын
Kweli vipofu wanongozana njia mdude Raisi?
@kiliantarimo8785
@kiliantarimo8785 5 жыл бұрын
Hahahahahaaaaaa maendeleo sio barabara hahahaaaa haya bhana ucku mwema
@mbwanaomary7537
@mbwanaomary7537 5 жыл бұрын
@@kiliantarimo8785 kweli kwenye mitandao kuna vichaa wengi sana, wanajua maendeleo ni bar kua nyingi
@sheluizonola6890
@sheluizonola6890 5 жыл бұрын
Kaa tulia na family yako tengeneza maisha yako usaidie jamii yako achana na mdomo kuikosoa serikali iliyo tukuka kwa nguvu ya mwenyezi mungu wewe huoni maendeleo ya nchi kwa sasa au ndo ule msemo wa Bangi haijawahi mwacha mtu salama?
@chayogasperi9783
@chayogasperi9783 5 жыл бұрын
Shelui Zonola Mama yangu alinikuwa ananiusia epuka kimbelembele mwanangu , mahala popote pale jitokeze kwa kiasi .usijifanye wewe ndie muongeaji kuliko wote , utapotea .
@geraldmbhosy7046
@geraldmbhosy7046 5 жыл бұрын
Hayo maneno sio kweli ulisema ulizimia hayo maneno uliyatoa wapi
@soudybrown1494
@soudybrown1494 5 жыл бұрын
Alizmia cku tatu
@nyulahemacharanga2365
@nyulahemacharanga2365 5 жыл бұрын
Gerald Mbhosy acha ushabiki mtu huyu Kaumizwa
@soudybrown1494
@soudybrown1494 5 жыл бұрын
@@nyulahemacharanga2365 ushabik wap nenda kaangalie ile interwiew yke alivyokuwa hospital anaelezea mara ya kwnza alaf uje kuckiliza na hii ndo utajua anatuona wte nyumbu
@muhammadsalim7936
@muhammadsalim7936 5 жыл бұрын
Muongo hiyu jamaa ana act tu
@geraldmbhosy7046
@geraldmbhosy7046 5 жыл бұрын
Hata kama kaumizwa maneno aliyosrma mwanzoni nitofauti na waandishi habari Bro fatilia
@charlesmasunga8518
@charlesmasunga8518 5 жыл бұрын
Pole sana kwa kuwa na akili fupi . jamaa etu ..!!!
@furahinimtunguja2668
@furahinimtunguja2668 5 жыл бұрын
Bado kijana mdgo sana Achana nahaya mambo kijana
@lucassalvatory7251
@lucassalvatory7251 5 жыл бұрын
Haukunyoroshwa vizur ww
@kushahalabani7878
@kushahalabani7878 5 жыл бұрын
Mdude uko sawa kabisa ila kunawatu hum wanatukana tu watanzania niwepesi sana wakusahau walikotoka
@topheadings4436
@topheadings4436 5 жыл бұрын
JAMANI HUO NI UONGO WOTE ACHA SERIKALI IFANYE KAZI TUMECHOKA HIZO SABABU ZENU KILA SIKU.
@emanuelmlowe6854
@emanuelmlowe6854 3 жыл бұрын
Unaonekana kabisa wala hukutekwa ila umejitengenezea kuzingizia serikal tu hakuna lolote
@livinglawrencematilya1371
@livinglawrencematilya1371 5 жыл бұрын
uko sawa Na Nina lako
@calvinpaul2686
@calvinpaul2686 5 жыл бұрын
Pat 2 chapt inayo fuata maaana najionea tabu na move hixi
@idrisaallysalum9447
@idrisaallysalum9447 5 жыл бұрын
Mtu "aliyezimia muda wote" anahadithia "aliyoyasikia"!!!!!...
@ancomagu3155
@ancomagu3155 5 жыл бұрын
Si ndio nashindwa kushanga eti
@revocatussanka7757
@revocatussanka7757 5 жыл бұрын
Heading ya habari inayosimuliwa na Ndg.Mdude inapotosha na kinachoelezwa.Inasikitisha sana Global TV mnafanya hivyo kwa makusudi au huo ndiyo weledi wenyewe !!!! "Pole sana ndg.Mdude".
