EXCLUSIVE: MUME MPYA WA FLORA AFUNGUKA BAADA YA HARUSI

  Рет қаралды 348,489

Millard Ayo

Millard Ayo

7 жыл бұрын

Daud Kusekwa ndio jina la Mume mpya wa Mwimbaji wa nyimbo za Injili Madame Flora (zamani Flora Mbasha) ambapo ndoa yao wameifunga mwishoni mwa April 2017.
Baada ya kuona mitandao inavyosema na watu wanavyokosoa muungano mpya wa wawili hao, Daud amekaa kwenye AyoTV na kuzungumza Exclusive.

Пікірлер: 431
@saladaniel907
@saladaniel907 7 жыл бұрын
Jamani hizi ndoa zina mambo mengi sana kwenye huko ndani, watu wengi wanateseka kwny ndoa zao ila wengi wanaogopa kufanya maamuzi magumu kwa kuogopa watu, naamini flora ni mwanamke shupavu , jasiri, big up mumy songa mbele na usirudi nyuma
@mjedengwapoizon8726
@mjedengwapoizon8726 7 жыл бұрын
Mzee we jitwalie kimwana mambo mengine baadaye maake ukifuatilia sana mambo ya watu utakuta hata mimi hapa niliye comment hapa ninayo makubwa lkn hayaonekani
@fetilishazomar4799
@fetilishazomar4799 7 жыл бұрын
🙊🙊🙊🙈🙈🙈🙈🙈🙈Daudi Daudiiiiiiiiii biblia Unasoma Au Unasomewa??????? Nimeuliza2 🙆
@wemambaga3384
@wemambaga3384 7 жыл бұрын
hata kujieleza hajui
@bugumbaharrison3063
@bugumbaharrison3063 7 жыл бұрын
Fetilishaz Omar anasomewa huyo
@rahmaanderson2621
@rahmaanderson2621 7 жыл бұрын
Fetilishaz Omar 😂😂😂nimecheka sana swal zur sana
@racheljaphetic9260
@racheljaphetic9260 7 жыл бұрын
Bugumba Harrison 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 7 жыл бұрын
Fetilishaz Omar Umenimaliza. Anasomewa huyu ni wale wa Amen.😂😂😂
@ntuligwamwasongwe5684
@ntuligwamwasongwe5684 7 жыл бұрын
haaaa kumbe kunakulisit harusi makubwa, hizi madhabahu sasa zimekuwa uwanja Wa kuchezea mpira jamani Mungu atusaidie
@laini120
@laini120 7 жыл бұрын
umesema vizuri ndugu Daudi, kujulikana katika ulimwengu wa roho ndo muhimu kuliko katika ulimwengu huu. katika jambo kama hili, wausika pekee ndo wanaujua ukweli pamoja na Mungu baba. media sio ya kufuata.
@stanfordwiliam239
@stanfordwiliam239 7 жыл бұрын
Hauna Haya kijana, mmeliaibisha Kanisa la Mungu wewe na huyo maadam wako.
@jescajulius8023
@jescajulius8023 2 жыл бұрын
Kivip,ulirak waish kwa kuzini?
