Maneno ya Waziri Mwakyembe kuhusu Mbunge Nassari kuingia bungeni akiwa amelewa

  Рет қаралды 140,439

Millard Ayo

Millard Ayo

7 жыл бұрын

Waziri wa Habari, utamaduni, sanaa na michezo Dr. Harrison Mwakyembe amemtuhumu Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari kwa tukio la kuingia bungeni akiwa ameku

Пікірлер: 137
@elisantewawa3047
@elisantewawa3047 7 жыл бұрын
ukosawa baba waambie huodio ukweeli safi sana
@saidpolenikwamsbakinidi6232
@saidpolenikwamsbakinidi6232 7 жыл бұрын
Elisante Wawa ukweli niccm wameifisid nch miaka 53 kwaufisad leo wanatka kujificha kwakivuli chalowasa sababu kaja upizani aendeleza taarif yauvamiz alioiyacha npe asilete pumba zake
@Puttin___yanga
@Puttin___yanga 7 жыл бұрын
jaman hiii Kali© =® jk team
@stediusbernado2053
@stediusbernado2053 7 жыл бұрын
mmmh uyu mweshimiwa mwakyembe ni Mjanja sana. kushindana nae kimazungumzo inakubidi uwe makini sana. hakawii kukutoa nje ya mstari ndani ya sekunde moja.
@hamisimwinyimussa7544
@hamisimwinyimussa7544 7 жыл бұрын
chadema no comments tanzagiza no comments why?hii ndio Tanzania ya wanafki leo siwaoni hapa mkitukana.
@joycemashikolo9096
@joycemashikolo9096 7 жыл бұрын
Hamisi Mwinyimussa hahahaaa umeona eeh
@hamisimwinyimussa7544
@hamisimwinyimussa7544 7 жыл бұрын
Nahimana joyce yani hawa jamaa hawapendi ukweli wanapenda kukurupuka kwa mambo yakijinga sasa hapa waseme Lowasa aliitia Tanzania hasara ya kiasi gani ,leo wanasema anafaa kua raisi.wanachekesha Sana.
@saidpolenikwamsbakinidi6232
@saidpolenikwamsbakinidi6232 7 жыл бұрын
Hamisi Mwinyimussa hamna kitu apo pumba ccm wameifisd nch kwamiaka 53 kwaufisad leo mnataka kujisaficha kwa mgongo walowasa aendelee nakes alioiyach nape asilete pumba zake zakisiasa
@hamisimwinyimussa7544
@hamisimwinyimussa7544 7 жыл бұрын
Said poleni kwa msba Kinidi sawa ila ukweli utabaki ukweli jamani.tuache kushabikia tu panapo ukweli basi pawe na ukweli.
@saidpolenikwamsbakinidi6232
@saidpolenikwamsbakinidi6232 7 жыл бұрын
Hamisi Mwinyimussa Mim nakushangaa wew unaeunga mkono ccm walioifisid nch kwa miaka 53 leo wanataka jisafisha kwa lowass 1kwaza ikatae iyi ccm kwaufisad wao walio ufanya
@dvjtwentyfivedecember4398
@dvjtwentyfivedecember4398 7 жыл бұрын
yani mtu anaingia na chupa ya pombe bungeni!! halafu ndio tuwape nchi hawa watu jamani!!! hapana mimi kura yangu kwa magufuli 2020
@abrahamchimbuli4694
@abrahamchimbuli4694 7 жыл бұрын
prophet shepard bushiri
@masoudseif8160
@masoudseif8160 7 жыл бұрын
Dvjtwentyfive December ok
@beatuchillu6813
@beatuchillu6813 7 жыл бұрын
toa uongo kuma ww ulimuona na iyo chupa mbwa ww sijui December
@sulaimsameer2668
@sulaimsameer2668 7 жыл бұрын
Bashitee ww huna lolote
@shabanaman4660
@shabanaman4660 7 жыл бұрын
hujitambui
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 7 жыл бұрын
safi mwakyembe nimekuelewa fisadi yule yule eti leo anafaa huhuhuhuh kabali wanayo maamae chezea mwakyembe wew
@mwajumasaidimwajumasaidi4162
@mwajumasaidimwajumasaidi4162 7 жыл бұрын
Hassanova junior haha haha. wazri❓
@saidpolenikwamsbakinidi6232
@saidpolenikwamsbakinidi6232 7 жыл бұрын
Hassanova junior Fisad 1 nahao 100 walioko kijani bora wep hawezi kuisafish kijani ilio ikausha nchi miaka 53 kwaufisad leo wanatka kujificha kwa kivuli chalowasa hatudanganyiki
@honestbalilo9519
@honestbalilo9519 7 жыл бұрын
Mwakiembe nafikiri anajiongelea mwenyewe kuhusu konyagi aliyokamatwa nayo wala sio Nasari! The man looks drunk and scared while talking
@tkahwili
@tkahwili 7 жыл бұрын
Hahahahahaha! Dr. Mwakyembe (PhD) kawapa jamaa za uso kama Chid Benz kabla hajawa teja yaani ''...Mikono vululu yaani papapapapapapapapa, WAMEKAA''
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 7 жыл бұрын
Theo wamekaa hahahah
@tkahwili
@tkahwili 7 жыл бұрын
Hahahahahaha!! hatari sana. Unajua haya mambo watu wanayapeleka sana kishabiki kuliko reality.
