Shilole ni mwigizaji na msanii wa bongofleva pia ambapo hii ni Part One ya Interview yake ndefu aliyoifanya na Mtangazaji Millard Ayo.
Пікірлер: 235
@seraphinaniyunva90699 жыл бұрын
shilole nimependa sana history yako yamaisha uliyoyapitia.history ya experience ya maisha uliyo yapitia inafanana na history yangu.pole sana dada pia hungera sana for great work your doing sister
@ImmaaKigge9 жыл бұрын
Ahsant sana millardayo kwa kazi nzuri kwa kile unachokua unakifanya kutufikishia ujumbe katika hadhara hatuna budi kukupa saport na kukutia moyo kwa kila kaz ni wachache wenye moyo kama wako,so saroot kwako.
@randaniwangu9818 жыл бұрын
Shish beib... I like how you turned your dreams into reality.... One more thing, no body has a right to stop you from dreaming. I like your lyrics.
@frankomart58019 жыл бұрын
nilikuwa namchukulia easy shilole mpaka nikaangalia Mkasi yake. i respected her a lot from that day. she is a hustler mpaka alipo
@mjungatv8172 Жыл бұрын
Shilole keep going dada we love you 2023
@SuzanaKajigili-f8i Жыл бұрын
Mama yake amefariki akiwa anasoma kama dara la nne na meza anayodai ipo alikuwa kaka yakemohamed alikuwa anauza mwaka 2014 muongo namjua vizuri sana nimesoma nae shule moja nimemtangulia mads kama 2 mwka 95 amezaliwa mwaka mmja na mdogo wangu 85na tumeishi jirani mpaka mmoja na mpaka tulimbembeleza amalizie shule hakutaka alikuwa anapenda disko sana na wala hakubakwa na aliishi na mke wamjomba wake mpole sana na alimulea kammtoto wake aache uongo😊
@veronicadeus93457 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@finnastive1656 ай бұрын
Hii ipo kabisa namm nikiwahi kunusulika pengine ningekuwa mhanga 😢😢 watu hao wapo wanabaka watoto zawatu nakuhalibia marengo yao
@omarmohamed-gc7lw8 жыл бұрын
shilole maze mi ni mkenya lakini duuh pole sana,,,,
@shamimubinkhamisi87199 жыл бұрын
nakupenda sana shishi bby mungu akulinde tnx millard ayo mungu akujarie
@beegee27367 жыл бұрын
huyu na gigy wana history ya kuhuzunisha sana. Mungu awaongoze waache tabiya mbaya.
@agnessinjasinja43519 жыл бұрын
Life mazee sometimes ni cruel Thanks Millard kwa habari nzuri
@casineobote99898 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂,shilole ur cracking my libs lol.but sorry Beby girl hayo ndo maisha.ilove you coz kwa shida zote ulipita uliamua K ubeba mtoy ukazaaa salute .ungetoa ungeona respect u deserve.
@aishamashaka79358 жыл бұрын
milard napenda kipind chako hiki uko makin uko vizur broo hongera sana
@TheJeffa588 жыл бұрын
Pole kwa hayo dada, yote maisha tu
@abdulkibodya54078 жыл бұрын
shishi anapo zungumza anakuwa hajiamini na anadanganya 1987-12-20.pole sana kwa matatizo na maisha magumu ulio pitia ok
@eddykatamba85536 жыл бұрын
imeniuma sana duhhh pole mwaya dada yangu ili ufanikiwe lazima upitie changamoto,
@reginabwija12049 жыл бұрын
pole sana shilole,mungu akubariki sana,uko kiyana
@tinakilonzo88346 жыл бұрын
Kweli mtu utoka mbali!!!keep it up Shilole
@aishaelias37829 жыл бұрын
nakukubali sana shilole,,,,, Lakini dada kizungu achia wenyewe bwaana,,,,, Nakufagilia sana shilole,,, Achana na kizungu, Ama uenda gumbaro
@piarajaneth60306 жыл бұрын
Wabongo tunashida sana hayuko tayari kusapoti pale mtu anapojaribu kwahiyo practice make perfect acha aongee atakapojua sijui mtasemaje
@immanidris4796 Жыл бұрын
After shishi kupost vile imebid nije kuona full interview
@pollylazmartins96909 жыл бұрын
ohh mpole kwely waah kila na story yake ... maisha kwely
@thomasernest88739 жыл бұрын
millard umekatisha utamu kumuuliza watoto wake wako wapi na kipindi hiko alichokuwa ameolewa kama alikuja na mtoto wake Dar au na je hao watoto wake wako wapi sasa hivi etc
@mkundwakayagula13047 жыл бұрын
Penzi la surprise ulipata hukubakwa wewe !
