Hahahah Mr champagne les vrais tipy tutoshe haya kabisa Bukavu hatu msanii wakuku fikia tena super Brother félicitations
@gersonissa9124 Жыл бұрын
Like from uvira 🇨🇩✊
@user-mo6tr3yt3m7 ай бұрын
Fière dé toi mon king ❤❤❤❤ respect mr champagne❤❤❤
@ElvisDusenge-wx5bh10 ай бұрын
Mista champagne another step go up ma Bro......🇧🇮
@mzarendo.com9624 Жыл бұрын
Huyu jamaa huwa ana nivunja sana mbavu na kiswahiri chake cha Congo na Burundi. Halafu ni muwazi sana hafichi hisia zake. Na mwisho inabidi awe Ze komedi atatoboa sana tu... Big up sana Mr. Champagne.
@kingjujungoy7862 Жыл бұрын
Dogo champagne big up boy uva toujour big up bro
@wisekingvenuste Жыл бұрын
Ku keleketwa ku umiya champagne noma Sana
@shineboynumberone9094 Жыл бұрын
Nakubari sana mr Champagne
@asmannyangusu5141 Жыл бұрын
Msani bora ivi ni champaigne burundi Uyumwaka niwa champaigne 2023 Big up bro Asman Nyangusu Burundi to Germany
@babutchombe2246 Жыл бұрын
Nc sn jemb letu ya Burundi 🇧🇮
@keymulume Жыл бұрын
Interview wasafi good mon grand
@stanybigirimana9340 Жыл бұрын
Mr champagne uko vizur huk kwetu na walembo tunao kibao unatafuta nin kwa kajala km sio kiki unatuaibisha bwana ndungu tafuta hela wanawake watajileta Dida amefunguka kakuchana mapenz kitu gani wabongo hawana mapenzi bro niulize mimi😂😂achakumaliz pesa zako Dar
@cleophasaganze32549 ай бұрын
Naona Warundi wana lalamika sana, eti Mr champagne ni mkongo. Ndiyo ni mkongo Ila Hana nafasi ya kupenya kimziki hapa Congo 🇨🇩 sababu Congo 🇨🇩 ni nchi nene sana Na inavipaji vingi sana ndo Maana aliamuwa ajifiche Burundi nchi maskini sana bila vipaji. Wa Congo 🇨🇩 wote ambao hawana uwezo ya kupenya kimziki ao kisoka wanakimbiliaka Burundi ao Rwanda sababu hizo nchi hazina vijana wenye vipaji vya juu, Na ndo Maana Hao wakina champagne wanaibuka wasanii wakubwa tena wakutegemewa huko.
@barutwanayoamani2464 Жыл бұрын
Nakupenda sana mista
@burundishallsmile1day109 Жыл бұрын
😅😅Mr Champagne s Crazy Boy! Eti Babangu akisikiya Mambo ya Nyumba sindo Lupango(nyumba ya familia)itaenda 👍🏽🙂
@gogombabazi3059 Жыл бұрын
Tu nous fait rire bcp 😂😂😂 tunakupenda 😍❤️
@jadotkalita5600 Жыл бұрын
Congratulation
@reemaalwad3ani616 Жыл бұрын
Champagne oui oui 😀😀😀😀😀😀
@GuelordMaombi7 ай бұрын
Yani huyu jamaa ni mshamba sana
@espoirsaidibullionvan Жыл бұрын
Mr champagne 🇨🇩 tu es vraiment terrible 😁
@RajboyMusic-sc7uz9 ай бұрын
Mista champagne je suis fiére de toi?
@cademuhali9616 Жыл бұрын
Vrai congolais 🇨🇩 exactement
@patrickhassan194 Жыл бұрын
Mkongo 100%
@Kimementocomedy3 ай бұрын
🇧🇮🇧🇮🇧🇮🎶🎶mista champagne
@zebedemirambi3067 Жыл бұрын
Congolais de chez nous 🤣❤️🇨🇩
@nicodemcharo250 Жыл бұрын
Courage vraiment mon frère
@stevenstevenahishakiye12 Жыл бұрын
Ndumiw ahubwo uyomujama izo hit arondera abanj kunyonga numva ntangay Sana ahubwo sumurundi ngira nikindi kintu
@mediatriceuwimana5389 Жыл бұрын
Mapenzi hela ndosabuni yamoyo
@nyampingazulphaty6954 Жыл бұрын
Lokole kampata wasawa yake .kkkkk I like this interview
@anicetnkorerimana4604 Жыл бұрын
Big up ma bro umetangaza inchi yako we ndo msani
@chrisniyomukiza1684 Жыл бұрын
Nchi gani?
