Tanzania ina wabunifu wengi sana, ila kuna watu wanawarudisha nyuma badala ya kuwasaidia. Uncle Jpm asingesema ingekuwa basi tena Big Up fundi Endelea kuijenga Tz
@richardsoka24005 жыл бұрын
@Martin Nzunda Rais Dr Magufuli amewatambua na kama Tanesco hawatamtambua, Viongozi wote wa Tanesco mkoa watatumbuliwa! Tuna Rais mzalendo!
@martinnzunda21965 жыл бұрын
@@richardsoka2400 saana mkuu Walikuwa wanabeza sana juhudi za wabongo wenzao
@michaelkessy57405 жыл бұрын
Kwel Magufuli anasaidia Watanzania wabunifu
@moseskayan37055 жыл бұрын
Martin Nzunda perfect comment
@kwisa48993 жыл бұрын
Ubunifu upi hapa naombeni elimu maana hapo nikila kitu ka assemble
@creativefamily38805 жыл бұрын
Team Milard Ago, fikisheni Pongezi zangu kwa mjenzi halisi wa Taifa Tanzania.
@abelsamweli74025 жыл бұрын
Tanesco Tanesco mheshimiwa anawaonaa😁😁
@kamgomoli36505 жыл бұрын
Magufuli Rais wangu uliechaguliwa na Mungu kuiongoza Tz. Mungu akupe maisha marefu zaidi. Hakika watanzania tulirogwa haingii akilini tukawa tunakandamizana wenyewe bila sababu za msingi.
@abuusufian65065 жыл бұрын
Hapa kaongelewa Rais au umeme duhh
@nelsonngemera98325 жыл бұрын
Unajua Mungu? Acha kulitaja Bure jina la Mungu..
@lightnesslawrence85575 жыл бұрын
Shikamooh brother,unachofanya ni ndoto za wachache,you look serious and serious
@philemonlazaro57963 жыл бұрын
Daaah hongera sana mzee baba big up my brother
@raymondndeanka26085 жыл бұрын
Well-done brother .....keep it up
@johnbosco89145 жыл бұрын
HONGERA BRO,Tanzania ya Viwanda inahitaji Watu Kama nyinyi,n.a. Imani Rais wetu Mpendwa atakapoiona kazi yako,atakutumia kwenye mambo mbali mbali ya maendeleo ya nchi yetu.
@norman43325 жыл бұрын
Jifunze PHOTOSHOP kwa KISWAHILI bonyeza profile picture yangu itakupeleka kwenye channel yangu pia usisahau ku SUBSCRIBE🙏🙏🙏
@dennischeyo13025 жыл бұрын
Makofi kwako mkuu 🙏💖💖
@husseinsalimmaula42545 жыл бұрын
Brother cna uwezo wa kukuchangia pesa ili ufike mbali zaidi Ila mungu atakubariki kwa jitihada zako .
@RickshabyVlogs5 жыл бұрын
Naamin litakapo tokea company lingine la umeme kuacha tanesco huduma zitakua nzuri sana na ushindani sikuzote huleta mafanikio makubwa nchini Serikali iliangalie hili suala na kuruhusu competition kwenye Kada ya umeme 💪💪💪
@alfonsominari65305 жыл бұрын
The guy has a good idea,he should put more Panels and connect it to Tanesco power grid that's at daytime at a cost,If he can get Lithium ion for storage of energy can also be good.
@hamisisha5 жыл бұрын
Umeendelea kaka big up sana
@abelsamweli74025 жыл бұрын
Big up kaka.. Nimekubalii kazi yako
@kishymbatanzania92135 жыл бұрын
mtangazaji ni Kilaza anaonekana alisoma Arts badala ahoji idea ilikujaje kwanin ikawa moshi na si dar inafanyaje kaz mko na nan vip faida yake na hasar?linakimbilia gharama yan within 2min jamaa ameshajibu maswal yake yote
@prospermagali5 жыл бұрын
Nimefurahi kuona Tanesco wamemtembelea mzalishaji huyu mdogo na kumpa ushauri. Ni kweli mzalishaji huyu anahitaji kuboresha mambo kadhaa ili aweze kuzalisha umeme kwa ufanisi na kuwapatia majirani zake huduma ya umeme. Tunao mradi wa aina hii kwenye kijiji cha Mpale, Korogwe, Tanga, ambapo Tunazalisha 48kW kwa nguvu za jua na tayari tumeunganisha wateja 180. Mradi wetu umesajiliwa na EWURA na unatambulika na Wizara, REA, Tanesco Wilaya ya Korogwe na katika Halmashauri nzima ya Korogwe. Tunakusudia kuvipatia vijiji vingine 15 huduma ya umeme kwa miradi ya namna hii. Tunamshukuru sana Raisi Magufuli kwa kutambua mchango wa wazalishaji wadogo wa umeme kwa teknolojia mbalimbali na tutaendelea kumsaidia kuwaletea maendeleo wananchi hasa wa vijijini ambao hawajafikiwa bado na huduma ya umeme. Namshauri mzalishaji huyu afuatilie maelekezo yote atakayopewa ili kuboresha mradi wake...
