PEMBA,MVUVI ALIYETESEKA NA KUNUSURIKA KUFA NA PWEZA BAHARINI ATOA SHUHUDA NI JINI KABISA

  Рет қаралды 40,897

HABARI JAMII DIGITAL

HABARI JAMII DIGITAL

7 ай бұрын

FUATILIA VISA NA MIKASA ,MVUVI ALIYENUSURIKA KUFA WAKATI AKIVUA SAMAKI PWEZA.

Пікірлер: 36
@Nily-kz3db
@Nily-kz3db 6 ай бұрын
Dahh polen sanna Wavuv,Allah Akuepushien Na Mabayaa
@user-rp3hf9oi7v
@user-rp3hf9oi7v 6 ай бұрын
Pweza usipokua makini nae anaeza kuuwa au kukujeruhi vibaya sana
@farhannahomary5505
@farhannahomary5505 6 ай бұрын
Watu wa bahari saluti
@user-bv4gu5po4g
@user-bv4gu5po4g 6 ай бұрын
Duh uyu kiumbe ni hatari kumbe
@farhannahomary5505
@farhannahomary5505 6 ай бұрын
Mmmmh pweza kumbe noma
@user-rp3hf9oi7v
@user-rp3hf9oi7v 6 ай бұрын
Pweza anasimama kweli hajadanganya
@latwiffahpeter6417
@latwiffahpeter6417 6 ай бұрын
Pweza anasimama ndiyoo
@TinaNgimba-vf9wu
@TinaNgimba-vf9wu 6 ай бұрын
Hata Mungu alisema tusile visivyo na magamba!
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 6 ай бұрын
@TinaNgimba-vf9wu iyo sheria walipewa wana wa Israel na Mwenyezi Mungu wakati wa Nabii Musa kwenye Torati na hiyo sheria Mwenyezi Mungu alisha ifuta kama alivyo ifuta Sabato. Hakuna sheria iyo tena.
@mwanaishaabubakar5013
@mwanaishaabubakar5013 5 ай бұрын
Mbona mnakula ng"ombe na hana magamba😅
@FantuzzInvestment-lq6vn
@FantuzzInvestment-lq6vn 6 ай бұрын
Pwez mshari wakati wewe ndio mshari
@makamemtumwa211
@makamemtumwa211 6 ай бұрын
Mbinu moja ya kujiokoa kutokana na pweza endapo atakuzidi nguvu ni kuwa unatakiwa ujtipe ndani ya maji hapo hapo atakuachia tuu
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 6 ай бұрын
Sjakupata hapo kake
@Mpakauseme
@Mpakauseme 6 ай бұрын
😂😂😂😂
@omarhamad6358
@omarhamad6358 5 ай бұрын
ebwanaweee kuna jamaa alizuiwa na pweza chini ya maji hadi ilikufa
@matukutajuma156
@matukutajuma156 6 ай бұрын
Duh!
@latifagogola1863
@latifagogola1863 5 ай бұрын
Walaji kazi mnayo, manakuka majini!!!!!
@mwanaishaabubakar5013
@mwanaishaabubakar5013 5 ай бұрын
Jini weye
@JohnGamma
@JohnGamma 6 ай бұрын
Naskiz kw makin kumb ujing ty
@user-gn2fg3mx2e
@user-gn2fg3mx2e 6 ай бұрын
Kuna mengine kapatia ila mengine ni uwongo asijione mvuvi yeye2
@aishaarusha894
@aishaarusha894 6 ай бұрын
Njoo usimulie wewe
@abubakarymaulidy5681
@abubakarymaulidy5681 6 ай бұрын
Acha makasiriko kama unayajua si ungetueleza wewe sku nyingi wivu na vitu vya kijinga tu
@MwanaishaShattry
@MwanaishaShattry 6 ай бұрын
Choyo chako hicho tu
@farhannahomary5505
@farhannahomary5505 6 ай бұрын
Unejuaje km mbona jilas
@oliverwhite1676
@oliverwhite1676 6 ай бұрын
Kweli wivu umemjaa ajeyeye asimulie
@user-gn2fg3mx2e
@user-gn2fg3mx2e 6 ай бұрын
Hivi kuongea hivi sijui analengo gani ila nahisi labda ndosifa mbaya zakumpa uyo pweza
@AdmiringNautilus-ew9wh
@AdmiringNautilus-ew9wh 5 ай бұрын
Haya tupe sifa nzur za pweza skia kila kiumbe kina shida zake na ndomaana tukaekwa tofaut
@KagitoNdullu
@KagitoNdullu 6 ай бұрын
Mambo ya pweza na ss wapnawap😁😁😁
@MwanaishaShattry
@MwanaishaShattry 6 ай бұрын
Kakojoe ukalale basi
@bintjamal9542
@bintjamal9542 6 ай бұрын
Ulilazimishwa kuangalia?
@NadrHomoud
@NadrHomoud 6 ай бұрын
Naomba nearing zake huyu Jamaica nimsadie vifaa vya pweza na
@KhamisMcha-cd5we
@KhamisMcha-cd5we 6 ай бұрын
Kama kifaa gan labda ndugu
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 6 ай бұрын
Pweza ni asili inahusiana na jini
@user-gn2fg3mx2e
@user-gn2fg3mx2e 6 ай бұрын
Sikweli
@MeenaHassan-fd9vv
@MeenaHassan-fd9vv 6 ай бұрын
huyo pweza hana ishu hata ya kumvua co'z kama ni jini basi asivuliwe
@MwanaishaShattry
@MwanaishaShattry 6 ай бұрын
Uzushi tu
Useful gadget for styling hair 🤩💖 #gadgets #hairstyle
00:20
FLIP FLOP Hacks
Рет қаралды 7 МЛН
KIJANA WA PEMBA MWAMBE AVUMBUA UMEME WA JANGWA
11:31
Bin Nyange Media
Рет қаралды 7 М.
ZANZIBAR ,MKASA WA KUSIKITISA MVUVI ALIYEKUTANA MCHAWI MZITO BAHARINI.
21:36
HABARI JAMII DIGITAL
Рет қаралды 148 М.
MAMA MZAZI WA DEREVA BODABODA  AVUNJA NDOA HADHARANI SIMTAKI YULE MWANAMKE
14:54
Kumbe Pemba ni ya zamani sana
10:58
Weyani Tv
Рет қаралды 13 М.
TAZAMA MWANZO HADI MWISHO NDOA YA DULLA MAKABILA
58:47
ZamaradiTV
Рет қаралды 31 М.
Mzee Majuto  Lakuvunda Part One ( Cinema  YA Mwisho)
56:19
Star Cinema
Рет қаралды 363 М.
UPUUZI WA WADADA MTANDAONI | USA ARMY | NIMEOA MAREKANI
1:02:45
Official Dating Assistance
Рет қаралды 3,1 М.
PART [ II ] DEREVA MKONGWE NA MABALAA YA BARABARANI NI HATARI.
25:43
HABARI JAMII DIGITAL
Рет қаралды 27 М.