MWANAMKE ALIEKWENDA MOCHWARI KUMTAFUTA MUME WAKE

  Рет қаралды 262,228

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Siku ya jana tunafahamu ilikuwa ni siku ya fathers day na kama wewe uliitumia kukaa na familia yako na kufurahi kwa pamoja naomba chukua tano za nguvu, ila sio wote walio enjoy na siku hiyo mfano mzuri ni kutoka kwa Zawadi Salvatory umri wake ni miaka 29 mama wa mtoto mmoja anasema siku ya jana haipi asilimia mia moja kutokana na mkasa aliowahi kuupitia akiwa na Baba wa mtoto wake kwani aliwahi kwenda hadi mochwari kumtafuta baada ya kutorudi nyumbani kwa saa 24 apata na hofu huwenda amepatwa na matatizo

Пікірлер: 683
@franklinnnko9061
@franklinnnko9061 3 жыл бұрын
Pole sana dada kweli kuna haja ya wanaume kubadilika tuache kuwasumbua hawa viumbe wa Mungu dada Mungu akupe moyo huo huo ni moyo wa ajabu sana your strong women
@rukiamohammed5031
@rukiamohammed5031 4 жыл бұрын
Daah kwanza pole sn alafu ww ni mwanamke wa nguvu 💪🏿kwa kweli ucng'ang'anie sehemu ambayo umeona haiko Sawa na kumuweka mungu mbele ni japo jema sn mungu akucmamie ktk maisha yako 😢😢
@aishamtaula1959
@aishamtaula1959 4 жыл бұрын
Urikuwautit
@husnaali1610
@husnaali1610 2 жыл бұрын
Yaniwanaume wamezoea kutuzalulusha ilaulimunesha unampenda sana ndio akawa achezea akili yakoanakujali kamahakujali asingerudi Tena.alikuaanakupima
@mimsbaibe6mimsgul737
@mimsbaibe6mimsgul737 4 жыл бұрын
Waaaau great love kwa kweli sijawahi tafta mwanaume Wangu alikua amezoea kunicheat ata wk alikua anaenda nkachoka na izo tabia nkaondoka. Congratulations akufukuzaye hakwabii toka umenikubusha bali sana hawa wanaume ata ukiwafanya nini wakutoka atatoka tu I thank God nmelea wanangu peke yangu bila baba ndo naumia watu wakitusi singles n hawajui mapito mtu amepitia forward ever .
@julithahayuma6277
@julithahayuma6277 4 жыл бұрын
Daaah pole Dada I can feel hayo Maumivu pole dear Mungu ni mwema aendelee tuu kukupa Nguvu
@mwanajumaomahundumla6504
@mwanajumaomahundumla6504 4 жыл бұрын
Ujumbe mzuri kabisa asante Mirlad wengi wanafata mastar tu kumbe watu wa kawaida ndio wenye point za msingi za kuwajenga wengine Wanaume simameni kwenye nafasi zenu Asubuhi wakati anakutongoza baby jioni mke wangu kesho anakuomba pesa aibu sana Mwanaume kichwa cha familia lazima ajue majukumu yake japo kusaidiana ipo. Pole kwa yaliyokukuta dogo ila hongera kwa kukubali matokeo na kuamua kupamba kivyako mapenzi hayalazimishwi na wengi tunaishi kwa kukalili uvumilivu una mwisho Yakikushinda songa kuliko kusubiri kuchomwa na magunia ya mkaa au kupigwa na vitu vizito
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 4 жыл бұрын
Aiseeee dada uko MUELEWA SANA.SHE IS SO SMART.wanawake mapez hayalazimishwi...afu point ya mwsho inafurahisha na ni kweli kbsaa.asilmia kubwa ya sasa wanaume nao wadangaji.wanapenda kupewa🤣🤣🤣wako timing...
@neemaloy889
@neemaloy889 4 жыл бұрын
Mtangulize Mungu usivumilie ujinga dada,Sio ubavu wako huo Mungu Ana hazina nyingi ya wanaume ktk uumbaji wako,we una Imani Dada mkomalie huyo yesu
@mamaan6409
@mamaan6409 4 жыл бұрын
Dada maumivu uliyopata ndiyo ninayo pitiaj
@lakisuleimani9112
@lakisuleimani9112 4 жыл бұрын
Mhh jamani Hawa waume watatuuwa sisi wanawake
@ashuraissa2378
@ashuraissa2378 4 жыл бұрын
Ww nimzuri sana, hongera kwa kupata ujasili ww nimwanamke jasili
@Cherriechina
@Cherriechina 4 жыл бұрын
Always mtu mwenye hofu ya Mungu na kumtegemea yeye,Mungu anamuinua na kumpambania😍
@maggieswai1623
@maggieswai1623 4 жыл бұрын
Amen
@annasalehe6069
@annasalehe6069 2 жыл бұрын
Millard, this is the best show of yours that I have watched, Being a Tanzanian born, I am so proud of this woman! She is a woman of my kind. Kila alichosema ni 100% true. Tatizo ni kwamba, wanaume wengi wa kiafrika (yes, not just east Africa or Tanzania,
@OnlyRuky
@OnlyRuky 4 жыл бұрын
Daaah pole bora umechukua maamuzi mapema you still young and beautiful.
