Kaka endelea kumshukuru mungu, na muombe sana akulinde wewe na familia yako
@barrysulty17566 жыл бұрын
Mungu akuhifadhi tena na popote na lolote kk hongera
@dannygroening35476 жыл бұрын
Sawa
@abdallasaleh23033 жыл бұрын
Huyu jamaa nime mkubali sana tofauti na wanaume wa Dar kazi kukata viuno na kufugwa na wanawake za watu basi rasi big up Mungu akulinde broo
@magdalenamatiko99956 жыл бұрын
We ni shujaa,lakini hongera kwa kumtanguliza Mungu.
@wamoroboy89633 жыл бұрын
KBS
@aminamrope97856 жыл бұрын
Mashaallah mwanaume wa kusini huyo. Haya wale wakusini wote msipite bila kuacha like zenu hapa Kwa mwanakusini mwenzenu mie. A. Mrope😊😊☝️
@credokashinga19186 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@elieneaezekiel51026 жыл бұрын
Huyo wa dar tuuu
@aminamrope97856 жыл бұрын
@@elieneaezekiel5102 asubuutu wa dar angeshaliwa zamani😃😃
@credokashinga19186 жыл бұрын
@@elieneaezekiel5102 umeona tuko vizur
@nolascomwinuka80806 жыл бұрын
Noma sana
@zuhurarajabu37906 жыл бұрын
Gonga like kama unaamini mungu ndio Amemsaidia huyu jamaa ncyo nguvu zake
@mbwetanyama14906 жыл бұрын
Sasa nguvu nani au zako
@fedrickhaule64526 жыл бұрын
Mmmmmh Mungu yu mwema
@shebbywanammurun96126 жыл бұрын
Zuhura Rajabu Naam
@latifamkulazi83785 жыл бұрын
Allah aqbar
@rajabmachum21375 жыл бұрын
Full confidence
@ShabaniKwambiana Жыл бұрын
Congratulations 👍 man mungu ndo kilakitu
@tulisamwel412 жыл бұрын
Nimefurahi kusikia ulimwomba Mungu. Mungu alikujibu maombi yako.Pole na hongera sana. MUNGU ndiye jibu.
@JeannetteManirambona-o6mАй бұрын
Mungu amemuezesha kwa kupambana
@sanurahaji51945 жыл бұрын
Mwenyezi mungu awafanyie wepesi amiyn b jibidishe kufanya ibada
@leotena84566 жыл бұрын
Kama unaamini angekua mwanaume wa dar angeshazikwa asaiv honga like
@simbawateranga70206 жыл бұрын
So honga. Gonga like!
@jacklindaudi90386 жыл бұрын
Mm nasoma comments nacheka tu wanaume wa Dar
@benedictmoses45356 жыл бұрын
Hahahaaaaaaaaaah😂😂😂😂 nooomaaa sanaa
@cellyjoseph94786 жыл бұрын
Wala kiepe yai nguvu watazitoa wapi 😂😂😂😂😂angekufa mapemaaa kabla hata chui hajamsogelea
@mayahhajih26366 жыл бұрын
😂😂😂💪💪👍
@barracklang87246 жыл бұрын
Ningekua Mimi sasa Ungesikia jamàa Mmoja akimbia mbio na kumshinda chui😂😂😂
@shehaabdallah51766 жыл бұрын
Hahahaha
@zahararajabu41696 жыл бұрын
😂😂😂😂
@rehma0maly9926 жыл бұрын
Hahaha ww
@petermwantole6166 жыл бұрын
ha ha ha haaaaa,, na mbio nazo silaha eti...
