No video

MTOTO Mwingine MWENYE MAAJABU ATIKISA, NAYE ANATIBU KWA MAJI na DUAA "HAUNGUZWI NA MOTO"

  Рет қаралды 555,460

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

MTOTO Mwingine MWENYE MAAJABU ATIKISA, NAYE ANATIBU KWA MAJI na DUAA "HAUNGUZWI NA MOTO"
Mtoto mwingine, Sharifat Ilham (3) wa jijini Dar es Salaam, nae ameendelea kutikisa jiji hilo kwa karama na maajabu anayoyaonesha kwa kuponya watu wenye matatizo mbalimbali kwa kuwasomea dua na kuwapa maji maalum. Global TV imefika nyumbani kwa familia hii na kuzungumza kwa kina na wazazi wa mtoto huyu na kujionea baadhi ya maajabu yake......
Umaarufu wa Ilham umeongezeka baada ya kuibuka kwa mtoto Yunis Atione wa Wilayani Rorya, katika kijii cha Bukama, ambaye naye ameonesha maajabu kwa kuwaponya watu kwa sala na maji, akiwa na umri wa miaka miwili tu... endelea....
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Пікірлер: 788
@tatuomary6745
@tatuomary6745 2 жыл бұрын
MashaALLAH MashaALLAH Alhmdulilah ALLAH akubarik mtoto mzur ameen na sisi atujalie kizazi chema in Sha ALLAH
@SociedadeSust1234
@SociedadeSust1234 2 жыл бұрын
Amiin
@abdillahhamad890
@abdillahhamad890 2 жыл бұрын
Kwasote
@jumakassimu5786
@jumakassimu5786 2 жыл бұрын
Allah akimua kukupa anakupa tu wanaoamini waamini wasioamini wasioamini kama allah kampa tuseme alhamdulilah
@comrademlewaisavile336
@comrademlewaisavile336 2 жыл бұрын
MashaAllah 🙏🙏 Yaraab mjalie mwanangu awe miongon mwa wToto wema. Na nijalie watoto wema
@mkongwekhamis4331
@mkongwekhamis4331 2 жыл бұрын
Amiin.
@comrademlewaisavile336
@comrademlewaisavile336 2 жыл бұрын
@@mkongwekhamis4331 🙏🙏🙏
@abdillahhamad890
@abdillahhamad890 2 жыл бұрын
Amin Kwa sote
@user-hm5qx9xk1x
@user-hm5qx9xk1x 5 ай бұрын
Aaaamiiin
@hassanharuna1519
@hassanharuna1519 2 жыл бұрын
Masha Allah Allah amuepushe nakila baya Ya Rabby atujaliye watoto wema
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 2 жыл бұрын
Global tv kila siku mnaleta uongo wenu.Mnapanga nao tu.Hilo jina si mnaandika tu. Kwanza mmetudanganya yule mtoto wa ajabu wa kikristo anaombea watu.kisha mkatuambia kuna mwanamke kazaa mnyama.Leo mmetunga huo uongo wenu. Ugumu wa maisha tutasikia mengi ya uongo
@nasramohamed3353
@nasramohamed3353 2 жыл бұрын
Na aende mahospitalini bac akaponeshe wagojwa wote hospital iwe tupu kabisa. Tutashkuru
@nasramohamed3353
@nasramohamed3353 2 жыл бұрын
Aende muhimbili kwanza
@nassorbinfundi1196
@nassorbinfundi1196 2 жыл бұрын
Allah amtunze mtoto huyu amuhfadhie din yake karama zake ,
@amenaallahawazidishieumrin6235
@amenaallahawazidishieumrin6235 2 жыл бұрын
Mashaaallah Tabarakka Allah Mola akuhifadhi mtoto uyu dhahawa yake iwe makkubul mwenyekuamini mwenyezimungu na Malaika wake na vitabu vyake na mitume wake bazi ni mwenye kufuzu na hii kwa kadiri yake yeye Allah tumumuogope tumche Allah
@ashuraissa7044
@ashuraissa7044 2 жыл бұрын
Kabisa
@rehemaidd772
@rehemaidd772 2 жыл бұрын
Mbona watu wakihitaji dua kupitia mtto huyo alie pewa kipaji na Allah nyinyi wazazi munakitumia kipaji hicho tofauti ?? Saidieni wanyonge Kwa ajili ya Allah musimtumie mtoto huyo Kwa dunia yaani maana yake musitangulize hela tangulizeni usaidizi kwanza shukran na hele zitafuatia Kwa mapenzi yake Allah shukran.
@wazomyakinifu2301
@wazomyakinifu2301 2 жыл бұрын
@Rehema . Tumeambiwa ktk maombi lilipotajwa neno moto au fire mtoto aliungua na kulalama anaumia. Hizo ni tabia za majini 💯. Wenye masikio fanyieni tafakari hilo hapo.