@nashmahamisi33509 жыл бұрын
Pole sana shishi even me nimeumia wa igunga mwenzio
@evamaryjohn44258 жыл бұрын
Dah.... Shishi bby u have a rocking and painful history... am happy you have lived your history
@mwatumusalim12848 жыл бұрын
Wah so sad ...ur strong woman shishi
@mwanashagladys45812 жыл бұрын
I love you shishi from🇰🇪
@mc_mrope2 жыл бұрын
Story nzuri inasisimua kwa sisi watafutaji
@josephochieng25227 жыл бұрын
This lady,wow!!,# champion.
@tandisam57396 жыл бұрын
nakupenda sana shilole,,unajiamini mnoo
@lucynyakerukariuki76216 жыл бұрын
Beautiful and innocent..
@rahimumuco62539 жыл бұрын
millard please mtafute mpoke aingie studio please
@nowelaraymond66636 жыл бұрын
Pole mwanangu, mungu akutunze!
@twahashellimo92029 жыл бұрын
May God get you longer life for the hardness you passed through, Amen
@ramsikhamis70832 жыл бұрын
Huuu ndo mwilii sasa kuliko huu uliokuwa nao sasaa maarufu kama Shishiii Food ni bonge la mzigo 🏌️💨💨💨
@matridasambali66526 жыл бұрын
pole na hongera kubwa shilole
@JanethMadios5 ай бұрын
Ila millard mvumilivu jamani anaweza kuongea hata na vichaa huyu😂😂😂😂😂😂
@getrudapoul3855 жыл бұрын
Nakupenda shishi we ni mkweli
@mtemimoran57749 жыл бұрын
una stori ya ndefu mno ila katika nyimbo zako shoo zako sons kana umepinda sana!!!!! kwanini?
@mankyamwasha22249 жыл бұрын
Doooh pole yake aisee...
@habibakhlifa85347 жыл бұрын
story ya uongo soda 1000 niuongo kweli hajui hesabu shilole
@joycefelix90477 жыл бұрын
Habiba Khlifa kutokea mfano jamani
@ashleypattyasheri91237 жыл бұрын
Kasema mfano
@Pembaboytz9 жыл бұрын
hajaonge point muongo huyo ukipga mahesabu hyo miaka utagundua kuwa ame2nga uwongo m2pu
@SoniaYunusu-ze7zq11 ай бұрын
Tulia
@junguquumediakenya46738 жыл бұрын
Aisee story ya Shishi imenishangaza. sijawahi kufahamu Maisha yake yalikuwa na pandashuka za kihivyo.
@shafiihemed29205 жыл бұрын
Shishiiii...kala sana kachori zngu pale keko magurumbasi...
@surambayarohosafi3149 жыл бұрын
mwenye kusoma from 1 up to 8 huwaana ongea. very very good English wewe ulisoma mpaka form Tow na english ndio wataka kurudi shule usomee beter you toke kiswahili my dear coze kiswahili ndio lugha yetu naya taifa so wacha uwongo shishi ur so beautiful but uwongo sikazi na haujifichi
@florencemzungu73199 жыл бұрын
mbona mumekatizia hiyo story cz iko tamu sana
@rahimamohammad24609 жыл бұрын
mungu akuendeleze
@alimngwalivuai35187 жыл бұрын
stori zake haziingii akilin anajifanya shujaaa ila hana plot majigambo tu.
@ssayima9 жыл бұрын
I hope all goes well for her
@BarbaraPatience-qt9cc Жыл бұрын
Your prayer was answered!!! She is the new owner of shishi food with her music carrier even though not doing so well!!!
@flowrencewambui61178 жыл бұрын
Millard handsome boy.
