EXCLUSIVE: MARIOO AFUNGUKA HASIRA ZAKE BAADA YA KAULI YA BABUTALE BUNGENI KUHUSU "MAMA AMINA" -PT II

  Рет қаралды 55,838

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 117
@jacksonjamesndyabawe495
@jacksonjamesndyabawe495 Жыл бұрын
I never pay attention on him but he's very humbled guy. I pray God to take you far... You are such a inspiration
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 Жыл бұрын
Mungu akubariki Sana marioo,,na mziki wako,,marioo alikuwa anakujaga Sana kwetu wakati hajatoka kabisa Leo hii Mario ni bonge la super star,ila yupo very humble Sana kuwa hivyohivyo kaka usibadilike kaka,,,unajua Sana kuintanvyu kaka unastory Sana Mario kama Raha Yan haujabadilika kabisa Kwajili ya ustaa,,Yani huringi kaka safi
@christinembeye5489
@christinembeye5489 Жыл бұрын
I love this Boy! He is Humble and Anajitambua. Aendelee kuwa Yeye kama Yeye, asibadzlike atafika Mbali Zaidi ya hapo alipo.
@azinarashidi5204
@azinarashidi5204 Жыл бұрын
Mungu akutimizie mahitaj yako Marioo🙏🏽
@EsterMarco-xf5qk
@EsterMarco-xf5qk Жыл бұрын
Millady umeweza mwaya umemtega swali akamwagikaa daaah nakubari broh🤗🤗 ety bweni
@millardayoTZA
@millardayoTZA Жыл бұрын
😂😂🙌
@haruningiliule7606
@haruningiliule7606 Жыл бұрын
Jamaa ana akili sana kwenye kujibu maswali big up toto bad
@marynjani1370
@marynjani1370 Жыл бұрын
Hata sijaiona kabisa ila am super happy hii ilikuwa interviews niliyoisubilia sana sanaaaaaa…..and here it’s bado mmoja and I can’t wait
@Storyzatown
@Storyzatown Жыл бұрын
Mama aminaa..kwani wanaitikiaje? Au mimi ndiyo sielewi 🤷🏾‍♀️ Big up Millard Ayo ✊🏾
@nurumwangoka5909
@nurumwangoka5909 Жыл бұрын
kweli Millard Kuna kitu special Mungu ameweka ndani yako,hakika wewe ni nouma
@messaabbas739
@messaabbas739 Жыл бұрын
Wallah marioo upo funny show aijapoa kabis 😂😂😂😂😂❤️❤️❤️❤️❤️
@bellahariminshi5149
@bellahariminshi5149 Жыл бұрын
Utafika mbali bro! Una kitu cenye wa sanii wengi hawana > uyo niufunguo wa kila kitu
@helenkambi3918
@helenkambi3918 Жыл бұрын
Hahahahq nilijua tu watampatia hapo kwenye nyumba iko wapi. Love you Mario . Kind and humble guy.
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 Жыл бұрын
Marioo anastor Sana yani Hadi raha haringi Yani,,yupo vilevile Yani habadiliki kwakuwa star,,safi kaka ubarikiwe,, kipenzi,,na uje kututembelea Omi kama mwanzo kaka
@luccieibrahim
@luccieibrahim 9 ай бұрын
Toto bad❤❤
@russysalimu2498
@russysalimu2498 Жыл бұрын
Mashaallah
@Bensonfrank25
@Bensonfrank25 Жыл бұрын
Humble kid.
