MWINYI AKIRI "UKIONDOA NYERERE SISI WENGINE WOTE MAGUFULI AMETUZIDI KASI"

  Рет қаралды 54,791

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 87
@mzalendomzalendo2567
@mzalendomzalendo2567 5 жыл бұрын
Mzee ruksa umeongea kutoka moyoni mwako kabisa, wewe ndio unajua uchungu alio nao raisi wetu alivyo ikuta hiyo nchi ndio na wewe ulivyo ikuta wakati wa utawala wako big up mzee wetu, mwenyezimungu ampe afya na aendelee kutawala rais JPM haswaa kaletwa na mungu no doubt about that. MAGUFULI OYEEEE
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 6 ай бұрын
Mungu kamchukua sasa 😅😅😅
@getrudistula8187
@getrudistula8187 4 жыл бұрын
Asanteni nanyi pia kwa yote mliyofanya TZ kwa uwezo wenu.Mungu awabariki woooote. Tangu awamu ya 1 hadi ya 5 tutazidi kuwaombea.
@damascongongi1609
@damascongongi1609 5 жыл бұрын
Namshukuru MUNGU BABA kwa ajili yako kwa kutunza kapu LA hekima ambayo unatujuza.
@chandrnyoeliakim1006
@chandrnyoeliakim1006 5 жыл бұрын
kweli mzee, wengine wakizeeka na akili zinazeeka, wewe akili iko timamu unajua kasi ya Magufuri, Magufuriii safiiiiii
@kibasamohamedi8029
@kibasamohamedi8029 5 жыл бұрын
Nakupenda wewe Mwinyi. Km unmkbl mzee ht km uongoz wake tulkuwa hatujielew like hapa
@husseinally9925
@husseinally9925 5 жыл бұрын
Alhaj wasema kweli magufuli kafanya mengi na makubwa kwa muda mchache sana
@evamlay8997
@evamlay8997 5 жыл бұрын
Nakupenda bab mtulivu sana wewe
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 5 жыл бұрын
mzee ruksa mwenyezi mungu amekupa hekima na busara ukizungumza huna kiburi wala jazba.
@tuwajafar5687
@tuwajafar5687 5 жыл бұрын
Much love and respect to you my babu!
@ishigitakatisho4765
@ishigitakatisho4765 5 жыл бұрын
Safi sana Babangu,unanikumbusha 1985. Hakika watanzania tunachapashwa kujifunza kutoka kwako.Hongera sana kwa Busara zako!.
@danielmbalwa9307
@danielmbalwa9307 5 жыл бұрын
Hongeraa mzee Munguu akujaliee uendelelee kutupaa nasaha zako!!
@rasihamsangi8084
@rasihamsangi8084 5 жыл бұрын
Pamoja mzee wetu Mung ibariki Afrika
@fortnataangelo4805
@fortnataangelo4805 5 жыл бұрын
Wewe ni mnyenyekevu, sana Baba ,
@newforcejv9721
@newforcejv9721 5 жыл бұрын
Tulio muelewa Like zetu hapa
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 5 жыл бұрын
Mzee wa ruksaaaaaaaaa,safi sana.Mungu akupe maisha marefu zaidi.
@emmanuelmtemi5574
@emmanuelmtemi5574 3 жыл бұрын
Mzee Mwinyi ni mcha Mungu, msitaarabu, mnyenyekevu na mkweli analolisema linatoka moyoni mwake. Kwa umri aliyonao ameona mengi. Mungu aendelee kumjalia afya njema, bado tunahitaji busara yake.
@adenihalisi4218
@adenihalisi4218 5 жыл бұрын
Sawa mzee hongera bora wewe akili yako haijafa kama wengine
@danielmgonja9906
@danielmgonja9906 5 жыл бұрын
saf sana mzee nmependa hyo sentence kwamba aendeleee hata awamu nne
@jaxboytv7834
@jaxboytv7834 5 жыл бұрын
Big up babu yani old with brain!