@saidpolenikwamsbakinidi6232
@saidpolenikwamsbakinidi6232 7 жыл бұрын
Theo Fisad 1 aliekuwepo upinzni nahao100 waliopo kijani bora wep musijifiche ufisad wenu kwa kuvuli chalowasa nchi nitajr lkn haiend kwa ufisad wa kijani
@johnmunga1857
@johnmunga1857 7 жыл бұрын
nilipotez iman yng 2015 baada kuckia lowasa anagombnia urais kupitia ukawa( chadema) hapo ndio nilipo amin kuwa dunian kuna watu wanafk sana na wa uwaji...tangu ile cku na maisha yangu ctK kuja kupga kura tena
@saidpolenikwamsbakinidi6232
@saidpolenikwamsbakinidi6232 7 жыл бұрын
John Munga wew unampinga lowassa kwaufisad lkn apoapo unaiunga mkono kijani ilioikausha nch kwaufisad miaka 53 siulofa uwo ccm haisafishiki kwa kivuli chalowasa
@johnmunga1857
@johnmunga1857 7 жыл бұрын
+Said poleni kwa msba Kinidi kuna comment gan nimeunga mkono kijan mm cyo mpiga kura tena maana sias za bongo unafk...cyo wakin lissu walio kuwa wana mponda lowasa cyo mboe alikuwa ana mpnga lowasa cyo lema, mnyika, halima mdee na wengn walio kuwa wana mpinga lowasa waache hapo ndio ni napo sema wote wale wale
@saidpolenikwamsbakinidi6232
@saidpolenikwamsbakinidi6232 7 жыл бұрын
John Munga pinga ufisad waccm wamiaka 53 nchi haiendi kwaufisad wao usishabikie bumba namaugizo ya vongoz waccm yakweli wameyakalia kimyaa
@christophermahawi9806
@christophermahawi9806 7 жыл бұрын
Hekooo!!! hao vidume wanaolelewa na Lowasa wapoo! waambie hao ndio watanzagiza iko siku tutawafukuza na wasanii wao wachochezi wakaishi Congo tushawachoka.
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 7 жыл бұрын
Christopher Mahawi hahahah wamekaa
@saidpolenikwamsbakinidi6232
@saidpolenikwamsbakinidi6232 7 жыл бұрын
Christopher Mahawi Hamna kitu apo fisad 1 alieoko upizan nahao 100 walioko kijani borawep wameifsd nch miaka 53 haiyendelei leo mnatka kujificha kwa kivuli chalowasa mtadangnywa nyny tu mnaopewa flana nakofia bas
@bobramaso825
@bobramaso825 7 жыл бұрын
Liibuliwe Tena Sakata La RichMond Sio Wabunge Wanakula Kodi Zetu Tu..
@sulaimsameer2668
@sulaimsameer2668 7 жыл бұрын
Usifanye kosa 2020 pombe sio chai Team lowasa..Richmond is nothng is something imetengenezwa nthng is called richmond
@fazeelshomary8743
@fazeelshomary8743 7 жыл бұрын
points
@uniquereazon67
@uniquereazon67 7 жыл бұрын
angeingia na chupa ange tapikia rangi zetu za taifa
@vedastodunstan6925
@vedastodunstan6925 7 жыл бұрын
Millard Ayo, kwanini Miongozo na Taarifa au habari ya Nassari umeikata lakini majibu umeyaacha? Umeanza kutumika vibaya aisee. Hii habari haijabalance.
