MIAKA 3 YA MTOTO ANTONY SHULENI NI YULE ALIYEMSHTAKI BABA YAKE "NITAKUWA MWALIMU"

  Рет қаралды 953,461

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 1 600
@faithfulphilemon9890
@faithfulphilemon9890 3 жыл бұрын
Ooooh my God wonderful,ni kijana mwenye hekima anaongea vizuri
@mohsinalbalushi6915
@mohsinalbalushi6915 3 жыл бұрын
tumefurahi sana kumuona anton mashaallah anton mungu mkubwa mungu ambariki anzungumza vizuri tu nitakuja tanzania
@kennedyjastin24
@kennedyjastin24 3 жыл бұрын
Huyu mtoto ni mchungaji mkubwa sana Tanzania miaka ijayo mark my word millard
@isacklissu847
@isacklissu847 3 жыл бұрын
Sauti ya kichungajii
@mustaphagairo1936
@mustaphagairo1936 3 жыл бұрын
Inafanana kwel kwel
@pendokilimba1364
@pendokilimba1364 3 жыл бұрын
Amen to that🙏
@jackwisdom9264
@jackwisdom9264 3 жыл бұрын
It's good thanks you jesuse
@ahmedijumaselemani7710
@ahmedijumaselemani7710 3 жыл бұрын
Hiyo ni kweli kabisa
@carptentv6848
@carptentv6848 3 жыл бұрын
Huyu mtangazaji godtza ni noma anaibua habari kali na anakuwa na muendelezo asante kwa kumhoji mtoto antony
@carptentv6848
@carptentv6848 3 жыл бұрын
Mtangazaji na dogo Wana confidence sana
@ibraimoissiaca6058
@ibraimoissiaca6058 3 жыл бұрын
Kafanana na uyo mfadhiri kweli
@ibraimoissiaca6058
@ibraimoissiaca6058 3 жыл бұрын
Yaan uyo mtangazaji
@carptentv6848
@carptentv6848 3 жыл бұрын
@@ibraimoissiaca6058 hahaha kwa mbali
@naamohamed9964
@naamohamed9964 3 жыл бұрын
Yan nilimkumbuka juzi
@happinessemmanuel5737
@happinessemmanuel5737 3 жыл бұрын
I see upcoming Pastor ,holy spirit protect that child Amen.
@Myright888
@Myright888 3 жыл бұрын
Amen
@suleimanissa395
@suleimanissa395 3 жыл бұрын
Umetabili Burma
@noelamtesigwa6819
@noelamtesigwa6819 3 жыл бұрын
Kabisaa☺️☺️😆
@ggtt8145
@ggtt8145 3 жыл бұрын
Sure.the voice
@badenbensoni7516
@badenbensoni7516 3 жыл бұрын
Huyu anayemsomesha mungu atampa thawabu sana
@raheemaraheema5453
@raheemaraheema5453 3 жыл бұрын
Saana na m. Mungu amkiinge na wachaawi maana wachawi sio watu wazuuri😢😢😢
@wilsonmikate7570
@wilsonmikate7570 3 жыл бұрын
Bgup kwa anaye toboka mfuko kwa ajiri ya gns
@nasraabdallah850
@nasraabdallah850 3 жыл бұрын
Amiin
@gsmartcreation5655
@gsmartcreation5655 3 жыл бұрын
Ameen
@prettyh7509
@prettyh7509 3 жыл бұрын
Aaamina
@rachelmbeyu4385
@rachelmbeyu4385 3 жыл бұрын
He speaks so well. May God continue blessing you to be what you want in life.
@joycekiza2302
@joycekiza2302 3 жыл бұрын
Mungu akujalie wewe ulie mshika mkono uyu kiumbe ubalikiwe sana
@aminajumma4077
@aminajumma4077 3 жыл бұрын
Mchungaji wa badae
@evamwasse2851
@evamwasse2851 3 жыл бұрын
Kwa kweli mungu ni mwema soma Sana mtoto ili utimize ndoto zako nakupenda Sana mwanangu
@witnessmsuya1058
@witnessmsuya1058 3 жыл бұрын
Huyu baba anaemlea hakika Mungu Usimuache m bariki kila aingiapo na atokapo
@frarobby3958
@frarobby3958 3 жыл бұрын
Ad nimelia
@jacintaitumo5571
@jacintaitumo5571 3 жыл бұрын
Kwa kweli mungu ni mungu. Hongera kwa aliye jitolea kumuhelimisha Huyu kijana. Hata kizungu yake nisafi sana. Pongezi nyingi kwa mwalimu wanao msomesha Huyu kijana. Watching from LONDON.