@viviancastori2947
@viviancastori2947 4 жыл бұрын
Daaah umenikumbusha mbali sana aisee mwenyez mungu aendelee kutusimamia kwakweliiiiii
@kibibikibibi3289
@kibibikibibi3289 4 жыл бұрын
Hongera sana huja haja ya kung'a nga' nia mtu hakupedi anaweza kukuuwa usitapike ukarudi kula big up dd ww ni mzuri sana
@adamamin8148
@adamamin8148 4 жыл бұрын
Duu pole sana Dada nikweli ss wanaume ni wazaifu sana mwanamke yoyote yule ni mvumilivu sana lkn uvumilivu ukimtoka akichukua maamuzi ni wabaya sana ua anajua kuchukia na arudi nyuma pole sana dada
@juliaayieta2578
@juliaayieta2578 4 жыл бұрын
Hi everyone 🙋🏽‍♀️🙋🏽‍♀️🙋🏽‍♀️ nimefanya video inayo zungumzia kuhusu usafi wetu wa wanawake , sababu za kuwa na harufu mbaya, uchafu na mengine mengi 👇🏾👇🏾 kzbin.info/www/bejne/gYSxZKZ3ltaArZo HAUTOJUTIA kuitizama na ukijifunza kitu nakuomba u like na pia unipe support kwa ku subscribe. Shukran Sana 🙏🏾😘🌹😘😘🌹
@imakulatasoko1503
@imakulatasoko1503 3 жыл бұрын
Da, pole sana wewe endelea kusimama na Mungu yeye c mchoyo atakupa chaguo sahihi.
@rosejoseph9811
@rosejoseph9811 3 жыл бұрын
Safi sana,unajielewa!panbani hao wapo.usiwe na papala.utampata wakwako ambae ni sahihi
@deboramrema2861
@deboramrema2861 4 жыл бұрын
Daaa umenikumbusha mbali sana kuna siku nililia usiku kucha mkesha wa 2012 halafu asubuhi mwanaume amerudi mzimaaa wala hajali ni maumivu ambayo kila utakaemwambia ambae hajayapitia atakiona chizi ila mwisho wa yote namshukuru Mungu 1/12/2015 nilifungua nikamwambia Mungu peke yangu kutoka imekuwa ngumu sana siwezi nampenda lakini ananiumiza nakuomba kama sio riziki yangu back mwaka huu usipite bila kutenda miujiza kweli desemba 19 nilitoka kazini nikakuta amebeba nguo zake zote na ameondoka ameniambia ujumbe kuwa amepata mwanamke wa kabila lake anakwenda kwao likizo na pia anakwenda kujiandaa kuoa haikuwa rahisi nililia usiku na mchana niliendelea kuomba kufunga huku nikipiga wake matukio mengi leo pete ya uchumba kesho mahar mpaka akaoa acheni baada ya miezi mitatu nilikaa sawa nikakubali matokeo nikaanza safari mpya ya maisha yangu
@juliusmunisi8618
@juliusmunisi8618 4 жыл бұрын
Mungu unaemwamn n mzr endelea kuishi katika lmani
@asgheraliypanju5215
@asgheraliypanju5215 4 жыл бұрын
Wewe nishujaa Mamy 💪💪
@mamayeyoo9531
@mamayeyoo9531 4 жыл бұрын
Hongera kwa ushindi
@joycembawala8781
@joycembawala8781 4 жыл бұрын
💪💪hongera dada Mungu akucmamie
@angelapius7526
@angelapius7526 4 жыл бұрын
Inaumiza sana tena sana
@anisiamedard3775
@anisiamedard3775 4 жыл бұрын
Daah pole mamy. Pia hongera Sana kwa kuwa unajitambua na unaakili unamjua Mungu
@loner_wolf
@loner_wolf 4 жыл бұрын
Mm nahisi huyo mchizi hakuwa mtu sahihi kwako .... Barabara ya maisha inapitika japo inaalama nyingi za kuigofya , chamsingi ni kumuamini mungu na kuishi maisha halisi .....
@magekenny3165
@magekenny3165 3 жыл бұрын
Pole sana Dada ,wanawake tunavumilia. Jata yasiovumilika ,
@happymbilinyi2273
@happymbilinyi2273 4 жыл бұрын
Hakika Mungu uliye nae ni mkuuu,,,hongera sanaaa tena sanaaa nimejifunza kitu kutoka kwako....
@pendompolenkile1356
@pendompolenkile1356 4 жыл бұрын
Pole pia hongera kwa kuamua vema hakika MUNGU hawezi kukuacha utakua imara zaidi kila kitu kitawezekana
@sadikianthony8717
@sadikianthony8717 4 жыл бұрын
Huyu Msichana ni beautiful, strong na ana MUNGU. Anaweza kufanya ZAIDI ya anayofanya sasa kwa MANUFAA ya JAMII na familia yake.
@زيتونتنزانيا
@زيتونتنزانيا 3 жыл бұрын
Niwewe unagejua hivyo
@زيتونتنزانيا
@زيتونتنزانيا 3 жыл бұрын
Ssi wanawake wa hivi htupatagi watu sahihi ila wale wakudanga wanabahati
@annajustin1945
@annajustin1945 3 жыл бұрын
Kwa kweli mahusiano yanaumiza pole Sana dada mrembo..endelea kung'ang'ana na Mungu wa Mbinguni ipo siku utashuhudia anguko la huyo mwanaume..kwani kiendacho kwa kuzunguka hurudi kwa kuzunguka
@ruthkyando9878
@ruthkyando9878 4 жыл бұрын
Pole sana mdogo wangu Endelea kusimama na MUNGU
@abigaelbukuru273
@abigaelbukuru273 4 жыл бұрын
Umenikumbusha mengi sana nilipata ujasri wa kuacha kila kitu na mtoto wangu namuudumia mwenyewe nimeshinda namshukulu sana MUNGU.
