MJUE PESA ZA MO NYIE HAZIWAHUSU😊😊,,KIVYOVYOTE VILE HAMNA KINACHOWAHUSU,,,ATA ANGERITHI UTAJIRI MZIMA HAITAWAHUSU
@gigoyrn43946 ай бұрын
Me mwenyewe nilianza na nguzo 1 saizi namiliki tanesco
@zainabwage46586 ай бұрын
Iludiwe hii
@melanialeonard40316 ай бұрын
Mmmh
@mohammedkhimji75056 ай бұрын
🙌 salute kaka 🤣🤣🤣
@reubendidas6 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@mohamedslh54786 ай бұрын
Ongera 😅
@gracemkami13436 ай бұрын
Kuna siku utakuja sema uliokota mia 500 ndy imekutajilisha 😂😂😂😂 una Asili ya uchekeshaji wew jamaa😂
@LoytonWorldman6 ай бұрын
Millard naww jifunze kunukuu jamaa kasema mfano nilirithi milioni 1 sio kuwa ndyo ela aliyorith
@mushtaqakram98436 ай бұрын
Alitolea mfano tu sio kama alirithi milioni moja muwe mnasikiliza kwa umakini mtu pale anavyozungumza alisema kabisa kwa mfano
@pantaleomcha17956 ай бұрын
Pesa ina siri kubwa sana ndugu zangu....tujitahidi kufanya kazi kwa bidii...Tuache makasiriko na wenye pesa na mafanikio...Tumtegemee sana Mwenyezi Mungu...Hakuna Tajiri yoyote duniani atakayekuambia ni namna gani ametengeneza utajiri,njia alizopita kuupata huo utajiri...au mganga wake basi aliyempa utajiri😂....ng'ombe anayenipa maziwa siwezi kukuonyesha elewa hapo ...ni ngumu sana kuelewa Milioni moja hadi kuwa bilioni moja. Ndiyo uchawi upo..ndumba zipo nyingi sana..lakini pia Mwenyezi Mungu pia yupo ni wewe uchaguwe upande gani wakuelekea lakini PESA INA SIRI NZITO SANA...ukiambiwa vitu walivyofanya matajiri ili kuwa hapo walipo hutaweza kuvifanya ..pambana na hali yako tu yakimaisha uliyonayo kama una moyo mwepesi...
@velxempire89956 ай бұрын
umenena hap waach majungu
@shaviercharvinho186 ай бұрын
Anazinguwa sana
@vi3ayo16226 ай бұрын
Ebu tuacheni tuko bize na daby 😊😊
@JastiniBulayimani5 ай бұрын
sitilibuku
@Regankimaro-y7o6 ай бұрын
Nimesikia motivation nyingi ila hii 🤸🙌 Hamasa za baiskeli kuvuta treni😅
@ZabronMnyanyi6 ай бұрын
Sawa mo nitumie buku basi,
@BarakaSiliakus6 ай бұрын
Mwizi mukubwa wew achia timu yetu hatukutaki wanasimba unaturetea wezi ndani ya simba wew ndiyo chanzo cha timu yetu kutofanya vinzuri
@samuelseverua6 ай бұрын
Ulirithi Dola Milioni 1 = 2.6 Billion TZS
@thomasardoph6 ай бұрын
Kuna interview anasema alichukua kampuni ya mshua ikiwa na mapato ya USD 300 na wafanyakazi zaidi ya 400. Boss huyu 😁😁😁😁😁
@EddySempay-qf1on6 ай бұрын
Simba inaangamia ukowapi tajiri
@mohammedkhimji75056 ай бұрын
Bidhaa zimeshafikishwa sokoni na Simba.... sasa Simba analiona kama Ngedere tu hahaha
@verbalverbal20196 ай бұрын
Wahindi hawarithi pesa tu, wanarithi maarifa ya biashara, connections, elimu ya fedha, kuwaza mbali (wenzetu kwenye mipango yao huwa wanawazia mpaka vizazi vyao vijavyo)... Hapo kasema MFANO angerithi kiasi hicho, sio kwamba ndicho kiasi alichorithi (aliyeandaa content ndio kapotosha kwa makusudi, ili comment ziwe nyingi)... Nishawahi kumsikia kwenye interview moja anasema alirithi kama 30 mil (USD) hivi, ila hata uachiwe kiasi gani kama huna sifa za ziada utapoteana tu... Hawa huwa hawarithi hela tu, huwa wanarithi na sifa nyingine
@laurentraphael54706 ай бұрын
Hakuna tajiri anayesema siri ya utajiri wake. Wongo mtupu.