@solomonmwisala157
@solomonmwisala157 7 жыл бұрын
makufuli siwezi kumpa kura yangu 2020
@ngakisaliharuni1373
@ngakisaliharuni1373 7 жыл бұрын
Mi nampongeza Wilbrod Slaa kwani alikuwa mkweli na akasimamia ukweli
@YamunguYb
@YamunguYb 7 жыл бұрын
Mwakyembe pasua baba hawa wahuni tu tena hovyo kabisa fisadi Lowassa
@twoeyesonevision5089
@twoeyesonevision5089 7 жыл бұрын
Kama vipi mfumo wa vyama vingi ufe, tubaki na CCM tu upinzani ni kimbilio la Mafisadi na watumiaji wa madawa ya kulevya.
@dottomondo192
@dottomondo192 7 жыл бұрын
Uyo mwakyembe hajielewi kabisa dakika 10 point 1 anazungukaaaa,mbona amepanic sana mawazir wa inji hii bana..B-)
@steveprosper4084
@steveprosper4084 3 жыл бұрын
Baba umri unaenda sahizi upo kwenye uzee sasa hekima umeamua kuipoteza mwenyewe
@venancebasil4656
@venancebasil4656 7 жыл бұрын
mwakembe anaakili sana...ila anavyoitumia sasa
@edsonsign9441
@edsonsign9441 7 жыл бұрын
acheni ushabiki! huo ndy ukweli wenyewe, Lowasa mlimtukana sana leo mnakata kumsafisha, hasafishiki mlishamchafua.
@saidpolenikwamsbakinidi6232
@saidpolenikwamsbakinidi6232 7 жыл бұрын
Edson Sign Na ccm haisafishiki kwaufisad nampk leo wanalindana kwamaovu naufisad miaka 53 nchi inarasilimali haendelei kwa ufisad wakijani
@christophermartin4572
@christophermartin4572 7 жыл бұрын
Huyundie shujaa wetu kiukweli Mh Nimependa ulicho ongea bunge kuhusu richmond
@charlesmagere9020
@charlesmagere9020 7 жыл бұрын
lowasa ndyo fisadi mkuu na papa tzania.... hii ni kauli ya mbowe na mnyika na ushahidi wanao
@samwelindabukakiye6250
@samwelindabukakiye6250 7 жыл бұрын
nishidaaa,makonda akiwajia juu wanalalamika,then wanataka tuwape kura,wapi na wapi,
@raphaelsamwel2640
@raphaelsamwel2640 4 жыл бұрын
Uchunguzi bila kohojiwa?? Mwakyembe hacha uwongo!!!!
@mathiascyrilo9533
@mathiascyrilo9533 7 жыл бұрын
kama mmejiridhisha kuwa lowassa ni muhusika basi apelekwe kwenye sheria sio mnatupigia siasa tuu...
@FredymaswiMwita-oj6gv
@FredymaswiMwita-oj6gv 3 ай бұрын
😢
@florameza9529
@florameza9529 7 жыл бұрын
ccm wanafiki sana mbona enzi za rowasa hukusema?
@christophermahawi9806
@christophermahawi9806 7 жыл бұрын
Flora Meza hakuanza yeye ni hao wanaotaka kugeuza kinyesi kiwe ugali,kwa nini ukawa walimpokea Lowasa ambae wao ndio walimlaani kwa ufisadi, je leo iweje wanaaza kumsafisha? so hao ndio wanafik.
@edsonsign9441
@edsonsign9441 7 жыл бұрын
angesema nn?
@saidpolenikwamsbakinidi6232
@saidpolenikwamsbakinidi6232 7 жыл бұрын
Christopher Mahawi kambi kuu yaufisad niccm nahawezi kjisafisha naufisad wao wamiaka 53 nch haindelei kwaufisad wao amalizie kes yauvamiz hakuna kulindana hatutk pumba zake
@christophermahawi9806
@christophermahawi9806 7 жыл бұрын
Said poleni kwa msba Kinidi sasa mbona wapinzani wanatuangusha kwa kuwapokea mafisadi kutoka ccm? wapinzani na ccm ni sawa tu.