@yrcchfddd69128 жыл бұрын
Flowrence Wambui na sauti nayo nzuri mashaallah
@fadhilikangusi9 жыл бұрын
Poa Sana mtu wangu Wa Nguvu
@iryncharlz32698 жыл бұрын
Mhhhh Shishi mwongo coz kuna interview nilisikia aliongea tofauti kabisa na alivoongea kwa Milard
@saadsalum32536 жыл бұрын
Ukipata bikra nahapo hapo ukapata mimba kumbe ulikua huna bikra umeipata siku uliyo bakwa mhhhh apo kuna namna
@sarakony78928 жыл бұрын
uko sawa sish
@valarychebet37649 жыл бұрын
nice keep it up shi
@SuzanaKajigili-f8i Жыл бұрын
Muongo Manisha take nayajua amekomea darasa la tano aliacha shule na hakubakwa alikuwa anafatwa kwao na kijanammoja anaitwa makala wanatoka na anamruisha asubuhi Tena saa mbili asubuhi na mjua vizuri Sana kupita kiasi
@maryjohnsnyambiamachiveli12988 жыл бұрын
I just love this woman. lol
@ibrahimsenote8218 жыл бұрын
pole sana nakuomba tengeneza kipindi kwa ajili ya ushauri kwani umekuea mkweli najua unatakiwa kuwa jasiri kueleza .Maputo yako no fundisho kwa wengine.
@joycefelix90477 жыл бұрын
Amen Shishi wangu
@lynnanderson60996 жыл бұрын
Congratre what? 🙈 so cute though 😍
@ellahmurugi2986 жыл бұрын
Aki this lady has been through a lot...those people mimicking her English,may God forgive then
@marjulie99 жыл бұрын
jamani ulitaka kusoma English medium?
@isaiahmonroe55359 жыл бұрын
pole mwanangu hii inatia machungu hayo yote tumpa mola
@yukundapeter8200 Жыл бұрын
Mbona husemi uliuxa nyanya?
@miriamotundo75389 жыл бұрын
congra.....what? shishi jameni..i still love you though
@georgeyunji2819 жыл бұрын
Shishi ni kwann unapenda vijana wadogo km Nuhu mziwanda
@carolineingati8809 жыл бұрын
pole sana kwa yote but please next time make sure story yako Inatiririka.... halafu hio hotel management usiiseme tena...
@florencemzungu73199 жыл бұрын
Big up my sister
@vickymutetema45437 жыл бұрын
borayeye. akuficha mtoto aliye muzaaa wengine Mbona wanawakana?
@omarmohamed-gc7lw8 жыл бұрын
shilole nakumind sana uko open thats good,,,,,,nataka namba yako plzzz
@khamissons12069 жыл бұрын
unakatisha utam millard
@aishamashaka79358 жыл бұрын
love yu shishi napenda unavojiamin
@merryn48917 жыл бұрын
pole sana mwaya
@renaldakamugishazeramulake9407 жыл бұрын
Shilole ni muhongo, interview zake huwa nazifatilia. Anabadilisha maneno.
@atupakisyemapuli8637 Жыл бұрын
Si ameshasema yeye mwenyewe alikuwa haelewi mpaka anaenda kuuliza kwa mwl wake
@swabrinamumtaz19979 жыл бұрын
Congratretion
@dorcaskihiyo35946 жыл бұрын
Kizazi sana shishiiii
@salmaakida34857 жыл бұрын
jamni huyu Millard ayo angekua muslim hee ningefanyaa ki2 kwakee maana cimpend nafanya maaaanza heeeee 1 day mpaka niskie sauti yake kaaaah jaman 🙄🙄🙄🙄🙄
@babycombo26359 жыл бұрын
mmmmh huyo mbona muongo kila akihojiwa anaongea tofauti mmmh
@lizmass42539 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 hw hv u been? from where!😂😂😂 congratuleshen😂😂😂 congratulations my dia bt 😢😢😢😢😢 sorry for wht u hv experience in ur life thank GOD u are blessed now with everything u need
@veronicasteven52776 жыл бұрын
nakupenda coz unajiamini
@officialnekka63034 жыл бұрын
Nampenda shishi
@bahatiogolla36956 жыл бұрын
Soda Tshs. 600/- kipindi ana miaka 6, 1987+6=1993. kipindi hicho soda nakumbuka ilikuwa Tshs. 200/-.