@josephmusagasa5566
@josephmusagasa5566 4 жыл бұрын
Achana na hilo vazi la juu pia,siyo mapenzi yake Mungu wetu,ni mambo mchache tu unakuwa vema,nimeipenda hiyo ya wanaume kuomba pesa kwa wanawake na wanawake mpo chonjo,hahahaaaa,safi sana
@yahyamkone5601
@yahyamkone5601 4 жыл бұрын
Jamani sisiwanaume kiukweli tuwe na hulumaa wanawake ni matunda yetu mungu ametubarikia Sasa tusiwanyanyase tuwaleevizuri pole Sasa dada kwa mkasa uliyokupata
@jasmineshechambo3401
@jasmineshechambo3401 4 жыл бұрын
Kabsaaa jmn nyieee
@doubler923
@doubler923 3 жыл бұрын
Usijali Kwan wanaume ni kama panya kuuma na kutuliza. Pole Sana
@aminaabdallah4722
@aminaabdallah4722 3 жыл бұрын
Dada hongera Sana kwa ujasiri huo wengine wadada hawawezi kufanya hivyo na uvumilivu huo pambana na mtoto wako mengine mapito tu.wanaume wa Leo sempo ni moja .
@heavenlightm9127
@heavenlightm9127 9 ай бұрын
Nimekusaidia kumtukana huyo mwanaume my😂😂😂 nmesikia hasira aisee
@liliandavid2553
@liliandavid2553 3 жыл бұрын
Hofu ya Mungu ni kila kitu.....you have God, you have everything..... Mungu akubariki my dadaa
@lovembwana4786
@lovembwana4786 4 жыл бұрын
Asante Millard ayo updates I learn something
@janemaya8470
@janemaya8470 4 жыл бұрын
Me pia mwayaaaa nimejifunza.
@macklinachangamike5412
@macklinachangamike5412 4 жыл бұрын
Mungu akusaidie wewe no malkia was nguvu na huwezi kung.angsnia pasipo pendeka
@linahsemindu4261
@linahsemindu4261 3 жыл бұрын
Yan pole mdg angu na kuokoka kumekusaidia lait ingekuwa mm nisingehangaika angerud n mm ningetoka mbwai mbwai
@linahsemindu4261
@linahsemindu4261 3 жыл бұрын
Huyo Kaka kqlaaniwa na hii crep itakuwa kumbu kumbu kwake hd mwisho w maisha yake hayo machoz hayaend bure😢
@naamohamed9964
@naamohamed9964 4 жыл бұрын
Kwakwelii wanaume wanaongoza kunyanyasa wanawake lkn Mungu yupo kila mmoja atavuna alicho panda
@agnesymkimbilile5395
@agnesymkimbilile5395 4 жыл бұрын
Inauma lakni
@ruthanunda8810
@ruthanunda8810 4 жыл бұрын
AMEN beurful gal.You did your best don't regret God is going to provide you a man who will throughly luv you an appreciate your love Ur my role model.I salute u.
@paskiislaa5592
@paskiislaa5592 4 жыл бұрын
Poleee sanaàa my dear, mungu akutie nguvu mamy
@colinaemanuel5935
@colinaemanuel5935 4 жыл бұрын
Pole sana mungu akufungulie milango ya baraka mpaka ashangae
@everjohn833
@everjohn833 4 жыл бұрын
Unanguvu, una Mungu ,wewe ni mshindi tunakupenda simama na Mumgu mpendwa.
@captendunga1392
@captendunga1392 4 жыл бұрын
kama unaamini huyu dada anaakili kuliko mijanaume mingi hapa mjini tujuane.
@meshajoni5662
@meshajoni5662 4 жыл бұрын
Yawezekana nawe nimwanamke Arie katatamaa
@captendunga1392
@captendunga1392 4 жыл бұрын
@@meshajoni5662 kumamako.
@meshajoni5662
@meshajoni5662 4 жыл бұрын
@@captendunga1392 anamzdi akili babako pumbafu sanaa
@NAMNYAKIKISSIRI
@NAMNYAKIKISSIRI 10 ай бұрын
Pole Mwaya duuuuu mimi aje asije achelewe asichelewe inamhusu yeye cna huo mda
@elibarikiskawa7918
@elibarikiskawa7918 4 жыл бұрын
Mungu atakujalia tu ,pole ila nacho kusifia kiukweli ulikuwa na upendo kwake pia ni mwanamke unaye jielewa na kujiamini wanawake kama ww mpo wa chache sana kikweli nisingekuwa nimeowa ningekuja kwenu na kkuvalisha rings, mungu atakujalia utapata ambaye ni sahihi kwako na mengi umesha jifunza kwahiyo hawata kusumbua polee sana.
@rahmakatotok3489
@rahmakatotok3489 4 жыл бұрын
Pole sana dada hii nistor yangu kabisaa
@furahinikisapi9987
@furahinikisapi9987 4 жыл бұрын
We Dada ni mzuri jamani had nimetokwa machozi ila usikate tamaa mungu anakuandalia Wa kufanana nae,,,! Nakupenda sana!
