Cheka kidogo na huyu Mbunge anayejiita 'Bwege' na hivi vituko vyake
Пікірлер: 487
@saidigawa28814 жыл бұрын
tunaotazama hii clip baada ya clip ya we " ulisikia wapi " gonga like hapa
@edwinbenja13064 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@MartinezzJT4 жыл бұрын
Present teacher
@reymimermimer46164 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@zulfasaeed74454 жыл бұрын
Huyu mzed kumbe mbunge daaah sikujua mm jmn😂😂😂
@cleophancetadeus90503 жыл бұрын
@@edwinbenja1306 😀😀😀😀😀
@hellendaniel3809 Жыл бұрын
Nimemmiss huyu baba kwenye Bunge jamani. He is so funny 😂😂😂😂😂😂
@archie7754 жыл бұрын
Huyu ndiye yule mtu wa "we uliskia wapi"?😂
@saidigawa28814 жыл бұрын
ndio huyo
@Noah-zt5zf4 жыл бұрын
Uliskia wapi ni huyu?
@neemamayco32384 жыл бұрын
Ndio
@legendyare3 жыл бұрын
😂😂😂
@allymukhsin29622 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@hopebruno29874 жыл бұрын
kilwa msifanye makosa mrudisheni huyu mtu.
@brian_jake3 жыл бұрын
Bwege ni mbunge hodari kwa vile anatumikia waliomchagua!
@lifeisadream50563 жыл бұрын
Uyu nom
@jedidahbintidaudi82413 жыл бұрын
wee ooolioskia wapi?
@Blackie_blackie93276 жыл бұрын
😁😁kulia kuna mambo mawil tu utamu ama uchungu☝
@abusalman51398 жыл бұрын
😂😂😂😂Bwegeee is the beeeesst MP in Tz..Mbunge bora kabisaaaa.
@jedidahbintidaudi82413 жыл бұрын
wee oolioskia wapi?
@mohammedrajabumwamba13223 жыл бұрын
Hata mm ninamkubali saaana
@adriancarl48732 жыл бұрын
i guess im randomly asking but does anybody know of a way to log back into an Instagram account? I somehow lost my login password. I would love any tips you can offer me
@dariusaarav28862 жыл бұрын
@Adrian Carl Instablaster :)
@adriancarl48732 жыл бұрын
@Darius Aarav thanks so much for your reply. I got to the site thru google and I'm in the hacking process atm. Seems to take a while so I will get back to you later when my account password hopefully is recovered.
@rickyvamba56404 жыл бұрын
"Determination,Courage&Commitment" ana ng'ata na kupuliza dawa inaingia best MVP🙌🙌
Millard Ayo,ingekuwa poa kama ungeunganisha Majibu ya Oja zake. Yuko poa sema watu wengi upenda kuangalia mtazamo wa mtu zaidi ya anachokifanya au kukiongea. Binafsi Ayo ningekukubari sana katika hili kama ungenionesha mlejesho wa hoja za Mbuge kutoka kwa waziri usika
kwa waelewa mbunge huyu ana akili sio ya kawaida kajitengenezea kautani kanako peleka ujumbe kwa utani utani hahahaaa halafu hawafikirii kumpiga risasi bonge la mjanja
@kiwelumanyika59015 жыл бұрын
uko vizuri
@salhahaleed53235 жыл бұрын
Frabo Mdemwa
@djonetz27305 жыл бұрын
Namuelewa Sana'a
@rajabupongwa51504 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@amorthaniy69504 жыл бұрын
Umeona mbali
@salumramadhani55664 жыл бұрын
2020 februari,, nipo napitia kile Bwege alichokifanya ktk uchangiaji wake ndani ya Bunge..
@duncanmwangi80994 жыл бұрын
Katamba Saaaana Kenya🔥🔥🔥🔥🔥
@leonardotuck78845 жыл бұрын
Hahahahahaha mbunge huyu noma
@isdorysilvery29277 жыл бұрын
Huu bwege noma, Asante Millard ayo
@spatapeter55303 жыл бұрын
I gree this guy is soo funny keep up man
@anastanciamalema94067 жыл бұрын
anaongea kibwege lkn yuko vzr Anaongea points Mungu akubariki pia ataja vijiji vyake mwenyewe km aongea kilugha duuuh
@saidibega24527 жыл бұрын
Mambo vp umependeza
@saidkipalo44275 жыл бұрын
Ni kweli Kabisa Dada Ake
@chachajohn98354 жыл бұрын
Nimekupenda
@chachajohn98354 жыл бұрын
Okay poa
@abubakarihtarimo76608 жыл бұрын
hahaha Hugo kweli bwege waziri kakaa kimya mwenyewe
@emmanuelbuyamba8534 жыл бұрын
Seleman Bungara Bwege,safi sana!
