MKE KUOMBA TALAKA BILA YA SABABU

  Рет қаралды 97,549

Izudin Alwy Ahmed

Izudin Alwy Ahmed

Күн бұрын

Пікірлер: 49
@maulidjumaya2129
@maulidjumaya2129 4 жыл бұрын
Mm mume wangu akipata mwanamke wainje mm kwangu ndani ninakua namabadiliko na akijua tu nimeshajua mambo yake ananitukana matusi na hata watoto wangu kwakua anichukia mimi na hata watoto pia anawachukia nakuwatangazia mambo watoto wake mbali na hayo akangura mwenyewe bila kuangalia nyumba na bila yakufikiri nyumba niyakukondi nikatolewa nyumba na watoto hapo ndio maisha yakawa man gumu nikasaidiwa na watu kunisitiri kwakua nimefukuzwa nyumba pia akasema walio ni saidia ndio waume wangu Mara mume hatoi chakula walahasaidii nikituma watoto awape mapeni angalau yaungaanasema hana hapo ndio mawazo wa matatizo maisha yakawa man gumu akiulwa a nasema amenipa talaka badae akatuma a barua ya talaka mm nimeikataa nilitaka anirudishe kwa wazazi Bali ilikua ngumu kwakua nimjini maisha yakawa man gumu nanilikuwa na mtoto wasekondari nakatwa mtoto amekuwa hasomiwalioko shule ya chini nao pia ikawa mambo Yao yameisha Nikamua niuze vitu vyote nipatie tkt nanikarudi na simara moja hunipa barua ya talaka kutoka 2012 hadi 2019 mtoto wakwaza nmefundisha akamaliza shule nawapili pia akamaliza na kwakua ameniacha nahakurudi Tena kwetu mm nikawanatafuta maisha yangu nikaenda kwa kadhi fulani nikamuelezea kama niko Sawa nimeachika akaniambia anamahitaji afike kwake alipo muita hakuja naakamuelezea ya kwake kadhi akasema nifungue file nimuite mm nikaona huyo kadhi Kuna vyenye wameongea nataka kuninyima haki Sasa kwakua alinitumia barua ya talaka nahana hana umuhimu na mm nikatolewa kwa sababu amasema hajaniacha kwakua amesema tu mm Nikamua namoyo wangu sitaki Tena amenichukiza akiwa hana mm nimke mazuri akipata mwengine nihivyo maisha niyakujilea Sasa Nikamua kuolewa kwakua mm nimeamini nimeachika na yeye anasema kwa watu kama hajaniacha je shekhe hapo nivipi na Sahii niko na ndoa nimefanya makosa naomba kujua ati sijaachika?
@ahmedjuma2674
@ahmedjuma2674 3 жыл бұрын
Pole sana pia kuwa mvumilivu ikiski atabadlika muombee kwa mungua ambadilishe
@abdulqareemabdala2772
@abdulqareemabdala2772 5 жыл бұрын
Shee wangu wanikosha sanaa unasema ukweli alaah azidi kukupa afya tele
@blackbeauty850
@blackbeauty850 Жыл бұрын
Sheikh hapo kidogo Kuna ugumu ,nnge omba mazungumzo nawe InshaAllah
@farajihalfani4407
@farajihalfani4407 5 жыл бұрын
Shehe uko vizuri sana
@mohammedousisaid4243
@mohammedousisaid4243 2 жыл бұрын
Ma sha Allah,
@user-th9vv3pk6u
@user-th9vv3pk6u Жыл бұрын
She assalam alaykum hili uliloongea swadakta mm nishaenda kwa kadhi kwa sababu maalum ambayo yy hawezi bisha kwailo jongoo hapandi mlima nna mwezi wapili napangiwa hajapeleka mjibu aloulizwa kunapangwa tarehe hiyo haki siwaelewi haha wat kwakweli
@mohammedahmex9961
@mohammedahmex9961 4 жыл бұрын
BARAKA LLAHU FIK
@BiamuJH-zh8xo
@BiamuJH-zh8xo Жыл бұрын
Je shehe nawaume je akikuchoka na hakupita tena haki yako ya msingi yaani tendo je yafaa kudaitalaka suluhu hataki ali itwa hafiki wani saidi aje hapo
@abullahkabaka8774
@abullahkabaka8774 4 жыл бұрын
MASHA ALLAH ALEIK
@rahmaalsaadi5107
@rahmaalsaadi5107 5 жыл бұрын