@rkhamis1771
@rkhamis1771 5 жыл бұрын
Yan kweli wew ni mdude.👺👺👺👺👺
@hilaliusjohn8386
@hilaliusjohn8386 5 жыл бұрын
Acheni kujiteka!!
@mussayusuph7717
@mussayusuph7717 5 жыл бұрын
Jiteke na wewe utoke mitandaoni tukusikie navwewe
@amanduszacharia76
@amanduszacharia76 5 жыл бұрын
Ubwege
@apoloapolo2352
@apoloapolo2352 5 жыл бұрын
F u
@makarangaj6844
@makarangaj6844 5 жыл бұрын
Nawashukur sana Watanzania naona baadh wameanza kuzielew hiz move. Yan kw mtu mwenye akili nzuri lazim aelewe mwanzo wa move na tukio linalofuata hata kabla hajalion. Nimeshangaa sana huyu jamaa kuona kam kuwa na barabara, ndege, hospitali, meli, reli, maji, umeme, viwanda sio maendeleo!!! Polen sana kw wenye mawazo kam haya. Lakn niwashauri wanasias mnaoongoz viama vya siasa kuwatumia wajinga kam hawa kutafuta recognition au umaarufu manapotez sifa kabs yan mnapotea. Pasipo ushabik kw watu wasiobadilika, kw wenye uelewa na wanaoona mbal kifikra mngekuw hamna wafuasi kabsa!!! Watanzania tuamken tuyaone yaliopo na yajayo, acheni kushabikia hizi move.
@shahamemalenga4838
@shahamemalenga4838 5 жыл бұрын
Naanza kumuelewa Musiba
@wilfredmfuru1677
@wilfredmfuru1677 5 жыл бұрын
bado wengi wetu hatuna elimu bali ushabiki tuu hasa nini maana ya maendeleo, mi naona tubakikwenye simba na yanga maana daah .
@neemaisrael688
@neemaisrael688 3 жыл бұрын
Yanga oyeeeee.
@jacksonmodaha1590
@jacksonmodaha1590 5 жыл бұрын
Mm i am afraid of my Country why why ????? No Freedom Like this 😂😂😂
@salymkitumbika8644
@salymkitumbika8644 5 жыл бұрын
Siungi mkono kupoteza upinzani ila kwa wapinzani baadhi wa tz ni miyeyusho kama mdude hunalogoc yakufananisha uyole na kongea geographicaly kongwa ipo km nyingi kutoka Mbeya town fananisha uyole na kisasa, au nkuhungu ama mailimbili na mkonze hunalugha wala hoja zamsingi zaid ya mituctuuuu achaupigwe2 hakunanamnaa
@asheryngwembele8798
@asheryngwembele8798 5 жыл бұрын
Una ufinyu wa mawazo ww
@salymkitumbika8644
@salymkitumbika8644 5 жыл бұрын
@@asheryngwembele8798 jadili hoja in detail usiwe punguani
@chescomwakipese3422
@chescomwakipese3422 5 жыл бұрын
Malekan ip inayo mfaam bi kidude au mdude
@chayogasperi9783
@chayogasperi9783 5 жыл бұрын
Chesco Mwakipese kwi kwi kwi kwaaa kwaaaa kwiii , Bi kidude haswaaaa .
@katarinawilliam9960
@katarinawilliam9960 5 жыл бұрын
Dah.Mbona KAMA MUsiba huyo.Nshamjua.Nawaweka mikononi mwa Yesu na Mama Maria.Pole.Kwa Mungu kila jambo lina mwisho.
@MWAMALUMBILI
@MWAMALUMBILI 5 жыл бұрын
Katarina Acha kuingiza nchi ktk vita baridi. Kama unamjua mhalifu kwanini usimshitaki kwa ushahidi? Watanzania tunaipeleka nchi siko.