@gospalflavour7304
@gospalflavour7304 7 жыл бұрын
nafkiri ulitakiwa umshauri arudi kwene ndoa yake na sio ulivyofanya.. Mbasha anasema ana amani na wewe ila jua kama umechangia kuvunjika kwa ndoa tegemea uharibifu
@annyemashi5143
@annyemashi5143 7 жыл бұрын
Joel Justin Mhavile point kabisa
@msengimsengi5507
@msengimsengi5507 7 жыл бұрын
pia JAMAAA anasema anaelewa saikolojia,kama anaelewa kwann asimshauri atulie kwenye kwenye ndoa
@marysteven605
@marysteven605 3 жыл бұрын
Haribika mwenyewe,unalaan kama ww umekamilika,au ulichangia mateso kwenye ndoa yake ya Kwanza,
@lightnessjoseph5608
@lightnessjoseph5608 5 жыл бұрын
Wadamu mna mambo ivi nyie hamna makosa. Hamjui yaliyomkuta kazi midomo.tuuu Frola mtumishi wa Mungu songa mbele
@moodyhassany8928
@moodyhassany8928 7 жыл бұрын
hongera sna frola na mungu ndo shaidi wa kila jambo na yeye kila sku yupo kwenye mambo ndoa njema na kila heri
@dainesszuberyguii6040
@dainesszuberyguii6040 7 жыл бұрын
Mhuuuu hatareeeee tumuachiee munguu
@wakembetajaphary3648
@wakembetajaphary3648 2 жыл бұрын
Najulikana ulimwengu wa roho km. Umeskia maneno haya gonga like hapa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂huyu Mungu jmn tunamchukuliaje?
@lenathakichonko4587
@lenathakichonko4587 7 жыл бұрын
flora yupo sahihi Jaman mbona wanaume wanaacha ndoa zao nawanaenda kuoa nawanafunga ndoa misioni ajabu amefanya lamaana Sana
@minleon8606
@minleon8606 7 жыл бұрын
Hongera tena sana Bi Flora na Daudi.....shabik wako mkubwa kutoka kenya (my name sake Florence)
@dvjtwentyfivedecember4398
@dvjtwentyfivedecember4398 7 жыл бұрын
pole sana, akitoka kwako, ataenda kwa mwingine
@chachakorosso9410
@chachakorosso9410 7 жыл бұрын
congrats all is about God wishes
@janieanthony4821
@janieanthony4821 7 жыл бұрын
Hakimu ni Mungu anyway, wengne tunaongea tu!
@heaventvonline6791
@heaventvonline6791 7 жыл бұрын
wat a lovely song. jamanii...
@zurisana8068
@zurisana8068 7 жыл бұрын
he is cute and handsome.Congrats to the bride and groom.
@paulosadoi8309
@paulosadoi8309 7 жыл бұрын
hiyo ni mipango ya ibilisi
@alfredlimu308
@alfredlimu308 4 жыл бұрын
Ni kanisa gani jamani tujue
@aminanzeyimana3676
@aminanzeyimana3676 7 жыл бұрын
watu mjiulize hivi flora mpaka kumwacha yule handsome kuna nini pana neno hapo pia mapenzi hayana umri
@evelynodhiambo2818
@evelynodhiambo2818 7 жыл бұрын
he is very mature n intelligent l like him
@nargisabbas6454
@nargisabbas6454 7 жыл бұрын
maisha mema kaka mungu awatangulie
@eliamanigolitagolitamsengi9348
@eliamanigolitagolitamsengi9348 6 жыл бұрын
Hilo gari ni Second Hand na unajivunia. Umesoma saikolojia Chuo gani ndugu? Kama alishindwa kukaa na Emanuel Mbasha hata kwako atashindwa.
@poulwisdom8455
@poulwisdom8455 4 жыл бұрын
umeoa mke wa Mtu pole
@geofreysengi3666
@geofreysengi3666 7 жыл бұрын
Nyakati hizi za mwisho tutajionea mengi
@happymsaki1720
@happymsaki1720 4 жыл бұрын
Sio kidogo Ila kila unachopanda ndicho atakachovuna flora
@alfredlimu308
@alfredlimu308 4 жыл бұрын
Na madhabahu zimevamiwa pia
@metalcombat4470
@metalcombat4470 7 жыл бұрын
Nice song!
@stewartmillanzi1596
@stewartmillanzi1596 6 жыл бұрын
I really don't understand some Christians...it's driving me nuts.
