MIUJIZA YA MTOTO HAITHAM, AKIWA TUMBONI HAKUONEKANA Hospitalini, ANAOMBEA NA KUPONYA MAGONJWA SUGU

  Рет қаралды 443,793

Global TV  Online

Global TV Online

4 жыл бұрын

MIUJIZA YA MTOTO HAITHAM, AKIWA TUMBONI HAKUONEKANA Hospitalini, ANAOMBEA NA KUPONYA MAGONJWA SUGU - Sehemu ya Kwanza.
Global TV imefanikiwa kukutana na familia ya mtoto HAITHAM KHAMISI wa jijini Dar es salaam Tanzania, ambaye anatamba kwenye mitandao ya kijamii kwa kuonesha kipaji cha kipekee cha kuchambua uumbwaji wa mtoto tumboni kisayansi kwa lugha ya Kiingereza fasaha na kwa mujibu wa maandiko matakatifu ya Qur'an tukufu, ili hali akiwa na umri wa miaka saba tu na anayesoma Darasa la Pili.
Miongoni mwa miujiza yake, ni pale alipkuwa tumboni ambapo mama yake alipoenda hospitali vipimo vilionesha hana mtoto tumboni ingawa alikuwa akionekana ni mja mzito,,,baba yake mzazi, KHAMISI MSHAURI anasimulia anavyoombea na kuponya watu jijini hususan YOMBO VITUKA, katika SEHEMU HII YA KWANZA....
.
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com/shop/globaltvo...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 479
@ldnhmn2893
@ldnhmn2893 4 жыл бұрын
Anaongea kweli Mwenyezi Mungu amlinde na maadui akuzidishiye mbaraka mtoto huyu na familiya yake. ❤️❤️❤️
@hamzaswaibu9470
@hamzaswaibu9470 4 жыл бұрын
Maashallah huyu mtoto kweli ni wa ajabu kabisa Allah anuongoze na ww mtangazaji ahsante kwa kutuletea hii...lakini pia nakulingania kuufatiliya uislamu na Mungu atakuongoza uiyone nuru ya uislamu karibu katika uislamu
@fatumasalan1294
@fatumasalan1294 4 жыл бұрын
Maasha Allah Mungu mulindee binti haitham na aendelee kusimamia Dini Kiislam tutaweza kuwasiliana vipi binti huyu nambari ya simu
@saidanuhu9262
@saidanuhu9262 4 жыл бұрын
Ingia kwenye account yake KZbin sharifat Haitham
@jjdjgivv2118
@jjdjgivv2118 4 жыл бұрын
Ndugu muandish ukipata fursa ya kumuhoji mtt km hy bas jipange na maswali yk coz hicho ni kipaji ktk kwa Allah Mashaallah
@mariamjuma1286
@mariamjuma1286 4 жыл бұрын
Naomba mungu anipe mtoto mwema Kam huyu
@mwanahamisially5234
@mwanahamisially5234 4 жыл бұрын
Allahumaamin
@shafeqal-mahbashi5057
@shafeqal-mahbashi5057 4 жыл бұрын
Amiiin
@abdulshakur8425
@abdulshakur8425 4 жыл бұрын
Amiin
@rahmahussein3420
@rahmahussein3420 4 жыл бұрын
,Amen
@safaricommadaraka7577
@safaricommadaraka7577 4 жыл бұрын
Ameen
@guwileguwileyasini758
@guwileguwileyasini758 4 жыл бұрын
Maashaallah maashaallah maashaallah yaa Allah msimamie mjawako uyu mtto haisam na wazazi wake pia maashaallah Allah azidi kukufunulia kheri in shaallah
@maimamood7033
@maimamood7033 4 жыл бұрын
Mashaallah Allah akuweke, na uzid kutuombea, kutupa mawaidha Inshaallah yarabi,,
@maymunahomar5016
@maymunahomar5016 4 жыл бұрын
MaaShaaAllah Allah (SWT) azidi kumuongoza. Aamin.
