"BINTI KASEMA ALIFANYA MAPENZI AKA-ENJOY, NAE ALITAKIWA ASHTAKIWE, VIDEO HAKIMU KARIDHIKA" WAKILI

  Рет қаралды 238,822

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 1 700
@ShafiiAmisi-h3w
@ShafiiAmisi-h3w Ай бұрын
Kama unataka alie watuma naye afungwe maisha like hapa kwawingi ujumbe ufike
@zitongwang6278
@zitongwang6278 Ай бұрын
Mimi nashangaa mbona NI vijana Tu ndio wanahukumiwa na wakati muhusika mkuu hayupo?? 😫😫😫😫😫 Huyu Bibi aliyetumwa wanamuacha ili IWEJE ?
@dutchmanwarstyle9030
@dutchmanwarstyle9030 Ай бұрын
wakili msomi take care pesa zilimuua yuda. Ukumbuke unawatoto wakike au ndugu zako. MWenye hatia muache apatiwe haki yake.
@silvanuskashindi1178
@silvanuskashindi1178 26 күн бұрын
Hioo ni kaziiYake, au aje akubake na wewe
@AndrewTheguyz
@AndrewTheguyz Ай бұрын
Kam una amini huyu wakili kalewa gonga like
@bakarithegeoinformatician7406
@bakarithegeoinformatician7406 Ай бұрын
Hujui kitu, shida ni kwamba mawakili wa serikali wengi hawapo vizuri
@cantonaiddy6042
@cantonaiddy6042 Ай бұрын
Kweli wakili kalewa 😂
@ommyguy1645
@ommyguy1645 Ай бұрын
Wakili kasoma. Anajua kucheza na sheria vzur kabbsa😂👏👏👏
@medystarter
@medystarter Ай бұрын
Wanaotaka afande nae akamatwe like hapa👉👉
@OmanOman-bx5du
@OmanOman-bx5du Ай бұрын
Mmi nataka afande afikishwe maahakman
@barakamanga5502
@barakamanga5502 Ай бұрын
Iv hajakamatwa
@FatmaSalim-ez9rg
@FatmaSalim-ez9rg Ай бұрын
Namm pia
@jinikisirani7928
@jinikisirani7928 Ай бұрын
Kujifanya wajuaji tu yakwenu yanawashinda
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah Ай бұрын
​@@barakamanga5502hapana ndugu
@noellamelchiory7460
@noellamelchiory7460 Ай бұрын
Duh sheria ngumu sana😢 mtu unaweza kupoteza haki yako ivi2 kwa maana sheria inavipengele vingi hata inaonekana unakosa lazima ikuteteeee😢
@allymbarouk5362
@allymbarouk5362 Ай бұрын
Daaah hii kazi ya uwakili mbaya sana, jitu zima linataka kulia buka.aibu Kisha wateja wake anaona wamedhulumiwa . Anatetea uhuni wazi wazi kabisa
@romanusmathius9213
@romanusmathius9213 18 күн бұрын
Kama unaamini wakili akiwa na pengo la chini lazima awe mlevi🍺 na tamaa za pesa. .gonga like 👍
@mamasalhat
@mamasalhat Ай бұрын
We Baba mungu akuulaani wewe na family yako
@olenhosea4227
@olenhosea4227 19 күн бұрын
Baba Dunia ni hii apa ya 3 tu, alichofanyiwa uyo dada ata watoto wako wa kike watafanyiwa,,malipo ni hapa hapa duniani kamwe hutakufa bila kuona ilo linatokea kwa watoto wako,,, hutakufa bila kupitia uo uchungu wakati huo watoto wako watatamani ata kujinyonga kwa aibu na maumivu makali watakayokuwa wamesababishiwa.. Pesa zinakuponza
@gypsumdesigndecor7947
@gypsumdesigndecor7947 Ай бұрын
Haki yamungu wewe wakiliii mungu anakuonaa yani mkuuu hujuiii kabisaa maaana ya kuingiliwa kinyume na mbeleee wewe hujuiiikiko wapiii yani kaka unamadhambii sana😢😢😢😢😢😢 kazi ya sheriaaa kuuonaa flame wa mbinguu ni kazi sana
@MkasiAli-v6w
@MkasiAli-v6w Ай бұрын
Huyu Kama hajui nyuma ni wapi nmshauri aende kwa pddy akamuoneshe
@johnlongoy7952
@johnlongoy7952 Ай бұрын
@@MkasiAli-v6w alooo 😂
@josephatmdidi1527
@josephatmdidi1527 Ай бұрын
Yaniiii😢😢
@rqiyaabdallah840
@rqiyaabdallah840 Ай бұрын
Labda yeye Ana nyuma anakojolea mbele na kunywa ananyea mbele kwaza Anaonekana kashakupa vitu kichwani
@mathayomwashambwa1238
@mathayomwashambwa1238 Ай бұрын
Hahaa hahaa...haya mwanasheria wetu, 😂😂😂😂😂😂, asante mheshimiwa hakimu kwa kutoa hukumu
@NoelaPeter-dc4dn
@NoelaPeter-dc4dn Ай бұрын
Mimi kama Mimi uyu wakili cjamuelewa ata kidogo namuona na yeye kama mbakaji
@philipsilayo
@philipsilayo Ай бұрын
Ndo sheria
@RatiphElisha
@RatiphElisha Ай бұрын
,😂😂
@EzekiaNgimba
@EzekiaNgimba 22 күн бұрын
unajua maana ya wakili ww?