@shaviercharvinho186 ай бұрын
Mtu hakupi siri ya mafanikio yake
@RosemarryMwitta6 ай бұрын
working hard, seving money, nenda kwa malengo yako ndo siri ya mafanikio mnataka siri gani kama ni uganga, uchawi na majini yeyote anaweza kuyafanya hayo hayo ili atajirike! lakin bado watu hawatajiriki
@KefaFaraja6 ай бұрын
KISWAHILI KIGUMUU! YAANI MFANO WATU WANACHUKUA KUWA UHALISIA
@emmansabu93006 ай бұрын
Watanzania Tajiri.anazungumzia Milioni kwa DOLLAR
@editorfrank74716 ай бұрын
Bora wew umeelew ndg
@sergebaleke6956 ай бұрын
1998 kipindi hicho shilingi million 1 izo nyingi ww usifanye muchezo
@lyrics_forum6 ай бұрын
Nawakumbusha tu Milioni 1 ya Mwaka 1998 ni Millioni 100 ya Sasa. Sasa endeleeni Kusema Alianza na Pesa ndogo.
@editorfrank74716 ай бұрын
Milion anaoyesemea mo sio ya tsh n usd ndg
@lakasid38606 ай бұрын
@@editorfrank7471 amesema shilingi ya kitanzania million moja sio dollar million moja
@phiniasphilemon65145 ай бұрын
Milioni 1 ya mwaka 1998 ni sawa na 160,000,0000 ya sasa
@godwinmwakibibi2746 ай бұрын
Inawezekana ila ulishakuw kweny mfumo wa pesa
@kipinguseif99456 ай бұрын
Amesema kwa mfano alirithi milioni 1 na Sasa Anamiliki bi 1
@d153556 ай бұрын
BAKI NA HELA ZAKO HATUZITAKI TUACHIE SIMBA YETU
@jasonwatz74576 ай бұрын
Wewe umechangia nini hapo simba
@BusinessOne-mf5dj6 ай бұрын
Wewe unazo hizo Pesa kaka
@sunwizy6086 ай бұрын
ata jezi huna fala wewe😂
@dicksondidas81546 ай бұрын
Basii tukuwekee ww mwenye pesa na mwenye uwezo wa kuisimamia Simba kikamilifu😒
@ameirzapy13186 ай бұрын
😅😅 Matajiri bhana wanatuchukuliaje sisi wajasiriama tunaoshika ML 1 kila siku ? Hatuna maarifa au ni nini?
@KesslyTravelZanzibar6 ай бұрын
Kiyongo hichi😂😂😂
@AmyeSanga-u4c6 ай бұрын
Kweli kabisa mali ya kurithi wanaorithi wengi hawawezagi kuendesha hivyo ukiona umerithi na zinaendelea jua aliyerithi ana akili ya kuendesha maisha na pesa
@HomeboyTZ196 ай бұрын
You are not talking about the assets. Utajiri ni assets sio Pesa.
@jeremialyati60926 ай бұрын
Hasara imo Simba Tu😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@zawadimpayo38396 ай бұрын
Tujitah idi kutumia bando kwafaida 🤣🤣🤣🤣
@razackXheby6 ай бұрын
Ametngul mfano mcklz vzr
@maase20236 ай бұрын
Dah huyu mjamaa anajisifu kupita kiasi mpaka anatuboa dah tunachoka na majisifu yake
@Kimjongun49966 ай бұрын
Ila km mdhamini wa Simba tunaomba wachezaji wa maana na sio bora wachezaji,tunataka Simba iwe km mwanzo alipokuwa kocha mzee wa uchebe.
@mohammedkhimji75056 ай бұрын
Hadithi njoo, uongo njoo, utamu kolea... Hapo zamani za kale palikuwa na Simba mmoja alitumiwa kufikisha bidhaa sokoni na kuahidiwa Ufalme... bidha zikafika sokoni na Mtajiri akaendelea kutajirika ila yule Simba alipodai Ufalme alipewa taji ya umalaya na kreti moja ya eneji 🤣🤣🤣
@maase20236 ай бұрын
Mmmmhhh hivi mwenye pesa aweza kujitapa hivi au anatafuta kuitafuna simba tu? Huyu anajisifu mno ili simba imuogope na aendelee kuitafuna tu! Mmmmhhh huyu mjamaa majigambo yake yanapita kiasi
@d153556 ай бұрын
WEWE TAFTA WA KUMDANGANYA HUWEZI UKARITHI MIL.1 UKAPATA HELA HIZO HUYO MENGI HAJARITHI LAKINI HAJAFIKIA HELA ZAKO,INAWEZEKANA HUKURITHI PESA LAKINI URILITHI UCHAWI NA MAJINI YA KIHINDI MAANA NDIO ZENU, AU ULIIBIA SERIKALI KWA KUKWEPA KODI NA KUUZA MADAWA WACHA UWONGO WEWE UTAWADANGANYA HAO HAO
@BusinessOne-mf5dj6 ай бұрын
Wewe ndo huwezi. Piga mahesabu milioni 1 ya mwaka 1998 ilikua Na dhamani ya sh ngapi
@ShebbyTheparadiso-hf6fz6 ай бұрын
Ujafahamu katoa kama mfano tu kurithi milioni moja na kaweza kukuza zaidi ya hapo sikiliza vizur
@redtk29716 ай бұрын
