Ubarikiwe nabii mkuu kwa huduma yako tuombee na sisi atuinue katika huduma zetu changa mchungaj andrew gerayo mwanza
@dorcaskidoti2492 жыл бұрын
Ni sihukumu ili nami nisije hukumiwa, Ee Bwana Yesu niombee pia niongoze imani yangu iongezeke kiroho 🙏🏽🙏🏽
@hancevalence49362 жыл бұрын
omba lolote kwa jina lak nawe utapata,sio akuombee,akuombee wapi
@dorcaskidoti2492 жыл бұрын
@@hancevalence4936 Unanitaka nn ndg yangu? Labd nikupe ili usinighabishe na kwann uparamie comment isio kuhusu? Sitaki kkujibu vibaya sawa
@japhethgeriad45192 жыл бұрын
@@hancevalence4936 “Watoto wangu wadogo, nawaandikia haya ili kwamba msitende dhambi. Na kama mtu akitenda dhambi tunaye MWOMBEZI kwa Baba, Yesu Kristo mwenye haki, ” - 1 Yohana 2:1 (Biblia Takatifu)
@maryaugustino8716 Жыл бұрын
Amina docras umenena vyema
@ibrahimsokoine Жыл бұрын
⌚️NASUBILI MAJIRA YA MUNGU KWAKWELI NIMEKUELEWA
@ramadhanimasudi69042 жыл бұрын
Kuna watu wanaweza kuponda watumishi ama watu wanaolitangaza neno la Mungu. Ila ukweli unabaki kua, ni heri hawa wanalifundisha neno la Mungu kuliko wewe unaeponda usie kua na mchango ama faida yoyote katika neno la Mungu.
@issamwakapiki58582 жыл бұрын
It to
@ejelanta78292 жыл бұрын
Umeongea kama wazee 20,hata mimi huwa nawaza hivyo hivyo.Hua najisemea bora yeye kuliko mimi hata kufanya usafi kanisani sifanyi
@castrokassoga72712 жыл бұрын
Heri asiyemjua Mungu kuliko wanaomposha na kuhubiri uongo hao Mungu anawaita mbwa.soma yohana 8:44 ufunuo 21:6:ufunuo 22:15
@eliasitairo9546 Жыл бұрын
Siku hiyo Yesu atasema ondokeni kwangu Mimi (Yeye) siwajui mlio laaniwa, wao watasema tuliponja kwa jina lako nakufufua kwa jina lako tafakari hayo yakusaidie
@edwardzakayo31402 жыл бұрын
Daaah., Mungu atabaki kuwa Mungu ,yoote aliyoongea mtu wa Mungu ni kweli kabisa ,Mwaka wa 1994 nilikuwa kiongozi wa vijana nyumban kwake sebuleni na nilikuwa nikipiga naye story ya Neno la Mungu kila baada ya Ibada ,alikuwa akifundisha Sana kuhusu kuwa na Maono makubwa Sana!!!!!Mungu ni mwema...ni Mimi Edward Zakayo!
@Wamimedia2 жыл бұрын
Hatarii aisee
@husseinchiaseeds2653 Жыл бұрын
Hamna kitu huyu nabii wa mchongo
@catherineramadhani33 Жыл бұрын
Hilo sio tatizo yawezekan alianza vzr na Bwana ila kwa sasa hpn kashakua wa mchongo
@madetetv6576 Жыл бұрын
@@catherineramadhani33 ww ndio wa mchongo halafu acha kushambulia manabii wa Mungu
@catherineramadhani33 Жыл бұрын
@@madetetv6576 kakojoe ulale😏
@goodluckjustin85792 жыл бұрын
Tunaishi kwenye dunia yenye dhambi ,Ambayo kwasasa hali ya dhambi mtaani imechukuliwa kua ya kawaida sana.Sitaki kuhukumu lolote ila ni kheri huyu anaeishi kwa neno la Mungu na kuiishi nalo kuliko wengi wetu tunaoishi kwenye dhambi ambayo tumezoea na kuona ni kawaida . Tuombe Mungu atupe neema na hekima ya kujua neno lake ili tuishi tukimtegemea yeye.🙏🏽
@SKILLS360TV2 жыл бұрын
Kweli kweli tupu.