@isayajoseph14
@isayajoseph14 Жыл бұрын
Napenda sana maswali YAKO kaka Millard
@frankmpanda5850
@frankmpanda5850 Жыл бұрын
mirady mm nakufatilia kila intevew uko poa sana mungu akupe maisha malef
@millardayoTZA
@millardayoTZA Жыл бұрын
Shukrani sana Frank
@mkumbozakaria7266
@mkumbozakaria7266 Жыл бұрын
Millard 🙌🙌🙌🙌🙌 bweniii
@lilianrwegasira4496
@lilianrwegasira4496 Жыл бұрын
Marioo ur Show was owsome kwakwel 🙌🙌
@صالحالصوافي-غ5و
@صالحالصوافي-غ5و Жыл бұрын
Jamani nyie wandishi nawapenda ❤
@maryandason1815
@maryandason1815 Жыл бұрын
Mmeru mwenzangu nakupa big up my brother Ayo..tuko pamja jpo mm nko Nairobi but chuga n yetu wotee maswal n mazur ya kimtego ya panya bila samak ameingia mwnyewe 😅😅😅.kujbu mwnyew
@stellah3844
@stellah3844 Жыл бұрын
Marioo mtoto bad❤❤❤❤
@daudpius130
@daudpius130 Жыл бұрын
Unajua kujieleza vizuri sana
@barakamatali7141
@barakamatali7141 Жыл бұрын
Kaka kwa mwaka huu toka uwanze interview hii Kali kuliko zote
@matimfuko641
@matimfuko641 Жыл бұрын
Hahaha nimewapenda mmepata ukweli WA alipojenga bila Kutumia nguvu
@marthamushi9390
@marthamushi9390 Жыл бұрын
Milard hayo ni mjanja sanaa jinsi alivyotumia akili kumuuliza marioo swali la kuwa ana jenga wapi😂😂😂😂
@DAVID-wp4vc
@DAVID-wp4vc Жыл бұрын
Muogope sana millad kwenye interview hua anakua na maswali ya mtego haya ss tumejua bweni😂😂
@zachaamaster5378
@zachaamaster5378 Жыл бұрын
#makiniii san
@sky-wz5zi
@sky-wz5zi Жыл бұрын
Hapo mwisho kwenye kurogwa kanichekesha sanaaa😅😅😅 "ndo vzr kwanza, ili nikae vzr" 😅😅😅
@EdinaClement-fw5kh
@EdinaClement-fw5kh Жыл бұрын
Millad unaweza Sana,wakishua👏👏👏
@Ellen_Titus
@Ellen_Titus Жыл бұрын
I’m a new fan.. Aliposema bora mniue tu.. Nimecheka lol
@robbynyamriba251
@robbynyamriba251 Жыл бұрын
Millard😂😂😂🙌🙌siitaki mitego yako
@salomewandya7257
@salomewandya7257 Жыл бұрын
Bweni🔥🔥😄😄
@Storyzatown
@Storyzatown Жыл бұрын
Millard wewe uko vizuri sana 😂mtego uliompa Marioo hata yeye hakushtukia baada ya kukwepa swali la nyumba yake hiko wapi 😂🔥
@suleymanmakiwa1651
@suleymanmakiwa1651 Жыл бұрын
Si umesema iko Mbweni eeeh?
@Storyzatown
@Storyzatown Жыл бұрын
@@suleymanmakiwa1651 Eeeh hiko Mbweni 😂😂😂😂 Millard ni noma
@safiyanirram-pf3sv
@safiyanirram-pf3sv Жыл бұрын
Nice interview
@boniphacemsagaa5180
@boniphacemsagaa5180 Жыл бұрын
eti iko mbweni.. eeh 😂😂
@millardayoTZA
@millardayoTZA Жыл бұрын
😂😂
@bish_daddiyao
@bish_daddiyao Жыл бұрын
Hahaha Ndo maana...nilimpenda Since day One keep going Young Boy
@messaabbas739
@messaabbas739 Жыл бұрын
Yomiiiii 🙆🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣uyu Omar bhana khaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣ety meno yake nikampenda 🤦🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@AmelbergaKempanju-uf1zh
@AmelbergaKempanju-uf1zh Жыл бұрын
That's good bro
@simonmahenge871
@simonmahenge871 Жыл бұрын
BLUE BOYS WAKISHUA🔥🔥🔥🚀
@arianaferdnandez2445
@arianaferdnandez2445 Жыл бұрын
Him again 😎
@chuppaboy_
@chuppaboy_ Жыл бұрын
Nampenda toto bad
@millardayoTZA
@millardayoTZA Жыл бұрын
Thanks for watching Chuppa Boy
@josephmatinanthony9730
@josephmatinanthony9730 Жыл бұрын
Sema mim nakupongeza kwa kutega maswali mtu anafunguka mwenyewe bila kupenda😃😃 kwahio upo mbweni kumbe😂
@rogerslwitiko3915
@rogerslwitiko3915 Жыл бұрын
Kk Millard mm napenda interview zako uko technical kwny kuuliza maswali
