JERRY SILAA AINGIA SITE KUTATUA MGOGORO, AMBANA MWENYEKITI WA MTAA "TUKIKUTA UMEHUSIKA UTAWAJIBIKA"

  Рет қаралды 23,940

Millard Ayo

Millard Ayo

10 ай бұрын

Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa ameingia ‘site’ kwa mara ya kwanza na kutatua mgogoro wa Ardhi uliodumu kwa muda mrefu katika eneo la wazi lililopo mtaa wa Surungai kata ya Ipagala jiji la Dodoma ambalo lililouzwa kimakosa kwa wananchi na baadae wananchi hao kuzuiwa kuendelea na shughuli za ujenzi.
Akiwa hapo Waziri Jerry Silaa ametoa maelekezo kwa viongozi wa serikali za mitaa na vijiji nchini kusimamia maeneeo yote yaliyoainishwa kuwa wazi yabaki wazi “Simamieni sheria isifike wakati tukawaondoa kwenye masuala ya ardhi mnatakiwa muwe waadilifu kwenye masuala ya Ardhi ikitokea kuna jambo limefanyika na mwenyekiti umehusika hilo utawajibika” Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa

Пікірлер: 52
@adamkapolo8817
@adamkapolo8817 10 ай бұрын
Viongozi kama hawa ndo wanafanya nchi inatulia na amani inadumu na watu hawatoandamana kamwe safi sana waziri
@nicodemusfidelis3772
@nicodemusfidelis3772 10 ай бұрын
Safi sanaa
@thomastemu3332
@thomastemu3332 10 ай бұрын
Safi sana. hawo maufisa wa ardhi wametuangaisha sana waziri
@Ommybabaa47
@Ommybabaa47 10 ай бұрын
ALHAMDULILLAH Huyu Waziri
@radhiambwana3353
@radhiambwana3353 10 ай бұрын
Hongera Mhe Rais kwakumteuwa huyu MTU
@thomastemu3332
@thomastemu3332 10 ай бұрын
Ndiyoooo chapa kazi mkuu safi Sana
@yusuphmwamlima2902
@yusuphmwamlima2902 10 ай бұрын
Lukuvi ni kiongoz katika wizar ya ardh sijui kwann hayupo tena ❤
@hijazhija316
@hijazhija316 10 ай бұрын
Pumzika
@josephatjordan2150
@josephatjordan2150 10 ай бұрын
@@hijazhija316akalale kabisa maana ni mwehu
@salumally663
@salumally663 10 ай бұрын
Mheshimiwaa Waziri hata huku vijibweni kisota kigamboni dar mwwnyekiti wake anatupa wananchi mtihani..WAMEFIKIA MPAKA WANAUZA MAENENEO YA BARABARA...wanaitia dosari serekali muonekane ovyo....
@zubeirissa9059
@zubeirissa9059 10 ай бұрын
Mimi nadhani hatua kali zianze kuchukuliwa kwa waliohusika wote na isiishie kwa mnunuzi na muuzaji
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema 10 ай бұрын
Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Kazi imepata Kiongozi mwenye Wito wa Kutatua Changamoto na Migogoro ya Ardhi. Mungu Ambariki Amiri Jeshi Mkuu Mheshimiwa Rais Dokta Samia na Mungu Ambariki Waziri Jeryy Silaa ili aendelee kuwa Mzalendo na kumsaidia Kazi Amiri Jeshi Mkuu Mheshimiwa Rais Dokta Samia. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kazi Iendelee.🇹🇿🇹🇿
@wadhhasuleiman2621
@wadhhasuleiman2621 10 ай бұрын
Wito upi wkt huyo mama ndo kwanza kamuongezea presha pesa yake hajui imepoteaje
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema 10 ай бұрын