@johnmwambungu7434
@johnmwambungu7434 4 жыл бұрын
Dr mwakyembe achana mbulula wasiokuwa na elimu wanyoe kwa chupa hao
@dismassilay9596
@dismassilay9596 7 жыл бұрын
hawa jamaa waache kutuchanganya Jana mwiz Leo so mwiz asafishwe kwa ssabun gan? labda 2020
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 7 жыл бұрын
Dismas Silay wanatuchanganya sana
@saidpolenikwamsbakinidi6232
@saidpolenikwamsbakinidi6232 7 жыл бұрын
Dismas Silay Nao ccm ndokabisa hawasfishiki kwaufisad wamiaka 53 nchi inarasilimali lkn haiendelei nampk leo watu wanapiga dili zaufisad ccm haiwez kujisafisha kwa kivuli chalowas
@JosephDesideri
@JosephDesideri 7 жыл бұрын
Public Interest?
@mukulumaingu8531
@mukulumaingu8531 7 жыл бұрын
kama hamna haja ya kumhoji mtuhumiwa ajieleze?Kwa nn Mwakyembe kakataa kufanyia kazi tume ya Nape iliyomchunguza Makonda?Double standards!!!!!
@edsonsign9441
@edsonsign9441 7 жыл бұрын
kuandika mnajua ila uelewa mdogo! hapo limeibuliwa suala la richimond na c makonda! endeleeni kupoteza muda muda kuhusu makonda.
@burtonsatshop2061
@burtonsatshop2061 7 жыл бұрын
Nassari hajapinga ina maana aliingia na pombe.....hawajamaa bhana eti wanataka nchi 😄😃😃😄😄😅😅😅
@malongomukirya2863
@malongomukirya2863 7 жыл бұрын
duu !!
@mjedengwapoizon8726
@mjedengwapoizon8726 7 жыл бұрын
mzee kumbe unavioja hivi..nilikuwa sijuwi
@galumawilfred8200
@galumawilfred8200 6 жыл бұрын
mwakiembe hueleweki Kama nyeti za mwanamke huna lolote we kigeugei bendela kifata ulepo.
@joycegodfrey4166
@joycegodfrey4166 6 жыл бұрын
saf mh mwakyembe
@NAMISIECOLLEGE
@NAMISIECOLLEGE 7 жыл бұрын
Hapo chenga tu hakuna kitu hapo!mbona uchugunzi wa nape mmeupotosha
@saidwilson6529
@saidwilson6529 7 жыл бұрын
aha Mimi hata simuelewi mwakyembe anaongea ongea tu hata haeleweki repoti ya makonda iko wapi?
@edsonsign9441
@edsonsign9441 7 жыл бұрын
ya makonda inaingiaje hapo? da hakika tatizo ni uelewa tu.
@edsonsign9441
@edsonsign9441 7 жыл бұрын
hiv inakuwaje? mtu ametuhumiwa kwa wizi na akajiuzuru inakuwaje waandishi feki mnamwita mtu waziri mkuu mstaahafu? huyu mtu alistafia wap? na kama kweli hadi leo kama serikali inaendelea kumpa stahiki za uwaziri mkuu mstahafu hakika ni kosa la kisheri. mtu huyu alituhumiwa akajiuzuru na hao hao wapinzani ndy waliolikalia kidedea lowasa ajiuzuru leo inakuwaje leo wanahangaika kumsafisha. pumba kabisa Nasar Chapombe.
@stewardheaven8382
@stewardheaven8382 6 жыл бұрын
Edson Sign basi jiite wewe na badili katiba na mshahara na allowance zake kama waziri mkuu mstaafu uchukue wewe.Elimu yako ndo kikwazo chako unajua kuna ainavngapi za kukoma utumishi wa umma?? je unajua kuna aina ngapi rasmi za wastaafu serikalini???
