I am extremely impressed with this guy. I have learned something different. Sky can’t be the limit, no one walks in the sky. Will surely visit you when I am in Bongo
@esthermataba29437 жыл бұрын
Mungu akusimamie na akubariki ndugu.. wewe ni mfano wa kuigwa.Big up sana
@DennisDidas7 жыл бұрын
Safi sana, ni mfano mzuri kwa vijana wengi ambao hawaelewi umuhimu na faida ya uthubutu. Ukiamua kufanya lolote usiangalie anayekuangalia elewa unajenga maisha yako na sio maisha ya wale wanaokuangalia. Nimependa mwanzo mzuri wa kijana huyu.
@yollandaynawanda90887 жыл бұрын
Nimependa aisee
@athumanimhanga20536 жыл бұрын
Dennis Didas vijana wengi wakiafrika niwaoga.kazi.zipo nyingi sanaa.ila ukiaza na moja.mungu anakupa njia.hata mm niliaza nakidgo sasa iv.namiliki vimilioni
@ramadhansaid51797 жыл бұрын
Aiseee huyo jamaa tumezaliwa tarehe, mwezi hadi mwaka sawa good job bornmate...
@salhamzee78247 жыл бұрын
utafika mbaliii bro...i always pray for u...najua akiliii yako n uwezo wako...uko vzur hakika endelea kupambanaaa...hard work pays
@seifzongo3207 жыл бұрын
your brain is like a bank ...more you deposit the more you withdraw.. safi kaka
@michaelmallya56227 жыл бұрын
Creative mind, Awesome!
@gracemsemo94147 жыл бұрын
dah aiseee hii habari imenitia moyo na imetutia moyo vijana wengi tumejikuta tumezingira simu kumsikiliza kweli fursa ni kwa waliojiandaa asante millard kwa habari hii dah
@japhetshirima86977 жыл бұрын
true definition of an entrepreneur ...achana na yale tunayosoma class
@annawinstone94267 жыл бұрын
Impressed, we need more of this Millard ituamashe kitandani maana degree Holder wengi tumelala
@waukweelinikkon65557 жыл бұрын
Daaah hongera kwa uthubutu broo,wewe ni mfano wa kuigwa
@remyndaribike39646 жыл бұрын
Mwanangu Full Rrspect Mzarau kazi kufa maskini Salute sana
@eliadaabel89917 жыл бұрын
hongera sana mkaka Fursa huwa inakuja pale unapo penda kitu mfano kama ww n mrembo unaweza ukabun kitu kuhusiana na Urembo na utatoboa tu
@zawadi5637 жыл бұрын
BIG UP BRO .....Huwez Amini hii video ina dislike 15.... unabaki kujiuliza hiv hao watu ni waelewa kweli But siku moja tutaendelea I have A DREAM
@shau787 жыл бұрын
hongera sana kaka. hongera sana kwa kuchukua hatua. big up big up big up. na wengine tujifunze
@dr.erickjmazyala89057 жыл бұрын
Wow, hongera sana! Keep up a good work!
@Lc_19917 жыл бұрын
Hujawahi niangusha Mkurugenzi #blessed up
@kamgomoli36506 жыл бұрын
The future is full of darkness only the bright brain will survive. Big up broo
@IringoAdventChoir7 жыл бұрын
Umesoma Degree Ili Ujiajiri Bro Utafika Mbali... Lkn Kuna ambao Walitafuta Degree ili waajiriwe na wamekuwa mtaani Muda Mrefu Bila Kupata Kazi!
@saumuhassan13657 жыл бұрын
Nimekupenda bure brother, safi sana
@eng.bugomolajulius25607 жыл бұрын
Saumu Hassan kama ninavyokupenda wewe etii.
@funsupadatestourists92567 жыл бұрын
Nice one..kaamua tena ana degree mwanaune mwengine kafeli hana ujuz wowote una mshauri apige boda tuu aba ana ona hatari muone kaka wawatu kasoma na ana shoe shine
@mnzavachris54237 жыл бұрын
Rose Msafiri na wewe ndo utumie fursa
@hangaliworkouttv74585 жыл бұрын
Saf san bro
@emiliamulaki36007 жыл бұрын
Hongera sana Kaka. umenipa nguvu. Hongera milardo ayo kwa taarifa.
