No video

MFUMO HUU WA MAOMBI UMELETA MIUJIZA KWA WENGI

  Рет қаралды 61,846

MAHUBIRI TV

MAHUBIRI TV

Күн бұрын

USIACHE KU COMMENT PALE AMBAPO UMEBARIKIWA AU KUTENDEWA MUUJIZA NA MUNGU

Пікірлер: 282
@hbdina
@hbdina Жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿Asante sana Mchungaji wetu. Mimi nimejibiwa kwenye Uchumi kwa njia hii ya maombi. Asante sana Baba Mungu Jehovah kwa jina la Yesu Kristu Amen 🙏🙏🙏❤️❤️❤️🔥🔥🔥
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga Жыл бұрын
Ameeen
@nikwaneema2488
@nikwaneema2488 Жыл бұрын
Pastor ubarikiwe Sana maana mwaka Jana nilisikiliza hubiri linalofanana na hili ,ulisema ukiomba kitu kwa Mungu amini kwamba umepokea baada ya hapo kazi yako Ni kushukuru ,rudia Tena na Tena kushukuru nayo yatakuwa yako ,nami nilifanya ivyo mama yangu aliumwa Sana Zaid ya miez minne hawez kushuka kitandan na kula alishindwa kabisa Hali yake ilikuwa mbaya mno hospitaln hawakupata ugonjwa wowote ,lkn baada ya kutumia Ile formular niliona muujiza wa ajabu mno mama yangu AMEPONA kabisa .nilichokifanya nilidownload app ya reminder nikaset Hilo ombi langu kwa kushukuru kila siku alarm ikilia namshukuru Mungu ..kweli Mungu anatenda
@kapolichosangate3301
@kapolichosangate3301 Жыл бұрын
Amina pastor kwa somo zuri nabarikiwa saaaana. !!!
@fridafrancis1960
@fridafrancis1960 Жыл бұрын
Ushuhuda mzuri
@davidmisiwa4622
@davidmisiwa4622 Жыл бұрын
Hakika MUNGU ni mwema
@yohanashingashinga3974
@yohanashingashinga3974 Жыл бұрын
Pastor Mmbaga Ubarikiwe sana rafiki,somo hili limenifungua ufahamu wa jinsi ya kuomba vyema.
@benadetharuna3667
@benadetharuna3667 Жыл бұрын
Nami nafuraia haya nabarikiw xan tu
@felistersanga1217
@felistersanga1217 Жыл бұрын
Amen Amen Amen. Asante Bwana Yesu kwa kuwa nimekuomba umenisikia niliyoomba muda huu kupitia neno hili na umeshanijibu sawasawa na mapenzi yako Amina. Asante Mungu.
@puritymuriungi875
@puritymuriungi875 Жыл бұрын
Wakati mwingine nasikia kushout nikishukuru huyu Mungu wangu. Amenitendea!! Alivonielekeza kukupata, mpaka Sasa imebaki mystery kwangu. Mwaka wa 2021 nlikuwa na ndoto ya kurudi shule kufanya masters ila sikuwa na hela, ila nikasikia msukumo wa kurudi shule, nikaomba na nikaamini, nikaingia kwenye shukrani, ila kwenye shukrani nikabeba sadaka ya kushukuru. Mungu mwema, mwaka Jana nikaingia shule, na Sasa niko mwaka wa pili nikifanya thesis na naamini nimefaulu kabisa. Mungu mwenyewe amefanikisha, kupata hela imekuwa muujiza mkubwa siwezi simulia. Ahimidiwe Mungu. Asante Sana Mchungaji. Mungu akuhifadhi ukazidi kuwa mibaraka kwa wengi. Huyu Mungu ni mtamu, onjeni Muone.
