UKWELI NA MATESO ANAYOPITIA BAMBUCHA ASIMULIA 'KUKATWA MGUU, UIGIZAJI'

  Рет қаралды 169,141

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 454
@abdulazizsharif2984
@abdulazizsharif2984 2 жыл бұрын
Hakuna mtihani unaozeoeleka Imani ndio ngunzo ya maisha kumwamini Allah na kumtegemea yeye ndo funguo ya maisha... usijutie kuzaliwa bali jivunie kuzaliwa no matter how your , sema Asante Mungu kwa kila jambo .
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 2 жыл бұрын
Daaah Mr dunia hii kwa hakika tumche mungu
@christaoman8890
@christaoman8890 2 жыл бұрын
Pole sana baba Mungu akutie nguvu
@eliaichraymond1215
@eliaichraymond1215 2 жыл бұрын
Siku ukipata matatizo ndiyo utajua rafiki wa kweli!!! Marafiki wengi tulionao ni Feki!!!mtu anakupenda pale unapokuwa na msaada kwake!!!
@sharonenson
@sharonenson 2 жыл бұрын
Kweli kabisa 💔
@casto_iq9632
@casto_iq9632 2 жыл бұрын
Kweli kabisa....urafiki wa kinafiki
@dalalivyumbatz
@dalalivyumbatz 2 жыл бұрын
Fact
@aminaally8475
@aminaally8475 2 жыл бұрын
🤝chukua hyo
@eliaspeter4017
@eliaspeter4017 4 ай бұрын
Ni kwl aisee, huwezi amini mpaka yakukute
@halimaamani8837
@halimaamani8837 2 жыл бұрын
Jamani irene uwoya muoneni msanii mwenzenu anateseka sana kwa nn mnaenda kutupa pesa kwny starehe sizizo na faida mwenzenu anateseka msaidieni jamani mungu atawalipia na dhawabu mtazipata Kesho akhera kuliko starehe zisizo na faida
@severinakigura5828
@severinakigura5828 2 жыл бұрын
Pole sana baba yangu mungu yupo atakuponya, nanukuu msemo wa hayati Reginald mengi alisema hivi Kama umepoteza kiungo kimoja Cha mwili usililie like kilichopotea Bali jiulize hiki kilichobaki nitakifanyia Nini,? . hivyo Anza kufikirja namna ya kufanya kazi na huo mguu mmoja ulicbaki.mungu ni mwaninifu sana atakusaidia.
@salmashabani5386
@salmashabani5386 2 жыл бұрын
Pole Mzee wangu,,Mwenyezi Mungu akutie nguvu
@deborahrehema5819
@deborahrehema5819 2 жыл бұрын
Oooh what sad ☹️ kweli Yesu pekee ndo njia ya haki na Kweli pole sana 😭😭😭
@sturbbornvideoz8547
@sturbbornvideoz8547 2 жыл бұрын
Mungu au yesu?
@husseinchea5524
@husseinchea5524 2 жыл бұрын
@@sturbbornvideoz8547 vyovyote vile ni sawa
@g.karathaofficial666
@g.karathaofficial666 2 жыл бұрын
Hii ndio kazi ya media hongereni sana Wana wa Ayo kwamajukumu haya kuyafikisha kwa wananchi.
