VIDEO: WAZIRI MASAUNI AMLIPUA VIKALI MCHUNGAJI HUYO 'KIBOKO YA WACHAWI'

  Рет қаралды 28,272

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 71
@oscanyakunga
@oscanyakunga Ай бұрын
Tuzidi kuombea 🇹🇿 yetu mmomonyoko nimkubwa sana.
@dianajohnson7268
@dianajohnson7268 Ай бұрын
Tunashukuru sana serikari, ❤🎉😊
@rechopiahmusic9331
@rechopiahmusic9331 Ай бұрын
Wakwanza leo nipeni like 👍 😊
@selemansaid9295
@selemansaid9295 Ай бұрын
izo like zinakupa faida gan embu acha ulimbuken, unaonekana mshamba kwa vitu vya kijinga
@rechopiahmusic9331
@rechopiahmusic9331 Ай бұрын
@@selemansaid9295 kuma la ukoo wenu mzima mweu kbsa ww tena vamia coment za wengine sio sisi ambao akili zimeama mnji mmbwa koko ww watu makasiriko mtaachaga lini au niumaskini unawasumbua sanaa nyiee watu wa africa??
@mbebamaono
@mbebamaono Ай бұрын
​@@selemansaid9295q1
@fredymbilinyi6323
@fredymbilinyi6323 Ай бұрын
Hata wenyeji, ubarikiwe waziri
@mariamumechara3398
@mariamumechara3398 Ай бұрын
Angefungwa kwanza.uyo mchungaji
@titusedson2234
@titusedson2234 Ай бұрын
Ongera sana mkuu uyo jamaaa hana maneno ya kebei Sana na dhalau ya hali ya juu
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 Ай бұрын
Alipaswa pia kufunguliwa kesi kwasababu ni jambazi na hatari kwa taifa letu akamatwe
@MathiasLaulent
@MathiasLaulent Ай бұрын
Mbona ata msikitini mambo ayo yapo Ili mladi kl mtu na Imani yako
@mtulivu-ir1nq
@mtulivu-ir1nq Ай бұрын
Yani Cha ajabu baada ya kufungiwa ety wakawa wanaandamana clmchungaji wao feki arudishwe😅😂😂😂
@ChoghoghweDaudi
@ChoghoghweDaudi Ай бұрын
Kwahio mnatutoa kwenye reli kuhusu mauaji na utekaji hapa ndiomnashangilia utekaji aaa ilasawa
@SimbaJumanne
@SimbaJumanne Ай бұрын
Mheshimiwa waziri kazi nzuri sana.pia kuna mwamposaaa naeee achukuliwe hatua na kuna mlinzi wa uyooo kiboko naee achukuliweee hatuua wapo pamoja wanawazihaki wananchii
@AdamCheze
@AdamCheze Ай бұрын
Mwamposa kafanya nn sasa..?
@MaryKalunde
@MaryKalunde Ай бұрын
Mwamposa kafanya nini?
@joshuayoile6149
@joshuayoile6149 Ай бұрын
Kwa maan ni mkongo wa hapa Tz hamuwaoni
@DeogratiusAndrew-zi7zv
@DeogratiusAndrew-zi7zv Ай бұрын
Uyu anasema wakwanza simuungi mkono, ilawewe nakuelewa kwakuwa una ona mbali kweli kwakuwa nimgeni ndio maana
@officiallnobystar
@officiallnobystar Ай бұрын
Mbona Yupo Arusha Anadunda Kesho Anawaburuza Wapumbavu Wengine
@JustinMwakalukila
@JustinMwakalukila Ай бұрын
TUNATAKA ufumbuzi wa swala la UTEKAJI mheshimiwa!
