MKASA WA KUSIKITISA DEREVA BODA ALIVYOMROGA MKEWE BAADA YA KUMSOMESHA NA PENZI KUFA ALIPOPATA KAZI.

  Рет қаралды 43,034

HABARI JAMII DIGITAL

HABARI JAMII DIGITAL

7 ай бұрын

FUATILIA MKASA HUU DEREVA BODA ALIVYOMSOMESHA MKEWE MPAKA KUPATA KAZI NA NDOA KUVUNJIKA.

Пікірлер: 65
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 6 ай бұрын
Huyu kaka anabusara sana🎉
@dennishyera5448
@dennishyera5448 7 ай бұрын
Asante sana, kutufumbua vichwa.
@fitinakisamuhagakisamuhaga693
@fitinakisamuhagakisamuhaga693 6 ай бұрын
Sema chilii yangu umetisha sana story zako noma
@fitinakisamuhagakisamuhaga693
@fitinakisamuhagakisamuhaga693 6 ай бұрын
Huyu mwamba anasema ukweli wale waliozoea uchepukaji ndiyo wanaomtukana kisa anasema ukweli
@azzaalhabsi1505
@azzaalhabsi1505 7 ай бұрын
Hahaaaa nimejichekea peke yangu.😂
@user-ey5mv1yz3s
@user-ey5mv1yz3s 5 ай бұрын
Sasa leo wamekujua hao wa mahakamani 😂😂😂😂 watakutafta tena
@Boaz22
@Boaz22 7 ай бұрын
Huyu jamaa mtafute tena,nahisi bado Kuna mengi ya kusikia kutoka kwake
@mosesbaemu1517
@mosesbaemu1517 7 ай бұрын
Ukitaka kula kuku usimchunguze ukimchunguza uwezi kumla
@user-gt2wl6ry3z
@user-gt2wl6ry3z 7 ай бұрын
Sio kweli
@phinamambile1965
@phinamambile1965 7 ай бұрын
Jamaa Anakipaji 😂😂....Atunge Movie 😊
@user-ey5mv1yz3s
@user-ey5mv1yz3s 5 ай бұрын
😂😂😂
@venancemwakasala
@venancemwakasala 7 ай бұрын
Makn xn nmeipenda
@KulekatsengeHaruni-sb6qc
@KulekatsengeHaruni-sb6qc 7 ай бұрын
Hee huyu boda wewe.😂😂😂
@aziza9093
@aziza9093 3 ай бұрын
Hajetaja Jina yuko anaadisiy tabiytu
@agnessima5032
@agnessima5032 7 ай бұрын
Kumbe mmeoa wake za watu???😢
@Mpakauseme
@Mpakauseme 6 ай бұрын
Siwakubali wanawake wakiswahili ata mara moja na sitaki atakuwasikia
@user-by8ft7qv3h
@user-by8ft7qv3h 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 eti wanapokuwa wanashugulikiana 😅😅😅😂😂
@Zubaiba
@Zubaiba 7 ай бұрын
Wewe boda ni nyokooo😂😂😂
@user-xl2gc4pp4q
@user-xl2gc4pp4q 6 ай бұрын
Yaani wewe kapimwe tena kichaa nahisi hujaponagaaa
@josephlorri431
@josephlorri431 7 ай бұрын
Kama kuna ukweli fulani
@vero57
@vero57 6 ай бұрын
Mwambie aende kenya kuna mmoja huyo lazima una nasaa 😄😄
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 6 ай бұрын
kenya kubwa umuelekeze vizuri
@VeronicaRugoyi
@VeronicaRugoyi 7 ай бұрын
Mmmmh 😅😅😅😅
@haimasophia
@haimasophia 7 ай бұрын
aalooo iyoishu nishida
@user-vj3gu8ix1n
@user-vj3gu8ix1n 6 ай бұрын
Yani unamkamata nyoka mkia ili umuelekze shimo kinachofuata ni nn
@Zubaiba
@Zubaiba 7 ай бұрын
Ww mchaga hii inakuhusu🏌️🏌️
@geraldlyimo2859
@geraldlyimo2859 7 ай бұрын
Mchaga na hela mapenzi hatunaa mda nayo
@msafiriomary893
@msafiriomary893 6 ай бұрын
Acha warogwe tuu wamezidi tamaaaa
@taslimanyange2850
@taslimanyange2850 6 ай бұрын
Mtoto mdogo muongo 😂😂
@geraldlyimo2859
@geraldlyimo2859 7 ай бұрын
Eti msiguwa
@MINISTERBAHATIMPUME-px4pf
@MINISTERBAHATIMPUME-px4pf 6 ай бұрын
Deo Deo!!!! tukakupime akili wewe mrudie muumba wako hizo story za kutunga, ulimuoa binti yangu akiwa mdogo sana sasa anahangaika mwenyewe umemwacha na kimdharau,, nilijua umebadilika kumbe bado maneno maneno
@salimnjowoka4357
@salimnjowoka4357 7 ай бұрын
Naomba namba ya mganga
@samrysamry9812
@samrysamry9812 7 ай бұрын
Hata miye naomba namba ya mganga wallah 😂😂
@user-xl2gc4pp4q
@user-xl2gc4pp4q 6 ай бұрын
wee mjinga acha uongo kamtafute mke wako.mtoto wa watu umemtesa baada ya kumwongopea
@MTANGACOMEDYTZ
@MTANGACOMEDYTZ 7 ай бұрын
