EXLUSIVE: MAISHA YA BAMBO, NYUMBA ANAZOMILIKI, STAREHE YA KUHONGA NA KUTOKUINGIA DISCO TOKA AZALIWE

  Рет қаралды 32,054

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 62
@antonymsalilwa7180
@antonymsalilwa7180 4 ай бұрын
Kama unakubali legendary onyesha ugwana hapa
@TAJIRI001
@TAJIRI001 3 ай бұрын
BAMBO. Favorite wangu tangu enzi zile, kina Mtanga, Kingwendu, Yani OG's wote na support kazi zao always. Old is Gold.
@lvanyDaniel_pw7kk
@lvanyDaniel_pw7kk 4 ай бұрын
Juzi nime muona Mbagala kirungule ana tembea mchana jua kali sema jamaa anaishi maisha yake halisi hafeki life 💪🏻
@AgustinoMinga-s5r
@AgustinoMinga-s5r 4 ай бұрын
Uyu mwamba hatariii ni fire
@LovelyOmbreSky-pu4jt
@LovelyOmbreSky-pu4jt 4 ай бұрын
Aisee namkubali sana Mr bamboo
@ChenchiKing
@ChenchiKing 4 ай бұрын
Bamboo Noma Xana Namkubali Legend Wangu
@idanysedrc1200
@idanysedrc1200 4 ай бұрын
Bambooo hazeek aisee mie nakua namuona kwenye matangazo ya SAbun ya Omo hiyo kabla ya itV😀😀😀 walikuwa na Mzee small ❤
@Boskarii
@Boskarii 4 ай бұрын
WAKATI WA MUNGU NI WAKATI SAHIHI #BAMBO ❤ Asante kwa kutuheshimiwa watu wa SONGEA
@Baba_Ben.
@Baba_Ben. 4 ай бұрын
Sound Engineer jitahidi kumaintain sound pitch maana inashuka sana na kupanda ghafla.
@SuleimanAbdalla-cn5ne
@SuleimanAbdalla-cn5ne 4 ай бұрын
Bamboo home boy
@herielmao3900
@herielmao3900 4 ай бұрын
Mwigizaji konki kabsa huyu, ukimweka mtanga pembeni ndio noma kabsa
@segeospatialtechnology7482
@segeospatialtechnology7482 4 ай бұрын
Saiz Tid ameshayeyushwa na Bamboo 😂😂
@michaelmisana650
@michaelmisana650 4 ай бұрын
Huyu jamaa namukubalii sana
@Nobengaphotographer
@Nobengaphotographer 4 ай бұрын
Huyu mzee na 2003 yake kila kituu mwaka huo huoo au ameanza kusahau miaka
@BarnaBoy-uo2ht
@BarnaBoy-uo2ht 4 ай бұрын
toka najitambua namuona hivi hivi aisee
@ZeProDJay
@ZeProDJay 4 ай бұрын
Hii interview mmezingua sana kuna wakati sauti inashuka sana kusikia inakua shida afu imepoa sana wakati bamboo tunamjua ni mchangamfu... The way mnamhoji presenter na mhojiwaji ni kama wote mnaumwa.
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur 4 ай бұрын
Huyo ndio bambo,sema jamaa nitajiri kamsoma mtangazaji anamjibu kisaikolojia na mautani mengi ili asichimbwe sanaaa...nimeipenda iyo
@matugarecords
@matugarecords 4 ай бұрын
Mkongwe kwenye game 🔥🔥🔥
@JohnsonBagambi
@JohnsonBagambi 4 ай бұрын
Jamaa anajua
@danrappergangamaa1190
@danrappergangamaa1190 4 ай бұрын
Anaongea kama hataki ila ndio anaenda hivooo😂😂😂😂😂ila bambooo
@BANJO_MOULDING_DECORATION
@BANJO_MOULDING_DECORATION 4 ай бұрын
Legend never die 🫡
@harrsmgaya8141
@harrsmgaya8141 4 ай бұрын
Usipo toa hela ana nuno
@erickmbilinyi2056
@erickmbilinyi2056 4 ай бұрын
😂😂😂 noma kama utoi hela mtu ananuna tu
@octaviantito
@octaviantito 4 ай бұрын
Akapela bila beat...haupati kitu 😄
@EnzamaMohamed
@EnzamaMohamed 4 ай бұрын
Millladayo ni family ❤
@davidpaschal778
@davidpaschal778 4 ай бұрын
Uyu jmaa mpaka Leo sjaelew kwann anatrend anae jua anidokeze jamn
@erickmbilinyi2056
@erickmbilinyi2056 4 ай бұрын
Click zake zilizofanya vizuri kwenye kazi zake za zaman nizimeanza kurudishwa recycling (nacheka laki naogopa), (mtanga mambo yakuniongezeu bili shit)
@rasvegas8991
@rasvegas8991 4 ай бұрын
Alf afyaa sio poaa
@nyamisimbaonlinetv9757
@nyamisimbaonlinetv9757 4 ай бұрын
2003 na mimi nilikua nimetoka nyumbani nilikua naisha na baba mdogo nili kidato 3
@adammayogho300
@adammayogho300 4 ай бұрын
Ufanye featuring
@mbavucomedy
@mbavucomedy 4 ай бұрын
Ety decimal ngap 😂😂😂😂
@muniraahmed624
@muniraahmed624 3 ай бұрын
Karud kweny game😊😊😊
@superhemed7590
@superhemed7590 4 ай бұрын
Goma linaanza yy yanga ww simba😂😂😂
@samwelsengati1369
@samwelsengati1369 3 ай бұрын
Huyu jamaa nmempenda sana hadanganyi yan anasema ukweli kabisa
@user-yz1is3fi9h
@user-yz1is3fi9h 4 ай бұрын
Minywele sehem zisizo julikana
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 4 ай бұрын
👊👍✌️.