@janemburu4112
@janemburu4112 2 жыл бұрын
Mungu alisema mkikataa kunimbia mawe zita niimbia ,sasa kama sisi watu wakubwa tumeshindwa kufanya kazi ya mungu acha watoto wamfanyie kwa sababu tumejaa na dhambi na watoto niwatatifu.
@leahmgunda177
@leahmgunda177 2 жыл бұрын
Tunaendeshwa na. tamaa ya pesa wala ukweli hatunao.
@bintsalimalbimany287
@bintsalimalbimany287 2 жыл бұрын
Mashallah Allah amlinde nakila sharr amzidishie ilmu ya diin na dunia🤲🤲
@roseatieno6691
@roseatieno6691 2 жыл бұрын
Mungu anafanya maajabu kupitia watoto wachanga wale hawaja fanya dhambi. Wengine watasema ni uongo wataoamini ila ni kweli na ni kazi ya Mungu .
@restomundo3644
@restomundo3644 2 жыл бұрын
Kweli
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 2 жыл бұрын
Msiamini hawa matapeli wanaotumia dini.Anajua watu watajaa kwake na kupiga hela
@omarbyz8695
@omarbyz8695 2 жыл бұрын
Hivi nyinyi watu kitu gani kitokee ktk dunia hii hata mukiamini kinatoka kwanungu ila ashasema zamani kwenye qur ani wajati watu waliwaona mitume nawakawakataa hatushangai ila sisi wengine tunaamini ni miujiza yamungu namungu anajua yale tusioyajua
@fatimahahmadlamar1241
@fatimahahmadlamar1241 2 жыл бұрын
NAAAM
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 2 жыл бұрын
@@fatimahahmadlamar1241 haya sio maajabu ni utapeli tu.Tukumbuke baba yake huyu mtoto ni mganga. Tuwe makini sana na mtakuja kupata dhambi na kuharibu amali zenu kwa wajanja na washirikina kama hawa.Allah atuhifadhi na shari zao
@mardhiahamisi4332
@mardhiahamisi4332 2 жыл бұрын
Mashallahh,tabarakallah Mungu atuekee mjawetu mwema na Mungu azidi kumlinda na mahusda inshallah 🤲🤲
@Ahmedsalah-yb9jg
@Ahmedsalah-yb9jg 3 ай бұрын
ma shaa Allah kwa mtoto huyu lakini ndugu mambo kama hayo haufai kutangaza plz barakallah may Allah subhana akuweke wewe na familia yako.
@josephmusagasa5566
@josephmusagasa5566 2 жыл бұрын
Haya sasa,huyu muislamu na yule binti mwingine mkristo wote wanafanya vile vile,mtafuteni Mungu wa kweli na muitafute kweli,poleni sana
@abeidakhamisi5495
@abeidakhamisi5495 2 жыл бұрын
Allah Akbar Allah nimkubwa nandomungu wakweli
@thepowerofsilentsoul2135
@thepowerofsilentsoul2135 2 жыл бұрын
Kweli kabisa
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 2 жыл бұрын
Global tv mbona siku hizi mnaleta habari za uongo.mara mtoto wa kikristo anaombea watu,mara huyu mtoto wa kiislamu,mara mama kazaa mnyama.Acheni kuandika habari za uongo na za kitapeli kama hizi
@valentinanduku8718
@valentinanduku8718 2 жыл бұрын
Kabisa
@valentinanduku8718
@valentinanduku8718 2 жыл бұрын
@@abuyunusmohamed6961 watu watafuta ufahari
@rizikibakar7198
@rizikibakar7198 2 жыл бұрын
Allah amjalie Killa la kheri katika maisha yake
@ibrahimbadru4947
@ibrahimbadru4947 2 жыл бұрын
Mashaallah mungu amlinde na mahasid wa kisheitwani na kijinni tusemeni amiin🤲
@salamanauthar480
@salamanauthar480 2 жыл бұрын
Aamin🤲
@sharifamohd9559
@sharifamohd9559 2 жыл бұрын
Mashaallah Allah amlinde inshaallah,nasisi Allah atulinde atujaaliye watoto wenye kheri na vipaji inshaallah
@Bistwishs
@Bistwishs 2 жыл бұрын
Maashaallah allah amuhifadhi.allah ni muweza wa kila kitu
@allyamin3049
@allyamin3049 2 жыл бұрын
Amina
@Naifaty24
@Naifaty24 2 жыл бұрын
Allahumma amini 🤲
@hadharaalli5201
@hadharaalli5201 2 жыл бұрын
Allah Akbar zote ni kadari za Allah Subhana Huwa taaala mungu amlinde na Shari za mahasidi wabaya amina
@devisshirima6780
@devisshirima6780 2 жыл бұрын
Yeyote yule anayefuata vizuri masharti na kufuata vizuri sheria za Mungu ana uwezo mkubwa sana wa kufanya maajabu. Huenda dua zako ndio zilizomfanya mwanao kuwa hivyo, na yeyote yule akifanya kama wewe haijalishi ni wa dini gani Mungu ana uwezo wa kufanya maajabu.