Asalam aleikum shehe wangu mm nina tatizo na mume wangu waze wake hawanitaki wote na kunitusi mm na mama angu na kuniona sifai kwao sasa nimechoka kaniacha mjazito ila waze wake wamekata mimba na mm nimechoka sasa naitaji aniache waze wake wamemuachia radhi muache mke hatumtaki je shehe siwezi tena kuendelea na ndoa hii sina amani nayo je talaka inasihi ukiwa mjazito ila napo mdai matumizi ya watoto wake hatimizi nifanye nn na hataki kutoa talaka na mm siwezi tena nipe wazo shehe wangu
@IzudinAlwyDin
@IzudinAlwyDin 5 жыл бұрын
Talaka akikupa itapita bila ya wasiwasi . Na matumizi nilazima akupe mpaka uzae sawa nimke aw bado una mimba ila ikiwa mume akiikataa hio mimba kwa njia zitakiwazo ndio haitamlazimu kukutazama ww lakini watoto wake nilazma awatazame . Nakama hataki kukuwacha nenda kwa kadhi aw kwa shekhe alio wafungisha ndoa akuachishe
@rahmaalsaadi5107
@rahmaalsaadi5107 5 жыл бұрын
wasalam shehe wangu bado mm sija zaa na mume wangu ni mbishi sana wa kutoa talaka kauli yake anasema nikisha kuza ndio ataitoa ndio nagoja Allah anifikishe salama nijifungue salama ila matumizi hadi umwambie waze wake hawataki ndoa na mimba walikata wao ila mtoto wao kakiri kua mimba yale ila bada ya kutoka kaka angu na mjomba angu kwenda kuongea nawo ndo walipo jua kua mm mjazito ila wajui na matusi tele kunitukana mm na mama angu na mm siwezi tena kuendelea na ndoa hii family yake sio watu wazuri kwangu tena
@rahmaalsaadi5107
@rahmaalsaadi5107 5 жыл бұрын
Mimba walikata kua sio ya mtoto wao ila mtoto wao kakiri kua mimba yake ila bada ya kutoka jama zangu kwenda ndipo waze walijua na mume wangu kukiri ila kasema mimba ni yangu na nilikua namchukua naenda naye kwa rafiki yangu na wakati siku 10 kalala kwetu ila kaficha anawaficha kila jambo nadhani isinge kua jama zangu waze wake wasinge jua kua mm mjazito adi ningezaa wallah sijui vp mume wangu huyu simulewi
@hindisaid2413
@hindisaid2413 3 жыл бұрын
Nenda Rudi inatoa nafasi kujirekebisha.kwani moyo unageuka
@saidsahd1971
@saidsahd1971 5 жыл бұрын
Hahahahahaaaa unanifurahisha sana
@abullahkabaka8774
@abullahkabaka8774 5 жыл бұрын
MASHALLAH
@balkissbalbalkis7872
@balkissbalbalkis7872 5 жыл бұрын
Mashallah
@mwanasitiali6885
@mwanasitiali6885 Жыл бұрын
Assalamu alaikum je mwanaume akikwambia najuta kukuoa ww je ndoa bado ipo ama umeachika?
@i.dclassic116
@i.dclassic116 5 жыл бұрын
Shee umenifunza kitu
@keamohamedkhamis
@keamohamedkhamis 2 жыл бұрын
mke umemuoa kisha uja mpa mahari na umemuoa kisheria kisha aseme haondoke bila kumpa talaka vpi hapo yata kuwaje
@mwaijasaidy4844
@mwaijasaidy4844 5 жыл бұрын
mashaallah
@nusralilobwa4752
@nusralilobwa4752 6 жыл бұрын
Shukrani kwa kutuelimisha
@maulidjumaya2129
@maulidjumaya2129 4 жыл бұрын
Asalam alaikum warahamatullahi wabarakat niko na swali hapo kwa talaka naomba kk uliza shekhe lkn je naweza
@jumaaabdalla1164
@jumaaabdalla1164 3 жыл бұрын
😍😍😍😍
@munnirmfinanga4444
@munnirmfinanga4444 6 жыл бұрын
jazakallah kheir
@HotkidTz
@HotkidTz 5 жыл бұрын
... .. ..
@habibustadh1146
@habibustadh1146 6 жыл бұрын
Mashaaal
@halimabindo5756
@halimabindo5756 5 жыл бұрын
Sheh tufafanulie talaka ya kutundika
@francismusembi5519
@francismusembi5519 5 жыл бұрын
kumbukumbu sawa kabisa
@iddysaidy2506
@iddysaidy2506 5 жыл бұрын
msema kweli
@feruzikweka4593
@feruzikweka4593 5 жыл бұрын
shukran
@allyboy7162
@allyboy7162 3 жыл бұрын
Asalam Alykum VP binti kuomba talaka Kwa mume alielazimishwa na wazazi wake Kwa kutompenda ili aolewe na Yule alimridhia nin hukmu yake
@nauthaltanga1396
@nauthaltanga1396 5 жыл бұрын
Asante
@nafymalsalum3358
@nafymalsalum3358 3 жыл бұрын