@richardbegga6679
@richardbegga6679 Ай бұрын
Badala ahangaike na Utekaji wa Watu yeye yuko Kimya tu kana kwamba zinatekwa Nguruwe
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz Ай бұрын
Nashangaa
@kanyika14kanyika16
@kanyika14kanyika16 Ай бұрын
Apigwe ban na asitie mguu wake Tz
@BahatiIsangu
@BahatiIsangu Ай бұрын
Safi sana waziri
@AsdDsa-fi5qk
@AsdDsa-fi5qk Ай бұрын
Aondoke tuu alaniwe na ukiristo wake
@yohanakateko
@yohanakateko Ай бұрын
Ulaia ndo uliomponza je angekuwa mtanzania
@jafarinauma6798
@jafarinauma6798 Ай бұрын
Na hatumtaki mwache asirudi tena huku tapeli mkubwa
@salumuselemani-km2ee
@salumuselemani-km2ee Ай бұрын
Mbona wapo wengi wakamateni
@NeemaMushi-wj1zn
@NeemaMushi-wj1zn Ай бұрын
Asije tena huku Tanzania
@zaidiissa3714
@zaidiissa3714 Ай бұрын
Muacheni aje kwa kondoo wake
@saidnoumani7244
@saidnoumani7244 Ай бұрын
Lakini kondoo wake wamepotea msitumi tayari😅​@@zaidiissa3714
@HonestMchau
@HonestMchau Ай бұрын
Mlikuwa wapi siku zote anzeni kuhakiki makanisa maana yamekuwamengi sana
@ndalahwatano1998
@ndalahwatano1998 Ай бұрын
Ópp
@HalimaRamadhani-w8l
@HalimaRamadhani-w8l Ай бұрын
Mungu anakuona msajili wa makanisa umepewa rushwa au wewe ni mchawi?
@MussaAlly-t6m
@MussaAlly-t6m Ай бұрын
MH WAZIRI TENA KUNA KANISA WANAFUNGUA RIPO KWA MPALANGE
@MaikoRashku
@MaikoRashku Ай бұрын
Nyie sio watu wazuri, masauni na serikali yote sio watu wazuri, huyo tapeli mlipaswa mumkamate na kumshtaki ili iwe fundisho kwa wezi wengine wanaokujaga Tanzania kutuchezea, kwanini mmemwacha akaondoka ?. Nyie sio
@MathiasLaulent
@MathiasLaulent Ай бұрын
Kwani selikali Ina dini au
@mnegrowbs4349
@mnegrowbs4349 Ай бұрын
Laiti sheria hizi zingekuwa na nguvu kwa wezi wa mali za uma ningefurah sana
@elbaricktv1632
@elbaricktv1632 Ай бұрын
Wakongo tunawapenda sana waje kuimba tu ila masuala ya unabii waache kabisa kutapel watu
@mkombozsanga
@mkombozsanga Ай бұрын
Nabii tito niwanchi gani nimtanzania kweli
@DicksonStevenMfugale
@DicksonStevenMfugale Ай бұрын
Fukuza kabsa mbwa huyoi
@ZenaUsangi
@ZenaUsangi Ай бұрын
HUYO ALIKUWA MCHAWI SIO KIBOKO YA WACHAWI WAKIBAINIKA WENGINE HATA KAMA NI WAISILAM WACHUKULIWE HATUA MUNGU TUSAIDIE
@johnkaliwanje434
@johnkaliwanje434 Ай бұрын
kwa tunayoyaona sasa nchin, hali ni mbaya, JIHUDHURU. mambo yako ovyo, JIHUDHURU. JUHUDHURU, JIHUDHURU. me l vote No
@JovinPeter
@JovinPeter Ай бұрын
Wazawa pia niwalewale Huna kipya
@nicholausmasese6337
@nicholausmasese6337 Ай бұрын
WACHUNGUZENI PIA WACHUNNAJI WALIOZAGAA MITAANI NA VIPAZA SAUTI 4:13 ETI WANAHUBIRI KUTWA HAWANA ANWANI KAMILI NI BIBILIA NA SPIKA MOJA. CC TUKIWASIKILIZA WANAPOTAMKA SURA YA... MSTARI WA ... TUNAJUA HUYU SIO. ILA UHAMIAJI BWN. SIJUI.... KUNANI
@zenjiempire347
@zenjiempire347 Ай бұрын
Mhhh jamani wacha wakristo wapigwe hela maana hawana kazi nazo watu washaona ukristo ni biashara na ina faida wakristo sijui ni mazuzu au vp nitaomba radhi kwa mtu nitomkwaza
@EliaHiluka
@EliaHiluka Ай бұрын
Kwakusema hayo Sina maana kwamba wanaokwenda kinyume Cha sheria
@matikowambura7657
@matikowambura7657 Ай бұрын
Walishatuona tz ni shamba la bibi
@bakarikayugwa3295
@bakarikayugwa3295 Ай бұрын
Hata Mimi ningewapiga maana wana akili zao kama viongozi wanakura wezi kwanini nami nilipata Boko napiga tu
@rehemamejja8342
@rehemamejja8342 Ай бұрын
Wachungajo wapoteshajii Ni wengi
@SunhighMkwazi
@SunhighMkwazi Ай бұрын
Kwa sababu si mtanxania
@tumainilaizer6517
@tumainilaizer6517 Ай бұрын
Bado Tito😂😂 nabii
@JamesJastin-bg1rx
@JamesJastin-bg1rx Ай бұрын
Sasa mbona hata akina mwamposa wanafanya hiyo miujiza feki na kuwaambia watu watakuwa matajili kwanin nawao hawachukuliwi hatua za kisheria?