@tatuomary6745
@tatuomary6745 2 жыл бұрын
Kabsaa
@suweidkhamis722
@suweidkhamis722 Жыл бұрын
Hpn dini ni uislam tu
@devisshirima6780
@devisshirima6780 Жыл бұрын
@@suweidkhamis722 Kwa imani yako upo sawa kabisa !! Ila kwangu mimi Yesu ndiye njia ya kweli na uzima
@mariaernest9324
@mariaernest9324 2 жыл бұрын
Mimi mwenyewe najua kuomba nitajiombea mwenyewe mungu atanitimizia nitakachomuomba Ila siombewi na mtu
@aminakadogo4924
@aminakadogo4924 2 жыл бұрын
Hayajakufika subiri utikisike utawatafuta wa Kwel na wauongo
@beera.g5302
@beera.g5302 2 жыл бұрын
@@aminakadogo4924 🙄Imani yk ndg sn, 😏😏 Imani yk ndio hukuponyaa, Na km huezi kujiombea mwenyewe ukapona matatizo yk, mpk uombewe Basi utazunguka sn kwa waombezi wengi Dunia hii, jifunze kujiOmbea mwenyewe direct kwa Mungu Ni Bora Zaidi kuliko kuombewa Na mtu mwingine, Na Mungu humsikiza kila amuombaye kwa imaniii
@Mpakauseme
@Mpakauseme 2 жыл бұрын
@@aminakadogo4924 Kuwa na imani kwani Mungu si mbaguzi kwanza jiombe mwenyewe na usitegeme kuombewa yani wewe wajidhiilisha una imani haba
@Ali-gk5mv
@Ali-gk5mv 2 жыл бұрын
MashaAllah,,Allah Ampe Umri na Amuifadhi Na Azidi kumpa ilmu
@lovenessmuzdiddy1936
@lovenessmuzdiddy1936 Жыл бұрын
MashaAllah Allah azidi kukuhifadhiii naatujalie nasi vizazi vyema
@niwaelsaid6096
@niwaelsaid6096 2 жыл бұрын
Fanya kazi muombe mungu akupe hela kupitia kazi sio kudanganya ww ukaishi kwa kusomea dua watu lazima udanganye tu
@ramadhanjuma610
@ramadhanjuma610 2 жыл бұрын
Acha ujinga ww kwan ume ambiwa uwende kusomewa dua au pombe zako zina kupeleka puta mbwa ww
@wazomyakinifu2301
@wazomyakinifu2301 2 жыл бұрын
Tumeambiwa ktk maombi lilipotajwa neno moto au fire mtoto aliungua na kulalama anaumia. Hizo ni tabia za majini 💯. Wenye masikio fanyieni tafakari hilo hapo.
@liesharehema5193
@liesharehema5193 2 жыл бұрын
Wokovu unakuja duniani kwanjia tofautitofauti🔥🔥🔥🔥
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 2 жыл бұрын
Masha Allah. Mwenyezi Mungu amlinde insha Allah
@sidedodo98
@sidedodo98 2 жыл бұрын
Amina%100% Shakila Masoud nawe ubarikiwe%99%
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 2 жыл бұрын
@@sidedodo98 Aamina Yarrabilalamina
@sidedodo98
@sidedodo98 2 жыл бұрын
Ouky ila ndugu umo mkoa gan we¥
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 2 жыл бұрын
@@sidedodo98 kawaida nipo Arusha, lakini sasa hivi nipo Uganda kikazi
@sidedodo98
@sidedodo98 2 жыл бұрын
Mmmmmmh kumbe nami ndo niko chuga apa ndan ya makao,mapya lamama ase
@SubiraAlly-ww4wt
@SubiraAlly-ww4wt 4 ай бұрын
Mashaallah Mashaallah allah akuongoze inshallah na sisi Ya Allah tujaalie kizazi chema
@namiyingomariath2975
@namiyingomariath2975 2 жыл бұрын
Manshallah nahtaj maelekezo jinc ya Kafka huko na namba za cm inshallah
@rabiyajuma5306
@rabiyajuma5306 2 жыл бұрын
Ajitahidi kuswali na kumuomba Mungu ili aendeleze hicho kipji Toka kwa Allah jitahidi kumsomea somea asihusidike pia
@utakatifutv6246
@utakatifutv6246 2 жыл бұрын
Waislam yako wapi mlisema hamna mambo Kama hayo ukweli Ni kwamba hayo yote ni mambo shetan anafanya ili watu wasimuabudu MUNGU wa kweli wabaki kuabudu ishara jiangalieni YESU anarudi hizi Ni siku za mwisho
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 2 жыл бұрын
Ukiona chchte kwenye uisilam (dini ya haq mbele ya Allah/Mwenyeezi Mungu) usilinganishe na imani yako ya kishirikina.
