GAMBO ATENGUA KAULI YA MAKONDA "AKUMBUSHWE NA AELIMISHWE NINI WAJIBU WA MBUNGE, ZIARA HAIKUA YAKE"

  Рет қаралды 73,392

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 489
@husseinshabani9522
@husseinshabani9522 21 сағат бұрын
Nimekuelewa Mbunge Wetu...Mi nafikiri na kushauri Mshirikiane kwa kila jambo...kwanza ni vijana pili Wasema kweli...Mimi nawapenda nyote...Mungu Awatie nguvu na shetani Apite mbali nanyi...Mungu Awasimamie In sha Allah.
@pureleathershoes8066
@pureleathershoes8066 5 сағат бұрын
Gambo umemjibu Makonda vizuri sana. Makonda ni kiongodi mzuri kwa uwezo ja nafasi yake aliyopo ila anafeli kwenye taratibu ndogo ndogo za kiuongozi. Nadhani hajui nafasi yake na malmlaka yake imaanzia wapi na inaishia wapi. Mwishho wa siku wanakanyaga kanuni, taratibu na sheria zilizopo na kwa bahayi mbaya sana watanzania wengi tunafuata mkumbo kwa kushabikia watu type ya Makonda kwa.kutokujua misinngi, kanuni na taratibu tulizojiwekea kisheria.
@rithaurassa
@rithaurassa 16 сағат бұрын
Makonda yuko vizuri sana. Hatutaki maelezo baba wajibika wacha blablaa hatukuelewi kwanza. Makonda chkua MAUA yk🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤Wananchi wengi tuko PAMOJA piga KAZI mkuu.
@aidankakulu398
@aidankakulu398 16 сағат бұрын
Hujui lolote unabwabwaja tu
@yokoi-u3g
@yokoi-u3g 16 сағат бұрын
Ujui kitu mshamba ww
@yudachelango6824
@yudachelango6824 16 сағат бұрын
We mshamba sana
@EXCELMASTER-Wiseoption
@EXCELMASTER-Wiseoption Күн бұрын
Sisi hatutaki maelezo Gambo tunataka barabara. Alafu mbona kwenye vikao ulikiwa huji mzee
@Trys6254
@Trys6254 22 сағат бұрын
😅
@MeckitilidaTushabe-or9hu
@MeckitilidaTushabe-or9hu 20 сағат бұрын
😅😅😅😅😅😅
@KelvinIsrael-pl6lz
@KelvinIsrael-pl6lz 20 сағат бұрын
Kweli hajagi bhn cjawahi hata kumuona
@paschalaloisy580
@paschalaloisy580 18 сағат бұрын
😂😂😂
@frankmlinda1181
@frankmlinda1181 17 сағат бұрын
Blaza wew ni doja shutup😂😂😂😂
@sixtusmayebwa5128
@sixtusmayebwa5128 21 сағат бұрын
Nadhani Watanzania tuna matatizo ya kutojua nini tukijibu juu ya nini kilitakiwa, hizo hoja zilitakiwa zifikishwe kwenye Vikao vya Mkoa na Halmashauri sasa hayo ni ya wananchi au ya Mbunge mwenyewe??? Makonda Uko Sahihi kumtaka kufika kwenye Vikao. Big up Rc
@efraimjohn4956
@efraimjohn4956 18 сағат бұрын
Hujui Siasa na hujui majukumu ya mbunge Wala mkuu wa mkoa. Mbunge hawajibiki kwa mkuu wa mkoa
@sixtusmayebwa5128
@sixtusmayebwa5128 17 сағат бұрын
@efraimjohn4956 Vile vikao ni vya kisheria wala si vya Makonda vinapomtaka Mbunge kuhudhuria anaenda kama nani??? Kwani yeye kamtamka kwa kusema anawajibika kwa Mkuu wa Mkoa??? Ngoja wanyooshwe wajitambue!!!
@HalimaMayunga
@HalimaMayunga 16 сағат бұрын
Safi sana imemuuma ye kila mara nikubushana na wenzake mbele za wananchi sasa nae kaambiwa ukweli mbele ya wananchi ikamuuma Mkuki kwa nguruwe anakwamisha maendeleo Arusha huyu ni kigezo
@christosphernnko3417
@christosphernnko3417 Күн бұрын
Changamoto ya msingi aliyosema Makonda ni Kukacha kwa mheshimiwa mbunge kuhudhuria vikao vya ndani ambavyo ndugu Mbunge ni Mjumbe.. Sijaona kilichojibiwa. Makonda Juu uko poa mtu wangu.