@daisytarus4971
@daisytarus4971 3 жыл бұрын
Am so proud God is faithful following this angel from, Kenya
@elizabeththiongo3178
@elizabeththiongo3178 2 жыл бұрын
I've been following from Nairobi Kenya I'm a grandmother n i love this child's interest in education it will tranform his family lives at home n Tanzania as a country may God bless his God parent n teachers for this far also the pioneer of this whole episode may blessings of our Lord be upon you all.
@rashidkalimbo2451
@rashidkalimbo2451 3 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu Atambariki sana huyu jamaa aliyejitolea kumsomesha In Shaa Allah...
@abdulrahmanhassan9254
@abdulrahmanhassan9254 3 жыл бұрын
Mm namuona Huyu mtoto ni kiongozi ajae yaani ana uwongozi ndani yake . Mungu amuongoze In shaa Allah
@jackwisdom9264
@jackwisdom9264 3 жыл бұрын
🙏 Amina
@عباسعباس-ش9ه4ت
@عباسعباس-ش9ه4ت 3 жыл бұрын
Mungu amjaalie sana uyu mtoto na walez kwa ujuuma
@chazzstar
@chazzstar 3 жыл бұрын
Hongera sana kwa mzazi ulie jitolea kumsomesha huyo mtoto Mungu akubariki sana
@sulemohd4812
@sulemohd4812 3 жыл бұрын
Mashallahu
@giftkharoub2423
@giftkharoub2423 3 жыл бұрын
❤❤❤ Allah amtangulie
@khadijamhapa3056
@khadijamhapa3056 2 жыл бұрын
Mungu akubarki sana mfazir
@aloycemasua2016
@aloycemasua2016 2 жыл бұрын
Abarikiwe
@wellbrand3415
@wellbrand3415 3 жыл бұрын
Waoooo... Mtoto Anthony anakipaji sana, Amepokea mafunzo ya shuleni vyema. Baraka za Mungu kama mvua ziende kwa mfadhili aliyejitolea kumsomesha. Thank you Ayo_tv...🔥🔥🔥
@furahiniyouthschools6022
@furahiniyouthschools6022 3 жыл бұрын
ASANTE KWA DUA YAKO. NIMEPOKEA KWA IMANI
@wellbrand3415
@wellbrand3415 3 жыл бұрын
@@furahiniyouthschools6022 waooo.... You deserve all the blessings from The Almighty God
@witneyjerry1293
@witneyjerry1293 3 жыл бұрын
Mungu naomba umzidishie yule aliyejitolea kumsomesha Antony
@musaomary4610
@musaomary4610 3 жыл бұрын
Amina Amina!!!
@pilikhamis2924
@pilikhamis2924 3 жыл бұрын
Maashaallaah mtoto Antony uko vzr sana mungu akuzidishie duuh uko vzr sana hongera sana
@prettyh7509
@prettyh7509 3 жыл бұрын
Mashallah mtoto nzur muda woote wamshukuru Mungu, Mungu akuhfafh na woote wanaokusaidia awajaze kheri
@neemamushi9370
@neemamushi9370 3 жыл бұрын
Mungu akubariki Sana wewe unaemsomesha huyu mtt
@evamariadaudi5038
@evamariadaudi5038 3 жыл бұрын
Jaman huyu mtoto huwa ananitoa Sana machozi! Asante yesu kwa kuendelea kumpa afya na saiv anaendelea vizuri kimasomo.