@mohammedrajabumwamba1322
@mohammedrajabumwamba1322 2 жыл бұрын
Unalaaana HAUNA upeo kaltk akiliyako
@suweidkhamis722
@suweidkhamis722 Жыл бұрын
Kristo sio dini
@nooraallahuakibarumwenyeez3079
@nooraallahuakibarumwenyeez3079 2 жыл бұрын
Allah ktk sulatu HUJULATI anasema tusiamini vitu vya kuambiwa pasi na kujuwa ukweli
@marymungai4429
@marymungai4429 2 жыл бұрын
God is great blessed be His name. May the prophetess baby be blessed and protected by the Lord forever
@hujatswai5798
@hujatswai5798 2 жыл бұрын
Na Tunateremsha katika Qur-aan ambayo ni shifaa na rahmah kwa Waumini; na wala haiwazidishii madhalimu isipokuwa khasara. [Al-Israa: 82]... Ruqya ya kisheria inaachwa mnakimbilia miujiza ya uongo na kutunga, Mtoto mdogo asiyejua Qur'an wala kutamka maneno vizuri leo hii aombea watu? SubhaanAllaah. Muogopeni Mwenyezi Mungu.
@namwanoeunice4180
@namwanoeunice4180 2 жыл бұрын
Kwani huyu mtoto pia akapewea garama yakuponya kwa Maji Kama yunisi mwenye aliletwa media hi mwanzo??? Anyway if this is true glory to God 🙏
@fatumafadhili8327
@fatumafadhili8327 2 жыл бұрын
MashaAllah Allah amlinde na hasad mtoto amkuze vyema
@lucasgasper5235
@lucasgasper5235 2 жыл бұрын
Yohana 14:6 YESU akamwambia mimi ndimi njia na kweli na uzima mtu haji kwa baba ila kwa njia ya mimi bila Yesu tunadanganyana
@IntelligentCreatures
@IntelligentCreatures 2 жыл бұрын
How?
@hassanisadiki824
@hassanisadiki824 2 жыл бұрын
Yesu ni nani kwani?
@TeamKRX
@TeamKRX 2 жыл бұрын
Mbavu zangu Mie yesu ni nani kwani jibu zuri yesu atakuja ajeawakatae hao wanaojitia bila ya yesu
@alimakame5645
@alimakame5645 2 жыл бұрын
@@hassanisadiki824 Umeuliza Swali gumu kwa Wakristo. Mana wengine Yesu wanamwita Mungu, Wengine mtoto wa Mungu wengine sijui wanamwita nani. Lakini ukweli wote umo ndani ya Quran kwamba Yesu ni Mtume wa Allah( Mungu wa haki) ambae amemleta kufikisha ujumbe wake.
@hassanisadiki824
@hassanisadiki824 2 жыл бұрын
@@TeamKRX si ndio ntk unifahamishe ili nipate kuelewa jmn
@mariamsefukhamissi8809
@mariamsefukhamissi8809 2 жыл бұрын
SubhannaAllah Allah amuongoz sn zaid yaapo
@khalidimzamiru9406
@khalidimzamiru9406 2 жыл бұрын
Mashaaallha allah amlinde hakika ni karama ya hali ya juu
@user-ps4oc3nt3u
@user-ps4oc3nt3u 3 ай бұрын
Mashallah mwenyez mung amuongoze katika maisha yake amiin
@asiashaban5809
@asiashaban5809 2 жыл бұрын
Ameen na mi dua inifikie na mama yangu yupo siginda ni mgonjwa 🙏
@rosefabian4221
@rosefabian4221 2 жыл бұрын
Kule sharifati kule yunisi hakika wewe mungu ndie muweza
@DeBoy-oy2jg
@DeBoy-oy2jg 4 ай бұрын
Kiswahili chako hatujakielewa umeongea kuhusu nini
@ngugimundia6306
@ngugimundia6306 3 ай бұрын
Waislam...vituko...twaombea mmujue mungu wa kweli yehova na yesu kristo mengine ni shiriki tu ..
