Ni ripoti kutokea Ziimbili, Kinyerezi Dar ea Salaam ambapo majonzi yamegubika familia ya Hussein, baada ya kifo cha mtoto Swaum Hussein mwenye umri wa miaka 9 aliyekuwa Shule ya Msingi ya Ziimbili.
Пікірлер: 1 200
@gabrielchaki81573 жыл бұрын
Msiwalaumu Waalimu. Hadi wengine mnafikia hatua ya kukejeli Waalimu. Tabia chafu sana hii, binadamu duniani tunaishi na changamoto nyingi mno katika safari ya maisha. Ole wenu mnaowakebehi wenzenu angali mioyo yenu haijatimia.
@ashamjeja283 жыл бұрын
Wew nimwalimu imekuuma SAS lakn baadh yawalimu wanatabia zaajabu kam vile awajazaa hasira hasara
@gabrielchaki81573 жыл бұрын
Asha unasema tu.... Wewe ni mkamilifu kwa mangapi? Kwa küwa mwenzio yamemfika ndio unaona doa Ila yako je huwa unayaona. miaka ya Sasa binadamu matatizo mengi na ni kutokana na maisha ya kisasa. Sidhani kama kuna mtu mwenye utimamu anafurahia kutoa uhai wa mwenzie bali unaweza mpoint mwenzio hata kwa kidole tu akadondoka na kupotea. Tuliobaki ndio kama wew kulaumu angali huelewi kisa na mkasa
@@suhaylaally1625 hapana. Mimi ni Mjasiria mali tu.
@priscaissaya40123 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akulaze pema peponi swaumu Mwenyezi Mungu niepushi haya mimi na kizazi changu.Ualimu kazi ngumu sana Mungu wasaidie walimu wote na watoto wetu shetani asiingilie kati yao.
@abdulsaleh46403 жыл бұрын
So cute girl RIP Walimu naomba muache hiyo tabia ya kuchapa watoto. Wapeni adhabu zingine ndogo ndogo zisizo hatarisha maisha yao.
@adamsafari76573 жыл бұрын
sidhani kama ni fimbo ilikua sababu tu
@ziadaambanjaula89002 жыл бұрын
R.I p mungu ampe hifadhi nzuri ampumzishe salama amiin katoto kazur chenyewe poleni wafiwa
@vailetiludovickkweka66113 жыл бұрын
Uyo mwalimu katumika tyuu kama chambo hila hap kuna mambo ya kishirikina walimu kabla amjaend mashuleni muwe mnaomba mungu awatangulie
@samwelmkama8513 жыл бұрын
Bora ww umeliona hilo
@vailetiludovickkweka66113 жыл бұрын
Kabisa maan nguvu za kishirikina zimetawala sana mashuleni uyo mtoto roho ya maut ilikuw inamfwata ndio maan hat wazazi ajafumbuk macho ila bibi mtu anaelew mchezo mzim
@sylviatesha46633 жыл бұрын
Wasingemchkma sindano wangempeleka Maombi au kwa shekhe cjui ostaz akasomewe dua jmn Mwalimu hapo Hana kosa kabisa Ila Ndo imeshatokea
@luluwillium13643 жыл бұрын
Kweli🙏
@Vanypheny3 ай бұрын
Huyo mwalimu ashikwe gerezani Hadi aoze
@loveahmed78923 жыл бұрын
Pole sana Mwalimu na wazazi wote kwan mtihan hupatikana tu jaman turud kwa mungu mtihan Hugo umenikuta na mm
@feysalkhamis55393 жыл бұрын
Daaaaaaaaah!!!, Poleni sana familia ya marehemu ktk kipindi hiki kigumu cha maombolezo. Muungu ailaze roho ya marehemu peponi.Amiin.
@kennyrogers47343 жыл бұрын
Yaan uyo mwalimu fala sana ningekua mimi ningeenda jera haki ya mungu ningemuonyesha pumbavu zake msenge uyo
@elizabethmwandu69373 жыл бұрын
Daaaa jamani😭😭😭 poleni sana wazazi wa marehemu swaumu kwa kumpoteza mtoto wenu mpendwa Mungu wa mbinguni aendelee kuwatia nguvu ktk kipindi hiki kigumu mlochonacho.Masikini mtoto alikuwa mzuri kweli jamani😭 r.I.p swaum.
@lailayou32033 жыл бұрын
Poleni sn kila roho itaunja umauti 😭😓😪RIP SWAUMU mdogo angu mungu akuepushe na athabu ya kaburi
@gabriellyadam94153 жыл бұрын
poleni sana wazazi na ndugu wa karibu wa mtoto Mungu awatie nguvu.