@ashiamzamil8709
@ashiamzamil8709 4 жыл бұрын
Mashaallah
@ashuraussein7582
@ashuraussein7582 4 жыл бұрын
Masha allah ya allah nipe kizazicema ya allah cenye maadili yadini aupemngongo dunia amin yarrabi 🤲
@shakilakhamis2109
@shakilakhamis2109 4 жыл бұрын
ma shaa llah Allah nijalie kizazi chema kama hy mtt in shaa llah
@Da-cr6ow
@Da-cr6ow 4 жыл бұрын
Masha Allahu Allah akuepushe na hasad zote za waja Ammin zote ni kadar zake muumba
@zaitunisinamenye1799
@zaitunisinamenye1799 4 жыл бұрын
Allah msimamiye mtoto haitham na wazazi wake, ameen
@sakinat2527
@sakinat2527 4 жыл бұрын
Ameen
@wapendakhertv1186
@wapendakhertv1186 4 жыл бұрын
Ameen
@aminaabdiabdi7112
@aminaabdiabdi7112 4 жыл бұрын
Mashaallah naikumbka sana iyo kaswida ya wazazi tujitahid mjomba wangu alikua anaipenda sana bac nikiiweka 2 ata kama alikua anataka kuondoka haondoki adi iishe.! Bac Allah amuongoze hyu bint haitham😍😍 amkinge na macho mabaya ya watu azidi ksaidia kuendeleza uislam mbele Inshaallah
@wapendakhertv1186
@wapendakhertv1186 4 жыл бұрын
Ameen
@shafeqal-mahbashi5057
@shafeqal-mahbashi5057 4 жыл бұрын
Amiiin
@godsservantrimo9844
@godsservantrimo9844 4 жыл бұрын
LAILAHA ILA LLAH MUHAMMAD RASULU....
@Ryoof-qo7if
@Ryoof-qo7if 4 жыл бұрын
Natamani uzao wangu mungu azidi kukupa nguvu nshallah
@dottnatt7110
@dottnatt7110 4 жыл бұрын
InshaaAllah
@omaniallybakari2372
@omaniallybakari2372 4 жыл бұрын
Inshallah
@asanathyunus3654
@asanathyunus3654 4 жыл бұрын
🤲🤲🤲🤲🤲🕌🕌🕌🕌🕌
@rahimdikungule3737
@rahimdikungule3737 4 жыл бұрын
Subhanallah, Alhamdulillaah, Allah Akbar, laailahaillallaah, Muhammad rasuul laah, yaa Allah endelea kumpa nguvu na uwezo huyu kiumbe wako, mlinde na mabalaa na husda kutokana na watu na majini, mpe uvumilivu na subra iliyo thabiti. Amiin
@mariamrashda3818
@mariamrashda3818 4 жыл бұрын
Mashaaallah ya Allah mlinde mtoto huyu Nakupenda kwa ajili ya Allah
@ibnhassan9980
@ibnhassan9980 3 жыл бұрын
amiin
@shafiiramadhani4433
@shafiiramadhani4433 4 жыл бұрын
Masha Allah, Mwenyezi Mungu amzidishie umri na amuepushe na maradhi
@madamloveness7274
@madamloveness7274 4 жыл бұрын
Bado mtoto mdogo yamkini kweli anatumiwa na MUNGU mpelekeeni ocean Lord wagonjwa wa kansa wote wapone🙏🏽🙏🏼🙏🏼🙏🏽
@abujamalaalghammawiy7470
@abujamalaalghammawiy7470 4 жыл бұрын
upendo Enock hahahahahahahaha umenichekesha sanaaaaa, hivi unadhani uislam una maajabu ya kimazingaombwe kama wachungaji wafanya miujiza? Uislam hauna huo utapeli. Huyu ni muhubiri tu, sio mfanyamiujiza ya kuponyesha wagonjwa
@shizaarfred4059
@shizaarfred4059 4 жыл бұрын
Duh unamawazo kama yangu
@abujamalaalghammawiy7470
@abujamalaalghammawiy7470 4 жыл бұрын
@@rehemasalim4590 Hapo inahusiana na nn hii comment yako?