@faithjonathan3845
@faithjonathan3845 2 жыл бұрын
Mungu yupo nawe. Napenda sana mtu anayepata matatizo akasema hana wa kumlaumu. Kuliko mtu anaanza kurusha lawama kwa kila mtu..Maisha yetu ni wajibu wetu nimependa sana ulivopokea matokeo bila kurusha lawama kwa ndugu ama marafiki😍
@hamoudcreator6343
@hamoudcreator6343 2 жыл бұрын
Daaahhh😭😭 Inaumiza Sanaa.. Inaumiza... Alhamdulillah😔
@jeniphermahuma2423
@jeniphermahuma2423 2 жыл бұрын
Usijali Baba Mungu wetu ni mwaminifu sana....utakuwa sawa tu...Endelea kumtumainia Mungu...Yeye ndiye msaada tele wakati wa Mateso 🥰...Akupe Amani ya Moyo...umtumainie yeye pekeake....Itia Damu ya Yesu ikasafishe mfumo wako wa damu na kuua vimelea vyote vinavyochochea Kisukari
@sophiarubambimpala5482
@sophiarubambimpala5482 2 жыл бұрын
Mwezi wa pili jaman tulikuwa na safari tukashuka Geita kula sehemu tulokwenda kula kwa nje mlangoni alikaa huyu baba na vijana wawili, dada angu akasema oneni baba yao Banana Zoro tukasema sio mwenyewe ila kama huyu mtu sio mgeni tulikaa pale mda mrefu mana gari lilikuwa limeharibika pia kwahyo tukawa tumesubiri badae nikashangaa kuona anavuka barabara na kijana mmja huku anamguu mmoja tulisikitika ila hatukuwa na namna et leo ndo najua alikuwa ni Bambucha jamani Eeh Mwenyezi Mungu msaidie aweze pata msaada na umponye awe na matumaini tena, tusihukumu hatuijui kesho yetu, Nmeumia sana hasa nnapoona comment za watu, hamuwezi jua ni namna gani amepambana had kufika hapo kutokuwa na mke ya ngoswe mwachie ngoswe hujafa hujaumbika.
@abelharry_tz
@abelharry_tz 2 жыл бұрын
Kuna namba yake ya MPESA inapita hapo chini. Ya video Ukiguswa Tenda Kwa wema nawe Mungu atakubariki
@miriamwinston9908
@miriamwinston9908 2 жыл бұрын
Amen
@knowledgetv5594
@knowledgetv5594 2 жыл бұрын
Kama unaangalia hii video na bado hujamkiri Bwana Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yako basi jifunze kupitia haya kwa Mr Bambucha, na ukimbilie sehemu salama kwa Kristo Yesu. Pia uweze kupokea ulinzi zaidi. Ni rahisi na niandikie chini hapo ili nikuongoze sala ya toba!
@zenacharles8141
@zenacharles8141 2 жыл бұрын
😆😆😂
@davianofficial6972
@davianofficial6972 2 жыл бұрын
Amen ndugu
@nelithamimwani4516
@nelithamimwani4516 2 жыл бұрын
Amen
@husseinchea5524
@husseinchea5524 2 жыл бұрын
Amen
@enockkawemba8609
@enockkawemba8609 Жыл бұрын
Tabola
@beyayomakoja6565
@beyayomakoja6565 2 жыл бұрын
Mungu amsaidiee kwayote yaliyotokea amen
@johnnonyarungwa255
@johnnonyarungwa255 2 жыл бұрын
SASA TUMEAMUA ILE PESA TULIKUWA TUMCHANGIE DADA WEMA ANUNUE GARI TUIELEKEZE KWA BABUCHA.
@yasminoluoch169
@yasminoluoch169 2 жыл бұрын
Ewaaaaaa
@aishaabdullah4172
@aishaabdullah4172 2 жыл бұрын
Ni kweli wabongo mlichangia ile ili mtu apate gari tu 😢😭🤣 Allaah anisamehe lkn watu wenye matatizo kama hivi ndio wa kuwasaidia starehe ni baadae sana
@omaryayoub2838
@omaryayoub2838 2 жыл бұрын
Hao Bongo Movie ndiyo wamekugeuka, maana hata kama unamguu mmoja, unaweza kuwepo kwenye filamu yoyote ile. Maana vipengele ni vingi sana kwenye filamu.
@Rehema-h6t
@Rehema-h6t 2 жыл бұрын
Pole sana kaka Mungu akutie nguvu kaka Mungu nimuaminifu kila Jambo lina kusudiwa na mwenyezi Mungu 🙏🏼🙏🏼😓
@mussambwilo2536
@mussambwilo2536 2 жыл бұрын
Pole sana mzee bambucha mungu akusaidie na usiache kusali😥
@sknapoleonshoo3145
@sknapoleonshoo3145 2 жыл бұрын
Duh Mwenyenzi Mungu akufanyie uwepesi na akulinde kwenye maisha yako .
