Mikate hiyo mazuri sana.😍😍 thanks mwenyezi mungu akupe uzima na kheir na unacho kitamani kiwe inshaallah.
@ShunasKitchen6 жыл бұрын
Ameen yarabbi, shukran habibty
@mariamissaahmed76756 жыл бұрын
Mashallah Umetufunza mapishi kem kem Shukran sana Mungu Akubariki
@ShunasKitchen6 жыл бұрын
Ameen asante
@rehemaabdallah53065 жыл бұрын
Nakupenda sana wee dada, unaenda shapu na unaeleweka, sio mtu wasikiliza mpaka unachosha
@nassraramadhans10746 жыл бұрын
ninejaribu imekuja mizuri milaini asante kwa Mapishi
@ShunasKitchen6 жыл бұрын
Karibu dear
@mozuu12605 жыл бұрын
Nimefanya Jana mashallah mashallah imetoka mizurisanaaaaaa kila mtu kaniomba recipe
@raudhaally28635 жыл бұрын
I cooked them today and they came parfetly thank you so much i appreciate yr presence god bless you and yr family
@damariszuckschwert94895 жыл бұрын
Thank you. Was trying to find if you have any video cooking dagaa.
@thourasaif56546 жыл бұрын
MashaaAllah thanks for the recipe Allah yabarik fiki.
@ShunasKitchen6 жыл бұрын
Shukran
@atrairaiba93935 жыл бұрын
Wow mikate n mizur maxhaallh xx iyo mikate ni y chumvi au xukri
@florencemushi9244 жыл бұрын
ubarikiwe nakupenda sana dada yangu
@mashaclassic23456 жыл бұрын
Ahsante kwakwel mkate nimeupenda na leo hii hii naupika👌👌😀😀😀😀
@ShunasKitchen6 жыл бұрын
In shaa Allah nasubiri mrejesho. .asante sana
@cutebabies70554 жыл бұрын
Ukitia maji badala ya tui ??itakuwaje
@queenofireland8983 жыл бұрын
Im making these for iftaar today insha'Allah. shukran habbty
@letuslearn75482 жыл бұрын
صل الله علي محمد وعلى آله وصحبه وسلم تسليما كثيرا كلما ذكره الذاكرون و كلما غفل عن ذكره الغافلون في كل لمحة و نفس بعدد كل معلوم لك من يوم خلقت الدنيا الي يوم التلاق
@amiraawadh2256 жыл бұрын
Asante sana kwa mapishi INSHAALLAH na mm nitajaribu kupika na nitakupa jibu👍
@ShunasKitchen6 жыл бұрын
In shaa Allah dear nasubiri mrejesho. Asante sana
@sabraabdulla9136 жыл бұрын
shukran habibty umenipa muongozo mzuri. ntapika leo
@ShunasKitchen6 жыл бұрын
In shaa Allah dear nasubiri mrejesho
@mwanafarily80496 жыл бұрын
Tnx kwa mapishi mazuri
@ShunasKitchen6 жыл бұрын
You are welcome
@shaheroselalji98902 жыл бұрын
You have forgotten to mention in the written ingredients and on the video the word "cup" for the flour.
@saidsalum6168 Жыл бұрын
Mashaallah
@laleinemirjangi19306 жыл бұрын
Nioneshe namna ya kupika mkate ya nazi tafazali asante
@hamidaomar9356 жыл бұрын
Masha Allah
@maryammohammed1592 ай бұрын
Napenda kujifunza kuipitia ww kipenz, shukran
@ShunasKitchenАй бұрын
Asante pia
@zeynabwazirkindamba26972 жыл бұрын
Mashaa Allah bless your hands 😘
@naimampili14752 жыл бұрын
We mdada mungu akuweke kwaajili angu
@aminachappa78854 жыл бұрын
Kama hana oven
@azizaiddy49815 жыл бұрын
ahsante nimejaribu lkn zimetoka ngumu kidogo hasa pembeni nimekosea wapi????