@kitonekantasha16878 жыл бұрын
hahahahhaha bwege ananikumbusha anko angu flan iv twamuita Bwenyenye yaan akili zake ndo za mh bwege... anaongea pwent ila anachekesha. thnkx millard
@michaelmwalongo60886 жыл бұрын
Kitone Kantasha1 safi sana mh
@fariskale44416 жыл бұрын
Kitone Kantasha1 ako sawa
@reopenreopening11243 жыл бұрын
Waaah dah ningependa niwe mtanzania Niko Kenya
@madirishasimon96922 жыл бұрын
Karibu
@zeblufingo83618 жыл бұрын
Asante Bwege kumbe unakuja vizuri
@westvent10336 жыл бұрын
"Determination, Courage & Commitment"
@mutajumarobhe97887 жыл бұрын
ha hhah ha ha natamani huyu jamaa angekuwa mbunge wangu, kulia kuna mambo mawili utamu au uchungu!!! vituko kweli
@jafarabdallah29575 жыл бұрын
Sikukosea kumpa kura yangu well done mheshimiwa jiandae kupata tena kura yangu.2020
@chrismkapa50624 жыл бұрын
Mmm ccm Jamaa ang ongea tu bila maslah
@alhajiomary22945 жыл бұрын
Jaman anaongea point dah!kweli bwege
@mwambirekwamboka95255 жыл бұрын
😂😂😂 huyu atakua hon Moses kuria he's on point indirectly
@hastokim18384 жыл бұрын
We oliskia waaaaaaapi. Mheshimiwa, we oliskia wapi?
@rappertozzykibuki75984 жыл бұрын
Hahahaaaa kawalipeni wapiga kura wangu
@humphreystephen10303 жыл бұрын
Kama upo 2020 baada ya uchuguzi gonga like.
@juniorcx01143 жыл бұрын
Huyu jama namkubal sana maana anajiamin. Huyu akija kugombea ulais atasumbua sana #Ww uliskia wap😂😂
@lindajoseph94337 жыл бұрын
Bwege oyeeeeerr
@gilmangeorge3664 жыл бұрын
We ulisikia wapi😅😅😅kama umekuja kuangalia baada ya clip
@Nuyama13 жыл бұрын
tunaoangalia hii baada ya uchaguzi october 2020-na hawa watu hawapo tena na tutawamis sana.
dah Millard ayo unatupa raha saanaaaa na mbunge mh.bwege
@vincentogutu95063 жыл бұрын
I really like and enjoy the sayings from this guy.A very good n funny leader.
@edwinernest20127 жыл бұрын
Bwege anastyle ya peke yake kufikisha ujumbe. Welldone!
@faridastephen62107 жыл бұрын
haaaaaaaa bwege safi saaana haaaaa!!!!!semaaa ubwege wako but messege sent!
@jedidahbintidaudi82413 жыл бұрын
wee uliaskia wapi?? lol
@leonardkoech74743 жыл бұрын
Mie mkenya lakini nampenda uyu mbunge sana
@adamumuki12423 жыл бұрын
Mzee unamaliza umri kwa haki Allah akupe ushupavu wakusema kweli watu walilie dawa na maji
@mashakaamosgabinza38933 жыл бұрын
Mbuge huyu nimempenda you're talking truth brother
@dennisodhiambo13654 жыл бұрын
We uliskia wapi😂😂😁
@mazingirabrand6 жыл бұрын
mzee bwege wewee n hatariiii
@rosemarylusato27088 жыл бұрын
hahahaaa kwel bwege katoa ukwel
@salisali37383 жыл бұрын
Mzee wa vituko bwege na mjanja 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@diamondplatnumz.9Mviews.2days3 жыл бұрын
Mlie mpenda huyu jamaaa gonga like hapa pia msi sahau KU subscribe on my Chanel kwa crops nying za vituko na dancing
@angelanziku55833 жыл бұрын
Nani yupo anarudia hizi clip za bwege 2020
@JuliusTanzania8 жыл бұрын
jamaa anachekesha, lakini angefiti zaidi kama angekuwa kwenye commedy
@mayungahima19876 жыл бұрын
Hahahaha hatariii sana huyu jamaa anakipaji
@dukeobaemorara57524 жыл бұрын
Am a Kenyan enjoy😂😂
@mohammedyissa17923 жыл бұрын
Nilichelewa like kama zote uyu namaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ndoma mweshimiwa alivyo toka kuzika lupaso alipitia kilwa akiukiwa swali ana jibu kaen na bwege wenu uyu,Bwege shujaa wa kusin yote
@giftgerard28468 жыл бұрын
bwege no Nouma ha ha ha ha 2020 atapita kwa kula 20000
@benitamart80566 жыл бұрын
Unaongea vizuri sana ubarikiwe sana ni kweli anajiita kuwa serekali niya Magufuli na serekali eti serekali yangu mimi magufuli.