@ejelanta78292 жыл бұрын
Kweli kabisa ndugu
@WillyMetta2 жыл бұрын
Kweli
@djejjjejeje28252 жыл бұрын
Amen
@Platnumz112 жыл бұрын
Jama huyu mwongo sana daha shetani anaweza kukujiya kwa njiya nyingi sana na alijuwa imani ya huyu jama
@gabriellyadam94152 жыл бұрын
Millard jasiri kwel kumhoji nabii mkuu nadhan haikua kazi rahisi.congratulation millard.Mungu akubariki Nabii wa Bwana Mh.Geordavie.
@ericstephenm.8442 жыл бұрын
Huo Ukuu wa Unabii wake aliuidhinisha nani? Akina Isaya, Ezekieli na manabii wengine mbona hawakujiita wao wenyewe majina ya kujitutumua kama hawa?
@johnbernad39902 жыл бұрын
@@ericstephenm.844 Sahihi
@yohanamhagama89752 жыл бұрын
Huyu prophet ni mtoaji Sana namkubali ana moyo we kijitolea
@mwanahamisbwanga11842 жыл бұрын
Sanaaa mtoaj sanaa uyu baba
@nangatv92182 жыл бұрын
Anatoa nini na ss tuje
@yohanamhagama89752 жыл бұрын
@@nangatv9218 mfatilie utajua anatoa nini..
@gracejosephy22422 жыл бұрын
Huyu baba ni mchungaji smart since day one tatizo watu wamezoea kuona watumishi wa Mungu wakiwa wamepauka..
@florahemmanuel83232 жыл бұрын
Ndio tunapofail hapo yani Mitazamo haijabadikishwa
@micamathew25952 жыл бұрын
Umepotea dada!! Kumbe hujui.
@gracejosephy22422 жыл бұрын
@@micamathew2595 hongera wewe unaejua Geordavie namfahamu tokea 2005 wewe ambaye umemuona sasa hivi mtandaoni ndo unashangaa na amekuwa role model wa wachungaji wengi.
@giuseppemanaos752 жыл бұрын
Mimi naswali... Mwanzo alikuwa anasali wapi... Nini kimefanya afungue kanisa lake..? Why asingefanya ndani ya hilo.. Kanisa ambalo alikuwa anasali...?
@aishahemedi84522 жыл бұрын
Very smart ndani mpaka nje
@chumusamuel80 Жыл бұрын
Mtumishi hongera kwa maelezo mazuri na huduma njema ila kumbuka usipasahau madugike p/school kuweka alama yako kwa namna Mungu alivyokuinua
@shaluamagandi21842 жыл бұрын
Interview nzuri sana. Ubarikiwe na MUNGU Dr Davies. Mungu akuinue zaidi na kufanyika baraka kwa watu wote.AMEN 🙏 🙏 🙏
@joycemalima2790 Жыл бұрын
Nabii mkuu, umesahau kutaja kiti chako cha ushuhuda, kiti Cha machozi Cha kuombea maono yako ya kazi, miaka 30 iliyopita. Ubarikiwe na mama Anna na watoto wenu
@mahubiritv Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/qYDLpXuBhpt2mMU
@shedracksimbeye84602 жыл бұрын
🔥🔥🔥 So excellent interview ya kibabe Sana big up my brother Millard Ayo ufalme wa Mungu umewafikia wengi Heshima kwako Baba Mh Nabii Mkuu
@annehaysanday9214 Жыл бұрын
Nimeipenda hii interview imeondoa maswali yangu na sasa namuamini nabii mkuu.Naomba rehema kwa kwa kuwaza tofauti.
@eliasitairo9546 Жыл бұрын
Unaomba rehema kwa Nani?
@eliasitairo9546 Жыл бұрын
Mwamini Mungu pekee kupitia kwa Yesu, Mwanadamu atakutenda Nini?
@jamesobedy36872 жыл бұрын
bora udang'anywe na anaye tumia neno la Mungukuliko udang'anywe na mganga 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🇧🇮🇧🇮
@emanuelmhoja24112 жыл бұрын
Umewasahau wanasiasa
@preciousgrayson20212 жыл бұрын
Mbona wanganga ndo wengi makanisani sema wanajiita manabii na wachungaji sio wote wa ukweli
@ibrahkazoba3678 Жыл бұрын
Unamaanisha Kuna Dhambi Njema? 😁
@hindisaid2413 Жыл бұрын
Mwizi ni mwizi hata awe mzungu
@edwinalexander11702 жыл бұрын
Huyu alikuwa akijulikana kwa jina la George David Kasambala, enzi hizo anaimba sana nyimbo za Mungu. Anajua kuimba sana.