@hamisitoky6724
@hamisitoky6724 Ай бұрын
Kama unaamini gari la magereza limechoka like
@Boeafrica
@Boeafrica Ай бұрын
Ila wewe jamaa
@inspirationalclips1422
@inspirationalclips1422 Ай бұрын
😂😂😂😂
@Nassprince_tz
@Nassprince_tz 24 күн бұрын
Sjataka Cheka lakini 😂😂😂
@BONGOINMOTION
@BONGOINMOTION 23 күн бұрын
Mimi siamini ila naona
@SeifJuma-l8t
@SeifJuma-l8t 18 күн бұрын
😂😂😂😂 ila Tanzania bhna
@Goodluck-p9y
@Goodluck-p9y Ай бұрын
Kitu ambacho kila mtu anaweza kubisha ni pale ambapo ukweli ni kwamba.. WASOMI WENGI HAWANA AKILI, wenye akili wengi hawajasoma shule.
@bonyngoyindengoyinde6139
@bonyngoyindengoyinde6139 Ай бұрын
Apana ndgu😂 Sheria ndo ilvo, na ukitelez kdgo mtu anachomoka ata kama kamchinja mtu hadhalani
@umarwa6915
@umarwa6915 Ай бұрын
Kabisa yan
@shangazshangaz4222
@shangazshangaz4222 Ай бұрын
Hapana kabisa ndg yangu kunaukweli Yani mtu akisoma sana hua anakua akiri zake hazina akiri vizur maana amejuampaka ya mbele anaenda kua chizi😅😂​@@bonyngoyindengoyinde6139
@PrincessHellen-pg1oy
@PrincessHellen-pg1oy Ай бұрын
​@@bonyngoyindengoyinde6139sheria gani hii bwana we ukweli wananza kuficha ficha tu mambo gani haya
@MohamedKilungi-ms9vf
@MohamedKilungi-ms9vf Ай бұрын
kweli msomi anawez kuongea upumbavu kama huu
@suddytele3692
@suddytele3692 Ай бұрын
Sheria ni tofaut na mihemko,,, kikubwa cc wananch tunaamani na hukumu waliopewa
@matearlyakurwa973
@matearlyakurwa973 Ай бұрын
Hivi ingetokea ni mtoto wa huyu raia alifanyiwa vile angefurahishwa kwa haya maneno km haya kweli!!!??? Utaalamu wa sheria kumzuia mtu kupata haki!!!
@Zenji_znz
@Zenji_znz Ай бұрын
Uwanasheria ni mzuri sana pale unapotetea haki ya mtu aliedhulumiwa ila Uwanasheria huo huo ni mbaya sana kwa kumtetea mtu ambae una uhakika kwa asilimia mia kua amedhulumu hakika mungu ndie hakimu wa mahakimu ipo siku mungu atasimama nanyie mnaotetea dhumla
@EdwinKipyali-o9o
@EdwinKipyali-o9o Ай бұрын
Waweke utaratibu huko jera kila mwezi wapigwe picha hao wazinzi wapostiwe tuone kama kweli wapo jela kuthibitisha
@naah884
@naah884 Ай бұрын
Akili kubwa hii 😂
@BakaryOmally
@BakaryOmally Ай бұрын
Edwin mungeyasemea hao dada zenu wanaopiga vigoma mtaani wakiwa uchi ama kukalia chupa hao ndio washahukumiwa msisubiri mpk yatokee mutoe maelekezo ya picha
@BataNamichongo
@BataNamichongo Ай бұрын
😅😅
@rosemahenge9071
@rosemahenge9071 Ай бұрын
Wala siyo dawa ndugu yangu si wanapelekwa tu kinyemela wanapiga picha na kuondoka😂
@MwanjiNzala-mo5ni
@MwanjiNzala-mo5ni Ай бұрын
Kabisa maana.wanaweza pelekwa mpakan.mwa nch.jiran.wakaendelea.kula bata. Tuwe.tunawaona
@sirielsamweli
@sirielsamweli Ай бұрын
Weee baba, umezaaa ujuiiii, watu zaidi ya mmoja walale na mtoto wako, tena wamtumie kinyume, bado wamrekodi, hivi utasimama hapo uongee kweliiiiiii, Mungu atakujibu
@omarymndemeofficial
@omarymndemeofficial Ай бұрын
Du kweli hii bongo wakili kalewa😂😂😂😂😂
@stephenrwaich1078
@stephenrwaich1078 Ай бұрын
hajalewa.Wewe ndio Umelewaa.mnajifanya mnajua.wabongo bwana
@JyeeMvungi-fv7uz
@JyeeMvungi-fv7uz Ай бұрын
Sema nin kumbukeni mungu yupo na kuna maisha baada ya haya wew baba acha dhambi we hujui kinyume na maumbile wew au ungefanyiwa wew au mtu wako wa karibu ndio ungekijua hiko kinyume na maumbile jmn
@IbrahimMussa-b9k
@IbrahimMussa-b9k Ай бұрын
Mzee usiangalie pesa tu wala usimalize maneno kumbuka na ww ni mzazi
@ManaseMoleli
@ManaseMoleli Ай бұрын
Ana watoto atavuna
@OmaryRamadan-m8v
@OmaryRamadan-m8v Ай бұрын