@ZachaBill
@ZachaBill 5 жыл бұрын
Hili jamaa jinga sana, yaani haya ni maigizo na anatumia nguvu sana kujionesha ni siasa, kumbe ni sanaa tupu wamejiteka wenyewe wapate kick. Mpuuzi sana. Atakae nitukana yeye pia namtukana hivo hivo inadvance.
@geradelias8215
@geradelias8215 5 жыл бұрын
jieshim kijana mdomo nimali yako lakin unaweza ukakuponza ukapoteza maisha yako chunga sana mdomo wako , au hauna familia?
@wiseriziki2433
@wiseriziki2433 5 жыл бұрын
serikali ya awamu ya 5 ni aibu kubwa. Kwanza kutojiamini kwao wanapo kosolewa ni ishara ya wazi kuwa hii serikali ni dhaifu na ni OVU sana. Nadhani ndio maana hakuna jambo hata moja wanalo fanya lika kamilika maana Mungu hayuko upande WAO.
@saimonjulius1319
@saimonjulius1319 5 жыл бұрын
wise riziki bangi hizo umetembea wapi umeona miradi haiishi ongea mengine
@omegantambi5628
@omegantambi5628 5 жыл бұрын
Yaani inaonesha ni kwa jinsi gan huna hoja za msingi zaidi tu kuogea ongea tu maana hata unaowatumikia hawakupi hoja zenye maana wee kapambane na maisha yako siasa siyo type yako
@jamesassanga9220
@jamesassanga9220 5 жыл бұрын
Utoke damu maeneo hayo harafu upone kirahisi hivyo? Mshukuru Sana mungu wako
@chayogasperi9783
@chayogasperi9783 5 жыл бұрын
james assanga Muongo huyu , siku hizi wanatekana alafu wanarudishana , ndio kiki iliyobaki .
@agathathobias8690
@agathathobias8690 5 жыл бұрын
@@chayogasperi9783 kwel kabisa hata mi naona kwann? iwe kwao tu
@joshuakwelimoto6494
@joshuakwelimoto6494 5 жыл бұрын
Tz ya wanyonge
@josephlymo7177
@josephlymo7177 3 жыл бұрын
Mnakera
@traveledwardtanzaniasafari8012
@traveledwardtanzaniasafari8012 5 жыл бұрын
Lazima tukomeshe uonevu huu
@gracemima5234
@gracemima5234 5 жыл бұрын
Tanzania safari Una ushahidi gani kama anasema kweli? Katekwa na nani? Ili iweje? Huyu anaonekana kafanya uhuni wa kujiteka mwenyewe ili iwe news.. jam ani acheni kumupotezea wakati Rais na viongozi wenzie. Wacheni hawafanyi kazi Watanzania mumetuchokesha na nyimbo za kutekw
@ernestlaiza9489
@ernestlaiza9489 5 жыл бұрын
@@gracemima5234 unaonekana huna akili kama hata MTU in mwenda wanzimu atajigonga hadi kichwa had I kivimbe acha ushabiki ya kisiasa jinga sana ww
@agathamathias7195
@agathamathias7195 3 жыл бұрын
Unaubavu?
@an57
@an57 5 жыл бұрын
Inabidi sasa tusiwe na viongoz kila MTU ajitawale, kwa sababu tuko huru. Kama ni pumba mzee mdude unatulisha.
@emanuelmwanga4
@emanuelmwanga4 4 жыл бұрын
Saw a kabisa mwezi huu naenda kujiapisha
@adamliyoka7345
@adamliyoka7345 5 жыл бұрын
Kweli siasa bongo bado Sana Njoo naoja uzuli watu watakufata siyo kejeli matusi maneno ya ovyo ndo nini ushujaa au nini
@mbwanaomary7537
@mbwanaomary7537 5 жыл бұрын
Huyu jamaa kichaa tu acha apigwe tu, mara nilizimia halafu waliniambia Mbowe amelala na mke wangu uliwasikiaje sasa
@justinmkwanda4143
@justinmkwanda4143 5 жыл бұрын
mbwana omary kwa kushabikia ujinga kiasi hiki kama yeye kichaa ww zezeta jumla
@husseinsalimmaula4254
@husseinsalimmaula4254 5 жыл бұрын
Hapo umeonge point mdude nyagali kwani watu wa uyole hawalipi kodi na kama wanalipa zinaenda wapi zisirudi katika miradi ya maendeleo .