KAJITU KAZIMA KAMBEA HAKA,ANASIMULIA MATUKIO YA MWANAUME MWENZIE TU 😂😂😂😂
@barakamanga5502
@barakamanga5502 7 ай бұрын
Hajataja jina
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 7 ай бұрын
Ndiyo muache umalaya😏😏
@elardurasa67
@elardurasa67 6 ай бұрын
Oiso kama oiso
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 7 ай бұрын
Kumbe wewe bodaboda mnafki wakija kuuwana😂😂😂
@bonifacepetrokadawi4556
@bonifacepetrokadawi4556 6 ай бұрын
kuzuia nikuuhusu na kuluhusuni kuzuia
@agnessima5032
@agnessima5032 7 ай бұрын
Nyumva ndogo za kupoozea machungu..😂😢
@user-ty8hu5gh4h
@user-ty8hu5gh4h 7 ай бұрын
UNAINGILIA MAJUKUMU YA WAZAZI?😂😂😂😂
@fathimamct232
@fathimamct232 7 ай бұрын
Chizi kweli wee huwenda wakati unamsomeaha mkeo ndugu zako wanashoda ya Ada huwapi ukomemwanamke mwacje Asomeshwe na wazazi wake bwege weee
@barakamanga5502
@barakamanga5502 7 ай бұрын
Ndomaana niliacha bodaboda
@salimnjowoka4357
@salimnjowoka4357 7 ай бұрын
Toa namba ya bodaboda man
@BonifaceManda
@BonifaceManda 7 ай бұрын
Namba ya. Tunaihitani
@user-sp4jr4vw6t
@user-sp4jr4vw6t 7 ай бұрын
Ĺ
@fitinakisamuhagakisamuhaga693
@fitinakisamuhagakisamuhaga693 6 ай бұрын
Sirahisi tuu unakubali talaka yeye akiidai alafu unavuta mwingine kimya maisha yanaendelea
@farhannahkulishwaburekunam5360
@farhannahkulishwaburekunam5360 7 ай бұрын
Hajapata mganga mzuri wote anaopata ni wa uwongo hawajui hiyo kazi na pia wagogo ni wachawi
@santinosabugo2114
@santinosabugo2114 7 ай бұрын
wewe mwenyewe ni mchawi utajuaje wagogo wachawi mbaya kuzihaki kabla la watu
@Zainab_salat
@Zainab_salat 7 ай бұрын
Jamani😂😂😂😂 unawasema wagogo ni wachawi sio wote khaa
@samrysamry9812
@samrysamry9812 7 ай бұрын
Kila kabla lazima linakuaga na wachawi
@mamachris6811
@mamachris6811 6 ай бұрын
Kila kabila lina wachawi,hadi wazungu ni wachawi 😳
@aishandayishimiye5127
@aishandayishimiye5127 7 ай бұрын
Ewee ukisikia boda mbea ndiyo huyu😂
@rehemakanyere4188
@rehemakanyere4188 7 ай бұрын
Hahaha hahaha
@jeffyjerry8129
@jeffyjerry8129 7 ай бұрын
Mke asomeshwi
@mamachris6811
@mamachris6811 6 ай бұрын
Mchumba ndo hasomeshwi 😂
@gloriaaugustino8031
@gloriaaugustino8031 6 ай бұрын
Dadangu kasomeshwa form mpaka chuo Cha uuguzi na wameona wanawatoto wa nne maisha mazuri
@nurdinkisaria9476
@nurdinkisaria9476 7 ай бұрын
Mjinga sana mbwa wewe
@michaelmahenyemuya164
@michaelmahenyemuya164 6 ай бұрын
Ksmc ni moshi
@naeema8155
@naeema8155 6 ай бұрын
Sio ksmc ni KCMC iko moshi ndio
@deograsiusgasper8735
@deograsiusgasper8735 7 ай бұрын
Deo mason acha uongo
@BakariMtomae
@BakariMtomae 7 ай бұрын
Unamjua kak
@hellendaniel3809
@hellendaniel3809 7 ай бұрын
Yaani mabodaboda na bajaji wabeaaa😂😂😂😂
UKWERI KUHUSU SADAKA  +255655888377
3:35
GRAND MASTER SURE
Рет қаралды 6 М.
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 14 МЛН
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 54 МЛН
WHAT’S THAT?
00:27
Natan por Aí
Рет қаралды 14 МЛН
Эффект Карбонаро и нестандартная коробка
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 9 МЛН
BABA WA SHEKH RAJABU,SIJARIDHIKA NA HII NDOA HATA KAMA MAALI NI MSAAFU.
19:21
HABARI JAMII DIGITAL
Рет қаралды 16 М.
MAGARI ZAIDI YA 200 YA ZUILIWA KUVUKA BODA YA TUNDUMA
18:24
CHAWAMATA TV
Рет қаралды 1,7 М.
GOROFA LA CHINO WANAMAN SIO MCHEZO /HADI STUDIO YA MZIKI NDANI
31:03
MAMA MZAZI WA DEREVA BODABODA  AVUNJA NDOA HADHARANI SIMTAKI YULE MWANAMKE
14:54
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 14 МЛН