@mussaamani4468
@mussaamani4468 Жыл бұрын
Huyu paster mmbaga niwakumuombeaa wakumfunika kwa dam ya yesu krt ananiombea najibiawa amebadilisha mambo mengi sana ya kiroho namimi namuombea damu ya yesu krt ikufunikee 👏
@mourineosunga1861
@mourineosunga1861 Жыл бұрын
Mungu akubariki MChungaji
@jafarjanuar8416
@jafarjanuar8416 Жыл бұрын
Balikiwa sana himbinu nimeielewasana nilikua naifanya bila kujua sasa umenifungua niliisikia kwa wana wa giza wakiifanya na wakifanikiwa nikasema namimi nitaitumia kwa jilala YESU ikafanya kazi. wao wanaita manifest wanaanza kushukulu kitu wanacho kitaka na kinatokea.Asante MUNGU maana umenipa nguvu ya kuendelea Asante Pst .
@allround8056
@allround8056 11 ай бұрын
My child was opening school today. Its end month. I had no idea where to get fees. I thanked God for school fees he has provided. I listed the things that i was worried about and school fees was among them. This was during lunch hour when i was listening to this sermon. I usually know Philippians 4:6-7 as a memory verse. I recited it in front of my son and at the end said Amen! He responded back Amen. I just felt at peace and not worried about it anymore. 2 hours later, God provided his school fees and bus fare! Our Father answers prayers and has a thousand ways to provide for us which we know nothing! We need to trust Him as a child. Am grateful! Pr. Mmbaga Mungu akubariki zaidi na zaidi!
@tabbymoraa8455
@tabbymoraa8455 Жыл бұрын
Most of the people think I got a kid by accident but they don't know how much I cried in my room to God to give me one ,I thank God for everything He has done to me 💞 He is all I got that makes me move am blessed and be blessed for the word.Amen
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga Жыл бұрын
Blessings to you
@dicksonkusola5245
@dicksonkusola5245 8 ай бұрын
Nimebalikiwa sana nimemhona mungu akitenda jambo zuri kwa ndoa yangu mungu azidi kukubaliki mtumishi watu wa mungu wazidi kuona ushidi kwenye maisha yao
@frankkalamji2745
@frankkalamji2745 Жыл бұрын
Glory to God, nimekuelewa Mungu Akubariki
@lilianlima8609
@lilianlima8609 Жыл бұрын
Ahimidiwe Mungu wetu aletaye haya mafunuo, ubarikiwe sana Pastor, hakika tumekombolewa🙏🙏🙏
@HopeforAfricaTv
@HopeforAfricaTv Жыл бұрын
Amen
@bernardomondi2632
@bernardomondi2632 Жыл бұрын
Hallelujah Ameen Mtumishi na Asante kwa Neno Nzuri linatiya moyo sana kwa Mungu yote yanawezekana
@MaryKerubo-xt1ci
@MaryKerubo-xt1ci 8 ай бұрын
Ameeen pastor na mungu akupali na wewe
@successpath7079
@successpath7079 Жыл бұрын
Ubarikiwe mchungaji, niliwahi kuomba kwa kushukuru kupitia hubiri lako na mungu akanipatia kazi🙏..nilishukuru kupata kazi bila kujua inatoka wapi, na siku hiyo nikapigiwa simu ya interview..mungu aendelee kuku bariki pastor
@gabbyedward4079
@gabbyedward4079 7 ай бұрын
Mungu akubariki sana Pastor Mmbaga. Mungu azidi kukufunulia mengi mafundisho mazuri ya kututoa gizani. Hakika mafundisho ninayoyapata kutoka kwako yamekua sehemu kubwa ya maisha yangu kuendelea kuiona Nuru kila kukicha. Mungu akubariki na kukuongezea Maarifa mengi
@dyagombwajustinantimba4257
@dyagombwajustinantimba4257 Жыл бұрын
Barikiwa Mchungaji kwa be la uzima, umenipa nondo hasa Sasa nitakuwa muombaji mzuri. Fika mbali Mchungaji, for sure unatubariki
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga Жыл бұрын
Amen
@lorainnelarryson3626
@lorainnelarryson3626 Жыл бұрын
Nashukuru sana kwa somo hili Pastor. Nimeinuka tena jina la Bwana lihimidiwe 🙏
@espinosapaemn4765
@espinosapaemn4765 Жыл бұрын
amina
@julietnelima3253
@julietnelima3253 Жыл бұрын
Asante sana pastor,umenifunza mambo ambayo sikuwa nayaelewa. Ubarikiwe sana 🙏 na MUNGU atuongoze
@annekogo5406
@annekogo5406 Жыл бұрын
God bless you Pastor, my prayers was answered just two hours after you prayed.