@halimaomar29863 жыл бұрын
Ina lilah waina ilah rajioon..kaz ya mungu aina makosa.sote njia n moja..alishaandikiwa atakufa ivo
@denisngowi85723 жыл бұрын
siukumu mtu chanzo cha kifo ni kipana .. pole sana baba swaumu ila tujifunze kupeleka mtu hosptali pindi anapolalamika. kuna uwezekano mkubwa wa kuokoa maisha. more than two days mtoto analalamika mzazi unapata wapi nguvu ya kwenda kazini instead of kumpeleka mtoto apate huduma ya kwanza............. tutoe huduma kwanza alafu chanzo kitafutwe baadae. tujifunze kupitia hili. RIP swaum and poleni sawa wafiwa
@evaristmkumbo73353 жыл бұрын
Denis Ngowi 💯
@uwimanaaisha56703 жыл бұрын
Yes babahuyo mjinga sana kaaca kumpeleka mtoto mpaka kafa , mwenyezi Mungu ampumzikishe kwaamani
@faridaiddi1043 жыл бұрын
@@uwimanaaisha5670 sema astafrullah dear uciombe yakukute cikiliza historia yake ndio uncomment Baba anakuambia hana pesa haliyke mbaya kifedha alikua na elfu mbili kaona awaachie watoto wake watumie yy akatoe report school lkn alipata mchango wa elfu ishilini iliampelke mwanae hospital lakini mtoto alishaumizwa sana Allah awarehmu maiti wetu wote 😭😭😭😭😭😭 Kikubwa walimu km hao waachishwe kazi
@edinawilliam29433 жыл бұрын
Binadamu tujifunze unampinga mtoto wamtu kisa tebo nini jamani , pia uyo ni baba bora sema pesa tu angemuwaisha hospital
@gracerwega42363 жыл бұрын
Yaani Kaka Dennis ulicho kisema your right kabisa..... huduma ya kwanza muhimu sana watu 3 days eti wamepoa tuu home how???
@fridaminja71913 жыл бұрын
Jaman uwalimu Ni wito mwalimu anatakiwa asiwe na hasira kupitiliza. Pili, mzazi hiv unaujasiri gani kukaa na mtto ndani siku 4 hujampelekeka hospital au hujachukua hatua ya kumuona huyo mwalimu akakupa msaada, mmh Mungu ndiye ajuaye yaliyonyuma yake. Mungu akulaze mahala pema pepon mtto mzuri
@fridaaznat62113 жыл бұрын
Innalillah wainailah rajoun 😭 poleni sana wafiwa ,Alafu wazazi tusichukulie mambo kirahisi, huyu mtoto ilitakiwa apelekwe hospitali siki hiyohiyo walipogundua analalamika sana daah inauma sana
@fatumamuya21393 жыл бұрын
Tatizo Ni pesa Kama pesa hata ukienda hospital huwezi fanyiwa chochote .
@emanuelmkotomaka12583 жыл бұрын
@@fatumamuya2139 daaa pole sana kaka kama huna famiria huwezi jua uchungu wahili huyo mwalimu achukuliwe atua kali iwekama fundisho
@adammapuyanga39443 жыл бұрын
Tatizo kipato
@vivianbampikya44843 жыл бұрын
Watu bhana sasa kama hana pes uko hospitali anaenda vipi?
@noelamtesigwa68193 жыл бұрын
Kabisa.. uzembe pia umetumika
@meshackmarwa92 жыл бұрын
Pole mzazi mwenzangu kwa kumupoteza mtoto poleni sana
@feymamwemzundu7253 жыл бұрын
Innalilahy wainna illahy rajiun...ya allah mpokee mja wako na umsamehe umjaalie pepo mtt wetu..poleni familia🙏
@salminbakary13703 жыл бұрын
inshallah amina hakika njia yetu moja
@felistermligo3233 жыл бұрын
Nyie mimwalim mkje kumamae nyie siungemuachatu
@felistermligo3233 жыл бұрын
Mtoto mzuri
@irenemagreti59213 жыл бұрын
Ukatili umezidi kwa walimu ume katili maisha ya mtoto umewapa majonzi yasio sahaulika wazazi poleni sana mungunwatie nguvu mbeleyake nyuma yetu serikari tunaomba hatua kali icjukuliwe ili iwefundisho kwawengine
@mamachris68113 жыл бұрын
R.I.P Swaumu Walimu muwaelewe Wanafunzi wenu Kama hawezi hesabu,basi kuna Somo jingine anaweza.
@nancyg86643 жыл бұрын
Ni kwel kabsa.
@rahmaabdulla49493 жыл бұрын
Swadakta
@tabithakomba60513 жыл бұрын
Walimu inabidi muwe makini Sana na wanafunzi sio mtoto akikosaa ni kupiga tuuuuu Kama mpira mjilekebishe
@anodearsulusi75363 жыл бұрын
Na wazazi wawe wawazi Kama mtoto ana shida ya kiafya pia
@azizamohamed76923 жыл бұрын
Ila wa Tanzania tumexidi juchapwa sio kuelewa nchi za wezetu watoto shuleni hawachapwi
@magejuliani52933 жыл бұрын
Pole Sana Baba wa mtoto! Apumzike kwa amani! Kutokuwa na uelewa ni shida mtoto aliumia angeweza kusaidika toka mwanzo
Mungu amlaze mahala pema .alafu binadamu bwana ivi wewe unaelaumu eti uzembe wamzazi.unajielewa kweli.unajua maisha anayoishi uyu mzazi.ama kipato chake.ama wewe nauyu mzazi nani anauchungu.kaka pole sana.
