FUATILIA MKASA WA KIJANA ALIYEZIKWA HAI BAADA YA KUZIMIA SIKU 2,ASIMULIA MAZITO ALIYOYAONA NDANI YA KABULI
Пікірлер: 22
@marryngaiza20615 ай бұрын
Uwe karibu na Mwenyezi Mungu sababu yuko karibu sana na wewe.
@MarioTV2555 ай бұрын
True story don't give up
@janetchinga6956 ай бұрын
Yote ni mungu❤❤
@RojaMoo-zh2cv6 ай бұрын
Duh! Atar sana
@faizabdallah7025 ай бұрын
Poleyako
@user-ov5cc2lw2e5 ай бұрын
Uyu ni muongo bana
@fashionhack65775 ай бұрын
😢😢😢😢 noma hii
@tizzoflavourmusic25695 ай бұрын
najua wengi hawaamini, wanajua unaigiza lkn ukweli ndio huo
@matanobaya6196 ай бұрын
Mungu na hayo macheni ilikua sababu.
@fatmaalnabhani36096 ай бұрын
Huyu kashotishwa huko kaburini si kwa jina hilo la majini 😮😮
@KautharMohamed-kj5zc6 ай бұрын
😂😂😂😂hatar sana
@josephbonday85106 ай бұрын
Mmmh...,masaa 2 ndani ya kaburi halafu umekuwa MZIMA?😅😅😅😅
@suleimanbadru8196 ай бұрын
Muongoo iyo oxygen uliipata wapi ?
@Johwilly6 ай бұрын
Kwa mujibu wa maelezo yake amesema kuwa" sikumbuki chochote kilichoendelea huko chini mpaka pale fahamu zangu ziliporudi baada ya wale vijana kuanza kunivua vitu vyangu nilivyovaa." akaendelea kusema kuwa " Hata story nayosimulia hapa na mimi nilisimuliwa na watu tangu mara ya mwisho nilipozimia." Mwisho wa nukuu ASANTE.
@danielsamweli67665 ай бұрын
Yaan ww mkaka muongo kwel hichi kisa umekopi na kupest,Ni kisa kilitokea mwaka 1875 .nmeshangaa umekileta Kama kilivyo!!
@sharifamahamudu1825 ай бұрын
Asa km kililtokea mwaka uwo Kwan mungu anashindwa kukileta tena duniani kitu kama hcho yy ndo anajua ss tuwe wapenzi wasikilizaji tu
@user-sk5sd7kc9g5 ай бұрын
100kilo🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@ndimimaskati36416 ай бұрын
Wacheni Uwongo hakuna nabii?, iunabii unapewa na Mwenyezi Mungu?, na Nabii wa mwisho ni Mtume Mohammad.
@Johwilly6 ай бұрын
Sikiliza story mwanzo mwisho, nabii kwake ni Jina tu alipewa na watu kutokana na kunusulika kwenye matukio mengi ndio maana akasema mimi siwezi kumponya mtu wala kumtabiria mtu ila jina nabii ni Jina tu ila sio kama nabii kama walivyo manabii wengine
@ibrahimmohamed19946 ай бұрын
@@Johwillyhili ndio tatizo watu wanasikiliza juu juu tuu afadhali umetokea kumfafanulia kiufasaha.
@dentomedicalresourceslimit46025 ай бұрын
Unakumbuka muda wa mazishi yako? unaanzaje kukumbuka?