@cathelinenikwelikabisayuko7506 жыл бұрын
Peter Mwantole hahahahaaa noma sana
@valentinamussa42126 жыл бұрын
yani tuseme ni Mungu tu ndo kamuepusha na kifo
@tuphujekumuhkunonyiile37396 жыл бұрын
Aswaa
@gracerenady94256 жыл бұрын
Pamoja na hayo pia kapambana
@timothmkude30296 жыл бұрын
Kbisa
@rosesaimon52736 жыл бұрын
Kaka pole sana pia wewe ni mwanaume
@zuhuramniwasa10636 жыл бұрын
Ndiyo maana alianza na kuomba mungu
@GADITV6 жыл бұрын
Kaka angu Millard nikupongeze sana kwa hii update ipo vizuri sana. Kumbuka mdogo wako nipo nyuma yako usikose kunishauri nakuja kwa kasi kubwa mno. Nimeanza na kanda ya kaskazini,mungu akipenda kuanzia january nitashuka mikoani. #GADITV GADI TV
@loveofficial746 жыл бұрын
GADI TV Vp kaka naomba nitafute waxap +255657071747
@ilovejesus93036 жыл бұрын
All the best ndugu. Unaonekana una roho nzuri na kutakia wengine mema, nakuhakikishia Mungu hatokuacha
@manyotaskipper57656 жыл бұрын
GADI TV ushajisajiri TCRA usije ukafungwa au kupata misukosuko kama AKINA SOUD BROWN
@dorahnnko68576 жыл бұрын
GADI TV nomasana
@nolanraphael85026 жыл бұрын
GADI TV pambana kijan Mungu atakujalia
@humphreymahenge74556 жыл бұрын
Samson wa pili..hongera bro pia usiache kumtukuza Mungu..
@robbykabara32036 жыл бұрын
Samson wa tz
@piarajaneth60306 жыл бұрын
Kabisa yani
@tematema31016 жыл бұрын
Mungu kakuepusha kwani.we tegemezi la hao bibi 3 Mungu ananjia.zake uhimidiwe milele.mwokoz.wetu
@rhodaevance87616 жыл бұрын
ongera sana kwa kumshinda mnyama huyu kwasababu ni mungu tu amaekusaidia ila si kwa nguvu zako ila mshukuru mola amekupa nguvu za kupambana maana bila mungu ungekufa
@WAKRISTOKANISALAMUNGU5 жыл бұрын
Umeandika mambo
@winniealuoch75396 жыл бұрын
You are a HERO man!Congratulations and may you recover soon.
@lilbmusic74826 жыл бұрын
Uyu nae ni konk konk konk master😂😂😂
@elvinnyanchama52626 жыл бұрын
Hahhahhahahhaa
@kimjey00126 жыл бұрын
He he he huyu tutamuita konki king Kong
@sonnymjeshi6 жыл бұрын
😁😁😁
@prisilakabyemela45976 жыл бұрын
Konk kink konk wapili jamani
@maryammaram26126 жыл бұрын
😂😂😂
@jrawwtz6 жыл бұрын
Gonga like kama unamkubali millardayo
@jrawwtz6 жыл бұрын
Hatari sana
@silvanusmaungo90766 жыл бұрын
hotnews Tz jhv
@lusungugatemile10466 жыл бұрын
hongera umeonyesha ushujaa
@barracklang87246 жыл бұрын
Sina hofu kbs na Wanaume Wa mikoani, ingekuwa kwa boys wa dar ungesikia chui kaua 19 na kujeruhi wengne 12, wa4 wako mahututi 😂😂😂 kwa kuanza jifunzen kuuwa mende baadae kidogo mwanze kuchinja kuku 😂😂😂
barrack Lang 😀😁😀😁😀uwiiiiiiiiiiiiiiiiiii konki konki
@ilovejesus93036 жыл бұрын
Mbavu zangu mie 😃😃😃😃 wanaume wa dar acha mapovu, ndio ukweli😀😀😀😀😀😁😁😁
@HASASON6 жыл бұрын
😂😂😂😂 Na kweli sasa kama wanaume wazima wanaingia chini ya meza na wake na watoto wao kisa kuna viboys vinaitwa panyaroad vimeamua tu kufanya yao
@dharesfadhil22366 жыл бұрын
Subhannah llah.kaka toa sadaka umenusurika pakubwa.ALHMDULILLAH
@MayasaMangochi10 ай бұрын
We ndo mwanaume unaetakiwa apa nchini sio wale wengine
@dianarenard58536 жыл бұрын
Duh wapo wanaume kweli, na sio wanaume jina 😂😂
@salmadalaquimane53036 жыл бұрын
Sio wanaume wa Dar
@alexmazengo10496 жыл бұрын
Mambo
@noahmdeka57836 жыл бұрын
Waseme tu wanaume wa dar
@dianarenard58536 жыл бұрын
@@noahmdeka5783 😂😂😂 sitak kesi
@dianarenard58536 жыл бұрын
@@alexmazengo1049 pw
@eddyderrickmail663 ай бұрын