@wahidashabaz59825 жыл бұрын
Moto ni chini ngap na juu ngap
@asiy22836 жыл бұрын
Thanks for your recipe. Ina onyesha mizuri😍💜
@yaobleestelle25135 жыл бұрын
40. Ninyi wandugu wa Afrika, wa Asia, wa Ulaya, au wa Amerika! Mlingojea Ujumbe wa Mtayo 25:6 labda katika nchi yenu lakini Mungu ameifanya namna ingine. Kumbukeni Bwana wetu Yesu Kristo! Akiwa kuhani mkuu Melkisedeki, marabi na waandishi waliona kwamba alipaswa kutoka katika kabila la Lawi. Lakini alitoka katika kabila la Yuda. Tena, ujumbe wake na kazi yake zilithibitisha kwamba yeye ndiye Masiya. Na leo juu ya uso wa dunia nzima, ikiwa wewe ni mtoto wa Mungu, nafasi yako ni hapa pamoja na nabii wa wakati wako, nabii Kacou Philippe. Na aliye na masikiyo kwa kusikia asikie .
@مركزمصادرالتعلمبمدرسةروضةعمان4 жыл бұрын
KAMA SISI WENGINE TULIKOHAMNA SIAG JE TUKIWEKA MAFUTA INAFAAA?
@sabraabdulla9136 жыл бұрын
As.kum.shuna huu mkate ukitaka kuuchona hautakiwi kuusubiriwa umuuke ndo uchome? Unasukuma na kuweka kwenye oven kwa ajili ya kuchoma naomba ufanunuzi
@ShunasKitchen6 жыл бұрын
W msalam. . Si lazima kuusubiri uumuke tena kwenye kuutengeneza tuliiwacha ukaumuka mara 2 , kwaio kwenye oven unaumuka haraka ukipata moto, ijapokua unaweza kuuwacha ukaumuka kama ulivyoona niliisukuma mengine nikaiweka pembeni iliumuka na yote ilikua sawa na wa mwanzo. ..lakini kama huuamini unga wako uweke Kwanza uumuke ndio uuchome. Asante sana
@ririali1684 жыл бұрын
Ukiumua inakua laini sio mizito
@faridaali68502 жыл бұрын
Mizuri 👍
@malekjr96996 жыл бұрын
Waao shukran habbty nimependa saana mkate wa bwana
@ShunasKitchen6 жыл бұрын
Asante pia
@daulelesuleiman57576 жыл бұрын
maashaallah
@ummsalamahrashid79206 жыл бұрын
shukran dear nilikuwa nauliza hayo maziwa yaunga niya Nido?
@ShunasKitchen6 жыл бұрын
Full fat milk powder yoyote - sikutumia nido lkn ilikua ni full fat, unaweza kutumia nido nzuri pia. Afwan dear
@bintsalim86985 жыл бұрын
Masha allah nimependa sana shukran saanaaa allah akubariki
@Swababharun5 жыл бұрын
Mfano kama sina oven nitaipika vp
@khaulathmchongoma68593 жыл бұрын
asante dada
@ukhtysakinaa76646 жыл бұрын
Bismillahi mashaAllah 👍
@ShunasKitchen6 жыл бұрын
Asante
@tumaomar89996 жыл бұрын
MashaAllah shukran sis
@dianaalexin21516 жыл бұрын
Kweli nimeupenda mkate wa bwana lo!