@kimsamir965
@kimsamir965 6 ай бұрын
Mungu akupe pepo baba
@shaabanramadhan6770
@shaabanramadhan6770 5 жыл бұрын
Mzee wetu anabusara san mungu amuongezee umri
@eaglecrown3872
@eaglecrown3872 5 жыл бұрын
kweli mzee wangu sema maana msema kweli ni mpenzi wa MUNGU nadhani nidhamu yako ile aliyoiona mwalimu nyerere kipindi wazili wake isiyo na chembe ya usaliti itakuwa na mwanao kailithi maana hussen mwinyi akili yake sio chafu imetulia sio kama hayo matoto mengine makundi makundi!, usela mavi, ujinga tu.
@ethelkatambala1659
@ethelkatambala1659 5 жыл бұрын
Hahahaaa nimecheka eti usela mavi
@salehejongo2799
@salehejongo2799 4 жыл бұрын
Hapa kazi tu.
@sophydaud5351
@sophydaud5351 4 жыл бұрын
Ishi miaka mingi mzee yenye heri
@solomonmbuna7229
@solomonmbuna7229 4 жыл бұрын
Ni kweli kabisa mzee wangu unachokisema wote tunaona mambo mazuri Sana aliyoifayia nchi hii Hongera Sana Rais wetu Magufuli
@tumainindaki6464
@tumainindaki6464 4 жыл бұрын
Msingi mzuri uliowekwa na ninyi watangulizi ndio kumefanya spidi hii iendelee Mzee Mwinyi.
@ancomagu9893
@ancomagu9893 5 жыл бұрын
ANAE TAMANI RAIS AONGEZEWE MDA WA KUTAWALA LIKE APA TUJUWANE
@saidbuty4601
@saidbuty4601 5 жыл бұрын
Hakuna alielike mzee
@akidashekue163
@akidashekue163 5 жыл бұрын
Nyerere kwa 25 years halafu unamuondoa, ongera ukweli acha uoga Baba
@francodesus9519
@francodesus9519 5 жыл бұрын
No like 😂😂😂 labda ujipe mwenyewe
@maidaabdallah360
@maidaabdallah360 5 жыл бұрын
Kweli baba
@aidarousshaban9580
@aidarousshaban9580 4 жыл бұрын
Saaafiii saanaaa
@kazmrkailembo7899
@kazmrkailembo7899 5 жыл бұрын
Mzee umeongea ukweli safi sana.
@augustinomwamasinga2200
@augustinomwamasinga2200 5 жыл бұрын
Ndio mzee
@niconissilu8871
@niconissilu8871 5 жыл бұрын
Unaakili bado. Mzeee,we ni mwemaa
@johnmbugani6532
@johnmbugani6532 4 жыл бұрын
Huwa ni vigumu Sana kwa kiongozi aliyepitia nafasi hiyohiyo kumkubali mwenzake anayehudumu kwa nafasi hiyohiyo. Lakini mzee Mwinyi umeonesha ukomavu Mkubwa Sana, mbele ya WATanzania na Mungu wako juu ya utendaji uliotukuka wa Magufuli
@greatiq8234
@greatiq8234 5 жыл бұрын
Yahe Nzee Mwinyi bona mi nnyamaze tu banaa!
@abdulkheri7322
@abdulkheri7322 4 жыл бұрын
Eti mwanae ndio anataka kuwa rais wa zanzibar
@tonychome9074
@tonychome9074 5 жыл бұрын
Ni kweli kupenda kwa yayi hakufosi moyoo bac moyoo wangu tulia
@anuaryally6177
@anuaryally6177 5 жыл бұрын
Busara zako tunaojielewa tunakuhusudu mzee mwinyi
@kilalaurio9922
@kilalaurio9922 4 жыл бұрын
Mungu akuongezee miaka mingi mzee wangu kwa ukweli wako.