Pole sna mungu akupe nguvu zaid na akupe maisha marefu uwasaidie watto wetu ndugu zetu na wengne asante shujaa
@mwanajumaomahundumla65046 жыл бұрын
Hawa sasa ndio wanaume wenye nguvu za kiume 😃. Mungu ni mwema umepambana kaka hongera sana wanaume wa Dar kazi yao kuwa Mario sio wote jamani🏃🏃🏃🏃
@engineerbaraka166 жыл бұрын
Acheni kuwaza waza Mapenzi,,, fanyeni kazi za kuleta maendeleo
@mwanajumaomahundumla65046 жыл бұрын
engineer Baraka nilijua tu utawaza ngono ndio tabia za wabongo kama wewe niliposema nguvu za kiume nilimaanisha maana halisi ya nguvu alizonazo na sio ulizowaza wewe inaonyesha wewe ni mwanaume wa Dar huna wazo lingine pole sana
@mwanajumaomahundumla65046 жыл бұрын
Millennium TV 😄 mimi nina mume pia yeye ameshaoa sikuwa na maana ya nguvu za kiume unazofikiria wewe nilimaanisha mshipa wa kiume maana nguvu alizonazo ndio zinazostahili mwanaume kuwa nazo ndio maana hata mwanamke akipambana akaweza anaambia ana mshipa wa kiume msinichukulie vibaya sikuwa na maana mbaya
@futureyouthfoundation58016 жыл бұрын
Dah
@mwanajumaomahundumla65046 жыл бұрын
Daniel Markgodson sorry sikuwa na maana mbaya
@yerickonelson83176 жыл бұрын
huyu ndo anafaa kuitwa Konki master sasa maana kapitia vikwazo vigumu 😂😂
@hawadhamini46446 жыл бұрын
Yericko Nelson Allah kareem
@namnyackndaserwa13666 жыл бұрын
Konki konki master mamba kama unamkubali like apa
@diamondplatnumz74006 жыл бұрын
Yericko Nelson 😁😁😁
@georgemakariuslipumbanichi73126 жыл бұрын
Kwelii
@yerickonelson83176 жыл бұрын
CHEKO Tv Konki master oil chafu
@belindagiliard89776 жыл бұрын
Hongera Millard. Ungechelewa tu, huyo jamaa angegeuzwa mkenya, maana wana hila hawa.
@metrolinklimonetwork95796 жыл бұрын
Mbona ukawachukia WaKenya hivyo Dada Belinda?? Walikokosea nini?? Not nice. Sisi tunawaheshimu jirani zetu wa TZ. Kwetu sisi pia twawapenda hata tukaoa dada wengi toka TZ na pia binti wetu wengi wameoleka TZ.
@chembevuko70466 жыл бұрын
Come on man why hate kenyans that much
@saadakiyungi71556 жыл бұрын
Kweli ksbisa
@tylerhood53535 жыл бұрын
Belinda Giliard 😂😂😂😂
@mdyoung51633 жыл бұрын
😅😅😅😅harmonize ni mkenya
@abdullasalim92666 жыл бұрын
Hongera sana ..Mwenyezi Mungu amekuokoa kama alivyo niokowa mimi Alhamdulillah .. unanikumbusha mkasa kama huo ambao ulinikuta mwaka 1995 katika pori la Mavuji Mkoa Wa lindi ambapo nilinusurika kuuliwa na tembo na kupata majeraha na baadae mita chache nika nusurika tena kushambuiwa na chui baada ya kukoswa na tembo .. hongera sana kwa ujasiri wako...
@reaganmakallo68246 жыл бұрын
hizo rasta zinaonesha ananyota ya simba...
@jamilaamani17586 жыл бұрын
Ahahaha kwer umenena
@patrickmunisi446 жыл бұрын
huyu ana nyota ya Yanga sio simba
@mropeamadeus54456 жыл бұрын
reagan makallo yes Man
@reaganmakallo68246 жыл бұрын
huyu huyu yanga nichokonoe??😀😀😀😀
@AngelAfrica-w5x6 жыл бұрын
ha haa sure
@worldrapamako39606 жыл бұрын
hyo mbegu kama siyo yakwetu musoma nibahati mura kama mnatukubali wanaume wa mara musoma tanzania gonga like hapa
@JamviOnlineTV6 жыл бұрын
Mungu ni Mwema sana
@wamoroboy89633 жыл бұрын
Kbs🙏
@WilsonEmmanuel-bs6op Жыл бұрын
Mungu ni mwema
@HassanHassan-ud8rx6 жыл бұрын
Kaka mtaratibu sana kwa kweli mungu amuhifadhi na familia yake awaongoze katika Kheri
@steevclassicvevo50006 жыл бұрын
Mmmmh! Kwel Jamaa Anastair Taji La Ushujaa..