@@wadhhasuleiman2621 kuwa mzalendo kwa Nchi yetu Tanzania na tuendelee kumuunga mkono Mheshimiwa Rais Dokta Samia katika Utekelezaji wa Maendeleo. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kazi Iendelee 🇹🇿🇹🇿
@user-hs7vq1jo2q
@user-hs7vq1jo2q 3 ай бұрын
Yani kilanikimfikiria jerry natamani apewe nchi kabisa baada YA mama muda wake ukisha pita 2030
@ngumbatv6974
@ngumbatv6974 10 ай бұрын
Mmh usije ikawa mwanzoo tuu, maan walikuwepo ghafl wakakata upepo. Inshaallah iwe kher
@erickzephania1030
@erickzephania1030 10 ай бұрын
Rushwa zinatawala sna, ndio maana migogoro haiishi.
@alexandermanase8956
@alexandermanase8956 10 ай бұрын
Hongera Kwa Nia njema ya kutatua migogoro, lakin nimejiuliza jambo Moja tu,,, hao ambao wameuziwa viwanja na hawajajenga wao haki Yao ndo Imepotea au inakuwa je??? Kuna watu wanadai kuuziwa na Jiji lakin hawajajenga bado, Kwa mujibu wa waziri wa ardhi ni kwamba watu ambao hawajajenga wasijenge tena,, ila hajatoa mwongozo juu ya haki ya viwanja vyao. Kama hivyo vimefutwa,, wao inakuwa je
@alexandermanase8956
@alexandermanase8956 10 ай бұрын
Binafsi naona huu mgogoro haujatatuliwa, ni lazima atoe mwelekeo wa hao wengine ambao wanafukuzwa hapo Ili wasipoteze haki Yao,, kwanza Mimi naona kitendo Cha kutokujenga ni jambo la kuwapongeza, maana wangejenga Leo wasiingeikuta hata hiyo open space... Tafadhar mh atoe mwongozo juu ya hao ambao hawajajenga na wanaondolewa hapo
@kainimlowe9646
@kainimlowe9646 10 ай бұрын
Nguvu ya sipulaiti
@gracemahugi4380
@gracemahugi4380 4 ай бұрын
Napesa zao je wazili au gharama wanaludishiwa na nani
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 10 ай бұрын
Mijini kuna maeneo ni prime ares,lakini ujenzi uliofanyika holela mbanano wizara njooni mrekishe
@cngeze
@cngeze 10 ай бұрын
Pwani Hasa kisarawe kata ya kisanga diwani ni mtata
@UwezoLihawa-ee1ks
@UwezoLihawa-ee1ks 10 ай бұрын
Kweli nimependa
@samochristopherroche9953
@samochristopherroche9953 10 ай бұрын
Unaongea na wizara ya ardhi kizembe hivo...hahahaaa...hiyo wizara inataka unawabamiza na vigoda
@elibarikkiakyoo
@elibarikkiakyoo 10 ай бұрын
Alafu hizo Raman za mipango mini kwa nn usiziweke Kwene kila Kijiji wanako uziana maana Kama aliuziwa Kwene oficin serikali 😂
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula 10 ай бұрын
Acha ktumia.kingereza sana Ujue hii.migogoro.ni.ya wasio.na.elimu
@rizikiabdalla2501
@rizikiabdalla2501 10 ай бұрын
Hahahaa
@thobiasbukali9008
@thobiasbukali9008 10 ай бұрын
Hii migogoro haitaisha kama mpaka waziri anafika field. Tunatakiwa kuwa na Taasisi imara kuliko mtu. Sheria zifuatwe,maana watu wanafanya makusudi sababu wanajua yataongelewa then kimya.
@hajimnubi4581
@hajimnubi4581 10 ай бұрын
Hawa mawaziri wanataka kumuiga dotto biteko...katambulika na nyota yake imekua ikionekana bila kutafuta camera za waandishi
@stanleyalfredy1938
@stanleyalfredy1938 10 ай бұрын