@kautharjay5868
@kautharjay5868 2 ай бұрын
yesu sio Mungu yeye mwenyewe ameumbwa hiyo shiriki pia atakuja kuwakana kwa kumuita Mungu
@user-ij9te1ck9p
@user-ij9te1ck9p 2 ай бұрын
Kabla ya kuzaliwa Yesu Mungu alikuwa nani? na jee km yesu alikuwa Mungu kwann alizaliwa na mwanamke kwanini alienda chooni, kwanini alikula Ili aweze kuishi, waislam ni watu WA hoja na dalili hatufuati Kila tunachoambiwa bila ya dalili hafu ni watu ambao tunasoma tokea utotoni kwetu mpaka uzeeni hatusimuliwi. Ndio maana Imani yetu imesimama imara
@valentinanduku8718
@valentinanduku8718 2 жыл бұрын
Yule mtoto mkristu naye anatumia maji huyu muislamu nae Mungu utufungue kwa kweli dunia duara
@ismailgumbo93
@ismailgumbo93 2 жыл бұрын
Allah huwaAkbar! Ushauli achen kumfanyia biashara mtoto. Wakt wake ukifika yote yatadhihir
@abdillahhussein3020
@abdillahhussein3020 2 жыл бұрын
Biashara gani? wivu tu
@mpokimwakaje8178
@mpokimwakaje8178 2 жыл бұрын
Kwakuwa watu wamekataa neno la Mungu ili wapate kuokolewa Mungu ameleta nguvu ya upotofu ili waiamini nguvu hiyo ili watu wahukumiwe kwa.haki
@wazomyakinifu2301
@wazomyakinifu2301 2 жыл бұрын
Tumeambiwa ktk maombi lilipotajwa neno moto au fire mtoto aliungua na kulalama anaumia. Hizo ni tabia za majini 💯. Wenye masikio fanyieni tafakari hilo hapo.
@bintichausa4744
@bintichausa4744 2 жыл бұрын
InshaaAllah Allah amtangulie na amuongoze katika kher ...hakuna kinachoshindikana kwa Allah.
@rizikiiddi2192
@rizikiiddi2192 2 жыл бұрын
Mashaala Allah awabariki na awape mwisho mwema
@nameno8608
@nameno8608 2 жыл бұрын
Watu pigeni polojo leoo Junis kesho huyu mara Zumalidi wote wanaponya kwa maji lo Sasa si dini hizo tutadanganywa sana Hospital ni muhimu
@nurudinamchome6852
@nurudinamchome6852 2 жыл бұрын
Ajabu watoto wanakarama za kuimba nyimbo, kuigiza, kuhifadhi majina ya watu maarufu, kutangaza na mengine mengi.. Hapa kwenye imani ( dini) tu watu mnaona mauzauza? Haya bhana kazi kwa msikilizaji lkn tukumbuke aliyepewa kapewa.
@tatuomary6745
@tatuomary6745 2 жыл бұрын
Kabsaa
@hafsahajiabeid5768
@hafsahajiabeid5768 2 жыл бұрын
saaana Allah ampe kila.lakher amin
@rashidmlawa6548
@rashidmlawa6548 2 жыл бұрын
Tatizo sio kuhifadhi majina tatizo kunasibisha miujiza ili kuwatapeliwatu
@talibmuhsin5221
@talibmuhsin5221 2 жыл бұрын
Ni wajinga ao hawajielewi Ila Kama hawamjui Allah na qadar zake ndo wangalie hapo
@kabulamalima5179
@kabulamalima5179 Жыл бұрын
@@rashidmlawa6548 kwa hiyo hata mama yake kamtapeli???
@wahidadaudi4945
@wahidadaudi4945 2 жыл бұрын
Mungu azidi kumlinda Ila azidi kuwatibu na watu wengine amiiiin mashallah
@khamistomohamed7079
@khamistomohamed7079 2 жыл бұрын
Chungeni Waislamu , sana sana ibilisi ndie anae zuzua watu kama yule aliyejiita mtume miaka zaidi ya kumi iliyopita akiitwa Abdallah Salum wa Tanzania. Akapewa utume na wahyi, Kwa hiyo kuweni na tahadhari musipotoshwe .