@solangesola19522 жыл бұрын
Nakupenda past
@user-ni7ke3hp1q6 ай бұрын
Lovely interview God bless you both
@edwinmaruchu55662 жыл бұрын
Hongera Miladi Ayo kwa kutuletea mahojiano na Nabii huyu ambae ni adimu sana kuonekana. Napenda sana mahubiri yake sababu hufundisha watu namna ya kuishi ,pia namna ya kufanikiwa. Namnukuu "Usipochosha akili ukiwa kijana utauchosha mwili ukiwa mzee" "Time the time before time time's you" Namkubali sana.
@frankmasabo4460 Жыл бұрын
Mh
@jamesmpiluka4041 Жыл бұрын
🤣
@mahubiritv Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/qYDLpXuBhpt2mMU
@kyagaribabamwongera52712 жыл бұрын
Ubarikiwe Millard kwa kutufikishia HUYU baba I feel blessed
@anethmichael38932 жыл бұрын
Sanaaaa barikiwa millard
@prophetsayitv15412 жыл бұрын
Nabii Mkuu, Kweli Mungu anakutumia Sana kwa miujiza mikubwa Sana, Nakumbuka ulifanya mkutano mkubwa Jijini mwanza vilema walitembea, vipofu waliona Lakini hata baada ya mkutano, Wagonjwa walipokanyaga eneo ulipokuwa mkutano waliponywa.
@luckyvenance45762 жыл бұрын
Huwa najiuliza mbona watu wakiona manabii wanafanya miujiza wanasema ni freemason,, kwani kwa Mungu Hakuna vitu vizuri!? Mpaka nabii awe anatumia nguvu za giza?, Mbona mtu akiambiwa kuna mganga kiboko na anataka pesa ya maana tu Ndo akuhudumiae asilalamike, lakini watumishi watu wanasema wanataka tu sadaka, Hakuna huduma inayoenda bila pesa
@oscarnyakunga31132 жыл бұрын
Wajinga mtu akiwa tajiri wachawi
@massawegod59422 жыл бұрын
True sema kwa wengi masikini huwaga wanawaza kuhusu sadaka sio huduma
@Alex_Anania2 жыл бұрын
Asante Sana Prophet na Millard.
@oliversambala59992 жыл бұрын
Namuomba Mungu atupe kibali na watoto wangu tufike Ngulumo ya upako tufunguliwe.Amen.
@noelbryson7840 Жыл бұрын
Ufunguliwe nini sasa?
@yuzotv4588 ай бұрын
@@noelbryson7840anataka akamuone mtu aliemuona yesu bro😂😂😂😂.
@evasonlushaka7672 жыл бұрын
Millard uko vizuri. Nimesikitika swali lakoulilotakakuuliza ukalisahau kutokanana maelezo " neno ngurumo lilikujaje" Othrwiseam proud you since day one. Stay blessed
@isakamangola16172 жыл бұрын
Very smart in all angles man of God ......I real appreciated you though I never come
@nassibabdallah5662 жыл бұрын
Mwenyezi mungu atuokoe kwa watu kama hawa
@annasolomon98552 жыл бұрын
Akuokoe ww uwe na upeo wa kumjua Mungu zaidi.
@milickenock92752 жыл бұрын
Wajinga ndiyo waliwao
@milickenock92752 жыл бұрын
Katokewa na yesu 😀😀😀
@highthemetv78572 жыл бұрын
Akuokoe wewe ngurue
@nestarnestar4520 Жыл бұрын
Wenye majini yao
@bestkimali2162 жыл бұрын
Nmeheshimu kila kitu ulichokiongea mtumishi naku~respect sana na nmejifunza sana na ntasogea hatua moja katka huduma nuliyopewa na Mungu🙏🙏
@timetravellor53672 жыл бұрын
Namshukuru Mungu kwa kunijaaliya kuwa muislam maana .....
@stevenmwenda3005 Жыл бұрын
Namshukuru mungu kunitoa kwenye ukristo na kuningiza kwenye uislamu laiti watu wangejua dhamani na neema ya uislamu wasingekubali kupotezwa kama wanavyopotezwa inasikitisha sana sana
@leahmgunda4154 Жыл бұрын
Namshukuru Mungu kuniteua niwe mwanafunzi wa Yesu.Siambiliki kutangatanga kwa sababu yanayotokea yalitabiriwa.