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 Ай бұрын
Serikali ina kitengo chakujua nani yuko sahahi kwenye imani husika?
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw Ай бұрын
Wala serikali yetu haikua na haja ya kujitokeza kwenye vyombo vya habari kwaajili ya kumzungumzia kafiri kiboko ya wachawi sisi tumeshaipongeza serikali yetu tiifu kwa kumtimua mpuuzi huyo na asirudi hapa yz
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz Ай бұрын
Wapo wengi na hata hiyo serikali nayo ijitathmini kwa sababu kuna mafisadi wengi na bado wako serikalini wanatunyonya na pia kuna wizi wa kura na kupora uchaguzi je,nao wana tofauti gani na huyo mchungaji?
@walterngowi5835
@walterngowi5835 Ай бұрын
Tito vp au coz anavaa ccm😎😎
@muksinimbaruku1233
@muksinimbaruku1233 Ай бұрын
Tito kampimwa akili hayupo sawa
@MedyDatty-qr5ly
@MedyDatty-qr5ly Ай бұрын
Mwizi yule Kuma make
@chesconkwera2005
@chesconkwera2005 Ай бұрын
Z and K all equal
@EliaHiluka
@EliaHiluka Ай бұрын
Mbona mashehe wanaokwenda kinyume na vitabu vyao kuwachukulia hatua
@IbniAbbas-yz3kt
@IbniAbbas-yz3kt Ай бұрын
Yupi uyo!?
@thamani5842
@thamani5842 Ай бұрын
Unalo ilo
@khamisrubea5083
@khamisrubea5083 Ай бұрын
Anafukuzwa bado mnamtaka akuibieni ?
@yohanakateko
@yohanakateko Ай бұрын
Mwamposa
@mudihb1820
@mudihb1820 Ай бұрын
😂😂😂😂
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz Ай бұрын
Mbona ninyi wenyewe ni mafisadi na mnaiba kura ,mna tofauti gani na huyo mchungaji.
@tumainimayala8187
@tumainimayala8187 Ай бұрын
Hapo sasa..Yeye ndiyo mwenyekiti wa wasiojulikana wanakamata na kuua watu….
@CopperBelt
@CopperBelt Ай бұрын
Mambo ya kura yanahusiana nini na na alichokisema yani kuna miwatu sijui mawazo yenu mnatoa matakoni kasema suala la utapele na mauaji yanayoendelea kwa sasa
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz Ай бұрын
@@CopperBelt ukiwa na akili timamu tu ndio utajua maana ya coment yangu.
World’s strongest WOMAN vs regular GIRLS
00:56
A4
Рет қаралды 12 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma
00:14
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 94 МЛН
CAN YOU DO THIS ?
00:23
STORROR
Рет қаралды 46 МЛН
World’s strongest WOMAN vs regular GIRLS
00:56
A4
Рет қаралды 12 МЛН