@safiamohamud1222
@safiamohamud1222 2 жыл бұрын
Mansha Allah ❤️
@tumajunior6080
@tumajunior6080 2 жыл бұрын
Mashaallah Allah akuhifadhi kwa kila la shari
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 2 жыл бұрын
Mungu azidishiye ishaalah mpe umri mrefu ishaalah
@nadhrayusufu1817
@nadhrayusufu1817 2 жыл бұрын
Mashaallah mungu amlinde na kuitangaza dini ya allah
@user-mc8rz4yp4r
@user-mc8rz4yp4r 5 ай бұрын
Mungu kaamua kuwapa karama watoto watu wazima siku hizi hawaaminiki,
@achouraachoura5763
@achouraachoura5763 2 жыл бұрын
Masha'allah.. mungu akutunzeni pamoja na watoto wenu Allah awakinge na hasadi
@nasrasaid6672
@nasrasaid6672 2 жыл бұрын
Mashalaah mashalaha naomba nijui uyu mtoto pamoja na wazazi wake ju nataka nikifika kenya ni funge safari kuelekea tanga je uyu mtoto anapatikana wapi
@user-gp5lc7wc8t
@user-gp5lc7wc8t 10 ай бұрын
Mashaallah
@rashidiathumani2300
@rashidiathumani2300 2 жыл бұрын
Mwenyezi mungu akukuze akuepushe na kijicho
@tatuomary6745
@tatuomary6745 2 жыл бұрын
Ameen
@catherinenicander7468
@catherinenicander7468 Жыл бұрын
Huu si Muda wa kuzungumzia dini za watu mkumbuke kila binadamu ameumbwa na mungu,kila mtu ana imani yake,tusiingilie mambo na imanni za watu,sababa hata maandiko yanasema Imani yako itakuponya
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 2 жыл бұрын
Duuuh huyu baba wa huyu mtoto ni muongo sana sana. Mwenyezi Mungu atadhirisha uongo wako. Tuwe makini na matapeli kama hawa. Anajua watu watajaa kwake na atapiga hela. Tutafute kazi za halali na aina hii mpya ya wizi haikubaliki hata kidogo. Muandae huyu mtoto asome na usimfundishe utapeli. Kuhusu mtoto kuwa na jina la Allah huo pia ni utapeli tu unachorwa na wachora tatoo.Hao masheikh zako pia ni matapeli wenzako
@salamakaliasi9358
@salamakaliasi9358 2 жыл бұрын
Kwa hiyo kafundishwa mpka kusoma quran
@salamakaliasi9358
@salamakaliasi9358 2 жыл бұрын
Kwa hiyo kafundishwa mpka kusoma quran
@user-yx3qr9nf1l
@user-yx3qr9nf1l 3 ай бұрын
Yukowapi huyu mtt nami aniombee yailahi ,mungu nisaidie
@marigandana6392
@marigandana6392 Жыл бұрын
Mungu nimkubwa n hashidwi n kila jambo anamiujiza y kila aina mungu atujalie vizazi vyetu
@rabiyajuma5306
@rabiyajuma5306 2 жыл бұрын
Na SSI atuombee InshaAllah tuje kuwa watu wakubwa kwenye nchi hii InshaAllah watu wenye uwezo mkybwa Allahumma Amin
@tatukibibi2994
@tatukibibi2994 Жыл бұрын
Mashaallah mashaallah mashaallah Allah atujalie kizazi chema inshaallah
@martinmaryogo3676
@martinmaryogo3676 2 жыл бұрын
mm kuanzia leo naacha uovu wote nimtegemee mungu pekee anaweza maan naona sasa km sio ujio wa mwana wa mungu bac shetan atakusanya wafuasi wengi jmn.
@alimakame5645
@alimakame5645 2 жыл бұрын
Mungu hana mwana wala hana mke, hakuzaa wala hakuzaliwa. Achana na hio Imani kuwa Yesu ni mwana wa Mungu. Yesu alikuwa ni Mtume wa Mungu aliemleta kufikisha haki katika Ulimwengu.
@upendoluv7197
@upendoluv7197 2 жыл бұрын
🤣😃😃😃😃😄😄😄😅😅
@tatuomary6745
@tatuomary6745 2 жыл бұрын
@@alimakame5645 hakika ukwel mtupu
@TpPt-do5vg
@TpPt-do5vg 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅 Umenifany nicheke
@Mohaa4309
@Mohaa4309 3 ай бұрын
Tumche Allah
@user-yx3qr9nf1l
@user-yx3qr9nf1l 3 ай бұрын
Hakuna maajabu hapo ,hiyo ni kudra ya manani,chakufanya nikumuombea mungu amzidishie ,lakini wanadamu bwana wataanza kupitisha mahusda zao hapo
@farhatomar7495
@farhatomar7495 2 жыл бұрын
Mashallah allahu akbar allah ampe kilalakher
@joanismalang4928
@joanismalang4928 Жыл бұрын
May i request you, sister please pray for my family. Amen
@jumakalukule5312
@jumakalukule5312 2 жыл бұрын
M/mungu amlinde huyu mtoto naaendelee kufanya kaziyamungu
@progensia9852
@progensia9852 2 жыл бұрын
Kwa kweli ninachojua Bikira Maria Huwa hatanii mengine sijui .Ila Mungu labda kaamua kutumia watoto Ili kuwaokoa watoto wanaokabidiwa Kila siku kwenye kafara na uroho wa fedha na wazazi au ndugu.