@nicholausmwinuka7640
@nicholausmwinuka7640 Жыл бұрын
Boom
@millardayoTZA
@millardayoTZA Жыл бұрын
Thanks for watching
@BivanyTV
@BivanyTV Жыл бұрын
Nakubal bad unanifundisha vitu
@106skippersavage2
@106skippersavage2 Жыл бұрын
💥💥
@dianangailo9878
@dianangailo9878 5 ай бұрын
Huyu kijana ana akili sana na ana hekima Mungu amfikishe mbali
@Cosmas_General
@Cosmas_General Жыл бұрын
Millard Ayo🔥🔥🔥
@EsterMarco-xf5qk
@EsterMarco-xf5qk Жыл бұрын
Daaah nimependa marioo aliulizwa nyumba ipo wapi hakusema 😂😂 lkn millady akamtega unapenda maeneo gani ya kuishi kwa hapa dar akasema bweni kwaoiyo moja kwa moja marioo akawa amejibu swali bira kujua 😂😂😂😂
@millardayoTZA
@millardayoTZA Жыл бұрын
😂😂🙌
@Makakulaya
@Makakulaya Жыл бұрын
​@@millardayoTZA siku ukija Canada uniambie nitakupangia,nikupe ghari kila kitu kwa bure.napenda gisi uko mpole. Niko mujeshi la Canada
@nurumwangoka5909
@nurumwangoka5909 Жыл бұрын
huyu Kaka ni nouma
@boydnjoka9814
@boydnjoka9814 Жыл бұрын
😂 Agent millard hatar sana bro
@nurumwangoka5909
@nurumwangoka5909 Жыл бұрын
huyu Kaka ni nouma
@elegantdox8074
@elegantdox8074 Жыл бұрын
omary Ally Mwanga 🔥🔥🔥
@millardayoTZA
@millardayoTZA Жыл бұрын
Thanks for watching
@modazen7178
@modazen7178 Жыл бұрын
@@millardayoTZA kaka nina jambo lang
@dianachagha8839
@dianachagha8839 Жыл бұрын
Baaaaaad 🎉😊
@eladiuspeter586
@eladiuspeter586 Жыл бұрын
Yule hafai kuwa Mbunge. Moja ya lawama Nampa mwendazake ni kitulazimishia majuha
@helenkambi3918
@helenkambi3918 Жыл бұрын
Umesema kweli Mario watu wengi wanamuonea sana Hamisa. Wivu mwingi
@linovahme6060
@linovahme6060 Жыл бұрын
Ulisema iko mbweni eeh 😁😁 kula chuma hicho
@kelvinmwambona5395
@kelvinmwambona5395 Жыл бұрын
Kaka Muyenjwa Leta Madini Hayo
@millardayoTZA
@millardayoTZA Жыл бұрын
YES SIR !
@neemalema5312
@neemalema5312 Жыл бұрын
Mmh hizo hereni na kidani puani ndio unamaana gani kaka yangu 🤔
@akidajulius1581
@akidajulius1581 Жыл бұрын
Hawa wasanii wanyimbo za kubana pua,wengi wao ndio walewale,wanatambulika kwa sauti zao,na mavazi na matendo ,ni wale wale tu,MUNGU awahurumie tu,
@ishakaabdii-dr4sm
@ishakaabdii-dr4sm Жыл бұрын
leo nime kuwa wa tatu naomba like zenu
@bakarinassoro5513
@bakarinassoro5513 Жыл бұрын
Mirad 😄😄😀 mbweni
@millardayoTZA
@millardayoTZA Жыл бұрын
😂😂😂
@kinthermedia
@kinthermedia Жыл бұрын
Ok
@RichardKinvunvu-qn1or
@RichardKinvunvu-qn1or Жыл бұрын
Natamani suku moja nije kushare historia ya maisha yangu kupitia kwenu nahisi itakuwa bonge la stori
@saidiwakufuta
@saidiwakufuta Жыл бұрын
Jamni club tu milioni mbili mda mwengne mtuache wa bongo au mpka kukodi na gari
@saidasimba9979
@saidasimba9979 Жыл бұрын
Ya kwako lkn au umepanga
@charliestyles5535
@charliestyles5535 Жыл бұрын
mama aminaa.....malizieni wananguuuu 😅😅😅....
@charliestyles5535
@charliestyles5535 Жыл бұрын
mmmmmmk
@shamsaamor001
@shamsaamor001 Жыл бұрын
Mama aminaaaaa kumamakeeeee ,moyo wangu unauminya ma Amina we unauminya
@dignakanje4508
@dignakanje4508 Жыл бұрын
Hko ulikoingia hko kwenye mahusiano,usipoangali nyumba haitaisha.
@rolency
@rolency Жыл бұрын
Ntakwambia ukweli
@everlyne8595
@everlyne8595 Жыл бұрын
Interview bomba😅
@AzahOmary-kd2db
@AzahOmary-kd2db Жыл бұрын
Karibia mtaanza kutoboa vitovu
@wishjrtz
@wishjrtz Жыл бұрын
marioo anajiepush san
@geraldnjau7186
@geraldnjau7186 Жыл бұрын
Kwani mama Amina Ina maana nyingine?