@josephinemlay626
@josephinemlay626 7 жыл бұрын
nimependa tu nyimbo
@rashididaudi4516
@rashididaudi4516 7 жыл бұрын
Hongera sana kaka kamtunze uyo tena mkamate kwelikweli ajute kwann alichelewa kuwa nawe safiiiiiiii
@kelvinwainaina3744
@kelvinwainaina3744 7 жыл бұрын
Rashidi Daudi hahaaaa
@imanuelizakayo9851
@imanuelizakayo9851 7 жыл бұрын
Kaka ivyo ivyo utafanyiwa subiri
@meryjumanne6869
@meryjumanne6869 6 жыл бұрын
Waooo nimeupenda wimbo
@mercymichael799
@mercymichael799 7 жыл бұрын
Hata yesu alivyokuja dunian awakumkubali wote usiogope maneno ya watu songa mvele
@mariamshaib2965
@mariamshaib2965 7 жыл бұрын
acheni majungu Mwachien Mungu ndo anaejua.
@heaventvonline6791
@heaventvonline6791 7 жыл бұрын
wimboo upo wow
@saidipembe9341
@saidipembe9341 7 жыл бұрын
hongera sana Daud
@sophybenedict5706
@sophybenedict5706 7 жыл бұрын
hapa mi ndo sijaelewa......kwani Kuna kufunga ndoa tena baada ya kufunga na uliyefunga nae ni mzima yaani hajafa? watumishi wa Mungu ufafanuzi pliz I'm shocked with this .......wapi talaka ya alalishwa? .....mmmmmmmmmh!.... God help usv
@anetikapami4228
@anetikapami4228 6 жыл бұрын
Mbona wanafanana na Mbasha? du!! Dada hongera sana unajua kuchagua
@tummash1744
@tummash1744 6 жыл бұрын
Flora wajua kuchagua vyembamba waziiii!😁😁
@ayoubmwalyawa2824
@ayoubmwalyawa2824 7 жыл бұрын
hiyo ndoa ya kuzimu tu
@halimkepa7766
@halimkepa7766 7 жыл бұрын
hongeren mkaish kwa Amani
@pamelanabokolweojuma1964
@pamelanabokolweojuma1964 4 жыл бұрын
what you plant is what you will Harvest one day bro una laana Mbeli ZA mungu
@paschalmkutho4635
@paschalmkutho4635 7 жыл бұрын
mmmmmmnh!!! Mungu atusaidie sana.
@agnesslyatuu993
@agnesslyatuu993 7 жыл бұрын
hongera dada Flora na Daudi siri ya ndoa wanaijua wana ndoa.
@abbyshayoi5929
@abbyshayoi5929 7 жыл бұрын
ongela sana mungu amekupa ubavu wakweli mungu akujalie
@eunicemmcheleeunicemmchele4285
@eunicemmcheleeunicemmchele4285 5 жыл бұрын
Hiyo sio mipango ya mungu unamsingizia mungu hawezi kuvunja ndoa, na kumwacha m2 mwingine anaumia, huo ni ubatili mtupu
@jasirimkombozi4926
@jasirimkombozi4926 7 жыл бұрын
nice
@gladnesslevy3158
@gladnesslevy3158 7 жыл бұрын
Yetu 👀👀
@rispahongare9587
@rispahongare9587 7 жыл бұрын
KIJANA DAUDI UMEMUOA MKE WA MWANAUME MWINGINE. MUNGU ANACHUKIA TALAKA.NAYE HATA WAKATI ANAPOIMBA AJUE KUWA SHE IS AN ADULTROUS WOMAN.FLORA UMEPOTEA MUNGU WETU NI MUNGU WA MSAMAHA.KUKAA KWENYE HUDUMA MUDA MREFU SIO KUKOMA KIROHO.OKOKENI.