@jongosalehe1036
@jongosalehe1036 3 жыл бұрын
Mwinyi safiiiiiii
@florachogo5537
@florachogo5537 5 жыл бұрын
Oyeeee mzee mwinyi safi sana .uko vizurri sana .umeona wasioona hata angekuja raisi wakuwabeba mgongoni wangesema umenibeba vibaya
@fredykyando9108
@fredykyando9108 5 жыл бұрын
msema kweli ni mpenzi wa mungu na huo ndio tunapenda wazee mtufundishe tuliko toka wengi hawajui asante baba yetu mwinyi pumzika kwa amani na afya njema uwepo wenu ni hazina kubwa,
@mbonimanakisenya6868
@mbonimanakisenya6868 4 жыл бұрын
Mwinyi upo vizuri
@yussuphshilingi3258
@yussuphshilingi3258 3 жыл бұрын
Laanatullah wewe hufai kuitwa mzee Bali nimtu Alie zaliwa zamani ...jeee upande wazanzibar mnavo fanya udhalimu
@zainabumwagiroabdallamwagi97
@zainabumwagiroabdallamwagi97 4 жыл бұрын
Mzee achakutuzuga ,nikweli mheshimiwa raid amefanya kazi kweli lakini tusikiuke katiba eti azidishiwe kipindi cha tatu kwasababu kilicho nasura kina kichogo.Uhuru wakujieleza upo wapi?democrasia ya vyama Vingi inafifia ,wapinzani wanaitwa maadui ,hayo nimambo yanayoenda kinyume na utawala washeria.
@winfredbespoke8440
@winfredbespoke8440 5 жыл бұрын
Mzee anaonekana ana busara kuliko wale vijana wake, kweli utoto unawasumbua
@mommary2424
@mommary2424 5 жыл бұрын
Asante mzee wa ruksa😆😆
@abdallahhussein7539
@abdallahhussein7539 4 жыл бұрын
Safi mzee mwinyi
@Views-mf8ir
@Views-mf8ir 4 жыл бұрын
Ningekuwa Mungu ningemuacha Mkapa kwanza ....!!!
@sasha-ri7tf
@sasha-ri7tf 4 жыл бұрын
Udhafu wako ni wako kila kiongozi ana uzaifu wake.
@mohamedturanardan8871
@mohamedturanardan8871 4 жыл бұрын
Kweli, ulisifia sana na unaendelea kusifia ndomana mwanao mkampitisha nchi ya kifalme hii.
@leilainnocent6532
@leilainnocent6532 5 жыл бұрын
Mzee Mwinyiunazeeka na busara zako.
@DAMUSAFI
@DAMUSAFI 5 жыл бұрын
KILASIKU TUNAWAAMBIENI KUMUULIZA HUU MZEE KUHUSU KUTUNGULIWA KWA NDEGE ILIO KUWA IMEBEBA MARAIS WAWILI WA RWANDA 🇷🇼 NA BURUNDI 🇧🇮
@gabrielaniseti1537
@gabrielaniseti1537 4 жыл бұрын
BUSARA ZA MZEE WETU MWINYI. JPM AMEBADILI SHAMBA LA BIBI KUWA TZ MPYA
@tonychome9074
@tonychome9074 5 жыл бұрын
Daaa umeamua kunitemaa swa
@cassimmbarouk1125
@cassimmbarouk1125 5 жыл бұрын
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
@kramsjunior4447
@kramsjunior4447 4 жыл бұрын
🙏🙏🙏
@DuniayaHabari
@DuniayaHabari 4 жыл бұрын
Ivi mpoki ananini embu angalia anavofanya watu uchizi, mpaka wasanii wakubwa, Angalia pia usisahau ku subscribe kzbin.info/www/bejne/rJ7dkHZ6hbuliac
@Cr7official7254
@Cr7official7254 2 ай бұрын
Magu
@frederickmachunda435
@frederickmachunda435 5 жыл бұрын
Muacheni mzee Mwinyi apumzike jamani,kuendelea kumtumia sio poa
@shammusfredy4158
@shammusfredy4158 4 жыл бұрын
Kwani na wewe si ulikua raisi hapo kwa miaka 10, kwa nini usifanye
@herrysonk.edward609
@herrysonk.edward609 4 жыл бұрын
Hahahah Mzee Ruksa
@bashirusalehenandoro3128
@bashirusalehenandoro3128 5 жыл бұрын