@pilikhamis2924
@pilikhamis2924 4 жыл бұрын
Maashaallaah hakika mungu mkubwa mungu azidi kumuongoza
@neykweyamba2247
@neykweyamba2247 4 жыл бұрын
@@abujamalaalghammawiy7470 mwambie uyooo
@fatmaabdalla8543
@fatmaabdalla8543 4 жыл бұрын
Mashaallah kwa nn hafiki Pemba kuna kisiwa kimoja kinaitwa Pemba Zanzibar
@gracelauzi9746
@gracelauzi9746 3 жыл бұрын
Hongera mwanangu mungu akupe hitaji la moyo na akufungulie mengi ufunze wenzio wajue neno la Mola na mengi tuu Amen
@maryammshana6270
@maryammshana6270 3 жыл бұрын
Mashallah .. ALLAH nakuomba unijaalie kizazi chemaa inshallah 🙏
@ramadhanikibenga6317
@ramadhanikibenga6317 4 жыл бұрын
Masha Allah
@lovvy854
@lovvy854 4 жыл бұрын
Laila haillah Allah Muhammad Rasullah Taqbbirr
@farhatsuleymaan5625
@farhatsuleymaan5625 4 жыл бұрын
Allahu akbar
@raufsalim03
@raufsalim03 4 жыл бұрын
الله اكبر
@rehemasalim4590
@rehemasalim4590 4 жыл бұрын
Allahu akbar
@fakihmohammed3923
@fakihmohammed3923 4 жыл бұрын
Allahu akbar
@hadijamandanje6189
@hadijamandanje6189 4 жыл бұрын
Allah akbar
@khadijashabani2895
@khadijashabani2895 4 жыл бұрын
Mashaallah
@haimahaima9473
@haimahaima9473 4 жыл бұрын
Mashalah 😍😍😍😍
@husseinkarim6745
@husseinkarim6745 4 жыл бұрын
Ameen,Raisi wetu mungu amlinde na mbali ya magonjwa yote.
@mwechizumbabaraka3273
@mwechizumbabaraka3273 4 жыл бұрын
Unamuombea Dua Raisi kafiri anaeongoza kwa sheria isiokuwa ya ALLAH,
@aishaasumany561
@aishaasumany561 3 жыл бұрын
@@mwechizumbabaraka3273 kafiri niww mbweha ww
@JoooJoo-sh9xy
@JoooJoo-sh9xy 4 жыл бұрын
Mnamualibu mtt watu wengine ni wabaya watakuja kumjaribu na kumuaribu huyo mtt jamani mashallah huyu mtt ni mtt mzuri sana
@yusufmohamed9843
@yusufmohamed9843 2 жыл бұрын
Masha allaha wallahi ni mtoto ALLAH AMEMFUNGULIA KIFUA CHAKE NA KUMPA ELIMU AMBAYO HAJAFIKIA NA KUHUSU UJAUZITO NI YA KWAMBA WATOTO KAMA HUYU NI KUTOKA KWA ALLAH ALLAHU MUSTAAN.
