Ma sha allah Ma sheikh wetu Allah akulipe ni kheir ktk hii dunia na akhera Ujumbe mmefikisha
@issmuking39873 жыл бұрын
Allah atujaalie khusnulkhatima na Allah atujaalie tufe haliakua waislamu
@aliomar5954 Жыл бұрын
Mashaallah Allah awazidishie wote walio changia inshaallah
@ibrahimiddi31343 жыл бұрын
Mashaallah mungu akujaalie kila l heri katik kaz hii nzr n hyu pasta anaonesh waz kuwa ameuelw uilam kuwa n din y kwel n nimefrah sn kuwaon wakiristo wakijielew uislam n kuufat
@mohammedsuleiman44083 жыл бұрын
Masha Allah...Allah amjalia heri inshaallah
@qhatramohamed70063 жыл бұрын
Mashaa-Allah askof steven gichuhi tunakupenda sana na tunamuomba ALLAH amuongoze nimewahi kuona clip zake nyingi kwa kweli tuwe imani ALLAH yuko
@خالدباوزير-ت7ل2 жыл бұрын
الله اكبر الحمد لله علا نعمة الاسلام watu wanakuja mungu awabarikie
@abdillahmbarak74183 жыл бұрын
Mashaallah mashaallah masheikh wetu wa Kenya mungu awajalie heri nyingi inshaallah
@shehaothman29483 жыл бұрын
Yaa Allah Subhana Wa Taala. Hawa Maimamu wetu wasokuwa na choyo, wazidishie siha. Alhamdulillah
@jei_Ibrahim3 жыл бұрын
Shk Ramadhan unapenda sanaa kumchokoza bishop 😂 hio ni ishara ya upendo urafiki wenu ni wa kheri in shaa Allah mpee bishop salamu zangu na mwambie sisi waisilamu tunampenda sana na anatufunza mengi tu napata faida kutoka kwenu yote wawili in shaa Allah kheri
@maherzain6153 жыл бұрын
Hata mm naona raha anavomchokoza😅😅😅
@wamugimohammed38483 жыл бұрын
ASALAM ALAYKUM! Alahamdulilah na mshukuru AĹLAH kwa siku nyingine tena kutukutanisha Amin ! Wangeni wetu waliyo silimu tumewakaribisha katika DINI YA HAKI AMIN AMIN!!
@jasminmohamed61453 жыл бұрын
Masha Allah Subhanallah AllahuAkbar Lailaha Ilallahu Wahdahu Lasharikalah Lahulmulku Wala Hulhamdu Wahuwa Alakulisheiin Qadir wa Anna Mohammadan Rasulullahi Swallallahu Alaiyhi Wasallim Wabarik Alaiyhi. Shukran Jazakallahu kheir
@ablamaryamsalehvg5eazhst3n523 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/ZoXXpqiDn6uphNE
@alhaddajmohammed47683 жыл бұрын
Mashaallah huyo Askofu anahitaji kufanya utafiti ajirudhishe na inshaallah kama anayo nia ya dhati kuifuata haki (Uislamu) na kuwacha batili (Ukristo na dini za mfano wa Ukristo/Wanaobudu Vimbe) InshaAllah Allah atamwongoza ktk haki na atasilimu mashaallah. Awache tamaa za kidunia (mali/fedha, ajira/kazi, umaarufu nk) amuabudu Mungu Mola Muumba. Kuokoka kupo Akhera baada kuhesabiwa/kupimwa amali za duniani ukionekana mema ni mengi yanatosha kuingizwa Peponi hapo ndo kuokoka kufaulu.
@maherzain6153 жыл бұрын
Swadaqta imam umeongea.sisi watazamaji tusishangilie tu kwa mashekhe zetu kwa kazi yao ya daawa lazma tuchangie hata kidogo tulonacho.ndio waendeleze kazi yao. InshaAllah tuko pamoja imam
@aaliyyaibrahim75343 жыл бұрын
MashaAllah Allah awape umri na mzidi kufanya da waa,,
@mahdiyusuf34313 жыл бұрын
May Allah guide Bishop to right path Amiin
@muhammadhariz11003 жыл бұрын
Baaraka llahu fiikum wahubiri wetu Allah awazidishie nguvu za dawaa , na Allah atamuongoza pasta katika katika haki, na ndugu twawakaribisha kwa furaha Allah awasahilishie na kutekeleza sheria za dini na ibada kwa jumla.
