Joshua Nassari Vs Waziri Lukuvi Bungeni ishu ikiwa migogoro ya ardhi

  Рет қаралды 170,540

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 41
@saidkipalo4427
@saidkipalo4427 6 жыл бұрын
Eeh nasari Upo vizuri mdogo wangu hongera sana Wabunge wa upinzani kiukweli mna changamoto kubwa Sana
@justinemgomi9561
@justinemgomi9561 7 жыл бұрын
lukuvi na Nassary hoja nzuri sana na majibu safi sana wengine ugeni kwa hawa
@batulemwamwaja6524
@batulemwamwaja6524 5 жыл бұрын
akili kubwa kuliko walipo kwenye wizara ya ardhi, respect Mh Joshua Nassari
@WilliamLLloyd-qx9tc
@WilliamLLloyd-qx9tc 8 жыл бұрын
tunahitaji vijana wenye fikra pevu kama Nassari, kuongea kwa facts sio tu kwa mihemko isio na maana.. safi sana kiongoz.. na mheshimiwa Lukuvi tunakutegemea sana.. ahsante kwa maana tunaamin hutotuangusha maana hujawah tuangusha
@neybenson7881
@neybenson7881 4 жыл бұрын
Lukuvi na nassari safiii
@barakalema4358
@barakalema4358 2 жыл бұрын
Joshua kabla hajavuta bangi
@amanam2735
@amanam2735 7 жыл бұрын
Asante Nassari.Huu ni utumishi uliotukuka.
@daudimkwela
@daudimkwela 8 жыл бұрын
Very very constructive conversation, Lukuvi upo vizuri sana. Nasari a.k.a Dogo Janja upo Vizuri sana. Vijana tushike hatamu aisee.
@joelthiago3059
@joelthiago3059 3 жыл бұрын
Instablaster...
@lidyakyambo1030
@lidyakyambo1030 8 жыл бұрын
Jamani Naombeni bunge lionyeshwe live km zamani
@donaldjetha6874
@donaldjetha6874 6 жыл бұрын
Kwa kweli wizara ya ardhi mbovu sana
@tracyjustice1600
@tracyjustice1600 7 жыл бұрын
bravo Nassari
@maxwelljulius2541
@maxwelljulius2541 6 жыл бұрын
Mmmh tunawaitaji wabunge kama nassar na wazir lukuv katika taifa hili
@rehemaradhid5716
@rehemaradhid5716 5 жыл бұрын
yupo vizuri sana
@emmanuelwilson9169
@emmanuelwilson9169 6 жыл бұрын
nassari nouma
@britonngale6644
@britonngale6644 5 жыл бұрын
Nyie wameru Mjifikirie tena kuungana na wabaua kumng'oa Nassari
@eliapallangyo6991
@eliapallangyo6991 Жыл бұрын
aliyemtoa in nani???? sii serikali yenu ilimtoa
@deusywikes610
@deusywikes610 5 жыл бұрын
Duuu tz noma
@kimmauston1059
@kimmauston1059 5 жыл бұрын
Hii ndio kazi mwakilishi wa watu
@hudsson75
@hudsson75 8 жыл бұрын
hizi ndio hoja na majibu yanayotakiwa bungeni na c matusi na mipasho isiyokuwa na tija kwa wapiga kura.Asante Nassari Asante Lukuvi
@marcodominico9503
@marcodominico9503 6 жыл бұрын
hudsson75 Wewe jamaa una macho ya rohoni, safi sana. Mipasho na matusi havitusaidii, tunataka HOJA. Serikali ikiona jambo limetoka kwa wapinzani na lina mashiko walifanyie kazi. Na wapinzani nao wasikae kuamini tu kuwa kila kinachofanywa na Serikali ni kibaya.
@daudshaza1221
@daudshaza1221 5 жыл бұрын
Watamkumbuka
@hamzaadrin8304
@hamzaadrin8304 8 жыл бұрын
we Jamaa Noma 😅😅😅😅 Una Wasuta baba zako
@davidcurtis8556
@davidcurtis8556 4 жыл бұрын
Amewasuta baba zake na sasa amewaomba msamaha na kuwafuata walipo au hujui sasa hv ni ccm?
@erasmusnzibonela5151
@erasmusnzibonela5151 6 жыл бұрын
Uyu wazili akulupuki tunakupenda unasimamia vzr selikari ubarikiwe wewe na bashe oyeee
@fedricksanguya3639
@fedricksanguya3639 8 жыл бұрын
per moja sana
@anthonysimon9260
@anthonysimon9260 8 жыл бұрын
nashukuru sana kaka angu na headboy wangu wa shule ya msingi mulala nashukuru sanaa kwa kuongea kwa fact na kiongozi wa mfano katika jmbo lake kwel mheshimiwa nassary utukufu wa pili ni mkubwa kuliko ule wa kwanza
@mwanahawamohamed8189
@mwanahawamohamed8189 7 жыл бұрын
Ahimidiwe malack c
@alfanrajabukisuda6005
@alfanrajabukisuda6005 8 жыл бұрын
Ni kitu gan kimeshindikana mpaka mtu banie bhana
@paulomwashinga2830
@paulomwashinga2830 5 жыл бұрын
mludishieni ubunge wake nassari jamani
@sarahclemence4180
@sarahclemence4180 5 жыл бұрын
jamani nasari arudishwe
@abubakarimchani114
@abubakarimchani114 8 жыл бұрын
Asallaam alley kum Watanzania tunakatwa kodi kila kitu tunacho nunua saa tuomba SERIKALI yetu irudishe utaratibu wa kuonyesha vikao vya Bungeni moja kwa moja?
@hilarygodfrey4376
@hilarygodfrey4376 7 жыл бұрын
bungelime geuka uwanja wamabishano
@josephsamwel8145
@josephsamwel8145 8 жыл бұрын
duh nasari kafunguka simchezo....
@yohanamwamlima2999
@yohanamwamlima2999 6 жыл бұрын
Haposafi dogo nimekubali
@alfanrajabukisuda6005
@alfanrajabukisuda6005 8 жыл бұрын
Inakuwaje mnatubania tusiangalie binge la jamuhur ya muungan
@allymasenti7974
@allymasenti7974 5 жыл бұрын
Dogo arudishwe
@deusywikes610
@deusywikes610 5 жыл бұрын
Duuu tz noma
Cheka kidogo na huyu Mbunge anayejiita 'Bwege' na hivi vituko vyake
10:27
РОДИТЕЛИ НА ШКОЛЬНОМ ПРАЗДНИКЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 3,9 МЛН
Cool Parenting Gadget Against Mosquitos! 🦟👶
00:21
TheSoul Music Family
Рет қаралды 24 МЛН
小蚂蚁会选到什么呢!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:47
火影忍者一家
Рет қаралды 113 МЛН
Wabunge wamecheka lakini Ally Kessy kafikisha ujumbe wake
5:56
Millard Ayo
Рет қаралды 206 М.
KUTENGENEZA UTAJIRI WA WATU FULL VIDEO - JOEL NANAUKA
49:41
Joel Nanauka
Рет қаралды 47 М.