@sheryphamwenevalley61245 жыл бұрын
Cha muhimu Tanesco mfanye haraka sio tena miaka km yapo mapungufu msaidieni kazi nzuri kafanya
@bonnyngowo75673 жыл бұрын
Anajua kuliko Tanesco
@wilfredmoshi65075 жыл бұрын
Wamekwenda hapo baada ya kuona jpm aliwasema kutokana na yule wa iringa. yaani sijui nani aliyetuloga hatupendi kabisa maendeleo yetu.yaani ukiona mtanzania kabuni basi unaona hicho hakiwezekani ubunifu wote unatakiwa utoke nje ya nchi.da kazi tunayo.
@maselewilliam11145 жыл бұрын
Ninakupongeza sana jamaa ila nakushauli ubadirishe mfumo .....Mimi nipo California USA, huku walishahama matumizi ya battery wanafunga system ya isiyotumia battery ni panel ambazo ni mono crystal all weather na inverter inayochange current from DC to AC included capacitor store its easy to use.. Before to move to USA I was dealt with solar installer and national gred .....according my jobs you can't afford to provide Umeme kwa watu utaingia lawama. Panel 75 ndiyo kila moja ipo watts ngapi na battery za Ω ngapi na charging capacity ngapi na inainstall ngapi na excess ya ngapi....panel 75 ni kwa matumizi ya familia tu siyo kugawa ether uwe na support ya inverter charger kupitia generator you can afford to supply. Hongera sana ndugu umeonyesha mwanzo mzuri na serikali uipe changamoto wavune umeme kupitia solar. Ushauri kwa serikali naomba imsupport huyo mangi alichokifanya na wafanye kama USA tunazalisha hydro electricity, solar plant, wind turbines and gas.....wind turbines is very expensive to install but is very cheaper to use hivyo wataalamu wa umeme waje kujifunza ili wafanye Mapinduzi ya Umeme Tanzania na Africa. Mimi ni Watanzania ninayeipenda nchi yangu I wish siku moja umeme uwe haukatiki.
@songaym.assiyecheka53225 жыл бұрын
Masele William Umeongea point nzuri sana!! pia nakushukuru Kwa kuitakia mema nchi yako. huo ndio Uzalendo!!
@vanyjunior17085 жыл бұрын
Kaka naomba namba yako kaka
@othumanmaulid74065 жыл бұрын
Yes. Ulicho kiongea nisahihi lazima awe na sistim inayo weza kuzalisha umeme nyakati zote masika ama kiangazi. Lasivyo atapata lawama kwa wateja wake.
@hamadshein9355 жыл бұрын
Wewe upnd nch yko.ukakimbia kalifonia.
@athumanomary14385 жыл бұрын
Mwenyez MUNGU akuzidishie kipaji zaidi na mafanikio makubwa
Huyu huko vizuri zaidi hata ya wale wazee wa mbeya!!Tanesco wamuunge mkono na kumpa vibali anavyohitaji ili asaidie watu wa eneo lake.
@kabefiramadhani76105 жыл бұрын
Jamaa katumia matirio ambayo hata wewe unaweza. Ila wale wazee ni shidaaa
@globalstar44715 жыл бұрын
Wale wazee Ndio Zaidi kuliko huyu kwani wanatumia majji.huyu Anatumia. solla
@michaelsamson96633 жыл бұрын
Tz nishamba la tanesco wa2 wanapigwa
@stanleyjacob67445 жыл бұрын
Kugawa umeme kwa watu 300 au nyumba 300???