@johnignas179
@johnignas179 4 жыл бұрын
Kweli hawajaokoka ni mawakala wa shetani waliokoka hawapoivyo
@zaudatmakula3454
@zaudatmakula3454 7 жыл бұрын
hongera daudi maneno ya watu yasikupe shida watasema watachoka mwisho watakoroma achana nao
@zainabbukari1910
@zainabbukari1910 7 жыл бұрын
Zaudat Makula mdmg mmmmmmmm
@johnmhoja6878
@johnmhoja6878 7 жыл бұрын
pole daudi kwa kuoa chakudoa
@zaudatmakula3454
@zaudatmakula3454 7 жыл бұрын
john mhoja muogope mola wako jamani
@edgerchikondochikondo4990
@edgerchikondochikondo4990 7 жыл бұрын
ahahahahahha wozaaa
@kibasiwakibasi5070
@kibasiwakibasi5070 7 жыл бұрын
Zaudat Makula we we nawe ni walewala tu bila shaka umewahi kuachika, unatarajia kufunga ndoa ya pili linii?
@nchambinzugwa9367
@nchambinzugwa9367 7 жыл бұрын
Mungu anawaona
@moziidavchonchi3338
@moziidavchonchi3338 7 жыл бұрын
akuna cha hongera hapo ni upuuzi mtupu mungu anawaona
@emmamwingizi4407
@emmamwingizi4407 7 жыл бұрын
wow am amazed.! Kama mkristo wakristo wenzio watasema tu kuoa na kuachana mmh! Tena kwa mtumishi wa Mungu mmh ! Of course watu watasema na ni haki yao kusema! Kama mume wake alikosea na kuomba msamaha alistahili kusamehewa ndio ukristo. Usiposamehe Mungu naye hatakusamehe wewe makosa yako, hakuna aliye mkamilfu jamani anajuaje huyo mume mpya kama naye hatachepuka? Mungu aepushie mbali ataacha wangapi? Tukumbuke kila apandacho mtu ndicho atakacho vuna, na Mungu ni hakimu wa haki hapewi rushwa yeye.
@erastojoackim4195
@erastojoackim4195 6 жыл бұрын
Huu ni uzinzi, Mnadhalilisha imani ya kikristo.
@fafi9092
@fafi9092 7 жыл бұрын
Mungu ndio hakimu nakila mtu atabebe mzigo wake
@sevelinaignass3706
@sevelinaignass3706 7 жыл бұрын
hongela
@stellakiondo7283
@stellakiondo7283 4 жыл бұрын
Mhhh🤭
@suzanambaigwaakuinuemungua7069
@suzanambaigwaakuinuemungua7069 6 жыл бұрын
umetuabisha vzr hongera
@josephkisembe6663
@josephkisembe6663 7 жыл бұрын
Maisha ya ndoa n magum sana jiulize kwann mwenzio aliachwa.
@msengimsengi5507
@msengimsengi5507 7 жыл бұрын
kweli ajiulize
@mwanamutemi
@mwanamutemi 4 жыл бұрын
Kijana umeoa mtumba ! mtumba wa Africa ! wajua mtuma wa ulaya angaa una nafuu lakini mtumba wa kiafrica !!!
@irenelaswai9758
@irenelaswai9758 7 жыл бұрын
flora ajatulia kiruka njia kaka angalia nawew usije achwa ka mwenzie
@masaimollel8251
@masaimollel8251 4 жыл бұрын
Huyo ni shetan maana hakuna ndoa mbili mbele. Mazabao ya mungu
@stellakissinga3857
@stellakissinga3857 7 жыл бұрын
asee this guy.....