@josephinemaendaenda3259 Жыл бұрын
Asante miradi hayo.naomba mwambie nabii mkuu dr jodev.mimi mwenyekiti wa mtaa janga mlandizi.mwambie nabii anisaidie mabat niezeke ofisi ya ser ya kitongoji.tunaitaji bat 80
@comradeambrocedaviemalai58712 жыл бұрын
Kongole sanaa Comrade Doctor Geordavie, interview nzuri sana.watumishi wakubwa Wanyeyekevu wa MUNGU kama wewe ndiyo tunawahitaji katika Taifa Letu...Dumu kuiombea Taifa Letu na Chama Chetu CCM.
@joycesalvatory77682 жыл бұрын
Amina Tutumike kama Bomba la Maji Mungu akubariki, utoaji Kwa wahitaji ndio Siri ya kupokea thawabu kutoka Kwa Mungu, wanaokuhukumu wanajitengenezea vitanzi maishani mwao na vizazi vyao, ACHA injili isonge mbele
@jay-nyeye19002 жыл бұрын
Atawadanganya wale ambao hawamjui Mungu na wale wasiomjua shetani
@felistertsere2011 Жыл бұрын
Mungu tupe macho ya rohoni siwezi kuongea mengi ila mwenyezi mungu ndo anayejua ila maandiko yameandikwa jihadharini mtu asikudanganye wengi watakuja kwa jina langu wakisema Mimi ndiye nao watawadanganya wengi lakini msitishwe haya hayana budi kutokea
@benjaminmachange62392 жыл бұрын
Hongera sana mtumishi umetoka mbali na miladi yupo vzr kwa mahijiano safi sana milad
@coolzeddy_official92162 жыл бұрын
Baba muheshimiwa Nabii Mkuu Geordavie, Mwenyezi Mungu akupe maisha marefu🙏
@iammichaellukindo2 жыл бұрын
Interview nzuri Sana. Mm nikianzia career ya kutangaza kwenye Radio ya Dr Geordavie 2009
@prophetsayitv15412 жыл бұрын
Ahsante Sana Mirlad Ayo, ubarikiwe Sana, kwa kutuhabarisha Habari za ukweli, Nimefurahi kusikia na kuona Upo kwa Nabii Mkuu, Nabii Mkuu Geodav ndiye Nabii anayetumiwa Sana na Mungu kuwainua Watumishi wadogo, Nabii Mkuu Geodav Ni Nabii ambaye hana wivu. Anatamani Watumishi wengine pia wainuliwe Nabii mwenye Upendo na UKARIMU wa kimungu.
@gracejosephy22422 жыл бұрын
Nakumbuka 2006 nikiwa form two viwanja vya MRINGA Secondary ulikuwa unafundisha somo la imani.ilikuwa nzuri sana..
@victorsanga22292 жыл бұрын
Poor people made this man extremely rich!
@anicetusmbuligwe81212 жыл бұрын
Iq
@hiacinthanjau641 Жыл бұрын
They make Rich OFFCOURSE. PHD!! Mh
@goodluck3732 жыл бұрын
Interview bora sana kutokea. Asante sana Millard kwa unyenyekevu wako mbele ya Mtumishi wa Mungu. Una nidhamu mno na ustadi wa kutosha katika kazi yako. Hakika umetusaidia sana kufahamu mengi juu ya Nabii Mkuu, Mheshimiwa Dr. Geordavie. Hakika tumebarikiwa
@abelakabalimu41352 жыл бұрын
Tuombee na as milad tutoke kama wewe. Nakukumbka sana milad mung akutie ngv
@emmdotsea2 жыл бұрын
Ni kiongozi wa manabii wa uongo.
@victoriajulius50722 жыл бұрын
@@emmdotsea usihukumu kabla hujaukumiwa lkn kama unauhakik ubarikiwe
@wemakingdaily14622 жыл бұрын
@@emmdotsea Wewe muumini wa Zumaridi mfate sentro ondoka hapa
@annasolomon98552 жыл бұрын
@@emmdotsea Zumaridi campany!
@charlesrongo36152 жыл бұрын
KAKA MILAD SIJAWAH KUKOMENTI KWAKO HAKIKA UMETISHA SANA.... UR SUPer super super zaidi... kunywa soda nitalipa
@shekinahrevivalinternation66142 жыл бұрын
Nimekukubati Baba ,nimesikia habari zako kwa ubaya miaka mingi sikukufuatilia Mungu Leo amenipa neema kupitia mahojiano haya kwa kweli nimemtukiza Mungu ,kwa hazina hii Tanzania .Mimi ni Askofu mkuu wa Shekinah Revival International mission Church [SRIMC] nitakutafuta Baba nimependa majibu yako .