@beatricemrisho84312 жыл бұрын
Pole sana baba. Inauma sana huyo mwalimu afungwe kifungo cha maisha
@vincegelas3 жыл бұрын
😭😭😭😭😭 Dah jamaa kashindwa kumpeleka mtot wake hospital kwa wakati Sababu hana pesa, labda angemuwahisha angepona. Dah life is not fare anyway poleni sana ase inauma sana
@زهرغنيه3 жыл бұрын
Siku yabina Adam hayicerewe
@zenachuo29633 жыл бұрын
yaan mpk nimeshindwa kumalizia kutazama
@fayeezomary65633 жыл бұрын
Ahad yak ishafk Allah amjalie maish mem ya barza Allahumma Ameen
@elizabethndimbo95363 жыл бұрын
Jamani huyu ni shetani tuu,na ahadi ya mtoto ilikuwa imefika ila chanzo kimekuwa hicho,poleni sana wafiwa RIP SWAUM🙏
@mwantumkombo1723 жыл бұрын
Innalillah wainnailai rajiuun...uyo mwalimu mchawi... na Mungu atamuhukumu
@novatusabond92533 жыл бұрын
Unacho ongea kweli kabisaa,walimu wa hisabati wanawachapa sana watoto,hata mm yamenikuta kama haya! Pole sana mzazi mwenzangu
@marianhaha90123 жыл бұрын
Poleni Poleni sanaaa family huyo ni Angel ni mtoto kama wangu. Nimeumia sanaa roho
@sarmahabibuamary42753 жыл бұрын
Jamani adi machozi yamenitoka mungu aiweke roho ya marehem maali pema pepon amiina.
@francisabushiri41433 жыл бұрын
Hizi kesi zmekua ni nyingi sana. kwann serikal isichukue hatua zingne tofaut n hizi za kuwafungulia kesi. Sheria ya viboko iondolewe tu kama baadh ya nchi nyingne znavyofanya. Kila siku tutazika watu mpaka lin
@salmamatola42553 жыл бұрын
Poleni sana wafiwa,Pole Sana mwalimu,huo ni mtihani mzito... MUNGU awafanyie wepesi wafiwa na mwalimu
@zuleikhakhamis33033 жыл бұрын
awafanyie walofiwa lkn kwa mwalimu afungwe tuu why afanyiwe wepec wapi ktk cheti cha taakuma yake imeandikwa akifundisha apige wanafunzi
@jayfourtv1153 жыл бұрын
Mimi nafundisha huu mwaka wa NNE nnachokijua kuwa mwalimu bora hatumii Fimbo Bali mbinu bora ambazo mtoto mdogo wa miaka Tisa anaweka kukalili kiurahisi na kufanya hisabati bila ya shida yoyote
@zuleikhakhamis33033 жыл бұрын
kabisa mwalimu akimfanya mwanafunzi kuwa marafiki bac table haimpi shida ataijua lkn leo unampiga mtoto fagio not fair
@salvatrice38853 жыл бұрын
Poleni sana jamani huyu mtoto hajafa kwa sababu ya fimbo mwl alikuwa kama chambo.tu huenda alikuwa na shida nyingine ambayo haikuonekana na ushirikina uko hapo
@marrypeter4072 жыл бұрын
Pole wazazi wa mtoto mungu awatie nguvu huyo muuaji mungu atamunukumu
@ahmadomar27113 жыл бұрын
Inalilahi wainailahi rajiuni Hiyo ni hatima yakila mjaa kama amekufa ktk njia ya utafutaji wa elimu basi nisawa na jihadi Allah atamlipa pepo inshaAllah wazee kueni nabusara sana leo duniani mutaona zulma ila ndio kheri yke inshaAllah
@kyusakyusa9262 жыл бұрын
R. I. P Swaumu Daa inauma Sana poleni pia wazazi walimu jaribuni kuwapa watt adhabu sehem zinazo itajika jaman nn hiki haya reo hii mwalim unaenda kuozea jera fikilien kabila ya kutenda mpige mtt kidogo tu inamtosha ona Sasa umesababisha kifo cha mtt Ata kama alikuwa na matatizo mengine yote umebeba ww mwalim
Uyo mwalim kudadeki ningemnyonga mtoto anatafutwa kwashida stairi mbalimbali kwa waganga hospitari MUNGU mmoja nakutafuna mwalim from tz mbagara
@magrethmbangama11993 жыл бұрын
Pumzika kwa Amani mtoto mzuri,jmn inasikitisha Sana poleni wazazi nanyi walimu muwe na kiasi jmn
@nuruomar52413 жыл бұрын
Poleni sana huyo mwalimu achukuliwe hatua ya haraka.Na apokonywe cheti chake Cha uwalimu
@mwananyamalaz44273 жыл бұрын
pole sanaa Rest in peace ✌️ MTOTO from Australia 2021 🙌
@lawrencekaisa39932 жыл бұрын
Poleni Sana,lakini mzazi unatakajua sababu, badala ya kumpeleka Kwa zahanati, poleni Sana
@godlivergodfrey35103 жыл бұрын
Shida kubwa hapa ni kushindwa kufanya maamuzi ya kumpeleka mtoto hospital mapema ... jaman tuwe tunawasikiliza watoto wetu wanapotuambia chochote na kukichukulia serious na kuchukua maamuzi stahiki kwa muda muafaka .. lkn kingine umaskini jaman Mungu tusaidie
@khadijamisayo74763 жыл бұрын
shida huwa tunachukulia rahisi rahisi, wazazi wengi mtoto akiugua kidogo au akilalamika kuumwa tunamsikilizia kwanza, kuliko kumuwahisha mtoto hospitali
@kulthumhaji69283 жыл бұрын
Kwa kusema kusikilizwa kasikilizwa ila sio kawaida mtu anaacha nyumbani alf 2. Sasa mtoto Kumpeleka hospital pesa na usafiri pesa hizo ni shida. Ila waalim kuweni makini kupiga sio kufundisha.