@shammoha52976 жыл бұрын
Yaa Raab! Duh! Pole kakaangu ,hongera vilevile. Tumshukuru Mola. Mungu akupe nafuu. Akubariki ktk maisha yako. Ameen
@janetwandeharris39346 жыл бұрын
Wow he deserves a medal and World Guinness Record
@mohdsein7474 жыл бұрын
Muongo huyo watanzania mpaka mashamba boys wanatafuta kiki😂😂😂
@chapmanalexander51966 жыл бұрын
Mke wake ana mume kweli.
@restypeter11414 жыл бұрын
Kwakweli
@faifidelis30413 жыл бұрын
kabisa
@ramadhanihudhaifani43766 жыл бұрын
Dah! Pole sana bro kaka.Allah Akujalie upone upesi ili uendelee na shughuli zako za kila siku za ujenzi wa taifa na uangalizi wa familia yako-Amiin...!!!
@kelvinjohn68516 жыл бұрын
Samson wa pili huyu
@masikamukiraniaesther7806 жыл бұрын
Huo ndio ukweli kabiisaaaa
@cipladapretty86176 жыл бұрын
Kwakwel hahahahah
@AliBaba-zb3tg6 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂Nika aza kufikilia ile Movie ilivo na nguo zao 😂😂😂na wanavyoongea
@annikhaoya4706 жыл бұрын
Very good you need to rewarded
@princessfairy41466 жыл бұрын
😂😂😂😂
@fatmahchambo20376 жыл бұрын
Mungu ni mwema...kama siku yako bado, basi chochote cha kutaka kukuangamiza kikikukaribia Mungu anakuponya nacho. Pole kaka na hongera.
@vampire94643 жыл бұрын
Mashallah fatma mzuri
@bintiiddy70436 жыл бұрын
Sbuhana llah pole sana kaka mungu ni mwema
@mwanaishahussein26355 жыл бұрын
Pole sana kaka, MUNGU alikuokoa hapo, akuokoe zaidi ya hapo mana wewe ndio jicho la familia😭😭😭
@r-jay74046 жыл бұрын
Mimi Ninamlaumu Sana Bwana Chui.. Kama Angetafakari Uzito Wa Lite Gogo Alilotaka Kulibeba Mr Abdallah.. Asingethubutu Kumsogelea.. Kifo Cha Kujitakia Hakina Pole..
@mercyauma36766 жыл бұрын
r-jay mungu atukuzwe
@silvanussteven8136 жыл бұрын
r-jay alaa
@nurudovino2885 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@shabansabaga29196 жыл бұрын
duuh! huyu jamaa ni zaidi ya konk master, hongera sana broo....
@bahatimatiku42946 жыл бұрын
Una roho yakikurya roho ya ujasili we ni kdume mana umepambania maisha yafamilia yako
@jamesngimbusi64046 жыл бұрын
Hongera sana kwa vita hiyo ya ushindi.Mungu hakutaka wewe uangamie
@christinajonas3746 жыл бұрын
Dah! Wewe kweli mwanamme wa mkoani sio mwanamme wa dar ongera sana kwako unanguvu kama zote tu, kwani uyo anae jiita konk konk konk ana uwezo wa kuuwa chui mdomo tu umemjaa Na kuchambana na watu so big up kwako Rasta man 💪💪💪👏🏻👏🏻👏🏻wewe umefanya live sio movie wewe ni shujaa number 1 and razima nikupe zawadi kwa hili
@rosekagonya49396 жыл бұрын
pole sana Mungu ni mwema siku yako haikuwa imefka ya kufa, katoe sadaka kanisani
@chainsinternational3 жыл бұрын
Gonga like kama unaamini huyu ni shujaa na Mungu ni mwema☺
@faridahhamza87046 жыл бұрын
Pole kaka mungu mkubwa,
@mustafamagila50875 жыл бұрын
Duuh kazi nzuri kaka
@mwanashaabdallah54796 жыл бұрын
Pole kakangu alipangalo mola ndo huwa ila biina hailiwi God is good everytime
@patsonessau93866 жыл бұрын
Pole sana brother na tumshukuru Mungu kwa kukunusuru maisha yako na milad ayo hongera kwa kutupenyezea habar za pori na town bila vikwazo
@beautywithnay59746 жыл бұрын
Kweli mungu mkubwa jmn walay mungu akupe maisha malefu
@starboy-bw3uz6 жыл бұрын
Anae kubaliana namm kuwa uyu jamaa ni konkii konkii konkii master oil chafu agonge like yake apa
@JabaarVLOGS5 жыл бұрын
I wish I can help this man even a little can make a different
@aishaabdallah26936 жыл бұрын
Kama unaamini huyu ni shujaa gonga Like hapa
@sofiayusufu5796 жыл бұрын
Mungu akulinde
@bonifacembogo56756 жыл бұрын
Bro Abadallah naomba niwe meneja wako.nikupeleke studio ufanye ngoma.moja Kali sana..Kiki tayari unayo
@february28666 жыл бұрын
Hao ndiyo wanaume wa mkoa,Ruvuma huko! Ukiwashobokea vitasa tu!