Anajifanya hajui sehemu ya mbele wala nyuma likimkuta ndo atajuwa nyuma ni wap na mbele ni wap tamaa zi hela kuliko utu😢😢
@MubaraqMohabhezzz
@MubaraqMohabhezzz Ай бұрын
Yakheee Hawa Ndio Mawakili Tunaowahitaj Kwenye Lyf Yetu Big Up Sana Father Unajua Jinsi Yakujenga Hoja Mzee
@charityezekiel3525
@charityezekiel3525 Ай бұрын
Nikweli kbs anajua kujenga hoja...... sema hii case itakuwa ngumu kwake kwa7 imegusa hisia za watu wengi.... ila kisheria yupo sahihi kbs
@AgnesMiyi
@AgnesMiyi Ай бұрын
Wewe baba msenge sana wee mpumbavu hivi angekuwa ni mwao ungesema hivyo nakuombea kwa mwenyezi mungu nacho kizazi chako kitafanyiwa hivyo hivyo msenge sana
@MamodelPark
@MamodelPark Ай бұрын
Ameen
@joshuabartonpolelaab4985
@joshuabartonpolelaab4985 Ай бұрын
Jamaa anaeleza kwa utulivu kweli khaaaaa kwa confidence tena
@oscarmartinavito3167
@oscarmartinavito3167 Ай бұрын
😂😂😂😂😂
@Byme6434
@Byme6434 Ай бұрын
Weeee Babu Weeeeeeh Mtu Mmoja Unaenjoy Hao Wengine Watatu Bado Utasema Ameenjoy?Usituletee Maneno Yako Ya Biashara Video Imeonyesha Kabisa M'Mungu Akunusuri Isikutokee Kwa Farmily Yako Maana Kama Tudini Tudani.
@fatmaburton-br4yw
@fatmaburton-br4yw Ай бұрын
Nenda kanye huko weeee ni nani ulifanya njama za kumbaka kama kweli alikuwa na niya gani kwa huyo bint kama alikuwa mpenzi wake i
@fatmaburton-br4yw
@fatmaburton-br4yw Ай бұрын
Msenge wewe mgumba nini wewe ?
@fatmaburton-br4yw
@fatmaburton-br4yw Ай бұрын
Sura mbaya kama buti la osama
@annamsuluja228
@annamsuluja228 Ай бұрын
@dhuhasaid636
@dhuhasaid636 Ай бұрын
Namsura wako huo mbaba huna haya wewe
@mectridajilala9767
@mectridajilala9767 Ай бұрын
Duh, bwana lawyer, kwamba sehemu ya nyuma ya maumbule huijui??!, au wataka ku create attention!! Duh sawa bwana, hongera kwa utetezi
@ShukurkollAngel
@ShukurkollAngel Ай бұрын
Dooh ! Tumwogope Mwenyezi Mungu, Mhalifu ni Mhalifu. Kesho akifanyiwa mwanao, ungesema hayoz?
@summanelson5523
@summanelson5523 Ай бұрын
Wakili mjinga sana huyu. Mpuuzi sana. Angekuwa mwanae angesema upumbavu huu.
@batashqiraa9936
@batashqiraa9936 Ай бұрын
Na afande jee, au kwa sababu ndiyo afande hashtakiwi
@serviceandrecycling3780
@serviceandrecycling3780 Ай бұрын
Achaa kujitoa Ufahamu, haya maisha tu kuna maisha ya kesho, achaa ukichaa wa sheria
@yohanakateko
@yohanakateko Ай бұрын
Watanzania tuwe na ofu ya mungu afu tuwe na utu tufanye kazi Kwa bidii tulizike na tunavyopata
@raheemsaleh14
@raheemsaleh14 Ай бұрын
Kumbe ndomana my brother Fid Q alikataa kusomaga sheria aliona atatetea watu wa wenye kesi za ukakasi km hizi , ukiwa mcha mungu mamb hizi kutetea kipengere sana
@TALLUBOY
@TALLUBOY Ай бұрын
Hawa jamaa wafungwe kabisa Musitufumbe macho jamani SELIKARI INATAKIWA MUSILIFUMBIE MACHO HILI JAMBO JAMANI Wafungwe hawa watu wasije Wakajitokeza vjana wengine Wakaja kuaribu watoto wajao
@tajiertaj5956
@tajiertaj5956 Ай бұрын
😢😢😢pesa zinamkosesha mtu haki yake huyu baba anaingea kwaajili yapesa natamaa zake za kidunia sio kwamba haijui haki anaijua ila ni pesa inayofanya aongee yote haya ,Tujifunzeni kuwa nahuruma leo kwake kesho kwa watoto wako,Mungu analipa hapa hapa duniani 😢😢😢
@rosemaryKalega-c5s
@rosemaryKalega-c5s Ай бұрын
Ooooooh sasa kama akuna genge lakulawiti waendelee kufanya ulawiti wee unajua Ku enjoy kweli weww ungefanyiwa wew
@anfrashadvertiser4801
@anfrashadvertiser4801 Ай бұрын
KAMA HUKIJUI WAPE HAO JAMAA ALAFU WATAIJUA, NA KINGINE KWASABABU SIO MWANAO NDIO MAANA UNAONGEA ILI UONGEE TU USIKIKE, YANI WEWE HUANGALI HAKI
@emanuelinaman8240
