No video

"Nilikuwa natamani kupata mume ambaye atanijali na kuniheshimu" - Madam Flora

  Рет қаралды 140,562

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Moja ya stori ambazo zinatengeneza headlines katika siku za hivi karibuni ni kuhusu muimbaji wa muziki wa Injili Flora ambaye alikuwa mke wa Emmanuel Mbasha kubadili jina.
Muimbaji huyo sasa amewataka mashabiki wa muziki wake kumtambua kwa jina la Madam Flora ingawa amekiri kupata tabu sana kabla ya kufikia uamuzi huo wa kubadilisha jina ambalo lililikuwa limezoeleka kwa wapenzi wa muziki wa Injili ndani na nje ya Tanzania.
Ayo TV na millardayo.com imepiga stori na Madam Flora ambapo mbali na kuelezea ujio wake mpya akiwa na jina mpya, ameelezea pia mipango yake kuelekea ndoa yake atakayofunga mwishoni mwa wiki.

Пікірлер: 213
@issasalum1546
@issasalum1546 7 жыл бұрын
Hivi nyinyi wakristo si huwaga mkioana hamuachani milele sasa inakuaje leo unavunja sheria ya dini yako.?kuna kitu nimenot hapo kwamba weee frola unatumia kivuli cha dini kupata pesa lakini moyoni mwako haupo hivyo umemzalilisha sana mumeo na mtumishi wa mungu hayupo hivyo mi naona hauna tofauti na shilole
@minzawalwa177
@minzawalwa177 7 жыл бұрын
kweli kabisa kwanza anamfundisha nn mtoto wao, mbona Mme wake katulia
@gracezachary2907
@gracezachary2907 7 жыл бұрын
Issa salum Tafadhali usitujumuishe. Usiseme "nyinyi". Yeye Flora amefanya yeye kama "yeye". Kumbuka wakati wote sio kila ajiitaye "Mkristo" ni Mkristo. MATHAYO 7:15-20. Na vilevile hakuna ndoa inayodumu "milele", hakuna kitu hapa duniani kinachodumu milele. Ndoa ni mpaka "KIFO" kiwatenganishe. Amuachaye mke wake au mume wake na kuambatana na mwingine, amezini.
@malimandege9948
@malimandege9948 7 жыл бұрын
ndugu yangu inasikitisha sana sana lakini hizi nt tamaa sana , sijau a sana lakini ukiona utagundua tu kuna tamaaa sana na nimuhukumu huyu mwanamke lakini ni malaya fulani , utaona Mbasha bado anampenda na ukiona hata katika mazungu mzo du mabaya sana na niseme hat huyu aluye naye ataacha tu
@kharidyblauda7046
@kharidyblauda7046 7 жыл бұрын
hawafai kuachana isipokua kwa sababu uashelat yaan kutoka nje ya ndoa au kuzaa nje
@rahmaanderson2621
@rahmaanderson2621 7 жыл бұрын
Issa salum uko sahihi sana
@furahaema6000
@furahaema6000 7 жыл бұрын
jamani acheni kumuukumu flora yeye mwenyewe joo anajuwa alicho kuwa nakipitia na mupaka aka amuwa kuachana na mume wake maisha ya ndoa siyo raisi
@estherkhotencia2232
@estherkhotencia2232 7 жыл бұрын
Soleil Neema we nawe usitudanganye APA, eti ndoa co rahisi!!! watu wanaoana kila siku. Ukiona hujadumu na mwenzi wako maana yake ur not meant 2 be with him or her.
@idrisakambi4594
@idrisakambi4594 7 жыл бұрын
Estherk hotencia
@fafi9092
@fafi9092 7 жыл бұрын
Mguu kwenye din mguu kwenye mambo yakidunia pole sana dada yangu mume alie timia mwenye sifa zote kwenye dunia hii utakesha
@sulleysuleiman4261
@sulleysuleiman4261 7 жыл бұрын
mh nimekubali zile nyimbo ulizoimb nizakwel adui wa MTU no wakalibu
@janethmollel9618
@janethmollel9618 7 жыл бұрын
Umehangaika weeeee mara sijui nani....mara Gwajuma...mara mmh!....then ukajidampo kwa dogo na kumwacha mumeo... Umelaaniwa
@mwajumasalehe1856
@mwajumasalehe1856 7 жыл бұрын
emanuel mbasha Mungu akujaalie mke mwema baba usikurupuke
@daudimkwela
@daudimkwela 7 жыл бұрын
Time is a Gentlemen because time has never lie to anyone and time is 60s, 60min, 24hrs, 365days to Everyone regardless your Poor or Millionare or Trionare. So Time will tell us on this One too. Hongera.