@judyngowi391
@judyngowi391 23 сағат бұрын
Sio lazima auhudhurie hivyo vikao, yy anatakiwa kuhudhuria vikao vya bunge
@TheresiaAndrea-hv9dg
@TheresiaAndrea-hv9dg 21 сағат бұрын
Shida za wabunge wetu ni kutaka umaarufu kwa wananchi kwa kuwachingea watendaji. Makonda huwa anamajibu ya wananchi kwa sababu anafanya kazi za wananchi na wananchi tunamuelewa. Hapo mbunge kaa tu kimya yaishe😂😂😂.
@MashakaMagesa
@MashakaMagesa 21 сағат бұрын
​@@judyngowi391Wewe akili yako ndogo Ina maana mbunge a na ahusika na vikao vya Bunge tu Hawa CCM wasiokuwa na msimamo kiboko Yao ni Makonda nchi yetu Tunaitaji viongozi wanaoweza kutuvusha siyo wa maneno matupu yeye Gambo wakati akiwa mkuu wa mkoa Arusha alikuwa anapambana na Lema Sasa Leo vita ni Yao Serikali ni ya CCM na Mkuu wa mkoa ni Mteule wa Rais
@marcongelela7088
@marcongelela7088 20 сағат бұрын
​@@judyngowi391 Mbunge ni mwakilishi wa wananchi sawa. Changamoto za wananchi hazitatuliwi bungeni tu Moja Kwa Moja. Zipo Mamlaka zilizowekwa Kwa ngazi ya Mkoa na hata wilaya/miji Ili kuhakikisha utekelezaji wa yaliyopitishwa bungeni yanatekelezwa. Hivyo mbunge Ili atende vizuri ni vyema akauhusiana vyema na wananchi na watendaji wote Ili kuwa na ufanisi . Otherwise,akijitenga na Mkoa au wilaya hawezi kufanya vyema. Changamoto zingine za wananchi hazitatuliwi Bungeni ,zinamalizwa na Halmashauri tu.Hivyo anapokuwa amehudhuria yapo ambayo atakuwa na lugha Moja na wenzake. Uhalisia ni kuwa ikiwa hahudhurii,na mpaka wanalipuana hadharani ujue hata taarifa ya excuse hatoi hivyo Kuna shida kubwa . Nahisi Makonda Yuko sawa kuliko kutafuta kick kwenye mikusanyiko wakati vikao tendaji hata kama Si vyako kisheria lakini ni Wajibu pia hahudhurii
@sholanjelu7692
@sholanjelu7692 6 сағат бұрын
​@@judyngowi391vikao ambavyo vinamnufaisha yeye
@frankrobertkomba2318
@frankrobertkomba2318 21 сағат бұрын
Mimi nasubiri comeback ya mh makonda,kumbuka kuhudhulia vikao vya ndani ya chama
@gwajetheentertainer363
@gwajetheentertainer363 12 сағат бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😅😊😊😅
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula Күн бұрын
Ungenyamaza ingekuwa busara zaidi
@yokoi-u3g
@yokoi-u3g 16 сағат бұрын
Ujajifunza kitu kpya kwenye maelezo yake. Penda kujua pande zote mbili na kma huko arusha basi utaelewa anacho sema. Sasa endelea na mambo ya siri
@ErnestJosephat
@ErnestJosephat Күн бұрын
SHIDA YAKO UNAGOMBANA NA KILA MTU HAPA ARUSHA!!VIONGOZI WENGI WAKIJA HAPO WW LAZIMA UPISHANE NAO!!NENDA KWENYE VIKAO 😂😂
@ernestthomas9689
@ernestthomas9689 19 сағат бұрын
Si afukuzwe tu Chuga...hafai
@MCNgakungaJunior
@MCNgakungaJunior 19 сағат бұрын
Amegombana sana na Mh Godbless Lema wakati ni mkuu wa mkoa.
@NapeDkilia
@NapeDkilia Күн бұрын
Makonda sawa na magufuli alivyo tekeleza shida za watu. Wabunge walijificha nyuma ya mgongo wake. Sawa na gambo umejificha nyuma ya makonda kwahy tulia umbuke
@ewaldambrose6136
@ewaldambrose6136 23 сағат бұрын
Mkuu wa Mkoa ni Rais wa Mkoa..Finish..! Mwenye D 2 amenielewa 😂
@Kessyrich
@Kessyrich Күн бұрын
Logical that's good mp
@BedaKunguluche
@BedaKunguluche 20 сағат бұрын
Yeye makonda amekuambia vikao vya ndani na sio vya Bunge,hapo unachanganya mada
@SilveryMasalu
@SilveryMasalu 23 сағат бұрын
Hivi hivi ulimfanyia Lema tulia dawa ikuingie
@judyngowi391
@judyngowi391 23 сағат бұрын
Kabisa, alimfanyia figisu Lema, sasa umekutana na mwenye akili kama yako
@EliasMwita-q3x
@EliasMwita-q3x 23 сағат бұрын
Mambo yote hujadiliwa kwenye vikao vya ndani,vp wewe unahudhuria kwenye vikao?