@josephgeraid3830
@josephgeraid3830 3 жыл бұрын
Jamani hata mimi kanitoa machoz anamaneno ya busara had huruma aisee
@marthamshana6942
@marthamshana6942 3 жыл бұрын
Ana ongea kama mchungaji he’s beautiful ❤️
@nasraabdallah850
@nasraabdallah850 3 жыл бұрын
Uyu atakuwa mchungani baadae uyo🤣🤣mi amenifraisha sn anaonesha anaendelea vizur kimasomo
@sabongetz4676
@sabongetz4676 3 жыл бұрын
Sikio lako ni mzuri ata mm nimemsikia
@sabongetz4676
@sabongetz4676 3 жыл бұрын
Sikio lako ni mzuri ata mm nimemsikia
@bhoketz9184
@bhoketz9184 3 жыл бұрын
Yeah Pastor kabisa
@fatumachagudadui3138
@fatumachagudadui3138 3 жыл бұрын
Not beautiful a man never be beautiful hahahahaha use a word smart boy
@experanciamom8473
@experanciamom8473 3 жыл бұрын
MUNGU UFANYA NJIA PASIPO NA NJIA NIMEPENDA SANA HII KAULI INAFUNDISHA WATU KUMWAMINI MUNGU KWA KILA JAMBO 🙏🙏
@mankammari3083
@mankammari3083 3 жыл бұрын
asee mpaka nimelia😭😭😭
@experanciamom8473
@experanciamom8473 3 жыл бұрын
@@mankammari3083 pole
@eliassamwel5824
@eliassamwel5824 3 жыл бұрын
AMEEN
@upendokiwanga9538
@upendokiwanga9538 3 жыл бұрын
waoo halafu ana uwezo wa kupreach huyo hiyo sauti ya kiinjilist kabisaa , Mungu ambariki kila aliempa support huyo mtoto jamani , Mungu awazidishie baraka na msipungukiwe na kitu
@justkibet1125
@justkibet1125 3 жыл бұрын
Followed this boy from day one to date. Indeed development is gradual and anything is achieveable. Love from a Kenyan in cologne.
@joycemichael4920
@joycemichael4920 3 жыл бұрын
Nilimmiss mwee😄 ubarikiwe sana Mfadhili Mungu asikupungukie👏
@asamkanyasa353
@asamkanyasa353 2 жыл бұрын
Mungu Ambariki Huyu Kijana Atafika Mbali Zaidi... Na Mzee Aliyejitole Mungu Amuongezee Zaidi Na Zaidi.... From Mbeya Tanzania.
@ukhtymwana4998
@ukhtymwana4998 3 жыл бұрын
Mashallah yaani mpaka raha mungu Amlipe anaemsomesha
@melangongo2829
@melangongo2829 3 жыл бұрын
Amen amen amen
@mozasaid3869
@mozasaid3869 3 жыл бұрын
Mashaallah! Nimefurahi sana kumuona Antony anaendelea vizuri, mwenyezi mungu atamlipa mfadhili anaemsomesha,
@Mwamy11
@Mwamy11 3 жыл бұрын
Woow my boy is a big boy now. Congratulations God always is good!!! Keep it up.
@bajombahamis4437
@bajombahamis4437 3 жыл бұрын
yani huyu mtoto anakipaji ata chakuongea kama nawew umeona like chin
@emmanuelmwambona3438
@emmanuelmwambona3438 3 жыл бұрын
Kwakweli mlioguswa kumsaidia huyu mtoto Mungu awazidishie. Na Mungu pia aendelee kumlinda mtoto na afike mbali sana katika malengo yake.
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 3 жыл бұрын
Masha Allah, I real love his talking confidence keep going Antony 👏👏
@charitymwaniki9377
@charitymwaniki9377 2 жыл бұрын
Wow i love the fact that this boy has greatly improved especially in his communication,,,its a great move compared to the previous video,,, following from kenya
@RomwardWM
@RomwardWM 3 жыл бұрын
Barikiwa sana Millardayo kwa kutusogezea habari pendwa kama hii.
@catherinejumanne9378
@catherinejumanne9378 3 жыл бұрын
Mtangazaji nakupenda bure
@grandgrand8143
@grandgrand8143 3 жыл бұрын
Mungu akujaliye
@J4UPro
@J4UPro 3 жыл бұрын
Maashaallah
@ashuramhando5285
@ashuramhando5285 3 жыл бұрын
Kaka ALLAH akuongeze ulipopungukiwa una moyo wa kipekee ni wachache wenye Moyo Mungu akulinde 🔥🔥🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@amirimkinga3961
@amirimkinga3961 3 жыл бұрын
Kijana yuko vizuri nimependa sana confidence aliyonanayo,,na Mungu amuongoze vema Inshaallah hongera pia kwa wahisani walioamua kumsaidia Mungu awape mwisho mwema.
@allywilson4155
@allywilson4155 3 жыл бұрын
He has a confidence wich will lead him through his dreams.
@mohamedjuma5406
@mohamedjuma5406 3 жыл бұрын
He ha confidence .....