@annamawala4405
@annamawala4405 7 жыл бұрын
gress Vincent wewe ni mwanamke mungu anakuona
@jonathankiula8123
@jonathankiula8123 7 жыл бұрын
msichanganye ukristo na uflora, anachoongea Flora ni uflora siyo Ukristo
@priscadanny3367
@priscadanny3367 7 жыл бұрын
Jonathan Kiula hahaha uflora sio ukristo
@muhombonditije2263
@muhombonditije2263 7 жыл бұрын
Prisca Danny flora ni malaya kama malaya wengine na ni tako tu
@pendomtono8548
@pendomtono8548 6 жыл бұрын
Jonathan Kiula kabisa ufrola ni ufrola sio dini
@sostenesswai778
@sostenesswai778 6 жыл бұрын
Jonathan Kiula kabicaa
@mecsonreuben
@mecsonreuben 7 жыл бұрын
hizi dini hizi za maigizo haya bana
@iryncharlz2291
@iryncharlz2291 7 жыл бұрын
Tumefanisha history ila umenizidi kitu kimoja tu madame Flora mi ni binti bado, ila watu hawaelewi kitu kimoja: kuna wanaume wanajifanya kuwa na mapenzi ya dhati mbele za watu lakin kwa mlengwa wanaenda ndivyo sivyo, hali hii imewahi kunikuta naielewa saaaaana...nakupenda Flora ubarikiwe sana mama
@iryncharlz2291
@iryncharlz2291 7 жыл бұрын
Naamini siku moja nami nitapata mchumba anaenipenda kweli na sio kudanganywa
@pameladavid9299
@pameladavid9299 7 жыл бұрын
Na ijulikane ya kuwa Mungu hadhiakiwi chochote apandacho mtu ndicho atakachovuna, uliyemuacha hakika utamkumbuka, siku zinakuja dada angu ambazo utamkumbuka ninayokuambia, umelifanya JINA LA YESU KRISTO LITUKANWE,
@michaelnzyungu6101
@michaelnzyungu6101 4 жыл бұрын
Asiseme mapenzi ya mungu sema mapenzi yako na shetan ujinga tu
@user-de7nf8pp3w
@user-de7nf8pp3w 7 жыл бұрын
Fanya utakavyo mam naona watu wanakusakama wakat hawajui aibu ya mait aijuae mwosha
@gracenziavake2957
@gracenziavake2957 4 жыл бұрын
Kwa Nini hivyo !!! Waimbaji wa nyimbo za injili ! Sisi wadogo zenu kwa kweli tumeogopa!
@elitakamuge5312
@elitakamuge5312 7 жыл бұрын
huo ni ukahaba mubasharaaa
@estherkhotencia2232
@estherkhotencia2232 7 жыл бұрын
elita kamuge Hahahahah
@deograsiasbanda598
@deograsiasbanda598 7 жыл бұрын
dada angu sikufichi mume bora ni yule wa kwanza ambae mmehaswa sana kutafuta maisha lkn amini ktk hilo utamkumbuka sana Mr Mbasha na utakuja kujutia sanaaa dada angu mana.
@klausschmidt9288
@klausschmidt9288 7 жыл бұрын
Hebu muulize swali la maana acha brabra " ni kweli umezaa nje ya ndoa? "
@enitaelius1072
@enitaelius1072 6 жыл бұрын
Kweli malaya tu huyo
@furahaema6000
@furahaema6000 7 жыл бұрын
hoh my God alakini siyo kumutukana eti malaya sio vizuri jamani yeye ameishi naye mwaka mingi sana tu ila siyo kuwaukumu yeye ama mbasha waliamuwa kuasha so kama wewe mungu amekujaliya mume ama muke muzuri shukuru mungu Kuna ndoa zingine ni ndowano siyo ndoa tena na Kuna wengine wame barikiwa kweli sasa mwenzako anapo shidwa sio umuukumu
@enitaelius1072
@enitaelius1072 6 жыл бұрын
Ungekuwa unatafakali ungezaa watoto wengine nje, umalaya tu
@gloryshayo1399
@gloryshayo1399 7 жыл бұрын
jaman majaribu mengine inatakiwa uyakimbie kwa miguu yako cyo mpaka kifo kikukute na wakati unaweza kukwepa.keep it up madam flora.