Bora sheria ingetungwa ya kuwa hata na kamati ya inayohusu uuzwaji wa ardhi, labda tungepunguza migogoro, sio mwenyekiti unamkuta yeye ndio kila kitu,hawa ni kuwachukulia hatua kal,hivihivi migogoro kila kukicha
@user-oh6pc7zd4s
@user-oh6pc7zd4s 4 ай бұрын
FIDDA HUSSEIN NI TAPELI WA NYUMBA ZA WANYONGE
@dorothymella4719
@dorothymella4719 10 ай бұрын
Ni mapema mnoo kuanza kumsifia mtu. Mpeni muda hata wa siku 60 muone utendaji unaendaje isije ikawa moto wa karatasi
@rosemuhandoofficial5676
@rosemuhandoofficial5676 10 ай бұрын
Yaani mheshimiwa afadhali umeenda hapo maana watu wengine wamejenga hapo bila kibali na wanatuletea fujo, ulevi,vibaka, plz nenda uone hapo KITAA CHEUSI, uone masudu
@mikemutabuzi3665
@mikemutabuzi3665 10 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@kitomondo
@kitomondo 10 ай бұрын
Hao wamevunja sheria ... ukiendelea na mtindo huo hufiki mbali. Mwenyekiti wa mtaa na mambo ya michoro wapi na wapi?
@fridaernestmkedege900
@fridaernestmkedege900 10 ай бұрын
Kabisa,
@JacksonChidawali-fe1hw
@JacksonChidawali-fe1hw 10 ай бұрын
Halafu hakunaga vitongoji kwenye JJ mwambieni wazili nawatakao tutoa ni JJ
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula 10 ай бұрын
Wenyeviti wa.mitaa.ninshidaaaaaaaa
@yudatadeimdoe9215
@yudatadeimdoe9215 10 ай бұрын
Ao ndugu zetu wanaolalamika waliuziwa na washaapeleka materials site kwaajiri ya construction,, mh.waziri mwagize uyo mpuuzi afisa Jiji aliyewauzia kimakosa kwa makusudi awalipe fidia waondoke,, usiseme tuu waende kwa afisa Jiji..wewe ndio wazir wa ardhi maamuz ya mwisho yapo kwako..toa kauli akawaludishie pesa zao tena kwa haraka
@salumjrsaidjr7150
@salumjrsaidjr7150 10 ай бұрын
Hata iweza hii wizala Ngumu??
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 10 ай бұрын
Ngoja tuone
@deogratiuskidenke-ve9nq
@deogratiuskidenke-ve9nq 10 ай бұрын
Hapa hamna kitu utatuz wa migogoro kwa stail hii sidhan lukuvi ndo jemb kweny hii wizara
@mosesnyelo1380
@mosesnyelo1380 10 ай бұрын
Kila mtu ana njia zake, hata wew ukichaguliwa utakuwa na njia zako
@noahmadali7150
@noahmadali7150 10 ай бұрын
Mwaka elfu kumi mbona mbali sn
@victoremanuel29
@victoremanuel29 10 ай бұрын
🤣🤣🤣
@worldherotv
@worldherotv 10 ай бұрын
Waziri wa media
@rizikiabdalla2501
@rizikiabdalla2501 10 ай бұрын
Acha wivu na hasadi Kwa watt wa wezio mbwaaa ww
Heartwarming moment as priest rescues ceremony with kindness #shorts
00:33
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 38 МЛН
WHAT’S THAT?
00:27
Natan por Aí
Рет қаралды 14 МЛН
How Many Balloons Does It Take To Fly?
00:18
MrBeast
Рет қаралды 185 МЛН
Who has won ?? 😀 #shortvideo #lizzyisaeva
00:24
Lizzy Isaeva
Рет қаралды 66 МЛН
EXCLUSIVE: WAZIRI SILAA ANG'AKA "WATU WAMELIA SANA Kwenye ARDHI"
33:46
Heartwarming moment as priest rescues ceremony with kindness #shorts
00:33
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 38 МЛН