@fabiankasu8138
@fabiankasu8138 5 жыл бұрын
dah!inaonekana jamaa alipata mpapaso wa maana sana
@praisesamson8298
@praisesamson8298 5 жыл бұрын
Hawaji elewa wala kujitambua wabongo kwani maendeleo bila amani work done is equal to zero.Kisa kumchagua Sugu ndyo maendeleo hayapatikani mh!Alipitiwa yeye angesema Wanambeya tumechelewesha maendeleo sasa ni wakati wenu yaani ilikuwa kama napiga kikampeni fulani vile et!!?
@josephmakutano7067
@josephmakutano7067 3 жыл бұрын
Kwannimnashindwa kwelewa maana ya utawala wakisiasa nanyakati tulizonazo yaani mnashangaza kweli nachuki zabure ,tuko kwenye karne ya biashara namawasiliano lakinisio ujinga huu!!!
@Majengojr
@Majengojr 5 жыл бұрын
Waandishi mna mambo ya kitoto
@Abalsashaame088
@Abalsashaame088 5 жыл бұрын
Wangekushona mdomo ungekoma fala wew
@jamalyhamady1641
@jamalyhamady1641 5 жыл бұрын
Dahaaaaaaaa... Iv ni muislam kwel wewe...???
@jamalyhamady1641
@jamalyhamady1641 5 жыл бұрын
Mwez mtukufu bado tu unatukana tena dahaaaaaaaaa.. OK alllah akusamehe...
@jumasalumu3504
@jumasalumu3504 5 жыл бұрын
Mdude unatumiwa na mana zako mambo mnatengeneza wenyewe matako wee
@pericykiko6198
@pericykiko6198 3 жыл бұрын
Samehe usamehewe maisha mafupi
@johnmalambo6347
@johnmalambo6347 3 жыл бұрын
Acha jinga kalale unajua maana yakutekwa
@abuyabally5086
@abuyabally5086 5 жыл бұрын
kwani mwalimu nyerere na wazee wa daresalama walitaka uhuru ili mumtukane raisi mnakosea sana raisi wa inchi kumtukana hadharani nikosa. kwanini hizo jitihada msizipeleke kwenye maendeleo ya nchi badala ya kilakitu kukosoa na kutukana
@kingmburusijr6958
@kingmburusijr6958 5 жыл бұрын
Mahakama inakazi gn
@kibilawazebanga7455
@kibilawazebanga7455 5 жыл бұрын
Naona wewe hukuwa umetekwa, wewe ulikuwa umekiteka. Aliyetekwa kwelikweli hawezi kuropokaropoka hivyo
@graceshayo5763
@graceshayo5763 5 жыл бұрын
Acha kusema hivo ndugu mwache aseme ili ata akifa tujue nin kimemuua sema baba ukifa nao watakufa 2
@japhetbaraka587
@japhetbaraka587 5 жыл бұрын
true
@philemonmututu9886
@philemonmututu9886 5 жыл бұрын
Seema brother tuko nyuma yenu,msiogope ni aheri kufa kuliko kuvumia unyanyasaji na ukabika
@selemanimwendilemo9335
@selemanimwendilemo9335 5 жыл бұрын
Shauli yako familia inakutegemea..
@happinessmrema7719
@happinessmrema7719 3 жыл бұрын
Hayakuhusu
@joshuanyonyi8820
@joshuanyonyi8820 5 жыл бұрын
Tena hawajui kupiga mbona,, Ni bora wangekuvunja kiuno,,we kenge
@wiza2309
@wiza2309 5 жыл бұрын
Una jina zuri la Kinabii, litendee haki. Huyu ni mwanadamu kama wewe.