@user-gi1ez6fc1y
@user-gi1ez6fc1y 7 жыл бұрын
Hahahaaaaa kila m2 atabeba mzigo wake mwenyewe muwaache waowane💑💑💑
@oscamahanga7825
@oscamahanga7825 6 жыл бұрын
jamani Sisi binadamu sio mungu kazi yetu kubariki watu ikiwa ni la mungu litabarikiwa ikiwa sio mungu mwenyee hatalikubali kwa kuwa kinyume cha baraka nilaan
@inyanjebetty2536
@inyanjebetty2536 7 жыл бұрын
dada flo naomba uniambie aliye imba ,huo wimbo,,, furaha ya moyo wangu,,,unaniguza niambie tafadhali barikiwa
@angelalphonce2962
@angelalphonce2962 5 жыл бұрын
Kuna mtu aluwaza Sana akasemahataYuda tunaweza mkuta Mbinguni . Kwahyo Kuna Mambo mengine niyakutazana tuu Mungu ndie ajuae
@WapendaSoka
@WapendaSoka 7 жыл бұрын
BROTHER you're in love so dont talk much as if the whole world is upon you just pray ndoa yenu idumu mana naona changamoto ya Umri kama kitu kikubwa sna kwenye mahusiano
@linahcharles3981
@linahcharles3981 2 жыл бұрын
Mmmh kijana anakaa mdogo kushinda madam
@fotinata7181
@fotinata7181 7 жыл бұрын
Ila inataka moyo unaweza kuzimia kk mbasha mungu akupe uvumilivu
@jacobmakono389
@jacobmakono389 6 жыл бұрын
mbasha usihofu!jeuri ya huyo mke Mungu ataikomesha!
@idreamfoto
@idreamfoto 7 жыл бұрын
Mbona Bi Flora Wambemenda Dogo Huyo DAMN.
@kingyehoshafatitvbornerys2496
@kingyehoshafatitvbornerys2496 6 жыл бұрын
Hata uyo pasta a.k.a Tambi msenge tu na anakibarua cha kujibu kwa Mungu
@edwardkasubi1495
@edwardkasubi1495 6 жыл бұрын
Yeeaap ndio maana huwa Wanajiita WASANII wa Nyimbo za INJILI
@pamelanabokolweojuma1964
@pamelanabokolweojuma1964 4 жыл бұрын
ni uchungu sana bro
@musibra6645
@musibra6645 7 жыл бұрын
Hivi hawa kinadaudi wana nini???? jmn tukibarikiwa watoto tue waangalifu ktk kutoa jina. I think huu ni msimo wakina Daudi .............
@elizabethcharles3939
@elizabethcharles3939 7 жыл бұрын
Mus Ibra haha
@glorymushi9584
@glorymushi9584 7 жыл бұрын
anhahahaha
@siaelly5667
@siaelly5667 7 жыл бұрын
hahahahah
@wagirikipurestudiowps4989
@wagirikipurestudiowps4989 7 жыл бұрын
huyu sio daudi alie muua goliati bali huyu daudi atakaye uawa na goliati
@bettylozie9038
@bettylozie9038 7 жыл бұрын
Mus Ibra Nikweli
@shakilamasoud8979
@shakilamasoud8979 7 жыл бұрын
mhh daud .
@rosekhamis3511
@rosekhamis3511 3 жыл бұрын
Upuuuuuziiiii, wacheni kulitukanisha jina la Bwana.
@lydiahbhoke2284
@lydiahbhoke2284 4 жыл бұрын
Mungu anajua nani aliyesababisha heshima ya agano hili kufa let God judge them
@marydavid2882
@marydavid2882 7 жыл бұрын
Umebigi kweli Umepiga mbizi kwenye tope
@janethmunisi1466
@janethmunisi1466 7 жыл бұрын
mh
@heriwokovujacob9650
@heriwokovujacob9650 6 жыл бұрын
Mmmmmmmmmm Yesuu yuleeeee
@aminshaban9112
@aminshaban9112 7 жыл бұрын
nduuuuu eee bwana eee
@pamelanabokolweojuma1964
@pamelanabokolweojuma1964 4 жыл бұрын
be happy but one day you will cry like emmanuel
@ebenezermsuya3504
@ebenezermsuya3504 7 жыл бұрын
daaaaaaaah
@mariethaawaki3008
@mariethaawaki3008 7 жыл бұрын
mkizingatia hayo ninauhakika mtaishi kwa amani na nafsi yangu inashuhudia hivyo.ila tahadhari kwa wanawake waliotengana,tafadhalini msipende kuwa wa kwanza wala wa mwisho kukimbilia kuolewa kwa sababu yoyote ile hasa kama una watoto,hii ni kwa sababu maisha yanaweza kuendelea na ukashirikiana a wanaume wenye tabia njema na maisha ya kasonga bila kuathiri utu wako cha msingi ni sara ,maombi ya mara kwa mara ya kufunga,mazoezi, tafakari za kina na kazi tu ndivyo vinavyoweza kukusaidia kukupa amani na siyo mwanaume kwa tafsiri hiyo mnayodhani lengo ni kulinda mstakabali mwema wa watoto kitabia na kimaono.
