nmefurahishwa sana na uyo msomi na ubunifu wake huo alioufanya. Mungu amuongezee zaidi kwa kazi iyo nzuri aliyo buni
@frankboniface46966 жыл бұрын
kazi yenu ni nzuri mno mmenipa huduma nzuri Leo asubuh
@peterbayo46776 жыл бұрын
Nimejifunza kwa huyu kijana mhitimu wa MU. Hongera sana kwake
@pablombuya87986 жыл бұрын
Siku mwenye kuitaji mafanikio Ana aibu anamini anacho kifanya vijana wengi wanasubiri kuajiriwa na kujisifia na Elimu hii nizaidi ya Elimu uliza matajiri walipotoka keep it bro
Hahaa soksi kutoboka....... Gooooo...... My friend, kileleni vry sooon 👏👏👏
@NicMekah6 жыл бұрын
Asanteee
@melkizedeckkimaro20946 жыл бұрын
ukifanya jambo likafanikiwa ndio watu wanasifu safi sana
@wiza23096 жыл бұрын
Hongera sana kwa ubunifu mzuri
@saumuhassan63656 жыл бұрын
Mashallah, good job: #Millard na Ayo tv.
@komboomar82756 жыл бұрын
Kama unamuona mtangazaji hakuwa makini pale alipopita yule dem gonga like yko tuende sawa
@barakamollel18486 жыл бұрын
Mekka 44 ...CEO of A1 ..... Kazi kazi vijanaaa !! #WachaUvivu
@marrykimaro20296 жыл бұрын
Safi sana,Be blessed kijana
@revocatusthomas31016 жыл бұрын
😂 😂 😂 huyu mtangazaji huwa ananiacha hoi sana akiwa anamhoji mtu anakuaga kama anakaubize fulani hiv
@Zuchu116 жыл бұрын
Revocatus Thomas .pale kunamdada alipita ndo maana akageuka.
@SuperKibwana6 жыл бұрын
Big up sana bro. Ni ubunifu wa kipekee na unastahili kongole.
@sanurahamad45786 жыл бұрын
Hongera Sana mdogo wangu
@frankmateiwaarushatanzania17896 жыл бұрын
kazi ni kazi ili mradi mkono uingie kinywani safi sana
@gasperngowi77916 жыл бұрын
Nikolaus mokoki.....I remembered this man. From st. Francis. Big up
@NicMekah6 жыл бұрын
yeah, thats me bro!! for God and Country si unaelewa
@alexchungu88236 жыл бұрын
Safi sana... Kijana
@chanxart6 жыл бұрын
Big up sana kwake💪🏽💪🏽 huku dar wenye degree wamefungua account za udaku insta wengne wanabet
@habibuzahoromakame.67286 жыл бұрын
Dah Safi San na mungu atakusimamia
@erickhaule86806 жыл бұрын
Duu aisee akili kujiongeza Elimu kitu gani fikla potofu piga kazi baba fursa hiyo ofisi ukiibolesha lazima kazi iwe nzuri
@nyanzalakaporo25045 жыл бұрын
Hongera sana Kaka
@hamisidogo16986 жыл бұрын
Duh, mtangazaji dish liliyumba kidogo alivyopita huyo Dada .😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@komboomar82756 жыл бұрын
Mungu atafanikisha juhudi zako bro
@goodneighbour26386 жыл бұрын
Tuko pamoja nicolaus Mokoki##steve
@faudhiasalum72792 жыл бұрын
Hongera sana kijana
@kisitebuilder10456 жыл бұрын
Safee sana Blood
@shedrackboniphace77556 жыл бұрын
Respect we ni fighter bro
@thomasnicholaus10056 жыл бұрын
muite mzee baba magu afanye uzinduzi maana hicho ni kiwanda tayari
@pablombuya87986 жыл бұрын
Thomas Nicholaus wejamaa umenichekesha Sana 😄😃😂😁😀😆😅
@kelvinjohn68516 жыл бұрын
Naunga mkono hoja
@summanelson55236 жыл бұрын
Ha ha ha! Kweli hiki ni kiwanda.
@najmandanshau86926 жыл бұрын
Thomas Nicholaus hahahahaaaaa
@m.mmarckus62986 жыл бұрын
Ukilala njaa ujinga wako kwakweli ,tuamke tusisubiri kuamshwa.wengine wana kuwa wanajishauwa eti siwezi kufanya kazi km hiyo
@simonhanno81936 жыл бұрын
Kitu kidogo kimepungua hapo, fanyeni mpango muweke kitu ya kukinga jua itaboresha zaidi, ushauri wangu tu.
@dennisshine74816 жыл бұрын
hongera sana Mr
@kenyomarion56056 жыл бұрын
Jamaa ana shahada na sio stashahada, mtangazaji umechapia...