@rotytitles3101
@rotytitles3101 7 жыл бұрын
Ajielew anaona yupo sawa anamtanguliza. Mungu lkn ajui jinx gan anamkosea Mungu pakubwa alichokiunganixha Mungu mwanadam awez kukitengenixha na anajua mkitengana hutakiw kuoa au kuolewa eti nae anamshukur Mungu aya jmn
@monikajuma9012
@monikajuma9012 4 жыл бұрын
Hiloo malaya baya
@juliethkahwa3047
@juliethkahwa3047 7 жыл бұрын
Kila mtu ni binadam na tusipende kumjaj mtu,kwa kile amekufanya kaona ndo kitampa Aman ya Maisha yake,so ukweli siku zote anaujua mtenda jambo na Mungu aliyetuumba.#Dont judge more no one is perfect.
@mirajiali7317
@mirajiali7317 7 жыл бұрын
nashangaaa anakwenda kuolewa wakati mume wake hajafanya wakiristo si mpaka mmoja afe hawaachaani wanatengana tu pesa jamani hizi zitatuingiza sana motoni
@estherkhotencia2232
@estherkhotencia2232 7 жыл бұрын
Miraji Ali ndio miraji huo ndo utaratibu kabisa wa ndoa ya kikristo. Na pia ndoa ilovunjwa na serikali hua haitambuliki na kanisa DAT means still ndoa ipo.
@carrenkapia3921
@carrenkapia3921 7 жыл бұрын
kwan ww n star?! jmn watu wanatafta kiki! et ameokoka jmn!!!
@sphrb1063
@sphrb1063 7 жыл бұрын
thanks Millard
@abineryantonykilulu954
@abineryantonykilulu954 7 жыл бұрын
ni bora ukawa mpagani tu unaidhalilisha dini
@sarafina6656
@sarafina6656 7 жыл бұрын
Mungu awaongoze
@linetgikenyi4613
@linetgikenyi4613 7 жыл бұрын
Ati na hiyo kipara yote unampenda kijana ya wenyewe mungu wangu unaitaji toba sio sawa
@josephinemlay626
@josephinemlay626 7 жыл бұрын
funzo LA hili ni .........
@gracedadu6635
@gracedadu6635 7 жыл бұрын
Jaman huyu c mkristo huyu n mflora:;plz:;cc wakristo hatunaga mambo ya uflora';ameenda kinyume na sheria ya Mungu.
@Renee-lh8nc
@Renee-lh8nc 7 жыл бұрын
Mungu akusamehe wewe dada
@upendorobert7298
@upendorobert7298 4 жыл бұрын
Yaani ww mwanamke kweli mbasha alikua hakujali, mlikuwa mbaning' inia kila mahali Leo hii ulitaka mume wa kukujali, Mungu anakuona. kwa hiyo Frola ulikua ha huyo dogo ukiwa na mbasha duuh
@brunovindallar1517
@brunovindallar1517 7 жыл бұрын
Hahahaha madam florah!!hawakujui eeh,kula maisha,maisha yenyewe mafupi,wavuruge,Dav na yeye akizingua mvuruge pia!
@issasalum1546
@issasalum1546 7 жыл бұрын
ok Grace nimekusoma na sikusema hivyo kwa wote ndomana nilishangaa sana kuona frola anafanya kitu kama hicho
@aishaali4513
@aishaali4513 7 жыл бұрын
Amemsahau mume wake Kwa short time duh
@rahmabenedicto4168
@rahmabenedicto4168 7 жыл бұрын
jamani mwacheni kila mtu na maisha yake yandani ya nyumba hamyajuwi yeye siyo mjinga
@victorkajiu1578
@victorkajiu1578 7 жыл бұрын
malaya wewe usituimbie gospel unauchafua ukristo sivyo ulivyo
@elitakamuge5312
@elitakamuge5312 7 жыл бұрын
mama zima ovyooo
@estherkhotencia2232
@estherkhotencia2232 7 жыл бұрын
elita kamuge hihihihih
@emmynachenga680
@emmynachenga680 7 жыл бұрын
kibiblia flora unaenda kuzini tu,mungu atakulaani
@twebekubyo2542
@twebekubyo2542 6 жыл бұрын
Nakuona madam Frola ndan ya Rocal beach Mwanza
@adsonmbosso1202
@adsonmbosso1202 7 жыл бұрын
Shemeji yako sasa hv anatokea mwanza.........!!!!huo ni sawa na uchangudoa acha kuimba nyimbo za dini tafuta vitu vingine
@mercykajuna3638
@mercykajuna3638 6 жыл бұрын
mnatudhalilisha jmn hivi Mungu atatuvumilia mpk Lin?