@mdmansoor9920
@mdmansoor9920 4 жыл бұрын
Pole xana dadangu mm yalinikuta hayo we simama na mungu tu haachi muja wake
@zainabumbondei8635
@zainabumbondei8635 3 жыл бұрын
Pole sana kaka kwakweli inaumiza sana
@0784994454
@0784994454 4 жыл бұрын
Dah pole sana sister history yako imenihuzunisha we nishujaa, bahalia mwenzangu kaniangusha
@zakiamsafiri123zakiamsafir7
@zakiamsafiri123zakiamsafir7 4 жыл бұрын
Uyo fala angenipata mimi zamani ningesepa zangu pole dada rizki yako ALLAH atakupa
@neemambulinyingi3351
@neemambulinyingi3351 4 жыл бұрын
Unachoongea ni kwel
@mabyserolouchcraig2431
@mabyserolouchcraig2431 4 жыл бұрын
Nimecheka kwa sauti ujue😂😀😀
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 4 жыл бұрын
Sema we...mie ningemchekeshs
@vailethcharles9113
@vailethcharles9113 4 жыл бұрын
Na ndo maana ajakupata ww 😁😁😁
@shanishosho911
@shanishosho911 4 жыл бұрын
Hahahahaha
@pettyjongera1295
@pettyjongera1295 4 жыл бұрын
Hayo ndo maisha yangu hadi sielewi hawa viumbe ni binadamu wenzetu kweli,,,,inauma,,pole sana mdada
@alumonkisinda4574
@alumonkisinda4574 4 жыл бұрын
Pole
@aishahassan4142
@aishahassan4142 4 жыл бұрын
Pole sana dada nime jifunza kitu muhimu sana kutoka kwako una subra sana nina imani utapata alie bora zaidi
@neemamwanga4910
@neemamwanga4910 4 жыл бұрын
Mmmmh dada kumbuka magunia mawili ya mkaa, kimara ndio bado ya Moto kapigwa utosini na kitu kizito, 2020 Mambo ni mengi dada maamuzi mazuri tuoambane wanawake tulee watoto wetu
@dianamagongo8303
@dianamagongo8303 4 жыл бұрын
Da kisa icho chahuyo dada kimenikumbusha mbali sana namim yalinikuta tuzidi kumwomba mungu wetu
@wonderwomentv6000
@wonderwomentv6000 4 жыл бұрын
Wilaya ya kahama Kuna mkaka kamuua mkewe Kisha akajinyongA jana usiku
@jescajulius8023
@jescajulius8023 4 жыл бұрын
Hahaha ata mm nmempongeza ya nn kujifia na kuacha wazaz wako kweny majonzi?
@asmarashid743
@asmarashid743 4 жыл бұрын
Wanawake tunaupendo sana wanaume ndo mnatufanya tubadilike.
@raymondjoseph4458
@raymondjoseph4458 4 жыл бұрын
Tusameheni
@abdullahhashimu2380
@abdullahhashimu2380 3 жыл бұрын
Mtuvumilie lakini kwa mume wa ndoa
@radhiaomary5591
@radhiaomary5591 3 жыл бұрын
Kweli asma
@angelinasimchimba705
@angelinasimchimba705 4 жыл бұрын
Jaman wanaume tuache umalaya hivi viumbe ni vizuri sana embu fikria tunawapa mimba,wanatuzalia watoto na bado tunapewa watoto
@aloycemasele7236
@aloycemasele7236 4 жыл бұрын
Wwe ni wa aina yako aisee
@nkeshigomegwa1686
@nkeshigomegwa1686 4 жыл бұрын
Wanaume wanaume inaumiza vibaya mno mimi kwa niliyopitia coz of u men sitamani ata kusikia uwiiii
@gladysmghoi5918
@gladysmghoi5918 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣mnatupa mimba sio
@gaudensiamganga1695
@gaudensiamganga1695 4 жыл бұрын
Hakika Uyu Mungu ukimwomba anajibu japo ss tunaweza jua tuko mahal sahihi lkn sio sahihi. Ata mm niliomba Mungu anisaidie nikamwambia mm nimeacha yote nimekufta Yesu kwann niaibike na nikae ktk mateso, wakati umesma ktk neno lake atakae kwamin akakutumikia utamweshi. Niliombad Mungu na nikaweka maojiano nae nashkuru akuniacha akajibu. Nikapata upenyo alitamka yy mwenyewe km nikienda kuomba kanisan nisirud nionde, skuacha kwnda kusal nilienda nae akachkua maamuz,yake,nilitoka sikuchkua ata kijiko wala kitu chchte zaid ya nguo zangu na wanangu,,japo nilianza maisha mapya magumu Mungu akuniacha alinipa nguvu mpya nikajishuulisha na leo nalala sehem nzuri na wanangu maisha yanaenda biashara imekua na naendelea kumtumikia Mungu wangu. Wanawake tunapopitia ktk magumu tuombe Mungu anajibu nae anatujulisha km ni mahal sahihi atakusaidia km si sahihi napo atakupa Maono ya kujua nn ufanye
@azizasikalwanda7663
@azizasikalwanda7663 4 жыл бұрын
Poleee my love Mungu ni mwema naomba no zako
@aminaissa9756
@aminaissa9756 4 жыл бұрын
Heeeeh....yangu haikua fathers day, nilikwenda Police nikaenda Hospital nakamalizia Mourntuary kumbe mwenzangu kalala buheri na mpenzi mwingine alipo rudi nyumbani nilijibiwa haina haja yakukuficha jua uko na mwenzako ukiweza keti huwezi nenda kwenu lakini ucfikiri ukienda nitakufwata maana cjakufukuza....yaani unaishi na mwenzako ukujia lake lako, lako lake kumbe sio hivyo na nilikua na watoto watatu.....Alhamdu lillah likuepukalo lina kheir na ww. +254
@obejamussa336
@obejamussa336 4 жыл бұрын
Zawadi pole Mdogo wangu ni victor ndo kakufanyia hivyo siamini mlivyokuwa mnapendana nitamtafuta mwehu huyu
@veronicacharles9197
@veronicacharles9197 4 жыл бұрын
@@zuwenahussein4241 hehe
@horestsawaya8384
@horestsawaya8384 4 жыл бұрын
Inakuhusu nn sasa?