@emanuelinaman8240 Ай бұрын
Duh utetezi siyo huu kama ingekuwa kama huyu wakili watu watauana kabisa maana Mimi nikikubaliana na mpenzi wangu mwingine atakuja tu from no where then atahitaji tu kushiriki bila ridhaa ya muhusika sasa huoni kama unamtweza mtu ity wake angalia utu wa mtu mheshimiwa bora Mahakama imetenda haki maana wewe ungeingiza matatizo kwenye jamii asantee sana Mahakama kutenda haki
@KemmyPrince-r4l
@KemmyPrince-r4l Ай бұрын
Mnawaonea tu kwanza kwa kesi gani?? Demu malaya wa buza elf 5 tu unakula hapo labda wangelipa faini basi ety maisha askar wa bongo wasenge Sana 😅😅
@asumaathuman6094
@asumaathuman6094 Ай бұрын
Binti mwenyewe alikuwa anatoa ushirikiano vizur😂
@charityezekiel3525
@charityezekiel3525 Ай бұрын
Kbs
@saalim5401
@saalim5401 Ай бұрын
Mwenye anaonyesha sura kama nguruwe ipo siku mungu atakulipia wewe nikatili unatetea madhambi makubwa tamaa mbaya sana
@sumamixy1836
@sumamixy1836 Ай бұрын
Kuna muda kama huna kitu cha kuongea ni bora unyamaze kimya kwa umri wa huyu mzee ameshusha heshima ilitakiwa anyamaze tuu. Maelezo mengi anayotoa ni kuelezea vitu ambavyo anajua sio sawa ila anataka vionekane sawa kwakuwa sio familia yake imefanyiwa hivyo.8:40 waswahili wanasema ( UCHUNGU WA MSIBA ANAJUA MFIWA NA FAMILIA YAKE )
@MussaAhmad-gd6sm
@MussaAhmad-gd6sm Ай бұрын
Uyo mzee hana ufaham
@leahmagaiwa9099
@leahmagaiwa9099 Ай бұрын
Jamani Huyu mzee anaongea Nini huyu. HAJUI KIUNGO CHA NYUMA YA MAUMBILE NI KIPI JAMANI. Mungu akuoneshe hicho KIUNGO kwa macho yako Amen
@FrankFitiael
@FrankFitiael Ай бұрын
Shabiki tuu but hanalolote uyu na bora Yuko live hapa ili wateja wajue huyu afai na nizuzu
@PenuelMichael
@PenuelMichael Ай бұрын
Huyu atakiwa apelekwe alipie p Didy
@jamesmeitalami467
@jamesmeitalami467 Ай бұрын
Ila sheria unalazimika kusimamia upande ambayo.unajua wanamakosa ila unazidi kumtetea .Mwenyezi Mungu atupe Rehema ase
@saidgogo7079
@saidgogo7079 Ай бұрын
Ushakula pesa nyingi na ukawapa moyo sasa wamefungwa kataa sasa kawatoe
@JacquelineMahumbe
@JacquelineMahumbe Ай бұрын
Zeee zima ovyo sana huna hata haya yaani wewe ungekua karibu nami ningeanza na wewe.
@jamesjoseph6825
@jamesjoseph6825 Ай бұрын
Mtoto wangu akiniambia anataka kusoma sheria namwachia laana!! Kwenda kumtetea mtu aliyeua na mmemwona akiwa anaua?? Hapana aise
@NeemaSamueli
@NeemaSamueli Ай бұрын
Usiseme ivyo muombee akatae asisomewe sheria
@cdeegwau551
@cdeegwau551 Ай бұрын
😅😅😂
@MohamedKilungi-ms9vf
@MohamedKilungi-ms9vf Ай бұрын
huyu Mzee njaa zinamsumbua kwanz anazingua TU je angekuwa mwanawe ndo kafanyiwa angefanya nn na kama kasomea Sheria mbon anapindisha Sheria aache ujinga
@RoseKimath
@RoseKimath Ай бұрын
😂😂😂😂😂kwann laana sasa
@mesuitozil1527
@mesuitozil1527 Ай бұрын
Yaan hatari Naona haki na Sheria ni vitu viwili tofauti sana
@ndeenengomselle1267
@ndeenengomselle1267 Ай бұрын
Mungu akupe laana kwa uovu unaoutetea na yakufike madhila haya kwenye familia yako
@zomasamweli
@zomasamweli Ай бұрын
Swali langu kwa Taifa kwanini Afande aliewatuma hakamatwi wakat yeye ndo, mtuhumiwa namba moja1
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh Ай бұрын
Ndo hapo serikali
@felixhinzano940
@felixhinzano940 Ай бұрын
Ndio hapo kwa polisi anatumwa kwenda kumchunguza polisi mwenzake. Nitasema by Naytrueboy
@mpegesaaswile6581
@mpegesaaswile6581 Ай бұрын
Haiwezi kukamatwa kwasababu hawa ni watu wazima,angewaambia wale kinyesi wangekula?.Kisheria ukiwa mtu mzima unakuwa na maamuzi yako.