@aishajuma7813
@aishajuma7813 Күн бұрын
Sisi hatutaki maneno tunataka balabara tunalipa kodi zifanye kazi
@beyondmediatz1607
@beyondmediatz1607 21 сағат бұрын
😀😀😀 Gambo hana chake tayari makonda wa Moto sana Arusha muda huu hata kiunafki kubaliana nae tu
@dianerditto
@dianerditto 23 сағат бұрын
Nyie gombaneni tu kikubwa barabara zijengwe hatutaki drama hapa
@suleymannguzo8981
@suleymannguzo8981 17 сағат бұрын
Na stendi pia
@paulmaganga9700
@paulmaganga9700 20 сағат бұрын
Safi sana Makonda
@yokoi-u3g
@yokoi-u3g 16 сағат бұрын
Kwa lipi barabara za mjini tu ni mashimo kila kona acha za ndani. Acha ushamba
@lucaschisamalo2852
@lucaschisamalo2852 17 сағат бұрын
Mungu analipa hapahapa duniani ulimsumbua Sana lema kikowapi mnanyukana wenyewe nilisema mm makonda kuja Arusha atawavuliga balaa anapenda kuonekana nimwema kwa wanainchi akiondoka imeisha hiyo
@smiletv1405
@smiletv1405 Күн бұрын
Naona kama jimbo unalikosa boss
@Ismailjafary-s1q
@Ismailjafary-s1q Күн бұрын
Tatizo hauudhulii vikao😅😅😅😅
@samsonkusupa6809
@samsonkusupa6809 22 сағат бұрын
Kwa nn hukumjibu pale pale umeona uje ujifungie huku uchochoroni peke yako 😂tatizo wewe kichwan unawaza chama kilichokuweka hapo sio shida za wanainchi ngoja nitamshawishi makonda agombee kwenye jimbo lako ili ngoma iwe tamu zaidi.
@michaelluziga2709
@michaelluziga2709 Күн бұрын
Swala la kutohudhuria vikao, ungeligusia pia ili tujue kwa ukamilifu wake. Kila mtu ana madhaifu yake kibinadamu.
@baruaninombo291
@baruaninombo291 22 сағат бұрын
Wewe ndo uliyesababisha stand isijengwe hadi leo. Kisa maslahi yako binafsi, Acha makonda atuletee maendeleo . Wewe umeshindwa tangu ukiwa mkuu wa mkoa
@MCNgakungaJunior
@MCNgakungaJunior 19 сағат бұрын
Kabisa
@maalimwenga452
@maalimwenga452 23 сағат бұрын
Ila wewe ni mkazi wa Arusha na ni mbunge Jimbo la Arusha mjini lazima uudhurie kwenye vikao vya maendeleo acha kujitetea
@lovemichael-j9j
@lovemichael-j9j 19 сағат бұрын
bs endelea kukaa na vikao vya bunge na uchaguz uchaguliw bungen
@chuggaboy9877
@chuggaboy9877 23 сағат бұрын
Tatizo muheshimiwa hujafahamu Uzito wa Mkoa wa Arusha ndio maana unashindwa kujenga hoja zenye uzito huko maofisini….. nadhani tunahitaji kupata mwakilishi mwenye uwezo na uchungu na Arusha!!
@AdamSeph-y8y
@AdamSeph-y8y 22 сағат бұрын
Wabunge mnaahadi hewa sana ukijisahau unakumbushwa kwani vibaya kukumbushwa? Huo ni ukweli umeambiwa tena ana kwa ana hakuna unafiki hapa Arusha
@simonmalegesi414
@simonmalegesi414 18 сағат бұрын
Kama umeona gambo ana hoja GONGA LIKE HAPO Umejichanganya sana aisee ungelikaa kmya TU.