@glodynkondo98002 жыл бұрын
inauma sana uzuni muno mungu asijapenda iki kifo kama chauyu mtoto muzuri kiyasi ichi 😢
@victorsanga22293 жыл бұрын
Tukubaliane kwa umaskini ndiyo chanzo cha kifo Swaumu (R..i.p little angel). Wazazi wamefanya uzembe mkubwa sana, zinapita siku 4 bila kumpeleka mtoto hospital! Watu mnahukumu kwa sababu ya coincidence tu! Yatu mtu kupigwa na kufa baadaye ni matukio mawili tofauti na yanaitaji uchunguzi wa kitabu zaidi!! Bado ninasisitiza umaskini wa wazazi umefanya wasimpeleke hospitali kwa wakati!!!
@lydiamachard88143 жыл бұрын
Sure,,wazazi wan delay sana
@johnsonmlowe12323 жыл бұрын
acha kashfa wew kam hakuwa na pesa angeiba? unamkejeli mtu umaskini we unahela sana? punguza dharau utatolewa kwenye friji kam bia ww
@kennyrogers47343 жыл бұрын
Yaan umeanza vzr alafu umetoa lawama kwa wazazi ueleweke nini hapo au na wewe mwalimu nini?ushasema umaskini alafu unatoa lawama kwa kuchelewa kumpeleka hsptl unahisi umeeleweka?
@kennyrogers47343 жыл бұрын
@@johnsonmlowe1232 Yaan kanichefua sana uyo amecomment tu au alimsikiliza baba mzazi anasema elfu ya boda kumtoa nyumbani kumleta shule bora awaachie nyumbani watumie na baada ya kupata elfu20 ndo wakampeleka nyumbani sasa unatoa lawama tena kuna watu wanakera sana aisee
@aishaabdallah53103 жыл бұрын
Ni kweli walipaswa wampleke hos mapema
@mwarishmodsalum5553 жыл бұрын
Pole sana baba mfiwa kwa kuondokewa na mtoto wetu mpenzi ila ungefanya utaratibu wa kumpeleka hospitali mapema ili ingejulikana kaumia wapi lakini kosa pia kukaa nae kwa mda mrefu maumivu yakawa yanamzidia mtoto poleni sana sana walimu pinguzeni mikono watoto roho zipo mkononi jamani
@hassanparamana22153 жыл бұрын
Inna lillah wa inna illah rajiun...watoto wenyewe walivyo kuwa tabu kupatikana siku hizi kisha mtu aje stress zake anamuuwa tu ki simple simple daaah pole pacha wangu Hussein
@sophiakadege13182 жыл бұрын
Mi kiukweli ntauwa mtu wee
@hassanparamana22152 жыл бұрын
@@sophiakadege1318 Yaani wewe ndio kama mimi nitaomba serikali inifunge kabla sijafanya maafa zaid.
@sophiakadege13182 жыл бұрын
Watoto wamekuwa watabu kipindi hiki alafu ukute mtoto ndiyo ninae huyo huyo wewe mwalimu umetoka huko na hasila zako unakuja kuzimaliza kwa mtoto wangu mm niliemuweka tumboni miez9 nikamzaa akiwa mzima nikamlea akakuwa unakuja kuniulia mwangu kizembe namna hii selikali itanifunga kifungo cha maisha inasikitisha sana jaman
@hajramakwiro28303 жыл бұрын
Jamaniii😥😥😥😥 poleni sana familia lkn Mungu anisamehe sana sijui kwann nawaza ushirikina
@bonitamillanzi96863 жыл бұрын
Waalimu sio Kila mwanafunzi lazima afaulu hesabu Kila mtu na kombi yake hapa duniani,Mungu wape moyo wa uvumilivu familia ya Swaumu!!!
Jaman poleni Sana Ila Kuna kitu hapo Cha kishirikina Yani uyo mwalimu km ingekuwa mie wallah lingemkuta jambo
@restitutazenge15023 жыл бұрын
Poleni sana kwa msiba huo mzito, Mungu awape faraja.
@elinoramasagho66223 жыл бұрын
Pole.sana
@elinoramasagho66223 жыл бұрын
waaa.inauma.sana.mtoto.hana.haiya.pole.sanaaa
@gracerwega42363 жыл бұрын
Poleni sana wanafamilia....ila Suala la mtoto kuwa na maumivi 3days sio poa mlichofanya Wazazi..... mlitakiwa same day apelekwe Hospital jamani... Haya mambo ya Vipigo sio ya kuchukulia Kirahis rahisi tuuu
@saumusalimuhassan24993 жыл бұрын
Masikini wajina 😭😭😭😭 Innalilah wainailah rajiun, Allah amrehem wajina 🙏
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭
@mauasaidi33453 жыл бұрын
I.p.p
@mauasaidi33453 жыл бұрын
R.l.p
@faridaiddi1043 жыл бұрын
😭😭😭😭😭
@victoriasamaga84292 жыл бұрын
Duuh,jaman inaumiza sana! Japo walimu wengi siku hizi viboko kwa wanafunz havina idadi wala hawaangalii umri wa mtoto na wala anasoma la ngapi. Apumzike kwa Amani
@kulthumhaji69283 жыл бұрын
Waalimu mie mwenyewe nimeshuhudia wanapiga vibaya sana. Naomba Serikali ipige marufuku kupiga sio kufunza. Unaweza ukaongea na mwanafunzi kwa utaratibu akakuelewa. Na kila mwanafunzi ana upeo wake Wa kuelewa.