@AlHamra-k4u
@AlHamra-k4u Ай бұрын
Wewe baba mungu anakuona ulaaniwe. Ruhusuni tupost ile video ya kina nyundo uone wanachkmfanyia unajaribu kuzima eti bint anasema Ali enjoy. Uongo huo km alienjoy kwanini aliomba maji.. Huyu mzee anatafuta kuwakingia kifua kina nyundo. Wallah ww baba Mungu akulaani mtetezi wa wabakaji
@LevisChamballa
@LevisChamballa Ай бұрын
Sema watoto wa 2000 acheni umalaya kwenye ndoa za watu kwa wakili kama huyu bado mtafirwa sana jamani😢
@philipsilayo
@philipsilayo Ай бұрын
Wera wera aaaa, bee zero tatu,tulueni,maaaaaaaaaaaaaaaaaaaaam.........
@lucasparmet3201
@lucasparmet3201 Ай бұрын
😂😅😂😂😂😂😂 mwana Sheria hajui maumbile ya mbele na nyuma hatari utetezi kapewa kibunda
@frankkanyeta6548
@frankkanyeta6548 Ай бұрын
Tamaa tu za hela zinasababisha mtu akose utu Yani kuna ushahidi wa video na kesi inapindishwa🤔🤔my country 🇹🇿
@raphaelkaswahili323
@raphaelkaswahili323 Ай бұрын
Ndugu yangu ogopa kitu kinachoitwa Sheria ni kitu Cha ajabu saana Kiapo cha Sheria kinasema Nitakua tayari kumlinda na kumtetea mtu yeyote kwa mjibu wa Sheria awe mharifu au mwenye haki (MHARIFU)😂😂😂 Dadeq
@Rakim-y2z
@Rakim-y2z Ай бұрын
Huyu mzee chizi hizo sheria unazoziweka hapo anamgekuwa mwanao ungetoa ushahidi huo unaoongea hayo masheria yako bwege wewe na kwa uongo huo insha'Allah kwa uwezo wa Mungu hao wanahukumiwa kufungwa..
@danielmatiku5602
@danielmatiku5602 Ай бұрын
kwanza nicheke 😂😂😂... Wakili hajui sehemu ya nyuma na mbele hazipo kwenye vifungu vya sheria 😂😂😂
@MajutoElliasi
@MajutoElliasi Ай бұрын
Majibu yako wsf
@halimamasai2234
@halimamasai2234 Ай бұрын
Labda hakimu mwenyewe hana hizo sehemu 🤣🤣🤣
@laurentkassala3865
@laurentkassala3865 Ай бұрын
😂😂😂😂 sheria bana,
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 Ай бұрын
Huyu wakili hajijui, akaangalie ANAPONYEA ndio atajua nyuma Kuna maumbile Gani
@WahuBoth
@WahuBoth Ай бұрын
​@@ismailmasoud6001😝😝😝😝😝😝😝😝😝🤭 leo 😝😝 umejua kunifurahisha 🏃napenda kunywa soda uje ulipe 😝😝🤭👏👏👏👌
@Zubaiba
@Zubaiba Ай бұрын
Ww Mzee kwenda zako huko,peleka pengo lako hukoo.pumbavu sana
@ZuleykhaIsmail-rc5ly
@ZuleykhaIsmail-rc5ly Ай бұрын
Ila hyu baba angekuwa mwanae ndo angehoji hayo…😢😢pesa mwanaharamu kweli
@Hanifa4-d4q
@Hanifa4-d4q Ай бұрын
Abakwe na yy
@ZuleykhaIsmail-rc5ly
@ZuleykhaIsmail-rc5ly Ай бұрын
@@Hanifa4-d4q yaani
@njuka3515
@njuka3515 Ай бұрын
Atajua nyuma na mbele siku yakotokea Kwa watoto wake malipo duniani
@bbclondonulimwenguwasoka6126
@bbclondonulimwenguwasoka6126 Ай бұрын
Yuko kazini ni kazi yake
@iftikharAlly
@iftikharAlly Ай бұрын
Kuma huyuu
@officialdaynesskavishe4143
@officialdaynesskavishe4143 Ай бұрын
Mpuuuzi mmoja.angekua mwanao ungeongea huu ushuuuzi.
@handmanserv527
@handmanserv527 Ай бұрын
Mmhhh huyu wakili....Bora asingejiingiza kwenye hiyo kesi ...anajishushia tuuh brand yake...anaongea kama hamna kitu kichwani
@gasperprosper6377
@gasperprosper6377 Ай бұрын
hata mm nime hic hivyo maana nime rudia kum ckiliza lakin cja mwelewa
@sefanianaftari6
@sefanianaftari6 Ай бұрын
Wakili yupo kazin jman
@joshuabartonpolelaab4985
@joshuabartonpolelaab4985 Ай бұрын
Yupo kazini
@Wortboy
@Wortboy Ай бұрын
Wanao ungana na wakili tujuane make ushaid hautoshi je kama videos imeeditiwa?
@ahmedhamis
@ahmedhamis Ай бұрын
Sijui na sijaelewa lkn lugha za kisheria ngumu Bora angetaja matusi tu kuliko nyuma na mbele ya maumbile😢😢
@prophetislael5265
@prophetislael5265 Ай бұрын
Najikuta napata dhambi tu yakuhukumu natamka kuanzia leo mungu ashuhulike nahuyu mpuuz nae pia nimbakaji hv huyu mzeee siwezi kumuita mwanasheria ni mbakaji
@ifmknowledgepower7333
@ifmknowledgepower7333 Ай бұрын
Kama usomi ndio huu, bora usingeenda shule. Kuna kupata shule na kupata elimu.