@michaelmaziku991
@michaelmaziku991 2 жыл бұрын
Hakika hujafa hujaumbika hii ni safar yetu sote hapa dunian
@mercypeter162
@mercypeter162 2 жыл бұрын
Pole sana BABA ujafa ujaumbika mshkuru MUNGU kwa kila jambo. Atakufanyia upenyo mwingine
@raiszongo1580
@raiszongo1580 2 жыл бұрын
Pole saan mzee wangu 😥😥 Eh MUNGU tunaomba utunusuru sisi waja wako na majaribu ya hii dunia .... anaitaji msaada bambucha
@mdl6463
@mdl6463 2 жыл бұрын
Daaah pole Sana Uzuri moyo uko salama hakuna shida utaendelea kuishi tu
@aishaissa2512
@aishaissa2512 2 жыл бұрын
Utapona baba Allah akusaidie🤲🤲😭
@rogersiddy8975
@rogersiddy8975 2 жыл бұрын
Pole sana mzee wangu Mungu akusimamie na kukupigania mzee wangu🙏🤲
@jimmypaschal9291
@jimmypaschal9291 2 жыл бұрын
Neema ni kitu cha thamani sana. Binadamu tupunguze kulalamika kwa Mungu, watu wana mitihani mikubwa sana.
@fatmaally7252
@fatmaally7252 2 жыл бұрын
Daaaaaaah 😭😭😭😭 Alhamdulilah moyo umekosa nguvu ya kuvumilia mwenyezi mungu atakuafu alafu nachukia sana selikali ivi wanafanya nn jamani nachoka sana aseee
@rikekikonyo2265
@rikekikonyo2265 2 жыл бұрын
Serikali ina husika nini Sasa? Serikali inakujengea miundombinu ili huduma zipatikane kirahisi, Serikali imeleta bima ili kupunguza gharama pale mtu anapougua!! Ukilaumu Serikali kila kitu hata ukiwa na njaa utalaumu Serikali
@fatmaally7252
@fatmaally7252 2 жыл бұрын
@@rikekikonyo2265 ivi unajua maana ya msani ni nini
@fetychina3273
@fetychina3273 2 жыл бұрын
Bingo move wamemchangia wema gari wanancha wenye matatizo
@mrssalum6057
@mrssalum6057 2 жыл бұрын
Mtihn kwakwl
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 2 жыл бұрын
Wema kapewa gari kumbe
@fetychina3273
@fetychina3273 2 жыл бұрын
@@faudhiasalum7279 keshapewa my
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 2 жыл бұрын
@@fetychina3273 www acha hbn duh ata cjui my wangu duh kweli wema kipenz za taif
@khalisalim8370
@khalisalim8370 2 жыл бұрын
Nakumbusha tu: ukiwa na Afya basi tekeleza zilizoamrisha Allah Mwenyezi nakujitahidi kuyaepuka alizokataza Ili ufaulu. Nas alullaaha salaama.
@ukhtyrayyan7884
@ukhtyrayyan7884 2 жыл бұрын
Naam hakika nduguyangu maneno yako sadakta binadamu hasa hawa wasanii wanajisahau
@lucymkongwa4238
@lucymkongwa4238 2 жыл бұрын
Mungu akutunze baba, inauma Sana ila jipe moyo mkuu.
@irenemwakalinga4350
@irenemwakalinga4350 2 жыл бұрын
Dah so sad Mungu wetu ni mwaminifu utapona baba polee sanaaaaa
@lucyjeremia1381
@lucyjeremia1381 2 жыл бұрын
Pole Sana mungu ukusaidie
@gadielpaulo8925
@gadielpaulo8925 2 жыл бұрын
Pole Sana mzee kwa umri huo inabidi upate msaidizi wa kukupa uangalizi wa karibu
@epifaniamilinga2848
@epifaniamilinga2848 2 жыл бұрын
Mungu,wangu.tutetee.tusamehe.nakuombea Mungu akuponye,akutie nguvu na akufariji
@babudeemapete6680
@babudeemapete6680 2 жыл бұрын
MUNGU ndio Mueza WA yote Na nakuombea nikiwa Kenya Mombasa akupe njia na uwezo zaidi na maisha marefu na kila kitu kirudi Sawa amina
@marrymaganga8585
@marrymaganga8585 2 жыл бұрын
Mungu wetu muaminifu azidi kukuimarisha baba yetu
@janembalinga7074
@janembalinga7074 2 жыл бұрын
Anahitaji saikolojist kwmba haupo peke yako na lazma maisha yasonge mbele baba polee sana badilisha mfumo wa kula kula vyakula ambavyo vitakujenga mwili poa
@edinaclement7714
@edinaclement7714 2 жыл бұрын
Pole sana mzee, mtumainie Bwana Yesu ndiye mfariji.