@agnesndinda4797
@agnesndinda4797 3 жыл бұрын
Sure
@mwalikokiluwa9778
@mwalikokiluwa9778 3 жыл бұрын
Goooood
@Rymaas1TV
@Rymaas1TV 3 жыл бұрын
Anthony uko vizuri Mungu yuu pamoja nawe
@saitawilson7307
@saitawilson7307 3 жыл бұрын
Amina
@malilolukensa8519
@malilolukensa8519 3 жыл бұрын
Antony mungu akupe hitaji la moyo wako mdgo angu
@CHOSENGENERATIONHUB
@CHOSENGENERATIONHUB 3 жыл бұрын
Chosen One, Great Servant of God..God will use this young man in mighty way
@hizamwaimu3918
@hizamwaimu3918 3 жыл бұрын
Safi Sana Yuko vizuri dogo mungu ampe afyanjema
@alimairakoze3784
@alimairakoze3784 3 жыл бұрын
🤲🤲🤲
@fidasjohn4700
@fidasjohn4700 3 жыл бұрын
Namtabilia hugo mtoto atakua mhubili wa injili
@neemamuro3721
@neemamuro3721 3 жыл бұрын
Safi sana Mungu akiwa upande wako ninani aliyejuu yako
@elyshaedward2528
@elyshaedward2528 3 жыл бұрын
Kweri pasipo na njia mwenyez mungu hutia njia na,nia god blessing Antony
@finemichael2435
@finemichael2435 3 жыл бұрын
Wooow, Mungu ni Mwema Amuongoze ❤️😊 Buh anasauti kama Mchungaji hivi 😉
@dignatemba1615
@dignatemba1615 2 жыл бұрын
Hakika huyu ni mchungaji
@fundi.505
@fundi.505 3 жыл бұрын
God bless the Kid's sponsor. God continue blessing that child
@ااجج-ط5د
@ااجج-ط5د 3 жыл бұрын
Mashaa Allah mwenyezi mungu aendelee kuwabariki wote wanaomsaidia huyu mtoto Congratulations
@sarahmariba6220
@sarahmariba6220 3 жыл бұрын
Mbarikiwe
@Snipperthebabslow
@Snipperthebabslow 3 жыл бұрын
Well done Antony soon utafanikiwa, blessed Sana kwa Mzazi aliyejitolea kumsomesha
@zakyahya4645
@zakyahya4645 3 жыл бұрын
Mwili umenisisimka jamani yaani alie msaidia uyu mtoto mungu atampa zaidi na mtoto mwenyew anaonyesha Juhudi za hali ya juu jamani yaani anajiamini adi raha ❤️❤️❤️❤️
@matildahanne1480
@matildahanne1480 3 жыл бұрын
Keep it up our boy. We thank God for this far he has brought you. Endelea hivyo hivyo na Mungu akutunze mwanetu
@tantrayukina4507
@tantrayukina4507 3 жыл бұрын
This boy is going far God has way of reaching his people
@bethfabian3052
@bethfabian3052 2 жыл бұрын
Mungu akubariki baba unaemsomesha mtoto huyu, na mungu akuongezee unapotoa, nimefurahi sana.