@aginiweyessayakyando98556 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@aginiweyessayakyando98556 жыл бұрын
Chui alishoboka au sio
@muhbrayan32656 жыл бұрын
Hatunaga huruma na mtoto wa mtu
@emmanuelayubu45876 жыл бұрын
February 28
@sospeterlufasinza79456 жыл бұрын
Mwanaume huyo
@dashuusaalim88826 жыл бұрын
Mashallaah ka dula na mm ni pia ni mkali kwa kuua nge na tandu naamn uo ni mwanzo mzury tuu... Na wngn mcogope mende mnaturudixha nyuma😎😎
@shownewsdiamond19426 жыл бұрын
Millard tupe na taarifa za ruge safiri mpk alipo basi
@damariszuckschwert94895 жыл бұрын
Unamtuma wapi mwenzio? Mbaya hiyo
@josemourinho87815 жыл бұрын
Hahahaha umeongea point kk
@hawamgalla14365 жыл бұрын
Ruge!!
@subiraegied56476 жыл бұрын
ebukunywa maj makubwa ntalipa.... Mwee 😊Mungu ni MKUU.... Sana Barikiwa kumtanguliza mungu
@goldmansun58596 жыл бұрын
hawa wanyama wanaitwa leopard, kibongo chui ,hawa jamaa wakikukuta popote,mziki wake ufe wewe au yeye ,they never gv up wakiwa na njaa,na ndio the best hunters in d world
@j_gh8126 жыл бұрын
Nguvu ya mnyama ni kubwa sana kulinganisha na binaadamu....na kasi yao huwezi kuimudu hata chembe...usalama ni uwe na silaha angalau lakini sio huyu jamaa eti amepigana nae mikono mikavu..huyo hui lazma atakua amekula sumu na kuishiwa nguvu au alitegwa kwa mda akishiwa nguvu....huwezi kupambana na chui mikino mikavu
@rayisadesigns26466 жыл бұрын
@@j_gh812 Sio kweli ni ushujaa tu wa mtu, ukiwa una afya njema na ukaondoa uoga unaweza ukakabiliana nae na ukamshinda, matukio haya huwa yanatokea. Wamasai na makabila mengine yanayoishi ktk maeneo yenye wanyama wakali kama hawa inapotokea wanataka kuleta madhara au wameshaleta madhara hukabiliana nao na kuwauwa. Miaka ya nyuma wilayani Rufiji mkoa wa Pwani kuna mwanamke alimuuwa simba, ilikuwa majira ya usiku mumewe alitoka nje kujisaidia, akavamiwa na simba, yule mwanamke alitoka na mchi wa kutwangia nafaka, akamkuta mumewe yupo chini simba yupo juu yake. Akamshindilia nao wa kichwa akamuacha wakaanza kukabiliana, kila simba alivyojaribu kusogea alikula mchini, kipigo kilivyokuwa kikali yule simba alitenguka na yule mwanamke alizidi kumtandika mpaka akafa. Kwa hiyo kikubwa ni kumtanguluza Mungu mbele, na kujenga ujasiri utakabiliana nae utamshinda, tatizo watu wengi wanapokutana na wanyama kama hawa hapo hapo huishiwa na nguvu hata kufikiria namna ya kujiokoa wanashindwa na hali hii inawarahisishia wanyama hawa kuwadhuru haraka na kuwapotezea maisha. Ukiwa muoga na siku zako zikiwa zimefika kweli utageuzwa kitoweo. Tumuombe Mungu atunusuru na mabalaa kama haya.