@DeusNchembah
@DeusNchembah 7 жыл бұрын
hata maamuzi ya vyeti vya kuzaliwa ilitosha kupumzishwa, kitabu chako pia umekigeuka
@burtonsatshop2061
@burtonsatshop2061 7 жыл бұрын
Lowasa ni zaidi ya fisadi ni jambazist hilo linaeleweka
@stewardheaven8382
@stewardheaven8382 6 жыл бұрын
Burton Jorde una ushahidi majambazi ndo haya yaliyopitisha mikataba mibovu ya madini,sasa yanatuletea miswada ya dharura na makinikia.majambazi ni walioanzisha mahakama ya mafisadi na mpaka Leo hawajamshitaki Lowassa.Kama kweli lowassa jambazi wamshtaki huko mahakamani ndo tutajua jambazi nani na kibaka nani
@shakilamasoud8979
@shakilamasoud8979 7 жыл бұрын
m bunge na tilalila bungeni.
@stewardheaven8382
@stewardheaven8382 6 жыл бұрын
Huyu mzeee nae hamnazoooo
@benitamart8056
@benitamart8056 6 жыл бұрын
Huyu Mwakyembe ilikuwaje akawa waziri huyu? Anaga point huyo...
@gastordominic410
@gastordominic410 7 жыл бұрын
Asa mahakama ya mafisad is for what?
@mussamussamussa8444
@mussamussamussa8444 7 жыл бұрын
😂😂😂 fisadi kawa mgombea uras , hao wapinzani hakili zao finyu hata 2020 wataendelea tu kusubiri na ma pombe mpaka bungeni, hawana mtu wanae huyo huyo fisadi na kwa huyo nafasi ya ikulu msitegemee
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 7 жыл бұрын
Sharifs Mussa hahahahah mwakyembe amewakalisha
@mwajumasaidimwajumasaidi4162
@mwajumasaidimwajumasaidi4162 7 жыл бұрын
Sharifs Mussa 🙀 🙉🙉
@umrahmaissa7724
@umrahmaissa7724 7 жыл бұрын
Hassanova junior . hawa Jamaa wamekamatwa pabaya, hawana hoja sasa hv, wanakurupuka tuu kila siku.. watz tumefunguka tumeshawaelewa.....watakaaa sana.
@saidpolenikwamsbakinidi6232
@saidpolenikwamsbakinidi6232 7 жыл бұрын
Sharifs Mussa Nanyinyi hamtopata rizaa zawananchi kitafika kiama mtapora tu kwamitutu yabunduki
@saidpolenikwamsbakinidi6232
@saidpolenikwamsbakinidi6232 7 жыл бұрын
Sharifs Mussa fisad 1 alieko upizani naelf 1000 walioko kijani bora wepi ? nachi hii imefika apo ilipo kwa ufisad wa ccm miaka 53 sasa mnataka kijicha kwa kivuli cha lowassa
@lukassebastian263
@lukassebastian263 7 жыл бұрын
Lissu asipokuwepo bungeni Mwakyembe huwa anaongea sana, kweli paka akiondoka panya hutawala. Mwakyembe kamezwa na itikadi sio tena msomi huru.....
@edsonsign9441
@edsonsign9441 7 жыл бұрын
kwa lisu ana nn cha kumzidi mwakyembe? huo ni uelewa tu. hata angekuwepo angefanya nn? kwanza muwe mnajiuliza Lowassa wakati anatuhumiwa alikuwa chama gan? na nyinyi mlisemaje? leo mnataka kumsafisha cyo rahisi.
@saidpolenikwamsbakinidi6232
@saidpolenikwamsbakinidi6232 7 жыл бұрын
Edson Sign Mzizi mkuu kwa ufisad ni ccm ikatae iyo tumefika apo tulipo kwaufisad wa kijani miak 53 lkn leo unaishabikia siulofa uwo kataa yote km umkweli
@YamunguYb
@YamunguYb 7 жыл бұрын
lucas sebastian lisu boya tu yeye nani mmeambiwa pelekeni Bungeni tena muone moto wake lowassa hasafishiki
@beatuchillu6813
@beatuchillu6813 7 жыл бұрын
mwakyembe hajielewi n wale wanasheria hewa
@mnyembzeskipper4839
@mnyembzeskipper4839 7 жыл бұрын
Ww ni boya
@ramadhanibrahim7619
@ramadhanibrahim7619 7 жыл бұрын
Mbona amkumpeleka Mahakamani km ushahidi upo?Mnatuchanganya tu viongozi wetu
@gabrielaugustine6298
@gabrielaugustine6298 7 жыл бұрын
kwa ishu ya makonda haina ushaidi ety ehee ww baba acha unafiki
@salimmasatu7637
@salimmasatu7637 7 жыл бұрын
we mwakiembe hauna jipya kz yako ni kutapatapa tu cku hz .