@khadijavassardanis3178
@khadijavassardanis3178 2 жыл бұрын
mhhhhhh
@agnesslyatuu993
@agnesslyatuu993 7 жыл бұрын
wanadamu hata maiti wanaisegenya aaah muangalieni Mungu msisikilize maneno ya watu hawana mema.wengine wanaona wivu.Kasema ex wako Mbasho kuolewa au kuowa ni bahati.
@robertmaginga6132
@robertmaginga6132 4 жыл бұрын
Hakuna mpango wa Mungu hapo, Mungu hadhihakiwi japo sisi hatukupewa kuhukumu, msihalalishe madudu yenu kwa Neno la Mungu, hiyo ni mipango yenu ninyi.
@ignaskalindo4369
@ignaskalindo4369 6 жыл бұрын
Eti mippango ya Mungu kwa upandewangu Mimi labda mipango ya. .mungu
@gomangomangoma7397
@gomangomangoma7397 7 жыл бұрын
Hey where is this place, !? ,uuuu I like the Rock, ,, it's beautiful, ,,, ;
@anethphilipo8855
@anethphilipo8855 7 жыл бұрын
Dah hii kali ya mwaka na ujinga umo kweli na mwanaume atakuwa ana pepo
@victoriamwambene313
@victoriamwambene313 7 жыл бұрын
ongera flora
@mpoyikipius4316
@mpoyikipius4316 7 жыл бұрын
Bashiteee
@josephmongi5756
@josephmongi5756 4 жыл бұрын
Acha ukumbafu wewe Huyo ni mke wa Mbasha hata mbingu zinajua tena walokole mmepoteza dira sana
@salomemattanga7633
@salomemattanga7633 7 жыл бұрын
Jamani watu wa Mungu tujuzane hivi ndio iliyofungwa kanisani inaweza kutenguliwa mahakamani? wakati Mume au mke bado yupo duniani?
@jacobmakono389
@jacobmakono389 6 жыл бұрын
...watakiona cha mtema Kuni!
@saraharon8301
@saraharon8301 6 жыл бұрын
Frola ucjal Maneno ya watu dumisha upendo na amani ktk ndoa yako.
@ernestjohanes9087
@ernestjohanes9087 7 жыл бұрын
ben 10
@antoinensanzimana3066
@antoinensanzimana3066 7 жыл бұрын
Iyo ni raha ya dunie
@bintlola3127
@bintlola3127 5 жыл бұрын
Ivi hii inakubalika kweli🙋🏻....
@robertmaginga6132
@robertmaginga6132 4 жыл бұрын
Bint Lola, haikubaliki.