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 22 сағат бұрын
Ndio tofauti ya Shule na ubashite,,,,
@shedrackngaila383
@shedrackngaila383 21 сағат бұрын
😂
@remidusmwanandenje-yy5gs
@remidusmwanandenje-yy5gs 23 сағат бұрын
Wa2 bwana kwani vikao ndoo vitajenga izo balabla wengine wanakaa vikao adi makalio yanataka Kuota kutu lakni maendeleo hola vitu vyote nibajeti zinazo pitiswa nabunge sio mkuu wa mkoa Safi gambo mitano tena🤚💚
@hosearichard3913
@hosearichard3913 22 сағат бұрын
Barabara haijengwi kama nyumba binafsi lazima kuwe na commitment
@elibarikiyusto5495
@elibarikiyusto5495 20 сағат бұрын
Makonda anasema maswali yako yote yalijadiliwa kwenye kikao ambacho hukuwepo licha ya wewe kuwa ni miongoni mwa wajumbe wa kikao hicho..So ilipaswa ujibu hoja hiyo
@silasmarandu1485
@silasmarandu1485 21 сағат бұрын
Mafahali wawili🎉 Makonda vs Gambo, We need your challenges hii ni faida kwa wananchi wa R Chugganistan kwa maendeleo, Ila msipigane wala kulogana 😅😅
@juliusdonard933
@juliusdonard933 23 сағат бұрын
Makondaaa❤❤❤❤
@allykirunginyamka9171
@allykirunginyamka9171 23 сағат бұрын
Hajielewi huo, ana chuki ya Dhahiri zidi ya Mrisho Gambo.
@emanuelleopod3949
@emanuelleopod3949 23 сағат бұрын
Hudhuria vikao mzee
@AwardHakimu
@AwardHakimu 20 сағат бұрын
😂
@mswakisaid2320
@mswakisaid2320 17 сағат бұрын
Havina posho ivyo😂
@RobertSalu
@RobertSalu 14 сағат бұрын
Hudhuria vikao ww acha lopolopo
@STELLAMARCELY
@STELLAMARCELY Күн бұрын
Mwaka mpya umeanza kuchangamka....
@mcback4384
@mcback4384 23 сағат бұрын
Pamoja na majibu mazuri lakini bado Makonda alikuwa sawa kukukata ngebe
@valentineshirima1658
@valentineshirima1658 20 сағат бұрын
hahaha! ngebe
@japhetdaudmaneno8440
@japhetdaudmaneno8440 22 сағат бұрын
Vikaoo vya ndani ndiyo kila kitu,wewe acha kujitetea,kubali yaishe,hapo unazua mhadala zaidi,na unajipunguzia ukubali kwa wananchi
@MATIKO9640
@MATIKO9640 14 сағат бұрын
Hudhuria vikao ngendembwe za nini?
@AthumaniHashimu
@AthumaniHashimu Күн бұрын
Big up makonda
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 22 сағат бұрын
Very smart answers,,,
@babuukakene5758
@babuukakene5758 22 сағат бұрын
cha msingi ni kuhudhuria vikao mzee maendeleo na kero za wananchi zinaanza kutatuliwa kuanzia vikao vya ndani
@osmanmussa6596
@osmanmussa6596 Күн бұрын
Wewe umeshapoteza sifa za kua mbunge wa Arusha mjini tafuta kazi nyingine
@silasmarandu1485
@silasmarandu1485 21 сағат бұрын
Kikombe alichokinywea Lema Gambo unapaswa kukinywea hicho hicho! 😂😂
@MCNgakungaJunior
@MCNgakungaJunior 19 сағат бұрын
KABISA NA HIKI CHUMA ALICHOKUTANA NACHO SI CHAMCHEZO.AKAE KWA KUTULIA.