D15355 we jamaa una akili sana waache ma ndondocha haya yaamini sasa iyo m1 ya 1998 ilikua na thamani ya m10 tukiongelea kwa kipindi hiko na hata kwa sasa lakini uyo ni muongo mungo mnadanganywa sana na huyu muhindi juzi anakwambia kanunua bugati ya £4.5m alafu eti kaenda kuliangalia akasema nipesa nyingi kwa nini alikua ajui kuwa £4.5m nipesa nyingi yani kuna vitu anaongea kwa mtu ambae hana elimu kama nyie mnaobisha ndio waliwao wenywe
@fadhilifredrick41156 ай бұрын
inawezekana mzee shida waafrica wengi wana rithi pesa nyingi ila wanaashia kugombana na kuuwana . Ila mi nakwambia Vya kurithi vinazidi sana tu mkiweka UPENDO NA UMOJA pamoja na USHIRIKIANO namna ya kuendeleza pesa hizo
@sunwizy6086 ай бұрын
wewe jamaa ni mbumbumbu ndiomaana ufanikiwi yan million 1 ushaipigia esabu kuwa ni ndogo ila mwenzio kaifanyia kazi atakam alishikwa mkono na watu tofaut tofaut ila kianzio chake kilikua iko
@frankmsaki626 ай бұрын
Tajiri muongo muongo sana😂
@queenmollel67396 ай бұрын
Yaani tuonyeshe wale wakweli
@melanialeonard40316 ай бұрын
Hana uhakika kwanza analazimisha watu wamuamin
@abdangembe43396 ай бұрын
Kama kweli anaweza kufanya hayo maajabu mbona hatuoni hayo matokeo kwa club yake ya simba?😅 Nakumbuka kuna interview alisema alikuwa anafamya kazi manhatan marekani ila mzazi wake akamwambia arudi bongo waendeleze biashara zao. Hii story ya kurithi 1 mil mbona kama haviendani kabisa.
@thomasardoph6 ай бұрын
Kuna interview alisema alikuta biashara ya baba ake ina mapato ya dola 300M na ilikuwa imeajiri watu 400. Zaidi ya hayo aliomba mkopo bank ya Barclays na walikuwa wanauwezo wa kumpa Milioni 800 tu. Ikabidi aende south maana alikuwa anataka bilioni of money. Million 1😂😂😂😂😂😂
@gracemkami13436 ай бұрын
Huyu jamaa muongo sana kila siku atakuja sema aliachiwa shilingi mia Ile ya kijani na baba yake
@reubendidas6 ай бұрын
Ila mkumbuke amesema KWAMFANO NIMERITHI MILIONI 1 ... Hajasema kwamba ame rithi milioni 1
@thomasardoph6 ай бұрын
@@gracemkami1343 Yani we acha tu😁
@thomasardoph6 ай бұрын
@@reubendidas Okay labda hivyo naweza kumuelewa..
@redtk29716 ай бұрын
haupo peke yako kwenye familia yenu pia kampuni sio yako ni ya familia pia kama uli rithi mil 1 bas hiyo ni ya $ pia leo unasema mil 1 wakati ulikuta kampuni ina $30m ebwana usitake kudanganye ndio mana huwezi nunua kitu chochote cha gharama bila kukaa na familia yako nilicheka sana ulivosema kuwa ulinunua bugati alafu uka cancel sawa unapesa lakini unachekesha sana😂 na hivi ndivo unavoifanya simba ndio maana haina muelekeo
@jimmydizonga13356 ай бұрын
Bas tufanye hana ata mia kinacho kuumiza nikipi
@ibrahimally80736 ай бұрын
wewe kinacho kuuma nini?? Au na wewe ni family ya dewji? Sasa sijui unataka watu tuache kumwamini aliyosema mo halaf tukuamini comment yako au unatakaje??? 😂 Mali yake.. historia yake.. wewe eti unaumia!!!!😂😂😂
@redtk29716 ай бұрын
Kinachoniuma ni kwamba Tanzania mnapenda kumuamini mtu aliyependeza akisema kitu mnaamini haraka uyo muhindi muongo muongo sanabkitu kingine najua tu kutaja ilo neno simba limewauma basi wacha niseme paka
@jimmydizonga13356 ай бұрын
@@redtk2971 Sasa ata akidanganya si nivyake au naww niukoo wa Mo
@redtk29716 ай бұрын
@@jimmydizonga1335 ukoo wangu wa kenyatta unanitosha boss
@aidankakulu3986 ай бұрын
Mbona umeanza kubwabwaja dawa imeingia?????
@alextarimo49726 ай бұрын
Millard huyu mwandishi wako asoma between the lines huo ulikuwa mfano em kuweni mnasoma na kuskiza hizo headlines za kick zinapoteza views not news worthy
@melanialeonard40316 ай бұрын
Kabisa watu wanatokwa na mapovu akati kasema ni kwa mfano