@thefinalstand2022
@thefinalstand2022 Ай бұрын
Haaaaaaah....... Haaaaaaah!
@IssaMsalama-k6x
@IssaMsalama-k6x Ай бұрын
Kusoma sio kuwa na akili
@LuciaPaul-r2i
@LuciaPaul-r2i Ай бұрын
Sheria ndo ilivo lazma utetez uwepo
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh Ай бұрын
​@@LuciaPaul-r2i Kuna mungu tuogope siku ya hukum huko hakuna mtetezi viungo vyote vinatoa ushahidi uliyoyatenda
@VeronicaPeter-rm7ky
@VeronicaPeter-rm7ky Ай бұрын
HelAaa ndugu apo nd znaamchchfyaa y mwnyew anajua anachtetea hakipo Sema nd njaa
@RumayssahJumaa
@RumayssahJumaa Ай бұрын
Mmoja ni mmoja na wengi ni tofaut huwez kusema kubakwa na wengi ni kuenjoy
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 Ай бұрын
Sijapenda kifungo walikuwa wanyongwe tu ama kupigwa sindano ya sumu wafe iwe fundisho
@mamachris6811
@mamachris6811 Ай бұрын
Maana hapo saa yoyote wanatoka 😮
@MohamedKilungi-ms9vf
@MohamedKilungi-ms9vf Ай бұрын
Sana
@Movie_point128
@Movie_point128 Ай бұрын
Angekuepo mwanao ungekubari anyongwe
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 Ай бұрын
@@roudhamahmoud763 Hata ww kuna makosa umewahi fanya ambayo yanasitahili adhabu kubwa ila mpk sasa bado upo hujapewa adhabu yoyote
@JosephineMhando
@JosephineMhando Ай бұрын
Hata hiyo ni fundisho kubwa sana maana wakitoka apo ata kazi hawana tena
@adibartv2047
@adibartv2047 Ай бұрын
😢😢😢daah naanza kuwaonea huruma ...nyundo wa watu daah 😭😭😭
@JosephevansLyimoo
@JosephevansLyimoo Ай бұрын
Na afande alie watuma yupo wapi mbona yeye ajaukumiwa mbona kama serekali mnatuchezea akili ama mnasubaisha wana nchi badae muwatoe
@festusabramary-bz4ef
@festusabramary-bz4ef Ай бұрын
very fact
@RichardKilepo-xj1sy
@RichardKilepo-xj1sy Ай бұрын
Na yeye ashitakiwe
@ZainbAbubakary
@ZainbAbubakary Ай бұрын
@@JosephevansLyimoo Nashangaa hata Mimi wanatufanya hatujielewi wanatufunga midomo hawa hamna kitu hapa
@HuguetteKeza
@HuguetteKeza Ай бұрын
Sinzani Kam wew nimzaz nakam unauzao wew naomb Mungu akulip kupitia kisaz cako ili usikie nikiasi gani wazaz wa uyu mwanamke wanajisikia uko unasema ivo
@meddixempire292
@meddixempire292 Ай бұрын
Ongea haraka nina hasira mimi
@teddymassawe3583
@teddymassawe3583 Ай бұрын
Nini tena jamani
@RosemaryGulenga
@RosemaryGulenga Ай бұрын
😂😂😂
@JacklineJosia-qs5hb
@JacklineJosia-qs5hb Ай бұрын
Yaan badno lenyew lakubembeleza😅😅😅😅😅😅
@barakadonald1768
@barakadonald1768 Ай бұрын
😂😂😂💔
@AnthonyKomba-o5f
@AnthonyKomba-o5f Ай бұрын
Justice has finally been served
@MaendeleoMohammed
@MaendeleoMohammed Ай бұрын
Huyu hajui kinyume na maumbile na nyuma na mbele hapajui naenda p didi akuonyeshe
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh Ай бұрын
😂😂😂😂 mimi nimemjibu ajichumgulie atajua wapi nyuma wapi mbele anatia hasira
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 Ай бұрын
Kisheria kila kitu kinatakiwa kiwe clear.
@tanzaniaafrica7019
@tanzaniaafrica7019 Ай бұрын
?😂😂😂😂😂​@@FatimaAli-of4gh
@angelmwamsaga8758
@angelmwamsaga8758 Ай бұрын
Anaetaka kubisha ukweli, angekuwa mwanae Sheria angeiweka pembeni na hata huko nyuma asingeuliza angeonyesha yeye. Mungu amsamehe
@ottiefx255
@ottiefx255 Ай бұрын
Ngoj wamfanyie yy ndo atajua
@ericklibaba1198
@ericklibaba1198 Ай бұрын
Huyu Mzee hajui mbele na nyuma kudadekiii... 😂😂😂 Huyu ni muhuni anayepindisha uhalisia Kwa hoja nyepesi...