@sera.8bomani502
@sera.8bomani502 Күн бұрын
Just hudhuria vikao that’s all mheshimiwa😊
@AlexMagweti
@AlexMagweti 16 сағат бұрын
Tatizo ww gambo siasa nyingi mkuu wa mkowa makonda ananyoosha kila mahali siasa
@enoszaka-tx8qw
@enoszaka-tx8qw 21 сағат бұрын
kimeumana wewe unakiburi sasa umekutana na kiburi mwenzio nakushauli tu kuwa mpole makonda sio size yako kabisa 😂😂😂😂
@faridikondo3669
@faridikondo3669 23 сағат бұрын
Haingii akilini Ziara ya mawaziri mikoani Isihushishe wakuu wa mikoa husika, ni nonsense kbsa. Makonda ndio mkuu wa Arusha kwa sasa so miradi ya miundombinu kwa vyovyote vile lazima ofisi yake ihusike kwa maana mkuu wa mkoa ndio msimamizi wa miradi yote endelevu katika eneo husika. Hapo umebugi Gambo, haufiki vikaoni na hii ndio tabu yake
@jeremiahngoka4980
@jeremiahngoka4980 11 сағат бұрын
Wewe unaeleweka sana kuhusu kuvuruga maendeleo ya Jiji la Arusha tangu Lema akiwa mbunge.Hakuna anayekuelewa
@shaabanramadhan6770
@shaabanramadhan6770 Күн бұрын
Gambo safari hii unapigwa chini hyo makonda keshaamua kuchukua jimbo na anapiga kazi haswq
@christophermunuo3554
@christophermunuo3554 3 сағат бұрын
Pole kiongozi unapataga tabi sana katika utawala wako ma wenzako pole
@michaelmahenyemuya164
@michaelmahenyemuya164 7 сағат бұрын
Tatizo lako unanata sana wew gambo
@broka_genius3615
@broka_genius3615 Күн бұрын
Udhuria vikao😂
@microssadamu7556
@microssadamu7556 21 сағат бұрын
Makonda endelea kuwapelekea moto hao wabunge wachumia matumbo na kujipandishia mishahara na posho. Kanyaga twende
@jaymalebo2159
@jaymalebo2159 20 сағат бұрын
Mh makondaa nasubiri jibu lako lingine....Arusha oyee lzm tupate mbuge anaye udhuliA vikao😂😂
@clauschristopher4478
@clauschristopher4478 23 сағат бұрын
Hudhuria vikao acha mbwembwe
@GidioniEliasimlwae
@GidioniEliasimlwae 18 сағат бұрын
Kwa hali hiyo gambo inaonekana huna mawasiliano mazuri na wenzako ungekua unamawasiliano mazuri ungekua unayajua mi naonaunahangaika sana huzuria vikao mzee
@aminitu3766
@aminitu3766 18 сағат бұрын
Yan ww unarudisha watu nyuma ya ni ulichokifanya ww ni kuwa nyuma ya update na ungesikilizwa maana yake ungeonyesha kwamba viongozi wahusika kama mkuu wa mkoa na wengineo hawafuatilii kero za wanaanchi sasa wenzako weshajadili namna ya kutatua tatizo we unauliza vitu ambavyo vilishajadiliwa weee unashida makonda big up Sana
@apostelgodwin
@apostelgodwin 16 сағат бұрын
Makonda hoyeeee ..piga KAZI tunajua wanakuonea wivu..wanaosema makonda anacheza na mitandao Tu ni waongo na wanafiki wakubwa WA shetani baali makonda ànachapa KAZI waziwazi na zinaonekana Sana Tu..pokea maua yako hata wakuchongee Kwa Rais haina shida ww piga KAZI CCD MAKONDA❤❤❤❤ LIKE KAMA UNAPENDA UWAJIBIKAJI WA MAKONDA
@MasoudyMichael-ox7xl
@MasoudyMichael-ox7xl 22 сағат бұрын
Kumeanza kuchangamka vinachapana😅
@LucasMwijage-oc5nx
@LucasMwijage-oc5nx 4 сағат бұрын
Umeambiwa na Rais wa Mkoa ,uje kwenye vikao vya chama na Mkoa utajua mipangilio yote. Sio kuweka adharani mambo ya ndani.
@japhetdaudmaneno8440
@japhetdaudmaneno8440 22 сағат бұрын
Vikao ndiyo kitu,bila vikao hakuna maazimio,ya utekelezaji, Makonda alikuwa sawa tuu
@yusufyusuf-br5qk
@yusufyusuf-br5qk 23 сағат бұрын
Makonda nyoosha nyoosha baba
@hodgebukaya5112
@hodgebukaya5112 23 сағат бұрын
Achaa Kuzungusha, Huzuria Katika Vikao vya Mkoa, Wanasiasa ndivo Mlivo Mmnamaneno Mengi, Utendaji Mdogo
@MashakaMagesa
@MashakaMagesa 21 сағат бұрын
Hapo Sasa alafu Serikali inayoongoza nchi ni ya CCM tangu 2021 Miradi haijatekelezeka wakati wanaotakiwa kutekeleza Miradi ni Wao CCM Hii inaonesha CCM haiko makini Kwa mambo ya Wananchi
@JacksonBayyo-uo3eg
@JacksonBayyo-uo3eg 20 сағат бұрын
Gambo ni mbunge mchapa kazi sana tatizo wala sio kikao
@wechemakambo2182
@wechemakambo2182 18 сағат бұрын
Uchaapakkazi gani alio nao?Hayo maswali ya kumtaka Waziri atoe maelezo kwabi ni bungeni ?​@@JacksonBayyo-uo3eg
@AbdulmalickGeorge
@AbdulmalickGeorge 18 сағат бұрын
Mbona kajiereza vizuri tu unacho tafuta ninini? Mwananchi
@SaidZavallah
@SaidZavallah 3 сағат бұрын
Gambo pole sana kujibu hili umeisha alichokisema makonda tofauti unachojibu ww na ww ndiyo utakuwa mbunge wa kwanza kuanguka😂😂😂😂😂😂
@elisantemrita9490
@elisantemrita9490 22 сағат бұрын
Acha kujitetea wabunge wengi ndivyo mlivyo
@starpawar6965
@starpawar6965 23 сағат бұрын
toka apaaa uzulia vikao
@microssadamu7556
@microssadamu7556 21 сағат бұрын
Nmesoma comment nyingi naona zinamuunga mkono makonda.