@haliimomar16926 жыл бұрын
Huyu Jamaaa Naongopa
@j_gh8126 жыл бұрын
@@rayisadesigns2646 hapa dada yangu si ushaona mwenyewe kua kilitumika kifaa cha mche???tena simba amevamia na mtu wa pili ndio akamshambulia kwa kifaa...na masai wanapambana kwa silaha....chui ni mnyama mkali sana na hatari na ana kasi kubwa sana....sijasema binaadamu huwezi kupambana nae..bali haiwezekani kwa mikono mikavu...tena anavosimulia huyo jamaa eti amemrukia akalala chini..mara ya pili akaruka juu chui akapita chini.....hii ni movie tu dada.....sasa unamshika chui mikono alafu na mdomo je unaufunga ama???au huyo chui alikua anapigana kick boxing tu hangati????eti akamlaza chini akambana mikono...chui amelala tu hangati wala hatumii miguu????dada hii story haingii akilini hata robo...
@haliimomar16926 жыл бұрын
Hana Hata Maaaalama Ya Majerahaa ya Kukwaruzaa kwaruza
@alialesry51316 жыл бұрын
Mwenyezi mungu kasema jisaidieni na mimi tawasaidia....sasa hapo bila yeye kijisaidia ...singekuwa mambo mengine......pole sana kaka nguu...mwenyezi mungu yupo na wanao subiri
@wemamanikana97916 жыл бұрын
Dah!! Mungu mkubwa, usimuache SAMSONI wa pili
@bernahmponzi38575 жыл бұрын
Wema Manikana hakika
@mhinatitus58436 жыл бұрын
Inahitajika kuonyesha juhudi ndipo Mungu aweke nguvu zake so hongera sana broo kwa uamuzi wa kupambana na ukashinda.
@saadsalum32536 жыл бұрын
Huyu ndiye mwanaume Wa dar sio wanaume wakubustiwa hahahah konk konk konk muster
@leticiachunga91186 жыл бұрын
Huyo sio mwanaume wa Dar tena muombe radhi! Huyo chips, pizza, badger's, sandwiches yeye haja wahi tumia, ugali anao kula huyo mbwa haruki mzee na mboga za majani+maharagwe
@zamzamhamisi73326 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 umeonaeeee
@aishaelias38676 жыл бұрын
Konki konki konki master 🤣🤣🤣
@mrbee89715 жыл бұрын
Achukuliwe Hatua Kali Za Kisheria Mbona Anaua Wanyama Pori
@leonardmbito64886 жыл бұрын
ilo eneo sio zuri tena kuishi aisee!!!!
@aibonkinya28176 жыл бұрын
Huyo chui aliitaja akulwe,atayeyey nyama yake ionjwe na wanadamu hongera sana bro mungu akupe maisha marefu
@abukheru41536 жыл бұрын
Wanaume wa Dar mpoa pamoja na ss wa mikoanii😂😂😂
@silvanussteven8136 жыл бұрын
Abu Kheru unadhani wanajitokeza wamejificha wakat huwa wanatuita wa mikoan washamba sasa cheki kidume mla dona halisi hatar
@mwahamedychilungu89813 жыл бұрын
Acha usenge wewe jana nimekuona kinondoni kwenye banda la chips wewe
@myself41286 жыл бұрын
Mwanaume wa Dar angekimbia vibaya mno😂😂😂😂!!! Halafu anangeenda kupost instagram au facebook kuwa alipambana na chui! Nimempenda sana huyu jamaa sababu mnyenyekevu sana..kwanza alipomuona chui alisali ina maana hakutegemea nguvuzake mwenyewe na kila ukimsikiliza anampa Mungu utukufu sana!!! Shujaa!!! Shujaaa🙌🙌🙌🙌mchangieni
@majaliwawangdagangdullanga7006 жыл бұрын
Pole sana kaka, hongera
@plus254ke86 жыл бұрын
Hongera sana Kaka. Ungekuwa na M-pesa ningekutumia hera angalao
@georgekimboka98216 жыл бұрын
Kwanza Mshukuru Mwenyenzi Mungu Mkuu sana Wanyama wakali sana Duniani amabao ukikutana nao kupona ni kwa kudra za Mwenyenzi Mungu Mkuu 1.chupi...Leopard 2.tiger
@Maalim_Samatta3 жыл бұрын
Hahahahaaaa eti CHUPI ni ktk wanyama wakali. Teh teh teh the tih tih
@gladyskibugi87376 жыл бұрын
Mungu yupo. Mungu anasaidia. I will praise his Name always. Naamini Mungu amemsadia huyu Kaka.