@jostamzxkaole31133 жыл бұрын
Watumia3😬😬. Tuende watu miatatu
@henrickchambilo48065 жыл бұрын
Be blessed with God
@barakachaula70505 жыл бұрын
De power of Maguwise😁
@rahmakhassani41485 жыл бұрын
Yani tanesco wanaongea maharage tu apo badala ya kumwezesha mtu wanamzingua tena
@hajjialy24135 жыл бұрын
wachoyo
@letsgobacktoafricafoundati13223 жыл бұрын
Wana penda hela hao maharam
@lauworony14525 жыл бұрын
milioni mia tatu ingekuwa ni mradi wa serikali ungesikia umetumia bilioni 5
@nellywizz96315 жыл бұрын
Kweli
@ramadhanisuru18225 жыл бұрын
Hiyo ndo Tanzania ninayo taka
@ashritaabdallah64745 жыл бұрын
Wale wazee wapo kizamani zaidi uyu kaka yupo vizuri mungu amzidishie
@uledimtumwa24065 жыл бұрын
Acha uongo,huyu anatumia gharama kubwa wale wanatumia gharama za chini,pili tofautisha umeme wa jua na maji.
@asteriambwei33493 жыл бұрын
Hongera Kaka tunahitaji ubunifu km huyo ingekuwa nchi nyingine wakuinua ili uzidi kupanua hiyo kazi Kaka sijaijua Tanzania ni vipi Ila ni wagumu Ila mungu ataleta watu watakaokusapoti usonge mbele Hadi utoe ajira Kwa vijana wetu hongera sana
@aishasilaji57595 жыл бұрын
Vijiji vingi vinahitaji umeme bora tu angesapotiwa tu jaman
@ngelejangeleja65845 жыл бұрын
Tujifunze kitu watu kama hawa wanahitaji support kubwa sana kwa sababu tatizo la umeme ni Kubwa sana hapa nchini
@khatibhijja39585 жыл бұрын
Tanzania unatak watu kama kina Piere liquid sio hawa
@dutchkijiko16353 жыл бұрын
Good job Tom
@iviejustified81093 жыл бұрын
Kwanini ugawe bure boss?
@kwisa48993 жыл бұрын
Huyu alicho fanya katumia pesa kuwekeza kwene umeme wa solar hakuna alicho kibuni hapo kila kitu kaagiza nje (Invetor,solar panel,Back up Battery 🔋) hakuna jambo la ubunifu lililo fanyika hapo hivi ni vitu vya kawaida sana
@edinamutakyawa68725 жыл бұрын
hongera sana
@hassanmkungile60213 жыл бұрын
Tanesco ndo shilika lenye wivu Dunia nzima hawajawah kubali ubunifu wa mtu bnafsi wanagwaya kupinduliwa watu wanavipaj apa bongo n atar tatizo Saporta hawapo 😠😡
@happymrema67283 жыл бұрын
Majibu yenu sio mazuri kwa kweli mnatak kumkatisha tamaaa
@mohamedmbela87785 жыл бұрын
Mara betri hazitoshi, tena labda waje eura yaan wa tanesco hamujaeleweka mlichoongea. Sasa kama nyie elimu yenu ndogo kwann mliharakia kuja na kutokuwaachia hao eura?
@amanijampion30456 ай бұрын
Millard tupe mwendelezo wa huyu jamaa amefika wapi? Thomas fanya tena coverage
@risasiponera86225 жыл бұрын
big up tunahitaji watanzania kama hawa wenye uwezo wa kuthubutu kufanya kitu tatizo la nchi hii wtendaji walipoewa mamlaka ya kusimamia hawana uzalendo wengi wao wana chuki na wala rushwa wapo kwenye nafasi hizo kwa maslahi yao binafsi pumbavu zao .
@nasrikileo72913 жыл бұрын
Mbona ni kitu cha kawaida sana hicho . hiyo ni solar system inachaji betri za 48vdc na converter zina convert to 230vac. Sioni ubunifu wowote hapo zaidi naona promo 2 ya hiyo system ambayo ipo miaka yote ila haijawafikia wengi sababu hawana matumizi nayo
@josephkaale64722 жыл бұрын
Asante kwa ushauri inaonekana wewe ni fundi mzuri sana. Hio 40Kva ina uwezo wa kuendesha mashine ngapi za umwagiliaji na kwa masaa mangapi? Je hio 40Kva ni raw power kutoka kwenye solar panel kuenda kwenye inverter na baadae kwenye mashine au ni Stored power kutoka kwenye battery. Hio 48VDC ni charging voltage au discharging voltage? Anaposema 3Phase au 3 ∆~ ni 415VAC au hio 230VAC? 40Kva ni sawa na kWh ngapi mkuu? Naomba unieleweshe kidogo fundi wangu
@johnohando23905 жыл бұрын
Nothing so special about it but Tanesco should encourage more small scale solar energy investors and put the energy to the national grid.then tutasahau story ya power blackout tuwekama ulaya.