@bwanabrainex433
@bwanabrainex433 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣millard unajifanya mjanja sana
@AzahOmary-kd2db
@AzahOmary-kd2db Жыл бұрын
Wasanii wa bongo kwa iga mpaka mtakua mashoga mwanaume kutoboa pua wapi na wapi
@maryandason1815
@maryandason1815 Жыл бұрын
Mbona amuuliz kwa nn heren masikio n n puan ,shida nn? N ili janga la mashoga 😂😂😂😂😂 tz
@nathan6751
@nathan6751 Жыл бұрын
We mkundu tu mama Amina nzuri kwako mjinga .Kumbe tunzo za mchongo 😂😂😂🤣🤣 nenda Kwa babu tale fala ww
@JamesSteven-vd7vw
@JamesSteven-vd7vw Жыл бұрын
wasanii wa kizazi kipya ebu tujiheshimu na tujipende bhn. unavaa mahereni na unatoboa pua kama she? ivi kweli unatufundisha nini sisi wanaume wenzio kwamba tukuige kutoboa maskio na pua? toa hayo maereni na kipini puani bhn ukae kama mwanaume, au ndo ushoga wenyewe umeshakufata inawezekana lakini,,, milard mwiiye ndu to aatefo findo fo aree ifo makurii na mbuo
@mickthomas-lh1fs
@mickthomas-lh1fs Жыл бұрын
Uyu jamaa mbona mjamuhuliza kuwa ni fundi magari.
@asalkhan9168
@asalkhan9168 Жыл бұрын
Sister wetu maroo uko beautiful umependeza hongera dada
@mrsinia3064
@mrsinia3064 Жыл бұрын
Acha masihara na brand za watu wew🤣🤣
@mwezzireen17
@mwezzireen17 Жыл бұрын
😂😂😂
@simonnembomadola7512
@simonnembomadola7512 Жыл бұрын
Kiukweli msiimbe matusi,hatutaki matusi kwa Nini uimbe matusi na uone hakuna shida.Achani kuimba matusi,mbona Ali Kiba aimbi matusi na mziki wake ni mzuri
@saidasimba9979
@saidasimba9979 Жыл бұрын
Kumbe umepanga ndo uchizi wa wasanii wa bongo
@herikaniugu
@herikaniugu Жыл бұрын
Ulishawahi ata kununua album ya msanii yoyote?
@millardayoTZA
@millardayoTZA Жыл бұрын
MSIKILIZE TENA MPAKA MWISHO NDUGU
@charlesezekiel5252
@charlesezekiel5252 Жыл бұрын
😅😅
@millardayoTZA
@millardayoTZA Жыл бұрын
😂😂😂
@sedekiakiza
@sedekiakiza Жыл бұрын
Hahahaha
@millardayoTZA
@millardayoTZA Жыл бұрын
🙌🙌
@modazen7178
@modazen7178 Жыл бұрын
umesema uko mbwen
@saadatiyahyashabani-yg2xy
@saadatiyahyashabani-yg2xy Жыл бұрын
Niaj mirlad
@millardayoTZA
@millardayoTZA Жыл бұрын
MZUKA SANA YAHYA !
@AhmadyVenjatz-nj4lh
@AhmadyVenjatz-nj4lh Жыл бұрын
Jjjj
@shabaniddy9967
@shabaniddy9967 Жыл бұрын
Plz like zangu
@joycemrema6694
@joycemrema6694 Жыл бұрын
Nkupndg ty jmn
@arianaferdnandez2445
@arianaferdnandez2445 Жыл бұрын
Him again 😎
@millardayoTZA
@millardayoTZA Жыл бұрын
YES MAM !
@nickalreadyknows
@nickalreadyknows Жыл бұрын
@@millardayoTZA mama tena 😂 😂 blue boy wa kishua
pumpkins #shorts
00:39
Mr DegrEE
Рет қаралды 105 МЛН
REAL 3D brush can draw grass Life Hack #shorts #lifehacks
00:42
MrMaximus
Рет қаралды 6 МЛН
Зу-зу Күлпаш 2. Бригадир.
43:03
ASTANATV Movie
Рет қаралды 708 М.
Salama Na MR BLUE SE6 EP69 KHERI PART 1 SendTip MPESA LIPA NO 5578460
25:09
pumpkins #shorts
00:39
Mr DegrEE
Рет қаралды 105 МЛН