@saidaramadhan20993 жыл бұрын
Kifo hakikosi sababu na ahadi ikifika Haina kipingamizi pumzika kwa amani mtoto mzuri kazi ya mungu Haina makosa
@fahdihasnuu90343 жыл бұрын
Baadhi ya walimu wanafny kazi kwa mazoea hawajui nadharia ya individual difference kwamba mtoto anazaliwa na kipaji fulani hivo ni kazi ya walimu kulea hivo vipaji na sio kulazimisha watoto wasome sayansi na hisabati ilihali yeye uwezo wake upo kweny lugha au sanaa ya uchoraji
@lilianrichard79733 жыл бұрын
Hilo co kosa letu kosa la mtaala uliopo, cc hatuna maamuzi tunafundisha masomo yote iambieni serikali yenu ibadili mtaala
@mamymdogomamy36703 жыл бұрын
Innahillahih wainnalillah rajhun poleni sana wafiliwa mola awape subra
@rasoklahoma30013 жыл бұрын
Kutoka casablanca Morocco👈 R.I.P swaumu mwanetu Allah s.w akupumzishe kwa amani .....lakin serikali ya Tanzania Ila uyo mwalimu betty was shule ya hadhi mbili inabid akamatwe asije akakimbia.....
@habibaomary2283 жыл бұрын
Jmn polen haw walim co mintkufa nae
@rasoklahoma30013 жыл бұрын
@@habibaomary228 shukrani dada angu
@everlyne85953 жыл бұрын
Me nadhn kifo kimetafut sababu tu lkn wote tumesom n tumexhachapw sanaa tujitahid wazaz tukipelek watt shulee tuwakbdh kw mwenyeiz mungu ushetanii upooo
@marympango92473 жыл бұрын
Jmn jmn hali imekua ngumu jmn...mauti imetuandama jmn.,😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@ramadhanihamadi76672 жыл бұрын
Jamani walimu tuna kazi kweli. Kifo ni ahadi ya Mungu Kila nafsi itaonja kufa. Huyu mtoto alikwisha andikiwa kifo chake. Uwalimu ni kazi ya ajali Kama kuendesha boda boda maana sfikirii kuwa mwalimu alitaka kuua mtoto kwa fimbo.
@أبوفيصل-د3ش3 жыл бұрын
Watu wengi hamjui Qadari,Hiyo ni sababu tu lakin Yupo Musabbibu ambaye ni Allah. Na wala hakiwi kitu wala kutokea Ila ni kwa Matakwa yake Muweza wa yote. Ila Walimu hebu chukueni Tahadhari Jaribuni kutumia njia nzr ya kufundisha. إنا لله وإنا إليه راجعون
@abeidahmed80073 жыл бұрын
WALIMU NI WABAYA KUCHAPA MTOTO SI DAWA KUCHAPA KUNA WATOTO WENGINE HAWALI NYUMBANI KWA KUFIKIRIYA KUCHAPA NA WALIMU NI AFADHALI WA FIKIRIYE ADHABU NYENGINE,HATA ALLAH HAPENDI ADHABU YA UKATILI
@aminasuleiman64023 жыл бұрын
Sawa na ktk hukmu ya Allah kua anae ua auawe hapa imehusika vip nataka ufaham ktk hili🙏🙏🙏
@othumaryemanuel2963 жыл бұрын
Big up my brother Millard ayo kwa kutupa Taarifa
@mayroseclemence993 жыл бұрын
R I P mtoto mzuri! Ila wazazi ilibidi mumpeleke kwanza hospital
@neykweyamba98432 жыл бұрын
Alipangalo Mungu Ndo litakuwa ilo Ata walifungwa na Mungu ili Atende lake 😭😭😭 Masikini Swahumu Allah Amuifadhi🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@nurungole39613 жыл бұрын
Tumuogope Mungu jamani masaa mawili anawexa kupiga tu mwalimu we bibi Jua utatolea mahesabu maneno yako Mungu anajua kila kitu juu ya hicho kifo
@crepinakatundu18313 жыл бұрын
R.I.P.Marehemu.Maskini Malaika wa Mungu.Poleni Wafiwa.