@munaaabdillah9097
@munaaabdillah9097 3 жыл бұрын
Nampend sana uyu mtt mungu amkuze vyema inshaalah ❤️🙏
@janek9103
@janek9103 3 жыл бұрын
So amazing mungu ni mwema.neema ya mungu izidi kua juu yake.feeling so humbled from kenya
@amosmahona433
@amosmahona433 3 жыл бұрын
Hongera Sana mdogo wangu Mungu ni Mwema utafanikiwa Zaidi
@yagalbyyaayuni7247
@yagalbyyaayuni7247 3 жыл бұрын
Nimefurahi sana kumuona Anthony tena baada ya miaka 3 thank God for everything kweli wacha mungu aitwe mungu story yake iliniza sana huko nyumba bt saa hii nakuombea mungu ufaulu maishani ili uje uitunze familia yako Insha Allah
@remiomar7154
@remiomar7154 3 жыл бұрын
mashaAllah mashaAllah Mungu ambariki huyo aliyejitolea kumsupot mungu amuongeze palipo punguwa
@hadijalukas5959
@hadijalukas5959 3 жыл бұрын
wallah nimejikuta nalia 😭😭😭😭😭kwa uchungu na furaha pia baada ya kumuona Anton alivotusuwa kingereza kuliko mie mtu mzima mungu akubariki mfaziri wake azidi kukupa moyo na kukutia nguvu kwa kazi ulioifanya
@nasraabdallah850
@nasraabdallah850 3 жыл бұрын
Mung amjaalie aliejitolea kumsomesha jmn mtt yuko vizur sn mashaallah naanajitihada sn mpaka aliejitolea kumsomesha nadhani ajuti kwani anajembe sio sir. Mung akubariki mzee 👏👏👏wang
@mohammedzahiry5889
@mohammedzahiry5889 3 жыл бұрын
Hongera xn kuwakumbuka wanyonge hawa xyo kuwapa akna mond pexa
@gloriakiria6096
@gloriakiria6096 3 жыл бұрын
Verru good my young braza god bless you
@silvesterkitaly4298
@silvesterkitaly4298 3 жыл бұрын
Asante baba uliye jitolea kumsomesha
@dolingaceri5609
@dolingaceri5609 3 жыл бұрын
Thankyou God bless you more unapoedelea kuchomesha uyu mtoto unafanya kazi nzuri hela zijae mifukoni mwako
@ansilaulotu7178
@ansilaulotu7178 3 жыл бұрын
He's a blessing God bless the Father from heaven
@happinesstesha7061
@happinesstesha7061 3 жыл бұрын
Be blessed toto Mungu azidi kukuinua. Na wewe ulie msaidia Mungu akutendee mema zaidi.
@furahinimichael5034
@furahinimichael5034 3 жыл бұрын
He never change his passion since day one, bado anataka kuwa mwl...keep the fire burning champion ❣️
@allystideforever6594
@allystideforever6594 3 жыл бұрын
Nice mtoto wa ngundusi kitongoji cha mkitamo namkumbuka sana Mungu ni mwema
@innocentmarunda5853
@innocentmarunda5853 3 жыл бұрын
Mungu awatie nguvu ayo kwa kuzunguka kila mahali. Antony Mungu akupe nguvu. usiige ubaya Iga wema na utafanikiwa mtumishi.
@lamerckjesus5404
@lamerckjesus5404 3 жыл бұрын
_Mungu AKUBARIKI pia kwa mawaidha hauo brother @Ino_
@nicksonlagat6475
@nicksonlagat6475 3 жыл бұрын
Am from kenya that boy will be a good leader in future God is great
@theceefamily7764
@theceefamily7764 3 жыл бұрын
Mungu akubariki kwa kujitolea kumsomesha mtoi antony,Pia Mungu akuzindishie baraka mtoto antony🌹❤🌞🙏.
@mariaalsaid3690
@mariaalsaid3690 3 жыл бұрын
Asante sana Milad TV nimefurahi sana ku muona Antony na kuwa anaendeleya vizuri
@franciskajessy7401
@franciskajessy7401 3 жыл бұрын
Oh I’m so impressed God bless this school and Anthony
@w4058
@w4058 3 жыл бұрын
Aammin Franciska
@w4058
@w4058 3 жыл бұрын
Watu wengi watafurahia kuona maendeleo yake
@w4058
@w4058 3 жыл бұрын
He changed a lot and full confidence
@andrewjosephhezron23
@andrewjosephhezron23 3 жыл бұрын
It's not easy for three years and this guy he speaks good English .... Is power of God.
@mutheumildred2427
@mutheumildred2427 3 жыл бұрын
😭😂😂
@errydeo8865
@errydeo8865 3 жыл бұрын
Fantastic,thats all i can say,God is great! next CARDINAL,AFTER RUGAMBWA...
@errydeo8865
@errydeo8865 3 жыл бұрын
@@aimew.5515 what do mean??