@happynes1exuperius232
@happynes1exuperius232 5 жыл бұрын
We siyo star hata kidogo
@annamhanje9254
@annamhanje9254 7 жыл бұрын
hakuna baraka Za mungu hapoo Wizi mtupu
@neemamwanga7300
@neemamwanga7300 7 жыл бұрын
acheni kukosoa dini ya kikristo sio sawa sote tu wamoja tunaoana na tunapendana
@neemasamwelik8580
@neemasamwelik8580 7 жыл бұрын
yaan huna chochote wewe ni sawa na kahaba maana tena mtoto wa familia ya kichungaji umemkosea sana Mungu yaan sijui hata utasema Mume wako amekufa au yuko wapi, umetuaibisha sana wakristo tena sana umetufanya tuwe na kipindi kigumu tunashindwa hata cha kujibu kwa wasiomjua Mungu
@marympochela7903
@marympochela7903 Жыл бұрын
Ukweli ndio huo, kwani wewe hukuomba wakati mnatafutana na mbasha? je ulikurupuka? Kumbuka MUNGU hana u-star, jipange na majibu ya kumwambia MUNGU Kama ujuavyo kwamba yeye anaona sirini na Kama ulimsingizia mbasha kwamba amebaka ili upate sababu ya kuachana naye, kazi kwako.
@zubeliaskulanga8852
@zubeliaskulanga8852 7 жыл бұрын
Jamani muacheni atafute kiki maana waswahili husema ukitaka kk lete lako jipya kwaiyo muacheni ni kkkkk
@georgemassebu2083
@georgemassebu2083 7 жыл бұрын
Huyu dada bhana.ngoja nitazame tu,unasem uliliombea hili swala,mala ya kwanza kwa Mbasha hukuliombea na MUNGU kukuonyesha?yaani dunia hii jamani....!!
@janethmakyao8168
@janethmakyao8168 4 жыл бұрын
Ema s mlikua mnacheza wote jukwaan alikua anakusaport Na kucheza wewe flora jaman
@ashaakidotkidotlyova2881
@ashaakidotkidotlyova2881 7 жыл бұрын
huyu dd shetani et anataja hadi mungu na Pete ya ndoa anayo wacha mungu atakulipa boya ww
@mohentv4666
@mohentv4666 7 жыл бұрын
wanawake bhana kweli hawaokokagi kabisa yaani wanawake duu mbasha wa fanya njia bwana Leo unayafanya haya ukija kuimba kanisa ntakalokuwepo natoka na sirud tena hapo coz ni ushetan
@fatwimamakungu5456
@fatwimamakungu5456 7 жыл бұрын
ijue uwisilamu wanajifanya awaupenda ila sheria zake wanazipenda tena moyoni wanaona ndio kuna raha saana katka dini ya kiisilam
@gracevicent1820
@gracevicent1820 7 жыл бұрын
Umalaya2 unakusumbua
@emanuelmbondo4598
@emanuelmbondo4598 7 жыл бұрын
Hapana,kwanini uishi maisha ya kuumia ?mwacheni afurahie maisha yake na wewe fanya yako.
@monicasanga9204
@monicasanga9204 7 жыл бұрын
Emanuel Mbondo wqnawake wengi wanapenda kuishi maisha ya kuigiza Na ndicho kinachowatesa....mbona mwanaume kidogo tu anakuacha Na mnaona poa.....wanawake tujitambue jamani.... kama ndoa imeahindikana tafuta Namba nyingine...badala ya kuutesa moyo...ndoa ni mioyo yenu Na sio makaratasi loooh!!!
@fbhj443
@fbhj443 6 жыл бұрын
Grace VICENT wala siyo malaya, kaolewa
@jaysballoh22
@jaysballoh22 6 жыл бұрын
Grace VICENT Umeona ee Yani Ni Shida Sana
@glorymushi2663
@glorymushi2663 5 жыл бұрын
Grace VICENT wala c malaya huwez jua alipitia nini eti.