@tanzaniagospel
@tanzaniagospel 5 жыл бұрын
Joshua Nyonyi una matatizo ya akili unahitaji tiba
@davidulenje1264
@davidulenje1264 5 жыл бұрын
acheni kumtisha hawa wanatafuta maslahi yao ya pamoja hawayataki kwanza wamemuhurumia sana akawaulize akina Roma mpaka leo hawafunui vinywa hata ningekua mm unafanya maendeleo mwingine anakashifu inaumiza sana
@asheryngwembele8798
@asheryngwembele8798 5 жыл бұрын
Yeye huyu ndio jinga coz ni kipofu haoni na elim haijamkomboa
@asheryngwembele8798
@asheryngwembele8798 5 жыл бұрын
@@davidulenje1264 n kwa sababu ya uoga coz Roma n kama ww tu
@ombennassary7438
@ombennassary7438 5 жыл бұрын
Mdude siasa za Chadema ni za ovyo hizo ni kiki unachoongea ni uongo mtupu mnajiteka wenyewe 2020 mwishoo pole sana tunazielewa sana hizo swaga
@ayubusanga3796
@ayubusanga3796 5 жыл бұрын
No u turn kamanda, Tanzania yetu sote
@kaminyogemwachelwa9884
@kaminyogemwachelwa9884 5 жыл бұрын
MDUDE MUNGU.YUPO NA UMEDHIHIRISHA.MWENYEWE
@justinmkwanda4143
@justinmkwanda4143 5 жыл бұрын
Naopongeza na kusifia serikali hii wanalaana kubwa Nchi imejaa hofu wananchi hatuna amani viongozi wanaishia kujisifia tu awamu ya tano imeshindwa jumla
@frankassey5971
@frankassey5971 5 жыл бұрын
Haya matahira yenye utindio wa ubongo mnayapa airtime ya nini
@jamesminja3273
@jamesminja3273 5 жыл бұрын
hujitambuiiiiii
@frankassey5971
@frankassey5971 5 жыл бұрын
@@jamesminja3273 we zaidi
@godfreybigeyo9105
@godfreybigeyo9105 5 жыл бұрын
Eti nyerere aliomba Uhuru ,umesoma wapi wewe!kiki za kifara
@leonardbugomba8548
@leonardbugomba8548 5 жыл бұрын
Godfrey Bigeyo We tuambie aliomba nini
@josephmgaya2637
@josephmgaya2637 5 жыл бұрын
Kwaiyo aliomba ugari
@johannesmaloda8209
@johannesmaloda8209 5 жыл бұрын
anauwezo mdogo sana juu ya masuala ya kisiasa awaachie kina Lisu,zito na kina Lema.
@rg_digitalnewzonline5770
@rg_digitalnewzonline5770 5 жыл бұрын
mnatekan wenyew afu mnasem ety mmetekwa!
@emanuelmwebela912
@emanuelmwebela912 3 жыл бұрын
Kenge wewe
MDUDE Alivyomwaga 'MACHOZI' Hadharani  "NINA KOSA GANI"
9:54
Global TV Online
Рет қаралды 102 М.
버블티로 부자 구별하는법4
00:11
진영민yeongmin
Рет қаралды 17 МЛН
1 сквиш тебе или 2 другому? 😌 #шортс #виола
00:36
didn't manage to catch the ball #tiktok
00:19
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 31 МЛН
Это было очень близко...
00:10
Аришнев
Рет қаралды 1,6 МЛН
🔴LIVE: MBOWE,LEMA   wachafua hali ya hewa MKOANI KWA MAKONDA
57:50
MwanaHALISI TV
Рет қаралды 12 М.
MDUDE AKIELEZA YALIYO MSIBU AKIWA MIKONONI MWA POLISI
52:26
Mwanzo TV Plus
Рет қаралды 40 М.
Hyponatremia
3:09:54
Ninja Nerd
Рет қаралды 865 М.
RASMI, TANZANIA IMEREJEA GIZANI KITAIFA NA KIMATAIFA
27:22
SK Media Online TV
Рет қаралды 64 М.
MZEE WASIRA AKIZUNGUMZIA MAANDAMANO YA CHADEMA
26:33
TBConline
Рет қаралды 29 М.
버블티로 부자 구별하는법4
00:11
진영민yeongmin
Рет қаралды 17 МЛН