@merrymassawe4329
@merrymassawe4329 2 жыл бұрын
Wasani jamani kueni na roho ya utu msaidieni mfungulieni ata duka kubwa awezi kujikimu na vitu vidogovidogo
@rahilsaleh246
@rahilsaleh246 2 жыл бұрын
Pole bambucha na ukae uswali kma kuna mambo ulikuwa unayafanya ambayo Allah hayapendi na ww ni muislamu uyaache umuombe Allah akufanyie wepes kwa kila jmbo
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 2 жыл бұрын
Amyn
@mussamsabah5163
@mussamsabah5163 2 жыл бұрын
Nina mengi sana ya kusema kuhusiana na Mr Omar Babu (Bambucha) dhidi ya makosa yake kwani mungu anamuhukumu tena amuombe sana Mungu amsamehe, Omar Bambucha (BABU) unamkumbuka marehemu Nassir? Nikutakie siku njema na iwe pole kwako but muelekee mungu sana na ufanye istighfara.
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 2 жыл бұрын
@@mussamsabah5163 subuhanallah
@Zuwomar353
@Zuwomar353 2 жыл бұрын
Amin thumma Amin
@nyotaasende9225
@nyotaasende9225 2 жыл бұрын
Pole sana baba
@sturbbornvideoz8547
@sturbbornvideoz8547 2 жыл бұрын
Inaskitisha 😭 Allah akufanyie wepesi bambucha, kila apangalo Mungu hakuna binadamu anaeweza kulipangua, mitihani tuliumbiwa sisi binadamu cha muhimu ni kushkuru Mungu, asante milarda ayo kwa kutuletea habari hii bambucha 🇩🇴🇩🇴
@asanteh5269
@asanteh5269 2 жыл бұрын
Mungu akutie nguvu mzee wetu
@lirastanley390
@lirastanley390 2 жыл бұрын
Pole sana mzee wetu,kabla hatujafa,,hatujaumbika. MUNGU yupo pamoja nasi kila mahali na Lila kukicha
@matswelomphela972
@matswelomphela972 2 жыл бұрын
Pole dear pole sana
@noorissa6036
@noorissa6036 2 жыл бұрын
Pole sana Allah akufanyie wepesi
@doricemwakasengo9222
@doricemwakasengo9222 2 жыл бұрын
Mungu akutie nguvu bambucha
@rassimbaengswahili6191
@rassimbaengswahili6191 2 жыл бұрын
Kumbe Charles Magari hayupo tena nchin? Kumbe Yuko America! Laaa pole sana Mzee wng Mungu akupe nafuu
@aishaamwalimu2887
@aishaamwalimu2887 2 жыл бұрын
Pole Sana.
@rassimbaengswahili6191
@rassimbaengswahili6191 2 жыл бұрын
Badala ya #kununuagari ya #wemasepetu plz badilisheni iwe #okoamaishayabambucha na #Mungu atawabariki wote..
@viva3317
@viva3317 2 жыл бұрын
Pole sn Bab mung yupo nae
@sadratsaid676
@sadratsaid676 2 жыл бұрын
pole lkn kwny movie 300 hpo duuh hilo chaka sasa
@RamadhanLugwe
@RamadhanLugwe Ай бұрын
Pole mungu akupe wepes
@kishaishengoma6724
@kishaishengoma6724 2 жыл бұрын
Pole sana Bambucha.Mwenyezi Mungu Akawe Mtetezi Wako.AMINA.