@reubenbegashe2372
@reubenbegashe2372 4 жыл бұрын
Kilichompata mwenzako kinakuja na kwako
@alfanmuruwa5601
@alfanmuruwa5601 7 жыл бұрын
na Huyo ni mtoa Huduma kweli kweli Dogo jiangalie maana hata gwajima ataendelea kupewa Huduma
@leezarbennito4143
@leezarbennito4143 7 жыл бұрын
Alfan Muruwa 😆😆😆
@renaldakamugishazeramulake940
@renaldakamugishazeramulake940 7 жыл бұрын
Alfan Muruwa umenivunja mbavu. GWAJIMA hahaha. mbona ni mtoto mme mwenyewe
@alfanmuruwa5601
@alfanmuruwa5601 7 жыл бұрын
Aha Aha Aha Aha hapo tu
@user-mo5yq8io4i
@user-mo5yq8io4i 7 жыл бұрын
Alfan Muruwa gwajima tena .sio mtu wa mchezo mchezo ila nimelia kwa kumkumbuka mbasha
@alfanmuruwa5601
@alfanmuruwa5601 7 жыл бұрын
kwa kweli huyu mwanamke kamfanyia kitu kibaya mbasha hafai Kabisa
@benjaminikaminsa8526
@benjaminikaminsa8526 4 жыл бұрын
Yan huna hata aibu, et mtumishi wa Mungu! unaoaje mke m2'! kweny ulimweng wa roho hyo ni bado mke wa mbasha, kwasabab ashalipiwa mahar hyo!
@nancycherotich9381
@nancycherotich9381 6 жыл бұрын
Jina ya wimbo please
@geofreymose659
@geofreymose659 7 жыл бұрын
kwa mkristu ndoa ni moja tu na hakuna talaka, huyo aliapa kwa mungu wake kuwa atampenda mbasha ktk shida na raha.. leo yko kwako kesho kwa mwingine.
@munashabanimunashabani9976
@munashabanimunashabani9976 7 жыл бұрын
John muhoja mwongope mungu kila mtuu ana matatizo yake na kila mtuu siri yake mwenyewe hujui mpaka kufikia ivyo
@zuhuraakida5932
@zuhuraakida5932 7 жыл бұрын
furaha ya moyo na amani ya moyo ndio vinavyohitajika mungu awabariki Insh'Allah 🙏🙏🙏
@hollynessgoldwater8931
@hollynessgoldwater8931 7 жыл бұрын
Mungu alisema atakupa mwenzi wakufanaan na wewe sasa imekuwaje inamaana mbasha hakuwa alekupa Mungu na bado ulikuwa kwenye huduma kweli hii Huduma mnamuhitaji Mungu aachanae na mume wake na kuolewa na Mume mwingine afanya nini? kasome maandikooo tafadhali
@lightnessgodfrey7843
@lightnessgodfrey7843 5 жыл бұрын
Big up madam. I appreciate you. One love Daima.
Emmanuel Mbasha: Flora amethibitisha kuzaa nje ya ndoa
21:27
EastAfricaTV
Рет қаралды 147 М.
THEY made a RAINBOW M&M 🤩😳 LeoNata family #shorts
00:49
LeoNata Family
Рет қаралды 37 МЛН
Я нашел кто меня пранкует!
00:51
Аришнев
Рет қаралды 4,7 МЛН
THE POLICE TAKES ME! feat @PANDAGIRLOFFICIAL #shorts
00:31
PANDA BOI
Рет қаралды 25 МЛН
Became invisible for one day!  #funny #wednesday #memes
00:25
Watch Me
Рет қаралды 57 МЛН
Mbunifu wa trekta inayotumia injini ya pikipiki
4:00
COSTECH Tanzania
Рет қаралды 11 М.
ELIUD ALIVYOCHUANA KWENYE BATTLE EDITION
7:53
Cheka tu
Рет қаралды 433 М.
Flora Mbasha kaolewa tena... Tazama ndoa ilivyofungwa
25:17
Millard Ayo
Рет қаралды 814 М.
UNAWAJUA NDUGU ZAKE NANDY WEWE?ONA WALIVYO WAZURI!
4:32
Bona Tv
Рет қаралды 102 М.
Madam  Flora -   Wakati Wake  Official Video
6:22
Madam Flora
Рет қаралды 142 М.
Kilichonaswa kwenye talaka ya Flora Mbasha na Emmanuel Mbasha
6:16
THEY made a RAINBOW M&M 🤩😳 LeoNata family #shorts
00:49
LeoNata Family
Рет қаралды 37 МЛН