@zuleikhakhamis33033 жыл бұрын
Nawachukia sana hawa walimu wa hesabati jamani na Afungwe kifungo cha maisha ajue maumivu ya watoto mie mpk leo namchukia mwalimu wng wa hesabati na nikimuona njiani wl nilikua cmsalimii nilipomaliza high school cku kaja kuniona niko hospital tena Nurse mzuri tuu alishangaa dadadekiii zake na saiv niko nje ya nchi alhamdulliallah wala hakuna table wala kipigo choko zao walimu wa hesabati afungwe tuu mwalimu sheria ifuate mkondo wake na kwanini Tz tuu ndo walimu wapigaji
@alihemed77213 жыл бұрын
Inalilahi waaina ilahi rajiun Allah atamlipia mtoto huyu na atawajaalia subra wazazi wao
@ashudahiza78713 жыл бұрын
He mungu aepushe kabisa hili kwa mtoto wangu nitafungwa t lazima maana nitauwa siko tayar kuchapiwa mtoto hadi kifo mungu anisamehe sana
@thegreat.98693 жыл бұрын
Poleni sana ndugu. Pengine kuna jambo lingize zaidi ya mguu huo. Maana mtu anaweza hata akavunjika kabisa mguu lkn sio rahisi kufariki. Mkifanya utafiti yakinifu mwawezapata sababu ya kifo. Mm binafsi siamini mguu huo ndio uliomlaza mtoto.. je mlimuuliza mtoto km ana sehemu nyingine ya mwili inayouma zaidi,,? Wazazi tuwe makini pia waalimu tuwe makini na watoto wetu. Kuna vifo vingine hupitia katika mikono ya watu wasio na hatia ilimradi ionekane wao ni sababu.. au kwanamna nyingine alikuwa na jeraha la ndani.. kwa maelezo haya nawapa pole sana wazazi na wafiwa ila. Pia Kila mara TUSALI KUWAOMBEA WATOTO WETU. dunia ina mengi. R.I.P
@happygracendeshifaya60653 жыл бұрын
Point
@theafricaiknow66153 жыл бұрын
Kama ulivuja damu kwa ndani unaweza kufa
@johnsonmlowe12323 жыл бұрын
mbona unatetea we ni mwalimu
@ustadhsalimonlinetv.18073 жыл бұрын
@@johnsonmlowe1232 sio kutetea walio chapwa ni wengi mbona yeye tu,wangekufa kama watatu au wale wengine wangeathirika vibaya kwa kichapo pia
@johnsonmlowe12323 жыл бұрын
@@ustadhsalimonlinetv.1807 ila hiyo kuchapwa ndo chanzo cha mtt wa watu kufa kuchapwa masaa mawil mtt mdg ivyo sio mchezo hawa walimu naye wamezid
@sarahmgaya48702 жыл бұрын
Jamani inauma Sanaa mtoto mzuri mwenyewe Mungu awatie nguvu wafiwa
@khadijarashid55333 жыл бұрын
Innalilah wainaah rajiun Allah akufanyie wepesi katika safiri yako🤲🤲
@faridamohammed93663 жыл бұрын
🤲🤲🤲
@swalehembalela22243 жыл бұрын
Mambo vp
@swalehembalela22243 жыл бұрын
@@faridamohammed9366 Mambo
@Zamdaification3 жыл бұрын
Duh ....huyu Mtoto angempeleka hospital mapema labda angepona lakini ndio ahadi imefika.... Innalilahi wainahilayhi rajiun
@mariasaidi82663 жыл бұрын
Mwalim katumika tu lakini shetani kahusika kabisa Poleni sana wafiwa
@sadatamal36553 жыл бұрын
Exactly
@sylviatesha46633 жыл бұрын
Kweli kabisa hapo mwalimu ametumika km chambo tu jmn. Maana angechapwa yy mwenyewe sawa,alichapwa na wenzak
@jacquelinemwakasala95633 жыл бұрын
Hapo wewe ndo umenena point umeacha kuangalia mwilini umeingia katika ulimwengu wa roho nakupongeza hayo ni mambo ya kipepo na kishetani tu halafu mjinga mmoja analaumu you have to consider both sides you never know.
@bintnouh44833 жыл бұрын
Hata mimi nimehisi hivyo Inawezekana ushirikina umehusika na mama yake was kambo
@nasramohamed33533 жыл бұрын
Lakini mtoto alisema kuwa yeye ndio aliepigwa sana muda wa masaa mawili anapigwa tuu. Innalillahi wainna ilaihi rajighuun ni malaika yule hana zambi aende akapumzike kwa amani peponi. Kina kitu kina kheri yake.
@mrematvbabakoku83363 жыл бұрын
Poleni sana wazazi kwajambo hilo ila tusihukumu tukajakuhukumiwa yamkini mwalimu alikuwa nanianjema ila yakawahayo tunaomba tusimgandamize Mwalimu hakukusudia yatokee hayo
@shabanandrea91313 жыл бұрын
Nadhani angechapwa Wa kwako akafa usingetoa kauli hyo .mm nilishapigwa fimbo za mgongoni akaja akamalizia ya kichwa hadi nikapasuka nikaanza kuvuja damu nikakimbilia nyumban wakaja ukoo wote ila akalipa garama ya matibabu
@unclepwechnov13813 жыл бұрын
Adhabu za fimbo ni upumbavu, Kenya zilipigwa maruku baada ya mwalimu kuua mwanafunzi kwa kichapo. Nchi nyingi duniani upuuzi huo ulifutwa kitambo na elimu wapatayo ni bora zaidi ya huko kwetu.
@Gwasa4933 жыл бұрын
Kabisa
@brunokimaro10533 жыл бұрын
Huku kwetu zinafutwa pia
@Ryoof-qo7if3 жыл бұрын
Kenya bado walimu wengine wanachapa my dear
@SuperCamle3 жыл бұрын
Poleni sana
@husna345623 жыл бұрын
Kenya ipi unazungumzia
@mgaywamfungo49383 жыл бұрын
Mzazi pole sana, lakini umechelewa kuchukua maamuzi ya kumuwaisha kwenye huduma Kwa matabibu.
