Mkasi - SO3E07 with Nakaaya & Nancy Sumari

  Рет қаралды 138,489

MkasiTV

MkasiTV

Күн бұрын

Пікірлер: 48
@debrawanjala5277
@debrawanjala5277 11 жыл бұрын
this two sisters have morals and dignity,i'm so proud of you two gorgeous ladies
@TatyanaCelestinefashiontime
@TatyanaCelestinefashiontime 10 жыл бұрын
I LIKE THEM GIRLS, SO TALENTED AND BEAUT, ITS NICE SHOW SALAMA.
@dianamakorenda8008
@dianamakorenda8008 12 жыл бұрын
Nakaaya I love you my sister ni binti mzuri sana na usiyekuwa na skendo yeyote hongera sana dada. Take care. Upo juu kuliko mamiss wote wa Tz ulliwakilisha nchi mpaka nje Arusha tuko juu sana hakika Arusha sisi ni warembo.
@fettyzing5777
@fettyzing5777 5 жыл бұрын
Nakaaya mzuri jaman
@swahiliwithZita
@swahiliwithZita 12 жыл бұрын
i love naakaya, she is sooo relaxed....i did not know nancy is sooo nervous....hahaa
@hexadmedia
@hexadmedia 12 жыл бұрын
Love this sisters and I envy the family background and up bring. Pole sana Nakaaya with the accident and wish u maximum recovery.
@anta.kessy3
@anta.kessy3 11 жыл бұрын
Napenda maendeleo ya Nakaya xana, i wish to be like her... I real love Nakaya
@ZuberiusChaila
@ZuberiusChaila 11 жыл бұрын
Nancy nakukubali sana kiukwel umejaliwa mengi sana!
@rosa629
@rosa629 7 жыл бұрын
much love kwa Nakaaya
@isacksumari2536
@isacksumari2536 9 жыл бұрын
I love nakaaya ,good interview
@Burner_Acc
@Burner_Acc 12 жыл бұрын
John throws hard question like always, i like this dude.
@ngutujuma2411
@ngutujuma2411 9 жыл бұрын
Nimependa sana interview ya nakaya anajiamn
@shanisshow1864
@shanisshow1864 9 жыл бұрын
yani nacy nakukubali sana dah! huna skendo sana kama warembo wengine
@sarahrashidirashid9384
@sarahrashidirashid9384 8 жыл бұрын
mtangaze nchi yetu wasanii mnazidi namnaboa
@ahmadabdallah2226
@ahmadabdallah2226 9 жыл бұрын
Jamani Mme nampenda xana Nakaaya..
@Diana-cn6cf
@Diana-cn6cf 11 жыл бұрын
salama... love your show... makes me connected with tz ^_^
@modelka222
@modelka222 11 жыл бұрын
jamaa anaemuosha nancy miguu kama hajadinda choko
@awadhally8106
@awadhally8106 6 жыл бұрын
khamis peter hahahah
@awadhally8106
@awadhally8106 6 жыл бұрын
Ebana hyo miguu atary
@folodhanitv2575
@folodhanitv2575 10 жыл бұрын
Juma tatu ijipita na sija tazama MKASI Dah....hiyo siku sinto pata usingizi kamwe.Nawapenda,wote
@maikojacobkimaki
@maikojacobkimaki 12 жыл бұрын
muosha miguu ndio anae faidi mazee hivi na mm siwezi kupata job hyo. ;)
@TheSirToady
@TheSirToady 11 жыл бұрын
Mimi ni Mkenya na nimeshangaa sana kutazama mahojiano haya. Nilidhani kuwa Watanzania wanajivunia kuongea lugha ya Kiswahili. Hapa Kenya vitabu vingi tunavyovisoma katika shule ya upili vimeandikwa na Watanzania kama vile Shaaban Robert (Kusadikika) na Mohamed S. Mohamed (Nyota ya Rehema, Kiu). Mbona Nakaaya na Nancy wanajibu kwa Kiingereza wanapoulizwa swali kwa lugha ya Kiswahili? Wamekengeushwa kiasi cha kuaibika kuwa Waafrika? Jameni, tujivunie lugha zetu za kiasili.
@shanisshow1864
@shanisshow1864 9 жыл бұрын
watanzania wanaukasumba sana kwa lugha ya kiswahili
@aaronmakaveli2062
@aaronmakaveli2062 8 жыл бұрын
yah nyumbani kwanza lazma tu value lugha zetu za nyumbani
@kareemauni5121
@kareemauni5121 10 жыл бұрын
Yupo juu
@gomakuu
@gomakuu 11 жыл бұрын
Jamani kumbukeni kwamba kuna jamii ya Watanzania ambayo imeanza kuibuka bila uwezo wa lugha ya Kiswahili na hili sio swala la hutuma. Haya yote yameletwa na mfumo wa elimu, ukoloni mamboleo, utandawazi na masuala mengine.
@mikedidas7269
@mikedidas7269 3 жыл бұрын