@ataamansi89418 ай бұрын
Mwongo huyu mama amezaliwa 1985, na 1993 soda 200
@tunnaika6 жыл бұрын
so baba alikimbia wakati mtoto atambaa,lakini baba hakuona mtoto ..howww????
@danielabdalah16338 жыл бұрын
daa polesana shushu by
@gervas586 жыл бұрын
Huyu mwambie atengeneze kitabu atauza sana
@cgggfgghsxzfghg9 жыл бұрын
napenda bidii ya shishi
@athuman63169 жыл бұрын
shilole mwanae ana miaka 11 wa kwanza na yeye toka aletwe dar ana miaka 11 ajpange kuongea!
@lizzybahati98334 жыл бұрын
Shishiiii mambo 😃😃😃
@isaha76647 жыл бұрын
ukitaka kudanganya tengeneza maneno ili yawe yanafanana
@emmanuelmhumbi20329 жыл бұрын
Dada liongo hili yaani interview zake akihojiwa anajibu tofauti na zingine alizo wahi kuhojiwa sijui kwenye interview linaendaga likiwa limelewa maana hovyo kabisaaa
@abdalajuma15937 жыл бұрын
ko ndomana unapenda watoto kisa ulibakwa nakuolewa ukiwa mtoto sio vizuli kuwalibia na wengine ungekuwamshauli kea watu
@smillingandfunnytv80087 жыл бұрын
We mkweli?? Mbwea we.
@stanleytemu94347 жыл бұрын
Emmanuel Mhumbi nnakubali Sana DADA yang
@maryjohn94049 жыл бұрын
mmh Mimi shishi ata simuelewi yn mtu asome ad 4m2 kuji intoduce ata kidogo hawaz yn anajiumauma tu wakati form2 mtu unajitambua vzr
@ldrisalssa4448 жыл бұрын
sielewi elewi kabisa inakuwaka aje shishi mbona unachanganya
@veronicadeus93457 ай бұрын
Miaka 9??? Sec form two?? Hapohapo mimba?? 😂😂😂😂😂
@maureenmacha63976 жыл бұрын
I love you zuwena
@husseinkazungu51019 жыл бұрын
pole sana
@saimmabula34429 жыл бұрын
Hahha eti nataka kwenda kusoma English Medium
@abubakarisa31336 жыл бұрын
saim mabula ok
@angelmacha65104 жыл бұрын
saiv umekua kibonge
@eunidasmoraa51119 жыл бұрын
nice show
@rajabumarupu99828 жыл бұрын
Watumiao madawa ya kurevya xio wa kuwahurumia akibainiwa ni jera hukohukoawe tiyar kwa kilimo
@fellylove5368 жыл бұрын
umenifurahisha ngwala
@frankmangapi48199 жыл бұрын
Shilole ana miaka kama 27 au 28, anasema alibakwa akiwa na miaka 14 alafu mototo aliyemzaa ana miaka 11, Dar alikuja mwaka 2014 akiwa tayari ameshaolewa. Hapo mahesabu hayakubali kabisa. kaongea uwongo mtupu. Bwana Millard uwe unatafuta watu timamu kaka.
@mariamomary68609 жыл бұрын
+Frank Mangapi hahahahahah lol did you real count
@frankmangapi48199 жыл бұрын
+mariam omary why not? Shilole hajielewi kwa kweli, anapunguza credit za Millard huyu.
@carenvibes52009 жыл бұрын
she said she's 1987/12/20 she was raped at 15, her kid is 11, but she said she was just approximating which makes Sense.... a difference of 2-3yrs not bad... what's up!
@frankmangapi48199 жыл бұрын
We approximate only when there is a point and not a whole number. If she got married in 2004 and she got pregnant the same year and it was for the second kid, Hw come the fist one is 11? She went DSM in 2004 with her kid and still the kid is 11. We can't handle Algebra but not this blinded math of Shilole.
@carenvibes52009 жыл бұрын
marc logan hahaha leave shilole😂😂😂😂the fact remains that she went and looked for her birth certificate and found out tht she's born 1987/12/20.... the rest is history
@sophiemwanina59792 жыл бұрын
She was really small
@faridabakari85118 жыл бұрын
life good keep up
@husseinhassan81906 жыл бұрын
mbona halijielewi hili eti ameolewa akiwa namiaka 18 au 19 alafu alizaaa akiwa na umri miaka 14 hajielewi huyu