@suleimanrashid3918
@suleimanrashid3918 4 жыл бұрын
Maa sha Allah Allah amuongoze mtt wazee na sisi pia na vizazi vyetu. Ila kweli huyu mtt ni wamaajab maana hata machoz akilia yanatoka katikati ya macho sio pembeni km wengne Allah amuongoze in shaa Allah
@fatmarefai9209
@fatmarefai9209 4 жыл бұрын
Ameen
@mwanambarouk2486
@mwanambarouk2486 3 жыл бұрын
yaan aallah amuongoze huyu mtoto na amuepushe na husda na amjaze kher milele daima
@Ryoof-qo7if
@Ryoof-qo7if 4 жыл бұрын
Mashallah mrembo mashalla
@samsungjsevenprime5717
@samsungjsevenprime5717 4 жыл бұрын
Mashaallah Allah amjaalie huyu mtoto azidi kuwa mtoto mwema na amkuze amzidishie umri wenye afya njema azidi kutuelimisha maadili mema ya uislam Allah amjaalie awe mtoto mwema kama wema waliopita
@sharifakhamis2461
@sharifakhamis2461 4 жыл бұрын
Masha Allah masha Allah Allah akuhifadhi ww na wazazi wako akujaalie elim zaidi
@zamzamuidris9763
@zamzamuidris9763 4 жыл бұрын
Mashallah mungu azidi kumuongoza na atutembelee nasisi huku mombasa kenya
@mamaahmad8615
@mamaahmad8615 4 жыл бұрын
Mmmmmm kuweni makini sana muombeni mwenyezi mungu tu mtafanikiwa
@htvtanzania3483
@htvtanzania3483 4 жыл бұрын
uislam sio mazingaombwe
@rahimaan6481
@rahimaan6481 3 жыл бұрын
Mmmh nn sasa
@pilitumba9090
@pilitumba9090 3 жыл бұрын
Mungu atujalia kwa sote kila la kheri na atufutie madhambi ye2 ya kwa wote inshaallwa
@pesangwasalim5258
@pesangwasalim5258 3 жыл бұрын
Jazakallah kheir
@amirimbago8325
@amirimbago8325 4 жыл бұрын
HAPANA MOLA APASAE KUABUDIWA KWA HAKI ISIPOKUWA MWENYEZI MUNGU, NA MTUME MUHHAMAD NI MJUMBE WAKE
@ummoislam4832
@ummoislam4832 4 жыл бұрын
Mashaallah Allah amjalie kila la kheri...nami naomba dua aniombee
@sturbbornvideoz8547
@sturbbornvideoz8547 3 жыл бұрын
Allah anijalie mtoto kama huyu, hakika ni zawadi kwa familia na ulimwengu mzima, Allah amuepushie hasad in sha Allah
@bijumafundi1737
@bijumafundi1737 3 жыл бұрын
Mashallah 👌 Allah amuhifadhi mtoto uyu na vizazi vyetu vnavyokuja!! inshallah!!
@lovvy854
@lovvy854 4 жыл бұрын
Mashallah mashallah mashallah Allahubariq
@milimsabaha9370
@milimsabaha9370 4 жыл бұрын
Mashaallah💓
@sajidasanya9954
@sajidasanya9954 4 жыл бұрын
Dash we shkh mche allah mtume mwenyewe hajazaliwa hvyo
@biberpriyer330
@biberpriyer330 3 жыл бұрын
We ulitaka afanane na mtume?
@aminarama9360
@aminarama9360 4 жыл бұрын
Allah akbar
@khadijahusseinbakari6140
@khadijahusseinbakari6140 Жыл бұрын
MashaAllah natamani ni mwanangu, mwenyezi mungu amlinde na hasad huyu mtoto am so happy for her parents❤
@mohamwirigi4407
@mohamwirigi4407 4 жыл бұрын
Masha allah
@aishaaisha9636
@aishaaisha9636 3 жыл бұрын
Inshallwah MUNGU akulinde n akuepushe n husdah,,,,akuongoze njia ilionyooka,,,, akijaalia akudumishe kwakuongoza dini yetu ya kiislamu,,,na inshallwah MUNGU atuongoze zote katika kudumu kwenye dini yetu,,,, Mungu atujaalie mwisho mwema inshallwah,,, MUNGU akuongoze inshallwah mtoto Haitham😭🤲,,, nakupenda sana mtoto Haitham,
@bizuwena623
@bizuwena623 4 жыл бұрын
INAONEKANA UNAAMINI KUWA MTOTO HUYO ALLAH AMEKUPA KAMA TUNZA KUTOKANA NA KASIDA YAKO.MAZUNGUMZO YOTE YANARUDI KTK KASIDA. ALLAH NDIE MJUZI WA HABARI HII.