@LatiphaMayemba3 ай бұрын
Nabaii .mkuu mungu akupe miaka Mingi Ili uweze kusaidia wenye uitaji Mimi nina changamoto sana ya maisha Ninaumwa tumbo Nina madeni ata Sina Raha ya maisha ata Leo Nina daiwa sielewi naipata wapi!! Nisaidie baba nabii mkuu na mungu akubariki sana 51:15
@yusterbmwaipungu9292 жыл бұрын
Ubarikiwe nabii wa Mungu nimekuelewa sana majibu yako
@raphaelkaswahili3232 жыл бұрын
Hapo kwa yesu tumepigwa .....funguo tumepigwaaa....... Asante Mr Ayo ...umemuuliza maswali mpaka akataka kupoteana ukambalansia ila tushampata uongo wake
@restitutanjau25852 жыл бұрын
Ee Mwenyezi Mungu tupe macho ya rohoni tuijue kweli yako
@alhaddajmohammed47682 жыл бұрын
Watu wanaangamia kwa kukosa maarifa. Shetani amepanda Magugu ktk mashina mbegu njema alizokwiaha panda Mpanzi. Tuaubiri siku ya mavuno. MWENYEMASIKIO ME ASIKIEEE
@patrickacapel54942 жыл бұрын
Nabii wa Mungu,tumwombe Mungu atuzidishie hekima zaidi....nimebarikiwa sana
@florianakhweso57492 жыл бұрын
Thank you daddy, I proud you as my spiritual father,Your story is totally healing me. Glory to Jesus Christ who gave you.
@johnsonulomi9932 жыл бұрын
Mwiz mijitu aina akil inaibiwa sana
@DBrownstain2 жыл бұрын
Millard Ayo, nimesikiliza mahojiano haya na yamenibariki sana, hongera kwa kuhoji vizuri kwa ufundi na kwa nidhamu safi. Nimejifunza vingi juu ya hekima ya mtumishi huyu. MUNGU AWABARIKI NYOTE
@meshacklekie4002 Жыл бұрын
Karibu Europe baba 🙏🙏
@kulwamigo9127 Жыл бұрын
Bonge la interview,nimeridhika. Hongeren, tuzidi kumtafuta Mungu..Mungu awabariki🙏
@Kijana-wa-Tanzania2 жыл бұрын
Dahh Geordavie acha kutupanga mkuu! Wanaokufahamu ndani wanajua mishe ulikuwa unapiga sema umekana kabisa kwamba haukuwa na mambo mengi. Sema kula maisha tu umezichanga vyema.
@jonathankyando26982 жыл бұрын
Kaupiga mwingi 😂😂😂
@Kijana-wa-Tanzania2 жыл бұрын
@@jonathankyando2698 Sana yaani!
@Kijana-wa-Tanzania2 жыл бұрын
@@georgematola2447 Acha upumbavu kijana ndio kwanza naona Matola bwege kama wewe. Wewe endelea kupalilia kizazi cha majizi yanayosafisha hela sema sababu wewe ni mtoto kiakili basi ukikua utashangaa ulivyo na watoto mashoga na wasagaji. Hiyo laana ni suala la muda tu sababu unakosa maarifa. By the way sikujua kati ya wale mnaomwona huyu jamaa ni Mungu mpo huku pia! Wajinga ndio waliwao.
@emmdotsea2 жыл бұрын
Ni msaka tonge ila kwa kupotosha🤓🤓🤑🤑
@georgematola24472 жыл бұрын
Unaejiita kijana wa kitanzania yaonekana hujitambui nani mpumbavu sana, wewe umeshamwita Mkuu na unamtambuwa kama Nabii mkuu huoni hujui ulisemalo ni bora unyamaze tu, Ningekutana na wewe ana kwa ana ingependeza zaidi huwezi ukanena maneno machafu kama wewe mwenyewe ulivyo mchafu hadi kwenye kinywa huenda kinanuka
@mazoenyongo14792 жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu mm ninashida sana nilikuwa nakuomba unisaidie laki mbili nijisaidie ninunue chakula mtumishi wa Mungu,
@leahchalresi56322 жыл бұрын
Jamani ndungu naomba msipende kuwaziak watumishi sisi jukumu retu nikusikiliza tu ukiona umuerewi nibola uwache kumsikiliza kuliko kumuukumu
@vailethkinabo79612 жыл бұрын
Kweli nakupongeza ndugu yangu kwa kusema ivyo ivii unawezaje kumuongelea vibaya Mtumishi wa Mungu haki Mungu atusameehee
@djwise18872 жыл бұрын
@@vailethkinabo7961 kwani yeye ni mkamilifu?? Yeye ni mtu kama watu wengine Hata yesu alikosolewa akiwa ni Mungu. Je yeye ni nani?? Kinachotakiwa sisi sote tuwe wa unyenyekevu kwa Mungu na sio kuwapatia utukufu watumishi wa Mungu kama watu wengi wanavyowapatia heshima kubwa manabii kuliko Mungu. Na manabii hawa wengi hawana unyenyekevu kwa Mungu.