@moanamohammed14063 жыл бұрын
Masha Allah sheikh wetu bishop tunampenda Allah amuongoze kwa huruma yake
@ummyhoney31053 жыл бұрын
Allahu Akbar,Mungu awajazi heri masheikh wetu kwa kazi zenu nzuri,Allah awape nguvu,barka,afya muzidi kuifanya kazi yake.
@hassandawaah98313 жыл бұрын
Wallai nampenda askofu hanakiburi,ila Mungu amfanyie wepesi ili awe muislamu. In shaa Allah
@rafiquesamuel12053 жыл бұрын
inshaAllah.
@saidachirafi85273 жыл бұрын
Macha Allah
@iddyally72283 жыл бұрын
Allah awajalie mashekh wetu kwa kazi nzuri sana mnafanya na awaepushe na madui wa uislam
@ablamaryamsalehvg5eazhst3n523 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/ZoXXpqiDn6uphNE
@kizamaulidi60043 жыл бұрын
Mashaallah allah akuzidishie kheri katika maisha yako amiin
@arthurnuhu85703 жыл бұрын
In shaa ALLAH ALLAH amuongoze uyu mchungaji In shaa ALLAH 🙏
@sofiabakari30523 жыл бұрын
Masha Allah Mola awape umri na nguvu ya kueneza dini ya haki Amiin
@StraightPathDawah3 жыл бұрын
Allahuma ameen
@najmahnnn13053 жыл бұрын
Mash Allah mwenyezi mungu awazidishie umri mrefu masheikh wetu kwa kazi mnavyofanya.
@TheQuranChannel1233 жыл бұрын
Allah awafungulieni milango ya kheri duniani na akhera na wazazi wenu na waalimu wenu, ameeeen
@innocentndikumana89283 жыл бұрын
Askofu silimu upate pepo ya mungu
@lkshmykomar54723 жыл бұрын
Mashallahu mashallahu mashallahu tabaraka llahu hery Mungu awaongezee ktk sratwa lmustakma Kwa sote ishalla
@abuuaisha61103 жыл бұрын
Shekh Ramadhan Allah akupe nguvu katika kazi yake ya Da'wa
@alimussa55603 жыл бұрын
From day one when the first time the Bishop had a Conversation most of us realized that he was humble and near the truth. It will be a happy day Inshallah that soon the Bishop and his Congregation will revert to the truth. Islam the true religion of all the prophets. May Allah Bless Protect Guide and Support this Dawah and Bless all those reverting.
@liyanahilwa96663 жыл бұрын
True Wallahi! Nim humble saana na Kwanza heshima alionayo kila mara anapomtaja Mtume Muhammad swallallaahu alayhi wa Sallama lazima humtaja Kwa heshima zake na utukufu and that alone hunipa jazba yakumskia Sana nakumuombea sana apate kusilimu Ktk Nguvu zake Maulana,Hekma,Upendo, Huruma&Rehma manake yeye ndio muongozaji.