@jessydaktari52096 жыл бұрын
All tbe best bro...big up sana
@youngdady79016 жыл бұрын
😂😂😂 me nahis alishangaa tu sister kakatza mbele ya camera wala sio alikua anaangalia kalio
@chanxart6 жыл бұрын
Halaf huyo mtangazaj mwambien aache kuwa anaangalia madem wakipita aconcetrate na kazi😂😂😂
@Budi-5886 жыл бұрын
Style by Astonac hahahaaaa
@kairetugekenerikahakiemma49376 жыл бұрын
Enyewe 2:29 amepotelea kabisa kwa mrembo
@jackmkaya25666 жыл бұрын
hongera xana brooo
@arushaholic.6 жыл бұрын
Mtangazaji Ana Macho Ya Fisi 😂😂. Kaona Sketi Akapita Nayo.
@frankmateiwaarushatanzania17896 жыл бұрын
safi sana niko
@kilonzokallage6159 Жыл бұрын
Mambo ya uchumi yana siri kubwa sana Huyo jamaa anaehoji hajaelewa kwamba huyo jamaa anatengeneza pesa nyingi kwa mwezi kuliko yeye Pia jamaa kaajiri vijana wenzake wa wili ,na yeye kaajiriwa. Nimeandika hivi kutokana na mtangazaji muonekano wake anavyohoji kama vile anampuuza kiaina hivi. Hajauliza hata maswali ya ku motivate vijana wengine kuwa wabunifu,amehoji kama mtu anaeshangaa.
@kinyongastudios79994 жыл бұрын
kali sanaaaaaaaaaaaa
@hellenmgungus19796 жыл бұрын
Safi arusha wooooooyooo
@winniemwasenga6 жыл бұрын
Inspiration
@davidmarick42576 жыл бұрын
Hii mambo yakukaa kijiweni kijana kujisifia una degree auna kazi wakati kuna kazi za zege kuzibua choo kufua imradi uingize kipato kuliko kusema nimesoma lakin kaz amna uwo ni ushauri kwa vijana wezangu
@marygaspar64296 жыл бұрын
Waao! Hongera
@saimonjulius13196 жыл бұрын
Safi sana
@asserymmary26966 жыл бұрын
That's nice...
@lucaskimogere82916 жыл бұрын
Vijana tatizo wanamadem wa maana town
@lucaskimogere82916 жыл бұрын
Wataonekana
@dalalibangokigamboni39586 жыл бұрын
KAMA UNAHITAJI KUUZA KUNUNUA KUPANGA AU KUPANGISHA NYUMBA VIWANJA MASHAMBA FREM NA OFISI CALL#0718295182 #0765505909 Instagram@dalalibango
@richardmnkande11306 жыл бұрын
Tunatakiwa tu-support ubunifu wa aina hii ili kusabisha vijana wazalishe mambo ya namna hii katika wakati tulionao
@edwinalexander11706 жыл бұрын
Safi sana ila mtangazaji amepoteza mtiririko baada ya demu kupita hapo
@oloshokiabdikorle52096 жыл бұрын
safi sana
@erickhaule86806 жыл бұрын
Mimi Nina masters lakini Nina chimba chumvi kitame huku nimejiongeza
@marinyasaxistv81216 жыл бұрын
😀
@chrismbalilaki24456 жыл бұрын
GPA ya 32
@bennysellar85506 жыл бұрын
Mbona kademu kamepita hapo mkashangaa kwanza?????
@Ishengoma16 жыл бұрын
Umeona yaani hawa wanawake wametutawala akilini
@prinsecdayana21436 жыл бұрын
Umeonae hasa huyo mtangazaji
@aishaabdallah55236 жыл бұрын
Wamemshangaa kwanini kapita mbele ya camera
@alexlingwendu67806 жыл бұрын
Wadhamini
@saadsalum32536 жыл бұрын
umeona ehhhhh tako lilipa na kimin kudadek mpk mtangazaji kapagawa chaliii yng
@kingswebe32516 жыл бұрын
Mtangazaji anaangalia matako ya demu
@ilovejesus93036 жыл бұрын
🙄😁😁😁
@josephnicolaus80926 жыл бұрын
hahahahaaha kumbe na ww umeona
@saadsalum32536 жыл бұрын
mkuu wawilaya nayeye aje kwa show shine amuunge mkono kijana mwenzetu
Mtoto anaesoma, either yuko sekondar or msingi, akiona hii video, anaweza sema shule ya nn? Tusipo kuwa makin tutakksa wasomi kama taifa
@joycemushi1186 жыл бұрын
kitaruo kiria You Can't Be Serious
@kelvinjohn68516 жыл бұрын
Acha uchizi wewe. Kuna faida gani ya kuwa na wasomi wengi ambao hawana ajira si bora watu wajiongeze mapema tu.