@allymwinyi721
@allymwinyi721 2 жыл бұрын
Mashaaallah jazakum llah khayra,
@fatumahassan3205
@fatumahassan3205 2 жыл бұрын
Mungu amuifadhi nakila shari
@tz_africatz9253
@tz_africatz9253 2 жыл бұрын
Allah akupe ulinzi ww walimwengu chimamy
@ismailcynthia6852
@ismailcynthia6852 2 жыл бұрын
MASHA Allah tabaraka allah
@user-fs7eu1be6o
@user-fs7eu1be6o 3 ай бұрын
Mashaallah Allah akulinde
@kamilyaibrahim9784
@kamilyaibrahim9784 2 жыл бұрын
Mwanawe ana ruhan hiyo sio miujiza wala nini .tuliambiwa zama za mwisho watatokea kila aina vituko so mie nimuislam ila hapo nasema huyo ana ruhan ndie anaefanya kazi hizo sio karama za Allah
@allyamin3049
@allyamin3049 2 жыл бұрын
Tatizo watu wengi wamedanganywa ila ningumu kuwalazimisha watu kuamini ukweli
@mwanaidibigo6267
@mwanaidibigo6267 2 жыл бұрын
Nimekuelewa mnoo coz huyo Kaka me namjua
@francisemmanuel1551
@francisemmanuel1551 2 жыл бұрын
😀😀😀😀😀 kuna yule wa shinyanga na huyu tena 😀😀😀😀
@ahmedmpimbi9684
@ahmedmpimbi9684 2 жыл бұрын
@@mwanaidibigo6267 hee kwa hyo anadanganya?
@margaretokuku5990
@margaretokuku5990 2 жыл бұрын
Mungu.anafanya.kazi.yake.kupitia.watoto.wadogo
@verdianabanabi5943
@verdianabanabi5943 2 жыл бұрын
Maajabu ya watoto tutayaona mengi mwaka huu.
@Fatma-ll8kd
@Fatma-ll8kd 2 жыл бұрын
Mashallah mungu ampa amtakae
@wisperfect5320
@wisperfect5320 2 жыл бұрын
😂😂
@wazomyakinifu2301
@wazomyakinifu2301 2 жыл бұрын
@Verdiana . Tumeambiwa ktk maombi lilipotajwa neno moto au fire mtoto aliungua na kulalama anaumia. Hizo ni tabia za majini 💯. Wenye masikio fanyieni tafakari hilo hapo.
@abuudaru6493
@abuudaru6493 2 жыл бұрын
Mashallah mungu akujalie dada
@makamehaji2609
@makamehaji2609 2 жыл бұрын
Masha Allah
@AshaHamad-hh5mq
@AshaHamad-hh5mq 2 ай бұрын
Maashaallah allah amlinde
@rahmaadam2459
@rahmaadam2459 2 жыл бұрын
Mashallah mungu amlinde na wenye husda
@mwanashahamisihamisi2792
@mwanashahamisihamisi2792 Жыл бұрын
Mashallah tabarakallah mungu amuhifadhi na husda na hasad
@saidlucas1216
@saidlucas1216 2 жыл бұрын
Masha-allah
@saumuomazy7673
@saumuomazy7673 2 жыл бұрын
Mashaallah ❤ Allah amueke
@mariamfaustine1133
@mariamfaustine1133 2 жыл бұрын
Dawa kwa dawa mung hajawah kufanya mmb Kama hayo Hilo n Jin linamsumbua mtoto wamuombee limuachie awezekufaid utoto wake wasikalie xifa make xifa nkitu kibaya xana
@wazomyakinifu2301
@wazomyakinifu2301 2 жыл бұрын
Umeongea vizuri kabisa dada Mariam. Naungana nawe Kwa asilimia zote. Tumeambiwa ktk maombi lilipotajwa neno moto au fire mtoto aliungua na kulalama anaumia. Hizo ni tabia za majini 💯. Wenye masikio fanyieni tafakari hilo hapo.
@shijamarco7195
@shijamarco7195 2 жыл бұрын
Uko saw wewe kumbe unajua wenye majini mm shangazi yuko hivyo anakula moto anaita karanga lakini akiwa hajapandisha majini kisimba nakifalu mwambie ale anaungua vibaya
@sakinajuma6158
@sakinajuma6158 2 жыл бұрын
Hii ni kweli kabisa. Alhamdulillah!