@patrickhassan194 Жыл бұрын
Mr Champaign ongea kweli, we Mkongo na si Mrundi, auna hata1% ya ki swahili ya Burundi, watangazaji nawaombeni mmoja wenu amuombe Mr champagne aongeye Kirundi
@DeoMalungu7 ай бұрын
Uyo ni mcongo wa Burundi siowakwetu congo anahibisha huyo
@marcniyogusenga4108 Жыл бұрын
Big up bro
@fatimasaid476 Жыл бұрын
😂😂😂😂🤣🤣🤣yani jamani nimecheka sana
@gerardmanirema4621 Жыл бұрын
Big up Mzee ,
@francisniyokindi6737 Жыл бұрын
Champanye 💞🤣🤣🤣🤣nakuona uko unatafuta kiki kwa khajala 🤣🤣🤣🤣🤣
Najiona kama mimi ndo Kajara niko namcheka huyo kaka eti maneno matamu kwendraaaa 🤣🤣🤣🤣🤣
@juslymuhesi Жыл бұрын
Congolais ya makila tuna kupenda kaka
@promessekikurukasi5353 Жыл бұрын
Big up champagne 🤣🤣
@haureyfeisal7854 Жыл бұрын
Chiz uyu mr
@rehemajuma2202 Жыл бұрын
Kwahiyo ndo mtihani was kumpata kajala!!!!!.....kuchezaaa aibu.....
@shadyaloaf8694 Жыл бұрын
Mapenzi sio pesa na kupata mwanaume anae sema ukweli km hato mpa pesa anasema kipato chake hajisifu anaupendo wa kweli angalia huyo alomuhonga magari yupo nae kwa hiyo mapenz ya kweli ndo mazuri
@OmanOman-nz2bg Жыл бұрын
😂😂😂hhh ewe Mista Champagne yani unajua kutu furaisha😅😅😅
@whitehorsedelmote8422 Жыл бұрын
This guy is crazy
@sharmilaoman6389 Жыл бұрын
Yaan huyu mkoko mbani huwa ananifurahishaga sana eeh nacheka adii basii
@amarnam5016 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@gregoirekennedy8573 Жыл бұрын
Hama mjimga sanaasa
@user-tn3zb7eh7o11 ай бұрын
Kukereketwa
@asazac7378 Жыл бұрын
Ananyota lakini hajui kiswahili Nani atasikiliza nyimbo zake
@mwanaherhussani7425 Жыл бұрын
Mmhhh
@patrickhassan194 Жыл бұрын
Na ingine Balola iyo mziki wa Fally ipupa nendeni kwenye KZbin muta ipata
@mzarendo.com9624 Жыл бұрын
Mr. Champagne, unaniua mbavu huku mie jamani....... Yaani na-comment mara mbilimbili huku khaaaa !!! 😀😄😃😁😄😆😁😅😅😅😂😂😂🤣🤣🤣
Uyu ni fala kabisa hakuna mwanaume mpumbafu kama nauyi, hata kuongeya maneno umeshindwa
@beeirakozee Жыл бұрын
Kwani murundi wa mkoa gani huyo pimbi eti watu wananjaaa
@carmeldoka681 Жыл бұрын
Yoooo mbavu zangu 😂😂😂😂
@shumesaalhabsi1722 Жыл бұрын
Chp nakubali saaaaana
@alexisberry6542 Жыл бұрын
Ndiyo maana nalipenda bule kweli
@amanisalumumercus7308 Жыл бұрын
Dida jambo vipi hali zenu na lokole Sisi wa kongomani tuna mwanamke anaejiamini na kupigana kwa kufanya biashara kwa sababu ka mume hayuko aendeleye kulea watoto bila kuwa na tatizo
@simbawakazi2544 Жыл бұрын
Fara mkubwa kabisa usituletee huo uchafu Burundi kwetu msenge 😀😀
@rhma6073 Жыл бұрын
Juma ni mbea lkn katulia
@divadaqueen6558 Жыл бұрын
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
@chandigamoses05Ай бұрын
Kukereketwaa 😂😂
@onlyGodcanhelp Жыл бұрын
Omg 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Mista Champagne ni balaaaaaa Iyi interview ni kali sana 😂😂😂😂😂
@dunixardamagomez600 Жыл бұрын
Unarudi tna kumuongelea da nono subiri askie hii interview utajua hujui 😂😂
@KABAYUMBI Жыл бұрын
☮️
@patrickilambona5042 Жыл бұрын
Huyo jamaa mkongomani msituchafulie nchi yetu yeye tu kapewa hifadhi kwani hamsikii sauti yake au kiswahili chake
@cleophasaganze32549 ай бұрын
Burundi ni nchi ya kujivuniya kweli🤔. Mbona Burundi nchi maskini sana? Congo 🇨🇩 ni paradizo wewe mjinga. Eti atawachafulia nchi🤣🤣 Burundi ni kama mkowa tu ya APA sud-kivu
Sema kwel kilichonichekeswa maongezi yake tu buy the way wachache mno wanaweza kukubali kuongea na kipaji chini kama hiki noma aise duuuh kaka tafta mzigo kajibebee makalio hayo konde kakwachia nafasi ipo😂😂😂