@ARNOLDKARISA-fs3ht Жыл бұрын
amiin
@mangeraalbert79823 жыл бұрын
Mashallah, Mola ampe raha
@hamidaala28323 жыл бұрын
Aamina
@wamugimohammed38483 жыл бұрын
ASALAM ALAYKUM ! Karibu sana MCHUNGAJI DINI YA HAKI iko wazi ! TENA MASHEKH WETU mulisahau kumwambia huyu mchungaji msikiti hakuna VIP SOTE mbele ya ALLAH tutakuwa kwenye Daraja moja ALLAH AKBAR
MashaAllah naskia furaha nikiona new video.......Allah Awape afya na nguvu ma sheikh wetu
@ablamaryamsalehvg5eazhst3n523 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/ZoXXpqiDn6uphNE
@jamalathman62193 жыл бұрын
Huyo mchungaji anasema kweli kbsa kua wakiristo wanaikashif dini ya uisilamu,lkn amejua mwenye dini hii ya uisilamu ni amani na upendo kwa wote,mungu akuongoze askofu ujiunge na dini ya haki usilamu
@زينبتنزانيا-غ2ه3 жыл бұрын
Mashallah inapenzdeza Sana paster Allah Akuongeze wewe na kabisa lako mchangamkie fulsa Inshaallah karib Sana kaka yetu
@schram5693 жыл бұрын
Ma sheikh wetu Allah awape umri mrefu na awajaliye jannah firdaus , ila ma wadhiri wetu jitahidini sana kuwafikishieni kwa kheri ila isionekani kuwa muna walazimisha ku slim ila kwa kuwalinganiya wataiona haki Insha'Allah ipo siku
@salimamry94323 жыл бұрын
Alhamdulilah, Allah awazidishie kheri na baraka
@mwanamtotomwamwero75113 жыл бұрын
Masha Allah mashekh wetu Allah awalinde n maadui
@adrisshagi12556 ай бұрын
Asalamu aleykum. Inshalaah. Sir (ASKIFU) ATAKUWA MUSILAMU. NA JINA. ATA PEWA. OMAR. Inshalaah
@Asm-xw4nd3 жыл бұрын
Asalam alaykum ma ustadh .Allah awajaalie kila la kheri duniani na kesho Akhera Amiin.
@StraightPathDawah3 жыл бұрын
Wa aleikum salam warahmatullahi wabarakatuh
@arthurnuhu85703 жыл бұрын
Assalam alaykum warahmatulah wabarakat
@sidratybinkhamis28373 жыл бұрын
Hii kazi sio ya mashekhe pekee hata kwakila muumini mojamoja . Allah atatulipa hakika . Allah atawalipa kwa nia zenu . Fiidinillah afuwaajaa.....
@duniawadunia48243 жыл бұрын
Masha"Allah masheik wangu
@allyhussein9855 Жыл бұрын
Mashalla mungu. Awajalie
@ramak.95873 жыл бұрын
This is amazing maa shaa Allah
@hassanmpemba57473 жыл бұрын
Asalam alaikum mashekh Allah awape nguvu na awarefushie uhai ili muendelee kutangaza dini ishallah
@mamoulovecherry51213 жыл бұрын
MASHAALLAH tabarakaAllah ❤❤❤🤝🤝
@mufid7073 жыл бұрын
Jazakallah kher Masheikh wetu.
@changingmentality6263 жыл бұрын
I will forever go with and for Jesus Christ. He is the creator of all things. He is the word of God.
@mk-uf7th3 жыл бұрын
My brother/sister. Muslims are the only people that believe and follow Jesus. Yoi guys talk, We walk the talk. At the end of times, those who said Jesus was lord or son of God will tell him. Lord, lord, in thy name have we not prophesied and in thy name have we not caste the devil and in thy name have we not done many wonderful things and he will reply and declare to you and them . I never knew you, depart from me, you evildoers. Jesus brought the message of the one God and humans have glorified him as lord or son of God which is totally confusing. If he will be any. Its like saying something is like square circle. He cannot be both unless he is schizophrenic where he has two different personalities which i doubt our beloved was. There's complete evidence in the Bible that Jesus was born to a Virgin through God's grace and miracle sent to the lost sheep of Israel meaning the 12 tribes and was never sent to all mankind. This idea was concocted and fabricated by Paul and his colleagues years after Jesus ascended to his God. There's no where in the Bible where Jesus preached Christianity or you will not find the word Christianity any where in the Bible. About the church Jesus never stepped or preached in the church as the church was founded by Paul in in the city of Antokya in Rome and Jesus has never been to Rome. May the almighty show you and others the truth like all this finding it every day as they say the truth will set you free. The holy Koran has never been altered or tampered with for almost 1500 hundred years. There's no discrepancy in it even as christen scholars will admit. No human being could change or come up with a single Koranic verse if they burn the burn the Bible completely this Muslim preachers and imams can reproduce it because they memorized it entirely.