@shukurumeena61015 жыл бұрын
Bado sana mashirika ya serikali kutoa support kwa wawekezaji wazalendo kama hao.. Mawazo ya watendaji ni kuwa watu huru kama hao wana-compete nao katika biashara bila kutambua wanawapunguzia kazi. TANESCO fanyeni kazi, hapo kwa jamaa sio mbali pa nyie kushindwa kufika na kushauri kwa muda wote aliofanya kazi..HONGERA MZALENDO WA KWA-SADALA.
@jeremiahmwasapilicharlie29265 жыл бұрын
good job
@eaglecrown38725 жыл бұрын
kweli mchaga ni mchaga 2. fulsa aliyoiona MUNGU aifikishe mbali.
@user-lg1ji8hi3d2 ай бұрын
Hakuna ushaur hapo Yana wivu sana Aya ayawez kukubar mpaka ingekua ngozi nyeupe
@swah555suhayl8 Жыл бұрын
Ayooo huyu jamaa Jambo lake lilifikia wap n miaka mi 3 sasa
@tesinaelectronics82285 жыл бұрын
Jamani mimi nakupongeza sana fundi, watu wanajitahidi kufanya miradi lakini watanzania wenzetu tunaoneana gere, naomba tumuunge mkono mtanzania mwenzetu aweze kusonga mbele. nanyi tanesco hiyo ndiyo miongoni mwa uchumi wa viwanda, msaidieni huyu jamaa kama mlivyosema na sio kumkatisha tamaa, na kumpa majibu baada ya miaka sabini atasahau idea zake. pamoja tujenge Taifa letu tufikie uchumi wa kati.
@methodismail39065 жыл бұрын
Ukiangalia hawa viongozi wa serikali ni wakwamishaji wala hawampi moyo kwa kile alichokifanya, wengi wanavunja moyo sana. wao hawana hata betri moja lakini wanasema betri hazitoshi. Ukimsikiliza huyo aliyewekeza yupo positive sana na professional ila hao wageni wanaanza na proposal sijui nini ule ule urasimu unaanza hapo hapo. Hatusogei kwa kweli kwa mpango huo.
@user-sj3wf5vz7l5 ай бұрын
Tanesco wako kama rais dikitekta . Umeme uwe biashara uria tu. Watu watengeneze umeme wa upepo. Umeme wa solar na umeme wa maji. Ili kupunguza zigo ambalo tanesco wanalemewa nalo .
@amosmahona4333 жыл бұрын
Mungu akubariki sana
@stephanomoses76942 жыл бұрын
Wapi nyinyi wazinguaji2 . Mnavyochukia soler eti zinawakosesha fedha . Hapo ni unafki2 tanesco mnaongea ni vile2 soler zimegunduliwa nje hamna uwezo wa kusitisha utengenezaj
@christianjohnmwalugaja80903 жыл бұрын
Hapo ni figisu tuu
@danmsafi23833 жыл бұрын
Mi nilijuwa kagundua mitambo yake ya kuzalisha umeme,kumbe umeme wa sola
@johnhobo94605 жыл бұрын
Yuko_gud_big_up_kwake
@saadsalum32535 жыл бұрын
Magufuli ataka viwanda sihicho apewe kibali auze umeme tu huko kijijini
@francomwacha22625 жыл бұрын
binafsi nimetamani kujua zaidi aisee.. kama interview imekua fupi vile.. ingefaa mtu wa nguvu ukaifuatilia hii habari kiundani maana ni ubunifu mkubwa sana..
@ahz69073 жыл бұрын
Kweli
@omaryh.mohamed44805 жыл бұрын
Innovation
@brysonuronu58625 жыл бұрын
Hongera
@ilynpayne74915 жыл бұрын
@magufuli RAISI WETU msaidie huyu kijana apate kuwekeza katika umeme please mr president
@raphaelsamwel26405 жыл бұрын
Huu ndo ujinga!! Tunahitaji mifumo inayotambua na kuthamini vipaji vya watu!! Si kumtegemea Rais! Ujinga mtupu!! Rais atawaona watu wangapi??