@maggiemwambapa9007 жыл бұрын
Daah inapendeza ameniinspire sanaa bigup bro
@tkvlogs39697 жыл бұрын
Well said ,👏🏽👏🏽👏🏽
@maryschroeder5217 жыл бұрын
God bless your bissness
@bijogainnocent18327 жыл бұрын
Nimekuelewa safi San hongera sana
@BigZhumbe7 жыл бұрын
Wewe umejitafutia ajira.....wengine wanalalamika Magufuli anakaza.....be innovative maisha yaendelee
@pascleshayo97405 жыл бұрын
Safi sana kuijiamini ndio main switch wengi wanashindwa kuchukua hatua
@ahmedissa91767 жыл бұрын
Hongera kwa uthubutu aisee
@ernestjohanes90877 жыл бұрын
ANA AKILI NYINGI SANA
@lulushambazuri48616 жыл бұрын
Nimependa safi sana hongeraaaa
@rhinaregina58067 жыл бұрын
Wow God bless you because everything you have to try
@g.p.ubandusa75647 жыл бұрын
Mungu akujaliye
@saydalfred98407 жыл бұрын
heshima kwako bro (inspiring)...
@sakinandoile94397 жыл бұрын
Hawa ndio watu wa kuinterviw nao kijana anainspire sana
@gracemsemo94147 жыл бұрын
zaidi ya yote Mungu ambariki sana
@mranzuann79507 жыл бұрын
big up bro, you are genius
@abdallahsalum64497 жыл бұрын
safi sana hata thermometer ina degrees 100 na inafanyakazi kwenye kwapa je wewe kwenye degrees 1 au 2. .. inapendeza..
@ahmedysaid56536 жыл бұрын
Abdallah Salum ,,,,,tisha sana
@mwinjilistiyusuphnjoree28576 жыл бұрын
Waooooooo Kijana Umenibariki sanaaaaaaaaaa
@asyabakari42605 жыл бұрын
Hongera sana
@emanuelkapinga72677 жыл бұрын
well done
@hildaedson70547 жыл бұрын
such an inspiration
@derickalex53715 жыл бұрын
Very inspiried,
@allymsuya57537 жыл бұрын
Dope sana
@khantv69497 жыл бұрын
daaaaaaaah aiseeeeee KANIPA KITU FLAN KTK MAISHA YANGU APPRECIATE BROW
@nyanzalakaporo25045 жыл бұрын
Hongera sana Kaka kwa Ubunifu wako
@amihogatai84324 жыл бұрын
hongera sana bwana mdogo. ila lugha sasa. haina haja kuchanganya kiingera na kiswahili kihivyo.
@BarakaSanane7 жыл бұрын
very inspiring bro keep moving
@barikichichimu35027 жыл бұрын
safi sana.
@juliussanane18607 жыл бұрын
Dah kweli fursa kwa walio jiandaa
@namyapaeli90467 жыл бұрын
Hongera mopaya kwa kutambua fursa
@jeremiahminango41005 жыл бұрын
good idear
@fredymosses46077 жыл бұрын
hongera sana mr
@aminayasni90317 жыл бұрын
Safi sana bro
@dennisshine74816 жыл бұрын
well done brother
@edwardedward25206 жыл бұрын
Safiiiii!! Umeibadilisha changamoto ya watu kutopenda kuvua viatu nimekuwa fursa kwako. Ulianza na Idea inaenda kubwa kampuni.
@ben_son69507 жыл бұрын
You inspired me bro
@marthaaugust44396 жыл бұрын
waaoohh brother uko vzr sana
@jenikaijage79547 жыл бұрын
Safi sana mdogo wangu
@idakid39416 жыл бұрын
Genius bro
@athumanrugami10027 жыл бұрын
Hongera sana bro
@Jameskaguo7 жыл бұрын
Safi sana aisee jamaa kaua
@dainessyohana89245 жыл бұрын
Kaka Mungu akupe mafanikio zaidi ya apo unajituma sana
@zainabbakari36037 жыл бұрын
Hongera saana kaka mungu akubaliki sanaaa
@ramamabinda50637 жыл бұрын
Nmeipenda sana hii
@BILDADTV7 жыл бұрын
Talented fella
@Mamatonny20656 жыл бұрын
Hongera Sana Kaka.