@ernestmwasunga3021
@ernestmwasunga3021 7 жыл бұрын
Flola muogope mungu jua mungu anakuona
@mwaijaramadhani6662
@mwaijaramadhani6662 7 жыл бұрын
yani huyu dah hyo dudu mpya pia utaichoka yani ww ukishamchoka mwanaume hyo ndiyo staili yako ww
@carrenkapia3921
@carrenkapia3921 7 жыл бұрын
mwongo tu huyu! yan cjui lipoje hili
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 6 жыл бұрын
Kazi kweli kweli
@annaupendo4768
@annaupendo4768 7 жыл бұрын
Kwadunia ya sasa utatangatanga kamwe hutompata mwanaume wakukuheshimu milele rabda uwe umemzaa mwenyewe kwa sasa waona hivyo hatukatai ila kumbuka mapenzi nikama bigiji mwazo wake hua mtamu na huenda inapoteza ratha asikudanyanye mtu kitu kilichopo sio kutema maana utatafuna nyingi nimtazamo wangu tu.
@evvajohn9209
@evvajohn9209 6 жыл бұрын
ww mwenyewe unajihukumu mungu akusaidie tu.
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 7 жыл бұрын
Majanga tu haya.
@nessa4899
@nessa4899 7 жыл бұрын
Walio sema Gwajima amezaa na flora Haya mko wapi.
@joellipunge4593
@joellipunge4593 7 жыл бұрын
saved jackson wapo Tanga giza.
@adelqueen2049
@adelqueen2049 7 жыл бұрын
umeaibisha sana wakristu
@dainesszuberyguii6040
@dainesszuberyguii6040 7 жыл бұрын
Wewe frola sijui nikuiteje wewe Unajielewa kweliii hata sifahamu kwakweli kwani wee dini gani?
@consolatamedard1432
@consolatamedard1432 5 жыл бұрын
dainess zubery Guii yan mm atasijui uyu Dada kama anajielewa mana hana ata aibu mwenzetu
@shakilamasoud8979
@shakilamasoud8979 7 жыл бұрын
mwanamke wa kikiristo ....ndoa mara mbili? kha!. kwa hiyo mbasha alikuwa hakupendi na kukusapot?
@mjedengwapoizon8726
@mjedengwapoizon8726 7 жыл бұрын
duu! wanawake wengine mnabahati ya kuolewa we umepga addition lakini wengine bado game halisomi.
@jodeinjmj7843
@jodeinjmj7843 7 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭dunia imeisha sasa
@emmahowour2162
@emmahowour2162 7 жыл бұрын
Flora ulinunua huyo Mtoto wa mtu Daudi?Labda ni yatima wazazi wake wanaona hayo na macho?Flora laana na ikufate kutolea mtoto mdogo Suluali huyo kijana mdogo kuaribia maisha Enda ufanye kwa Bar hata haufai kuwa Mke wa Mtu heshima zilikwisha aliye kuzaliza inje ya Ndoa alikuruka ukaamua kuangukia kijana mdogo huyo unambaki sio penzi hilo.
@magepius7461
@magepius7461 7 жыл бұрын
Haaaa madam tayari unaolewa ndiyo maana hukutaka kumsamehe mumewako Emmanuel
@aroundtheworld4173
@aroundtheworld4173 2 жыл бұрын
We mwansmke mjinga, maandiko yanasema MKE ATAMHESHIMU MUME, wewe ulitaka mume atakayekuheshimu? Umekuwa mjinga kiasi hiki?
@idreamfoto
@idreamfoto 7 жыл бұрын
Ndio Shida Ya Kushobokea Wanaume Watanashati, We Kabisa Emmanuel Kijana Nadhifu Nawe Una Sura La Kibibi, Hukujistukia Kujiozesha Kwake? Angalia Sasa Wavunja Misingi Ya Dini Waolewa Mara Mbili Mbili
@merrysabina7798
@merrysabina7798 7 жыл бұрын
unanishangaza sana we Dada inamaana neno msamaha kwa mbasha lilikushinda?