@SuperKibwana6 жыл бұрын
Sio kweli. Huyo atakuwa mjinga. Kuelimika kunamfanya mtu aweze kuwa mbunifu zaidi, na unapokwama unatumia elimu kujikwamua. Ukiwa mbumbumbu utapata tabu sana
@rosag5146 жыл бұрын
Idea ni nzuri but ameipata toka Nairobi!!
@NicMekah6 жыл бұрын
idea haipo nairobi tu, ipo kila mahali ambapo inafanyika, unahitaji kuipeleka mahali ambako haipo, maana hata nairobi sio wao walioanzisha. Asante
@elishamaimu46026 жыл бұрын
Dk 2:25 mtangazaji msindikizaji
@MambaAfrica6 жыл бұрын
Mtangazaji need to focus, wacha kucheki cheki madem
@husnajohn74666 жыл бұрын
Yaani hiyo ni huduma bila kushare ndala
@othmanahmed39066 жыл бұрын
2:24 😂😂😂
@mpls_link6 жыл бұрын
Mtangazaji 🤣🤣🤣🤣🤣 acha kushangaaA madem
@officialkamdudu6 жыл бұрын
Hio skirt naomba ipite tena plz 🤣🤣🤣
@christianmzoro38012 жыл бұрын
Hiyo napataje kaka viti hivyo
@privamariki26756 жыл бұрын
ongeza na miamvuli
@NicMekah6 жыл бұрын
Kama uko Arusha ganya kupita ofisini, tayari nimeweka ndugu kwa ajili yako pia
@dalalibangokigamboni39586 жыл бұрын
KAMA UNA GARI UNAUZA AU UNAHITAJI GARI LOLOTE TANZANIA CALL #0718295182 WATSAP #0765505909 Instagram@bango_magari
Pia akipata fedha aweke mwamvuli ili aweze kufanya kazi kwa wakati wote
@NicMekah6 жыл бұрын
Tayari bro
@willywajson73026 жыл бұрын
tanzania ina watu brave sana ila....
@NicMekah6 жыл бұрын
Ila tunahitaji kujiamini
@selemanibatenga63276 жыл бұрын
Wengi wao ni watu wa usalama hao sio watu wa kuwaiga kabisa
@deus86296 жыл бұрын
😅😅
@NicMekah6 жыл бұрын
Iga kizuri, kibaya kichambue hadi upate kizuri
@machinefannatic996 жыл бұрын
Mtangazaji Ana matatizo ya akili! Eti kasema "hana elimu" alafu kahitimu chuo
@godluckorago35176 жыл бұрын
katangazaji kanaangalia mademu hakako makini na kazi
@pbye29746 жыл бұрын
Godluck Orago 😂
@ndarogamba1916 жыл бұрын
Ubunifu ni faida,pambana dogo!
@jaydon33616 жыл бұрын
Mnapotosha watu siku hizi mkiona mtu anajishughulisha mnasema ana degree, au ndo mnaikosoa serekali kwamba ajila hamna
@malickmakatta60896 жыл бұрын
Son P kwahiyo wanaojishughulisha hawajasoma?
@NicMekah6 жыл бұрын
Degree sio kukaa ofisi zenye AC tu bro, wapo wenye degree pia wanaendesha mabasi, cha msingi ni namna unavoitumia degree yako kuendesha maisha yako na kusaidia jamii yako. Karibu tena
@salomecaroly55343 жыл бұрын
Tupo wengi mno hatuna ajira kwani uongo
@abdallahdataguy6 жыл бұрын
Copy and paste hii. Kuna kijana tayari alishabuni hii idea
@sixbertmpepo34686 жыл бұрын
idea ipo nairobi kitambo sana nilichofurah ni kuona kajiongeza kajiongeza kaisogeza na arusha
@rosag5146 жыл бұрын
sixbert mpepo Yes from Naorobi
@rosag5146 жыл бұрын
Nai
@kaskaziniansgang12886 жыл бұрын
Nimefika hapo pako pazuri, mshkaji ni mbunifu vijana acheni kublame serikali tutafute njia nyingine kuingiza kipato
@NicMekah6 жыл бұрын
Asante kwa kuja bro
@mranzuann79506 жыл бұрын
big up sana bro
@emmanuelshaggy64206 жыл бұрын
Safi sana
@dalalibangokigamboni39586 жыл бұрын
KAMA UNAHITAJI KUUZA KUNUNUA KUPANGA AU KUPANGISHA NYUMBA VIWANJA MASHAMBA FREM NA OFISI CALL#0718295182 #0765505909 Instagram@dalalibango