@ilynpayne74915 жыл бұрын
@@raphaelsamwel2640 tatizo la Tanzania huwezi saidiwa hadi raisi aseme tulio chini kazi yetu roho mbaya tuu
@vaghoghontweki98273 жыл бұрын
@@raphaelsamwel2640 Watu kama ww wachache sana,,,,,saiv hata choo cha shule kuna someone anatajwa asaidie😥
@elizabethmabula1015 жыл бұрын
Mkaka mhandsome 😍 wewe
@fredymahenge30635 жыл бұрын
Hao masela wa tanesco dawa yao waitwe na Magu ikulu pamoja na mwenye mitambo ,patanogaje
@anwaryabdallah77825 жыл бұрын
Hili ndio Tatizo latanzania Yanimtu km HUYU badala yakuungwa mkono anapigwa stop
@sonymusa53335 жыл бұрын
Asili ya Mtanzania ni Unafiki. Hamna anaetaka mwenzie afanikiwe. Hawajawahi kubuni hata betrii ya cm alafu wanakosoa
Blablablabla ...sasa kama shirika mmefikaje site bila Kuwa na jopo la wataalam?
@thegreat.98693 жыл бұрын
Tanesco bana.
@bigdreamer88573 жыл бұрын
Serikali itafute kitengo maalum Cha kukagua, kushauri na kusajiri wabunifu wa nishati ila hiyo tanesco sidhani maana kumfaulisha mtihani mshindani wako sidhani.. malekani mbona Kuna Tesla jamani yule mtata wa sola panel na mabetri
@musapaul28305 жыл бұрын
Tanesco msiwe wakatishaji Tamaa kwa watu kama hawa, isipokuwa muwaunge mkono si kwa maneno Bali kwa vitendo . ukumbuke wajenzi wa nyumba moja hawagombanii fito.
@mdomani24045 жыл бұрын
Bora ungepiga kimya tu😅
@saimonmanyerezi71693 жыл бұрын
Kweli wewe unawazo kama langu,Wtz wabinafsi sana ukishatangaza hivo ujue kabisa kuna mamlaka zitakuja kukuzuia hapo ilitakiwa ukijazuiliwa na gharama zako zimekwisharudi.
@pjelectrcian83915 жыл бұрын
Bro hongera sana umejitahid but ningeomb kuwajuza kitu wapendwa, ukweli ni kwamba ukitaka kuzalisha umeme wa uhakika kitu pekee unachotakiwa kuwa nacho ama kukitafuta ni MOTION ENDELEVU kuna vyanzo ving vya umeme mf maji, jua, upepo, n.k katika vyanzo vyoote hivyo unatakiwa kupata kimojawapo ambacho ni endelevu wakat wote usiku na mchana, mfano ukitumia Motion ya upepo, hauvumi mara zote unazuka na kupotoe pia speed ya upepo haipo normal inazid na kupungua finally hupat umeme wa kutosha, vip ukitumia motion ya jua, jua sio Motion endelevu coz usiku haliwaki na kwavile haliwaki usiku itakugharimu kuuhidhi na pia tunaelewa cha kuhifadhiwa hua hakidumu, kwa mantiki hiyo kwa kua jua haliwakag mfululizo umeme wake sio wa uhakikaki Kivile, kwa kumalizia topic naweza kusema kwa heruf kubwa kwamba umeme wa kuzalishwa kwa kutumia Maji ndio weny uhakika wa 100% coz maji yana Motion endelevu usiku na mchana yanatiririka Na endapo yatapungu wakat wa kiangaz gharama ya kuyahifadhi ni ndogo tu. Amen
@charlesmushi23055 жыл бұрын
Hayo ni mawazo yako... nothing is impossible under the sun
@esthermadauda30125 жыл бұрын
Tanesco mnazingua,sasa kama kuna tatizo si mumsaidie kwa pesa zenu sasa???ili auze umeme arudishe gharama,mkurugenzi angalia,kijiwe chako hapo Tanesco kitaota majani akifika kwa Rais magufuli,yeye ameanza mumpe support sasa sio ya maneno ni ya kifedha sasa sio ya maneno,huo ni ushauri wangu utajuta meneja ohoooo
@davidmacha92155 жыл бұрын
sijui ila kwa 40 kv sidhan cz apo angekuwa na step down distribution, sijui lakin
@davidmacha92155 жыл бұрын
40 kv utumie kweny pum,volt 400 three phase sawa ila 40 kw
@ahz69073 жыл бұрын
Ilibidi umeme uwe ktk soko huria kama makampuni ya simu ili gharama zipungue. Maana wengi huzuiwa kufanya hiyo miradi.