Ndege?😃😂😀 Kumbe kununua ndege kule ni kasi ....ni ya maendeleo au kas ya ndege zenyew..Tafiti zinaonyesha kampun nying za Ndege za inch za africa znaendeshwa kwa hasara na zitashuka kwa kupata hasara miaka 5+ ijayo ..Tafit ile nadhan ni ya watu wasio na nia njema na rais kutoka nchi za nje😔😔😔
@ismailhassan5662
@ismailhassan5662 4 жыл бұрын
Ndomana ulipigwa kofi mana sijuiunaongea nn ww mzee
@amosmoses7800
@amosmoses7800 4 жыл бұрын
Mimi ni MLUTHERI na wala sitetereki wala kuhofia kitu. Lakini tunavyoendeshwa na hii serikali chafu ya kiBaguzi ya ccm ni UONEVU mkubwa wa haki za raia. Serikali ya ccm ya KIKATOLIKI ndio iliochukua Utawala baada tu ya uhuru ( uhuru wa bendera ) hadi ivi sasa ccm ya KIKATOLIKI wanaendelea kutawala inchi. Hakukuwepo wala musitegemee kuwepo na Raisi kutoka dhehebu jengine inchini Tanzania. Ata hao waislamu ni mizuzu tu isiojitambua hadi Leo hii. Wengi ndio waliopigania uhuru. Wengi ndio waliouwawa kwenye mapambano. Lakini wengi wao ivi sasa wanatumika kwa ajili ya KURA. idadi yao ni kubwa kwenye visanduku. Kwavile wanajulikana ni Maboya tu. Akili hakuna na Elimu hakuna. Tunaelewa agenda ya serikali ya ccm tokea ianzishwe ni KUWAWEKA WAKATOLIKI INCHINI NAFASI ZA JUU KATIKA KILA MAENEO. JESHINI. POLISH. MAGEREZA. WIZARANI.IDARANI. VYUONI. MAENEO NYETI YA IKULU . MAENEO NYETI YA UCHUMI. MAENEO NYETI YA MIHELA . Uyo aliefariki tunamjua ni mtu aliekuwa akiendeleza na kusimamia AGENDA na MAAZIMIO ya Mzee kambarage. Hatushangazwi kuona mazishi yake yakigarimu maBilioni ya hela za inchi katika kipindi ichi kigumu cha UCHUMI . Embu tusubiri mazishi ya Mzee ruhsa watamfanyia nini ^^^ ccm ni chama cha WAKATOLIKI ..kimeasisiwa kwa malengo malumu. Wapumbavu na Wajinga wataendelea tu kukipigia kura ili wapate kofia na sh 20, 000 .huku wakiendelea kula dagaa wakavu na sembe. Nguo zao viraka vitupu. Elimu kwao inaishia darasa la saba. Ili awe tu mjinga Asione mbele. Hakuna MLUTHERI aliepo ccm ila atakuwa zezeta hilo. Ghty
@ericalexandre2166
@ericalexandre2166 4 жыл бұрын
Amos acha chuki zisizo kua na msingi, nchi haiendeshwi ivo unavyo fikiria ww
@nassorsuleiman7813
@nassorsuleiman7813 4 жыл бұрын
Tumia busara kutoa hoja zako lakini chuki wivu na hasadi huweziwezi kukufikisha popote
@nassorsuleiman7813
@nassorsuleiman7813 4 жыл бұрын
Wakipewa wapinzani inaonekana hii inchi itakuwa mbinguni sio kwa mnavokosoa kama ninyi malaika vile, Allah awatie hekma na mwisho mwem
@simonpure109
@simonpure109 3 жыл бұрын
Hili ni povu😂
@sasha-ri7tf
@sasha-ri7tf 4 жыл бұрын
Udhaifu huo kwani magu kazinunua kotoka katika upara wake wa kichwa ni pesa zetu wananchi hata Mhe Tundu Lisu anaweza kufanya zaid ya hayo sababu kodi zitakusanywa kama anavyo kusanya magu na pesa za mikopo nafuu pamoja na misaada itatiririka kama sunami sababu yeye haogopi kusafiri kwenda kukutana na Duniaa watu walioendelea Duniani.