@htvtanzania3483
@htvtanzania3483 4 жыл бұрын
Hakika ndugu
@ZainabZainab-tv9ir
@ZainabZainab-tv9ir 4 жыл бұрын
Mashaallah allaah amuhifadhi
@fatumazuberi9842
@fatumazuberi9842 4 жыл бұрын
Maa Shaa Allah alhamdullilah
@asiakilea2590
@asiakilea2590 4 жыл бұрын
Mashaallah mashaallah
@mwanakomboomar5624
@mwanakomboomar5624 4 жыл бұрын
Ma sha Allah
@zozohmeed5546
@zozohmeed5546 4 жыл бұрын
Mashallaah Allah amuongoze aamina
@zaitunisinamenye1799
@zaitunisinamenye1799 4 жыл бұрын
Mashaa Allah
@oman7710
@oman7710 4 жыл бұрын
Maasha Allah
@aminamkamba5406
@aminamkamba5406 4 жыл бұрын
Maashaallah Allah akukuze vyema
@babawatotobabu7229
@babawatotobabu7229 4 жыл бұрын
mashallah mwenyezi mungu ampe umri mrefu 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@thuwaybayahaya2582
@thuwaybayahaya2582 4 жыл бұрын
Maa shaa llah
@leilabenta0093
@leilabenta0093 4 жыл бұрын
Ma shaa.Allah Mashaa.Allah shekhe kasda yako hadi leo yatufundisha Alhamdulilah.Binty Allah Amhifadhi
@rehemasalim4590
@rehemasalim4590 4 жыл бұрын
Mashallah
@sikudhanjuma3987
@sikudhanjuma3987 4 жыл бұрын
Ma sha allah
@zahraabdillah2902
@zahraabdillah2902 4 жыл бұрын
الله يحفظك يا بنتي الغالية من كل شر والبلاء
@ibrahimhamis1701
@ibrahimhamis1701 3 жыл бұрын
Masha allah may allah increases ur knowledge
@mariamumapunda4614
@mariamumapunda4614 4 жыл бұрын
Maanshallah
@halimahussein917
@halimahussein917 3 жыл бұрын
Aaa mtoto mwili wanitingishika namna hii, mashaallah mungu akuhifadhi, nami naomba msichana kama ww
@noorynmohammedy6063
@noorynmohammedy6063 4 жыл бұрын
Masha Allah Mwenyez Mungu akuifadh na usda za waja
@farhatfatma12
@farhatfatma12 4 жыл бұрын
Nasikotika kuona watu wakipata watoto wenye vipaji huoni ni miijiza. Kuna watoto wengi wana vipaji kama hivyo au zaidi duniani. Ushauri wangu: endelezeni kipaji chake kwa kupeleka kwa walimu waliobobea wa dini na dunia. Isiwe kila siku kwenye TV.
@samiahuseninikweli8539
@samiahuseninikweli8539 4 жыл бұрын
Maaashaallah
@Ali-gk5mv
@Ali-gk5mv 2 жыл бұрын
MashaAllah,,Allah Akupe umri na ilmu ya juu ili uelemishe watu
@ziyadamubark1612
@ziyadamubark1612 4 жыл бұрын
Mashaa Allah tabarakah rahman
@fatmabby0017
@fatmabby0017 3 жыл бұрын
mashaAllah ♥️
@nasriahmad5715
@nasriahmad5715 4 жыл бұрын
😥😥😥 ya Allah ya allah ya allah 🙏
@husnashaibu6312
@husnashaibu6312 4 жыл бұрын
Mashaallah mashaallah Allah akibar Mwenyezmung atujalie kizazi chema yarab....