@Sahlomon-jp4jr
@Sahlomon-jp4jr 16 сағат бұрын
Unategemea nini' ikiwa Tanzania ni ya 3 kwa ujinga?!!! Wajinga huwa na furaha sana pale aliyefanikiwa anapopatwa na changamoto.
@yekoniajulius7340
@yekoniajulius7340 20 сағат бұрын
Sema kwenye kikao sikukuona Mh,
@ebenezersumari5408
@ebenezersumari5408 16 сағат бұрын
😂😂Ila we jamaa wa hovyo Sana
@Kessyrich
@Kessyrich 7 сағат бұрын
Makonda ayo majibu ungemjibu MSUKUKUMA hii nchi ingesimama
@elishamaige5030
@elishamaige5030 Күн бұрын
Mbunge umeeleza vizuri sana!
@abdulamani5518
@abdulamani5518 12 сағат бұрын
Vikao vya ndani ni muhimu sana na ukiona waziri amekaa kimya wakati Makonda anaongea ujue alikuwa anakunaliana na yanayo ongelewa Gambo anapaswa kujitafakali na anapoendelea kujitetea mitandaoni juu ya alicho kifanya ajue kuwa anazidi kujidhalilisha
@Caspary-m7g
@Caspary-m7g Күн бұрын
Hoja nzuri sana Gambo. Hongera kwa kumjibu kikubwa.❤❤❤❤😅
@laninjeje8290
@laninjeje8290 19 сағат бұрын
Gambo ni mjinga tu yaani unasubiri waziri aje jimboni kwako ndo uulize kuhusu barabara, je asingekuja usingeshughulikia maendeleo??
@papaasudi1627
@papaasudi1627 18 сағат бұрын
Ujielewi wewe mtoa comment na huyo gambo wako mwambie auzulie vikao RC makonda jembe sana halafu akwepeshi
@ElidifridaJingu
@ElidifridaJingu 23 сағат бұрын
Naona ubunge bye bye 👋 hudhuria vikao Acha maelezo marefu hayatakusaidia, ila ungenyamaza ingekuwa bora zaidiiiii😂😂😂😂
@judyngowi391
@judyngowi391 23 сағат бұрын
Ahudhurie vikao vipi? Yeye vikao anavyotakiwa kuhudhuria ni vya bunge, utakuwa mbunge wewe
@salehwaziri5062
@salehwaziri5062 23 сағат бұрын
Sasahuyowaziri siangemuuliziabungeni kwanini amemuulizia njeyabunge​@@judyngowi391
@mohamedhamismagoraonlinetv459
@mohamedhamismagoraonlinetv459 22 сағат бұрын
Huna akili nini. Hana ubunge kwani Bashite ndio alimpigia Kura?
@Commentsplus
@Commentsplus 15 сағат бұрын
Ungekaa zako kimya ungetisha
@husseinhemedi9314
@husseinhemedi9314 Күн бұрын
Mim nipo nawew mkuu
@LucasMwijage-oc5nx
@LucasMwijage-oc5nx 4 сағат бұрын
Mshilikiane kujenga Mkoa na maendeleo ya TAIFA.Pia ujue Mkoa huo ulikushinda,yeye mda mchache pametulia,pana MAONO makubwa.Wivi ni dhambi.
@mohamedkhatib5526
@mohamedkhatib5526 4 сағат бұрын
Wewe upo sahihi shida ya Mr Bashite napenda kujiona yy yupo Paffect kuliko mwingine mpenda sifa ndio shida yake.