@dachjunior4766
@dachjunior4766 5 жыл бұрын
WALOTOA DISLIKES WOTE WACHAWI TU HAO ... WATU GANI HAO WASOPENDA MAENDELEO HONGERA MZEE WETU MWINYI HONGERA PIA KWA JEMEDARI J.P MAGUFURI
@nessa4899
@nessa4899 5 жыл бұрын
😂 huyu baba ni muoga kweli, Hataki visa kabisaa
@hamisjingu90
@hamisjingu90 5 жыл бұрын
Watu kama hawa mkipewa nchi ...hamchelewi kuturudisha kwenye enzi za utemi
@josej9888
@josej9888 5 жыл бұрын
Kwani mzee shida yako nini? Mbona unaonekana una hofu!?
@siwemamichael690
@siwemamichael690 5 жыл бұрын
Mzee naona kama unazeeka vibay
@shammusfredy4158
@shammusfredy4158 4 жыл бұрын
Wewe una yasema hayo kwa kulinda mali zako na kuwapigia debe watoto wako, huna jipya mzee, tubia baba kwa.uloyafanya
@abrahamhassan351
@abrahamhassan351 5 жыл бұрын
Mnafik mkubwa atachomwa tu siku ya mwisho hawi mwanao Raisi zanzibar pumbavu mkubwa
@sumaidgasto9151
@sumaidgasto9151 5 жыл бұрын
Wewe kijana unaakili kweli mbona huna nidhamu ndugu unamatukana mzee kwa nguvu hivyo. Hujawahi kuwa rais yeye alikuwa kwa he is speaking from the experience of what he has seen kuwa na lugha ya staha matusi hayasaidii hata kidogo
@iddyprod3187
@iddyprod3187 5 жыл бұрын
Wewe ndio mpumbavu tena mshamba usiyemjua matumizi ya simu unacomment pumba tupu....
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 5 жыл бұрын
ni ukosefu wa adabu kuwatukana wazee kama hawa.Unakuwa kama umekosa radhi za wazazi wako wawili
@sumaidgasto9151
@sumaidgasto9151 5 жыл бұрын
iddy prod: sasa unadhani ukitutukana ndio mambo yatabadilika au unayempenda atakuwa maarufu na kushinda uchavuzi. Ndugu shawishi kwa nguvu ya hoja yako usitumie hoja ya nguvu hutashinda na kwamba usiyempenda kaja na anafanya yawapasayo watu bila hoja za msingi utaendelea kulialia tu
@philimonmollel7019
@philimonmollel7019 5 жыл бұрын
Huna jipya MZEE ww tulia ulimaliza kipndi chako so sahv nch inakwenda kisivyo kabsa. Acha ww!
Maneno ya Alhaj Ali Hassan Mwinyi kwa rais Magufuli
13:03
Azam TV
Рет қаралды 94 М.
拉了好大一坨#斗罗大陆#唐三小舞#小丑
00:11
超凡蜘蛛
Рет қаралды 16 МЛН
Unveiling my winning secret to defeating Maxim!😎| Free Fire Official
00:14
Garena Free Fire Global
Рет қаралды 17 МЛН
1ОШБ Да Вінчі навчання
00:14
AIRSOFT BALAN
Рет қаралды 5 МЛН
RAIS MWINYI AFUNGUKA USIA ALIOACHIWA NA BABA YAKE MZEE MWINYI
8:29
Wasafi Media
Рет қаралды 110 М.
MWINYI AINGIA IKULU,NYERERE AAGA TAIFA 1985
8:20
Mwananchi Digital
Рет қаралды 91 М.
Namna hotuba ya Mzee Mwinyi ilivyoleta faraja kwa wafiwa
18:54
拉了好大一坨#斗罗大陆#唐三小舞#小丑
00:11
超凡蜘蛛
Рет қаралды 16 МЛН