@sophykasichana9334
@sophykasichana9334 7 жыл бұрын
we mwanamke una kasoro mshenzi mkubwa wewe hata huoni haya ..akuna baraka zozote zenye utapata kutoka kwa mungu
@apolinarytheking
@apolinarytheking 6 жыл бұрын
Dah 😢
@winfraysango9646
@winfraysango9646 7 жыл бұрын
mie ni mume pia,lakini naamini hakuna mume anaekamilisha kila kitu atakacho mke,lazima kdogo fulani kabakie ,ambako kana malizwa na mungu mwenyenwe.dada huu ni mfano mbaya sana kwa sisi watumishi wa kikristo.,uzuri wa mpya utaujuaje wakati kesho ndio ndoa inafungwa?ama yeye ndie ana sababisha kuvunjika kwa ile nzuri ya kwanza?
@mamapekupekupilipilimuwash9016
@mamapekupekupilipilimuwash9016 7 жыл бұрын
malaya ww sura kiatu huyo devi pia ata kuchoka uta kimbilia wapi
@poombwambo6342
@poombwambo6342 7 жыл бұрын
mama peku peku
@mamapekupekupilipilimuwash9016
@mamapekupekupilipilimuwash9016 7 жыл бұрын
naaam
@aikadonath812
@aikadonath812 7 жыл бұрын
Subscribe kwene KZbin Channel yangu kupata Fursa za Elimu na Ujasiriamali kila Wiki.
@rahmar4728
@rahmar4728 7 жыл бұрын
Aika Donath inaitwaje iyo channel yako
@aikadonath812
@aikadonath812 7 жыл бұрын
Aika Donath
@yosriyabahati21
@yosriyabahati21 7 жыл бұрын
Aika Donath tupe jina tukusubcrab
@aikadonath812
@aikadonath812 7 жыл бұрын
Yosriya Bahati Jina la Channel yangu ni Aika Donath.
@fatwimamakungu5456
@fatwimamakungu5456 7 жыл бұрын
Issa salum ilikua zamani ila sasa ivi iwisilam awautaki machoni ila moyoni mwao wa
@simatokakiha8894
@simatokakiha8894 7 жыл бұрын
ulimsoma Kwa miaka miwili??oooh we umejichanganya
@jodeinjmj7843
@jodeinjmj7843 7 жыл бұрын
anachoongea ni ugoro mtupu uliochanganyikana na madawa yakulevya kiufupi we frola umeaibisha sana dini yetu si ukristo wa hivyo utampenda kwa shida na raha yako wapi leo uliyoyaapa mbele yaumati wawatu na mbele ya muumba wako kwanza saizi huna jipya eti madam )madam wanani wew
@fanuelhamis3271
@fanuelhamis3271 7 жыл бұрын
frolah umemukosea sana mungu
@tummash1744
@tummash1744 6 жыл бұрын
Usjali dadangu bado wanaume mahandsome wapo ukitaka waeza geuza tena na twna😁😁😁
@ashaakidotkidotlyova2881
@ashaakidotkidotlyova2881 7 жыл бұрын
duuu www marayaaa dad duuu kwani mwenzio kaka
@winfraysango9646
@winfraysango9646 7 жыл бұрын
mdam wa shule gani hiyo?
@odilinadonald261
@odilinadonald261 4 жыл бұрын
Hana ukweli hata kidogo huyo dada muongo
@hawawezidianakukushusha756
@hawawezidianakukushusha756 7 жыл бұрын
hata Huyo anaekuowa asubiri kusalitiwa tu kama uliweza kuzaa nje na ukiwa ndani ya ndoa we ni kiboko ya wamalaya ajiandae tu na Huyo yatamkuta kama yalomkuta mbasha kama ana akili atafakali hilo
@enaimtanga6095
@enaimtanga6095 7 жыл бұрын
kanisa gani linafungisha ndoa ya pili jaman au Mchungaji gani huyo
@niceabdallah9344
@niceabdallah9344 7 жыл бұрын
Umetumia vigezo gani mpaka ukaoan madam is suitable for u? Afu iyo Amani anayozungumzia huyu dada sijaijua kwani mumeo alikuaga kero sana kwako eeh?alikuaga anakukura sanaa inaelekea ulimchoka mnooo 😒😒 aisee kama ni hvi ndoa🙌🏾
@habarizauhakika9376
@habarizauhakika9376 7 жыл бұрын
achana na Hugo mama gwajiboy.
@saidyndessa3921
@saidyndessa3921 7 жыл бұрын
Evar Samndeli kwamujibu wa biblia kunakuachana.