@kenyalatelyupdatestv9770
@kenyalatelyupdatestv9770 3 жыл бұрын
huyu dada ni mrembo and mzuri sana, wanaume ni shida gani hutufuata?!!
@nativeinfotv9620
@nativeinfotv9620 3 жыл бұрын
Kweli wengine wana shida sana
@peterdavid4230
@peterdavid4230 3 жыл бұрын
Ndg yangu kiukweli uzuri wa mtu sio ticket ya yeye kuweza kudumu kwenye ndoa ujue kwakweli kwenye ndoa kuna mambo mengi baina ya watu wawili
@marynyange8478
@marynyange8478 4 жыл бұрын
Wewe n mwanamke jasiri mno, ila nimefurahi sana kwa kumjuwa mungu katika maisha yako naye atakupigania kwa kila jaribu unalopitia
@suzanemwangingo6932
@suzanemwangingo6932 4 жыл бұрын
Pole Sana mdogo wangu
@valenakomba4453
@valenakomba4453 3 жыл бұрын
Pole sana, lakini wewe ni moja kati ya Wanawake mashujaa. Ubarikiwe sana.
@lilyankitkat5331
@lilyankitkat5331 4 жыл бұрын
Jamani atakaeona mimi mjinga kwa Nini sitaki kuolewa, Ni mambo Kama haya ,mara huyu kauuwa mke mara huyu kafanya hivi jamani hapana, forever I'll be alone not married, na usifosi mapenzi maana mwisho wa siku lipo Jambo litakukuta, hili ni fundisho. Hata chembe ya haya hakuwa nayo jamani unajua mkeo kateseka kwaajili yako hali, halali kisa wewe,alafu bad una kuwa na nguvu ya kumuacha. Lol mwenyezi mungu simama na sisi, sitaki kabisa kusikia maswala ya ndoa,ila Mimi nasemaga nikipata mwanaume wa ivyo lol atajuta why alikuwa na mimi, lilyan from Kilimanjaro Tanzania 🇹🇿
@elisanteabraham3249
@elisanteabraham3249 4 жыл бұрын
GOD THE FATHER IS WITH YOU BE COURAGEOUS. WEWE NI MZURI UTAPATA ALIYE WA KUSUDI LA MUNGU BABA
@upendoeliudi5196
@upendoeliudi5196 4 жыл бұрын
Pole na hongera kwa kua umeshinda vita hio wewe kaa na Mungu ata kupa mwingine
@emilianaemmanuel1949
@emilianaemmanuel1949 4 жыл бұрын
amina dada adi nimelia nimekupenda xana
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 4 жыл бұрын
Pole sana mpenzi, wanaume Mungu anawaona
@subiradalabu6616
@subiradalabu6616 4 жыл бұрын
Saumu hassan nimekuona 👍👍👍
@queenjumbe4771
@queenjumbe4771 4 жыл бұрын
Pole saana Mungu akubaliki Sana ipo siku utajibiwa
@pesananetweve1400
@pesananetweve1400 4 жыл бұрын
Pole Dada, wanaume wrote bb mmoja
@zuwenajuma2927
@zuwenajuma2927 3 жыл бұрын
Naomba no ya huyu Dada aliyopitia yangu nimara 4 zaid nilitoka nasasa nimesima upya ,kumtegemea Mungu kunafaida
@babymansouth1164
@babymansouth1164 4 жыл бұрын
INAUMAA KWA ASIELEWAAA AWEZI JUAA ATAKUONAA MJINGAA😥POLE DADA NIMEFURAH UMEAMKA USINGIZINIII UMESIMAMA NA BADO UPO IMARA MUNGU AZIDI KUKUBALIKI 👊💪
@adelinaulalemaalipemapepon119
@adelinaulalemaalipemapepon119 3 жыл бұрын
Pole Sana dada napia ongera kwamsimamo Mungu akutie nguvuu
@angeljasson4376
@angeljasson4376 4 жыл бұрын
Tupo wengi tumeyapitia haya ila Mungu anaendelea kutupigania💪
@angelapius7526
@angelapius7526 4 жыл бұрын
Sana tupo wengi
@lucykanuti6138
@lucykanuti6138 4 жыл бұрын
Pole dada hakika hayo tumetia wengi hadi kama mimi nimeamwua kuondoka ni shida sana kumpenda Mwanaume asiyekudhamini
@lucykanuti6138
@lucykanuti6138 4 жыл бұрын
Mwenyewe dada umzuli sana
@lucykanuti6138
@lucykanuti6138 4 жыл бұрын
Kweli dada hata mimi nimemsamehe kama mzazi mwezangu ila siwezi kuludiana naye nami nilimwuachia kila kitu ila Mungu yupo nasi anatupigania na Maisha yanaenda watuakuja kujuta hayo badaye
@mariajoseph3743
@mariajoseph3743 4 жыл бұрын
Kweli imenifanya nichukie wanaume paka leo bora niishi peke yangu dugu nao ni shida wewe muamini mungu mume mwema anatoka kwa mungu
@mapachunyi4830
@mapachunyi4830 4 жыл бұрын
Mmmh! Dada hongera sana una moyo mno,wewe ni mrembo sana Mungu atakupa amani huenda kupata mwenza mwingine
@hassanmassaga2476
@hassanmassaga2476 3 жыл бұрын
Vijana tushughulikie suala la uzinzi..wengi tunaishi kak zinaa ktk ujana wetu ni hatari ktk maisha yetu ya kiroho na kimwili pia... Kuna vitu ukizoea kufanya kabla ya ndoa amini kwamba utayabeba mpk kufa kwako usipomshirikisha MUNGU wako
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 6 ай бұрын
Kabisa kaka
@fransiskahubert7481
@fransiskahubert7481 4 жыл бұрын
Dada pole sana ukimtegemea mungu hakika hatakuacha kamwe
@maryluhaga3378
@maryluhaga3378 3 жыл бұрын
Pole Sana my haya mamubwa hayabebeki yani
@manaseelias2351
@manaseelias2351 4 жыл бұрын
Hongera Mungu ni mwema jipe moyo
@dianessswai285
@dianessswai285 4 жыл бұрын
Hakika uko sawa kabisa Mungu anakupenda pia kuna jambo zuri linakuja usikate tamaa
@nansikilovele1424
@nansikilovele1424 4 жыл бұрын
Achaaaa! Mie nilitaka kwenda kituo cha Polic kimara,mwisho,kumbe yupo sinza,madukan amelala vizur kwa mwanamke mwingine anaempenda zaid! Hahaaaa,namshukur mung ni miaka,8 sasa maisha yanaendelea,wanaume wameumbiwa tamaaaaaa,!