@mudathilumwilu8295
@mudathilumwilu8295 Ай бұрын
Wanaotaka namimi nimfile wakili gonga like
@TalibaliMuhajir
@TalibaliMuhajir Ай бұрын
Ikitokea kwamanao pia simama mmdomo mbele na kifua mbela alafu umtete atakae mpaka mwanao na usem hauijui sehemu yanyuma mungu akutie janga ilo na ww inshallah
@BarakaMashimba-sr9ow
@BarakaMashimba-sr9ow Ай бұрын
Wakili huyu niwaajabu angekuwa mtoto wako ungetetea hivyo acha utoto
@milkahappyphanus8823
@milkahappyphanus8823 Ай бұрын
Inaumiza sana ,hiii nchi hatari , Mungu amgeuzie kibao huyu baba ,
@KhairatElmy
@KhairatElmy Ай бұрын
Yaani mawakili 😂😂 wanaweza sema embehalijatoka mtini limetoka baharini 😅 watafika mbinguni Wana chechemea
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 Ай бұрын
Ok pamoja na yoooote , we jamaa unatakaje ....waachiwe ama vp ?..HATUKUELEWI
@nordenconrad14yearsago45
@nordenconrad14yearsago45 Ай бұрын
vichaa hawa.
@JudithKimaro-b9j
@JudithKimaro-b9j Ай бұрын
Sheria za kipumbav hiv huyu angekua ni mtoto wake angekua hiv
@PasserbyMan-ju8ky
@PasserbyMan-ju8ky Ай бұрын
Wakili haijui sehemu ya nyuma😂wala kinyume na maumbile😂😂anataka aonyeshwe😂😂didy
@kibwetere1418
@kibwetere1418 Ай бұрын
Ila wewe baba kweli hujui nyuma ni wapi na mbele ni wapi
@Jureyji
@Jureyji Ай бұрын
😂😂😂 mzee hajielewi huyu
@rosemilingi7860
@rosemilingi7860 Ай бұрын
😂😂😂😂😂
@MwanjiNzala-mo5ni
@MwanjiNzala-mo5ni Ай бұрын
Vimacho vyake na.mwanya wake.kama mnyonya. Malila
@LucyNgowi-m5z
@LucyNgowi-m5z Ай бұрын
😂😂😂😂😂​@@MwanjiNzala-mo5ni
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 Ай бұрын
@@kibwetere1418 Nyuma ni mgongoni. Mbele ni kifuani
@TeophilBuilding
@TeophilBuilding Ай бұрын
Bado najifunz vingi juu ya Hii na ninagundua kua asilimia kubw watanzania wengi ni mikundu Kuma la mama zenu mnatombw akil wengi wanashobok TU kwa kuandik ujinga bila hok za msingi na kwa ujinga huu watu watazid kupotea kufa kwa kupindishwa kwa Sheria ila Leo sio ninyi na kesho km sio ninyi bas ni ndugu zenu nawasihii ogopen San kiumbe kiitwacho mwanamk ni hatariiiiiiiii
@rencymerodgers-uu7qw
@rencymerodgers-uu7qw Ай бұрын
Wahovyo ndo maana adi nzi zinamtembembea 😂😂😂😂😂
@anifermhando4847
@anifermhando4847 Ай бұрын
Dah maskin Hana hak jmn wakil ingekua mwanao ungepata nguvu y kusema hayo 😢
@faithkaganda-k3s
@faithkaganda-k3s Ай бұрын
Hv baba huyo angekuwa binty yako ungesema huo upuuzi huo wote😏😏
@samirmussa8914
@samirmussa8914 Ай бұрын
Yeye n kaz yke
@rubenyplus3620
@rubenyplus3620 Ай бұрын
Yakukute na wewe alafu tuone kama hautoitaji msaada wake
@uvuvweweonyetenyevwe1348
@uvuvweweonyetenyevwe1348 Ай бұрын
Akili hana huyo..​@@rubenyplus3620
@IssaNdelwa-pz3zl
@IssaNdelwa-pz3zl Ай бұрын
Hongera sana mahakama kwa kutoa hukumu ya haki wafie jela hao
@khalifasultan2677
@khalifasultan2677 Ай бұрын
Kumbe Ukiisoma Sana SHERIA Unaweza KUWA CHIZI (TAAHIRA)...?????
@mesuitozil1527
@mesuitozil1527 Ай бұрын
Mi nimechoka kumsikiliza nimeona nikimbilie kwenye kimenti, haki na Sheria ni vitu viwili tofauti sana
@saidymbagalla6622
@saidymbagalla6622 Ай бұрын
Sio ukisoma sheria tu Elimu yoyote ukisoma sana unakua mjinga Fala we ona hata yule Fatma Karume
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 Ай бұрын
@khalifasultan2677 Ukiwa mwanasheria unaangalia loopholes zilipo kisha unadeal nazo. Na wasipokuwa makini unaweza kumuokoa mteja wako hata kama yeye ndio mwenye makosa
@khalifasultan2677
@khalifasultan2677 Ай бұрын
@@mesuitozil1527 Kabisaaa
@khalifasultan2677
@khalifasultan2677 Ай бұрын
@@saidymbagalla6622 Ahahah,Kweli Kabisa!
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah Ай бұрын
Huyu mzee na family kweli 😢😢😢😢😢
@MaryyBenjamini
@MaryyBenjamini Ай бұрын
Leo mbona wamependeza sana walijua watatoka
@teddymassawe3583
@teddymassawe3583 Ай бұрын
Haaaaaa
@jamila-wf5oj
@jamila-wf5oj Ай бұрын
Weeee mzeee ni mjinga sana kwakweli acha njaaa sisi wananchi tumeshalizika wamefungwa basi
@rahmasalim1989
@rahmasalim1989 Ай бұрын
Na huyo afande aliewatuma vijana wambake huyo binti yupo wapi?