@jonathankyando26982 жыл бұрын
@@vailethkinabo7961 acha uoga wa kijinga😂
@giftpamelagiftpamela44942 жыл бұрын
Wow nice karibu tena mombasa tunakupenda sana
@dynamicpreschoolschool4342 жыл бұрын
Amen mtumishi wa mungu...real u are a man of God...I wish one day to attend your church...be blessed my prophetic man of God
@neemakombe672 жыл бұрын
Unaenda kupotea
@maryandason18152 жыл бұрын
@@neemakombe67 jmn Ney acha bhna tunaokolewa kwa NEEMA ya MUNGU pkeeee
@neemakombe672 жыл бұрын
@@maryandason1815 yani mm hawa manabii hawa siwaamini mm ila imani yako inavyokutuma fanya vile upendavyo
@maryandason18152 жыл бұрын
@@neemakombe67 kwa kweli MUNGU 🙏 atusaidieee mmaaaaaa
@magrethjohn86382 жыл бұрын
Karibu Sana tunakukaribisha
@abedkirway90202 жыл бұрын
Nimesikiliz kwa umakin Mwenyez Mungu awabrik Mh nabii mkuu Geardav n milad ayo kwa kaz ya kutumikia jamii asanten san
@barakakusa76062 жыл бұрын
Ila Hapo pa kumwona yesu live umetupiga na kitu kizito kichwani. Ila hongera na ubarikiwe kwa kazi yako.
@isiakamfugale36212 жыл бұрын
Hapo tumepigwa na likitu lizito bhana
@jamesgasper7312 жыл бұрын
Inawezekana ata Mimi alinitokea
@happyfaniabatromeo80102 жыл бұрын
😂😂😂😂hata Musa hakumuonaaa Ila yy anadai alimuona 🤸🤸🤸
@gracekirway872010 ай бұрын
Shalom. ..Dad! I miss you so much also i miss NYU,nawapenda sana.,.mtumishi mwanafunzi Grace
@rehemadaudi43902 жыл бұрын
Mungu aendelee kukutuza Nabii wetu. Asiokuelewa basi sisi tunakuelewa
@danielladavid22512 жыл бұрын
Wow Nabii Hongera sana sana ilikuwa one of the powerful Anointing Nabii mkuu
@atukuzwelameck43242 жыл бұрын
Eheheeeeee😂💔🙌 Make apo kwanza ncheke😂 yesu angaliaga na watu wa kuwapa ufunguo basi😂
@mariamthomas55544 ай бұрын
Baba napenda sana huduma Yako naipenda mno mungu akulinde akupe maisha marefu akulinde nakila kitu kibaya
@jameskenny18082 жыл бұрын
Starehe za duniani ni nyingi sawa na hali yenu ila vyote vina mwisho wao. Don’t forget about anything but remember that you have to pay back after everything you are doing
@mshigilakarume44252 жыл бұрын
Hakuna mwanadamu atayeuona uso wa mungu na akaishi. Soma KUTOKA 33:20
@petermollel14712 жыл бұрын
Wonderful man of God. Amina
@ab3ab3132 жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefuuuuu
@emmdotsea2 жыл бұрын
Soma Mathayo 7:21-23 na Mathayo 23:25-28
@mamertarweyemamu3438 Жыл бұрын
Wewe ni mpinzani was kristu.
@mahubiritv Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/qYDLpXuBhpt2mMU
@janesiwingwa31422 жыл бұрын
He's very smart... I love him so much.... Nabii mkuu
@filomenabarongo6932 жыл бұрын
Kwa miaka 10 nyuma nimemfahamu,I appreciate him and his services Mtumishi wa Mungu.