@masaludutta453
@masaludutta453 2 жыл бұрын
Mungu akubariki baba
@hagarbills4023
@hagarbills4023 2 жыл бұрын
Mungu akusimamie baba pole sana
@aysherkitoi6547
@aysherkitoi6547 2 жыл бұрын
Huyu anaomba msaada hawampi lkn profesa Jay mpk serikali inalipia sasa kwa nini na huyu adisaidiwe tena hana mguu na alikatwa mguu lkn kasema kaomba msaada wasanii kibao lkn hta cm hawapokei wala hawamsaidii sasa na huyu mumpost na mumchangie apate mguu wa bandia acheni kubagua
@salumumakombo9136
@salumumakombo9136 2 жыл бұрын
mganga na msaidizi wa sisi masikini ni Mungu mwenyezi....alienacho huongezewa kingine...na masikini hunyang`anywa hata kidogo alicho nacho na kuachwa mtupu
@juliethhouseofdesigns147
@juliethhouseofdesigns147 2 жыл бұрын
Yaani acha tu
@treshazgodfather9219
@treshazgodfather9219 2 жыл бұрын
💝🙏
@venanciavenant2891
@venanciavenant2891 2 жыл бұрын
Na huyo Mganga mkuu wa Nyasho amefariki juzi heri we uko hai,,pole sana
@yahyahamad1802
@yahyahamad1802 2 жыл бұрын
Pole kazi ya mungu haina makosa pole sana
@robertempire9542
@robertempire9542 2 жыл бұрын
Pole Sana father
@aysherkitoi6547
@aysherkitoi6547 2 жыл бұрын
Hujafa hujaumbika 😭😭
@abuuqatadah6903
@abuuqatadah6903 2 жыл бұрын
Nawausia ndg zng tumche Allah ... Allah anamajeshi mengi muda wwt hali yk inaweza ikabadilika ukaikumbuka fursa uloichezea ilhali umeshachelewa.
@ibrahimaussy3690
@ibrahimaussy3690 2 жыл бұрын
Pole sana uncle sema Mungu ni mwema na mm nakuombea kwake akufanyie wepesi katika huo mtihan uliokupata ndugu yang
@elishakayagwa9371
@elishakayagwa9371 2 жыл бұрын
Mpe Yesu maisha ili usife kibudu. Dunia mi tamu ila ukiindekeza inakupoteza
@philbertmtalo2156
@philbertmtalo2156 2 жыл бұрын
Ww unamjua yesu au unasema tu
@yohananyabu5556
@yohananyabu5556 2 жыл бұрын
Pole sana 🙏
@aishaimam1442
@aishaimam1442 2 жыл бұрын
Daaaaah maskin pole sana ..huruma
@Zuwomar353
@Zuwomar353 2 жыл бұрын
Nimeshindwa kujizuiya 😭😭😭inasikitisha sana ila Allah atakupa shifa atakupuguzia maumivu kakaangu tunakuombea sana zidisha subra ibadakwawigi adhkar zakila aina nimtihani mzito sana
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 2 жыл бұрын
Uswari Sasa umuombe Mola wako kwakilajambo saana kuomba mwishomwema kilammoja wetu. Inshallah Allah atusamee kwayoote
@munababy1385
@munababy1385 2 жыл бұрын
Sema AIhamdulillah baba 🙏🙏
@hamisirashidi2895
@hamisirashidi2895 2 жыл бұрын
Daaah pole sana mzee wetu
@beautyibrahim8428
@beautyibrahim8428 2 жыл бұрын
Vip kwan hana mke na watoto
@irenemwakalinga4350
@irenemwakalinga4350 2 жыл бұрын
Polee sana baba
@fredichaki3497
@fredichaki3497 2 жыл бұрын
Duuu.....!!!Get well soon bambucha god is great will heal you
@mohammedkaisar83
@mohammedkaisar83 2 жыл бұрын
Pole saana saana Mzee wetu Munqu aendee kukupa subra Munqu akupe nquvu Mzee wetu Amiini yarabi
@tatubadi9010
@tatubadi9010 2 жыл бұрын
Pole Sana mzee wngu.. Mwenyezimungu azid kukupa uvumilivu juu ya maumiv unayopitia..
@mwakahassan7685
@mwakahassan7685 2 жыл бұрын
Pole sanaa umenikumbusha marehem baba angu alikatwa mkono wote Allah amrehem ila wasanii mkiwa na hela mnakula bata sanaa mpk kujisahau Allah atupe mwisho mwema sina maana mbaya Allah atakusaidia
@sharontulliy9332
@sharontulliy9332 2 жыл бұрын
Pole sana mpendwa
@danrevelian
@danrevelian 2 жыл бұрын
Mungu akutie nguvu mzee wangu...!!