@boniphacemshigito2199
@boniphacemshigito2199 7 жыл бұрын
Mme unamhitaji unatakiwa ukamchonge .....au utengeneze roboti dadaa frola hakuna aliyemkamilifu umepotea kama umeshindwa kusamehe hapoooooo umefail kabisa hakuna kukwepa maana kusamehe ndo kila kituuuuuuuu
@kajromaganya3177
@kajromaganya3177 7 жыл бұрын
duuuuu,,,,kumbe MTU ndoa ikivunjia kwa sababu zisizo za kiuhai,kiakil na kiafya,,anaruhusiwa kuvaa shela tena???? eti niulize tena MTU hususan mdada ambaye kwa makusud amefanya ngono vya kutosha anaruhusiwa kufunga ndoa ya kibiblia kwa MTU ambaye hajawah kufany nae ngono?
@niceladeus1697
@niceladeus1697 6 жыл бұрын
poleeee jamaniiii
@oliverlyimo1972
@oliverlyimo1972 7 жыл бұрын
ulipokuwa na Mbasha ulikuwa ukizungumza haya ya sasa so huchelewi kumuacha pia.Mbn swala la mtoto wa pili husemi ni wa nani?
@imaaabeya4831
@imaaabeya4831 7 жыл бұрын
Haya hiyo shida na raha alisema tuuuu
@margarethsaramaki1100
@margarethsaramaki1100 5 жыл бұрын
Wewe huduma gani wakati ulishaolewa??? Huna hata haya kuongea
@tekeolomidemwendokasi7668
@tekeolomidemwendokasi7668 7 жыл бұрын
ashame the devil
@angeljohn1327
@angeljohn1327 7 жыл бұрын
duuh kama tamthilia za Mexico ramjer del mivider Babrida kuolewa na Valentino akamuacha akaolewa na Anthony ludofo ngoja niangalie mwisho wa tamthilia yako
@suzymunisi3603
@suzymunisi3603 7 жыл бұрын
kwanza hatujui kwanini flora ameamua kuolewa tena kila mtu anamaisha yake akiyoyachaguwa Kama leo angeowa mbasha je
@jesusisgood..3068
@jesusisgood..3068 7 жыл бұрын
Suzy Munisi hapo sasa..
@rhinaregina5806
@rhinaregina5806 7 жыл бұрын
no sio ivi utajuta waimbaji tizamenu hivo tunakuwa siku za mwesho
@michaelmtono9360
@michaelmtono9360 7 жыл бұрын
acha umalaya Wewe frolaaa
@monicasanga9204
@monicasanga9204 7 жыл бұрын
Michael Mtono acha kumhukumu MTU bwana....we ni nani hadi uhukumu
@joellipunge4593
@joellipunge4593 7 жыл бұрын
monica sanga sasa kama si malaya angezaa mtoto ambaye hana baba na angeolewa Mara ya pili?
@roseafrael6810
@roseafrael6810 7 жыл бұрын
Yani sijui mnatufundisha nn nyie waimbaji wa nyimbo za injili nashangaa unaolewa tena wakati mumeo yupo hai wakati Biblia takatifu hairuusu duuuuu!!
@tonnyford8196
@tonnyford8196 7 жыл бұрын
Ametema bigijiiiii kwa karanga za kuonjeshwa😆
@jackmarine8753
@jackmarine8753 2 жыл бұрын
Malaya kaaba shetani
@jelasnkoma4240
@jelasnkoma4240 7 жыл бұрын
kama ungekuwa mwema usingekomba vitu vya ndani kwenye nyumba ya mumeo
Look at two different videos 😁 @karina-kola
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 15 МЛН
Please Help Barry Choose His Real Son
00:23
Garri Creative
Рет қаралды 22 МЛН
❌Разве такое возможно? #story
01:00
Кэри Найс
Рет қаралды 2,1 МЛН
لااا! هذه البرتقالة مزعجة جدًا #قصير
00:15
One More Arabic
Рет қаралды 52 МЛН
INASIKITISHA! MBASHA ADAI KUKOMBWA KILA KITU NA FLORA
13:09
Global TV Online
Рет қаралды 399 М.
EXCLUSIVE: MUME MPYA WA FLORA AFUNGUKA BAADA YA HARUSI
10:30
Millard Ayo
Рет қаралды 348 М.
JINSI YAKUPIKA SAGA NOTI TAMU SANA #kenya #ramadhan
8:07
Hadija Sheban
Рет қаралды 132 М.
Look at two different videos 😁 @karina-kola
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 15 МЛН