@naomilaizer7850
@naomilaizer7850 3 жыл бұрын
Naomba nikupe hongera Dada ujasiri unatakiwa ktk kufanya maamuzi pole kwa kuvumilia hupaswi kulaumiwa wanawake tumeumbiwa kitu hicho songa mbele bado mdgo na mzuri sana na una akili kama mchwa
@fatmazullu4933
@fatmazullu4933 4 жыл бұрын
Yeah ni kusepa tuu kuliko kusubiri umauti ukukute ndo ufala, kupenda gani kwa upande mmoja! Nashukuru Mungu amenipa moyo wa ujasiri
@christinmulongo8483
@christinmulongo8483 4 жыл бұрын
I am watching from Bahrain country my sister unasema ukweli mungu akubariki Sana 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@gracestanley7040
@gracestanley7040 4 жыл бұрын
Naomba namba zako dada mm Ni Kama wew japo nilikua sijaolewa nae lakin changamoto n nying mtu anakuoneshea live ukimwambia unapigwa ww Sasa hv nakomaa na maisha yangu mungu Ni mwema maisha yanasonga
@calvinpaul2171
@calvinpaul2171 4 жыл бұрын
Polee
@nasramartin4918
@nasramartin4918 4 жыл бұрын
Mdogo wangu unahekima sana,nimekupenda mungu ni mwema ataendelea kukupigania
@jennytugara9470
@jennytugara9470 4 жыл бұрын
Na Mungu alivyo mwingi wa rehema sasa Mambo ndio yanakunyookea imenitokea trna tangu nimeondoka nimengara kama nyota na sikuondoka hata na sindano ya kushona Utasimama keep it up kumrudia ni kosa.
@saimonijonas4356
@saimonijonas4356 4 жыл бұрын
Kuna aina mbili ya mateso katika maisha ya mwanadamu.1.kukosea kufanya mambo yako kwa kutokujua.2 kujua na kutokujali hali ya baadae kwa kujiangalia ulivyo.Kwenye mahusiano wengi sana wanaumizwa kwa kutokujali hali ya baadae kwa kuangalia hali ya sasa kwa sababu mtu anajiona ni mtu fulani wa hali fulani na siwezi kuwa na mtu hali ya chini,hata kama ni mtu sahihi kimaadili,amabe anathamini utu wa mtu,anaupenda moyo wa mwenzake kama wake,jinsi hataki moyo wake uumie ndivyo hataki wamwenzake uumie.Tatizo mahusiano ya kimapenzi yaletayo maisha ya ndoa yamekuwa ni yatamaa sana kuliko uhalisia wa maandiko matakatifu.Yamekuwa ni maisha yaletayo hofu mashaka nawasiwasi kubwa.Watu sasa wanaogopa mahusiano namaisha ya ndoa kuliko kitu chochote.Dada pole,mahali ulikosea umejifunza,najua sasa umekuwa mwalimu mzuri wa mahusiano nakuwaelimisha wengine.Jipange muombe Mungu atakutafutia mtu sahihi wa maisha yako.Epuka kuchagua kwa akili yako mtu wa kumkabidhi nusu ya amani yako yamaisha.Mshirikishe Mungu kwa kila jambo.
@francinenahimana7289
@francinenahimana7289 4 жыл бұрын
Wew ni mwana mke jasili mungu azidi kk baliki sana sana
@therealbriannoel7389
@therealbriannoel7389 4 жыл бұрын
Very strong woman God bless you mami🙏🏻
@mackmillan2803
@mackmillan2803 4 жыл бұрын
Hongera Dada Endelea kumwomba Mungu,,Amekupa hekima Atakupa na vingine vingi,,Amen
@katotokazuri7412
@katotokazuri7412 3 жыл бұрын
Pole Sana mpnz yamrtukuta wengi acha tuwe MA single mother's
@faridaessa7844
@faridaessa7844 4 жыл бұрын
Pole Sana mdogo wangu tuko wengi
@suzankasile484
@suzankasile484 4 жыл бұрын
Duuu inauma kweli tupo wengi
@asmaaalike1240
@asmaaalike1240 4 жыл бұрын
Jaman wanawake tuombeane huyu dada Kama kasimulia maisha yangu
@merinamyinga7673
@merinamyinga7673 4 жыл бұрын
Umenigusa mm ndio nateseka hapa hadi kwawasichana wangu wakazi inauma sana wanawake Mungu atusaidie
@levinaemanuel3979
@levinaemanuel3979 3 жыл бұрын
Pole my dear Mimi na wewe mkasa wetu mmoja ila pambana mungu yupo
@janemaya8470
@janemaya8470 4 жыл бұрын
Nimependa kauli yake alivosema alivomuomba MUNGU napenda kauli zake anaonekana anajielewa sanaaaaa .