@wilsongatimu9880
@wilsongatimu9880 3 жыл бұрын
Hongera sana kwa huyu kijana waliimu na sanasana mwenye anamshikilia kimasomo. Iraq watching
@raymondsospeter1176
@raymondsospeter1176 3 жыл бұрын
Asee God is GOOD MTOTO HUYU KATOKA MASHARAH
@hawwahawwa9590
@hawwahawwa9590 3 жыл бұрын
Alhamdulilh nnimefurahinsanaa maana nilifatiliaa mwanzoo mbaka mwisho Leo nilivyoionaa ni kasemaa siendii bongo starsech Kwanzaa nimuonee mtoto Anton Allah atakujaaliaa mtoto mazurii nakupendaa sanaa ❤️
@omarykindaile6451
@omarykindaile6451 3 жыл бұрын
Wakwanz nipe like apa twend paamoja💞💞💞
@bethmsigwa6742
@bethmsigwa6742 3 жыл бұрын
Mungu akubariki Sana
@fadhilimhepela7366
@fadhilimhepela7366 3 жыл бұрын
@@bethmsigwa6742 àp
@marymungai4429
@marymungai4429 2 жыл бұрын
success Anthony you are very talented God bless you for standing for your family. you are a superstar
@dralhajijbmatatala4580
@dralhajijbmatatala4580 3 жыл бұрын
,,Maa Sha Allah! ,, Mwz Mungu Ampe Umri Sahiki , Anaye Msomesha :
@alexlaizra5536
@alexlaizra5536 3 жыл бұрын
Mungu akusidixhie ujue saidi💪💪bless you
@jumannewamburaa4145
@jumannewamburaa4145 3 жыл бұрын
Mungu amzidishie alie jitolea
@dentist.kennethkaunda5036
@dentist.kennethkaunda5036 3 жыл бұрын
utakuwa mwalimu but you will be a strong man of GOD....YOU WILL PREACH THE WORD OVER THE WORLD.....
@elizabethjackson3865
@elizabethjackson3865 3 жыл бұрын
Anaye msomesha huyu mtoto Mungu hatamwacha hivi hivi 🙏🏼🙏🏼
@katembokinyamaganga5893
@katembokinyamaganga5893 3 жыл бұрын
Mung u atamlipa anaemsomesha
@teresawanjiku6625
@teresawanjiku6625 3 жыл бұрын
Mungu akubaliki sasa,, akulinde na pia afungue jia zako zote
@yusuphmtumbuka6805
@yusuphmtumbuka6805 3 жыл бұрын
@@teresawanjiku6625 mungu akubalik
@peterdaiman5813
@peterdaiman5813 3 жыл бұрын
Hongera kwa mfadhili Mungu amubariki sana
@peterphilipo4152
@peterphilipo4152 2 жыл бұрын
Nilichokipenda zaidi kwa dogo janja ni msimamo wake yan I want be a teacher 🙌🙌
@sifamushi1747
@sifamushi1747 3 жыл бұрын
Life had this young man grow up quickly. God bless him.
@husnatgamaah1335
@husnatgamaah1335 3 жыл бұрын
Iam so happy, ame improve sana MashaAllah 🥰❣🌹
@pascalkana3103
@pascalkana3103 3 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu awabariki sana nyie munaomusomesha uyo kijana amen
@lamerckjesus5404
@lamerckjesus5404 3 жыл бұрын
_Kuna watu wana Imani dogo Imani yake, iko juu sana kaulizwa"ilikuwa na Imani kwamba utakuja ufike hapa" kasema ndio maana Mungu anafanya njia pasipo na njia, duh! Huyo mtoto ana kitu kikubwa ndani Mungu anakiandaa_👏
@hdmtanzania2617
@hdmtanzania2617 3 жыл бұрын
Mwenyez Mungu akutangulie Anton
@pascalinechambunyota3552
@pascalinechambunyota3552 3 жыл бұрын
Mungu atafungua njiya kwenye pasipo kua njiya Mungu asifiwe sana ,Kijana Antony endeleya nakumutiya Mungu mbele,Mungu awabariki sana wenye kusomesha nakumlisha kijana uyu Antony
@messaabbas8346
@messaabbas8346 3 жыл бұрын
God,,the boy he’s so amazing,,god bless you Antony and the god bless the the man who is take all opportunity for little boy 👏🏻
@gracemwankesa331
@gracemwankesa331 3 жыл бұрын
Mng akubalik kwa kujitoa kumsomesh huy kijan ongela san
@gloriarobert6582
@gloriarobert6582 3 жыл бұрын
Hongera mtoto, na mfadhili pia ubarikiwe sana. Mungu azidi kumwongezea pale ulipopungukiwa.