@happymrema67283 жыл бұрын
Yani wanavyoongea kamm hawajapenda
@nellywizz96315 жыл бұрын
Tanesco wanaongea pumb kwanza sio wataalam ila ni wafany kaz wa tanesco wangekua na wataalam kidgo wangenishawishi
@winnesakara69575 жыл бұрын
Asante
@mannabu93335 жыл бұрын
Tanesco wezi tu kwanza huo mrad wa luck wanan wanaiba ela nying sana za wananchi Pumbavuu
@magdalenaswai19725 жыл бұрын
Hongera sn kaka
@stevepaintertz72525 жыл бұрын
Tanzania, ndio maana hata bunduki znatoka nje tu, maana ole wako ushikwe unafanya ubunifu wa kutengeneza bunduki ndio utajuwa maharage ni mboga nzuri sana, badala ya kutoa watu wawil nje wenye technology hizo waendelee kutengeneza na wabunifu Tanzania et mtu unafungwa, MBEEeee.....
@ramafrica90165 жыл бұрын
Ifike wakati tupende maendeleo ya watu wetu wa ndani na kuwapa nafasi ya kufika mbali.Taifa lijali maslai yake tuu
Wazee wa madesa hao lakn hata kuunga nyaya tu kwenye main switch hawawezi
@happymrema67283 жыл бұрын
Yani huyu tanesco wanatakiwa wamchukur
@elishamkora43173 жыл бұрын
Tatizo maneno
@nurujuma59592 жыл бұрын
Sasa si ndy muwasupport Yani Kama vile unakatushwa tamaa wakt mtu amehitaji ushauri
@abdirizakhtuke28825 жыл бұрын
Tanzania na "ANDIKO" Huyu amezalisha KVA40 Unaanza mambo ya andiko, wewe mpe ushauri wa kitaalamu na nyie ndio muwafuate hao EWURA kwani huyu amewafanyia kazi yenu. Ndio maana Magu anawatukana PUMBAVU
@romanambelle63565 жыл бұрын
Nashangaa na mm andiko la nn umefika umeona tanesco ndo waandike hilo andiko kwa kushirikiana na eura yeye kafanya kazi apewe ushauri nn aongeze. Wanataka hela tu wameshaanza. Kwanza siku zote kabla ya Mhe kuwaita walikuwa wapi kumtembelea wehu kabisa.
@ernestjophreymalaba33743 жыл бұрын
Yaani mimi siwaelewi hawa viongozi wa Tanesco hata kidogo, eti betri hazitoshi? kuna tatizo gani wakiwaruhusu wauze Umeme kwa majirani,hao majirani ndiyo watumiaji ndiyo watakaosema ubora wa Umeme husika
@thomasponera60183 жыл бұрын
Mambo hayaendi kihuni namna hiyo
@sonymusa53335 жыл бұрын
Tanesco baada ya kuambiwa na raisi ndo wamepata akili
@rodsconehenry42493 жыл бұрын
Tanesco bwana eti Ku back up
@praisesamson82983 жыл бұрын
Yaani TANESCO Wakuruhusu wewe pole hii ni Tanzagiza?
@shomarymussa69705 жыл бұрын
Mh raisi alisema watu kamaao mtawasaidia vp Changa moto zao
@fatmarashid23845 жыл бұрын
WAKIPATIKANA WATU KAMA HAWA WAKIWA 50 BASI HATUTANYANYASIKA KUHUSU UMEME MANA TANESCO NISHIDA SANA KUTWA KAZI YAO KUZIMA UMEME WANATULINGIA SANA
@gemkachar5 жыл бұрын
MILLIONI MIA TATU. WAAH.
@yonahbajile87043 жыл бұрын
TANESCO mchukulieni Ndugu Huyu kama partner alipopungua ninyi mkamilishe ili mambo yaende acheni urasimu na wivu