@mbarikiwambarikiwa39886 жыл бұрын
una imani sn ktk Mungu,katoe sadaka ya shukurani make hapo ni Mungu ndo amekuepusha na kifo.
@geofreysolomon85326 жыл бұрын
Akitokea chui usali halafu ulale 😂😂😂
@hopechidera6 жыл бұрын
Hongera ndugu kwa kumuua huyo chui,ni Mungu ndo kakupigania na kukushindia.
@moringelangas72766 жыл бұрын
Kaka Millard watu kama hao wapo wengi ila sio waote wanajulikana kutokana na kuwa mbali na media,kwenye kijiji cha lulenge kata ya ubena zomozi mkoani pwani kuna kijana pia alimuua chui hadi akachukuliwa mwanajeshi mmoja wa ngerengere kwa ajili ya matibabu,alipambana nae haswa hadi akamuua ila majeraha anayo ya kutosha.
@princesceline99706 жыл бұрын
Hahaha! Ukiwa na imani na mung hakuna kinacho xhndkana ktka hii acnge mtangulza mung chui angepata kitoweo na angetafuna had nguo
@sharmelasaif473 жыл бұрын
Alhamdulilah rablaalamin mwenyezi Mungu bado anahitaji uwepo duniani
@AliM-di8dz6 жыл бұрын
Duuu poke kaka, mungu kakunusulu pole sana tena hongera kwa kupambana na munyama kama chui.
@khadjamhozya17 күн бұрын
Nimependa kuwa umemtanguliza MUNGU, pia una bahati maana chuyi anakawaida ya kumtowa mutu jicho au macho kutumia kucha zake,🙏🏻 nakama nyumba yako ilichomwa moto na huo chuyi atakuwa ni wakutumwa sio wakawaida uko ndani ya mthihani pole sana
@paulomgan20646 жыл бұрын
Aingizwe kwenye lekod
@americanbelgium96393 жыл бұрын
Congratulations brother and God will protect you, Ameen.
@respichiusvedasto90366 жыл бұрын
Angelikuwa mwanaume wa dar sasa😀😀😀😀😂
@tatalyzer3825 жыл бұрын
Aliegundua kua Mzee baba alimtisha chui kwa rasta zake kama simba agonge like
@motherland22796 жыл бұрын
ongera sana kaka mungu azidi kukupa nguvu
@happydede51916 жыл бұрын
Duh! Hongera sana kaka na pole kwa mitihani Mungu atakusimamia
@cedratjaivu89056 жыл бұрын
Nasubiri aitwe na pombe, apate tuzo ya ushujaa 🙌
@saumuhassan63656 жыл бұрын
Subhannallah, hongera sana kakaang kwa ushujaa wako, Allah yuko pamoja nawe.
@petermwenda51796 жыл бұрын
konky konk koky wa ukweli sio hawa mashoga original zote
@silvanussteven8136 жыл бұрын
Peter Mwenda hahahahahahahaaaa original
@musajacob33625 жыл бұрын
Dah!!!brother we Samson hata hizo nywele zinaonyesha
@emmanuelmogela58716 жыл бұрын
Nakufanananisha na samsoni
@fathiyaalimtumwa68466 жыл бұрын
Pole can kka kwanza umshukuru mungu wtu kwa kukpa ujasir alokupa mungu zako ndo zpo pole cna
@rosewafula91006 жыл бұрын
Pole Sana mungu atakusaidia
@l.fnaturalfoods72326 жыл бұрын
Hawa ndio wanaume wa mkoa💪💪💪💪🙌🙌🙌
@erickhaule86806 жыл бұрын
Tanzania mnatafuta mtu wa kuigiza movie ya Samson na Delila mana Delila ashapatikana ambae ni wema haya Samson huyu hapa jamani