@gracejohn886
@gracejohn886 3 жыл бұрын
Ongela uliyejitolea kumsomesha ujapoteza pesa MUNGU awatangulie
@mohamedpesambili9460
@mohamedpesambili9460 3 жыл бұрын
Ni hongera siyo ongela
@nancysrath2184
@nancysrath2184 3 жыл бұрын
@@mohamedpesambili9460 😂😂😂😂
@saidbanga
@saidbanga 3 жыл бұрын
@@mohamedpesambili9460 Ila kuna watu hapa Duniani 🤣🤣🤣😅😅
@veronicadaniel1122
@veronicadaniel1122 3 жыл бұрын
Amina
@gracejohn886
@gracejohn886 3 жыл бұрын
@@mohamedpesambili9460 ndo ivyo ata maisha yanatuchenga mda mwingine sembuse kuandika 😆😆😄😄
@adnaosimbo2631
@adnaosimbo2631 3 жыл бұрын
Mungu ni mwema, such good Samaritan need to live long 🙏🙏🙏
@halimamayunga1911
@halimamayunga1911 3 жыл бұрын
Mungu akubariki sanaaa Mtoto mzuri💕❤🙏
@veronicashema4600
@veronicashema4600 3 жыл бұрын
Hongera sana Dogo mungu kweli mwema,mzazi ulie jitolea utapata thawabu kwa mwenyezi mungu
@khadijacharles2433
@khadijacharles2433 3 жыл бұрын
Da we baba mungu akulinde sanaaa🙏❤
@gililwise
@gililwise 3 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mdhamini hakika Mungu atakuinua zaidi kwa kumsaidia huyo mtoto .jamani wazazi wengine sijui wamelogwa mnawatelekeza watoto tena wenye akili.du
@edsonmwambokela3707
@edsonmwambokela3707 3 жыл бұрын
Tunamshukuru Sana ndugu yetu ulie amua kumsomesha huyu mtoto na Mungu akuongezee pale alipo toa
@josephkiwango5898
@josephkiwango5898 3 жыл бұрын
Msuya nimemwona, schoolmate wetu. Hongera kwa kazi nzuri
@magrethyasso3104
@magrethyasso3104 3 жыл бұрын
Jamaniii nimepata furaha mpka nimelia mungu ni mwema kila wakati acha aitwe mungu na atabakiki kuwa mungu
@isdorymethusela9689
@isdorymethusela9689 3 жыл бұрын
Nini kimekuliza hapo kwamfano,be serious plz,
@isdorymethusela9689
@isdorymethusela9689 3 жыл бұрын
Furaha mpaka Julia ndonn?!
@magrethyasso3104
@magrethyasso3104 3 жыл бұрын
Nimefahi mno mpaka nikajikuta nalia kwa furaha, kama umesha wahi kufatilia kisa cha huyu mtoto naamini hata wewe unayeuliza nn kimeniliza usingeuliza
@marycharles2609
@marycharles2609 3 жыл бұрын
Aiseeeh vile anamtaja Mungu naenjoy Sana mimi.....Mungu akutangulie kwa kweli Antony
@ferouzmasoud4741
@ferouzmasoud4741 3 жыл бұрын
Alie msaidia Dogo kumpeleka shule Mw/MUNGU 🙏 amjalie Sanaaa na Dogo pia Mungu amjalie Afya njema 🙏
@bernadetamodest6170
@bernadetamodest6170 3 жыл бұрын
Ayooo tv nimefurah sana kusikia tena habar za mtoto huyu asante sana kwa kutuletea maendeleo yake.Mungu ambariki mfadhil wake na amuweke ili kuyaona mafanikio ya mtoto Antony
@tanzaniakwanza1699
@tanzaniakwanza1699 3 жыл бұрын
Asante sana
@franksarwatt9084
@franksarwatt9084 3 жыл бұрын
Amen 🙏 mdg wangu Mungu akulinde... Duh noma sana Kama mtu mzima..
How do Cats Eat Watermelon? 🍉
00:21
One More
Рет қаралды 12 МЛН
Spongebob ate Michael Jackson 😱 #meme #spongebob #gmod
00:14
Mr. LoLo
Рет қаралды 10 МЛН
Don't look down on anyone#devil  #lilith  #funny  #shorts
00:12
Devil Lilith
Рет қаралды 6 МЛН
Good teacher wows kids with practical examples #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 4 МЛН
MISSION IMPOSSIBLE [48]
22:36
CHADO MASTA FILM
Рет қаралды 49 М.
LULU ATOA MACHOZI MAHAKAMANI, HUKUMU YAKE NOVEMBA 13
1:52
FRANCIS DANDE (Habari Mseto)
Рет қаралды 26 М.
How do Cats Eat Watermelon? 🍉
00:21
One More
Рет қаралды 12 МЛН