@salehesalehe29673 жыл бұрын
Mashallah tunaomba Allah awalinde
@faisalwaafrica74783 жыл бұрын
Mashallah ana jina kama langu 🙏🙏
@faisalwaafrica74783 жыл бұрын
Mohamoud.mohamed, ahmed yote ni majina sawa nadhan
@marianachriss24443 жыл бұрын
YESU KRISTO ni BWANA na mwokozi na zaidi ya yeye hapana Mungu mwingine ni Nuru ya ulimwengu wote na Yeyote asiyemkiri YESU KRISTO ameshahukumiwa,
@tatotato5063 жыл бұрын
Yesu mungu alimuumbanani mnaongopewanyie yesu ninabbituu sio mungu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@tatotato5063 жыл бұрын
Acha kuamini yesu sio mungu kabisa dada wala awezikuamungu
@marianachriss24443 жыл бұрын
@@tatotato506 uislamu ni dini ya uongo na ya kishetani,allah sio Mungu ni shetani mkubwa audanganye ulimwengu wote na kuwapeleka watu jehanamu, YESU KRISTO ni Nuru ya ulimwengu wote na ni BWANA na mwokozi.
@marianachriss24443 жыл бұрын
@@tatotato506 YESU KRISTO ni BWANA na mwokozi na zaidi ya yeye hapana Mungu mwingine mpokee YESU KRISTO, kabla haujachelewa.
@mamymdogomamy36703 жыл бұрын
@@marianachriss2444 Innahillah wainnalillah rajhun Allah amsamehe maana haujuwi unacho kisema
@AliIbrahim-lv5cq3 жыл бұрын
Yani mtu anaemchukia Ramadhan Kuria basi huyo atakua kwenye khasara ya moyo wake tu, straight Path nawapenda nyote kwa ajili ya Allah
@omargbabaomar20043 жыл бұрын
Masha Allah
@fatmazullu49333 жыл бұрын
Maasha Allah!!
@abdinasirmohamed22383 жыл бұрын
Mashallah ✔👌🙏
@hatbadman22353 жыл бұрын
الله اكبر
@fatmasalim82933 жыл бұрын
الله اكبر الله اكبر الله اكبر ولله الحمد
@StraightPathDawah3 жыл бұрын
الحمد لله رب العالمين
@hafsaali79763 жыл бұрын
Mashaallah mashaallah
@TeamKRX3 жыл бұрын
Hadi raha mashalah awape subira Allah kila muislam. Na wasikuo Pia hapa sawabu kwa magunia mpka wanaobeba mawe mchanga wajengao yaani wote kwa ujumla mashalah kila la kher
@fatumajaha75383 жыл бұрын
Alwa awajaze kheri,muwe wa kweli nakuwafuatilia.
@nooor11203 жыл бұрын
Allahu akbarr walilahi lhamd.
@yusufmwangichannel66923 жыл бұрын
Masha Allah, Allah Akbar, kama alivyo tabiri Mtume Muhammad (S. A. W) ya kwamba kutakuja wakati watu wataingia katika uislamu makundi kwa makundi na mda ndio huu, Masha Allah, Allah awape nguvu, umri na atupe mwisho mwema sote Amiin Thumma Amiin
@nooroman25353 жыл бұрын
MashaAllah ipo siku Askofu hataona haki Mashelhk Mungu hawazidishie maisha marefu
@nooroman25353 жыл бұрын
Mashelhk poleni nakazi mzuri
@shifaazawadi44383 жыл бұрын
Naimani kwauwezo wake ALLAH huyu askofu ata Silimu Inshallah
@StraightPathDawah3 жыл бұрын
Ameen
@hawaibrahim64153 жыл бұрын
MASHALLAH
@nooor11202 жыл бұрын
Nauliza suali nduguzangu, jee huyu askofu mwisho alisilimu?