@floramlowe70783 жыл бұрын
Jamani walimu mnakaribisha shetani wenyewe kwanini utumie nguvu kubwa kufundisha wanafunzi masikini mtoto mzuri.
@KADALAtv2553 жыл бұрын
Hujui tu usilaumubusilolijua, sikiliza Kwa makini walipigwa wengi, mtoto wakati mwingine katolewa huko anukuja kukufia ushahidi tu. Viboko vingapi Hadi kufa? R.I.P mtoto mzuri
@amuruboy41613 жыл бұрын
@@KADALAtv255sikia ww ndo hata Kama wamepigwa wengi ndo kwa hali hiii😭
@KADALAtv2553 жыл бұрын
@@amuruboy4161 hujui alichobebeshwa mtoto Kwa Nini litokee kwake peke yake? Ndio swali langu alafu uwe na adabu usiniite wewe sio jina langu toa hoja
@obeidluhwago6843 жыл бұрын
Maelekezo ya mzazi kunauzembe nae kafanya kwanini hakuona umuhimu wa kumuwaisha hospital.
@pendohillrey11643 жыл бұрын
Jamanii msilaumu sana Jaman kifo haki kosi sababu ilikua ime panngwa poleni wafiwa mungu amrehemu jaman uyu mtoto 😭😭😭😭😭😭
@faridaiddi1043 жыл бұрын
Subhanallah 😭😭😭😭 Jomni poleni Sana wafiwa mungu akurehemu mwanangu swaumu jamanii Walimu wazazi kupiga sio kufundisha 😭😭😭😭 Mnatupotezea watoto wetu
@sarafiamakilika99753 жыл бұрын
Yaani Mungu atusamehe kwa sababu huwa tunaweza kufanya kitu bila kujua madhara ya baadaye. Lkn hata km mwl amechangia kifo Cha mpendwa huyu Ni kwa 50 asilimia lkn wazazi wamechangia kwa kiasi maana wamechelewesha kumpeleka hosp,yaani hata dawa ya kuchua tu km huruma ya kwanza au kumkanda cku hyohyo hakukuwezekana. Ni kweli pesa Ni msamiati lkn watanzania wenzetu tukumbuke yapo mambo muhimu yanapaswa kufanywa tena mapema mf swala la afya, poleni sn, Mungu awatie nguvu
@wilsongeorge13533 жыл бұрын
Jamani ushilikina tu labda hata mwalimu amemchapa kidogo ikaoneka kipigwa sna jamani siku ya mwisho ni yamwisho tu ifikapo hakuna jinsi .mtoto kwa amani Amina,amina
@bintmohamedmalevi37713 жыл бұрын
Inna lillah wainna ilayh rajiun. Poleni sana wafiwa.msiba huo umenigusa mno.
Mwalm nahc alikuwa kaachika hasra zote mamaa kazimalizia kwa hichi kitoto maskini dah mungu akusamehe bure kibinti kizuri dada yangu swaum
@catherinechifebe58003 жыл бұрын
WAZIRI WA ELIMU NAOMBA UKUMBUSHIE UDHIBITI WA VIBOKO NA ADHABU HATARISHI ...TUTAPOTEZA WATOTO WANGAPI NDIPO TUAMUE JAMANI...PUMZIKA KWA AMANI BINTI WETU...
@halimarajabu84112 жыл бұрын
Saws kampiga mwalimu mlivosikia hayo ilibidi mumpeleke hospitality haraka mlikaa sikuzote hizo bilahuduma hamjatenda haki jamani inauma sana poleni sana wanafamilia
@fatmasalima38473 жыл бұрын
Pole sana kaka Allah getting hir jamani ameen 🙏
@westonymwasanduki14233 жыл бұрын
Pole sana baba wa mtoto lakini ilifaa sana kumpeleka mtoto hospital upesi mara tu alipoonesha malalamiko ya maumivu na ukizingatia aliendelea kulalamika kwa maumivu..baada ya matibabu ndio hatua zingendelea kuchukuliwa kwa mwalimu na ingetokana na taarifa ya wataalam kama maumivu yametokana na kupigwa ama vinginevyo
@galary86883 жыл бұрын
Innalillah waina ilaihi rajiun 😭katoto kazur alfu hii mmbo ya kupiga watoto iltokea na wapi uyu mwalimu auliwe tuuuu🤤😪😔
@justinefelis87723 жыл бұрын
Kuwa na huruma,,,,wamepigwa wengi ,,,mwl Hana kosa kiasi Cha kuuwawa,,!!!ikibidi tuu fimbo zifutwe.
@pendohillrey11643 жыл бұрын
Usi seme ivyo jamani kifo kifo hakikosi sababu wenzangu n mungu alikua ame panga tena sio kichwa ata nimgumu
@rayanamrsshariff57773 жыл бұрын
Hebu ntyiemnaosema mwl hana kosa unampiga vp mtoto masaa 2tena na ufagio huko mgongoni mmejiuliza alimuathiri vp au vile mnaina ni maskini ndio ndio mwalim hana kosa ? Vaeni viatu vya hiyo family na tukemee hii tabia
@salwasuleiman89433 жыл бұрын
@@justinefelis8772 we unathubutu vipi kusema mwalim hana kosa kumchapa mtoto hadi na fagio useme hana kosa niliwahi kupigwa na mwalim viboko vya mgongoni kisa kusoma tebo ya kuzidisha mpaka shati langu liliingia dam nilivuja dam za mgongo uniambie mwalim hana kosa mimi pia ni mwalim lakini siwez kuwa mnyama wa kumpiga mtoto wa mtu mpaka kushindwa kutembea sijui kaudhiwa huko na mwanamme wake hasira anataka kumalizia watoto
@agnesmatau99533 жыл бұрын
Dah!!! Poleni family. ..Kuchapa ni adhabu ya Mwisho kabisa na unamchapa mtoto fimbo 3 tuu au mpe adhabu nyingine mbadala!!! Na hiyo yote ni umasikini mtoto anaugulia siku tatu kweli bado unamkanda na unaenda kazini!!!! Ungempeleka hospital garama zoote ungepeleka shuleni wangelipa na mtoto Angepona ....