@aishahemedi84522 жыл бұрын
Ukikutana na Nabii mkuu Geordavie, lazma maisha yako ya yabadilike. Kama ilivo kwangu.
@jacksonjosephkungunde63372 жыл бұрын
Ni laana kubwa sana kuwasema vibaya watumishi wa Mungu, Mungu ndiye aliyewaweka kutumika kwa hiyo kama unaona kwako ana mapungufu hiyo haikuhusu wewe maana wewe hujamuajiri, Mungu ndiye amemuajiri na kumuweka hapo kwa hiyo wewe amini tu kwamba ni mtumishi wa Mungu hayo mengine muachie Mungu ambaye ni boss wake, kumbukeni kilichompata Miriam dada yake Musa alipozungumza vibaya kuhusu mtumishi wa Mungu Musa kitu kilichompata.
@husseinchiaseeds2653 Жыл бұрын
Huyu ni mtumishi wa shetani
@eliasitairo9546 Жыл бұрын
Ishu sio kuhukumu ishu NI kutokulijua neno la Mungu ili likuongoze, ukiongozwa na kipofu hakika yako nawe NI kipofu soma neno la Mungu likusaidie
@modeemojombo56622 жыл бұрын
Nabii Mungu aendelee kukutumia vema kutimiza agano lake kwako. Hongera sana. Milad God bless you man, unapambana mno , una bidii na ni jasiri pia
@sarawinnerexaud45102 жыл бұрын
I love u my spiritual dad God bless you forever through you we are being energetic
@mahubiritv Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/qYDLpXuBhpt2mMU
@dickchambilo91382 жыл бұрын
Miradi Ayo...wewe Ni super kjana 💪 kazi safi Sana aiseee una kpaji
@laurakisasa31622 жыл бұрын
Jamani Sijaona Hekima iliotumika kujibu maswali ya Interview kama hii.... He is Real a Man Of God.
@janethnkembo91942 жыл бұрын
Nakukubali sana nabii.mungu azidi kukupa mema
@janetngui4872 жыл бұрын
Much blessed watching this,be blessed servant of God,from Kenya wish one day nitafika kanisani,am happy coz I was given the key ambazo amedescribe,I hope God atatenda kwangu pia,
@emanuelmhoja24112 жыл бұрын
Duh!
@sabihahamadi2287 Жыл бұрын
Mtihani yarabi tuongoze kwenye njia ilio nyooka waja wako tunazidi kupoteya
@gesha47592 жыл бұрын
Only God knows
@luckyvenance45762 жыл бұрын
Millard yuko vizuri Jaman Mungu Akuzidishie
@dallasmusic7642 жыл бұрын
Huyu jamaa Leo nimemuelewa ni mzur Sana kwenye kujibu maswali
@leaherasto9292 жыл бұрын
Mimi pia
@lucymlack7005 Жыл бұрын
Mbona kina mama ndio positivism na wanaume negativism
@johnuswege39792 жыл бұрын
Nimesikiliza mahojiano haya vizuri sana na nimeona hekima ya mtumishi huyu, nimejifunza mengi na nimependa majibu yake yote.