@tanzanianchiyangutaifalang8376
@tanzanianchiyangutaifalang8376 4 жыл бұрын
Mapenzi ni kitu cha ajabu sana. Mtu yule ambaye wewe unampenda sana yeye hakupendi.. yule mbaye wewe humpendi ndio anayekupenda sana. Mimi nilikuwa na binti nampenda sana.. nilikuwa tayari kumuoa.. nilijitahidi kumfuatilia zaidi ya miaka miwili ila hakunielewa. Nilikubali matokeo. Siku zilivyozidi kwenda ndio hamu za kufanya mapenzi zilivyozidi kunisumbua.. Sasa siku moja ilinilazimu nitafute mwanamke wa kufanya naye mapenzi tu halafu kila mmoja aendelee na yake.. nilitafuta na kweli nilipata huyo mwanamke.. yeye alinikubalia ombi langu akijua amepata mchumba ambaye atamuoa.. kumbe sivyo. Alianza kuwa ananitembelea kwangu kwa ajili ya kupeana mapenzi.. tuli enjoy kwa kipindi cha mwezi mmoja.. yeye akiwa hajui lengo langu.. mwezi mmoja ulipopita...Kuna siku alinitumia sms alisema siku zake zimepitiliza.. hivyo anahisi ana ujauzito. Nilikubali.. nilikuomba tuende hospital kupima na kweli alikutwa na ujauzito.. sikukataa mimba. Nilianza kutunza vizuri kabisa.. ila moyoni nikijisemea huyu mwanamke simpendi nilimfuata kwa ajili ya kumaliza hamu yangu tu. Sasa nitafanyaje amepata ujauzito wangu? Moyo hautaki kumuoa..pia sitaki nimwambie sina mpango wa kumuoa maana nilihisi angetoa mimba. Ni kweli alikuwa ananipenda.. ananiheshimu na kunisikiliza.. alikuwa mpambanaji.. ila mimi sikujali hayo.. moyo wangu ulikuwa haumpendi.. moyo wangu ulikuwa unampenda mtu mwingine.. na huyo ninayempenda Mimi.. yeye naye mimi hanipendi.. halafu yeye naye anampenda mtu mwingine.. nayeye anakopenda hapendwi pia. Tuliendelea hivyo hivyo huku nikimjali na kumhudumia.. kila wikendi nilikuwa naenda nyumbani kwao au yeye anakuja kwangu. Kwa hali hiyo aliamini Mimi nitakuja kumuoa.. akaanza kufanya mikakati ya kuoana ila mimi nikawa nakwepa maana nilijua moyo wangu haumpendi. Muda ukazidi kwenda mpaka alipojifungua mtoto wa kiume.. alipojifungua ilibidi nimwambie ukweli japo nilijua nitamuumiza ila niliona bora nimuumize kwa kumwambia ukweli kuliko kumfurahisha huku moyoni sina upendo kwake. Nilipomwambia ukweli siyo siri aliumia sana... alifanya kila jitihada ili niweze kumuoa. Ila mimi niliamua kuwa muwazi na mkweli kwake.. nilimwambia moyo haukupendi.. kukuoa naweza ila ninachoogopa hutopata upendo kutoka kwangu maana sikupendi. Utateseka na kuumia moyo wako na pengine utajutia ndoa. Naona bora uumie kwa muda kwa mimi kutokukuoa wewe... Ili maumivu yakija kuisha umpate mwanaume ambaye atakupenda na atakuoa uwe mke wangu. Sisi kuwa wazazi isiwe kigezo cha kuoa kwa lazima huku moyoni mwangu sina upendo nawewe. Siyo siri hakuweza kunielewa.. namimi ndio nikazidisha msimamo wangu wa kutomuoa. Mwisho wa siku alikata tamaa akakubali matokeo. Baadae alipata mwanaume.. na sasa hivi kaolewa.. na mimi nilishapata mwanamke ninayempenda nimemuoa. Hivyo dada ulikuwa umependa sehemu ambayo hupendwi ndio maana case zilikuwa nyingi na wakati mwingine ukipeleka mashitaka kwa wazazi wake walikuwa hawakutilii mkazo. Nakupa pole sana kwa muda uliopoteza maana ni mwingi sana.. alikosea sana kwa kutokuweka wazi mapema. POINT YANGU KULINGANA NA SIMULIZI YA HUYU DADA.. UNAWEZA KUANZISHA MAHUSIANO NA MTU AMBAYE HUMPENDI UKAWA UNAMCHORA MWENZAKO. PIA UNAWEZA KUPENDA SEHEMU AMBAYO HUPENDWI ILA MWENZAKO AKAWA ANAKUCHORA TU.. MWISHO WA SIKU UKAJA KUMUUMIZA AU AKAJA KUKUUMIZA PAKUBWA.. WATU WENGI HUWA TUNAINGIA KWENYE MAHUSIANO NA WATU AMBAO HATUWAPENDI.. KAMA UPO KWENYE MAHUSIANO NA MTU AMBAYE HUMPENDI NA UKAONA MWENZAKO ANA NIA YA KUISHI NAWEWE.. YUPO SERIOUS NAWEWE ANAKUHITAJI KWENYE MAISHA YAKE NA WEWE HUMHITAJI.. NI BORA UKAMWAMBIA UKWELI NA KUMWEKA WAZI MAPEMA KABLA HAIJAWA TOO LATE NA SIYO KUMPOTEZEA MUDA MWINGI NA MAUMIVU JUU... UKWELI UNAUMA ILA MAUMIVU YATAPOA NA KUSAHAU... UKWELI HUMUWEKA MTU HURU..