@asmaamornassor3446
@asmaamornassor3446 4 жыл бұрын
Masha allah Allah akufanyie wepesi katika kila jambo jema utalolifanye liwe lenye kheri nawe
@husnashaibu6312
@husnashaibu6312 4 жыл бұрын
@@asmaamornassor3446 amina amina amina yarab kwasote
@aminaabdi695
@aminaabdi695 4 жыл бұрын
Masha Allah naomba nimuone jamani mkono unaniuma mda mrefu nimetumia dawa imeshindikana ntampataje
@ayunramadhan3104
@ayunramadhan3104 4 жыл бұрын
Maashaallah maashaallah maashaallah maashaallah
@faridabakari3528
@faridabakari3528 3 жыл бұрын
mashaAllah mashaAllah
@aminaussi3921
@aminaussi3921 3 жыл бұрын
Takbiiiir🙏🙏🙏🙏
@user-jk7xd5rl8m
@user-jk7xd5rl8m 10 ай бұрын
Maashaalah mwenyez mungu akufanyie wepesi juu ya maisha yako na akupe her ndan yake
@adinanayoub9423
@adinanayoub9423 4 жыл бұрын
Mainshaallah
@aishamohammed4736
@aishamohammed4736 3 жыл бұрын
Mashaallah Allah akuzidishie n ss atupe kama ww watoto wema in sha Allah me pia natka tiba
@hamzamwilaphy2902
@hamzamwilaphy2902 4 жыл бұрын
Wewe mtangazaji umebase sana kwa mzazi muulize mtoto mwenyewe
@khadijamwakutwaa8023
@khadijamwakutwaa8023 3 жыл бұрын
Allah atujalie kizazi chema cha kutufaa duniani na kesho akhera 🤲🤲🤲
@yassminassey6044
@yassminassey6044 4 жыл бұрын
Allah bless 🙏😇🙏🙏🙏🙌 mtt mashallah
@ashajuma8686
@ashajuma8686 4 жыл бұрын
Mashallah...
@zytuniemaulidy1508
@zytuniemaulidy1508 3 жыл бұрын
Maa shaa Allah
@abdillahigange278
@abdillahigange278 Жыл бұрын
Mashaallah kheri na baraka tele za allah ziwe juu yake kwa haitham na kwa wazazi wake
@naiksvegaz3751
@naiksvegaz3751 4 жыл бұрын
Masha Allah mungu akuweke
@salimahloko3743
@salimahloko3743 4 жыл бұрын
Allah amuezeshe inshaallah nataka aje kenya
@shemsakiobya1094
@shemsakiobya1094 4 жыл бұрын
Manshaallah.
@chunaabdullah1333
@chunaabdullah1333 4 жыл бұрын
Subhana llah Masha Allah
@abdullmalik7847
@abdullmalik7847 4 жыл бұрын
Maashaallah tabaraqllah 🇰🇪
@eveibrahim7705
@eveibrahim7705 2 жыл бұрын
Mashaa Allah. May Allah bless you ameen
@fetyliciostumba8066
@fetyliciostumba8066 3 жыл бұрын
Maashaallah
@rukiamaliyo1898
@rukiamaliyo1898 3 жыл бұрын
Mashaallah.
@mwanaidhassan229
@mwanaidhassan229 4 жыл бұрын
Duh nashaaallah
@aristoteajuamungu2504
@aristoteajuamungu2504 3 жыл бұрын
Mashallah Allah aku amu hifadhi huyu mtoto
@aminasaid7657
@aminasaid7657 4 жыл бұрын
Mashaallah tabaraka Allah, Allah amkuze vyema
@maryambakari5429
@maryambakari5429 4 жыл бұрын
Maa shaa Allah ❤️
@amudavisimiyu649
@amudavisimiyu649 4 жыл бұрын
MashAllah
Heartwarming: Stranger Saves Puppy from Hot Car #shorts
00:22
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 22 МЛН
How Many Balloons Does It Take To Fly?
00:18
MrBeast
Рет қаралды 135 МЛН
Cat Corn?! 🙀 #cat #cute #catlover
00:54
Stocat
Рет қаралды 15 МЛН
Duh! Binti Huyu Amshangaza MAGUFULI, Waziri AMELIA Hadharani!
9:17
Global TV Online
Рет қаралды 2 МЛН
MAAJABU YA MTOTO WA MIAKA 7 HAYTHAM KHAMIS - MTOTO MWENYE VIPAJI
1:00:00
IT IS TIME!! || COME WITH US TO THE DELIVERY ROOM
32:26
THE PEEKAYS
Рет қаралды 9 М.
BINTI ANAESOMA QURAAN KWA SAUTI YA KULIZA
6:29
Asadiqmedia
Рет қаралды 964 М.