@abdulrazakahmed90953 жыл бұрын
Nampenda kwa kutanguliza mungu kwa kauli yake.
@funworld20703 жыл бұрын
🤗
@mangorapaul67707 жыл бұрын
Mbunge huyu duh kweli noma!
@veronicasamwel16763 жыл бұрын
Hahahahaaa uwiiii jamani ntakumisi sanaaaaa
@sabinaonline65754 жыл бұрын
nani anaangalia 2019
@paulebby15524 жыл бұрын
2020
@tiktoktdmdynamo31004 жыл бұрын
2020
@graphixmaster61464 жыл бұрын
23/06/2020
@salumally31283 жыл бұрын
9/9/2020
@TheAndakava3 жыл бұрын
June 2021
@mamarama63607 жыл бұрын
hahaaa Bwege anaongea kama hana mfupa lkn ujumbe umefika
@ismailmjeshi19847 жыл бұрын
bim khamid hujambo....
@ajabamosi90375 жыл бұрын
Amina bwege unafaa Fanya yote ila hakikisha ujumbe umefika na umetendewa kazi, naamini umeweza,
@maswagerjayrome72348 жыл бұрын
haaaaaaa amenkumbush mbali sna hyu mbungee umetish millad
@subiradalabu66164 жыл бұрын
😁😀😀😀😀👍
@nkayuzijonas25066 жыл бұрын
Anazungumza fact kabsaa
@mwendokaudanzi87714 жыл бұрын
yy au ww
@venancemsanjila18958 жыл бұрын
Kuomba ni kuomba tu huwezi kulazimisha JAMAA anajua kuongea nimempenda BUSARA NDO KILA KITU.
@deborahelias9438 жыл бұрын
Hmmmmm!!!!!!!!! Cpati pcs enzi za kampen zake
@barakatisalum82965 жыл бұрын
debora weye jamani
@RamazaniMulongeca8 жыл бұрын
hahaha... eti "Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni"
@cleofasnyoni38364 жыл бұрын
Ntkfuata miaka yake, Mbunge mweny akili sana
@douglasmutembei46133 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kazi safi mwege toboa yote......
@charlesmakuri7925 жыл бұрын
Wapinzani jifunzeni kuchanga hivi mambo ni mengi hii hotuba nzuli kabisa
@slummzee65114 жыл бұрын
Kazi nzuri bwege. no one like you
@mikesancho30953 жыл бұрын
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni 😄 I like tht 👍
@victoriarwerengera48318 жыл бұрын
bwege yuko vizuri....anatetea jimbo lake
@johncharles45734 жыл бұрын
Hongera sana kwa kuongea ukweli mungu akubarik na akulinde
@ilynpayne74914 жыл бұрын
Hahah yani huyu mbunge ni mzuri sana
@aboubakaryaboubakary61377 жыл бұрын
Imekaa Poa sana mh bwege watumbue waache ubinafsi wao
inakuwaje jamani mbunge kuwa najina baya kama hili? Oh; Tanzania😂😂😂
@wilbroddaffi665 жыл бұрын
Utamu
@emmanuelpaul244 жыл бұрын
Haahaaaa htr sn
@nelsonsungwa93977 жыл бұрын
safi sana
@mangsonsamson77125 жыл бұрын
Ndo Mara yangu ya kwanza kumsikiliza huyu jamaa akiongea lkn nimemkubali bg up sana
@agustinoezekiel3673 жыл бұрын
Nchakato
@eddymathews77626 жыл бұрын
ahahaha bwege kanichekesha sanah he is very talents
@SALWASALWA-ur7ol3 жыл бұрын
We uliskia wapi? Uliskia wap ?? 🤣🤣🤣🤣🤣😆😆😆😆
@salimjj97134 жыл бұрын
At sometimes de artistic ways can be used effectivelly to potray message to de one concerned.....well done..honourable..Bwege Others should learn various strategies on how to use de chances effectivelly....🤔
@alembelutengyalesimple4194 жыл бұрын
Huyu mweshimiwa Bwege , angekuwa Raisi wa tz pasinge kuwepo na unyanyasaji
@agustinoezekiel3673 жыл бұрын
We nawe vichekesho ndo uongozi
@ashfaynahrasheyd64517 жыл бұрын
yeah msg sent congra2lation bwege
@samrayadel6134 жыл бұрын
It’s 2020. Can this dude pleas come and defend this speech today