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 7 жыл бұрын
Salim Masatu ukweli unauma kumanyoko
@fredricco5975
@fredricco5975 7 жыл бұрын
hahah Tambua iyo kesi itarudisha ishu zanyuma ataumbuk mwengn ucie tegemea
@hamissrajabu6730
@hamissrajabu6730 7 жыл бұрын
onamambo ya mbowe ccm walikata ww ukamsafisha jamaa kasema yuko Tatar kuomba apumzishwe na rais ashugulikie hela zetu na kwautawala huu sjui itakueaje yani MTU atatamani kuishi kongo
@MassayOnline
@MassayOnline 7 жыл бұрын
Hamiss Rajabu mahakama ya mafisadi iliyoanzishwa kazi yake nini?
@jeremiajohaziel4927
@jeremiajohaziel4927 7 жыл бұрын
MM SIJAKUELEWA WEWE MZEE
@justineruwa6642
@justineruwa6642 7 жыл бұрын
upinzani acheni maneno rudisheni Richmond bungeni
@duuudaud3816
@duuudaud3816 7 жыл бұрын
Mwakyembe umezeeka akir, unabwabwaja tu hujielew ww
@mwanahamisrashid7787
@mwanahamisrashid7787 7 жыл бұрын
kwani wakati aiba alikuwa upinzani?Alikuwa ccm na mkamkumbatia
@bakarikisimbo3919
@bakarikisimbo3919 6 жыл бұрын
Mwakyembe siku hizi ni mfyata mkia
@experymassawe6110
@experymassawe6110 7 жыл бұрын
MZEE mbona anapanik? afu makofi ndo yanayo MPA mzuka ama? we are tired of this,khaaa
@josephjulius3373
@josephjulius3373 7 жыл бұрын
nikishiba basi haya mambo ya siasa watajuana wao fanya yako utasumbuka bure kufuatilia siasa
@shabanimtua8486
@shabanimtua8486 7 жыл бұрын
Mbona wewe kwa bashite unasema hiyo ripoti ya haikuwa na ulingani,kuwa ni ya upande mmoja,wewe kwa lowasa hata kama ilikuwa na ushahidi mbona hukumuhoji? ugonjwa uliokuwa unaumwa uliingia akilini?
@abdullyibonko7658
@abdullyibonko7658 7 жыл бұрын
huyo mwakyembe na zoba tu kama haikuwa nahaja yavkumuhoji lowassa kwann wanataka kumuhoji bashiteeee?? na wakati ushahidi upo kumbaaaaav
@ngometvarusha4030
@ngometvarusha4030 7 жыл бұрын
wewe mwenyewe juzi tu umesema kuhusu swala!la Mkuu mkoa wa dar kwamba haja hojiwi.
@rosemarybenjamin5866
@rosemarybenjamin5866 7 жыл бұрын
patam apo😛😛😛
@mathiaslisu1145
@mathiaslisu1145 7 жыл бұрын
pumba tupuuuuu ulishindwa nini ukiwa mwenyekiti eti umesoma sheria
@edsonsign9441
@edsonsign9441 7 жыл бұрын
pumba zinatoka wapi? au kwa kuwa unaitwa lissu? huo ndy ukweli achen ushabiki wa kijinga, mlimsuta sana Lowasa leo mtaweza kumsafisha?
@saidpolenikwamsbakinidi6232
@saidpolenikwamsbakinidi6232 7 жыл бұрын
Edson Sign hapana ukweli apo mengi wmeyakalia nchi wameifisid miaka 53 kwaufisad leo wanatka kujificha kupitia lowasa ccm haisafishiki kwa ivoo atupe ripot yauvamizi au atasubir mpk makonda atoke ccm huu niunafk sana
@salmaothman153
@salmaothman153 6 жыл бұрын
huyo ndo mwakyembe pasua kichwa
@duuudaud3816
@duuudaud3816 7 жыл бұрын
kalale mbeleee mfyuuuuu. unatetea tumbo lako mfyuuuuuuuuuuu
@kayayooisaac4128
@kayayooisaac4128 7 жыл бұрын
Njaa haina msomi
@florameza9529
@florameza9529 7 жыл бұрын
mwakyembe ni kweli? kaingia na pombe?