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga Жыл бұрын
Wow! Amen
@petertemu308
@petertemu308 Жыл бұрын
Mungu asante kwa maombi haya baba. Ninaomba ukanifungulie. Amen
@emilymasidza2537
@emilymasidza2537 Жыл бұрын
Amen Asanti kwa mafundisho mazuri be blessed pastor nimebarikiwa sana, Mungu aendelee kukuinua.
@perisbosibori8524
@perisbosibori8524 Жыл бұрын
Your teachings are ever a blessing to me.Today's teaching has built my faith so much. GOD bless you abundantly Pastor Mmbaga for the work well done, 🙏!
@Neemakilimba
@Neemakilimba Жыл бұрын
Ameen Sana huwa nakuekewa mno japo Ni Kkkt Ipo siku Kristo Atanisogeza
@vicknessngenzi6146
@vicknessngenzi6146 Жыл бұрын
Karibu sana mtumishi wa Mungu tunawapenda sanaa
@nicholauspaul2589
@nicholauspaul2589 Жыл бұрын
Namshukuru sana Mungu kwa ajili ya Neno hili, Mungu na azidi kukubariki sana Pastor kwa kumsikiliza Roho wake ili unene nasi haya uliyoyanena
@kananisarafe8582
@kananisarafe8582 Жыл бұрын
Asante sana Mchungaji mimi niliomba Nakajima ijapo niko mkosefu kwake. Ulio yahubiri ni kweli. Tuombe na Imani tutapea.
@EvalineMgendi-nx5vz
@EvalineMgendi-nx5vz Жыл бұрын
Asante sana Pr. Kwa ujumbe mzuri . Nimesikiliza leo hili hubiri naanza sasa kulifanyia kazi na ninaamin Mungu atatenda
@marymwinga985
@marymwinga985 Жыл бұрын
Hatimaye nimepata njia na majibu. Mungu akubariki mchungaji.
@lucyhangaya4517
@lucyhangaya4517 Жыл бұрын
Ameen Hakika nitashinda Majaribu japo vita ni kubwa MUNGU ni mwaminifu sana ataniokoa katika midomo ya waovu juu yangu Yesu ni Mwamba nitashinda 🙏ubarikiwe Mtumishi kwa somo zuri
@dottomvunyenge2988
@dottomvunyenge2988 Жыл бұрын
Barikiwa Pastor Mmbaga! Wewe, uliumbwa kufanya makubwa huenda mrithi wa Paulo, Mimi nazidi kukuombea yaani huduma Yako inanigusa sana. Natamani Kwa neema ya Mungu nitumike hata Kwa kiwango chako' , niombee nifanye zaidi. Yesu mwenyewe alipenda tufanye makubwa zaidi ya aliyoyafanya Yohana 14:12. By Ev.sir na Pr. Dotto Eugen Mvunyenge
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga Жыл бұрын
Mungu akubariki. Asante kwa maombi
@joannyaboke2067
@joannyaboke2067 Жыл бұрын
Pastor you are a blessing to many people
@Joycependopendo-dv2tb
@Joycependopendo-dv2tb 9 ай бұрын
Amen pastor Asante Kwa ujumbe huu mzuri nibarikiwa
@NeemaSelemani-dy6ul
@NeemaSelemani-dy6ul Жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi Wa Mungu kwa kazi njema
@onorinaswai
@onorinaswai Жыл бұрын
Ubarikiwe pastor mimi huwa nakufatilia na masomo yako yananibariki sana kuna siku nimelala nikaona majiyanaenda kwa kasi sana kunavifaa vya kusafiria lakin bado niliona havisaidii nilikuona mtumish unanambia unaonaje hapo nikakujibu siwez kuvuka ukawa anacheka niliona nguvu ya ajabu imenivusha nimevuka na sielew nilivukaje vukaje sijuh hii ndoto inamaana gani ila ninajua nabarikiwa sana kupitia masomo yako baba
@fidelisbutondo1659
@fidelisbutondo1659 Жыл бұрын