@mwaseransawabu14903 жыл бұрын
Wallahi ni faida kubwa katika uislam kuslimisha mtu baada ya daawa
@reginaosward61703 жыл бұрын
Hakuna jina jingine litupasalo kuokolewa kwalo tunaokolewa kwajina la Yesu,Yesu ndiye njia kweli na uzima
@mangeraalbert79823 жыл бұрын
Andiko tupe,
@FatimaFatima-wk1jk2 жыл бұрын
Kuna Moto na pepo hivi vyote vinatakiwa kuwa na watu so sio mbaya ukibaki huko
@meswalehematano62773 жыл бұрын
MaashAllah
@lkshmykomar54723 жыл бұрын
Karbu sana NDUGU zetu Zubeda Yusufu Na Makhemud ktk Uislam ndn ya hak na dn ya upendo tunawapenda sana
@omarratibu97093 жыл бұрын
TAKBIRRR. ALLAHU AKBAR
@simongalahenga68583 жыл бұрын
Imeandikwa ukinionea aibu nami nitakuonea aibu mbele ya baba yangu
@مريمحمد-و5م3 жыл бұрын
Alhamdulilah
@aishakh50463 жыл бұрын
Allah apokele.tobayake
@chiefmkalikibz15033 жыл бұрын
Asalam alleykum. Afwan Bin Kaguo, mimi naona huyu Rafiki Yetu ashaona na Ashambua UKWELI, ILa ahofia makanisa yake, Kondoo Wake na Posho. ILA TUMTUMIANI TU KAMA CHAMBO TUWAVUWE WATU
@hawaibrahim64153 жыл бұрын
Wanao silimu wafuate UWISLA nasio waislamu maana Waislam sio wote wana matendo ya UWISLAM
@ablamaryamsalehvg5eazhst3n523 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/ZoXXpqiDn6uphNE
@alfanm.82213 жыл бұрын
Kweli bro
@mohamedmaulid27353 жыл бұрын
Hawa ww umeolewa ?
@hawaibrahim64153 жыл бұрын
@@mohamedmaulid2735 ALHAMDULLILLAH NDIO NIMEOLEWA NIKO FAMILY 👪
@saidhamad5333 жыл бұрын
Mashallah
@fauziasaid15783 жыл бұрын
Masshallah
@reginaosward61703 жыл бұрын
Ukimkana Yesu umemkana Mungu aliyezifanya mingus na nchi
@luluamin13883 жыл бұрын
Regina Osward. Yesu alikua muislamu kama Abraham, Moses ,Adam, David and a other prophets
@FatimaFatima-wk1jk2 жыл бұрын
Huyo yesu alikua anamuabudu MUNGU anaebudiwa na wasilam
@زينبتنزانيا-غ2ه3 жыл бұрын
Karib dada yangu daaah umependeza wadada upeni hijab inshallah Allah awaongoze
@amouris-haka60453 жыл бұрын
Kweli @ zainab
@hasahm19953 жыл бұрын
Fiidiinihii afwajaa.....
@sidratybinkhamis28373 жыл бұрын
Hakikataniiìiii . Allah akisema kisema kitu huwa
@davallamchambe52753 жыл бұрын
Asalamu aleykum jamani naomba kumuulizia suleiman mazinge yuko wapi alikua akinipa daawa kwenye mawaidha yake yalikua yakinijenga kama yuko mutu ako na namba zake anipatie
@rahmaahmed4183 жыл бұрын
Assalaam Alaikum,hapa Ni Kenya ,Mazinge yupo Tanzania ,tafuta videos zake utazipata
@davallamchambe52753 жыл бұрын
@@rahmaahmed418 Waaleykumu msalamu mm namuulizia mazinge wa kenya sio wa Tanzania yule alikua akiongelea mafreemason
@rahmaahmed4183 жыл бұрын
Ooh,ok
@StraightPathDawah3 жыл бұрын
Tupigie tutakuunganisha naye inshaAllah
@davallamchambe52753 жыл бұрын
@@StraightPathDawah insha allah
@mufid7073 жыл бұрын
Allah'hu Akbar Allah'hu Akbar
@tututz1003 жыл бұрын
da waa,,
@makenakendi90143 жыл бұрын
Huyu pastor niko na imani one day atasilimu
@StraightPathDawah3 жыл бұрын
Ameen
@benaiahchaulah10373 жыл бұрын
ASKOFU NEEMA YA MUNGU IKUFUNIKE KWAKWELI ULIJUE NENO
@shifaazawadi44383 жыл бұрын
Muhamud 👈 kuna huyu boss wangu ana mtoto wa kiume anaitwa muhammud nikauliza wakasema ni Mohammad nikoama modi , mudi,madi so huyo ni Mohammad
@simongalahenga68583 жыл бұрын
Mimi si mraumu huyu kijana kwa sababu moja tu wakristo hatuna mifumo ya kuwafunza watu wetu kuijua kweli tangu wakiwa watoto
@mangeraalbert79823 жыл бұрын
Hamna cha kweli katika ukristo, mimi ni msaliwA wa familiA ya wakristo ni porojo tupu, wakristo ufija kweli yote.
