GOROFA LA CHINO WANAMAN SIO MCHEZO /HADI STUDIO YA MZIKI NDANI

  Рет қаралды 48,188

ZamaradiTV

ZamaradiTV

11 ай бұрын

Usisahau ku"SUBSCRIBE" KZbin channel yetu kwa videos nyinginezo
#zamaraditv #mambonimengi

Пікірлер: 47
@user-yo4qy9vh2m
@user-yo4qy9vh2m 5 ай бұрын
Daah kweli chino yuko vizuli sana anaupendo na nduguzake
@JennyJma
@JennyJma 7 ай бұрын
Numba milioni 3 kwa mwezi na umesema unalipa miezi sita ambayo sawa na milioni kuna na nane18 hongera sana unapambana kaka
@saidulaya7308
@saidulaya7308 10 ай бұрын
KAMA UNAMKUBALI CHINO WANA MAN GONGA LIKE👉🔥🔥🔥
@jacqueisaac8155
@jacqueisaac8155 10 ай бұрын
Dah jamaa yupo very humble na anaonekana ana roho nzur sana
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 10 ай бұрын
Chino anaupendo Sana Hana roho mbaya ndomana mungu pia anampa
@JennyJma
@JennyJma 7 ай бұрын
Namuona Nabil kapita Mungu amsamehe makosa yake yaani alivyopita kama yupo hai😢😢
@user-wu4jj7ms2c
@user-wu4jj7ms2c 10 ай бұрын
Mimi kati ya madancer wote ninaowapenda ni wawili tu mose iyobo na chino kwasababu hao madanser wananidhamu kubwa ya hali ya juu alafu sio watu wa mitandao kwasababu mungu anzidi kuwapa mafanikio kubali sana chino
@joycechaz2840
@joycechaz2840 9 ай бұрын
Dogo ana roho nzuri sana atafika mbali😍
@user-dp6oj7dp9e
@user-dp6oj7dp9e 10 ай бұрын
Nipenda anavyo kuwa na upendo uyu kaka Mungu akupariki saana
@user-cz8zi9ly1q
@user-cz8zi9ly1q 6 ай бұрын
Chino nakukubali...
@maxmiletz4563
@maxmiletz4563 10 ай бұрын
Jamaa anajielewa sana
@lilianlupeke8040
@lilianlupeke8040 10 ай бұрын
Nimeanza kukufuatilia kupitia kipindi cha DIVA and Hasler. Una moyo wa upendo sana na unajituma utafika mbali mdogo wangu.
@DoreenDaniel-hd7kv
@DoreenDaniel-hd7kv 8 ай бұрын
Chino wanamaaa💋
@mimihuyo8239
@mimihuyo8239 10 ай бұрын
Chino anaonekana ananidhamu sana, atafika mbali
@arushijuma6056
@arushijuma6056 8 ай бұрын
Maskin marehem alipita palee 😢
@Queen_of_june
@Queen_of_june 8 ай бұрын
Yani naangali interview namuona marehem nabeel akipita hapo😔
@hamisahamisa5896
@hamisahamisa5896 7 ай бұрын
Swalehe hajala Leo 😂😂😂😂😂😂
@officialbntrasool5223
@officialbntrasool5223 10 ай бұрын
Ana roho nzuri mpaka raha
@Juke995
@Juke995 7 ай бұрын
Mama chino apewe maua yake kwa kumlea huyu kijana vizuri sijawah ona msanii chupkizi mwenye nidhani na upendo kama huyi hata ongea yake ni ana adabu sana
@hastatz
@hastatz 7 ай бұрын
Kwahio baba hakumlea kabisa
@vailetjulius4782
@vailetjulius4782 6 ай бұрын
Sana anaheshima mstaarabu
@user-zk9tl5tn7q
@user-zk9tl5tn7q 7 ай бұрын
Show love
@husnaabdullah3009
@husnaabdullah3009 10 ай бұрын
Mashallah mwanangu Allah akuongoze ni mm mama othu au mama lao 7
@safian.9518