Can’t wait to manifest my dream house by using this kind of prayer🔥🔥🙏
@marykavwanga8033
@marykavwanga8033 Жыл бұрын
Asante kwa fundisho hili fupi limenibariki na kunijenga ,barikiwa pr
@bupemwakamela1091
@bupemwakamela1091 Жыл бұрын
Ubarikiwe pastor...Asante kwa mafundisho yenye baraka
@davidmisiwa4622
@davidmisiwa4622 Жыл бұрын
Ahsante sn pr mmbaga Kwa Somo hili zuri hakika nmejifunza na nmeelewa muda c mrefu nitatoa ushuhuda wa nguvu ambao MUNGU atanitendea
@jdm1459
@jdm1459 Жыл бұрын
Namshukuru Mungu kwa ajili yako pastor hakika unanibariki na mahubir i ambayo Mungu anakutumia hakika naona mibaraka telee be blessed
@janethfwamba8561
@janethfwamba8561 Жыл бұрын
Amina mtumishi niombee na mm mungu anisaidie nilipe madeni yaishe
@bensonfeliazer4296
@bensonfeliazer4296 Жыл бұрын
Sifa na utukufu nizako Baba wa mbinguni kwa mtumishi wake nimefundishwa sana Mungu akubaliki Pastor
@stevenpius
@stevenpius Жыл бұрын
Imani yenye mguso...Barikiwa pastor.
@christinaasukulu2814
@christinaasukulu2814 Жыл бұрын
Ninapotenda dhambi huwa nahisi Mungu hatanisamehe kwa sababu ya dhambi yangu lakini kwa neno hili leo umenibariki na kunikumbusha kuwa Mungu yu pamoja nami siku zote. 😔😔I pray 🤲 God to remind me his words all the time of my lifetime amen 🙏 God bless you Pastor
@rizikingena1149
@rizikingena1149 Жыл бұрын
Amen 🙏
@janesamson7328
@janesamson7328 Жыл бұрын
Asante sana Pastor. Masomo Yako yananibariki sana🙏
@rosejoseph7982
@rosejoseph7982 Жыл бұрын
Barikiwa sana pr umenisongeza sana karibu na mungu
@roseshaurini6997
@roseshaurini6997 Жыл бұрын
Oooh barikiwa sana
@matimbyanadine7913
@matimbyanadine7913 Жыл бұрын
Nina Muchukuru Mungu sana kwa somo ili ,,Limenichega sana Mtumishi wa Mungu nimefanya siku 4 la maombi nikuombeya changa moto za maisha inayo tusumbuwa mimi na mchumba wangu, kumbe nilikuwa sijuwe kinsi laku omba ndiyo mana ulipo maliza sala ya mwicho nimesikiya furaha ndani ya moyo wangu Mungu akubariki sana.
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga Жыл бұрын
Ameeen
@joycerwabanu5961
@joycerwabanu5961 Жыл бұрын
Mungu akubari sana mtumishi wa MUNGU!jana nimechukua hatua ya kuomba na kushukuru kufika jioni muujiza wakile nimeomba nilipewa !nakamunshangaa Mungu.
@mwendakalunyu3933
@mwendakalunyu3933 Жыл бұрын
Asante mungu kwa kuwa already ushampa pastor haja ya moyo wake .Amina Hiyo simu pastor amini unayo tayari
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga Жыл бұрын
Amen
@rebeccasamuel3563
@rebeccasamuel3563 Жыл бұрын
Hili somo limeniingia asante saaan pastor ubarikiwe mno mno
@rossarutasha9391
@rossarutasha9391 Жыл бұрын
Nimeisikiliza somo zuri n'a nimebarikiwa sana Mungu tusaidie
@maulinemasistsa1726
@maulinemasistsa1726 Жыл бұрын
Asante Sana chungaji Kwa fundisho juu ya maombi nilijaribu nikafaulu.....lakini wakati mwingine ninasahau niombee somo Hili likae ndani yangu Mungu akubariki saaaaana.