Salam alaikum sheikh.... mfano mume akakuambia ukinifanya kitu flani mm bila kujua ndio talaka yako hio lakin yy kaongea vile hayupo sirius kaongea kwa sabab ya wivu na vitisho vyake tu ili uogope sio kwamba alkua anamaanisha kweli ika.... ikatokea siku ukafanya yule mume ikatokea siku akakuudhi sana ukashindwa kuvumilia ukafanya kile alichokukataza je hapo ndio kushaachika? Ila hilo jambo sio katika zinaa wala shirq naomba msaada wako sheikh
@rahmaalsaadi5107
@rahmaalsaadi5107 5 жыл бұрын
Waze wamekata mimba na baba ake kakata mimba kua sio ya mtoto wao msikini na mume anakuja kwetu kisiri siri waze hana mapenzi na mm na yeye alinipiga mm ndio kosa nilo ondoka je nisaidie nifanye nn apa na upo enda mahaka mani ana lete maneno tele ila tu anikomoe kuniacha haniachi talaka hatoi na amani ya ndoa haio mm sina hamu na ndoa nisaidie wazo
@basharmohamed4806
@basharmohamed4806 5 жыл бұрын
Asalam aleykum sheikh.mimi nilimpiga mke wangu kwa kutaka kuondoka na mtoto wa 5 months bila ya ruksa yangu.mama yake na dada yake wakaja kumchukua tokea april.yeye adai talaka na mimi sitaki kutoa..hivi sasa chuki aliyekuwa nae siyo kumpiga tena ila ni fitna ya dada yake kunisingizia uongo ati mimi nimemtusi na kumchonganisha na mumeo
@FatmaFatma-kt1or
@FatmaFatma-kt1or 5 жыл бұрын
Shukran umenifunza
@abdulrahmanibrahim6283
@abdulrahmanibrahim6283 5 жыл бұрын
Fatma Asalaam aleikhum umeolewa dadangu ama
@chidialkharousy4699
@chidialkharousy4699 5 жыл бұрын
Hi mambo
@a.856
@a.856 6 жыл бұрын
Mtihan shukran
@tumtumkhan3115
@tumtumkhan3115 5 жыл бұрын
Shehe nikweli maneno yako huko kwa kadhi watu huwenda wakirudishwa waeza maliza miaka 2 haswaa na hakuna suluhisho
@mwaijasaidy4844
@mwaijasaidy4844 5 жыл бұрын
Qaida
@ashagomesa9221
@ashagomesa9221 5 жыл бұрын
shee ukovizuri
@omarymajiwa3714
@omarymajiwa3714 5 жыл бұрын
Unaweza kumpa talaka mwanamke kwa njia ya sms
@ukhtysakinaa7664
@ukhtysakinaa7664 5 жыл бұрын
Mpaka utamke kwa mdomo wako
@user-sk8bn4zf6p
@user-sk8bn4zf6p 3 жыл бұрын
sheikh hayo maneno yako yako na mushkil.vp Mtume aseme kua akiomba talaka bila sababu mpaka mwisho wa hadith ..kisha wewe wasema kutopenda tu ni sababu?sasa mtume alijisemea tu maneno akipuzukwa??nipe situation ambayo hiyo hadithi ya makemeo ya mtume itafanya kazi!
NININI NDOA
48:06
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 45 М.
JE KUNA MUDA/IDADI KATIKA TENDO LA NDOA
22:48
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 350 М.
Modus males sekolah
00:14
fitrop
Рет қаралды 12 МЛН
Magic or …? 😱 reveal video on profile 🫢
00:14
Andrey Grechka
Рет қаралды 61 МЛН
0272-NINI HUKMU YA MWANAMKE ALIOACHIKA AU KUPEWA TALAKA MOJA?
8:45
Sheikh Munir Al masruri
Рет қаралды 4,2 М.
MKE WAKO AKI KUAMBIA MANENO KAMA HAYA UTATOA HUKMU GANI..?
9:08
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 45 М.
MAMBO YANAYOMLAZIMU MUME KUMFANYIA MKE WAKE
57:08
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 153 М.
JE YAFAA KUMROGA ANAE KUHARIBIA NYUMBA YAKO
16:34
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 148 М.
JE TALAKA TATU KWA PAMOJA ZAPITA
10:12
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 122 М.
AINA ZA TALAKA
39:32
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 49 М.
0662-NI SABABU GANI ZINAZOMPA HAKI MWANAMKE KUDAI TALAKA KWA MUMEWE?
9:20
Sheikh Munir Al masruri
Рет қаралды 70
VIPI UTAPATA FURAHA KATIKA NDOA YAKO
13:44
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 125 М.