@joojombi2341
@joojombi2341 5 сағат бұрын
Tatizo Makonda asema huhudhurii mikutano huko kupata maelezo zaidi ktk mikutano. Hilo ndo tatizo hapo lilipo
@jumakhamis226
@jumakhamis226 10 сағат бұрын
Tatizo gambo haujauzulia kwenye vikao vya ndani hatujakuona
@imanuelzakayo8703
@imanuelzakayo8703 22 сағат бұрын
Udhuria vikao mheshimiwa mbunge
@ibrahimomari2458
@ibrahimomari2458 16 сағат бұрын
Makonda siku zote nguvu kwanza akil baadae...hilo ni tatizo.. Nchi nzima kila anapopita kiongozi wa kitaifa lazima mbunge aongee kwa niaba ya wananchi ma pia huwa anaeleza changamoto za jimbo lake...sasa utasa wote hawahidhulii vikao...na kama hovyo ndivyo wanastahili wasizungumze chochote... Ni yale yale tu kama ilivyokuwa wakat ule akiwa dar...alipiga marufuku wabunge kuwepo dar es salaam... LAKINI GAMBO NAE HAYO NI MALIPO KWA VITENDO VYAKO ULIPOKUWA MKUU WA WILAYA KOROGWE...Ulipomwambia mwanasheria wa wilaya kuwa ana DEGREE YA CHUPI...Na vulugu ulizokuwa unamfanyia LEMA kwenye mikutano ya wawekezaji...UBAYA UBWELA...
@eddechriss2664
@eddechriss2664 18 сағат бұрын
Gambo ongea vizuri na MAKONDA, kwani sentence moja tu ya MAKONDA endapo atakuombea kura kwa wananchi wa Arusha kwenye uchaguzi wa 2025 itakupatia ushindi wa kishindo, hayo maelezo unayotoa sasa hivi ni siasa tu
@FranckDaniel-cc5rg
@FranckDaniel-cc5rg 21 сағат бұрын
Umeambiwa ukweli unakasirika
@DianaMosha-y8c
@DianaMosha-y8c 16 сағат бұрын
Cc wa kiteto tunasema hongera kumkumbusha waziri kuhusu hyo barabara maana tumesahauliwa kabisaa tunaitaji hyo barabara
@Dacos47
@Dacos47 23 сағат бұрын
nenda vikao bhana acha maelezo mengi hatukuonei huruma huku ng'oo
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz Күн бұрын
Safi sana Mrisho Gambo kwa kumjibu vema Makonda.Makonda aache kudhalilisha watu,huyu Mrisho Gambo ni mbunge na mwakilishi wa wananchi aheshimiwe.
@joelandekile3933
@joelandekile3933 Күн бұрын
We na huyo jamaa akili zen sawa tu
@storytownTv
@storytownTv Күн бұрын
Watu wenye akili kama hizi ndo walifanya Magufuli kutoeka..😢 Watu washindwe kufanya majukumu yao wasiambiwe hadharan kama wakina nani sasa..!?
@KamanaMangolwa-xe8de
@KamanaMangolwa-xe8de Күн бұрын
Mku wa mkoa anayo majukumu makubwa kuliko mbuge wa mkoa kimajukumu serekalini kwaiyo makonda anayo aki yakufatiliya miradi ya serekali
@saidtembele3070
@saidtembele3070 Күн бұрын
​@KamanaMangolwa-xe8deushawahi kumuona mbunge wa Mkoa kweli we Nanga!!! 😂😂😂😂
@trendings1293
@trendings1293 Күн бұрын
Wewe ni mpumbavu tu na wewe
@paulinamollel6915
@paulinamollel6915 4 сағат бұрын
itabidi tuandae pambano mzichape ulingoni muheshimiane😢
@baruaninombo291
@baruaninombo291 22 сағат бұрын
Inatushinda hadi mikoa midogo yote ina stand nzuri. Arusha jiji kubwa hakuna stand chanzo ni wewe gambo kutaka stand ijengwe kwenye maeneo yako ili ulipwe wewe badala ya kujengwa sehemu ambayo jiji lilipendekeza. Na kusababisha hadi pesa kurudi hazina enzi za magufuli. Wewe ni mbinafsi . Inatosha sasa tuachie mkoa wetu acha makonda ayafanye hayo uliyoshindwa
@jacksonmwalimu5181
@jacksonmwalimu5181 16 сағат бұрын
Kuna movie moja inaitwa IN THE LINE OF DUTY, ina majibu sahihi kuhusu hawa watu wawili,yan kila mmoja yupo sahihi kwa upande wake ila watazamaji wanaendeshwa na ushabiki(upenzi),binafsi sioni kosa la gambo maana ana jukumu la kusema changamoto za wananchi endapo kuna ziara ya kiongozi wa serikali,Pia makonda yupo sawa kumtaka Gambo ahudhurie vikao ndani ya mkoa lakn vikao hivyo vitategemea ratiba ya mbunge maana muda mwingi hutekeleza majukumu ya kibunge kuliko vya kimkoa✍️
@yusuphibrahim-yq9mv
@yusuphibrahim-yq9mv 8 сағат бұрын
Mpuuzi kabisa vitendo maneno hatutaki
@willymwaipaja6783
@willymwaipaja6783 24 минут бұрын
Makomnda alishawahi kusema wananchi wawaulize wapinzani kwamba walishawahi kujenga barabara au shule na zahanati. Nikashangaa kutoa kauli kama hizo maana wapinzani hawajawahi kuongoza serikali ya nchi hii. Kweli siku hizi kila mtu na akili zake kusema chochote na kuamini chochote. Kazi sana. Japo wote ni wanadamu tu wenye kutetea maslahi yao iwe CCM au wapinzani, ila ngazi ya kufikia mafanikio yao ni mwananchi asieweza kupambanua.