@tasianamgarula4929
@tasianamgarula4929 Жыл бұрын
Pastor Mbaga,nakushukuru sana ,hili somo limenisaidia sana ,nimelipata saa hii,ila kuna kijana wangu ana matatatizo ya afya ya akili yapata miaka karibu saba,ila nimeungana na Wewe kuomba Ombi hili naamina MUNGU AMEMPONYA.
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga Жыл бұрын
Mungu atende
@rahimajuma5306
@rahimajuma5306 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana Mungu akupe hitaji la moyo wako
@alicesidi9601
@alicesidi9601 Жыл бұрын
Hallelujah Mungu akubariki Pastor Mmbaga
@rosenanjalawafula6803
@rosenanjalawafula6803 Жыл бұрын
Amen. Nabarikiwa na mahubiri yako
@jonathansabatho3310
@jonathansabatho3310 11 ай бұрын
Ahsante sana kwa ili ombi Maana limenisaidia kushinda interview yangu ya VISA. Mungu akubariki pastor Mbaga.
@vicknessngenzi6146
@vicknessngenzi6146 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana pastor. naomba ushauri nafanyaje natamani sana kuwa bora zaidi sipendi kabisa kuishi haya maisha ya kuanguka dhambini kila siku mafno, uongo, hasira ata usengenyaji kwa kuwa huniumiza mimi sana baada ya kutenda nakosa sana amani najisikia vibaya najiuliza kwann nilisema vile dah inatesa mno. lakini napitiwa narudia tena
@lucyshayo3520
@lucyshayo3520 Жыл бұрын
Omba rehema mara kwa mara dear na nguvu ya roho MTAKATIFU ndani yako yakukukataza kabla hujasema zaburi 51 yote some mara kwa mara per day
@ephrasienasifiwe3393
@ephrasienasifiwe3393 Жыл бұрын
Nashukuru Mungu kwaneno ili ninaamini nimejibiwa maombi yangu amen
@asnathmasegenya9890
@asnathmasegenya9890 Жыл бұрын
Amina pastor umenibariki mno
@user-gn8vr7ub5p
@user-gn8vr7ub5p 9 ай бұрын
Mungu ni mku nabariwa kila siki jina la Mungu atutukuzwe
@josephsimon4217
@josephsimon4217 Жыл бұрын
Ni kweli kabisa pr. Kwa hili Mimi nimeiona hiyo kwangu. Mungu akubariki sana.
@stephenjames6649
@stephenjames6649 Жыл бұрын
Mchungaji barikiwaa kiongozi kwa hili neno Mungu alilokutana kusema
@baebepaul2646
@baebepaul2646 5 ай бұрын
Nimekuelewa sana thanks more
@janembura7164
@janembura7164 Жыл бұрын
Mch. Mungu akubariki. Umenibariki sana kwa Somo hili. Nilipitia kipindi kigumu sana kiroho na Kimwili. Niliumia. Jiliomba sana lakin liendelea kuumia. Jilipobadili mfumo wa Maombi nioata mabadiliko makubwa na nikapata amani. Naona umetumwa kunifikishia mm ujumbe huu kwa Miujiza aliyonitendea Mungu. Naomba wengine pia wenye kupitia vipindi vigumu wakajaaliwe ushindi na amani.
@rosentahondi5454
@rosentahondi5454 Жыл бұрын
Mungu atukuzwe sana kwa mafunuo haya. Tangu nianze kufuatilia masomo haya nimepata Badiliko na Bwana amenitendea Miujiza mingi. Nawasihi watu wote waamini Hakika Bwana atawatendea Sawasawa na Fadhili zake. Barikiwa sana Pastor!
@godlivermkono2231
@godlivermkono2231 Жыл бұрын
Nabarikiwa sana na mafundisha yako yananikiza kiroho
@stanfordchimola6913
@stanfordchimola6913 11 ай бұрын
MUNGU akubariki pastor
@carolinemwugusi8945
@carolinemwugusi8945 Жыл бұрын
Barikiwa sana pastor kwa elimu yako
@lalashesakinoi1045
@lalashesakinoi1045 Жыл бұрын
Asante sana Pastor, ubarikiwe na Mungu aendelee kukutia nguvu na afya njema kwa ajili ya kazi yake. Amen
@GloryMarandu-nq7lu
@GloryMarandu-nq7lu 10 ай бұрын
Barikiwa mtu wa Mungu Alie hai🙏
@janethfwamba8561
@janethfwamba8561 Жыл бұрын
Ninakuelewa Sana baba mungu aendelee kukutumia baba
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga Жыл бұрын
Amen
@lindakapongo8421
@lindakapongo8421 Жыл бұрын
nabarikiwa asante kwa fundisho
@simfrosamjema9241
@simfrosamjema9241 Жыл бұрын
Ameeen Mungu akubariki Pastor umenibariki sana Roho anisaidie kuweka katika matendo.