@deewallance93547 жыл бұрын
Bakiri mluzi aliyekuwa president of Malawi. Lkn unakili God bless you,
@allilutavi66037 жыл бұрын
Greeeaaat brother
@joshuamgaya35187 жыл бұрын
Jamaa kaamua kweli
@lenkbizzy307 жыл бұрын
Big up sana
@BILDADTV7 жыл бұрын
Thats the spirit
@maliharajabu89177 жыл бұрын
Safi kabisa ni vzur kujiajir mwenyew big up broo nice one
@tausilifestyle7957 жыл бұрын
Kazi kazi
@chellynpanja68227 жыл бұрын
Umefanya vizuri Ben pol
@kinyeletv3137 жыл бұрын
hongera saaan bro
@patrickmungai17817 жыл бұрын
Nice bro
@kelvinmjasiriamali54446 жыл бұрын
aise big up my bro
@venancebasil46567 жыл бұрын
safi sana kiongozi
@kashumbanarsis47697 жыл бұрын
Nice
@michaelmillinga50647 жыл бұрын
All the best to u bro
@evemangare17326 жыл бұрын
Upo vzr Mr
@djmack13457 жыл бұрын
Big up. I give U thumg
@emmanueldeus15427 жыл бұрын
utafika mbali sana kaka
@clevertechtz62917 жыл бұрын
We're all gona die ipo good sna fulsa ni kwaajil ya walio jiandaa
@kulsoomkulsoom88976 жыл бұрын
👍👍
@ashminaabdullah56267 жыл бұрын
Safi broo
@favolii47447 жыл бұрын
Nice msee nimejifunza kitu
@nohatredbutlove57866 жыл бұрын
Nahisi ungeweka kitu ukawa unakalia wakati wa shughuli yako ingependeza sana. Cause lazma unapofanya kazi yoyote ukeep in mind your proper body mechanics. Saivi upo young its fine but after miaka kadhaa unainama hivyo unaenda kupata matatizo ya mgongo ambayo yatakufanya ushindwe kufanya kazi yako. Anyway, Mungu akunusuru na hilo ila fikiria kuhusu kutumia mwili wako vizuri katika kujitaftia rizki. Ni vyema kupata kitu cha kukalia. Ni ushauri tu.
@iviejustified81097 жыл бұрын
Safi saana kijana Mwopaya
@saidsaid94636 жыл бұрын
Uthubutu ni mzuri vijana wasiogope nimependa
@khairatmohd90516 жыл бұрын
jamani ayoooo nakupenda sanaaaa
@teddymeela27916 жыл бұрын
Upo vzr wengne wanavyojiosha wanangoja ajira za serekal mtu umesomea degree ya kutunza takwimu nimependa kaz uliyoichagua one day yes
@saidbanga7 жыл бұрын
Umetambua ulichonacho na ndio maana umefika unapotaka Natamani siku moja nikutane nawewe..!!
@hekimamsigwa12497 жыл бұрын
safi sana bro
@suleimanali37167 жыл бұрын
Supre
@immazeweezy45997 жыл бұрын
He's sound like Ben Pol, who's agree wth me, drop y'r like below
@stellaalphonsa48847 жыл бұрын
Mungu aendelee kukuinua.
@happinessmataluma19487 жыл бұрын
good kaka
@annaniasbyarugaba57887 жыл бұрын
I congladulate u bro
@agliventures7 жыл бұрын
safi
@noeldidas35787 жыл бұрын
I like you
@marryombera14357 жыл бұрын
yan huyu kaka kafanya kitu kizur sana sio tunalalamika ajira hakuna kumbe ajira unayo mwenyew hapo hata mtu akitaka kumsaidia anajua aanzie wap sio mtu anataka kukusaidia alafu huna chochote duuuh nimekupenda sanaaaa