@Jassmin-media-official3 жыл бұрын
Pole sana wazazi najisikia vibaya vibaya unampigaje mtoto hivo jamani?tunaelekea wapi?mbona ulaya watoto hawapigwagi na wana akili shuleni jamani acheni unyama nimeumia sana, rest in peace 🙏 swaumu
@jumaaman62603 жыл бұрын
Ulaya ipi hawapigwi
@Jassmin-media-official3 жыл бұрын
@@jumaaman6260 wewe unajua ulaya ipi ndugu mpendwa,Hata South America mwanafunzi apigwi kama mwalimu hajipendi amuguse mwanafunzi hata amufinyetu haone chamoto
@arafakhatibu40353 жыл бұрын
Daaah mung wap subra wanafamilia katk kipind hiki kigumu.ningumu kukubali😭😭inauma sana
@azzasalti61243 жыл бұрын
Hao walimu au mauduwi...wizara ya elimu Tanzania toweni sheria kali kwa Hao walimu anachapa watoto ..ni ushering mbona nchi zingers watoto hawapigwi na wanasoma kawaida
@EastCoasTGorilla903 жыл бұрын
Just sad very sad. Why why?? Kwanin walimu bado wanapiga jaman. Mambo yakizaman Sana. Tena ya kishamba kupita kiac. TANZANIA wake up!! Hii sio sawa kabisa...tuache mambo ya kikoloni .
@samiaalriyami34883 жыл бұрын
😢😢😢😢😢😢 inna lillah wainna ilayhi rajeun yaani inaumaaa sana maskin malaika hana kosa jamaaaniiii jamaaaaniiii poleni sana wafiwa huu ni msiba wetu wotee Allah awape Subraa, Baadhi ya walimu hawajasomea kisakolojia wao ilimraad tuu awe mwalimu iyo sio haki kabisaa kabisaa na kwani lazima ajue kusoma kwa haraka baadhi ya watoto wanakuwa waoga no hasaa kwa baadhi ya walimu kuwa wa kali sanaa na pia masomo sasa yamekuwa magumu sanaa sanaa hata uyo mtoto anashika somo gani kwenye kichwa chake Jamani naomba pia wizara ya elmu ipunguze masomo kuwa magumu
@maryambudoya67073 жыл бұрын
Malaika ni viumbe ambavyo havionekane hama malaika hawafanani na binadamu ila samahani Kama nitakuwa nimekukwaza
@meryfrank52723 жыл бұрын
Duuu iki kimeniuma sn , poleni sana , mungu amlaze mahali pema peponi
@bellatvonline3 жыл бұрын
Mpaka Nimetokwa Na Machozi😭😭MUNGU Akupe Pumziko La Amani Mtoto Swaumu
@adamamin81483 жыл бұрын
Pole sana ndugu mola wetu ampumzishe mtoto wetu mahala.pema peponi
@paskalmaganga92253 жыл бұрын
Siku zote hizo kwanini hamkumpeleka Hospital jamani acheni kutafuta sababu si wangekufa wote
@eliudkwesigabo93213 жыл бұрын
Ujui usemalo
@naimamunishi12413 жыл бұрын
pia lazima kuna kitu sio bure mmmmm mwenyez mungu mpe kaul dhabt bint swaum dah😢😢😢😢😢😢
@bisengobubasha3 жыл бұрын
Ihi imekuwa too much aswa kwenye shule za East Africa. This needs to stop. Mwanafunzi afundishwi kwakupigwa. #mwanafunzisiongoma
@salimdalvi84263 жыл бұрын
Well Said , This needs to be stopped . Asante Sana Kaka.
@happyhernest90573 жыл бұрын
Mngemuisha osptar jamani
@elizabethmkude94523 жыл бұрын
Poleni Sana jamani swaumu alikuwa mzuri kweli mungu ampe kauri thabiti
@mamachris68113 жыл бұрын
Walimu wanabeba misongo yao ya mawazo na kutaka kumalizia kwa Watoto
@juniorsmart24833 жыл бұрын
Kaa jinga hili!hafundishwi kwa kupigwa????
@joyelia53563 жыл бұрын
😭😭😭😭 inauma sana kweli kazi sio kuzaa kazi ni kulea. kuzaa watoto wengi sio dili kama kulea ni kubovu
@salimharrasy70473 жыл бұрын
Subhanna LLah. Malaika huyu. Hana kosa lolote. Allah amjaalie miongoni walofuzu. A'miin.
@comrademlewaisavile3363 жыл бұрын
Malaika hana sifa ya binadamu. Sio vzur kumuita mtoto malaika🙏🙏