Mwanaume waminifu niwale masikini ngoja akiaza kupata vichechi ndio utamjua yupo na vituko ngani
@SwaumChawage2 ай бұрын
Umeona eeh mi wa kwng 2lkua 2na shea had cm ss iv hata akienda kunya anaenda nayo cm haiwekw mlio yn kimy kimy wanaume SHKAMOOO🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@marymanoni55362 ай бұрын
Ni kweri wanaume waaminifu wapo
@ArafaZakir2 ай бұрын
Asubutu mwanaume mwaminifu subiri kwanza ncheke😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@HASSANBAKARI-q9c2 ай бұрын
Nyie endeleeni kuchezeana,,,wapo watu wanaoyachukulia mapenz serious...tena wamejaa,,,nyie mlichokipanda kwenye mitandao ndo mnakivuna,,c mnapenda sana ujinga ujinga,,,mahusiano hayawez kuwa silias,,nyimbo zone kutwa,,,poleni x poleni x,,yan amjasema
@sharifanyumayo63142 ай бұрын
Milady siyo una.... Da Frida Yuko wazi mno na hakuna wa aina hiyo Sasa jmn na hao Wanawake wa Ingonga weng wao nahic walikuwa wanalipiza kiasi au mwanaume alikuwa busy na michepuko nje mke ndani hapati mahitaj sahihi. Tuishi TU jmn kikubwa uzima
@OscarSwai-uz7qr2 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌 nakubali sanaa
@Kidera-w8s2 ай бұрын
Mwamba kwa utangazaji upo juu
@SamihuNzore2 ай бұрын
Bado tupo wengi sana tu matajiri wa uaminifu lkn pesa hatuna 😢
@mwl.michaelsainethmlowe26412 ай бұрын
Miladi unaongea vizuri don't conclude that way
@maharusiMedia2 ай бұрын
Waaminifu tupo sana tu
@itanzaniaAS2 ай бұрын
Watu waaminifu huwa hawaishi. Wapo wengi
@McT-q6i2 ай бұрын
Bila pesa hatupendwi tunapiga chaputa deiyree
@yasintamsuya2 ай бұрын
😂😂😂😂
@hmanyinja2 ай бұрын
kwanini anaongelewa mwanaume na sio wanawake walioacha ndoa zao??