@mayasakhatib8147
@mayasakhatib8147 2 жыл бұрын
Maasha Allah
@jumaamakono6241
@jumaamakono6241 2 жыл бұрын
Mungu ampe uwezo zaidi no ya simu inahitajika tuweze kuongea na baba yake mzazi
@user-dy4nn7cb1i
@user-dy4nn7cb1i 2 жыл бұрын
masha Allah tabarakallah
@cutecute5269
@cutecute5269 Жыл бұрын
Jamani jamani tanzania tunaenda wapi jamani mbona nyie watu waongo hivi ????huu ni uongo msinimalizie mb zangu za bure nyang'au nyinyi
@fatumaomary5964
@fatumaomary5964 2 жыл бұрын
Masha Allah mungu ni mkubwa🙏🙏🙏🙏🙏
@mwabakabwe9733
@mwabakabwe9733 2 жыл бұрын
Masha-Allah🙏
@joycebongo9275
@joycebongo9275 2 жыл бұрын
Mashallah Mola amzidishie huyu mtoto na wazazi wake halafu nauliza jee mtu akiwa mgonjwa na yuko mbali jee Sharfati aweza kimombea
@isackmaturo7331
@isackmaturo7331 2 жыл бұрын
Jaman watu wangu wanaangamia kwakukosa maarifa. Shetan yupo kazin kuwen macho
@wazomyakinifu2301
@wazomyakinifu2301 2 жыл бұрын
Tumeambiwa ktk maombi lilipotajwa neno moto au fire mtoto aliungua na kulalama anaumia. Hizo ni tabia za majini 💯. Wenye masikio fanyieni tafakari hilo hapo.
@cutecute5269
@cutecute5269 Жыл бұрын
Heee jamani wewe baba we ni mtaalamu wa tiba wewe ni mfasiri wa ndoto jamani mbona we muongo hivi muogope mungu kaka
@rahmamwaliko1159
@rahmamwaliko1159 2 жыл бұрын
Maashaallah jadhakallahu
@alimsuya8466
@alimsuya8466 2 жыл бұрын
MASHA-ALLAH,MUNGU AMUEPUSHE NA KILA SHARI.
@xavierowino
@xavierowino 2 жыл бұрын
This leaves a question... this case is like that of Tanzanian 3 yr old Eunice Atieno, a catholic, who also prays and heals people miraculously. Islam and catholic are different religions with conflicting teachings. One worships Jesus (through Mary) and the other denies him. How can God speak to these 2?
@isiakamfugale3621
@isiakamfugale3621 2 жыл бұрын
Miracles are not the only test of true God or teachings of God, remember even Farao miraculously converted sticks into snakes
@cutecute5269
@cutecute5269 Жыл бұрын
That the question that I wanted to ask 😂😂😂😂😂
@monicawambui2918
@monicawambui2918 Жыл бұрын
GOD USE ANY BODY IF ABRAHAM WE LIVE A WHICHCRAFT FAMILY GOD WE USE ABRAHAM MORE SISI WOTE NI WA MUNGU
@amurimzungu-tn4jf
@amurimzungu-tn4jf Жыл бұрын
Who told you we Muslims denied prophet Jesus? you believe him as God! and for that we are denied in that belief because which you belief on him the prophet issa the son maryam. the God Almighty is only one and we believe the God Almighty and his all prophets from Adam until our last prophet Muhammed peace be upon him including all the prophets so we believe Issa or Jesus you or yesu whatever you will like call him l the son of maryam he's the prophet of the Almighty God and he has been sent to the children of Israel only but the prophet Muhammed he has been sent to all humans kind.
@xavierowino
@xavierowino Жыл бұрын
@@amurimzungu-tn4jf The koran came 600 years after the bible. Truth always comes first and then distortions of truth later. For example, the correct currency comes first, that's why it's called the original currency. Fake or copycat currency comes later. It looks similar to the original but is not genuine or exact. In the same way there is a original jesus and a fake jesus. The original came first then the fake one. The first one appears in the bible because it came first. It is the jesus witnesses met, saw and reported. The fake jesus came later in the koran which came 600 years later. By that time all the witnesses had died. So it is a Jesus that is not supported by any witnesses. Muhammed was not a witness. This is the truth beloved muslims. Even in court we never accept anything without witnesses.
Gli occhiali da sole non mi hanno coperto! 😎
00:13
Senza Limiti
Рет қаралды 18 МЛН
Пройди игру и получи 5 чупа-чупсов (2024)
00:49
Екатерина Ковалева
Рет қаралды 3,8 МЛН
The Giant sleep in the town 👹🛏️🏡
00:24
Construction Site
Рет қаралды 20 МЛН
BMG TV:  Mtoto Yunis Ogot aanza kuongea, akiri kutokewa na Bikra Maria
37:07
Mtoto aliyefariki na kuzikwa apatikana akiwa hai
52:00
Dina Marios tv
Рет қаралды 3,2 МЛН
BMG TV: Sakata la Baba na Mama Yunis lachukua sura mpya #04
46:27
BMG ONLINE TV
Рет қаралды 22 М.
Gli occhiali da sole non mi hanno coperto! 😎
00:13
Senza Limiti
Рет қаралды 18 МЛН