Mashallah wengi wao wanaipata dini ya haki iko wapi sasa.❤❤
@adanabdi52496 күн бұрын
Masha Allah.
@khadijayusuf79687 күн бұрын
Asalaam alaykum mwalim ramadhan
@StraightPathDawah7 күн бұрын
Wa aleikum salam warahmatullahi wabarakatuh
@ZayyanaBamuni6 күн бұрын
Mashallah ❤❤❤
@aburaasmedia36826 күн бұрын
hii ndiyo ukristo. hawana msimamo. majibu wanatoa wanafikiria tu hapo hapo bila kujua dini yao imesemaje juu maswali wanaulizwa. ubishi mingi tu.
@Zulkamhaji5 күн бұрын
Takbir takbir takbir ❤❤❤❤🎉
@hassanmpemba57476 күн бұрын
dah ni kweli sheikh ramadhan yani hawajui wajibu nini wanasikiliza wanayoambiwa na mapastor wao wanawapiga pesa tu ni mtihani sana
@AishaTabi-e2z7 күн бұрын
Mashalla wakristo wana kazi zinto😅
@Noorein-ws8wk6 күн бұрын
Allahu Akbar
@SmilingDreamCatcher-ui6fo6 күн бұрын
Maashallah
@Hassomohaa6 күн бұрын
Mash ALLAH
@FahamuKahindi3 күн бұрын
Mashallah
@salmanassor87326 күн бұрын
Bismillah mashallah
@AssdfAssd-g3y6 күн бұрын
Astaghafiruhallah ...Hii Imani siwezani nayo Bora mungu atusamehe sote maana ni kufru kubwa mno Allahakbar
@SaidMgeni7 күн бұрын
الحمدلله على نعمه الاسلام
@JamilaJumanne-u7q6 күн бұрын
Dadeq apo kwenye hewa😂😂😂😂😂
@meshackomulanya6 күн бұрын
As'Salaam Alaikum Warahmatulai Wabarakatu leo mmekua Jacaranda?
@JamilaJumanne-u7q6 күн бұрын
Patam jmn😂😂😂 kila hatua😅
@DonicyDonicy6 күн бұрын
Muendelezo wa hii dawah imekua fupi sanaa
@ibrahimetale99996 күн бұрын
Asc. Part 3 iko wapi?
@hamrashid84795 күн бұрын
sheikh Ramadhan naomba ufungue hiyo link ya youtube nliotuma hapo. Kuna mapasta wanachafua mazingira sana huko western sehemu inaitwa shathiala. i think ni karibu na Butere
@wakeshojana6 күн бұрын
HATA WAISLAMU HUTOFAUTIANA KIDOGO JUU YA AINA ZA KORAN!! KWELI NYANI HAONI KUNDULE!!
@chapchap-oz1ou6 күн бұрын
anacheka nyumba ya jirani chafu kumbe yake ndo balaa,,,, without lies, islam dies!!
@BabasahdSahd5 күн бұрын
Akuna Quran tukufu hlio tofatiana mngu akusamehee 🙏🤲
@chapchap-oz1ou5 күн бұрын
@@BabasahdSahd Akusamehe wewe ni muislamu jina tu. Nikuulize, mtazamo wa dhehebu la shia ni sawa na sunii au ahmadiya kuhusu koran???..
@BabaMahir6 күн бұрын
Kuja Mandera
@adrisshagi12556 күн бұрын
Suali. Kitu Hu elewi vipi Una weza. Kuteteya
@NathanielNathan-m4o5 күн бұрын
Kwani mnafikiri Quran ni Moja? Someni mfunguke macho acheni kudanganywa
@adrisshagi12556 күн бұрын
Lazıma Ukuwe mtu ana weza ku teteya imanı lake suali . Ya pili. Kuna mtu Ana weza ku teteya. Believe with proof. Christian is faith no proof
@harrisoncharo-qz3vz6 күн бұрын
Waslam ndio wenyeshida wamegawanyika makundi 73 na hawaelewani ama hulijui hilo ama ninyani haoni kundule na quraan yenyewe iliteremushwa na hadui wa jbril qrn 2.97 halagu uslam ni dini ya muhamad soma qrn 10.104 sio ya mungu😂😂😂