@TausAbasi-jf2xx
@TausAbasi-jf2xx 4 ай бұрын
Disiko umeenda kwa sira ya pombe 😅😅😅
@kavisheonline2418
@kavisheonline2418 4 ай бұрын
Unaraisisha mambo... mambo yasiwe mengi😅
@erickmbilinyi2056
@erickmbilinyi2056 4 ай бұрын
Bamba kwakwenda mbele
@SamsonSony-yc3iz
@SamsonSony-yc3iz 4 ай бұрын
Una mshifti😂😂
@erickmbilinyi2056
@erickmbilinyi2056 4 ай бұрын
Savco shakamshubebe 😂😂😂
@yasiniselemani8672
@yasiniselemani8672 4 ай бұрын
.😅😅😅😅unamshifti
@abelhilonga1095
@abelhilonga1095 3 ай бұрын
Mbuluu mpooo
@danrappergangamaa1190
@danrappergangamaa1190 4 ай бұрын
😂😂😂heeeee ananisikia
@johnngollo
@johnngollo 4 ай бұрын
ONA NGUMI ZILIVYOPIGWA BUNGENI LINK HAPO CHINI
@personpeter2221
@personpeter2221 4 ай бұрын
Ukiona ww inatosha🤣
@suleimanrashid9393
@suleimanrashid9393 4 ай бұрын
Miaka ya elfu mbili then anasema alikuwa ana miaka 18🤔🤔🤔
@lakasid3860
@lakasid3860 4 ай бұрын
Simiaka ya uigizaji au ni umri wake?
@aishajuma7813
@aishajuma7813 4 ай бұрын
😀😀😀😀😀😀
@henrickmhule8895
@henrickmhule8895 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂Ila huyu jamaaa kuna vitu anaongea kama masihara ila ni vya muhimu sana kwenye maisha.. "mbona ukiwahi hakuna kinachoendelea" 😂😂😂😂😂😂
@samwelsengati1369
@samwelsengati1369 3 ай бұрын
Usimfoso mchumbi
@elymollel
@elymollel 4 ай бұрын
Kwenye umri kama vile katupiga na kitu kizito, namkumbuka vzr toka nikiwa dogo.
@Lodrickmwambene
@Lodrickmwambene 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@user-uf6oe3qi6v
@user-uf6oe3qi6v 4 ай бұрын
Umri namba tu wanini
@selemanmaganga-le4zg
@selemanmaganga-le4zg 4 ай бұрын
Mtangazaji kama ujui kibisa basi we ni wa 2000 sisi wa 88 tunajua, henzi ya ngongoti na kijeba.
@vidovidox2632
@vidovidox2632 4 ай бұрын
Sio wa 2000 lakini Sijui yote wewe unayejua yote Hongera
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 4 ай бұрын
​@@vidovidox2632vido usikasilike bwana😂😂😂
@assenganews9435
@assenganews9435 4 ай бұрын
😂😂😂
@sharifahabsi5004
@sharifahabsi5004 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
WORLD BEST MAGIC SECRETS
00:50
MasomkaMagic
Рет қаралды 34 МЛН
Как подписать? 😂 #shorts
00:10
Денис Кукояка
Рет қаралды 3,5 МЛН
An Unknown Ending💪
00:49
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 41 МЛН
У ГОРДЕЯ ПОЖАР в ОФИСЕ!
01:01
Дима Гордей
Рет қаралды 8 МЛН
MTANGA NA BAMBO ,BALAA LA MCHUZI WA PWEZA ,UTACHEKA KWAKWELI
8:46
MTANGA COMEDY
Рет қаралды 210 М.
MTANGA NA BAMBO ,MDOLI WA DUKANI UTACHEKA UFE.
11:24
MTANGA COMEDY
Рет қаралды 1 МЛН
TAZAMA BASHE, MPINA WALIVYOKUTANA USO KWA USO
10:18
Mwananchi Digital
Рет қаралды 31 М.
WORLD BEST MAGIC SECRETS
00:50
MasomkaMagic
Рет қаралды 34 МЛН