@dayanamatola2557
@dayanamatola2557 2 жыл бұрын
Pole San Bab,, mungu yu mwema yupo upande wako
@AwadhiAlfani-bd5pj
@AwadhiAlfani-bd5pj 4 ай бұрын
polesana mzeee wetu
@auntdorah9141
@auntdorah9141 2 жыл бұрын
Tuiombe serikali yetu itusaidie ktk hili gonjwa la kisukari, matibabu yangekua bure kama ilivyo kwa HIV.. Hili nalo dawa ni kila cku na kula kwa masharti, kama mtu hana uwezo ki uchumi ni shida sana
@ukhtyrayyan7884
@ukhtyrayyan7884 2 жыл бұрын
Sukara au maradhi yeyoere hayandeshwi nadawa tu nimazoezi nakula vizuri kiafya nakuacha ulevi masigara binafsi mie ninasukari ila nafanya mazoezi nakula vitu visokua namafuta basi sometime hata dawa na kua sili nakua vizuri muhimu kuacha sukari namazoezi nimuhimu
@raiszongo1580
@raiszongo1580 2 жыл бұрын
@@ukhtyrayyan7884 kweli kabisa
@chumbulajames9895
@chumbulajames9895 2 жыл бұрын
Pole sana
@evodiadominicpaul5006
@evodiadominicpaul5006 2 жыл бұрын
Asante kwa taarifa kemkem
@mlawatvonline3720
@mlawatvonline3720 2 жыл бұрын
Mungu atakuafu inshaallah
@ernestlameck5523
@ernestlameck5523 2 жыл бұрын
Mungu akusimamie
@ARMY-m4g9j
@ARMY-m4g9j 2 жыл бұрын
Anything is possible, naamini Bambucha unaweza kufanya sanaa na mguu moja !! Nina imani unaweza kufanya sanaa.
@ginahsamwel2308
@ginahsamwel2308 2 жыл бұрын
Poleee saaana Mwenyenzi Mungu akupe ustahimilivu
@kimzymamy6594
@kimzymamy6594 2 жыл бұрын
Pole sna Baba mungu yuko nawe utapona bas mungetoa NUM mwenye uwezo ata Mia ampatie😢🙏
@getrudathomas535
@getrudathomas535 2 жыл бұрын
Pole sana mwenyezi Mungu atakuinulia watu wakukusaidia duh inauma sana
@adnanqareem4024
@adnanqareem4024 2 жыл бұрын
Pole mzee Wangu mungu atakusaidia
@vinnie_peku3369
@vinnie_peku3369 2 жыл бұрын
Mungu amnusuru bambucha
@neemianaemanuel7547
@neemianaemanuel7547 2 жыл бұрын
Pole sana kaka Mungu azidi kukutunza zaidi katika kipindi hiki kigumu kwako
@missmwayway4704
@missmwayway4704 2 жыл бұрын
Daaaahhh aiseee Pole xana Baba Allah azidi kukutia nguvu 🤲🤲🤲🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@sharmelasaif47
@sharmelasaif47 2 жыл бұрын
Pole sana kakaanguu
@faridadondo2103
@faridadondo2103 2 жыл бұрын
Subhanallah ama kweli hujafa hujaumbika pole saan babaangu
@jovinathobias7163
@jovinathobias7163 Жыл бұрын
Mungu akutunze
@shaniaibrahim8570
@shaniaibrahim8570 2 жыл бұрын
Pole Sana. Mungu ata kusaidia kwa kila Jambo
@edgarnandonde48
@edgarnandonde48 2 жыл бұрын
duuh aisee pole sana
@salhaomary2040
@salhaomary2040 2 жыл бұрын
Pole Sana mzee wetu allah Akupe shufaa
@jasminemalekela2784
@jasminemalekela2784 2 жыл бұрын
Mungu akusaidie, Mungu ni mwema atakupigania ,tunakuombea sana
Dad gives best memory keeper
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 25 МЛН
Modus males sekolah
00:14
fitrop
Рет қаралды 24 МЛН
Mbunifu wa trekta ya kulimia kwa kutumia injini ya mashine ya kusaga
3:56