@mrpazurioriginal579
@mrpazurioriginal579 Ай бұрын
aisee siasa hadi kwenye maisha ya bina damu mbona kesi hii ina poteza muda na kwenderea kuwazalisha bina dam hariyakua ipo ndani ya maamuzi ya mtu yeyote yure kesi yenyewe haina mashiko haitaji sheria wata vifungo vya sheria niswara tu ra jaji kuitupa maana kesi haina vigezo
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 Ай бұрын
Huyo wakili ni mshenzi kabisa asubiri mwanae nae afanyiwe alafu akatetee aliyemfanya mwanae pumbavu zako
@ibrahimsukwa4637
@ibrahimsukwa4637 Ай бұрын
acha makasiriko sheria huijui
@trecygohy7847
@trecygohy7847 Ай бұрын
​@@ibrahimsukwa4637so Sheria ipo kwa kuwa kandamiza wanyonge ? . Ingekuwa hivyo basi hao watumiwa wangeachiwa uhuru. Bro, tumia akili
@ottiefx255
@ottiefx255 Ай бұрын
Huyu wakili anatakiwa wamle jicho
@ibrahimsukwa4637
@ibrahimsukwa4637 Ай бұрын
@@trecygohy7847 hujaelewa hata nilichokiandika, mtu smart kichwani hujibu hoja sio personal attack
@trecygohy7847
@trecygohy7847 Ай бұрын
@@ibrahimsukwa4637 wewe kilaza kweli, nimekuuliza swali.
@hymtv8504
@hymtv8504 Ай бұрын
Sheria bwana, yaani shaka kidogo tu inampa mtu ushindi kuna haja sana ya kutoa elimu hii kwa uma
@KareemDully
@KareemDully Ай бұрын
Pia wakili ungetueleza kuwa binti kamuomba msamaha afande yupi. Naona upo kishabik unaeleza kw kulalia upande wako
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 Ай бұрын
@@KareemDully Ndio anatakiwa alalie upande wa mteja wake. Ww ulitaka alalie wapi? Mnaleta makasiriko kwa sababu hamjui sheria
@fredsanga9461
@fredsanga9461 Ай бұрын
Ila sheria😂😂 Eti wakili hajui kabisa maumbile ya nyuma ni yepi😂😂
@Chemba67
@Chemba67 Ай бұрын
KTK FANI ZA KISENGE NI UWAKILI.....HIVI HUYU MMEMUELEWA ANACHOTETEA??BURE KABISA
@IbrahimKilimo-wy2ep
@IbrahimKilimo-wy2ep Ай бұрын
@@Chemba67 ni Moja kati ya biashara zinazolipa Hela ndefu na ukishinda KESI unapewa bonus na mteja wako 😂😂😂
@Fundnlly
@Fundnlly Ай бұрын
Wewe je umemuelewa maana unauliza viziwi
@Chemba67
@Chemba67 Ай бұрын
@@Fundnlly Sijamuelewa kabisa na hajaeleweka na wengi mno
@adolfmathew9698
@adolfmathew9698 Ай бұрын
Yupo sahihi katika upande wa professionalism. Mimi nmesoma Sheria miaka miwili so namuelewa. Ila kiubinadamu sasa ndio haiwezi muingia mtu akilini kwa ambae hajui sheria.
@swahilifashion2206
@swahilifashion2206 Ай бұрын
TUNAOSUBIRIA AFANDE NAE AHUKUMIWE GONGA LIKE
@UzalendoNaUtu
@UzalendoNaUtu Ай бұрын
Wakili hashindwi kesi, ukienda jela ye anaenda kutafuta mteja mwingine. Na unapoenda jela ye tayari anakua alishakula chake, respect kwao 😅
@konshazikonsha6180
@konshazikonsha6180 Ай бұрын
Hivi wewe ukiambia mkeo kaingiliwa kinyume na mbele ya maumbile utakuwa hujaelewa kaingiliwa wapi na wapi Kweli??😳😲
@rahelmarwa9491
@rahelmarwa9491 Ай бұрын
Hujui kinyume na maumbile ni wapi. We wakili Gani wewe Acha kuaibisha Wanasheria Ushindwe Kwa Jina La YESU
@Imanuelmgute-5d
@Imanuelmgute-5d Ай бұрын
Acha nitafute pesa kunakitu nimejifunza
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh Ай бұрын
Endelea ndugu maana wakili kaniacha nikilia
Hoodie gets wicked makeover! 😲
00:47
Justin Flom
Рет қаралды 127 МЛН
КОГДА К БАТЕ ПРИШЕЛ ДРУГ😂#shorts
00:59
BATEK_OFFICIAL
Рет қаралды 8 МЛН
What type of pedestrian are you?😄 #tiktok #elsarca
00:28
Elsa Arca
Рет қаралды 27 МЛН
Who's spending her birthday with Harley Quinn on halloween?#Harley Quinn #joker
01:00
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 26 МЛН
JAMAA AKATWA MASIKIO YAKE MAWILI BAADA YAKUKUTWA NA MKE WA MTU KICHAKANI
17:50
MO DEWJI AZUNGUMZIA KUHUSU KUTEKWA KWAKE
28:50
BBC News Swahili
Рет қаралды 1,6 МЛН
Hoodie gets wicked makeover! 😲
00:47
Justin Flom
Рет қаралды 127 МЛН