@safian.9518 10 ай бұрын
Huyu kijana atafik mbali sana maana ananidhamu na upendo wa hali ya juu
@giztony2009
@giztony2009 10 ай бұрын
Nimejikuta nastaajabu kweli mziki unalipa haya maisha nadhani level ya mbunge lla civil servant wa kawaida hawezi kuishi!
@deborahsamwel-ss2wb
@deborahsamwel-ss2wb 10 ай бұрын
Unawaza kama mimi 😅😅 Yani wakijipata kidogo tyu maisha yao mpaka unaogopa mgorofa ma range mpaka unawaza ni mziki au
@user-ry2ix2pv4q
@user-ry2ix2pv4q 7 ай бұрын
Nan kama mama jaman
@yustina4621
@yustina4621 8 ай бұрын
Daaaah kweli we kaka mstaalabu chino wanaman na mm niwamorogoro naomba ata nije nikufanyie kaz za ndan kwako ❤❤
@hamesomar9912
@hamesomar9912 6 ай бұрын
Njo Nairobi Kenya kazi utapata
@samysong
@samysong 10 ай бұрын
endelea kupambana
@selemanikiumwa4903
@selemanikiumwa4903 8 ай бұрын
Mashaallah chino una nizam sana ongera
@NelsonBakeri
@NelsonBakeri 10 ай бұрын
Chino una moyo mzuri brother
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 6 ай бұрын
Chino mwanawan mm/mumgu azid kukupa afya njema
@FatmaFatma-uj6hp
@FatmaFatma-uj6hp 10 ай бұрын
Wapir linge hap
@mgnchama
@mgnchama 8 ай бұрын
chinochinochino
@rizikiabdalla2501
@rizikiabdalla2501 7 ай бұрын
Nimezania yake
@JosephMchaki-fy5te
@JosephMchaki-fy5te 7 ай бұрын
Nyumba mchongoo
@hejmabohejhej9
@hejmabohejhej9 10 ай бұрын
Mjengo mzuri sana na kodi rahisi sana
@vailetjulius4782
@vailetjulius4782 6 ай бұрын
Mno
@shyllahnekesa216
@shyllahnekesa216 10 ай бұрын
Zamaradi asiyelipa watu mishahara
@user-py3vt7lu4o
@user-py3vt7lu4o 7 ай бұрын
😮😢😢🎉😂❤😊
@user-zo1ym2te7r
@user-zo1ym2te7r 7 ай бұрын
Kamambele
@hassansammy1076
@hassansammy1076 10 ай бұрын
Respect bro Chino ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@princessmimi4404
@princessmimi4404 10 ай бұрын
Hii nyumba c ndio ile aliosema amberlulu ni yake ktk kipindi cha mpaka home ya global😂😂😂 Yani wasanii wa bongo
@zuenampandeni3347
@zuenampandeni3347 10 ай бұрын
Mtangazaji mbona unaajifanya mwenyeji kaa
@giztony2009
@giztony2009 10 ай бұрын
Na yy amepanic nikama hakutarajia balaa hilo
@hajiramadhan6970
@hajiramadhan6970 11 ай бұрын
Pls wakwanza like hapa
CHINO AIBIWA GARI MAZINGIRA YA KUTATANISHA 🤣🙌  ALIA KAMA MTOTO
32:16
🤔Какой Орган самый длинный ? #shorts
00:42
Finger Heart - Fancy Refill (Inside Out Animation)
00:30
FASH
Рет қаралды 14 МЛН
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 78 МЛН
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
00:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 4,2 МЛН
Best Toilet Gadgets and #Hacks you must try!!💩💩
0:49
Poly Holy Yow
Рет қаралды 10 МЛН
Best Toilet Gadgets and #Hacks you must try!!💩💩
0:49
Poly Holy Yow
Рет қаралды 10 МЛН