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga Жыл бұрын
Amen
@lilianmahenzo4754
@lilianmahenzo4754 Жыл бұрын
Asante Sana Kwa mafundisho mazuri pastor.
@paulinematagi-mp3ks
@paulinematagi-mp3ks Жыл бұрын
Namshukuru Mungu kwa kuendelea kunifundisha.Somo hili limekuwa Faraja kubwa kwangu.Naamini limezaa na litaendelea kuzaa matunda mengi kwa maisha yangu ya kiroho.Ubarikiwe Sana pastor kwa mafundisho.
@neemankimbili7927
@neemankimbili7927 Жыл бұрын
Nakuombea kwa Mungu,,,let you archive your goals pastor
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga Жыл бұрын
Amen
@martomugambi2946
@martomugambi2946 Жыл бұрын
May God bless you abundantly Pastor. You are a blessing to many and Glory be to God because indeed my prayers have been answered.
@rosemziray5644
@rosemziray5644 Жыл бұрын
Barikiwa sana mchungaji nami Kwa imani nitarudi Tena kushukuru Kwa ushuhuda mkuu juu ya SoMo hili🙏
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga Жыл бұрын
Amen
@ghatichacha837
@ghatichacha837 Жыл бұрын
Barikiwa Sana.
@eustina0
@eustina0 Жыл бұрын
Mungu akutie nguvu na maarifa asante kwa mahubiri mazuri barikiwa sana 🙏🙏🙏🙏
@sevenssevendee8693
@sevenssevendee8693 Жыл бұрын
May the God of Shdrack n Abedinego bless you with more years in this world n your loved ones ,this will change my prayer life and others.
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga Жыл бұрын
Amen
@angelasteven6015
@angelasteven6015 Жыл бұрын
Mungu ni mwema🙏🙏
@nuruetmgema3280
@nuruetmgema3280 Жыл бұрын
nakushukuru MUNGU kwa sababu ya ugonjwa wa vidonda vya tumbo kwa mpendwa wangu,, Wewe ni Alfa na Omega Amen🙏
@joycemugaka3039
@joycemugaka3039 Жыл бұрын
Asante mjungaji kwa hili somo nijifunza Jambo jipya kuuzu maombi sa hii mm ni mkenya napenda kufualia Maubiri Tv from Qatar juu ndio chakula changucha roho
@mrsdeborahurio
@mrsdeborahurio Жыл бұрын
Unanifundisha mengi, tukaishi pamoja Mbinguni! You're unique Pastor!
@MeshackAngel-kc2gc
@MeshackAngel-kc2gc Жыл бұрын
Mungu akubarik
@dianarobert7953
@dianarobert7953 Жыл бұрын
Nmejifunza kitu kipya kabsa ucku wa leo,Bwana akubariki pia pastor.
@khaldn7409
@khaldn7409 Жыл бұрын
Asante mchungaji nimekuwa nikifutilia mafunzo yako kwa miaka mbili sasa yamenisaidia kiimani hata kuniweka karibu na Mungu. Much blessings to you and your family.🙏🙏💗💗
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga Жыл бұрын
Amen
@hansmarymwasulama1974
@hansmarymwasulama1974 Жыл бұрын
Amen,Mungu tusaidie
@user-gs2qe9bf2z
@user-gs2qe9bf2z 10 ай бұрын
Nashukuru Kwa ujumbe huu umenisaidia kuamsha Imani yangu
@user-os3vo4sm2n
@user-os3vo4sm2n 9 ай бұрын
Asante Baba kwakua umetenda Amen
@lindakapongo8421
@lindakapongo8421 Жыл бұрын
nimeelewa sana
@charlesmafwimbo5588
@charlesmafwimbo5588 Жыл бұрын
Asante Mchungaji numeelewa vizuri somo Hilo hakika Mungu atajibu maombi yangu thank you very much
@IreenJohn-rn4zc
@IreenJohn-rn4zc 6 ай бұрын
Amen
@jescaedwardkurumela4333
@jescaedwardkurumela4333 Жыл бұрын
Amina hakikia ktk Kuomba kwa kushukuru kwaleta amani, furaha na tumaini jipya ndani ya akili na moyo.