@AthanaseKiyoja
@AthanaseKiyoja 16 сағат бұрын
Makonda na lisu,hakuna tofauti,wote waropokaji,hwajui misingi ya uongozi.Mbele ya wanachi mnatakiwa kuheshimiana.
@warakawayohana2896
@warakawayohana2896 22 сағат бұрын
Mlopokaji na msomi ni watu wawili tofauti....mwenye jukumu la kusema habari za vikao ni bunge
@bagalucha
@bagalucha Күн бұрын
Huyu Makonda bado anatabia mbaya ya kudictate/kukontroli watu,bado mimi naamini ni mtu anaejaribu kutumia vitisho,katika uongozi wake,Mama huyu hakufai,ni hatari,serikali iliyopita ilimleya vibaya,na kuna siri kubwa nyuma yake,na ndio inayompa kiburi.
@saidantugwa7671
@saidantugwa7671 23 сағат бұрын
ssa ndo mkuu wa mkoa Tz nzima anayekubalika hakuna zidi yake. ww na mrisho wote hamna akili wasenge tu makonda akiondoka Arusha inapwaya kabisa nasemje Arusha itadolora yy alikuw mkuu wa mkoa alifnya nn?? aache drama afanye kazi kuma we!!!
@elvisoscar9912
@elvisoscar9912 23 сағат бұрын
Unamkubali wewe na familia yako usitusemee sisi arujakutuma jombi​@@saidantugwa7671
@judyngowi391
@judyngowi391 23 сағат бұрын
​@saidaunamkubali wewe na mkeontugwa7671
@mohammedkhimji7505
@mohammedkhimji7505 Күн бұрын
Meza Mate! Nyumba yako lingekuwa safi basi hamna mtu angekubabaisha kwako... shida ulipuuza uchafu mwingi sana huko Arusha... jamaa amekuja amezitatua mengi fasta.. amekuwahi... kubaliana na matokeo kaka... atakama utaratibu haifatwi, ameshakuwahi!!
@EliasMwankenja
@EliasMwankenja Күн бұрын
Makonda ametatua kero nyingi hapo Arusha,Gambo anakatabia ka uongo uongo.
@JeanMuzaliwa-bs6qh
@JeanMuzaliwa-bs6qh 23 сағат бұрын
mm ni mukongo ila makonda namkubali zaidi ya sana ni mwamba kweli kweli!
@JeanMuzaliwa-bs6qh
@JeanMuzaliwa-bs6qh 23 сағат бұрын
​@@EliasMwankenjakk uongozi wa Mh.makonda ni uongozi wa juu sana mwamba anajuwa,uzuri wa makonda anajiamini sio mhoga!
@marcoelia1191
@marcoelia1191 6 сағат бұрын
Watajuana wenyewe
@Leodimk-n5c
@Leodimk-n5c 22 сағат бұрын
Sasa mh ukisema we sio mfanyakazi wa serekali ila si uko kwenye himaya ya mkoa wake 😊😊
@husseinkarim7663
@husseinkarim7663 17 сағат бұрын
Mambo na Makonda ni marafiki wakubwa, Mkuu wa mkoa ameambiwa na wananchi kuhusu utoro wa Gambo, mp.
Арыстанның айқасы, Тәуіржанның шайқасы!
25:51
QosLike / ҚосЛайк / Косылайық
Рет қаралды 700 М.
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 55 МЛН
We Attempted The Impossible 😱
00:54
Topper Guild
Рет қаралды 56 МЛН
MAZITO YA MRISHO GAMBO BAADA YA KUCHANWA HADHARANI NA MAKONDA
5:14
MAKONDA AMVAA GAMBO MBELE YA WAZIRI, " USITAFUTE HURUMA YA JAMII"
3:16
Mwananchi Digital
Рет қаралды 5 М.
Арыстанның айқасы, Тәуіржанның шайқасы!
25:51
QosLike / ҚосЛайк / Косылайық
Рет қаралды 700 М.