nakaaya has more character... nancy, more beauty
@briannaswedi2651
@briannaswedi2651 12 жыл бұрын
aaww cute
@naturelle1097
@naturelle1097 6 жыл бұрын
why is it mtu akizungumza kiingereza Tanzania anasemwa ovyo?? wivu ni mbaya acheni hizo..hawa wadada wameipeperusha bendera ya Tz internationally. wewe unaelalamika umeifanyia nn nchi yako?
@josonwakitaa2092
@josonwakitaa2092 12 жыл бұрын
wabongo bwana hv kuchanganya lugha sijui ndio nini,mkae mkijua kimombo ni kama lugha nyingine tu,mbona amchanganyi lugha zenu za kiasili.huu ni ujinga mtupu.kweli tembea ujionee,nimetembea nchi nyingi za ulaya sijaona tabia hii,nimeona mara nyingi ktk tv za kidachi wanapomuoji mtu anayeongea kimombo uwa wanatafsili kwa mdomo au kwa maandishi na sio siri asilia 96 ya wadachi wanajua vizuri kimombo ila wanacho jaribu kufanya ni kulinda heshima ya lugha yao,wakenya wanatucheka sana kwa tabia hii
@florakaaya4559
@florakaaya4559 3 жыл бұрын
Nancy punguza kuongea sanaa wanawake wa Arusha tupo Kama NAKAAYA.
@mkingaluis
@mkingaluis 12 жыл бұрын
JAMANI YULE JAMAA ANAYEOSHA ANAFAIDI KIAINA
@TheApraries
@TheApraries 12 жыл бұрын
Nancy is this much nervous on Mkasi???how does she stand international interviews then????? Need to dig more on the kid and ''snatching'' someone's husband story..i ''had'' a lot of respect for her
@mohamedomar4037
@mohamedomar4037 11 жыл бұрын
Kwa ujumla tunafahamu ya kuwa watanzania wako nyuma sana kwa lugha ya kiingereza lakini jambo la kushangaza siku hizi imekuwa kama mtindo kuchanganya lugha ya kiingereza kidogo na kiswahili wakati wanaongea kiswahili ,tafadhali jaribuni kuongea kiswahili bila kuchanganya lakini msifikiri ni maendeleo kuchanganya tema kiswahili tu wengi wakuelewe .
@ndegesha
@ndegesha 12 жыл бұрын
jamani watanzania tukizungumza lugha ya kiswahili tusichangi na kizungu
@sarahrashidirashid9384
@sarahrashidirashid9384 8 жыл бұрын
jitaidini kuwa mnaongea kiswahili
@Franknjzzz
@Franknjzzz 12 жыл бұрын
Jamaa wa pedicure anafaidi ilembaya, tena hapo alifaidi kinomaa
@kedekosimon8449
@kedekosimon8449 8 жыл бұрын
please salama, watu wako wajtahid kuongea kiswahili
@kmtenga
@kmtenga 12 жыл бұрын
kumbe nancy anaongea sana
@eccentricchic85
@eccentricchic85 12 жыл бұрын
Once you dig, what are you going to achieve? a degree? putting food on the table? How old are you again? You don't even know the whole story, you don't know her yet you have the nerve to judge.
@hexadmedia
@hexadmedia 12 жыл бұрын
I dont know whether u r a dude ama chick, but I got to give it to you... "you sound uneducated, accident doesn't make you gain weight". Got nothing to do with stress. IT IS THE SIMPLE FACT THAT YOU SPEND MOST OF THE TIME RELAXING/SLEEPING AND MOST OF THE TIME EATING WELL. HENCE U DONT BURN THE FAT IN THE FOOD U TAKE IN. - Daah... Next time think before you talk crap! Nakaya is miles away head of you in intellect.
Mkasi - SO4E09 with Mpoto
28:10
MkasiTV
Рет қаралды 121 М.
This mother's baby is too unreliable.
00:13
FUNNY XIAOTING 666
Рет қаралды 44 МЛН
😜 #aminkavitaminka #aminokka #аминкавитаминка
00:14
Аминка Витаминка
Рет қаралды 2 МЛН
How to whistle ?? 😱😱
00:31
Tibo InShape
Рет қаралды 20 МЛН
Não sabe esconder Comida
00:20
DUDU e CAROL
Рет қаралды 50 МЛН
Mkasi - SO8E03 With Faraja Nyalandu
30:05
MkasiTV
Рет қаралды 82 М.
Mkasi - SO5E05 With Wolper
29:11
MkasiTV
Рет қаралды 305 М.
Mkasi - SO3E13 with Zembwela
28:10
MkasiTV
Рет қаралды 275 М.
This mother's baby is too unreliable.
00:13
FUNNY XIAOTING 666
Рет қаралды 44 МЛН