@dullahzebuffa
@dullahzebuffa Жыл бұрын
Pastor ubarikiwe nimekuelewa sana
@ChristinMulongo-vn7hv
@ChristinMulongo-vn7hv Жыл бұрын
Amen 🙏Amen 🙏Amen 🙏paster
@victoriaprotas2976
@victoriaprotas2976 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mchungaji Kwa mafundisho yako nilikuwa nimetanga mbali ila Kwa Sasa nitarudi zizini
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga Жыл бұрын
Mungu atukuzwe
@eunicenyandega
@eunicenyandega Жыл бұрын
Ni kweli kabisa niliwahi omba mungu Kwa style hiyo ya kushukuru kabla na akanijibu
@zabronemmanuel-eo1om
@zabronemmanuel-eo1om 2 ай бұрын
Asante sana past mbaga
@judithmakoye6592
@judithmakoye6592 Жыл бұрын
Asante, barikiwa pastor, naamini sasa maisha yangu yanabadilika, Yesu asante
@Grace-go3cr
@Grace-go3cr Жыл бұрын
Grace bwari from saudia arabia
@maureenmgeni
@maureenmgeni 7 ай бұрын
Naamini nimepokea kwa Jina la Yesu
@asooraaasooraa4816
@asooraaasooraa4816 Жыл бұрын
Amina Amina Amina Mungu akubariki pastor mbanga asante kwa somo zuri
@EvelinaKawala-wj2kr
@EvelinaKawala-wj2kr Жыл бұрын
Amen ubar!k!we
@liliankeyabaraka8195
@liliankeyabaraka8195 Жыл бұрын
Amen Amen barikiwa sana mutumishi wa MUNGU
@janejanemulan-ej1im
@janejanemulan-ej1im Жыл бұрын
God bless
TUMIA MAMLAKA HII ILI KUFUNGULIWA-- PR. DAVID MMBAGA
1:16:37
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 15 М.
MUNGU ANAPO HITAJI KUKUTUMIA PR  DAVID MMBAGA  (OFFICIAL VIDEO)
54:34
ROLLING DOWN
00:20
Natan por Aí
Рет қаралды 10 МЛН
Doing This Instead Of Studying.. 😳
00:12
Jojo Sim
Рет қаралды 36 МЛН
Кадр сыртындағы қызықтар | Келінжан
00:16
Fortunately, Ultraman protects me  #shorts #ultraman #ultramantiga #liveaction
00:10
PR. DAVID MMBAGA-"KUANGUSHA NGOME" (OFFICIAL VIDEO)
1:08:57
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 13 М.
KWANINI WENGI WANASHINDWA KATIKA MAISHA? - PR. DAVID MMBAGA
1:20:38
#LIVE; Pr David Mbaga. Ndoa yenye Furaha.
17:39
Sanga Richa
Рет қаралды 4,4 М.
MAOMBI YA ASUBUHI by Innocent Morris
16:53
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 729 М.
LIVE: JINSI YA KUOMBA MAOMBI YA VITA NYAKATI ZA USIKU
43:38
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 49 М.
UFALME WA MUNGU NDANI YAKO
1:04:01
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 61 М.
UNAOMBA AU UNASHITAKI? MCH. PETER JOHN.  #IKWABE INJILI TV #MCH PETER JOHN
37:26
KICHOCHEO CHA MAJIBU YA MAOMBI-Pr.David Mmbaga
50:52
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 32 М.
ROLLING DOWN
00:20
Natan por Aí
Рет қаралды 10 МЛН