@aikashayo43052 жыл бұрын
Barikiwa sana Millard kwa kutuletea Nabii Dr.Geodavie
@jumamofu95732 жыл бұрын
"Yesu sio mzungu Wala sio mweusi nywele zake sio ndefu Sana Kama picha tunazo ziona zinazo choragwa ila ni fupi zimenyongorota.." Dah kwa kweli hapo mi ameniacha bado sijaamini kabisa angesema mengine tungeenda sawa ila kumuona yesu HAPANA
@chalessabaya29382 жыл бұрын
Inamaana wew unataka kutumbia Yesu yuko kama yule jamaa muigizaji wa filmu za kikristo
@jumannerajabu13562 жыл бұрын
ayo mapicha picha mzee jiongeze mtu muogo nirahisi Sana kupotea njia
@jumamofu95732 жыл бұрын
@@chalessabaya2938 Hiyo umesema ww ila mm nimesema swala la yeye kumuona mm sijaamini. Hapo nilinukuu alichokisema yani ni uongo mtupu.Mimi siijui sura ya Yesu inafananaje
@chalessabaya29382 жыл бұрын
@@jumamofu9573 basi yeye Yesu kamjia katka ulimwengu wa roho akamuona life japo hawezi kumshika, ila anamuona lkn kama huamini endelea kujifunza zaidi kama mapepo wanaweza wakakujia ukawaona live hadi ukalia na ukawaona jinsi walivyo Yesu si zaidi? Au nikuulze Yesu aliwahi kutokewa na manabii kama Musa na elia Je Yesu aliwaonaje
@samwelmollel6022 жыл бұрын
Amina baba dumu zaidi
@noelgodson6912 жыл бұрын
Nabii mtu wa mungu namshukuru sana mungu wako kwa maisha yako ..asante sana baba umebadilisha sana maisha yangu
@dodwiedwin3944 Жыл бұрын
Sidhani kama hapa Pana Mungu
@shedrackdamian28702 жыл бұрын
Milad sautiii Jana iko powa sana
@kelvinnassary61652 жыл бұрын
Asante Millard Ayo kwa kunikutanish na nabii kupitia interview
@brother_majesty2 жыл бұрын
Spokesman of the Kingdom....much love Sir
@patiencehumbled35192 жыл бұрын
Nooooonsense
@mahubiritv Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/qYDLpXuBhpt2mMU
@mikidadiyussuf52192 жыл бұрын
Huyu jamaa sio nabii wa mungu ni muongo ti
@nessa48992 жыл бұрын
Baba Geo Davie siku zote nakupenda, Mungu akuweke, akutunze na akubariki.
@jacksonkimaro37512 жыл бұрын
Binadamu analinda zaidi ya mungu hapana mungu anaulizi kuliko sisi wenye macho ya nyama mabodigadi niwann jukwaani sasa
@farihiamass87392 жыл бұрын
Mallard u rock it maaaaan!!
@samesmille77012 жыл бұрын
millard ayo umeiteka tathinia ya habari we ndo mfalme wao
@josephk902 жыл бұрын
#Tasnia
@dorcaskidoti2492 жыл бұрын
Hakika anatangaza vzr mno
@makambakogottalent7969 Жыл бұрын
Nimeipenda psychological answering kweli ni nabii na msomi mungu akubariki
@kwandikwa87332 жыл бұрын
Isaya 8:20 (KJV) Na waende kwa sheria na ushuhuda; ikiwa hawasemi sawasawa na neno hili, bila shaka kwa hao hapana asubuhi.
@joycekelvin54342 жыл бұрын
Hakika
@laurentraphael54702 жыл бұрын
Hakika, hapana asubuhi.
@evelynlehnard39282 жыл бұрын
Wengi hawaelewi, wanaita umati baraka au uwepo wa Mungu. Sisemi mengi.
@mussamc641 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂 hatar kwa kweli .. allah akbar. ALLAH NI MMOJA TU . NA HANA MSHIRIKA .
@ngwanafabian46122 жыл бұрын
Wengi wanaomsapoti utawasikia wakisema ameniponya amatusaidia sana ana upako sana nk. Niseme tu uponyaji na kusaidika siyo kipimo pekee cha kuhalalisha huduma fulani kuwa ni ya Yesu mashetani pia yametajirisha wengi na waganga wa kienyeji wangali wakitibu wengi na kupona. Swali langu ni je unauhakika gani jina lako limeandikwa kwenye kitabu cha uzima? Je wewe si mtumwa wa dhambi mbona tabia zako ni zilezile licha ya kupona shida yako? Kama huna badiliko la kitabia na mienendo hata upate kila kitu unachopenda ni bure tu.
@benjamenshepa10002 жыл бұрын
Ndugu yangu Mungu akukumbuke umeongea point suala la utakatifu ndo kila kitu Mungu awape macho watu wake waelew
@victoriajulius50722 жыл бұрын
@@apostlej.rministiryprophet2219 jibu la ushindi 😀
@beatricemaroda60882 жыл бұрын
@@apostlej.rministiryprophet2219 . .
@basilisamsaka84692 жыл бұрын
Exctil
@hatari95912 жыл бұрын
Ng'wana jina lako tu ni mashaka tu......
@hellenlimo32087 ай бұрын
Mungu akubariki na kukupatia maisha marefu prophet
@christineneema30082 жыл бұрын
This interview is very perfect
@rosentikha15722 жыл бұрын
Whaaoooo...Millard umependelewa na mungu ww...uyu Baba yangu si mtu rahisirahisi kiivyo ni shiidaah kupatkana wewe kuweza hilo ni hatua kubwa ya baraka kwako na wote tuliopata neema ya kufatilia kipindi hiki