@shabanimtua8486
@shabanimtua8486 7 жыл бұрын
usitishe watu
@marcelngusa2922
@marcelngusa2922 7 жыл бұрын
watanzania c wajinga tunafahamu sana siasa leo hii mnataka lowasa asafishwe huyo huyo fisadi karudi chadema kawa mzr achani ubovu ,afu Nasari ataingiaje amelewa kuchukua hii nchi bado sn mlimfukuza zitto mtasubili sana ndo maana mnamchukia magufuli kumbe ni wanafiki wakubwa ,watanzania co wehu achani mchezo wen
@saidpolenikwamsbakinidi6232
@saidpolenikwamsbakinidi6232 7 жыл бұрын
Marcel Ngusa Izo nipumba tu ufisadi apo niccm miaka 53 nchi haiendelei kwaufisad wao mnatka kujificha kwalowasa kwakua kaja upinzan hamsafishiki
@saidpolenikwamsbakinidi6232
@saidpolenikwamsbakinidi6232 7 жыл бұрын
Marcel Ngusa ccm haisafiki hata useme vip wao ndio walio ifikisha nchi apo ilipo kwaufisad wamiaka 53 ndiomana hampt rizaa zawananch zanzbr natanganyika
@shabanhanti4050
@shabanhanti4050 7 жыл бұрын
Marcel Ngusa maendeleo gani unataka ww wakati ndege hamtaki reli hamtaki daraja la kigamboni, kutumbuliwa mafisadi hamtaki, hostel chuo udsm hamtaki. sera ya chama mmeitupa ya kupambana na ufisadi
@hassanmohdallyally9552
@hassanmohdallyally9552 7 жыл бұрын
mm sijamwelewaa muheshimiwa kabisaa sijajuaa anaongea nn naona watu wanajazibaa
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 7 жыл бұрын
Hassan Mohd Ally Ally utaelewaje na unyumbu umekujaa
@mussashabani3345
@mussashabani3345 7 жыл бұрын
loasa alikua ccm nakafanya ufisandi akiwa ccm nakawambia kama kunamtu mwenyeushahidi anipeleke mahakamani kunaaliyetokea acheni kutuchanganya
@malickmakatta6089
@malickmakatta6089 7 жыл бұрын
Hassan Mohd Ally Ally huwezi kujua kwa sababu ya uelewa wako mdogo
@malongomukirya2863
@malongomukirya2863 7 жыл бұрын
Haaaa haaa changamoto za uwelewaaaa bye bye
@shuwehaharunaomariikwena233
@shuwehaharunaomariikwena233 7 жыл бұрын
hili nalo li mwakyembe kama zoba halijitambui
@johnotonya9754
@johnotonya9754 5 жыл бұрын
una akili ww umesoma kwanza au ulikimbia shule
@winifridamungure8986
@winifridamungure8986 7 жыл бұрын
huna jipya upo upo tu. unatafuta umaarufu huna lolote
@ndakamasabini8071
@ndakamasabini8071 6 жыл бұрын
Wizara ilipata mwenyewe na wengine wanapokurupuka tu kuleta hoja za kujipendekeza kwa waliowatuma wataibika Hongera Mh Mwakyembe na una full confidence kwa sababu una uhakika na unachokisema
@florameza9529
@florameza9529 7 жыл бұрын
mwakyembe ni kweli? kaingia na pombe?
НЫСАНА КОНЦЕРТ 2024
2:26:34
Нысана театры
Рет қаралды 647 М.
Опасность фирменной зарядки Apple
00:57
SuperCrastan
Рет қаралды 6 МЛН
WHAT’S THAT?
00:27
Natan por Aí
Рет қаралды 13 МЛН
SUGU: "Please Don't Shut Me! Tubishane kwa Hoja na Siyo Bunduki"
11:24
Global TV Online
Рет қаралды 466 М.
Mh. Mustafa Mkulo -  Waziri wa Fedha Mstaafu
5:38
NBAA
Рет қаралды 12 М.
ZITTO KABWE: "Tulieni Niwapige Nondo, Hamna Pesa Nyinyi"
8:01
Global TV Online
Рет қаралды 661 М.
Godbless Lema Aliamsha Dude Bungeni, Hali ya Hewa Yatibuka
15:51
Global TV Online
Рет қаралды 573 М.