@stivutitus9633 жыл бұрын
somkrsto uyo kumaninazenu fala uyo ayamuache ajiunge nakikund xhauganga
@ramadhanijohoiddi28993 жыл бұрын
Nataka dada alie vaa suruali amesilimu nataka nimuoe nipo Tanzania
@StraightPathDawah3 жыл бұрын
Tembea Mukurwe-ini
@mangeraalbert79823 жыл бұрын
Tuko njiani, kisasi chake kiwe umati bora zaidi, binti zubeda wamboi
@allyabdallah43573 жыл бұрын
Mashaa allah Allahu Akbar
@aminaabdallah77023 жыл бұрын
Mashehi mbarikiwe Hao mabinti ambao waningia usilamuni msisahau kuwafunza mambo yakike ikiwa wapo kwasiku Zao zakila mwezi nakua kuoga janaba hidhi na nnifasi ili wawe watahifu kukamata kuruani nakusali namengi yakujua katika usilamu masharti yakike
@mutomubaya3 жыл бұрын
Ni vyema Askofu ajulishwe kwamba Waislamu hawamkani Yesu bali ujumbe wa Yesu unatoka kwa Allah kwamba yeye ni Mtume wa mwisho katika Mitume waliotumwa kwa wana wa Israel. Anaitwa Isa mwana wa Mariam.
@godasanga38193 жыл бұрын
Hivi mlimwambia kwa nini mlibuni na kutengeneza hii Quran huko misri 1924 Wewe hujui kitu juu ya uislam asilia
@njambuyakariuki3 жыл бұрын
naweza aje pata mafunzo ya dini nilislim juzi
@StraightPathDawah3 жыл бұрын
inshaAllah tutumie message kwenye whatsapp +254777600777
@njambuyakariuki3 жыл бұрын
@@StraightPathDawah shukran
@sawdaasawdaa79033 жыл бұрын
Eeeh kilamutu na acokiamini hakimu ni Allah
@hamissuche65763 жыл бұрын
Ma mufti wetu ebu nijulisheni,. Kweli watu kama hawa makafiri ni sw kuingia msikitini hata kujitwahirisha hawajui wanajipangusa na karatasi,.. Kweli ni sw kuingia msikitini
@khdigahk42463 жыл бұрын
Acha ubishi askof ukweli ushaujua tamka shahada
@StraightPathDawah3 жыл бұрын
Tumuombee sana huyu akisilimu na kondoo wake wengi pia watamfuata
@khdigahk42463 жыл бұрын
@@StraightPathDawah inshaallah
@mamymdogomamy36703 жыл бұрын
@@StraightPathDawah In Sha Allah
@oscahinyangala14903 жыл бұрын
Watu wanataka kuingia uislamu hatuna shida hata kidogo manake walikata Nuru sasa wameingia gizani
@ramadhanilukambuzi97603 жыл бұрын
Ww ndoo huko gizani sio Waislamu
@TeamKRX3 жыл бұрын
Wewe uko gizaa KABISA
@ramak.95873 жыл бұрын
Confused element
@ramadhanilukambuzi97603 жыл бұрын
Watu hawaingii ktk Uislamu kwa ajili yangu au ww ni kwaajili ya Mwenyezi Mungu,Uislamu sio kama vilivyo vyama vya siasa kwamba mtu anaingia kwa poropaganda za uongo na miemuko bro haiko hivo.
@masumbukomaganga4382 жыл бұрын
search PROFESOR WATER VEITH THE CONECTION BETWEEN MUSLIM AND CATHOLICISM, learn a lot from that facts you will discover something new taht you had never ever knew it, REPLY TO ME AFTER YOU WILL HAVE GOT IT