@ramadhanikalungwana6809
@ramadhanikalungwana6809 3 жыл бұрын
Hakika mahusiano ni changamoto sana!!! Katika simulizi ya huyu Dada yangu,amemalizia kwa kusema Vijana wa sasa,na akatoa mtazamo wake kuhusu vijana wa sasa,kwamba uchumi vijana wa sasa unawasumbua,wanapenda sana mitelemko!!! Siwezi kumpinga,Ila kwa maelezo yake hili halikuwa tatizo baina yake na mzazi mwenzie!!hakusema km uchumi ulikuwa unawasimbua, ktk familia yao.Hivyo sababu aliyotoa mwishoni,si sababu iliyowaachanisha.Fanya utafiti,Masada wengi mnataka kuishi kwa kuiga,mnataka kuwatawala wanaume,kila kitu ninyi mnakijua ninyi na hasa ninyi mnaokwenda ktk haya makanisa ya kati!!! Mafundisho mnayopewa,hakika ndoa nyingi zitavunjika au zimeshavunjika .Maisha ya sasa ni tofauti na ya wazee wetu,leo Baba anaweza akapata kipato au akakosa!! Shida baba akose na Mama apate kipato,utasikia,bora tuachane,unanitegemea mm tu, manyanyaso lukuki!! Ushauri tuishi kwa upendo bila kubaguana na maneno machafu tuyaache!! Baba atakaa na mama atakaa na watoto wataionja furaha ya kuzaliwa kwao!! Asante!!
@nicospack3893
@nicospack3893 3 жыл бұрын
Umeongea ¹⁰⁰% kwanza mimi nina mchumba wangu na anasoma yupo chuo nasubiria amalize tufunge ndoa ila sasa nipo mbali naye kidogo na mimi nina hamu ya kufanya tendon la ndoa nilimpaga mfanyakazi mwenzangu sijamwambia mimi nakuoa lakini nimemtongoza na nikadet naye na alikuja kunipenda mwisho wa siku akaningangania yaani mpaka ananifuata nyumbani lakini nikamwambia sina hamu ya kufanya hiyo tendo kisa kumkataa tu akaendelea kunifuatili mwisho wa siku akawa anakuja nyumbani bila hata kuniambia inabidi nimwambie ukweli bwana mm sikupendi ila tu nilikuwa na hamu tu ya kufanya mapenzi na mm nina mtu wangu kabisa basi alilia sana lakini sikumjali mwishoni nikamwambia msamaha yamaisha
@happykajeli5453
@happykajeli5453 4 жыл бұрын
Pole sana dada si ww peke yako ni wengi tumepitia mateso hayo kwa kweli inauma lkn mungu akifunga njia moja hufungua nyingine
@zennakailo8106
@zennakailo8106 4 жыл бұрын
Mapenzi yasikie km ivyi lakini yasikukute yaaaaani utaomba Aridhi ipasuke uingie RIP Mapenzi 🤨🏃‍♀️
@aloycemasele7236
@aloycemasele7236 4 жыл бұрын
R.I.P tena sana
@juliethhouseofdesigns147
@juliethhouseofdesigns147 4 жыл бұрын
Kabisa
@gloryjulius1108
@gloryjulius1108 4 жыл бұрын
Kabisa asee
@ellyitete938
@ellyitete938 3 жыл бұрын
Matam Sana ukijaliwa
@bettysantossteven1048
@bettysantossteven1048 4 жыл бұрын
Pole dada angu mungu atasimama pamoja nawewe kwanza nimeshtuka kukuona sikutegemea
@lempuruksamwel7738
@lempuruksamwel7738 4 жыл бұрын
Dada Mungu akubariki ,ww ni mke wa nguvu utasimama tena.
@seifmohdtz
@seifmohdtz 3 жыл бұрын
Safi Sana my sister
@happinesskisasi4454
@happinesskisasi4454 3 жыл бұрын
Pole sana my sistr
@zeddybass6672
@zeddybass6672 4 жыл бұрын
Kosa kubwa katika dunia hii ni kumwamini mtu Basi .kuke kanisani huwa tunaimba asiebadilika ni Mungu tu.binadam anarangi nyingi Kama kinyonga 😭😭😭
How Strong Is Tape?
00:24
Stokes Twins
Рет қаралды 96 МЛН
СИНИЙ ИНЕЙ УЖЕ ВЫШЕЛ!❄️
01:01
DO$HIK
Рет қаралды 3,3 МЛН
Malaysia's Minister Says Growth Set to Surpass 5% in 2025
28:42
Bloomberg Television
Рет қаралды 33 М.
MTANZANIA ANAELIPWA KWA KUCHOMA MAITI ZA WACHINA TANZANIA
15:04
Millard Ayo
Рет қаралды 299 М.
Why Chrysler Has Nearly Disappeared
12:40
CNBC
Рет қаралды 503 М.
How Strong Is Tape?
00:24
Stokes Twins
Рет қаралды 96 МЛН