@ShunasKitchen6 жыл бұрын
Asante sana
@abukarama52876 жыл бұрын
إن شاءالله أجرب البوم
@zeanamuhsin90053 жыл бұрын
Assalam Alaykum samahan je huwek baking soda naona watu wengi wanaweka au sio lazma
@zeanamuhsin90053 жыл бұрын
Samahan sister naomba unijibu please
@rahmaalrahbi70936 жыл бұрын
shukrani namy leo nimpik mikate mzur 👌
@ShunasKitchen6 жыл бұрын
Shukran dear
@faizasaid82626 жыл бұрын
Mashllah
@babylidyaandrea45686 жыл бұрын
Masha Allah nzur sana asante my
@ShunasKitchen6 жыл бұрын
Asante nawe pia
@anisaabdullah57456 жыл бұрын
MashaAllah
@abukarama52876 жыл бұрын
Leo in Sha Allah ntajajaribu, I'm interested in this things
@ShunasKitchen6 жыл бұрын
In shaa Allah. . Shukran
@fatimabinsayid13232 жыл бұрын
Manshallah ❤❤❤❤
@umamuri40046 жыл бұрын
Wow MashaAllah 😋 nice
@ShunasKitchen6 жыл бұрын
Shukran
@raudhaally28635 жыл бұрын
And it was my 1st time alhamdulillah 😘
@zamdabakari63726 жыл бұрын
Mashaallah bismillah mashaallah
@ShunasKitchen6 жыл бұрын
Shukran sana
@ZainabAllyMohamed5 жыл бұрын
Mashaa Allah
@asiy22836 жыл бұрын
Unatumia moto wa juu na chini kwenye oven au vipi
@ShunasKitchen6 жыл бұрын
Ndio habibty
@zaharamsafiri8255 жыл бұрын
jaman nmecheka peke yangu, mikate ya bwana 😃😃😃😂
@ShunasKitchen5 жыл бұрын
😃😃😃
@zainabonayonah38915 жыл бұрын
Shukran
@minakhalid26976 жыл бұрын
Mashallah nitajaribu Leo inshallah
@ShunasKitchen6 жыл бұрын
In shaa Allah dear nasubiri mrejesho
@minakhalid26976 жыл бұрын
Assalaam aleikum asante mkate nimeuweza na mtamu sana nimeupenda sana hata family yangu wameupenda sana shukran sana ,
@asiamtalemwa84872 жыл бұрын
Asalam aleikum mbon yngu c laini
@nsjjsjdjjdjd8416 жыл бұрын
Assalamu alaikum habibty leo kwa mikate ya bwana mambo yetu si mabaya wenye mabwana
@ShunasKitchen6 жыл бұрын
MashaAllah teena leo siku yenu
@rukiyakarim81694 жыл бұрын
Mashallah ajjab
@hamidurashida78346 жыл бұрын
na kwa tusiokuwa na oven Je?
@ShunasKitchen6 жыл бұрын
Unaweza kuoka kwa mkaa pia
@salmaamer84904 жыл бұрын
mashaAllah yavutia
@eshamohammed1366 жыл бұрын
Mashallah
@ShunasKitchen6 жыл бұрын
Asante
@khadijahuka94886 жыл бұрын
MashaAllah nimependa 👌
@ShunasKitchen6 жыл бұрын
Shukran dear
@a.8566 жыл бұрын
Thx
@ShunasKitchen6 жыл бұрын
Welcome
@hawamohamed22045 жыл бұрын
Huu ufuta naweza kuupata wapi?
@shaheroselalji98902 жыл бұрын
In the grocery store.
@rukiamakka35785 жыл бұрын
Mkate wa bwana mashallah
@zeanamuhsin90054 жыл бұрын
Je hautii baking soda
@nassraramadhans10746 жыл бұрын
mii nilisahau kutia peken pauda jee itakuja vizuri
@ShunasKitchen6 жыл бұрын
Haina neno muhimu hamira tu
@yumnanasser71066 жыл бұрын
Ata mm nieipenda sn
@ShunasKitchen6 жыл бұрын
Asante
@yusufsalim35456 жыл бұрын
Zamani hujanileteya vipimo vakula vipya
@swabrinaabdullrahmann56456 жыл бұрын
A.a naeza tumia maziwa ya kawaida kama sina maziwa ya unga
@ShunasKitchen6 жыл бұрын
Ndio unaweza
@lailatyabdallah17236 жыл бұрын
Huu mkate kwa wale wachoyo unawafaaa maana jina tu mkate wa bwana mama mkwee haumuhusuu😂😂😂😂 Tena akae mbali😒 mkate wa bwana👌 soon nakupasua jifunze mapishi una Nini lakin😂😂😂
@ShunasKitchen6 жыл бұрын
Yaani acha tu 😅 mwenyewe sijapenda jina mpaka nimelitaja mara 1 tu 😃😃